Home

MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
KIDATO CHA TATU
MWAKA WA 2025
MUHULA WA I

School

To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.

To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.

Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)

WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA MBINU VIFAA ASILIA MAONI
3 1
Kusikiliza na kuzungumza
Isimu jamii; Sajili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya sajili.
Kutaja na kufafanua sifa za sajili ya dini.
Kuigiza maamkizi na mazungumzo katika sehemu za maabadi.
Kueleza
Kujadiliana
Kuandika
Kuuliza maswali
Kuigiza
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 1-3
3 2
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi
Sarufi
Ufahamu; Asali Yawa Shubiri
Viulizi
Vivumishi vya Idadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maudhui ya ufahamu.
Kufafanua maana za methali zilizotumika kwenye ufahamu.
Kujibu maswali kwa usahihi.
Kueleza maana ya viulizi.Kutumia kiulizi kifaacho kukamilisha maswali.
Kutunga sentensi zenye kiulizi –pi na kiulizi –ngapi.
Kueleza maana ya vivumishi vya idadi.Kutumia kivumishi kwenye mabano kukamilisha sentensi ipasavyo.
Kutunga sentensi kutumia vivumishi vya idadi.
Kueleza
Kujadiliana
Kuandika
Kuuliza maswali
Utafiti
Kazi ya vikundi
Kufanya zoezi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi ya Kiswahili
Kamusi ya Methali
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 3-7
3 3
Kusoma
Kusoma (fasihi)
Kusoma
Fasihi andishi; Muktadha na usuli wa tamthilia
Fasihi andishi; Muktadha na usuli wa tamthilia
Kusoma magazeti: Tahariri na Habari
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthiliaKufafanua muktadha tofauti ya tamthilia
Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia
Kueleza maana ya tamthilia
Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia
Kueleza maana ya tahariri.
Kusoma tahariri aliyopewa kwa sauti, akidondoa mambo muhimu kisha kujadiliana kuhusu maoni ya mhariri.
Kutambua habari za Kitaifa na Kimataifa kwenye magazeti.
Kusoma
Kujadili
Kuwasilisha
Kuuliza maswali
Kuandika
Maelezo
Ufafanuzi
Kujadili vidokezo
Kufanya zoezi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kamusi ya Kiswahili
Magazeti
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
3 4
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Utungaji wa Kiuamilifu: Barua Rasmi
Dhima ya Fasihi kwa jumla
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza muundo na sehemu kuu za barua rasmi.
Kupambanua msamiati wa uandishi wa barua rasmi.
Kuandika barua rasmi kwa kuzingatia kanuni zake.
Kueleza nafasi ya fasihi simulizi katika jamii.
Kutaja sifa za fasihi simulizi.
Kufafanua vipera vya fasihi simulizi.
Kueleza umuhimu wa fasihi Simulizi
Maelezo
Ufafanuzi
Kujadili vidokezo
Kuandika
Kufanya zoezi
Majadiliano
Uchunguzi
Uvumbuzi
Kazi ya vikundi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi ya Kiswahili
Nakala halisi ya barua rasmi
Kitabu cha Fasihi
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 13-16
3 5
Kusoma kwa Ufahamu
Kusoma (fasihi)
Kusoma (fasihi)
Shairi: Mikanda Tujifungeni
Fasihi Andishi; Wahusika na uhusika katika Tamthilia
Fasihi Andishi; Wahusika na uhusika katika Tamthilia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kutaja maudhui katika shairi.
Kueleza sifa bainifu za shairi huru.
Kujibu maswali yatokanayo na shairi huru kwa usahihi.
Kueleza umuhimu wa wahusika katika tamthilia.
Kutaja wahusika wote kutoka tamthilia teule.
Kutofautisha wahusika wa aina mbalimbali.
Kueleza umuhimu wa wahusika katika tamthilia.
Kusoma.
Kusikiliza
Kuandika
Kujadiliana
Uchambuzi
Kusoma
Kujadili
Kutafiti zaidi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi ya Kiswahili
Kitabu cha Shairi
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 20-21
3 6
Sarufi
‘A’ Unganifu
Virejeshi ‘O’ na ‘amba’
Matumizi ya ‘O’ rejeshi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza muundo wa ‘A’ unganifu.
Kutunga sentensi akitumia ‘A’ unganifu mwafaka pamoja na nomino.
Kukamilisha sentensi kwa kutumia ‘A’ unganifu.
Kueleza matumizi ya kirejeshi ‘amba’
Kutumia kirejeshi ‘amba’ katika sentensi.
Kutunga sentensi akitumia kirejeshi ‘amba’
Kueleza matumizi ya ‘O’ rejeshi.
Kutumia ‘O’ rejeshi katika sentensi.
Kujibu maswali kwa usahihi.
Kusoma
Kusikiliza
Kuandika
Kujadiliana
Kufanya zoezi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi ya Kiswahili
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 21-23
4 1
Sarufi
Kusoma (fasihi)
Kusoma (fasihi)
Viashiria visisitizi
Fasihi Andishi; Wahusika na uhusika katika Tamthilia
Fasihi Andishi; Wahusika na uhusika katika Tamthilia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza matumizi ya kiashiria kisisitizi.
Kuandika sentensi katika umoja na wingi akitumia kiashiria kisisitizi.
Kutumia kiashiria kisisitizi kukamilisha sentensi.
Kutaja hulka (sifa) za wahusika katika tamthilia teule.
Kueleza sifa za wahusika katika tamthilia teule.
Kufafanua sifa za wahusika kwa kutoa mifano katika tamthilia.
Kusoma
Kusikiliza
Kuandika
Kujadiliana
Kufanya zoezi
Kujadili
Kutafiti zaidi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi ya Kiswahili
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 25-28
4 2
Kusoma
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa sauti; Barua kwa Mhariri
Utungaji wa Kiuamilifu; Barua kwa Mhariri
Kusoma kwa Ufahamu; Zimwi Limeingia Duniani
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya barua kwa mhariri
Kusoma mfano kitabuni na gazetini kisha kufafanua sifa bainifu.
Kuandika sifa bainifu kwa mhariri kwa usahihi.
Kueleza muundo wa barua kwa mhariri.
Kufafanua maudhui ya barua kwa mhariri.
Kuandika barua kwa mhariri wa gazeti.
Kueleza maadili na maudhui ya kifungu.
Kujibu maswali kutokana na ufahamu.
Kutambua umuhimu wa kuwa msikivu.
Kueleza
Kujadili
Kusoma
Kuandika
Kusikiliza
Kufanya zoezi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi ya Kiswahili
Magazeti
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 28-29
4 3
Sarufi
Kusoma (fasihi)
Vivumishi kwa pekee
Fasihi andishi muundo na mtindo katika tamthilia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya vivumishi vya pekee.
Kufafanua matumizi ya vivumishi vya pekee.
Kubainisha matumizi ya vivumishi vya pekee.
Kufafanua muundo wa tamthilia kwa kutoa mifano.
Kueleza mtindo katika tamthilia.
Kutaja kaida za utunzi wa tamthilia.
Maelezo
Ufafanuzi
Majadiliano
Uchunguzi
Uvumbuzi
Kazi ya vikundi
Kusoma
Kueleza
Kujadili
Kuandika
Utafiti
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi ya Kiswahili
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 33-38
4 4
Kusoma (fasihi)
Kusoma
Kuandika
Fasihi andishi muundo na mtindo katika tamthilia
Kusoma kwa Mapana; UKIMWI
Utungaji wa Kiuamilifu; Resipe, Muhtasari
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufafanua muundo wa tamthilia kwa kutoa mifano.
Kueleza mtindo katika tamthilia.
Kutaja kaida za utunzi wa tamthilia.
Kueleza maana ya maswala ibuka.
Kusoma makala yanayohusu afya ya na Ukimwi.
Kujibu maswali yanahosu makala.
Kueleza mambo yanayozingatiwa katika uandishi wa resipe.
Kuandika resipe ya chakula akipendacho.
Kutaja hatua kuu katika uandishi wa muhtasari.
Kusoma
Kueleza
Kujadili
Kuandika
Utafiti
Usomaji
Maelezo
Maswali na majibu.
Maelezo
Ufafanuzi
Maswali na majibu
Majadiliano
Mazoezi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kamusi ya Kiswahili
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
4 5
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa Ufahamu
Kusoma (fasihi)
Maamkizi na Mazungumzo
Umoja wa Kitaifa
Matumizi ya lugha katika fasihi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kupambanua lugha (sajili) ya mazungumzo kitabuni.
Kutambua hasara za utengano.
Kueleza msamiati mpya na kujibu maswali kwa usahihi.
Kueleza umuhimu wa usanifishaji.
Kusoma ufahamu, ‘Umoja wa Kitaifa’
Kufafanua mambo yanayosaidia kuleta umoja wa Kitaifa hapa nchini.
Kueleza tamathali za usemi na umuhimu wake.
Kutaja mifano katika kazi ya fasihi (kitabu teule)
Kujibu maswali kwa kurejelea kitabu teule.
Kueleza
Kusoma kwa sauti
Kuigiza
Kujadili ujumbe na muundo
Kujibu maswali
Usomaji
Maelezo
Maswali na majibu.
Utafiti
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi ya Kiswahili
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 42-43
4 6
Kusoma (fasihi)
Sarufi
Kusoma
Matumizi ya lugha katika fasihi
Vielezi
Utungaji wa Kiuamilifu; Hotuba
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza tamathali za usemi na umuhimu wake.
Kutaja mifano katika kazi ya fasihi (kitabu teule)
Kujibu maswali kwa kurejelea kitabu teule.
Kueleza dhana ya vielezi.
Kueleza aina za vielezi.
Kutunga sentensi kwa kutumia vielezi.
Kuelezea muundo wa hotuba
Kutaja vipengele muhimu vya hotuba mufti
Kuandika hotuba kwa hati nadhifu.
Kusoma
Kueleza
Kujadili
Kuandika
Utafiti
Maelezo
Ufafanuzi
Maswali na majibu
Ufafanuzi
Kuhutubu mbele ya darasa
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kamusi ya Kiswahili
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
5 1
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma (fasihi)
Fasihi Simulizi; Mazungumzo
Fasihi Simulizi; Malumbano ya Utani
Fasihi andishi; Matumizi ya lugha katika tamthilia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya isimujamii.
Kufafanua maana ya sajili katika lugha.
Kuigiza mazungumzo.
Kueleza maana ya utani.
Kufafanua mwingililiano wa utani na utamaduni.
Kutaja aina za utani.
Kutunga utani mbalimbali.
Kutaja matumizi ya lugha mbalimbali.
Kutumia tamthilia teule kutoa mifano.
Kufafanua jinsi lugha imetumiwa kukuta ujumbe.
Kusoma
Kuigiza
Kujadili
Kusikiliza
Kuandika
Kutamka
Kueleza
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi ya Kiswahili
Kitabu cha Fasihi Simulizi
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 51-52
5 2
Kusoma (fasihi)
Kusikiliza na kuzungumza
Fasihi andishi; Matumizi ya lugha katika tamthilia
Fasihi Simulizi; Ulumbi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja matumizi ya lugha mbalimbali.
Kutumia tamthilia teule kutoa mifano.
Kufafanua jinsi lugha imetumiwa kukuta ujumbe.
Kueleza maana ya ulumbi na kutoa mifano katika jamii.
Kusoma mifano kitabuni na kuchambua.
Kutofautisha ulumbi na tanzu nyinginezo.
Kusoma
Kujadili
Kueleza
Kuandika
Kusikiliza
Kuuliza maswali
Utafiti (kazi ya ziada)
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kamusi ya Kiswahili
Kitabu cha Fasihi Simulizi
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
5 3
Sarufi
Kusoma
Kuandika
Viwakilishi (W)
Kusoma kwa Kina; Historia na Maendeleo ya Kiswahili
Uandishi wa Insha; Insha ya Mazungumzo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja aina za viwakilishi.
Kueleza na kubainisha aina za viwakilishi.
Kutumia viwakilishi katika sentensi kwa usahihi.
Kutaja lahaja za Kiswahili na kule zinakozungumzwa.
Kufafanua chimbuko la Kiswahili.
Kueleza ushahidi wa kihistoria unaoonyeshwa kuwa kiswahili kilizungumzwa katika sehemu ya Afrika Mashariki.
Kueleza muundo wa mazungumzo.
Kusoma mfano kitabuni na kufafanua kimtindo na ujumbe.
Kuandika insha ya mazungumzo kwa njia ifaayo.
Kueleza
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kujibu maswali
Kuigiza mazungumzo
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi ya Kiswahili
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 56-60
5 4
Kusoma (fasihi)
Kusikiliza na kuzungumza
Fasihi andishi; Maadili na mafunzo katika tamthilia
Fasihi andishi; Maadili na mafunzo katika tamthilia
Isimujamii; Mahakamani
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja maadili na mafunzo ya tamthilia teule.
Kufafanua maadili na mafunzo ya tamthilia teule.
Kueleza jinsi tamthilia inaafikiana na matukio ya sasa katika jamii.
Kutaja sifa za lugha (sajili) ya mahakamani.
Kueleza kaida na wafanyikazi wa Mahakamani.
Kusoma kifungu na kujibu maswali.
Kusoma
Kujadili
Maswali na majibu
Kuandika
Kudodosa
Kuigiza
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kamusi ya Kiswahili
Kitabu cha Fasihi Simulizi
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
5 5
Sarufi
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Mwingiliano wa Maneno
Utungaji wa Kiuamilifu; Makala ya Redio na Runinga
Isimujamii; Mahojiano kati ya Wataalamu Wawili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza sehemu mbili kuu za sentensi (KN na KT)
Kutambua sifa za KN na KT.
Kuonyesha KN na KT katika sentensi.
Kusoma habari kwa kina na kueleza yaliyomo.
Kueleza umuhimu wa vyombo za habari.
Kuandika makala yatakayosomwa katika kipindi kimojawapo cha redio.
Kusoma kifungu na kueleza.
Kueleza sifa za lugha (sajili) ya Wataalamu.
Kupambanua mazungumzo kwa kuzingatia sajili.
Kueleza
Kusoma
Kutunga sentensi
Kuandika
Kufanya zoezi
Maswali ya dodoso
Kujadili
Kuigiza
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi ya Kiswahili
Redio na vinasa sauti
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 69-70
5 6
Kusoma (fasihi)
Sarufi
Kusoma kwa kina; Fasihi andishi
Kusoma kwa kina; Fasihi andishi
Vitenzi; Mzizi wa Kitenzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kupambanua falsafa na itihadi ya mwandishi wa tamthilia
Kutaja maadili katika tamthilia
Kuchambua vipengele tofauti za fasihi.
Kupambanua falsafa na itihadi ya mwandishi wa tamthilia
Kubainisha mizizi ya vitenzi.
Kutambua viambishi awali na tamati.
Kuonyesha mzizi wa kila kitenzi alichopewa kisha anyambue.
Kusoma
Kujadili
Kuwasilisha mbele ya darasa
Kuandika
Kueleza
Kutunga sentensi
Kufanya zoezi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kamusi ya kiswahili
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
6 1
Kusoma
Kuandika
Uchambuzi wa Fasihi Andishi
Uchambuzi wa Fasihi Andishi
Utungaji wa Kiuamilifi; Mialiko
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza tofauti iliyopo baina ya riwaya, tamthilia na ushairi.
Kutoa sababu zinazoweza kumfanya mwandishi kutumia lafudhi mbalimbali katika kazi yake.
Kutaja lugha na mbinu au mitindo mbalimbali wanayotumia wasanii kuwasiliana na hadhira.
Kueleza maana ya barua ya mwaliko.
Kutaja sifa za barua za mwaliko.
Kuchora na kuandika kadi ya mwaliko.
Maelezo
Ufafanuzi.
Ufaraguzi.
Majadiliano.
Maswali na majibu
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kuchora
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi ya Kiswahili
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 75-80
6 2
Kusoma (fasihi)
Muhtasari; Tamthilia
Muhtasari; Tamthilia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma tamthilia teule yote.
Kueleza dhamira kwa ufupi.
Kufafanua maudhui kwa ufupi.
Kusoma
Kueleza
Kujadili
Kuandika
Kufanya zoezi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
6 3
Kusoma
Kusikiliza na kuongea
sarufi
Shairi Nyuki nimekoni?
Fasihi Simulizi
Vinyume vya vitenzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kusoma shairi
-sifa za soga
Dhima ya soga
Kusoma riwaya
- kueleza Vinyume vya vitenzi
Mafano
Shuka- panda
Nuka-nukia
Lala-amka
Kueleza vitenzi katika hali ya kuamrisha
Kusoma
kusikiliza
Kuchanganua
Kitabu
Kamusi
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 93-94
6 4
Kusoma
kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Maenezi ya Kiswahili
Ratiba
Visasili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma kwa mapana na marefu
-kupanua msamiati wake
Kutambua maana ya ratiba
-kuandika kwa makini
-kuandika insha nzuri ya maelezo
-kueleza maana ya Visasili
vilivyo
-kubainisha aina mbali mbali za Visasili
Kutao mifano ya Visasili
Kutambua maana ya mighani
Sifa za mighani na umuhimu wa mighani
kusoma
kuandika
Kitabu
Kamusi
Kiswahili Kitukuzwe
kidato 3 Uk 97-100
6 5
sarufi
Kuandika
Uundaji wa nomino
Uundaji wa nomino
Uandishi wa insha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kueleza nomino kutokana na vitenzi vya asili ya kigeni
kutaja aina mbalimbali za sentensi
mifano- samehe, abiri, husudu
-kutaja aina mbalimbali za sentensi
-kuandika isnha ya masimulizi
Kutaja
Kueleza
-          Kusoma
Kutoa mifano
Kitabu
Kamusi
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 106-107
6 6
Fasihi
Kusoma Marudio
Kusikiliza na kuzungumza
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Kukandamizwa
Fasihi simulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuchambua wahusika mbalimbali na ngazi zao
-kueleza sifa za wahusika
-kusoma kwa makini na kwa ufahamu
-kutaja mambo muhimu yanayozingatiwa katika usemi wa taarifa
-kueleza fasihi simulizi
Nago
Sifa za ngano
Dhima za ngano
Kutoa mifano ya ngano
-          Kusoma
Kuchambua
-          Kueleza
Kutaja Mifano
Maelezo
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Kitabu
Kamusi
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
7 1
Kuandika
Fasihi
Ushairi
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuandika mashiri ya arudhi
Kutoa miundo ya tungo
-kutathmini kufeli katika uwasilishi wa hadithi zote fupi
-kutaja baadhi ya matanikio hayo
-          Maelezo
-Kuandika
-          Uchambuzi
Majadiliano
kitabu cha mwanafunzi
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege. 
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 uk 118-122
7 2
Fasihi
Kusoma
2
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege 
Kukandamizwa
sarufi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutathmini nkufli katika uwasilishi wa hadithi zote fupi
-kutaja baadhi ya udhaifu huo
-kusoma kwa makini na kwa ufahamu
-kutaja mambo muhimu yanayozingatiwa katika usemi wa taarifa
Kutoa maana ya Virai
Aina mbalimbali ya virai
Mfano
Kirai nomino
Kirai kitenzi
Virai vielezi
Kirai kivumishi
Virai vihusishi
-          Uchambuzi
Majadiliano
-          Kueleza
Kutaja Mifano
-          Kueleza
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Kitabu
Kamusi
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
7 3
Kusikiliza na kuzungumza
Kuandika
Fasihi
Fasihi simulizi
Ushairi
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza fasihi simulizi
Nago
Sifa za ngano
Dhima za ngano
Kutoa mifano ya ngano
-kuandika mashiri ya arudhi
Kutoa miundo ya tungo
-kutathmini kufeli katika uwasilishi wa hadithi zote fupi
-kutaja baadhi ya matanikio hayo
Maelezo
-          Maelezo
Kuandika
-          Uchambuzi
Majadiliano
Kitabu
Kamusi
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. 
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk
7 4
Fasihi
kusoma
Kusikiliza na kuzungumza
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege. 
mchezo wa kuigiza
Maamkizi na mazungumzo- isimujamii
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutathmini nkufli katika uwasilishi wa hadithi zote fupi
-kutaja baadhi ya udhaifu huo
-kusoma kwa kudadisi ufahamu
-kujibu maswali ya ufahamu
kusikiliza majadiliano baina ya marafiki wawili kuhusu umoja wa taifa
Kujibu maswali
-          Uchambuzi
Majadiliano
-     
Kusoma
Kukariri
Kuandika
Kutunga sentensi
Hadithi fupi
kamusi
Kitabu
kitabu cha mwanafunzi
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
7 5
Sarufi
Kuandika
Fasihi andishi
vishazi
wasifu
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua maana ya vishazi
kutambua aina za vishazi
vishazi huru
vishazi tegemezi
kutambua maana ya vishazi huru na vishazi tegemezi
mwanafunzi Kuandika sentensi akitumia v. huru na v.tegemezi
mfano
vishazi huru
Mwashi amewasili
mgeni atakuja shuleni leo
vishazi tegemezi
jiwe lililomgonga
cheti kilichopotea
Kuandika wasifu
kutoa mifano
tawasifu na wasifukazi
-kusoma na kueleza matukio katika katika onyesho la V
-kuandika muhtasari wa onyesho hilo
-      Kuandika
Kutunga sentensi
Kusoma kwa zamu
Kitabu
Kamusi
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 uk 128-129
7 6
Fasihi andishi
Kusoma
Kusikiliza na kuongea
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege 
mhepa
Miviga
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kueleza matukio katika katika onyesho la V
-kuandika muhtasari wa onyesho hilo
-kusoma kwa makini na kwa ufahamu
-kujibu maswali ya ufahamu
kutambua maana ya miviga
kutambua sifa za miviga
kutambua dhima ya miviga wahusika na changamoto za miviga
Kusoma kwa zamu
-      Kusoma
Kujibu maswali
Kusikiliza
kuzungumza
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Kitabu
Kamusi
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
8

Midterm

9 1
sarufi
kuandika
setensi ya Kiswahili
utungaji wa kiuamilifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya setensi ya Kiswahili
kutambua miundo ya kikundi nomino (KN)
mfano
nomino za pekee
kiwakilishi pekee
nomino na nomino
nomino na kivumisi
nomino na vivumishi
nomino kivumishi na kielezi
miundo ya kikunndi tenzi
-mwanfunnzi aweze kutumia utungaji wa kiuamilifu
Maelezo
Kusoma
Kufupisha
Kitabu
Kamusi
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 138-142
9 2
Fasihi
Fasihi andishi
Kusoma
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege 
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege. 
mhepa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho ……..
-kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu
-kusoma na kueleza ploti katika onyesho la …
-kuandika muhtasari wa matukio hayo
-kusoma kwa makini na kwa ufahamu
-kujibu maswali ya ufahamu
Kuchambua
Kusoma kwa zamu
-      Kusoma
Kujibu maswali
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege. 
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege 
Kitabu
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
9 3
Kusikiliza na kuongea
sarufi
kuandika
Miviga
setensi ya Kiswahili
utungaji wa kiuamilifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua maana ya miviga
kutambua sifa za miviga
kutambua dhima ya miviga wahusika na changamoto za miviga
-kueleza maana ya setensi ya Kiswahili
kutambua miundo ya kikundi nomino (KN)
mfano
nomino za pekee
kiwakilishi pekee
nomino na nomino
nomino na kivumisi
nomino na vivumishi
nomino kivumishi na kielezi
miundo ya kikunndi tenzi
-mwanfunnzi aweze kutumia utungaji wa kiuamilifu
Kusikiliza
kuzungumza
Maelezo
Kusoma
Kufupisha
Kitabu
Kamusi
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 135-136
9 4
Fasihi
Fasihi andishi
Ufahamu
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege 
Haki zetu binadamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho ……..
-kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu
-kusoma na kueleza ploti
-kuandika muhtasari wa matukio hayo
-Kusoma kwa makini na kwa ufahamu kifungu cha habari
-kujibu vilivyo maswali ya ufahamu
Kuchambua
Kusoma kwa zamu
Kutaja
kueleza
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege 
BEMBEA YA MAISHA na Timothy AregeI. 
Kitabu
Kamusi
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
9 5
Kuzikiliza na kuongea
sarufi
Kuandika
maigizo
aina za sentensi
utungaji wa kiuamilifu kumbukumbu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuigiza maigizo
kutoa mifano wa shughuli za jandoni katika kabila fullani
kutambua aina za sentensi
mfano sentensi sahihi
sentensi ambatano
sentensi changamano
mwanafunzi Kuandika sentensi za aina mbali mbali za sentensi
mfano
kutumia viunganishi, vishazi viwili
Kuandika kumbukumbu
Kuchambua
Mjadala
Kusoma
kuandika
kitabu
Kamusi
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 146-147
9 6
Fasihi simulizi
Fasihi
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. 
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. 
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma kwa makini na kwa ufahamu onyesho la 1 na kuchambua vilivyo
-kuandika muhtasari wa matukio
-kusoma kwa makini na ufahamu onyesho la X na kuchambua vilivyo
-kuandika muhtasari wa matukio hayo
Kusoma
kuchambua
-          Kusoma
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. 
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. 
10 1
Ufahamu
Kuzikiliza na kuongea
sarufi
Haki zetu binadamu
maigizo
aina za sentensi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma kwa makini na kwa ufahamu kifungu cha habari
-kujibu vilivyo maswali ya ufahamu
-kuigiza maigizo
kutoa mifano wa shughuli za jandoni katika kabila fullani
kutambua aina za sentensi
mfano sentensi sahihi
sentensi ambatano
sentensi changamano
mwanafunzi Kuandika sentensi za aina mbali mbali za sentensi
mfano
kutumia viunganishi, vishazi viwili
Kutaja
kueleza
Kuchambua
Mjadala
kitabu
Kamusi
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 147-148
10 2
Kuandika
Fasihi simulizi
Fasihi
utungaji wa kiuamilifu kumbukumbu
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. 
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. 
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandika kumbukumbu
-Kusoma kwa makini na kwa ufahamu onyesho la 1 na kuchambua vilivyo
-kuandika muhtasari wa matukio
-kusoma kwa makini na ufahamu onyesho la X na kuchambua vilivyo
-kuandika muhtasari wa matukio hayo
Kusoma
kuandika
kuchambua
-          Kusoma
kitabu
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. 
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 152
10 3
Kusoma
Kusikiliza na kuzungumza
sarufi
usalama barabarani
ushairi nyimbo
uchanganuzi wa sentensi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa ufahamu
-kujibu maswali ya ufahamu ipasavyo
kukariri mashairi
kuimba nyimno
kutambua dhima ya nyimbo
kutunga mifano wa wimbo
-kueleza maana ya uchanganuzi wa sentensi
-kutaja aina ya sentensi sahili
kujaza jedwali
kuandika sentesni ambatano
kuandika sentesni changamano
-          Kusoma
Jibu maswali
Kisikiliza na kushiriki
Maelezo
Kitabu
Kamusi

Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 158-159
10 4
Kuandika
Fasihi
Fasihi
utungaji wa kiuamilifu tahadhari
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. ’
Uchambuzi: ‘Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. 
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua aina mbili za tahadhari
ilani na onyo
-kusoma kwa makini na ufahamu kila onyeso
-kuchambua vilivyo maudhui
Kuandika
kueleza
-          Kusoma
Kuchambua
kitabu
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. 
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 165-166
10 5
Kusoma
Kisikiliza na kuongea
uzalendo
Hotuba
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa ufahamu
-kujibu maswali ya ufahamu ipasavyo
somo
mwanfunzi kusikiliaza hotuba kasha kujibu maswali
Kusoma
Jibu maswali
Malumbano
kitabu
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 169-170
10 6
kusoma
Kuandika
Fasihi
uzalendo
mahojiano na dayolojia
Uchambuzi: Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. 
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa ufahamu
-kujibu maswali
kutambua aina za mahojiano
-kusoma kwa makini /kuelewa
-kchambua vipengele vya maudhui
Kusoma
Kuchambua
Kufupisha
Tamthilia
kitabu
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. 
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 169-170
11 1
Kusoma
Kisikiliza na kuongea
Sarufi
Uzalendo
Hotuba
Nyakati na hali marudio
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa ufahamu
-kujibu maswali ya ufahamu ipasavyo
mwanfunzi kusikiliaza hotuba kasha kujibu maswali
kutambua kiambishi cha wakati na matumizi yake katika setensi
mfano
-li-( uliopita) walisherehekea
kiambishi cha hali
-me- timilifu
wahalifu wamefungwa
kutambua ukanushi katika kiambishi cha wakati nna kiambishi cha hali
Kusoma
Jibu maswali
Malumbano
Kutaja
Kueleza
kitabu
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 169-170
11 2
kusoma
Kuandika
Fasihi
uzalendo
mahojiano na dayolojia
Uchambuzi:Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. 
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa ufahamu
-kujibu maswali
kutambua aina za mahojiano
-kusoma kwa makini na ufahamu kila onyeso
-kuchambua vilivyo maudhui
Kusoma
Kuchambua
Kufupisha
Tamthilia
kitabu
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. 
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 169-170
11 3
Kusoma
Kisikiliza na kuongea
Sarufi
Uraibu
Fasihi simulizi Mafumbo Misimu Kazi mradi
Uakifishaji
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa ufahamu
-kujibu maswali ya ufahamu ipasavyo
mwanfunzi kutambua maana ya mafumbo
kueleza umuhimu wa mafumbo
kutoa mifano ya mafumbo
kueleza maana ya misimu
kutoa mifano ya misimu
Kuakifisha sentensi
kutambua ukanushi katika kiambishi cha wakati nna kiambishi cha hali
Kusoma
Jibu maswali
Malumbano
Kutaja
Kueleza
kitabu
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 179-181
11 4
kusoma
Kuandika
Fasihi
Ukimwi
Barua meme
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. 
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa ufahamu
-kujibu maswali
Kutambua maana ya barua meme
Kuandika nukulishi
-kusoma kwa makini /kuelewa
-kchambua vipengele vya maudhui
Kusoma
Kuchambua
Kufupisha
Tamthilia
kitabu
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. 
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 182
11 5
Kusoma
Kusikiliza na kuongea
Shairi
Vitenzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa makini na kwa Shairi
-kujibu maswali ya ufahamu
Kutambua myambuliko wa vitenzi
Kauli ya kutendeshwa, kutendesha na- kutendesheka
Mfano
Bakisha- bakishiwa-
Kauli ya kutendesha na
Kosesha- kosesheana
Pimisha- pimishana
Kusoma
Kujibu maswali
Kusikiliza
kuzungumza
Kitabu
kamusi
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 188-189
11 6
Kusikiliza na kuongea
kuandika
Fasihi
Vitenzi
Mazingira fomu
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. 
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua myambuliko wa vitenzi
Kauli ya kutendeshwa, kutendesha na- kutendesheka
Mfano
Bakisha- bakishiwa-
Kauli ya kutendesha na
Kosesha- kosesheana
Pimisha- pimishana
Mifano katika sentensi
Mzee aliinamishiwa tagaa atunde mapera
Majitrani waliondosheana uhasam uliowatenganisha kwa muda mrefu
-mwanfunnzi aweze kutumia utungaji wa kiuamilifu
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho ……..
-kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu
Kusikiliza
kuzungumza
Kusoma
Kufupisha
Kuchambua
Kitabu
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. 
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 189-191
12 1
Fasihi andishi
Kusoma
Sarufi
Kusoma na Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. 
Ufahamu
Vitenzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kueleza ploti katika onyesho la …
-kuandika muhtasari wa matukio hayo
-kusoma kwa makini na kwa Shairi
-kujibu maswali ya ufahamu
Kukunga sentesni kwa kauli ya kutendama
Mafano
Kwaa- kwama
Tua- tuama
Mifano kwa sentesni
Pikipiki ilikuwama matopeni
Kauli ya kutendata
Mfano
Fumba- fumbuta
Kama- kamata
Mifano kwa sentensi
Askari walimkamata pwagu aliyenyakua rununu
Halima alikokota rukwama iliyojaa shehena
Kusoma kwa zamu
Kusoma
Kujibu maswali
Kusikiliza
kuzungumza
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. 
Kitabu
kamusi
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. 
12 2
Kusikiliza na kuongea
kuandika
Fasihi
Methali
Utungaji wa kisanii
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. 
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua methali
Kutaja sifa za methali, dhima ya methali na kutoa mifano
mwanfunnzi aweze kutunga mashairi huru
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho ……..
-kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu
Kusikiliza
kuzungumza
Kusoma
Kufupisha
Kuchambua
Kitabu
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. 
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 189-191
12 3
Fasihi andishi
Kusoma
Sarufi
Kusoma na kuchambuaNguu za jadi. na CLARA MOMANYI. 
Urithi
Vitenzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kueleza ploti katika onyesho la …
-kuandika muhtasari wa matukio hayo
-kusoma kwa makini ufahamu
-kujibu maswali ya ufahamu
Kukunga sentesni kwa kauli ya kutenda na kauli ya kutendau
Mafano
Vaa- vua
Umba-umbua
Mifano kwa sentesni
Ninavipanga viatbu vyangu , mtu asije akavipangua
Kauli ya kutenduka
Mifano kwa sentensi
Siri ya wandani hao ilifichuka
Mtego wa panya uliteguka
Kusoma kwa zamu
Kusoma
Kujibu maswali
Kusikiliza
kuzungumza
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. 
Kitabu
kamusi
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. 
12 4
Kusikiliza na kuongea
kuandika
Maghani
Matangazo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua Maghani
Kutaja sifa za Maghani, dhima ya Maghani na kutoa mifano
mwanfunnzi aweze kuandika matangazo
Kusikiliza
kuzungumza
Kusoma
Kufupisha
Kitabu
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 200
12 5
Fasihi
Fasihi andishi
Kusoma
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. 
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. 
Mchezo wa kuigiza: tusikate miti ovyo!
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho ……..
-kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu
-kusoma na kueleza ploti katika onyesho la …
-kuandika muhtasari wa matukio hayo
-kusoma kwa makini ufahamu
-kujibu maswali ya ufahamu
Kuchambua
Kusoma kwa zamu
Kusoma
Kujibu maswali
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. 
Kitabu
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. a
12 6
Sarufi
Kusikiliza na kuongea
kuandika
Fasihi
Fasihi andishi
Vitenzi
Ngomezi
Ripoti
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. 
Kusoma na kuchambua Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. 
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kukunga sentesni kwa kauli ya kutenda na kauli ya kutendea
Mafano
Mifano kwa sentesni
La- kakangu hula mkate kila siku
Kauli ya kutendwa
Mifano kwa sentensi
La-liwa-
Pa-pewa
kutambua Ngomezi
Kutaja sifa za Ngomezi , dhima ya Ngomezi na kutoa mifano
mwanafunzi aweze kuandika repoti
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho ……..
-kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu
-kusoma na kueleza ploti katika onyesho la …
-kuandika muhtasari wa matukio hayo
Kusikiliza
kuzungumza
Kusoma
Kufupisha
Kuchambua
Kusoma kwa zamu
Kitabu
kamusi
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. 
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 210-211
13

Endterm

Your Name Comes Here

Download

Feedback