Home

MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA SABA
MWAKA WA 2025
MUHULA WA I

School

To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.

To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.

Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)

WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI_ZA_UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1 1
Usafi wa Kibinafsi
Kusikiliza na kuzungumza; Kusikiliza na kujibu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kueleza kuhusu picha aliyoitazama katika kitabu cha mwanafunzi.
Kusikiliza mazungumzo kati ya Simba na Mnyama Mgeni ambayo mwalimu atawasilisha.
Kutaja vitendo ambavyo wanyama walifanya kuonyesha kuwa walikuwa wanasikiliza wakati wa mazungumzo yao.
Kukuza ubunifu wa usikilizaji.
Wakiwa wawili, wanafunzi amweleze mwenzake kuhusu picha aliyoitazama.
Wanafunzi waweze kusikiliza mazungumzo kati ya Simba na Mnyama Mgeni ambayo mwalimu atawasilisha.
Wanafunzi waweze kutaja vitendo ambavyo wanyama walifanya kuonyesha kuwa walikuwa wanasikiliza wakati wa mazungumzo yao
Je, unaposikiliza mtu akizungumza unafaa kufanya nini ili uupate ujumbe kiukamilifu?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 1-2
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
1 2
Usafi wa Kibinafsi
Kusikiliza na kuzungumza; Kusikiliza na kujibu
Kusoma; Ufahamu wa kifungu cha simulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kujadili tabia za kinidhamu alizozingatia Mnyama Mgeni wakati wa kumjibu Simba.
Kuigiza mazungumzo ya simu kisha kuzungumza kuhusu usafi wa kibinafsi.
Kuchangamkia usafi wa kibinafsi.
Kueleza mambo yanayoweza kumsaidia kupata ujumbe katika kifungu cha ufahamu.
Kutazama picha iliyopo katika kitabu cha mwanafunzi kisha kuzungumza kinachofanyika.
Kufurahia mazungumzo yao.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kujadili tabia za kinidhamu alizozingatia Mnyama Mgeni wakati wa kumjibu Simba.
Wakiwa wawili, wanafunzi kuigiza mazungumzo ya simu na mwenzake. Zungumzieni kuhusu usafi wa kibinafsi.
Wakiwa wawili, wanafunzi waweze, kueleza mambo yanayoweza kumsaidia kupata ujumbe katika kifungu cha ufahamu.
Wakiwa wawili, wanafunzi waweze, kutazama picha iliyopo katika kitabu cha mwanafunzi kisha kuzungumza kinachofanyika.
Je, ni vipengele gani vifaavyo katika kusikiliza na kujibu mazungumzo?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 2-3
Kapu maneno
Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 3
Michoro na picha
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
1 3
Usafi wa Kibinafsi
Kusoma; Ufahamu wa kifungu cha simulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma kifungu iliyopo katika kitabu cha mwanafunzi.
Kujibu maswali ya kifungu.
Kufurahia kusoma kifungu.
Wakiwa katika vikundi au wawili, wanafunzi waweze kusoma kifungu iliyopo katika kitabu cha mwanafunzi.
Wakiwa katika vikundi au wawili, wanafunzi waweze kujibu maswali ya kifungu.
Kwa nini Unasoma ufahamu?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 3-7
Kapu maneno
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
1 4
Usafi wa Kibinafsi
Kusoma; Ufahamu wa kifungu cha simulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maneno yaliyotumika katika kifungu alichokisoma.
Kusoma kifungu mtandaoni kuhusu usafi wa kibinafsi.
Kufurahia kutumia mtandao.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kueleza maneno yaliyotumika katika kifungu alichokisoma.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kusoma kifungu mtandaoni kuhusu usafi wa kibinafsi.
Umesoma kifungu gani katika mtandao?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 7-8
Kamusi
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
2 1
Usafi wa Kibinafsi
Kuandika: Viakifishi; Kichocheo
Kuandika: Viakifishi; Kichocheo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza matumizi ya herufi kubwa katika sentensi.
Kutunga sentensi akizingatia matumizi ya herufi kubwa.
Kujadiliana matumizi tofauti ya herufi kubwa.
Kuchangamkia matumizi ya herufi kubwa.
Kueleza matumizi ya kikomo katika sentensi.
Kutunga sentensi akizingatia matumizi ya kikomo.
Kujadiliana matumizi tofauti ya kikomo.
Kuchangamkia matumizi ya kikomo.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kueleza matumizi ya herufi kubwa katika sentensi.
Wakiwa wawili au peke yao, wanafunzi kutunga sentensi akizingatia matumizi ya herufi kubwa.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi, kujadiliana matumizi tofauti ya herufi kubwa.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kueleza matumizi ya kikomo katika sentensi.
Wakiwa wawili au peke yao, wanafunzi kutunga sentensi akizingatia matumizi ya kikomo.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi, kujadiliana matumizi tofauti ya kikomo.
Je, herufi kubwa hutumiwa vipi katika maandishi?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 8-10
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
2 2
Usafi wa Kibinafsi
Sarufi: Aina za nomino; Nomino za pekee
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua nomino za pekee katika orodha iliyoandikwa ubaoni au katika kitabu cha mwanafunzi.
Kueleza matumizi ya nomino za pekee.
kuchangamkia matumizi ya nomino za pekee.
Wakiwa wawili, wanafunzi kutambua nomino za pekee katika orodha iliyoandikwa ubaoni au katika kitabu cha mwanafunzi.
Wanafunzi waweze, kueleza matumizi ya nomino za pekee.
Nomino ni nini?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 10-11
Kapu maneno
Mabango
Kamusi
Michoro na picha
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
2 3
Usafi wa Kibinafsi
Sarufi: Aina za nomino; Nomino za pekee
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua nomino za pekee katika sentensi.
Kutumia nomino za pekee kutunga sentensi.
Kutambua aina nne za nomino za pekee.
Kuonea fahari matumizi ya nomino za pekee.
Wakiwa wawili, wanafunzi waweze kutambua nomino za pekee katika sentensi.
Wanafunzi waweze kutumia nomino za pekee kutunga sentensi.
Wanafunzi waweze kutambua aina nne za nomino za pekee.
Je, kuna aina gani za nomino?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 11-12
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
2 4
Usafi wa Kibinafsi
Sarufi: Aina za nomino; Nomino za kawaida
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuchagua nomino za kawaida katika orodha ya maneno iliyoandikwa ubaoni.
Kutaja majina ya vitu vinavyopatikana shuleni.
Kuchangamkia matumizi ya nomino za kawaida.
Mwanafunzi aweze, kuchagua nomino za kawaida katika orodha ya maneno iliyoandikwa ubaoni.
Mwanafunzi, aweze kutaja majina ya vitu vinavyopatikana shuleni.
Nomino za kawaida ulizochagua zinarejelea vitu gani?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 1-2
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
3 1
Usafi wa Kibinafsi
Lishe Bora
Sarufi: Aina za nomino; Nomino za kawaida
Kusikiliza na Kuzungumza; Kusikiliza kwa kina
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza matumizi ya nomino za kawaida katika sentensi na vifungu.
Kujaza nafasi katika kifungu kifuatacho kwa kutumia nomino za kawaida.
Kuonea fahari matumizi ya nomino za kawaida.
Kusikiliza silabi zitakozotamkwa na mwalimu au kurekodiwa.
Kuandika maneno yaliyotamkwa yenye sauti dh na th.
Kuchangamkia kukariri silabi za sauti dh na th katika silabi na maneno.
Wanafunzi, kueleza matumizi ya nomino za kawaida katika sentensi na vifungu.
Wanafunzi, kujaza nafasi katika kifungu kifuatacho kwa kutumia nomino za kawaida.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kusikiliza silabi zitakozotamkwa na mwalimu au kurekodiwa.
Mkiwa wawili, wanafunzi kuandika maneno yaliyotamkwa yenye sauti dh na th.
Unatumia vipi nomino za kawaida?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 1-2
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 15-16
Kapu maneno
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
3 2
Lishe Bora
Kusikiliza na Kuzungumza; Kusikiliza kwa kina
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/dh/ na th/)
Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi (/dh/ na th/)
Kufurahia kutunga vitanzandimi zenye silabi /dh/ na /th/
Wanafunzi, kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/dh/ na th/)
Wanafunzi waweze kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi (/dh/ na th/)
Je, ni maneno gani yenye sauti dh na th?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 15-17
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
3 3
Lishe Bora
Kusoma kwa mapana; Kichocheo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusimulia wenzake katika kikundi kisa alichowahi kusoma.
Kutambua msamiati uliotumika katika hadithi alichosimulia.
Kufurahia kusimulia hadithi.
Mwanafunzi aweze kusimulia wenzake katika kikundi kisa alichowahi kusoma.
Wanafunzi waweze kutambua msamiati uliotumika katika hadithi alichosimulia.
Ni kitabu gani cha hadithi ulichosoma kikakufurahisha zaidi?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 17
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
3 4
Lishe Bora
Kusoma kwa mapana; Kichocheo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuchagua matini kutoka maktabani au kwenye mitandao salama ili aisome.
Kutambua msamiati uliotumika katika hadithi kisha aandike maana za maneno hayo daftarini.
Kufurahia kusoma hadithi maktabani au mtandaoni.
Mwanafunzi aweze, kuchagua matini kutoka maktabani au kwenye mitandao salama ili aisome.
Mwanafunzi aweze kutambua msamiati uliotumika katika hadithi kisha aandike maana za maneno hayo daftarini.
Umechagua kusoma matini gani?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 17-18
Kapu maneno
Mabango
Kamusi
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
4 1
Lishe Bora
Kusoma kwa mapana; Kichocheo
Kuandika; Barua ya kirafiki ya kutoa mwaliko
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutunga sentensi daftarini akitumia msamiati aliojifunza kutoka kwenye matini aliyosoma.
Kueleza ujumbe alioupata kutokana na matini aliyoisoma.
Kuandika muhtasari wa hadithi aliyoisoma.
Kueleza umuhimu wa barua ya kirafiki ya mwaliko.
Kusoma barua ya kirafiki iliyoandikwa katika kitabu cha mwanafunzi.
Kuchangamkia kuandika barua ya kirafiki.
Mkiwa wawiliwawili, wanafunzi waweze kutunga sentensi daftarini akitumia msamiati aliojifunza kutoka kwenye matini aliyosoma.
Mwanafunzi aweze, kueleza ujumbe alioupata kutokana na matini aliyoisoma.
Mwanafunzi aweze, kuandika muhtasari wa hadithi aliyoisoma.
Wakiwa wawiliwawili, wanafunzi waweze kueleza umuhimu wa barua ya kirafiki ya mwaliko.
Wakiwa wawiliwawili, wanafunzi kusoma barua ya kirafiki iliyoandikwa katika kitabu cha mwanafunzi.
Ni kitabu gani cha hadithi ulichosoma kikakufurahisha zaidi?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 17-18
Kapu maneno
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 20-21
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
4 2
Lishe Bora
Kuandika; Barua ya kirafiki ya kutoa mwaliko
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja vipengele vya kimuundo vya barua ya kirafiki ya kutoa mwaliko.
Kuandika barua ya kirafiki ya kutoa mwaliko.
Kufurahia kuandika barua ya kirafiki ya kutoa mwaliko
Mwanafunzi aweze kutaja vipengele vya kimuundo vya barua ya kirafiki ya kutoa mwaliko.
Mwanafunzi kuandika barua ya kirafiki ya kutoa mwaliko.
Ni mambo gani unazingatia unapoandaa vidokezo vya barua ya kirafiki ya kutoa mwaliko?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 21-22
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
4 3
Lishe Bora
Sarufi; Aina za nomino: Nomino za makundi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuchagua nomino za makundi katika orodha ya maneno iliyoandikwa ubaoni.
Kutaja majina ya vitu vinavyopatikana katika mazingira yao.
Kuchangamkia matumizi ya nomino za makundi.
Mwanafunzi aweze, kuchagua nomino za makundi katika orodha ya maneno iliyoandikwa ubaoni.
Mwanafunzi aweze kutaja majina ya vitu vinavyopatikana katika mazingira yao
Je, ni vitu gani unavyojua ambavyo vinapatikana katika mafungu au vikundi katika mazingira yako?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 23-24
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
4 4
Lishe Bora
Sarufi; Aina za nomino: Nomino za makundi
Nomino za dhahania
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua nomino za makundi katika sentensi.
Kuandika aya moja kuhusu lishe bora akitumia angalau nomino mbili za makundi.
Kuonea fahari matumizi ya nomino za makundi.
Kuchagua nomino za dhahania kati ya nomino zilizo katika kapu la maneno.
Kutunga sentensi akitumia nomino dhahania.
Kuchangamkia kutumia nomino za dhahania.
Mwanafunzi aweze kutambua nomino za makundi katika sentensi.
Mwanafunzi aweze kuandika aya moja kuhusu lishe bora akitumia angalau nomino mbili za makundi
Mwanafunzi aweze kuchagua nomino za dhahania kati ya nomino zilizo katika kapu la maneno.
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia nomino dhahania.
Nomino za makundi ni gani?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 24-25
Kapu maneno
Chati
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 25-27
Mabango
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
5 1
Lishe Bora
Nomino za dhahania
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua nomino za dhahania katika sentensi.
Kuandika aya moja kuhusu lishe bora akitumia nomino za dhahania.
Kuonea fahari matumizi ya nomino za dhahania.
Mwanafunzi aweze kutambua nomino za dhahania katika sentensi.
Mwanafunzi aweze kuandika aya moja kuhusu lishe bora akitumia nomino za dhahania.
Je, umegundua nini kuhusu nomino hizo ukirejelea uwezekano kuonekana kwa macho au kushikika kwa mikono?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 27-28
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
5 2
Uhuru wa Wanyama
Kusikiliza na kuzungumza; Tanzu za fasihi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya fasihi.
Kutaja sifa za tanzu za fasihi.
Kusoma hadithi iliyopo katika kitabu cha mwanafunzi.
Kufurahia kusoma hadithi zinazohusu fasihi.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya fasihi.
Mwanafunzi kutaja sifa za tanzu za fasihi.
Mwanafunzi kusoma hadithi iliyopo katika kitabu cha mwanafunzi
Je, umewahi kusimuliwa hadithi gani?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 29-31
Kapu maneno
Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
5 3
Uhuru wa Wanyama
Tanzu za fasihi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja aina za tungo za fasihi simulizi na fasihi andishi katika matini.
Kuigiza mazungumzo kati ya Ngamia na Ng
Mwanafunzi kutaja aina za tungo za fasihi simulizi na fasihi andishi katika matini.
Wakiwa wawiliwawili au katika vikundi, wanafunzi waweze Kuigiza mazungumzo kati ya Ngamia na Ng
Je, umewahi kusoma tungo gani?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 32-34
Kapu maneno
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
5 4
Uhuru wa Wanyama
Kusoma; Kusoma kwa kina- Novela
Kusoma kwa kina- Novela
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutumia kamusi au mtandao kutafuta maana ya novela.
Kueleza kuhusu kitabu kilichoandikwa katika kitabu cha mwanafunzi.
Kuchangamkia kusoma novela.
Kusoma sehemu ya novela iliyoteuliwa na mwalimu.
Kujadiliana sifa za novela.
Kufurahia kusoma novela.
Mwanafunzi aweze kutumia kamusi au mtandao kutafuta maana ya novela.
Mwanafunzi kueleza kuhusu kitabu kilichoandikwa katika kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi a sehemu ya novela iliyoteuliwa na mwalimu aweze kusoma.
Wanafunzi wakiwa katika vikundi waweze kujadiliana sifa za novela.
Unafurahia kusoma vitabu gani vya hadithi?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 35-37
Kapu maneno
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 36-37
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
6 1
Uhuru wa Wanyama
Kuandika; Insha za kubuni
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kujadili mada mbalimbali za kuandika insha ya kubuni kuhusu wanyama.
Kueleza ujumbe wa insha yao itakuwa upi.
Kuonea fahari insha za kubuni.
Wanafunzi kujadiliana mada mbalimbali za kuandika insha ya kubuni kuhusu wanyama.
Mwanafunzi kueleza ujumbe wa insha yao itakuwa upi
Ni kisa gani unachoweza kuandika insha ya kubuni?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 37
Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
6 2
Uhuru wa Wanyama
Kuandika; Insha za kubuni
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandika vidokezo vya insha ya kubuni aliyoichagua.
Kuandika insha ya kubuni.
Kuchangamkia kuandika insha za kubuni.
Mwanafunzi kuandika vidokezo vya insha ya kubuni aliyoichagua.
Mwanafunzi kuandika insha ya kubuni
Unaweza kuandika vidokezo gani kuhusu kisa ulichotambua?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 38
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
6 3
Uhuru wa Wanyama
Sarufi; Aina za nomino: Nomino za wingi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua nomino za wingi katika kapu maneno.
Kuandika nomino za wingi za vitu vinavyopatikana shuleni au nyumbani.
Kuonea fahari nomino za wingi.
Mwanafunzi aweze kutambua nomino za wingi katika kapu maneno.
Mwanafunzi nomino za wingi za vitu vinavyopatikana shuleni au nyumbani i aweze kuandika
Ni vitu gani unavyojua ambavyo hupatikana katika wingi tu?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 38-39
Kapu maneno
Mabango
Kamusi
Majarida
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
6 4
Uhuru wa Wanyama
Aina za nomino: Nomino za wingi
Nomino za vitenzi-jina
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutunga sentensi akitumia nomino za wingi.
Kutumia nomino za wingi kuandika aya ya maneno hamsini kuhusu uhuru wa wanyama.
Kuchangamkia kutumia nomino za wingi.
Kutaja nomino za vitenzi jina katika matini.
Kusoma kifungu,
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia nomino za wingi.
Mwanafunzi kutumia nomino za wingi kuandika aya ya maneno hamsini kuhusu uhuru wa wanyama.
Mwanafunzi aweze kutaja nomino za vitenzi jina katika matini.
Mwanafunzi aweze kusoma kifungu,
Unatumia vipi nomino za wingi?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 39
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 39-41
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
7

MID TERM ASSESSMENT

8 1
Uhuru wa Wanyama
Nomino za vitenzi-jina
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutunga sentensi akitumia nomino za vitenzi-jina
Kutumia nomino za vitenzi-jina kuandika aya ya maneno.
Kuchangamkia kutumia nomino za vitenzi-jina.
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia nomino za vitenzi-jina.
Mwanafunzi kutumia nomino za vitenzi-jina kuandika aya ya maneno
Unatumia vipi nomino za vitenzi-jina?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 41
Kapu maneno
Mabango
Kamusi
Majarida
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
8 2
Aina za Maliasili
Kusikiliza na kuzungumza; Nyimbo za watoto
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja nyimbo za watoto anazozijua katika jamii yake.
Kusikiliza wimbo ufuatao ukiimbwa na mwalimu.
Kuchangamkia kuimba nyimbo za watoto.
Mwanafunzi kutaja nyimbo za watoto anazozijua katika jamii yake.
Mwanafunzi kusikiliza wimbo ufuatao ukiimbwa na mwalimu.
Je, ni nyimbo gani za watoto unazozijua katika jamii yako?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 43-44
Mabango
Kamusi
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
8 3
Aina za Maliasili
Nyimbo za watoto
Nyimbo za bembelezi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja sifa za nyimbo za watoto.
Kujadili namna ya kuwasilisha nyimbo za watoto.
Kuimba nyimbo moja ya watoto.
Kufurahia kuimba nyimbo za watoto.
Kutaja nyimbo unazozijua katika jamii yao ambazo huimbwa kumbembeleza mtoto.
Kusikiliza wimbo ufuatao ukiimbwa na mwalimu.
Kuchangamkia kuimba nyimbo bembelezi.
Mwanafunzi aweze kutaja sifa za nyimbo za watoto.
Wanafunzi wakiwa katika vikundi kujadili namna ya kuwasilisha nyimbo za watoto.
Mwanafunzi kuimba nyimbo moja ya watoto.
Mwanafunzi aweze kutaja nyimbo unazozijua katika jamii yao ambazo huimbwa kumbembeleza mtoto.
Mwanafunzi aweze kusikiliza wimbo ufuatao ukiimbwa na mwalimu
Unapoimba nyimbo za watoto, unazingatia mambo gani ili mtoto atulie au kulala?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 44
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 44-45
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
8 4
Aina za Maliasili
Nyimbo za bembelezi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza sifa za bembelezi.
Kujadilimtindo ya uwasilishaji wa bembelezi.
Kuimba nyimbo moja bembelezi.
Kufurahia kuimba nyimbo bembelezi.
Mwanafunzi aweze kueleza sifa za bembelezi.
Wakiwa katika vikundi, waweze kujadiliana mtindo ya uwasilishaji wa bembelezi.
Mwanafunzi kuimba nyimbo moja bembelezi.
Unapoimba bembelezi, unazingatia mambo gani ili mtoto atulie au kulala?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 45-46
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
9 1
Aina za Maliasili
Kusoma; Kusoma kwa ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi.
Kuhesabu idadi ya maneno katika kifungu
Kufurahia kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi.
Wakiwa wawiliwawili, wanafunzi waweze kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi.
Wanafunzi waweze kuhesabu idadi ya maneno katika kifungu
Unazingatia nini ili kusoma makala kwa ufasaha?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 46-47
Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
9 2
Aina za Maliasili
Kusoma kwa ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusikiliza mwanahabari akitangaza taarifa.
Mwigiza mtangazaji huyo mbele ya wenzake darasani.
Kufurahia kuigiza watangazaji.
Mwanafunzi aweze kusikiliza mwanahabari akitangaza taarifa.
Mwanafunzi kumwigiza mtangazaji huyo mbele ya wenzake darasani
Unazingatia nini ili kusoma makala kwa ufasaha?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 47
Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
9 3
Aina za Maliasili
Kuandika; Insha za kubuni- Masimulizi
Insha za kubuni- Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma insha ya masimulizi iliyopo katika kitabu cha mwanafunzi,
Kueleza umuhimu wa wahusika na mandhari katika insha za masimulizi.
Kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia lugha, wahusika na mandhari.
Kufurahia kuandika insha za masimulizi.
Mwanafunzi aweze kusoma insha ya masimulizi iliyopo katika kitabu cha mwanafunzi,
Mwanafunzi kueleza umuhimu wa wahusika na mandhari katika insha za masimulizi.
Mwanafunzi aweze kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia lugha, wahusika na mandhari.
Unazingatia mambo gani unapoandika insha ya masimulizi?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 48-49
Kapu maneno
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 49-50
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
9 4
Aina za Maliasili
Sarufi; Nyakati: Wakati uliopo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopo.
Kutumia wakati uliopo katika sentensi.
Kuchangamkia matumizi ya wakati uliopo
Mwanafunzi aweze kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopo.
Mwanafunzi kutumia wakati uliopo katika sentensi.
Kwa nini tunatumia nyakati mbalimbali katika mawasiliano?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 50-51
Kapu maneno
Mabango
Kamusi
Majarida
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
10 1
Aina za Maliasili
Wakati uliopita
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopita.
Kutumia wakati uliopita katika sentensi.
Kuchangamkia matumizi ya wakati uliopita.
Mwanafunzi aweze kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopita.
Mwanafunzi kutumia wakati uliopita katika sentensi.
Ni kipande gani cha neno kinachowakilisha wakati?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 51-52
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
10 2
Aina za Maliasili
Wakati ujao
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kutambua vitenzi kwenye kifungu katika wakati ujao.
Kutumia vitenzi ili kuunda sentensi kuonyesha wakati ujao.
Kuchangamkia matumizi ya wakati ujao.
Mwanafunzi aweze kutambua vitenzi kwenye kifungu katika wakati ujao.
Mwanafunzi kutumia vitenzi ili kuunda sentensi kuonyesha wakati ujao.
Unatumia vipi wakati ujao?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 52-54
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
10 3
Unyanyasaji wa Kijinsia
Kusikiliza na kuzungumza; Mazungumzo mahususi
Kusikiliza na kuzungumza; Mazungumzo mahususi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kueleza jinsi yeye huwaamkua na kuwaaga watu.
Kujadiliana umuhimu wa kujua maamkizi na maagano mbalimbali.
Kuchangamkia maamkuzi na maagano.
Kutaja maneno ya maamkuzi na maagano yaliyotumika katika mazungumzo.
Kuigiza mazungumzo katika kitabu cha mwanafunzi.
Kufurahia kuigiza mazungumzo.
Wanafunzi waweze kueleza jinsi yeye huwaamkua na kuwaaga watu.
Wanafunzi wakiwa katika vikundi waweze kujadiliana umuhimu wa kujua maamkizi na maagano mbalimbali.
Wakiwa wawili, wanafunzi kutaja maneno ya maamkuzi na maagano yaliyotumika katika mazungumzo.
Wakiwa katika vikundi, kuigiza mazungumzo katika kitabu cha mwanafunzi.
Je, wewe huwaamkua na kuwaaga watu vipi?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 55
Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
10 4
Unyanyasaji wa Kijinsia
Kusoma kwa ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi.
Kueleza ujumbe katika kila aya.
Kueleza maana ya msamiati kulingana na muktadha wa kifungu cha ufahamu.
Kufurahia kusoma kifungu.
Wanafunzi waweze, kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi.
Wakiwa wawili, wanafunzi waweze, kueleza ujumbe katika kila aya
Wakiwa wawili, wanafunzi waweze, kueleza maana ya msamiati kulingana na muktadha wa kifungu cha ufahamu
Ni mambo gani unayozingiatia unapotaka kudondoa habari mahususi katika kifungu cha ufahamu?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 58-60
Kapu maneno
Kamusi
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
11 1
Unyanyasaji wa Kijinsia
Kuandika; Insha ya maelekezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kueleza maana ya insha ya maelezo.
Kuelezea mwenzake jinsi ya kufika shuleni kutoka sokoni.
Kutathmini umuhimu wa maelezo.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya insha ya maelezo.
Wakiwa katika vikundi au wawili, wanafunzi waweze kuelezea mwenzake jinsi ya kufika shuleni kutoka sokoni
Je, unaweza kumueleza vipi rafiki yako kufika nyumbani kwenu ili asipotee?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 61-62
Kamusi
Michoro na picha
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
11 2
Unyanyasaji wa Kijinsia
Kuandika; Insha ya maelekezo
Sarufi; Nyakati na hali: Wakati uliopo hali ya kuendelea
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kutambua aina za insha za maelezo.
Kutambua sifa za insha ya maelezo.
Kuandika insha ya maelekezo.
Kufurahia kuandika insha ya maelezo.
Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopo hali ya kuendelea.
Kutunga sentensi katika wakati uliopo hali ya kuendelea.
Kuchangamkia matumizi ya vitenzi vilivyo katika wakati uliopo hali ya kuendelea.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kutambua aina za insha za maelezo
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kutambua sifa za insha ya maelezo.
Wanafunzi kuandika insha ya maelekezo.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopo hali ya kuendelea
Wakiwa wawili au peke yao, wanafunzi kutunga sentensi katika wakati uliopo hali ya kuendelea
Insha ya maelezo inahusu nini?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 62-63
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 63-64
Kamusi
Majarida
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
11 3
Unyanyasaji wa Kijinsia
Sarufi; Nyakati na hali: Wakati uliopita hali ya kuendelea
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopita hali ya kuendelea.
Kutunga sentensi katika wakati uliopita hali ya kuendelea.
Kuchangamkia matumizi ya vitenzi vilivyo katika wakati uliopita hali ya kuendelea.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopita hali ya kuendelea
Wakiwa wawili au peke yao, wanafunzi kutunga sentensi katika wakati uliopita hali ya kuendelea
Je, ulifanya nini jana kabla ya kulala?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 64-65
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
11 4
Unyanyasaji wa Kijinsia
Sarufi; Nyakati na hali; Wakati ujao hali ya kuendelea
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati ujao hali ya kuendelea.
Kutunga sentensi katika wakati ujao hali ya kuendelea.
Kuchangamkia matumizi ya vitenzi vilivyo katika wakati ujao hali ya kuendelea.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kutambua vitenzi vilivyo katika wakati ujao hali ya kuendelea
Wakiwa wawili au peke yao, wanafunzi kutunga sentensi katika wakati ujao hali ya kuendelea
Je, utafanya nini kesho?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 65-66
Kapu maneno
Mabango
Kamusi
Michoro na picha
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
12

END TERM ASSESSMENT

13

END TERM ASSESSMENT MARKING AND CLOSURE OF SCHOOL.

Your Name Comes Here

Download

Feedback