If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 |
KUFUNGUA SHULE NA KUFANYA MARUDIO YA MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA |
|||||||
2 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Isimu jamii; Sajili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya sajili. Kutaja na kufafanua sifa za sajili ya dini. Kuigiza maamkizi na mazungumzo katika sehemu za maabadi. |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Kuigiza |
Chati (sifa za sajili)
|
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 1-3
|
|
2 | 2 |
Kusoma kwa ufahamu
|
Ufahamu; Asali Yawa Shubiri
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maudhui ya ufahamu. Kufafanua maana za methali zilizotumika kwenye ufahamu. Kujibu maswali kwa usahihi. |
Kueleza istilahi zilizotumika
Kuandika Kuuliza maswali Utafiti |
Chati (istilahi zilizotumika)
|
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 3-7
|
|
2 | 3 |
Sarufi
|
Viulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya viulizi.Kutumia kiulizi kifaacho kukamilisha maswali. Kutunga sentensi zenye kiulizi –pi na kiulizi –ngapi. |
Kueleza kuhusu viulizi
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali |
Jedwali (viulizi)
|
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 7-10
|
|
2 | 4 |
Sarufi
Kusoma |
Vivumishi vya idadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya vivumishi vya idadi.Kutumia kivumishi kwenye mabano kukamilisha sentensi ipasavyo. Kutunga sentensi kutumia vivumishi vya idadi. |
Kuelezavivumishi vya idai
Kujadiliana Kuuliza maswali Kazi ya vikundi Kufanya zoezi |
Jedwali (vivumishi vya idadi)
|
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 10-11
|
|
2 | 5 |
Kusoma (fasihi)
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma kwa sauti
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Chati (maudhui)
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
2 | 6 |
Kusoma
|
Kusoma magazeti: Tahariri na Habari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tahariri. Kusoma tahariri aliyopewa kwa sauti, akidondoa mambo muhimu kisha kujadiliana kuhusu maoni ya mhariri. Kutambua habari za Kitaifa na Kimataifa kwenye magazeti. |
Maelezo
Ufafanuzi Kujadili vidokezo Kuandika Kufanya zoezi |
Chati (muundo wa tahariri)
Kamusi ya Kiswahili Magazeti |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 11-13
|
|
3 | 1 |
Kuandika
|
Utungaji wa Kiuamilifu: Barua Rasmi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza muundo na sehemu kuu za barua rasmi. Kupambanua msamiati wa uandishi wa barua rasmi. Kuandika barua rasmi kwa kuzingatia kanuni zake. |
Maelezo
Ufafanuzi Kujadili vidokezo Kuandika Kufanya zoezi |
Chati(muundo wa barua rasmi)
Nakala halisi ya barua rasmi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 13-16
|
|
3 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Dhima ya Fasihi kwa jumla
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza nafasi ya fasihi simulizi katika jamii. Kutaja sifa za fasihi simulizi. Kufafanua vipera vya fasihi simulizi. Kueleza umuhimu wa fasihi Simulizi |
Maelezo
Ufafanuzi Majadiliano Uchunguzi Uvumbuzi Kazi ya vikundi |
Chati (sifa za fasihi simulizi)
|
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 17-19
|
|
3 | 3 |
Kusoma kwa Ufahamu
|
Shairi: Mikanda Tujifungeni
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kutaja maudhui katika shairi. Kueleza sifa bainifu za shairi huru. Kujibu maswali yatokanayo na shairi huru kwa usahihi. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Nakala za mashairi
|
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 20-21
|
|
3 | 4 |
Kusoma (fasihi)
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Chati(maudhui)
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
3 | 5 |

Chati(mbinu za kimtindo)
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
3 | 6 |
Sarufi
|
‘A’ Unganifu
Virejeshi ‘O’ na ‘amba’ |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza muundo wa ‘A’ unganifu. Kutunga sentensi akitumia ‘A’ unganifu mwafaka pamoja na nomino. Kukamilisha sentensi kwa kutumia ‘A’ unganifu. Kueleza matumizi ya kirejeshi ‘amba’ Kutumia kirejeshi ‘amba’ katika sentensi. Kutunga sentensi akitumia kirejeshi ‘amba’ |
Kusoma
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Kufanya zoezi |
Chati ( virejeshi)
|
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 21-23
|
|
4 | 1 |
Sarufi
|
Matumizi ya ‘O’ rejeshi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza matumizi ya ‘O’ rejeshi. Kutumia ‘O’ rejeshi katika sentensi. Kujibu maswali kwa usahihi. |
Kusoma
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Kufanya zoezi |
Chati (matumizi ya virejeshi)
|
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 24-25
|
|
4 | 2 |
Sarufi
|
Viashiria visisitizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza matumizi ya kiashiria kisisitizi. Kuandika sentensi katika umoja na wingi akitumia kiashiria kisisitizi. Kutumia kiashiria kisisitizi kukamilisha sentensi. |
Kusoma
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Kufanya zoezi |
Jedwali ( viashiria visisitizi)
|
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 25-28
|
|
4 | 3 |
Kusoma (fasihi)
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Chati(maudhui)
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
4 | 4 |

4 | 5 |
Kusoma
|
Kusoma kwa sauti; Barua kwa Mhariri
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya barua kwa mhariri Kusoma mfano kitabuni na gazetini kisha kufafanua sifa bainifu. Kuandika sifa bainifu kwa mhariri kwa usahihi. |
Kueleza
Kujadili Kusoma Kuandika |
Chati ( muundo wa barua Kwa mhariri
Magazeti |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 28-29
|
|
4 | 6 |
Kuandika
|
Utungaji wa Kiuamilifu; Barua kwa Mhariri
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza muundo wa barua kwa mhariri. Kufafanua maudhui ya barua kwa mhariri. Kuandika barua kwa mhariri wa gazeti. |
Kueleza
Kujadili Kusoma Kuandika |
Nakala za barua Kwa mhariri
|
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 29-31
|
|
5 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Kusoma kwa Ufahamu; Zimwi Limeingia Duniani
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maadili na maudhui ya kifungu. Kujibu maswali kutokana na ufahamu. Kutambua umuhimu wa kuwa msikivu. |
Kusikiliza
Kujadili Kuandika Kufanya zoezi |
Chati (misamiati)
|
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 32-33
|
|
5 | 2 |
Sarufi
Kusoma (fasihi) |
Vivumishi kwa pekee
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya vivumishi vya pekee. Kufafanua matumizi ya vivumishi vya pekee. Kubainisha matumizi ya vivumishi vya pekee. Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Maelezo
Ufafanuzi Majadiliano Uchunguzi Uvumbuzi Kazi ya vikundi Kusoma Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Chati (mbinu za kimtindo)
|
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 33-38
|
|
5 | 3 |
Kusoma (fasihi)
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Chati(sifa za wahusika)
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
5 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana; UKIMWI
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya maswala ibuka. Kusoma makala yanayohusu afya ya na Ukimwi. Kujibu maswali yanahosu makala. |
Usomaji
Maelezo Maswali na majibu. Utafiti |
Chati (misamiati 9
|
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 38-39
|
|
5 | 5 |
Kuandika
|
Utungaji wa Kiuamilifu; Resipe, Muhtasari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza mambo yanayozingatiwa katika uandishi wa resipe. Kuandika resipe ya chakula akipendacho. Kutaja hatua kuu katika uandishi wa muhtasari. |
Maelezo
Ufafanuzi Maswali na majibu Majadiliano Mazoezi |
Nakala za resipe
|
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 39-41
|
|
5 | 6 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Maamkizi na Mazungumzo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kupambanua lugha (sajili) ya mazungumzo kitabuni. Kutambua hasara za utengano. Kueleza msamiati mpya na kujibu maswali kwa usahihi. |
Kueleza
Kusoma kwa sauti Kuigiza Kujadili ujumbe na muundo Kujibu maswali |
Chati (sifa)
|
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 42-43
|
|
6 | 1 |
Kusoma kwa Ufahamu
|
Umoja wa Kitaifa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza umuhimu wa usanifishaji. Kusoma ufahamu, ‘Umoja wa Kitaifa’ Kufafanua mambo yanayosaidia kuleta umoja wa Kitaifa hapa nchini. |
Usomaji
Maelezo Maswali na majibu. Utafiti |
Chati (istilahi)
|
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 43-44
|
|
6 | 2 |
Kusoma (fasihi)
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi amiweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Chati (maudhui)
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
6 | 3 |
Kusoma (fasihi)
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Chati (maudhui)
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
6 | 4 |
Sarufi
Kusoma |
Vielezi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza dhana ya vielezi. Kueleza aina za vielezi. Kutunga sentensi kwa kutumia vielezi. |
Maelezo
Ufafanuzi Maswali na majibu Ufafanuzi Kueleza Kujadili Kuhutubu mbele ya darasa |
Jedwali (aina za vielezi)
|
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 44-48
|
|
6 | 5 |
Kuandika
|
Fasihi Simulizi; Mazungumzo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya isimujamii. Kufafanua maana ya sajili katika lugha. Kuigiza mazungumzo. |
Kusoma
Kuigiza Kujadili Kusikiliza Kuandika |
Nakala za mazungumzo
|
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 51-52
|
|
6 | 6 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Fasihi Simulizi; Malumbano ya Utani
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya utani. Kufafanua mwingililiano wa utani na utamaduni. Kutaja aina za utani. Kutunga utani mbalimbali. |
Kutamka
Kueleza Kujadili Kuandika |
Chati (sifa za malumbano ya utani
|
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 52-53
|
|
7 | 1 |
Kusoma (fasihi)
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Chati (mbinu za kimtindo)
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
7 | 2 |
Kusoma (fasihi)
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Chati (wahusika)
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
7 | 3 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Fasihi Simulizi; Ulumbi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya ulumbi na kutoa mifano katika jamii. Kusoma mifano kitabuni na kuchambua. Kutofautisha ulumbi na tanzu nyinginezo. |
Kusikiliza
Kuuliza maswali Kuandika Kusoma Utafiti (kazi ya ziada) |
Mlumbi
|
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 53-54
|
|
7 | 4 |
Sarufi
|
Viwakilishi (W)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja aina za viwakilishi. Kueleza na kubainisha aina za viwakilishi. Kutumia viwakilishi katika sentensi kwa usahihi. |
Kueleza
Kusoma Kujadili Kuandika Kujibu maswali |
Jedwali (viwakilishi)
|
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 56-60
|
|
7 | 5 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina; Historia na Maendeleo ya Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja lahaja za Kiswahili na kule zinakozungumzwa. Kufafanua chimbuko la Kiswahili. Kueleza ushahidi wa kihistoria unaoonyeshwa kuwa kiswahili kilizungumzwa katika sehemu ya Afrika Mashariki. |
Kueleza
Kusoma Kujadili Kuandika Kujibu maswali |
Chati (maenezi ya Kiswahili
|
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 60-62
|
|
7 | 6 |
Kuandika
Kusoma (fasihi) |
Uandishi wa Insha; Insha ya Mazungumzo
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza muundo wa mazungumzo. Kusoma mfano kitabuni na kufafanua kimtindo na ujumbe. Kuandika insha ya mazungumzo kwa njia ifaayo. Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kueleza
Kujadili Kuandika Kuigiza mazungumzo Kusoma Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Chati (Maudhui)
|
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 62-63
|
|
8 |
MAPUMZIKO YA KATI YA MUHULA |
|||||||
9 | 1 |
Kusoma (fasihi)
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Chati (ma
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
9 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Isimujamii; Mahakamani
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja sifa za lugha (sajili) ya mahakamani. Kueleza kaida na wafanyikazi wa Mahakamani. Kusoma kifungu na kujibu maswali. |
Kudodosa
Kusoma Kujadili Kuigiza Kuandika |
Chati (sifa za sajili)
|
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 64-65
|
|
9 | 3 |
Sarufi
|
Mwingiliano wa Maneno
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza sehemu mbili kuu za sentensi (KN na KT) Kutambua sifa za KN na KT. Kuonyesha KN na KT katika sentensi. |
Kueleza
Kusoma Kutunga sentensi Kuandika Kufanya zoezi |
Chati (mwingiliano wa maneno
|
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 69-70
|
|
9 | 4 |
Kuandika
|
Utungaji wa Kiuamilifu; Makala ya Redio na Runinga
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma habari kwa kina na kueleza yaliyomo. Kueleza umuhimu wa vyombo za habari. Kuandika makala yatakayosomwa katika kipindi kimojawapo cha redio. |
Maswali ya dodoso
Kusoma Kujadili Kuandika |
Chati
|
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 71
|
|
9 | 5 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Isimujamii; Mahojiano kati ya Wataalamu Wawili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma kifungu na kueleza. Kueleza sifa za lugha (sajili) ya Wataalamu. Kupambanua mazungumzo kwa kuzingatia sajili. |
Kueleza
Kusoma Kujadili Kuigiza |
Chati (sifa za sajili)
|
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 72-73
|
|
9 | 6 |
Kusoma (fasihi)
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na mbinu za kimtindo tamthilia |
Kusoma kwa kina
|
Chati (mbinu za kimtindo
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
10 | 1 |
Kusoma (fasihi)
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Chati (maudhui)
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
10 | 2 |
Sarufi
Kusoma |
Vitenzi; Mzizi wa Kitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kubainisha mizizi ya vitenzi. Kutambua viambishi awali na tamati. Kuonyesha mzizi wa kila kitenzi |
Kueleza
Kutunga sentensi Kuandika Kufanya zoezi Maelezo Ufafanuzi. Ufaraguzi. Majadiliano. Maswali na majibu |
Chati (mzizi wa kitenzi
|
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 74-75
|
|
10 | 3 |
Kusoma
|
Uchambuzi wa Fasihi Andishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza tofauti iliyopo baina ya riwaya, tamthilia na ushairi. Kutoa sababu zinazoweza kumfanya mwandishi kutumia lafudhi mbalimbali katika kazi yake. Kutaja lugha na mbinu au mitindo mbalimbali wanayotumia wasanii kuwasiliana na hadhira. |
Maelezo
Ufafanuzi. Ufaraguzi. Majadiliano. Maswali na majibu |
Nakala za fasihi andishi
|
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 75-80
|
|
10 | 4 |
Kuandika
|
Utungaji wa Kiuamilifi; Mialiko
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya barua ya mwaliko. Kutaja sifa za barua za mwaliko. Kuchora na kuandika kadi ya mwaliko. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kuchora |
Michoro ya mialiko
|
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 80-81
|
|
10 | 5 |
Kusoma (fasihi)
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na mbinu za kimtindo |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Chati (mbinu za kimtindo
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
10 | 6 |
Kusoma (fasihi)
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Chati(maudhui)
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
11-12 |
MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA |
|||||||
13 |
KUSAHIHISHA MTIHANI NA KUFUNGA SHULE |
Your Name Comes Here