If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
2 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa ufahamu |
Isimu jamii; Sajili
Ufahamu; Asali Yawa Shubiri |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya sajili. Kutaja na kufafanua sifa za sajili ya dini. Kuigiza maamkizi na mazungumzo katika sehemu za maabadi. Kueleza maudhui ya ufahamu. Kufafanua maana za methali zilizotumika kwenye ufahamu. Kujibu maswali kwa usahihi. |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Kuigiza Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kamusi ya Methali |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 1-3
|
|
2 | 3 |
Sarufi
|
Viulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya viulizi.Kutumia kiulizi kifaacho kukamilisha maswali. Kutunga sentensi zenye kiulizi –pi na kiulizi –ngapi. |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 7-10
|
|
3 | 1-2 |
Sarufi
Kusoma Kusoma (fasihi) |
Vivumishi vya Idadi
Fasihi andishi; Muktadha na usuli wa tamthilia |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya vivumishi vya idadi.Kutumia kivumishi kwenye mabano kukamilisha sentensi ipasavyo. Kutunga sentensi kutumia vivumishi vya idadi. Kueleza maana ya tamthiliaKufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kueleza
Kuandika Kujadiliana Kuuliza maswali Kazi ya vikundi Kufanya zoezi Kusoma Kujadili Kuwasilisha Kusoma Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 10-11
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
|
3 | 3 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma magazeti: Tahariri na Habari
Utungaji wa Kiuamilifu: Barua Rasmi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tahariri. Kusoma tahariri aliyopewa kwa sauti, akidondoa mambo muhimu kisha kujadiliana kuhusu maoni ya mhariri. Kutambua habari za Kitaifa na Kimataifa kwenye magazeti. Kueleza muundo na sehemu kuu za barua rasmi. Kupambanua msamiati wa uandishi wa barua rasmi. Kuandika barua rasmi kwa kuzingatia kanuni zake. |
Maelezo
Ufafanuzi Kujadili vidokezo Kuandika Kufanya zoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Magazeti Nakala halisi ya barua rasmi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 11-13
|
|
4 | 1-2 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa Ufahamu Kusoma (fasihi) |
Dhima ya Fasihi kwa jumla
Shairi: Mikanda Tujifungeni Fasihi Andishi; Wahusika na uhusika katika Tamthilia |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza nafasi ya fasihi simulizi katika jamii. Kutaja sifa za fasihi simulizi. Kufafanua vipera vya fasihi simulizi. Kueleza umuhimu wa fasihi Simulizi Kusoma na kutaja maudhui katika shairi. Kueleza sifa bainifu za shairi huru. Kujibu maswali yatokanayo na shairi huru kwa usahihi. Kueleza umuhimu wa wahusika katika tamthilia. Kutaja wahusika wote kutoka tamthilia teule. Kutofautisha wahusika wa aina mbalimbali. |
Maelezo
Ufafanuzi Majadiliano Uchunguzi Uvumbuzi Kazi ya vikundi Kusoma. Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi Kusoma Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu cha Fasihi Kitabu cha Shairi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 17-19
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
|
4 | 3 |
Kusoma (fasihi)
Sarufi |
Fasihi Andishi; Wahusika na uhusika katika Tamthilia
‘A’ Unganifu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza umuhimu wa wahusika katika tamthilia. Kutaja wahusika wote kutoka tamthilia teule. Kutofautisha wahusika wa aina mbalimbali. Kueleza muundo wa ‘A’ unganifu. Kutunga sentensi akitumia ‘A’ unganifu mwafaka pamoja na nomino. Kukamilisha sentensi kwa kutumia ‘A’ unganifu. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi Kusikiliza Kujadiliana Kufanya zoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi Kamusi ya Kiswahili |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
5 | 1-2 |
Sarufi
|
Virejeshi ‘O’ na ‘amba’
Matumizi ya ‘O’ rejeshi Viashiria visisitizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza matumizi ya kirejeshi ‘amba’ Kutumia kirejeshi ‘amba’ katika sentensi. Kutunga sentensi akitumia kirejeshi ‘amba’ Kueleza matumizi ya ‘O’ rejeshi. Kutumia ‘O’ rejeshi katika sentensi. Kujibu maswali kwa usahihi. Kueleza matumizi ya kiashiria kisisitizi. Kuandika sentensi katika umoja na wingi akitumia kiashiria kisisitizi. Kutumia kiashiria kisisitizi kukamilisha sentensi. |
Kusoma
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Kufanya zoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 23-24
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 24-25 |
|
5 | 3 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi; Wahusika na uhusika katika Tamthilia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja hulka (sifa) za wahusika katika tamthilia teule. Kueleza sifa za wahusika katika tamthilia teule. Kufafanua sifa za wahusika kwa kutoa mifano katika tamthilia. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
6 | 1-2 |
Kusoma (fasihi)
Kusoma Kuandika |
Fasihi Andishi; Wahusika na uhusika katika Tamthilia
Kusoma kwa sauti; Barua kwa Mhariri Utungaji wa Kiuamilifu; Barua kwa Mhariri |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja hulka (sifa) za wahusika katika tamthilia teule. Kueleza sifa za wahusika katika tamthilia teule. Kufafanua sifa za wahusika kwa kutoa mifano katika tamthilia. Kueleza maana ya barua kwa mhariri Kusoma mfano kitabuni na gazetini kisha kufafanua sifa bainifu. Kuandika sifa bainifu kwa mhariri kwa usahihi. Kueleza muundo wa barua kwa mhariri. Kufafanua maudhui ya barua kwa mhariri. Kuandika barua kwa mhariri wa gazeti. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi Kueleza Kueleza Kujadili Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi Kamusi ya Kiswahili Magazeti Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 29-31 |
|
6 | 3 |
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi |
Kusoma kwa Ufahamu; Zimwi Limeingia Duniani
Vivumishi kwa pekee |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maadili na maudhui ya kifungu. Kujibu maswali kutokana na ufahamu. Kutambua umuhimu wa kuwa msikivu. Kueleza maana ya vivumishi vya pekee. Kufafanua matumizi ya vivumishi vya pekee. Kubainisha matumizi ya vivumishi vya pekee. |
Kusikiliza
Kujadili Kuandika Kufanya zoezi Maelezo Ufafanuzi Majadiliano Uchunguzi Uvumbuzi Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 32-33
|
|
7 | 1-2 |
Kusoma (fasihi)
Kusoma (fasihi) Kusoma |
Fasihi andishi muundo na mtindo katika tamthilia
Fasihi andishi muundo na mtindo katika tamthilia Kusoma kwa Mapana; UKIMWI |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufafanua muundo wa tamthilia kwa kutoa mifano. Kueleza mtindo katika tamthilia. Kutaja kaida za utunzi wa tamthilia. Kufafanua muundo wa tamthilia kwa kutoa mifano. Kueleza mtindo katika tamthilia. Kutaja kaida za utunzi wa tamthilia. Kueleza maana ya maswala ibuka. Kusoma makala yanayohusu afya ya na Ukimwi. Kujibu maswali yanahosu makala. |
Kusoma
Kueleza Kujadili Kuandika Utafiti Kusoma Kueleza Kujadili Kuandika Utafiti Usomaji Maelezo Maswali na majibu. |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi Kamusi ya Kiswahili |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
7 | 3 |
Kuandika
|
Utungaji wa Kiuamilifu; Resipe, Muhtasari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza mambo yanayozingatiwa katika uandishi wa resipe. Kuandika resipe ya chakula akipendacho. Kutaja hatua kuu katika uandishi wa muhtasari. |
Maelezo
Ufafanuzi Maswali na majibu Majadiliano Mazoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 39-41
|
|
8 | 1-2 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa Ufahamu Kusoma (fasihi) |
Maamkizi na Mazungumzo
Umoja wa Kitaifa Matumizi ya lugha katika fasihi Matumizi ya lugha katika fasihi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kupambanua lugha (sajili) ya mazungumzo kitabuni. Kutambua hasara za utengano. Kueleza msamiati mpya na kujibu maswali kwa usahihi. Kueleza umuhimu wa usanifishaji. Kusoma ufahamu, ‘Umoja wa Kitaifa’ Kufafanua mambo yanayosaidia kuleta umoja wa Kitaifa hapa nchini. Kueleza tamathali za usemi na umuhimu wake. Kutaja mifano katika kazi ya fasihi (kitabu teule) Kujibu maswali kwa kurejelea kitabu teule. |
Kueleza
Kusoma kwa sauti Kuigiza Kujadili ujumbe na muundo Kujibu maswali Usomaji Maelezo Maswali na majibu. Utafiti Kusoma Kueleza Kujadili Kuandika Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 42-43
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
|
8 | 3 |
Sarufi
|
Vielezi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza dhana ya vielezi. Kueleza aina za vielezi. Kutunga sentensi kwa kutumia vielezi. |
Maelezo
Ufafanuzi Maswali na majibu Ufafanuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 44-48
|
|
9 | 1-2 |
Kusoma
Kuandika Kusikiliza na kuzungumza |
Utungaji wa Kiuamilifu; Hotuba
Fasihi Simulizi; Mazungumzo Fasihi Simulizi; Malumbano ya Utani |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuelezea muundo wa hotuba Kutaja vipengele muhimu vya hotuba mufti Kuandika hotuba kwa hati nadhifu. Kueleza maana ya isimujamii. Kufafanua maana ya sajili katika lugha. Kuigiza mazungumzo. Kueleza maana ya utani. Kufafanua mwingililiano wa utani na utamaduni. Kutaja aina za utani. Kutunga utani mbalimbali. |
Kueleza
Kujadili Kuhutubu mbele ya darasa Kusoma Kuigiza Kusikiliza Kuandika Kutamka Kueleza Kujadili Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu cha Fasihi Simulizi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu cha Fasihi Simulizi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 49-50
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 52-53 |
|
9 | 3 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi andishi;
Matumizi ya lugha katika tamthilia
Fasihi andishi; Matumizi ya lugha katika tamthilia |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja matumizi ya lugha mbalimbali. Kutumia tamthilia teule kutoa mifano. Kufafanua jinsi lugha imetumiwa kukuta ujumbe. |
Kusoma
Kujadili Kueleza Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
10 | 1-2 |
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi Kusoma |
Fasihi Simulizi; Ulumbi
Viwakilishi (W) Kusoma kwa Kina; Historia na Maendeleo ya Kiswahili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya ulumbi na kutoa mifano katika jamii. Kusoma mifano kitabuni na kuchambua. Kutofautisha ulumbi na tanzu nyinginezo. Kutaja aina za viwakilishi. Kueleza na kubainisha aina za viwakilishi. Kutumia viwakilishi katika sentensi kwa usahihi. Kutaja lahaja za Kiswahili na kule zinakozungumzwa. Kufafanua chimbuko la Kiswahili. Kueleza ushahidi wa kihistoria unaoonyeshwa kuwa kiswahili kilizungumzwa katika sehemu ya Afrika Mashariki. |
Kusikiliza
Kuuliza maswali Kuandika Kusoma Utafiti (kazi ya ziada) Kueleza Kusoma Kujadili Kuandika Kujibu maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu cha Fasihi Simulizi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 53-54
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 56-60 |
|
10 | 3 |
Kuandika
|
Uandishi wa Insha; Insha ya Mazungumzo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza muundo wa mazungumzo. Kusoma mfano kitabuni na kufafanua kimtindo na ujumbe. Kuandika insha ya mazungumzo kwa njia ifaayo. |
Kueleza
Kujadili Kuandika Kuigiza mazungumzo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 62-63
|
|
11 | 1-2 |
Kusoma (fasihi)
Kusikiliza na kuzungumza |
Fasihi andishi;
Maadili na mafunzo katika tamthilia
Fasihi andishi; Maadili na mafunzo katika tamthilia Isimujamii; Mahakamani |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja maadili na mafunzo ya tamthilia teule. Kufafanua maadili na mafunzo ya tamthilia teule. Kueleza jinsi tamthilia inaafikiana na matukio ya sasa katika jamii. Kutaja sifa za lugha (sajili) ya mahakamani. Kueleza kaida na wafanyikazi wa Mahakamani. Kusoma kifungu na kujibu maswali. |
Kusoma
Kujadili Maswali na majibu Kuandika Kudodosa Kusoma Kujadili Kuigiza Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu cha Fasihi Simulizi |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 64-65 |
|
11 | 3 |
Sarufi
Kuandika |
Mwingiliano wa Maneno
Utungaji wa Kiuamilifu; Makala ya Redio na Runinga |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza sehemu mbili kuu za sentensi (KN na KT) Kutambua sifa za KN na KT. Kuonyesha KN na KT katika sentensi. Kusoma habari kwa kina na kueleza yaliyomo. Kueleza umuhimu wa vyombo za habari. Kuandika makala yatakayosomwa katika kipindi kimojawapo cha redio. |
Kueleza
Kusoma Kutunga sentensi Kuandika Kufanya zoezi Maswali ya dodoso Kujadili |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Redio na vinasa sauti |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 69-70
|
|
12 | 1-2 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma (fasihi) |
Isimujamii; Mahojiano kati ya Wataalamu Wawili
Kusoma kwa kina; Fasihi andishi Kusoma kwa kina; Fasihi andishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma kifungu na kueleza. Kueleza sifa za lugha (sajili) ya Wataalamu. Kupambanua mazungumzo kwa kuzingatia sajili. Kupambanua falsafa na itihadi ya mwandishi wa tamthilia Kutaja maadili katika tamthilia Kuchambua vipengele tofauti za fasihi. Kupambanua falsafa na itihadi ya mwandishi wa tamthilia Kutaja maadili katika tamthilia Kuchambua vipengele tofauti za fasihi. |
Kueleza
Kusoma Kujadili Kuigiza Kuwasilisha mbele ya darasa Kuandika Kusoma Kujadili Kuwasilisha mbele ya darasa Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 72-73
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
|
12 | 3 |
Sarufi
Kusoma |
Vitenzi; Mzizi wa Kitenzi
Uchambuzi wa Fasihi Andishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kubainisha mizizi ya vitenzi. Kutambua viambishi awali na tamati. Kuonyesha mzizi wa kila kitenzi alichopewa kisha anyambue. Kueleza tofauti iliyopo baina ya riwaya, tamthilia na ushairi. Kutoa sababu zinazoweza kumfanya mwandishi kutumia lafudhi mbalimbali katika kazi yake. Kutaja lugha na mbinu au mitindo mbalimbali wanayotumia wasanii kuwasiliana na hadhira. |
Kueleza
Kutunga sentensi Kuandika Kufanya zoezi Maelezo Ufafanuzi. Ufaraguzi. Majadiliano. Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya kiswahili Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 74-75
|
|
13 | 1-2 |
Kusoma
Kuandika Kusoma (fasihi) |
Uchambuzi wa Fasihi Andishi
Utungaji wa Kiuamilifi; Mialiko Muhtasari; Tamthilia |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza tofauti iliyopo baina ya riwaya, tamthilia na ushairi. Kutoa sababu zinazoweza kumfanya mwandishi kutumia lafudhi mbalimbali katika kazi yake. Kutaja lugha na mbinu au mitindo mbalimbali wanayotumia wasanii kuwasiliana na hadhira. Kueleza maana ya barua ya mwaliko. Kutaja sifa za barua za mwaliko. Kuchora na kuandika kadi ya mwaliko. Kusoma tamthilia teule yote. Kueleza dhamira kwa ufupi. Kufafanua maudhui kwa ufupi. |
Maelezo
Ufafanuzi. Ufaraguzi. Majadiliano. Maswali na majibu Kusoma Kujadili Kuandika Kuchora Kueleza Kufanya zoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 75-80
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 80-81 |
|
13 | 3 |
Kusoma (fasihi)
|
Muhtasari;
Tamthilia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza dhamira kwa ufupi. Kufafanua maudhui kwa ufupi. |
Kusoma
Kueleza Kujadili Kuandika Kufanya zoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Your Name Comes Here