If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa ufahamu |
Isimu jamii; Sajili
Ufahamu; Asali Yawa Shubiri |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya sajili. Kutaja na kufafanua sifa za sajili ya dini. Kuigiza maamkizi na mazungumzo katika sehemu za maabadi. Kueleza maudhui ya ufahamu. Kufafanua maana za methali zilizotumika kwenye ufahamu. Kujibu maswali kwa usahihi. |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Kuigiza Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kamusi ya Methali |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 1-3
|
|
1 | 2 |
Sarufi
|
Viulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya viulizi.Kutumia kiulizi kifaacho kukamilisha maswali. Kutunga sentensi zenye kiulizi –pi na kiulizi –ngapi. |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 7-10
|
|
1 | 3 |
Sarufi
Kusoma |
Vivumishi vya Idadi
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya vivumishi vya idadi.Kutumia kivumishi kwenye mabano kukamilisha sentensi ipasavyo. Kutunga sentensi kutumia vivumishi vya idadi. Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kueleza
Kuandika Kujadiliana Kuuliza maswali Kazi ya vikundi Kufanya zoezi Kujadiliana Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 10-11
|
|
1 | 4 |
Kusoma (fasihi)
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro

1 | 5 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma magazeti: Tahariri na Habari
Utungaji wa Kiuamilifu: Barua Rasmi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tahariri. Kusoma tahariri aliyopewa kwa sauti, akidondoa mambo muhimu kisha kujadiliana kuhusu maoni ya mhariri. Kutambua habari za Kitaifa na Kimataifa kwenye magazeti. Kueleza muundo na sehemu kuu za barua rasmi. Kupambanua msamiati wa uandishi wa barua rasmi. Kuandika barua rasmi kwa kuzingatia kanuni zake. |
Maelezo
Ufafanuzi Kujadili vidokezo Kuandika Kufanya zoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Magazeti Nakala halisi ya barua rasmi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 11-13
|
|
1 | 6 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa Ufahamu |
Dhima ya Fasihi kwa jumla
Shairi: Mikanda Tujifungeni |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza nafasi ya fasihi simulizi katika jamii. Kutaja sifa za fasihi simulizi. Kufafanua vipera vya fasihi simulizi. Kueleza umuhimu wa fasihi Simulizi Kusoma na kutaja maudhui katika shairi. Kueleza sifa bainifu za shairi huru. Kujibu maswali yatokanayo na shairi huru kwa usahihi. |
Maelezo
Ufafanuzi Majadiliano Uchunguzi Uvumbuzi Kazi ya vikundi Kusoma. Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu cha Fasihi Kitabu cha Shairi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 17-19
|
|
2 | 1 |
Kusoma (fasihi)
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
2 | 2 |
Kusoma (fasihi)
Sarufi |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
‘A’ Unganifu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi Kueleza muundo wa ‘A’ unganifu. Kutunga sentensi akitumia ‘A’ unganifu mwafaka pamoja na nomino. Kukamilisha sentensi kwa kutumia ‘A’ unganifu. |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi Kusoma Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Kufanya zoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
2 | 3 |
Sarufi
|
Virejeshi ‘O’ na ‘amba’
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza matumizi ya kirejeshi ‘amba’ Kutumia kirejeshi ‘amba’ katika sentensi. Kutunga sentensi akitumia kirejeshi ‘amba’ |
Kusoma
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Kufanya zoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 23-24
|
|
2 | 4 |
Sarufi
|
Matumizi ya ‘O’ rejeshi
Viashiria visisitizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza matumizi ya ‘O’ rejeshi. Kutumia ‘O’ rejeshi katika sentensi. Kujibu maswali kwa usahihi. Kueleza matumizi ya kiashiria kisisitizi. Kuandika sentensi katika umoja na wingi akitumia kiashiria kisisitizi. Kutumia kiashiria kisisitizi kukamilisha sentensi. |
Kusoma
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Kufanya zoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 24-25
|
|
2 | 5 |
Kusoma (fasihi)
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
2 | 6 |
Kusoma (fasihi)
Kusoma |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Kusoma kwa sauti; Barua kwa Mhariri |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi Kueleza maana ya barua kwa mhariri Kusoma mfano kitabuni na gazetini kisha kufafanua sifa bainifu. Kuandika sifa bainifu kwa mhariri kwa usahihi. |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi Kueleza Kujadili Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Magazeti |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
3 | 1 |
Kuandika
|
Utungaji wa Kiuamilifu; Barua kwa Mhariri
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza muundo wa barua kwa mhariri. Kufafanua maudhui ya barua kwa mhariri. Kuandika barua kwa mhariri wa gazeti. |
Kueleza
Kujadili Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 29-31
|
|
3 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi |
Kusoma kwa Ufahamu; Zimwi Limeingia Duniani
Vivumishi kwa pekee |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maadili na maudhui ya kifungu. Kujibu maswali kutokana na ufahamu. Kutambua umuhimu wa kuwa msikivu. Kueleza maana ya vivumishi vya pekee. Kufafanua matumizi ya vivumishi vya pekee. Kubainisha matumizi ya vivumishi vya pekee. |
Kusikiliza
Kujadili Kuandika Kufanya zoezi Maelezo Ufafanuzi Majadiliano Uchunguzi Uvumbuzi Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 32-33
|
|
3 | 3 |
Kusoma (fasihi)
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
3 | 4 |
Kusoma (fasihi)
Kusoma |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Kusoma kwa Mapana; UKIMWI |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi Kueleza maana ya maswala ibuka. Kusoma makala yanayohusu afya ya na Ukimwi. Kujibu maswali yanahosu makala. |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi Usomaji Maelezo Maswali na majibu. Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
3 | 5 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Utungaji wa Kiuamilifu; Resipe, Muhtasari
Maamkizi na Mazungumzo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza mambo yanayozingatiwa katika uandishi wa resipe. Kuandika resipe ya chakula akipendacho. Kutaja hatua kuu katika uandishi wa muhtasari. Kupambanua lugha (sajili) ya mazungumzo kitabuni. Kutambua hasara za utengano. Kueleza msamiati mpya na kujibu maswali kwa usahihi. |
Maelezo
Ufafanuzi Maswali na majibu Majadiliano Mazoezi Kueleza Kusoma kwa sauti Kuigiza Kujadili ujumbe na muundo Kujibu maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 39-41
|
|
3 | 6 |
Kusoma kwa Ufahamu
|
Umoja wa Kitaifa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza umuhimu wa usanifishaji. Kusoma ufahamu, ‘Umoja wa Kitaifa’ Kufafanua mambo yanayosaidia kuleta umoja wa Kitaifa hapa nchini. |
Usomaji
Maelezo Maswali na majibu. Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 43-44
|
|
4 |
MJARABU WA KWANZA |
|||||||
5 | 1 |
Kusoma (fasihi)
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
5 | 2 |
Sarufi
|
Vielezi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza dhana ya vielezi. Kueleza aina za vielezi. Kutunga sentensi kwa kutumia vielezi. |
Maelezo
Ufafanuzi Maswali na majibu Ufafanuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 44-48
|
|
5 | 3 |
Kusoma
Kuandika |
Utungaji wa Kiuamilifu; Hotuba
Fasihi Simulizi; Mazungumzo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuelezea muundo wa hotuba Kutaja vipengele muhimu vya hotuba mufti Kuandika hotuba kwa hati nadhifu. Kueleza maana ya isimujamii. Kufafanua maana ya sajili katika lugha. Kuigiza mazungumzo. |
Kueleza
Kujadili Kuhutubu mbele ya darasa Kusoma Kuigiza Kusikiliza Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu cha Fasihi Simulizi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 49-50
|
|
5 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Fasihi Simulizi; Malumbano ya Utani
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya utani. Kufafanua mwingililiano wa utani na utamaduni. Kutaja aina za utani. Kutunga utani mbalimbali. |
Kutamka
Kueleza Kujadili Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu cha Fasihi Simulizi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 52-53
|
|
5 | 5 |
Kusoma (fasihi)
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
5 | 6 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Fasihi Simulizi; Ulumbi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya ulumbi na kutoa mifano katika jamii. Kusoma mifano kitabuni na kuchambua. Kutofautisha ulumbi na tanzu nyinginezo. |
Kusikiliza
Kuuliza maswali Kuandika Kusoma Utafiti (kazi ya ziada) |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu cha Fasihi Simulizi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 53-54
|
|
6 | 1 |
Sarufi
Kusoma |
Viwakilishi (W)
Kusoma kwa Kina; Historia na Maendeleo ya Kiswahili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja aina za viwakilishi. Kueleza na kubainisha aina za viwakilishi. Kutumia viwakilishi katika sentensi kwa usahihi. Kutaja lahaja za Kiswahili na kule zinakozungumzwa. Kufafanua chimbuko la Kiswahili. Kueleza ushahidi wa kihistoria unaoonyeshwa kuwa kiswahili kilizungumzwa katika sehemu ya Afrika Mashariki. |
Kueleza
Kusoma Kujadili Kuandika Kujibu maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 56-60
|
|
6 | 2 |
Kuandika
Kusoma (fasihi) |
Uandishi wa Insha; Insha ya Mazungumzo
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza muundo wa mazungumzo. Kusoma mfano kitabuni na kufafanua kimtindo na ujumbe. Kuandika insha ya mazungumzo kwa njia ifaayo. Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kueleza
Kujadili Kuandika Kuigiza mazungumzo Kujadiliana Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 62-63
|
|
6 | 3 |
Kusoma (fasihi)
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
6 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi |
Isimujamii; Mahakamani
Mwingiliano wa Maneno |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja sifa za lugha (sajili) ya mahakamani. Kueleza kaida na wafanyikazi wa Mahakamani. Kusoma kifungu na kujibu maswali. Kueleza sehemu mbili kuu za sentensi (KN na KT) Kutambua sifa za KN na KT. Kuonyesha KN na KT katika sentensi. |
Kudodosa
Kusoma Kujadili Kuigiza Kuandika Kueleza Kutunga sentensi Kufanya zoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu cha Fasihi Simulizi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 64-65
|
|
6 | 5 |
Kuandika
|
Utungaji wa Kiuamilifu; Makala ya Redio na Runinga
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma habari kwa kina na kueleza yaliyomo. Kueleza umuhimu wa vyombo za habari. Kuandika makala yatakayosomwa katika kipindi kimojawapo cha redio. |
Maswali ya dodoso
Kusoma Kujadili Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Redio na vinasa sauti |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 71
|
|
6 | 6 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma (fasihi) |
Isimujamii; Mahojiano kati ya Wataalamu Wawili
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma kifungu na kueleza. Kueleza sifa za lugha (sajili) ya Wataalamu. Kupambanua mazungumzo kwa kuzingatia sajili. Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kueleza
Kusoma Kujadili Kuigiza Kujadiliana Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 72-73
|
|
7 |
MJARABU WA PILI |
|||||||
8 |
MAPUMZIKO MAFUPI |
|||||||
9 | 1 |
Kusoma (fasihi)
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
9 | 2 |
Sarufi
Kusoma |
Vitenzi; Mzizi wa Kitenzi
Uchambuzi wa Fasihi Andishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kubainisha mizizi ya vitenzi. Kutambua viambishi awali na tamati. Kuonyesha mzizi wa kila kitenzi alichopewa kisha anyambue. Kueleza tofauti iliyopo baina ya riwaya, tamthilia na ushairi. Kutoa sababu zinazoweza kumfanya mwandishi kutumia lafudhi mbalimbali katika kazi yake. Kutaja lugha na mbinu au mitindo mbalimbali wanayotumia wasanii kuwasiliana na hadhira. |
Kueleza
Kutunga sentensi Kuandika Kufanya zoezi Maelezo Ufafanuzi. Ufaraguzi. Majadiliano. Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya kiswahili Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 74-75
|
|
9 | 3 |
Kusoma
|
Uchambuzi wa Fasihi Andishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza tofauti iliyopo baina ya riwaya, tamthilia na ushairi. Kutoa sababu zinazoweza kumfanya mwandishi kutumia lafudhi mbalimbali katika kazi yake. Kutaja lugha na mbinu au mitindo mbalimbali wanayotumia wasanii kuwasiliana na hadhira. |
Maelezo
Ufafanuzi. Ufaraguzi. Majadiliano. Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 75-80
|
|
9 | 4 |
Kuandika
Kusoma (fasihi) |
Utungaji wa Kiuamilifi; Mialiko
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya barua ya mwaliko. Kutaja sifa za barua za mwaliko. Kuchora na kuandika kadi ya mwaliko. Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kuchora Kujadiliana Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 80-81
|
|
9 | 5 |
Kusoma (fasihi)
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
9 | 6 |
Fasihi
Fasihi andishi |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
10 | 1 |

10 | 2 |
Fasihi simulizi

10 | 3 |

10 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
ushairi
nyimbo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kukariri mashairi kuimba nyimno kutambua dhima ya nyimbo kutunga mifano wa wimbo |
Kisikiliza na kushiriki
|
kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 156-157
|
|
10 | 5 |
Fasihi
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
10 | 6 |

12 |
MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA |
|||||||
13 |
MARUDIO NA KUFUNGA SHULE |
Your Name Comes Here