If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
2 | 1 |
Kusoma kwa ufahamu
|
Ufahamu; Asali Yawa Shubiri
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maudhui ya ufahamu. Kufafanua maana za methali zilizotumika kwenye ufahamu. Kujibu maswali kwa usahihi. |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kamusi ya Methali |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 3-7
|
|
2 | 2 |
Sarufi
|
Viulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya viulizi.Kutumia kiulizi kifaacho kukamilisha maswali. Kutunga sentensi zenye kiulizi –pi na kiulizi –ngapi. |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 7-10
|
|
2 | 3 |
Sarufi
Kusoma |
Vivumishi vya Idadi
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya vivumishi vya idadi.Kutumia kivumishi kwenye mabano kukamilisha sentensi ipasavyo. Kutunga sentensi kutumia vivumishi vya idadi. -kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kueleza
Kuandika Kujadiliana Kuuliza maswali Kazi ya vikundi Kufanya zoezi Kuchambua Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 10-11
|
|
2 | 4 |
Kusoma (fasihi)
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
2 | 5 |
Kusoma
|
Kusoma magazeti: Tahariri na Habari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tahariri. Kusoma tahariri aliyopewa kwa sauti, akidondoa mambo muhimu kisha kujadiliana kuhusu maoni ya mhariri. Kutambua habari za Kitaifa na Kimataifa kwenye magazeti. |
Maelezo
Ufafanuzi Kujadili vidokezo Kuandika Kufanya zoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Magazeti |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 11-13
|
|
2 | 6 |
Kusoma kwa Ufahamu
|
Shairi: Mikanda Tujifungeni
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kutaja maudhui katika shairi. Kueleza sifa bainifu za shairi huru. Kujibu maswali yatokanayo na shairi huru kwa usahihi. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu cha Shairi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 20-21
|
|
3 | 1 |
Kusoma (fasihi)
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
3 | 2 |
Kusoma (fasihi)
Sarufi |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
‘A’ Unganifu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu Kueleza muundo wa ‘A’ unganifu. Kutunga sentensi akitumia ‘A’ unganifu mwafaka pamoja na nomino. Kukamilisha sentensi kwa kutumia ‘A’ unganifu. |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu Kusoma Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Kufanya zoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
3 | 3 |
Sarufi
|
Virejeshi ‘O’ na ‘amba’
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza matumizi ya kirejeshi ‘amba’ Kutumia kirejeshi ‘amba’ katika sentensi. Kutunga sentensi akitumia kirejeshi ‘amba’ |
Kusoma
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Kufanya zoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 23-24
|
|
3 | 4 |
Sarufi
|
Matumizi ya ‘O’ rejeshi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza matumizi ya ‘O’ rejeshi. Kutumia ‘O’ rejeshi katika sentensi. Kujibu maswali kwa usahihi. |
Kusoma
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Kufanya zoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 24-25
|
|
3 | 5 |
Sarufi
|
Viashiria visisitizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza matumizi ya kiashiria kisisitizi. Kuandika sentensi katika umoja na wingi akitumia kiashiria kisisitizi. Kutumia kiashiria kisisitizi kukamilisha sentensi. |
Kusoma
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Kufanya zoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 25-28
|
|
3 | 6 |
Kusoma (fasihi)
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
4 | 1 |
Kusoma (fasihi)
Kusoma |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Kusoma kwa sauti; Barua kwa Mhariri |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu Kueleza maana ya barua kwa mhariri Kusoma mfano kitabuni na gazetini kisha kufafanua sifa bainifu. Kuandika sifa bainifu kwa mhariri kwa usahihi. |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu Kueleza Kujadili Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Magazeti |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
4 | 2 |
Kuandika
|
Utungaji wa Kiuamilifu; Barua kwa Mhariri
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza muundo wa barua kwa mhariri. Kufafanua maudhui ya barua kwa mhariri. Kuandika barua kwa mhariri wa gazeti. |
Kueleza
Kujadili Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 29-31
|
|
4 | 3 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Kusoma kwa Ufahamu; Zimwi Limeingia Duniani
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maadili na maudhui ya kifungu. Kujibu maswali kutokana na ufahamu. Kutambua umuhimu wa kuwa msikivu. |
Kusikiliza
Kujadili Kuandika Kufanya zoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 32-33
|
|
4 | 4 |
Sarufi
|
Vivumishi kwa pekee
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya vivumishi vya pekee. Kufafanua matumizi ya vivumishi vya pekee. Kubainisha matumizi ya vivumishi vya pekee. |
Maelezo
Ufafanuzi Majadiliano Uchunguzi Uvumbuzi Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 33-38
|
|
4 | 5 |
Kusoma (fasihi)
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
4 | 6 |
Kusoma (fasihi)
Kusoma |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Kusoma kwa Mapana; UKIMWI |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu Kueleza maana ya maswala ibuka. Kusoma makala yanayohusu afya ya na Ukimwi. Kujibu maswali yanahosu makala. |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu Usomaji Maelezo Maswali na majibu. Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
5 | 1 |
Kuandika
|
Utungaji wa Kiuamilifu; Resipe, Muhtasari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza mambo yanayozingatiwa katika uandishi wa resipe. Kuandika resipe ya chakula akipendacho. Kutaja hatua kuu katika uandishi wa muhtasari. |
Maelezo
Ufafanuzi Maswali na majibu Majadiliano Mazoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 39-41
|
|
5 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Maamkizi na Mazungumzo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kupambanua lugha (sajili) ya mazungumzo kitabuni. Kutambua hasara za utengano. Kueleza msamiati mpya na kujibu maswali kwa usahihi. |
Kueleza
Kusoma kwa sauti Kuigiza Kujadili ujumbe na muundo Kujibu maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 42-43
|
|
5 | 3 |
Kusoma kwa Ufahamu
|
Umoja wa Kitaifa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza umuhimu wa usanifishaji. Kusoma ufahamu, ‘Umoja wa Kitaifa’ Kufafanua mambo yanayosaidia kuleta umoja wa Kitaifa hapa nchini. |
Usomaji
Maelezo Maswali na majibu. Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 43-44
|
|
5 | 4 |
Kusoma (fasihi)
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
5 | 5 |
Kusoma (fasihi)
Sarufi |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Vielezi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu Kueleza dhana ya vielezi. Kueleza aina za vielezi. Kutunga sentensi kwa kutumia vielezi. |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu Maelezo Ufafanuzi Maswali na majibu Ufafanuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
5 | 6 |
Kusoma
|
Utungaji wa Kiuamilifu; Hotuba
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuelezea muundo wa hotuba Kutaja vipengele muhimu vya hotuba mufti Kuandika hotuba kwa hati nadhifu. |
Kueleza
Kujadili Kuhutubu mbele ya darasa |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 49-50
|
|
6 | 1 |
Kuandika
|
Fasihi Simulizi; Mazungumzo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya isimujamii. Kufafanua maana ya sajili katika lugha. Kuigiza mazungumzo. |
Kusoma
Kuigiza Kujadili Kusikiliza Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu cha Fasihi Simulizi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 51-52
|
|
6 | 2 |
Kusoma (fasihi)
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
6 | 3 |

6 | 4 |
Sarufi
Kusoma |
Viwakilishi (W)
Kusoma kwa Kina; Historia na Maendeleo ya Kiswahili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja aina za viwakilishi. Kueleza na kubainisha aina za viwakilishi. Kutumia viwakilishi katika sentensi kwa usahihi. Kutaja lahaja za Kiswahili na kule zinakozungumzwa. Kufafanua chimbuko la Kiswahili. Kueleza ushahidi wa kihistoria unaoonyeshwa kuwa kiswahili kilizungumzwa katika sehemu ya Afrika Mashariki. |
Kueleza
Kusoma Kujadili Kuandika Kujibu maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 56-60
|
|
6 | 5 |
Kuandika
|
Uandishi wa Insha; Insha ya Mazungumzo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza muundo wa mazungumzo. Kusoma mfano kitabuni na kufafanua kimtindo na ujumbe. Kuandika insha ya mazungumzo kwa njia ifaayo. |
Kueleza
Kujadili Kuandika Kuigiza mazungumzo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 62-63
|
|
6 | 6 |
Kusoma (fasihi)
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
7 | 1 |

7 | 2 |
Sarufi
|
Mwingiliano wa Maneno
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza sehemu mbili kuu za sentensi (KN na KT) Kutambua sifa za KN na KT. Kuonyesha KN na KT katika sentensi. |
Kueleza
Kusoma Kutunga sentensi Kuandika Kufanya zoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 69-70
|
|
7 | 3 |
Kuandika
Kusoma (fasihi) |
Utungaji wa Kiuamilifu; Makala ya Redio na Runinga
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma habari kwa kina na kueleza yaliyomo. Kueleza umuhimu wa vyombo za habari. Kuandika makala yatakayosomwa katika kipindi kimojawapo cha redio. -kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Maswali ya dodoso
Kusoma Kujadili Kuandika Kuchambua Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Redio na vinasa sauti Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 71
|
|
7 | 4 |
Kusoma (fasihi)
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
7 | 5 |
Sarufi
|
Vitenzi; Mzizi wa Kitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kubainisha mizizi ya vitenzi. Kutambua viambishi awali na tamati. Kuonyesha mzizi wa kila kitenzi alichopewa kisha anyambue. |
Kueleza
Kutunga sentensi Kuandika Kufanya zoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 74-75
|
|
7 | 6 |
Kusoma
|
Uchambuzi wa Fasihi Andishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza tofauti iliyopo baina ya riwaya, tamthilia na ushairi. Kutoa sababu zinazoweza kumfanya mwandishi kutumia lafudhi mbalimbali katika kazi yake. Kutaja lugha na mbinu au mitindo mbalimbali wanayotumia wasanii kuwasiliana na hadhira. |
Maelezo
Ufafanuzi. Ufaraguzi. Majadiliano. Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 75-80
|
|
8 |
LIKIZO FUPI |
|||||||
9 | 1 |

9 | 2 |
Kuandika
Kusoma (fasihi) |
Utungaji wa Kiuamilifi; Mialiko
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya barua ya mwaliko. Kutaja sifa za barua za mwaliko. Kuchora na kuandika kadi ya mwaliko. -kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kuchora Kuchambua Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 80-81
|
|
9 | 3 |
Kusoma (fasihi)
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
9 | 4 |
sarufi
|
Vinyume vya vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza Vinyume vya vitenzi Mafano Shuka- panda Nuka-nukia Lala-amka Kueleza vitenzi katika hali ya kuamrisha |
Kuchanganua
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 95-96
|
|
9 | 5 |
Fasihi
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
9 | 6 |

10 | 1 |
Kuandika
Fasihi |
wasifu
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandika wasifu kutoa mifano tawasifu na wasifukazi -kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
- Kuandika
Kutunga sentensi Kuchambua Kusoma kwa zamu |
Kitabu
Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 uk 131
|
|
10 | 2 |
Fasihi
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
10 | 3 |
Fasihi andishi

10 | 4 |
Kuandika
|
utungaji wa kiuamilifu
kumbukumbu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandika kumbukumbu |
Kusoma
kuandika |
kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 152
|
|
10 | 5 |
Fasihi simulizi
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
10 | 6 |
Fasihi simulizi
Fasihi |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
11 | 1 |

11 | 2 |
Kisikiliza na kuongea
|
Hotuba
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
mwanfunzi kusikiliaza hotuba kasha kujibu maswali |
Malumbano
|
Kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 168-169
|
|
11 | 3 |
Fasihi
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
11 | 4 |
Kuandika
|
Barua meme
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua maana ya barua meme Kuandika nukulishi |
Kusoma
Kufupisha |
kitabu |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 182-186
|
|
11 | 5 |
Fasihi
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
11 | 6 |

12 | 1 |

12 | 2 |

12 | 3 |

12 | 4 |
Fasihi andishi
kuandika |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Ripoti |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu mwanafunzi aweze kuandika repoti |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu Kusoma Kufupisha |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
12 | 5 |
Fasihi
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
12 | 6 |

13 |
Mtihani Wa mwisho Wa muhula |
|||||||
14 |
KUFUNGA SHULE |
Your Name Comes Here