If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
2 | 1 |
Kusoma
Kusikiliza na kuongea |
Shairi
Nyuki nimekoni?
Fasihi Simulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kusoma shairi -sifa za soga Dhima ya soga Kusoma riwaya |
Kusoma
kusikiliza |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 93-94
|
|
2 | 2 |
sarufi
Kusoma |
Vinyume vya vitenzi
Maenezi ya Kiswahili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza Vinyume vya vitenzi Mafano Shuka- panda Nuka-nukia Lala-amka Kueleza vitenzi katika hali ya kuamrisha -Kusoma kwa mapana na marefu -kupanua msamiati wake |
Kuchanganua
kusoma |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 95-96
|
|
2 | 3 |
kuandika
|
Ratiba
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua maana ya ratiba -kuandika kwa makini -kuandika insha nzuri ya maelezo |
kuandika
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe
kidato 3 uk 100-101 |
|
2 | 4 |
Fasihi
Kusoma |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Dini ya ulimwengu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu -Kusoma kwa mapana na marefu -kupanua msamiati wake |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu kusoma |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu Kamusi |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
2 | 5 |
Kusikiliza na kuzungumza
sarufi |
Visasili
Uundaji wa nomino |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya Visasili vilivyo -kubainisha aina mbali mbali za Visasili Kutao mifano ya Visasili Kutambua maana ya mighani Sifa za mighani na umuhimu wa mighani kueleza nomino kutokana na vitenzi vya asili ya kigeni kutaja aina mbalimbali za sentensi mifano- samehe, abiri, husudu |
Kusoma
Kutaja Kueleza |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 102-106
|
|
2 | 6 |
sarufi
|
Uundaji wa nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kueleza nomino kutokana na vitenzi vya asili ya kigeni -kutaja aina mbalimbali za sentensi mifano- samehe, abiri, husudu |
- Kusoma
Kueleza |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 108-110
|
|
3 | 1 |
Kuandika
Fasihi |
Uandishi wa insha
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuandika isnha ya masimulizi -kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kutoa mifano
Kuchambua Kusoma kwa zamu |
Kitabu
Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 110-111
|
|
3 | 2 |
Kusoma
Marudio
2 |
Kukandamizwa
sarufi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa makini na kwa ufahamu -kutaja mambo muhimu yanayozingatiwa katika usemi wa taarifa Kutoa maana ya Virai Anian mbalimbali ya virai Mfano Kirai nomino Kirai kitenzi Virai vielezi Kirai kivumishi Virai vihusishi |
- Kueleza
Kutaja Mifano -kusoma - kutaja mifano |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 uk 114-115
|
|
3 | 3 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Fasihi simulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza fasihi simulizi Nago Sifa za ngano Dhima za ngano Kutoa mifano ya ngano |
Maelezo
|
Kitabu
Kamusi |
ngano
‘Fasihi simulizi’ Uk 112-114 |
|
3 | 4 |
Kuandika
Fasihi |
Ushairi
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuandika mashiri ya arudhi Kutoa miundo ya tungo -kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
- Maelezo
-Kuandika Kuchambua Kusoma kwa zamu |
kitabu cha mwanafunzi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 uk 118-122
|
|
3 | 5 |
Fasihi
Kusoma |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Kukandamizwa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu -kusoma kwa makini na kwa ufahamu -kutaja mambo muhimu yanayozingatiwa katika usemi wa taarifa |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu - Kueleza Kutaja Mifano |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu Kamusi |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
3 | 6 |
2
|
sarufi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutoa maana ya Virai Aina mbalimbali ya virai Mfano Kirai nomino Kirai kitenzi Virai vielezi Kirai kivumishi Virai vihusishi |
- Kueleza
Kutaja Mifano |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 115-118
|
|
4 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kuandika |
Fasihi simulizi
Ushairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza fasihi simulizi Nago Sifa za ngano Dhima za ngano Kutoa mifano ya ngano -kuandika mashiri ya arudhi Kutoa miundo ya tungo |
Maelezo
- Maelezo Kuandika |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk
|
|
4 | 2 |
Fasihi
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
4 | 3 |
kusoma
|
mchezo wa kuigiza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa kudadisi ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu |
-
Kusoma Kukariri |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 125
|
|
4 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi |
Maamkizi na mazungumzo- isimujamii
vishazi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kusikiliza majadiliano baina ya marafiki wawili kuhusu umoja wa taifa Kujibu maswali -kutambua maana ya vishazi kutambua aina za vishazi vishazi huru vishazi tegemezi kutambua maana ya vishazi huru na vishazi tegemezi mwanafunzi Kuandika sentensi akitumia v. huru na v.tegemezi mfano vishazi huru Mwashi amewasili mgeni atakuja shuleni leo vishazi tegemezi jiwe lililomgonga cheti kilichopotea |
Kuandika
Kutunga sentensi Kusoma - Kuandika |
kitabu cha mwanafunzi
Kitabu Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 uk 124
|
|
4 | 5 |
Kuandika
Fasihi andishi |
wasifu
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandika wasifu kutoa mifano tawasifu na wasifukazi -kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
- Kuandika
Kutunga sentensi Kuchambua Kusoma kwa zamu |
Kitabu
Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 uk 131
|
|
4 | 6 |
Fasihi
andishi
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
5 | 1 |
Kusoma
Kusikiliza na kuongea |
mhepa
Miviga |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa makini na kwa ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu kutambua maana ya miviga kutambua sifa za miviga kutambua dhima ya miviga wahusika na changamoto za miviga |
- Kusoma
Kujibu maswali Kusikiliza kuzungumza |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 136-138
|
|
5 | 2 |
sarufi
kuandika |
setensi ya Kiswahili
utungaji wa kiuamilifu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya setensi ya Kiswahili kutambua miundo ya kikundi nomino (KN) mfano nomino za pekee kiwakilishi pekee nomino na nomino nomino na kivumisi nomino na vivumishi nomino kivumishi na kielezi miundo ya kikunndi tenzi -mwanfunnzi aweze kutumia utungaji wa kiuamilifu |
Maelezo
Kusoma Kufupisha |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 138-142
|
|
5 | 3 |
Fasihi
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
5 | 4 |
Fasihi andishi
Kusoma |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
mhepa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu -kusoma kwa makini na kwa ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu - Kusoma Kujibu maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
5 | 5 |
Kusikiliza na kuongea
sarufi |
Miviga
setensi ya Kiswahili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua maana ya miviga kutambua sifa za miviga kutambua dhima ya miviga wahusika na changamoto za miviga -kueleza maana ya setensi ya Kiswahili kutambua miundo ya kikundi nomino (KN) mfano nomino za pekee kiwakilishi pekee nomino na nomino nomino na kivumisi nomino na vivumishi nomino kivumishi na kielezi miundo ya kikunndi tenzi |
Kusikiliza
kuzungumza Maelezo |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 135-136
|
|
5 | 6 |
kuandika
|
utungaji wa kiuamilifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-mwanfunnzi aweze kutumia utungaji wa kiuamilifu |
Kusoma Kufupisha |
Kitabu Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 4 Uk 144
|
|
6 | 1 |
Fasihi
Fasihi andishi |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
6 | 2 |
Ufahamu
Kuzikiliza na kuongea |
Haki zetu binadamu
maigizo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma kwa makini na kwa ufahamu kifungu cha habari -kujibu vilivyo maswali ya ufahamu -kuigiza maigizo kutoa mifano wa shughuli za jandoni katika kabila fullani |
Kutaja
kueleza Kuchambua |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 147-148
|
|
6 | 3 |
sarufi
|
aina za sentensi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua aina za sentensi mfano sentensi sahihi sentensi ambatano sentensi changamano mwanafunzi Kuandika sentensi za aina mbali mbali za sentensi mfano kutumia viunganishi, vishazi viwili |
Mjadala
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 146-147
|
|
6 | 4 |
Kuandika
Fasihi simulizi |
utungaji wa kiuamilifu
kumbukumbu
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandika kumbukumbu -kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kusoma
kuandika Kuchambua Kusoma kwa zamu |
kitabu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 152
|
|
6 | 5 |
Fasihi
Ufahamu |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Haki zetu binadamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu -Kusoma kwa makini na kwa ufahamu kifungu cha habari -kujibu vilivyo maswali ya ufahamu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu Kutaja kueleza |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
kitabu |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
6 | 6 |
Kuzikiliza na kuongea
|
maigizo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuigiza maigizo kutoa mifano wa shughuli za jandoni katika kabila fullani |
Kuchambua
|
kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 146-147
|
|
7 | 1 |
sarufi
Kuandika |
aina za sentensi
utungaji wa kiuamilifu kumbukumbu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua aina za sentensi mfano sentensi sahihi sentensi ambatano sentensi changamano mwanafunzi Kuandika sentensi za aina mbali mbali za sentensi mfano kutumia viunganishi, vishazi viwili Kuandika kumbukumbu |
Mjadala
Kusoma kuandika |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 148-150
|
|
7 | 2 |
Fasihi simulizi
Fasihi |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
7 | 3 |
Kusoma
|
usalama barabarani
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu ipasavyo |
- Kusoma
Jibu maswali |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 158-159 |
|
7 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
sarufi |
ushairi
nyimbo
uchanganuzi wa sentensi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kukariri mashairi kuimba nyimno kutambua dhima ya nyimbo kutunga mifano wa wimbo -kueleza maana ya uchanganuzi wa sentensi -kutaja aina ya sentensi sahili kujaza jedwali kuandika sentesni ambatano kuandika sentesni changamano |
Kisikiliza na kushiriki
Maelezo |
kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 156-157
|
|
7 | 5 |
Kuandika
Fasihi |
utungaji wa kiuamilifu
tahadhari
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua aina mbili za tahadhari ilani na onyo -kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuandika
kueleza Kuchambua Kusoma kwa zamu |
kitabu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 165-166
|
|
7 | 6 |
Fasihi
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
8-9 |
Endterm exam |
Your Name Comes Here