Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA SITA
MWAKA WA 2025
MUHULA WA I

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI_ZA_UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1 1
Viungo vya mwili vya ndani
Kusikiliza na kuzungumza; Matamshi bora: Silabi na vitanzandimi: Sauti /d/ na /nd/
Kusikiliza na kuzungumza; Matamshi bora: Silabi na vitanzandimi: Sauti /ch/ na /sh/
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/d/ na /nd/)
Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi (/d/ na /nd/)
Kufurahia kutunga vitanzandimi zenye silabi /d/ na /nd/
Kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/ch/ na /sh/)
Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi (/ch/ na /sh/)
Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi /ch/ na /sh/
Mwanafunzi aweze kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/d/ na /nd/
Mwanafunzi aweze kusikiliza sauti lengwa zikitamkwa kutoka kwa vifaa vya kiteknolojia k.v rununu na kinasasauti
Mwanafunzi aweze kutamka silabi lengwa na vitanza ndimi akiwa pekeake, wakiwa wawili au katika vikundi.
Mwanafunzi aweze kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/ch/ na /sh/)
Mwanafunzi aweze kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi (/ch/ na /sh/)
Ni silabi zipi zinazoundwa katika vitanzandimi ulivyokariri? Je, ni silabi zipi zinazorudiwa katika vitanza ndimi unavyounda?
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 1-3
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 3-5
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
1 2
Viungo vya mwili vya ndani
Kusikiliza na kuzungumza; Matamshi bora: Silabi na vitanzandimi: Sauti /j/ na /nj/
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/j/ na /nj/)
Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi (/j/ na /nj/)
Kufurahia kutunga vitanzandimi zenye silabi /j/ na /nj/
Mwanafunzi aweze kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/j/ na /nj/
Mwanafunzi aweze kusikiliza sauti lengwa zikitamkwa kutoka kwa vifaa vya kiteknolojia k.v rununu na kinasasauti.
Mwanafunzi aweze kutamka silabi lengwa na vitanza ndimi akiwa pekeake, wakiwa wawili au katika vikundi.
Ni silabi zipi zinazoundwa katika vitanzandimi ulivyokariri? Je, ni silabi zipi zinazorudiwa katika vitanza ndimi unavyounda?
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 6-8
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
1 3
Viungo vya mwili vya ndani
Kusikiliza na kuzungumza; Matamshi bora: Silabi na vitanzandimi: Sauti /g/ na /ng/
Kusoma; Kusoma kwa ufahamu: Kifungu cha hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/g/ na /ng/)
Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi (/g/ na /ng/)
Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi /g/ na /ng/
Kusoma majina ya viungo vya mwili katika picha.
Kueleza mambo anayoyazingatia anaposoma kifungu cha hadithi.
Kuchangamkia msamiati wa viungo vya mwili.
Mwanafunzi aweze kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/g/ na /ng/
Mwanafunzi aweze kusikiliza sauti lengwa zikitamkwa kutoka kwa vifaa vya kiteknolojia k.v rununu na kinasasauti.
Mwanafunzi aweze kutamka silabi lengwa na vitanza ndimi akiwa pekeake, wakiwa wawili au katika vikundi.
Mwanafunzi aweze kusoma majina ya viungo vya mwili katika picha.
Mwanafunzi aweze kuelezea wenzake mambo anayoyazingatia anaposoma kifungu cha hadithi.
Ni silabi zipi zinazoundwa katika vitanzandimi ulivyokariri? Je, ni silabi zipi zinazorudiwa katika vitanza ndimi unavyounda?
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 8-10
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 10-11
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
1 4
Viungo vya mwili vya ndani
Kusoma; Kusoma kwa ufahamu: Sauti za Ajabu
Kuandika; Insha ya wasifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma kifungu na kutambua msamiati uliotumika katika kifungu ili kuimarisha ufahamu
Kuchora mchoro wa viungo vya mwili vya ndani na kuonyesha viungo mbalimbali.
Kufurahia kutoa mukhtasari wa kifungu hicho.
Kueleza maana ya insha ya wasifu.
Kutambua insha wasifu kwa kuzingatia mtindo na muundo wake.
Kuchangamkia utunzi mzuri mwenye ujumbe mahususi.
Mwanafunzi aweze kusoma kifungu kwa kuzingatia ujumbe, matukio na wahusika.
Mwanafunzi aweze kuchora mchoro wa viungo vya mwili vya ndani na kuonyesha viungo mbalimbali
Mwanafunzi aweze kushiriki katika vikundi kujadili na kutumia msamiati lengwa katika sentensi
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya insha ya wasifu.
Mwanafunzi aweze kutambua insha wasifu kwa kuzingatia mtindo na muundo wake.
Je, umepata ujumbe gani kutoka kwenye kifungu?
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 11-14
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 14-16
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
2 1
Viungo vya mwili vya ndani
Kuandika; Insha ya wasifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandika insha ya wasifu kwa ubunifu ili kujenga maelezo yenye kutoa picha dhahiri.Kutumia methali, tashbihi na nahau zinazofaa ili kuipamba insha yake.
Kuchangamkia utunzi mzuri mwenye ujumbe mahususi
Mwanafunzi aweze kuandika insha ya wasifu kwa ubunifu ili kujenga maelezo yenye kutoa picha dhahiri.
Mwanafunzi aweze kutumia methali, tashbihi na nahau zinazofaa ili kuipamba insha yake.
Je, unazingatia nini unapoandika insha ya wasifu?
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 16-17
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
2 2
Viungo vya mwili vya ndani
Sarufi; Aina za maneno: Vivumishi vya sifa
Sarufi; Aina za maneno: Vivumishi viashiria
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya kivumishi.
Kuandika kwenye tarakilishi au daftari sentensi sahihi akitumia vivumishi vya sifa anavyovijua.
Kuchangamkia matumizi ya vivumishi vya sifa katika mawasiliano ya kila siku.
Kueleza maana ya vivumishi viashiria na kutaja mifano.
Kutumia vivumishi viashiria kurejelea vitu vilivyo karibu naye, mbali kidogo naye na mbali kabisa naye.
Kuchangamkia kutumia vivumishi viashiria katika utungaji wa sentensi.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya kivumishi.
Mwanafunzi aweze kuandika kwenye tarakilishi au daftari sentensi sahihi akitumia vivumishi vya sifa anavyovijua.
Mwanafunzi aweze kutumia vivumishi vya sifa kuelezea vitu na watu katika mazingira yake.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya vivumishi viashiria na kutaja mifano.
Mwanafunzi aweze kutumia vivumishi viashiria kurejelea vitu vilivyo karibu naye, mbali kidogo naye na mbali kabisa naye.
Mwanafunzi aweze kukamilisha jedwali kwa vivumishi viashiria sahihi.
Vivumishi vya sifa zinahusu nini? Je, ni vivumishi vya sifa zipi unazozijua?
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 18-21
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 21-23
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
2 3
Viungo vya mwili vya ndani
Sarufi; Aina za maneno: Vivumishi viashiria
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kujadili ni masomo yapi mengine yanaishughulikia dhana ya vivumishi.
Kushiriki kutunga wimbo mfupi unaoashiria watu na vitu mbalimbali vinavyopatikana shuleni.
Kuchangamkia matumizi ya vivumishi viashiria katika mawasiliano ya kila siku.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kujadili ni masomo yapi mengine yanaishughulikia dhana ya vivumishi.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kutunga wimbo mfupi unaoashiria watu na vitu mbalimbali vinavyopatikana shuleni.
Je, ni mambo gani unayoweza kutumia kuonyesha umbali wa kiumbe au kitu?
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 23-25
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
2 4
Viungo vya mwili vya ndani
Sarufi; Aina za maneno: Vivumishi vimilikishi
Sarufi; Aina za maneno: Vivumishi vimilikishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya vivumishi vimilikishi.
Kutambua vivumishi vimilikishi katika sentensi kwa kuigiza umiliki wa vitu mbalimbali.
Kuchangamkia kutumia vivumishi vimilikishi katika utungaji wa sentensi.
Kutambua vivumishi vimilikishi katika kapu ya maneno.
Kushiriki kutunga wimbo mfupi unaoonyesha umiliki wa vitu na viumbe mbalimbali.
Kuonea fahari matumizi ya vivumishi vimilikishi katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya vivumishi vimilikishi.
Mwanafunzi aweze kutambua vivumishi vimilikishi katika sentensi kwa kuigiza umiliki wa vitu mbalimbali wakiwa wawiliwawili.
Mwanafunzi aweze kujaza jedwali kutumia vimilikishi katika nafsi I, nafsi II na nafsi III katika vikundi.
Mwanafunzi aweze kujaza pengo kwa kimilikishi sahihi kati ya vile alivyopewa.
Mwanafunzi aweze kutambua vivumishi vimilikishi katika kapu maneno.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kutunga wimbo mfupi unaoonyesha umiliki wa vitu na viumbe mbalimbali.
Vivumishi vimilikishi vinahusu nini?
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 25-27
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 27-28
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
3 1
Michezo
Kusikiliza na kuzungumza; Maamkuzi na maagano: Maamkuzi
Kusikiliza na kuzungumza; Maamkuzi na maagano: Maagano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya maamkuzi.
Kutambua aina mbalimbali za maamkuzi katika mawasiliano.
Kuchangamkia maamkuzi katika mahusiano.
Kueleza maana ya maagano
Kutambua aina mbalimbali za maagano katika mawasiliano.
Kuchangamkia maagano katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya maamkuzi.
Mwanafunzi aweze kutambua aina mbalimbali za maamkuzi katika mawasiliano katika vikundi.
Mwanafunzi aweze kutafuta mtandaoni tovuti salama zilizo na maamkuzi mbalimbali na majibu yake.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya maagano.
Mwanafunzi aweze kutambua aina mbalimbali za maagano katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweze kueleza njia wanazotumia kuagana.
Maamkuzi ni nini? Kwa nini watu huamkuana?
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 29-31
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 31-34
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
3 2
Michezo
Kusikiliza na kuzungumza; Maamkuzi na maagano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza umuhimu wa maamkuzi na maagano.
Kushiriki kutunga mchezo mfupi wa kuigiza unaojumuisha maamkuzi na maagano.
Kuchangamkia maamkuzi na maagano katika mahusiano.
Mwanafunzi aweze kueleza umuhimu wa maamkuzi na maagano.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kutunga mchezo mfupi wa kuigiza unaojumuisha maamkuzi na maagano.
Je, watu huagana vipi katika jamii?
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 34
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
3 3
Michezo
Kusoma; Matumizi ya kamusi: Ndoto ya Nafula
Kuandika; Insha ya masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma kifungu
Kueleza maana ya insha ya masimulizi.
Kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo na kurejelea vielezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini. mbalimbali.
Kuchangamkia utunzi mzuri mwenye ujumbe mahususi.
Mwanafunzi aweze Kusoma kifungu
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya insha ya masimulizi.
Mwanafunzi aweze kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo na kurejelea vielezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini. mbalimbali.
Kwa nini tunatumia kamusi ya maneno? Je, ni mambo yapi tunayoweza kuyapata katika kamusi ya maneno?
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 35-37
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 37-39
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
3 4
Michezo
Kuandika; Insha ya masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kujadili kuhusu siku fulani ya michezo iliyofanyika shuleni.
Kuandika insha ya masimulizi inayozingatia mada, ujumbe, mtindo na muundo ufaao.
Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya masimulizi ili kukuza ubunifu wake.
Mwanafunzi aweze kujadiliana na wenzake kuhusu siku fulani ya michezo iliyofanyika shuleni.
Mwanafunzi aweze kuandika insha ya masimulizi inayozingatia mada, ujumbe, mtindo na muundo ufaao.
Je, unazingatia mambo gani ili kuandika insha nzuri ya masimulizi?
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 39-40
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
4 1
Michezo
Sarufi; Aina za maneno: Vivumishi vya idadi
Sarufi; Aina za maneno: Vivumishi vya idadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya vivumishi vya idadi na kutoa mifano.
Kutambua vivumishi vya idadi katika sentensi na vifungu.
Kuchangamkia matumizi ya vivumishi vya idadi katika mawasiliano ya kila siku.
Kutumia vivumishi vya idadi kutunga sentensi sahihi.
Kutunga wimbo mfupi unaoelezea idadi ya vitu na viumbe katika mazingira.
Kuonea fahari matumizi ya vivumishi vya idadi katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya vivumishi vya idadi na kutoa mifano.
Mwanafunzi aweze kutambua vivumishi vya idadi katika sentensi na vifungu
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kuelezea viumbe na vitu katika mazingira yake kwa kuvitumia vivumishi vya idadi. Kwa mfano; Ndege mmoja.
Mwanafunzi aweze kutumia vivumishi vya idadi kutunga sentensi sahihi.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kutunga wimbo mfupi unaoelezea idadi ya vitu na viumbe katika mazingira.
Je, vivumishi vya idadi ni zipi? Je, vivumishi vya idadi kamili ni zipi? Je, vivumishi vya idadi ya jumla ni zipi?
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 40-43
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 43-44
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
4 2
Michezo
Sarufi; Aina za maneno: Vivumishi viulizi
Sarufi; Aina za maneno: Vivumishi viulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya vivumishi viulizi kwa kutumia vitu katika mazingira ya darasani.
Kutambua vivumishi viulizi katika sentensi na vifungu.
Kuchangamkia kutumia vivumishi viulizi katika utungaji wa sentensi.
Kueleza na kutaja vivumishi viulizi mbalimbali.
Kutunga wimbo mfupi unaouliza maswali kuhusu vitu na viumbe katika mazingira.
Kufurahia kutumia vivumishi viulizi katika mawasiliano ya kila siku.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya vivumishi viulizi kwa kutumia vitu katika mazingira ya darasani.
Mwanafunzi aweze kutambua vivumishi viulizi katika sentensi na vifungu.
Mwanafunzi aweze kueleza na kutaja vivumishi viulizi mbalimbali.
Mwanafunzi aweze kutunga wimbo mfupi unaouliza maswali kuhusu vitu na viumbe katika mazingira.
Vivumishi viulizi vinahusu nini? Je, ni vivumishi viulizi zipi unazozijua?
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 44-46
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 46-47
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
4 3
Michezo
Sarufi; Kivumishi kirejeshi (amba-)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza matumizi ya kivumishi kirejeshi amba- akitumia vitu katika mazingira ya darasani.
Kutambua kivumishi kirejeshi amba- katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno.
Kuonea fahari matumizi ya kivumishi kirejeshi amba-
Mwanafunzi aweze kueleza matumizi ya kivumishi kirejeshi amba- akitumia vitu katika mazingira ya darasani.
Mwanafunzi aweze kutambua kivumishi kirejeshi amba- katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno.
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia kirejeshi amba- na nomino katika ngeli mbalimbali kwa umoja na wingi.
Je, kivumishi kirejeshi ni nini?
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 47-49
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
4 4
Michezo
Mahusiano
Sarufi; Kivumishi kirejeshi (amba-)
Kusikiliza na kuzungumza; Matamshi bora: Vitendawili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutunga sentensi akitumia kivumishi kirejeshi (k.v ambayo, ambalo, ambao, ambavyo, ambaye)
Kutunga wimbo mfupi ambao unarejelea vitu na viumbe katika mazingira.
Kufurahia kutumia kivumishi kirejeshi amba- katika mawasiliano.
Kutambua vitendawili vya suala lengwa vyenye sauti zinazokaribiana.
Kutamka maneno yenye sauti zinazokaribiana katika vitendawili lengwa.
Kuchangamkia matumizi ya vitendawili vyenye sauti zinazokaribiana kama njia ya kujenga utamkaji bora.
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia kivumishi kirejeshi (k.v ambayo, ambalo, ambao, ambavyo, ambaye)
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kutunga wimbo mfupi ambao unarejelea vitu na viumbe katika mazingira .
Mwanafunzi aweze kutambua vitendawili vya suala lengwa vyenye sauti zinazokaribiana (/d//nd/, /ch//sh/, /j//nj/ na /g//ng/)
Mwanafunzi aweze kutamka maneno yenye sauti zinazokaribiana katika vitendawili lengwa.
Mwanafunzi aweze kuandika vitendawili alivyosikiliza kisha kuwategea wenzake darasani nao wategue kwa ajili ya kuendelea kuelimishana.
Je, ni maneno gani yanayopatikana katika kivumishi kirejeshi amba-?
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 49-50
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 51-52
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
5 1
Mahusiano
Kusoma; Kusoma kwa ufahamu: Kifungu cha hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kueleza maana ya mahusiano.
Kutambua msamiati kuhusu mahusiano.
Kuchangamkia kutumia msamiati kuhusu mahusiano katika mawasiliano ya kila siku.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya mahusiano.
Mwanafunzi aweze kutambua msamiati kuhusu mahusiano.
Mwanafunzi aweze kueleza kuhusu umuhimu wa mahusiano.
Je, kusoma kuhusu mahusiano kuna umuhimu gani?
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 53
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
5 2
Mahusiano
Kusoma; Kusoma kwa ufahamu- Mashaka ya Juma
Kuandika; Kuandika kwa kutumia tarakilishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma ufahamu kwa ufasaha na kutambua msamiati uliotumika katika hadithi ili kuimarisha ufahamu.
Kutumia msamiati lengwa kwa usahihi katika sentensi.
Kufurahia kutoa mukhtasari wa kifungu hicho.
Kueleza maana ya tarakilishi.
Kutambua sehemu mbalimbali za tarakilishi zinazotumika kupigia chapa.
Kujenga mazoea ya kutumia tarakilishi kuandika na kuhifadhi kazi.
Mwanafunzi aweze kusoma ufahamu kwa ufasaha na kutambua msamiati uliotumika katika hadithi ili kuimarisha ufahamu
Mwanafunzi aweze kutumia msamiati lengwa kwa usahihi katika sentensi.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya tarakilishi.
Mwanafunzi aweze kutambua sehemu mbalimbali za tarakilishi zinazotumika kupigia chapa
Mwanafunzi aweze kueleza matumizi ya kipanya.
Mwanafunzi aweze kuandika kwa kutumia tarakilishi kifungu cha aya moja kinachohusu mahusiano baina ya watu katika jamii.
Nini umuhimu wa kuwa na uhusiano mwema na wenzake?
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 53-55
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 56-58
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
5 3
Mahusiano
Sarufi; Aina za maneno: Viwakilishi vya nafsi
Sarufi; Aina za maneno: Viwakilishi viashiria
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza na kutaja viwakilishi vya nafsi mbalimbali.
Kutambua viwakilishi vya nafsi katika sentensi na vifungu.
Kufurahia kutumia viwakilishi vya nafsi katika mawasiliano ya kila siku.
Kueleza maana ya viwakilishi viashiria na kutoa mifano.
Kutambua viwakilishi viashiria katika sentensi.
Kuchangamkia kutumia viwakilishi viashiria katika utungaji wa sentensi.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya viwakilishi vya nafsi.
Mwanafunzi aweze kueleza na kutaja viwakilishi vya nafsi mbalimbali.
Mwanafunzi aweze kutambua viwakilishi vya nafsi katika sentensi na vifungu.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya viwakilishi viashiria na kutoa mifano.
Mwanafunzi aweze kutambua viwakilishi viashiria katika sentensi.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kutunga shairi fupi linalohusu umuhimu wa kuwa na umoja katika jamii wakitumia viwakilishi viashiria.
Je, mnazijua nafsi ngapi? Je, ni maneno yapi yanayotumika kuziwakilisha nafsi mbalimbali?
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 58-60
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 61-63
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
5 4
Mahusiano
Sarufi; Aina za maneno: Viwakilishi vya idadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya viwakilishi vya idadi na kutoa mifano.
Kutambua viwakilishi vya idadi katika sentensi na vifungu.
Kufurahia kutumia viwakilishi vya idadi katika mawasiliano ya kila siku.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya viwakilishi vya idadi na kutoa mifano.
Mwanafunzi aweze kutambua viwakilishi vya idadi katika sentensi na vifungu.
Mwanafunzi aweze kujaza pengo kwa viwakilishi vya idadi sahihi.
Viwakilishi vya idadi kamili vinahusu nini? Je, ni viwakilishi vya idadi kamili zipi unazozijua
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 64-66
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
6 1
Mahusiano
Sarufi; Uakifishaji: Alama ya hisi (!)
Sarufi; Uakifishaji: Alama ya ritifaa (
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza namna alama ya hisi hutumika katika uandishi.
Kutambua alama ya hisi katika sentensi.
Kufurahia matumizi ya alama ya hisi katika maandishi
Kueleza namna alama ya ritifaa hutumika katika uandishi.
Kutambua alama ya ritifaa katika sentensi.
Kufurahia matumizi ya alama ya ritifaa katika maandishi.
Mwanafunzi aweze kueleza namna alama ya hisi hutumika katika uandishi.
Mwanafunzi aweze kutambua alama ya hisi katika sentensi
Mwanafunzi aweze kuandika sentensi daftarini na kuweka alama ya hisi panapofaa.
Mwanafunzi aweze kueleza namna alama ya ritifaa hutumika katika uandishi.
Mwanafunzi aweze kutambua alama ya ritifaa katika sentensi
Mwanafunzi aweze kuandika sentensi daftarini na kuweka alama ya ritifaa panapofaa.
Je, ni alama gani za uakifishi mnazozijua? Alama ya hisi hutumiwa vipi katika maandishi?
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 66-68
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 68-69
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
6 2
Mahusiano
Sarufi; Uakifishaji: Koloni (:)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua alama ya koloni (:) katika maandishi.
Kueleza matumizi ya koloni (:) katika maandishi.
Kuchangamkia matumizi ya koloni katika maandishi.
Mwanafunzi aweze kutambua alama ya koloni (:) katika maandishi.
Mwanafunzi aweze kueleza matumizi ya koloni (:) katika maandishi.
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi na kuziakifisha kutumia koloni.
Alama ya kuakifisha- koloni hutumiwa vipi katika maandishi?
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 70-71
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
6 3
Mahusiano
Misimu
Sarufi; Uakifishaji
Kusikiliza na kuzungumza; Heshima, adabu na vyeo: Maneno ya heshima
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza umuhimu wa kutumia alama za uakifishaji katika maandishi.
Kuandika kwa lugha fasaha bango lenye maelezo mafupi kuhusu mahusiano mema katika jamii akitumia alama za uakifishaji.
Kuchangamkia matumizi ya alama za uakifishaji katika maandishi.
Kutambua maneno ya heshima kati ya maneno aliyopewa katika mti maneno.
Kutunga sentensi akitumia maneno ya heshima.
Kufurahia kutumia maneno ya heshima katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweze kueleza umuhimu wa kutumia alama za uakifishaji katika maandishi.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kuandika kwa lugha fasaha bango lenye maelezo mafupi kuhusu mahusiano mema katika jamii akitumia alama za uakifishaji.
Mwanafunzi aweze kutambua maneno ya heshima kati ya maneno aliyopewa katika mti maneno wakiwa wawiliwawili.
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia maneno ya heshima wakiwa katika vikundi
Wanafunzi wakiwa katika vikundi waigize mazungumzo kati ya kasisi na waumini
Je, pana umuhimu gani wa kuzitumia alama za uakifishi katika maandishi?
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 71
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 59-60
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
6 4
Misimu
Sarufi; Umoja na wingi wa nomino: Ngeli ya YA-YA
Kusoma; Matini za kidijitali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
:Kusikiliza sentensi zilizotungwa kutokana na nomino za ngeli ya YA-YA zikisomwa kutoka kwenye tepurekoda au kinasasauti.
Kutambua nomino katika ngeli ya YA-YA katika kadi za maneno, tarakilishi, mti wa maneno au kapu la maneno.
Kutunga sentensi akitumia nomino katika ngeli ya YA-YA.
Kuchangamkia matumizi ya ngeli ya YA-YA katika umoja na wingi katika mawasiliano
Kujadili na mwenzake kuhusu hatua za kiusalama anaposoma matini za kidijitali.
Kusakura majina ya misimu kwenye mtandao.
Kuigiza vitendo katika matini alizosoma mtandaoni.
Kuchangamkia hatua za kiusalama anaposoma matini za kidijitali
Mwanafunzi aweze kusikiliza sentensi zilizotungwa kutokana na nomino za ngeli ya YA-YA zikisomwa kutoka kwenye tepurekoda au kinasasauti.
Mwanafunzi aweze kutambua nomino katika ngeli ya YA-YA katika kadi za maneno, tarakilishi, mti wa maneno au kapu la maneno.
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia nomino katika ngeli ya YA-YA
Mwanafunzi aweze kujadili picha iliyopo katika Uk. 62 wakiwa katika vikundi.
Wanafunzi waweze kujadiliana kuhusu hatua za kiusalama anaposoma matini za kidijitali.
Mwanafunzi aweze kusakura majina ya misimu kwenye mtandao
Je, unajua nomino gani katika ngeli ya YA-YA?
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 60-62
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 62-63
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
7 1
Misimu
Kusikiliza na kuzungumza; Heshima, adabu na vyeo: Maneno ya heshima
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua maneno ya heshima zilizoandikwa ubaoni.
Kutunga sentensi akitumia maneno ya heshima aliyoyatambua ubaoni.
Kuigiza mazungumzo baina ya watu huku akitumia msamiati wa heshima.
Kuchangamkia matumizi ya maneno ya heshima, adabu na vyeo katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweze kutambua maneno ya heshima zilizoandikwa ubaoni.
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia maneno ya heshima aliyoyatambua ubaoni.
Mwanafunzi aweze kuigiza mazungumzo baina ya watu huku akitumia msamiati wa heshima wakiwa wawiliwawili.
Je, unayajua maneno gani ya heshima?
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 63-64
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
7 2
Misimu
Sarufi; Umoja na wingi wa nomino: Ngeli ya YA-YA
Sarufi; Umoja na wingi wa nomino: Ngeli ya YA-YA
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya viambishi vipatanishi
Kutambua viambishi vya ngeli ya YA-YA na kuvipigia mistari katika sentensi.
Kuonea fahari matumizi ya ngeli ya YA-YA katika mawasiliano
Kutambua viambishi vipatanishi katika sentensi zilizoandikwa Uk. 64, ubaoni au katika tarakilishi kwa kuvipigia mstari.
Kujaza mapengo kwa viambishi vipatanishi sahihi.
Kufurahia kutumia ngeli ya YA-YA katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya viambishi vipatanishi
Mwanafunzi aweze kutambua viambishi vya ngeli ya YA-YA na kuvipigia mistari katika sentensi.
Mwanafunzi aweze kutambua viambishi vipatanishi katika sentensi zilizoandikwa Uk. 64, ubaoni au katika tarakilishi kwa kuvipigia mstari.
Mwanafunzi aweze kujaza mapengo kwa viambishi vipatanishi sahihi.
Je, viambishi vipatanishi ni nini?
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 64
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk.
64-65
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
7 3
Misimu
Kuandika; barua rasmi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya barua rasmi.
Kutaja na kueleza sehemu mbalimbali za barua rasmi wakiwa katika vikundi.
Kuandika barua rasmi kwa kufuata kanuni zifaazo.
Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ili kuimarisha uandishi.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya barua rasmi.
Mwanafunzi aweze kutaja na kueleza sehemu mbalimbali za barua rasmi wakiwa katika vikundi.
Mwanafunzi aweze kuandika barua rasmi kwa kufuata kanuni zifaazo.
Unazingatia nini unapoandika barua rasmi?
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk.
65-66
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
7 4
Misimu
Kusoma; Matini ya kidijitali
Kusoma; Matini ya kidijitali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kujadiliana picha iliyopo katika kitabu cha mwanafunzi Uk. 68
Kujadiliana kuhusu majina ya misimu.
Kusakura matini inayohusu misimu kwenye mtandao akitumia kipakalishi au simu.
Kufurahia matumizi ya kidijitali anaposoma matini mbalimbali.
Kujadili na mwenzake majina zaidi ya misimu anayoyajua.
Kusakura majina ya misimu kwenye mtandao.
Kuigiza vitendo katika matini alizosoma mtandaoni.
Kuchangamkia hatua za kiusalama anaposoma matini za kidijitali
Wanafunzi waweze kujadiliana picha iliyopo katika kitabu cha mwanafunzi Uk. 68
Wanafunzi waweze kujadiliana kuhusu majina ya misimu.
Mwanafunzi aweze kusakura matini inayohusu misimu kwenye mtandao akitumia kipakalishi au simu.
Mwanafunzi aweze kujadili picha iliyopo katika Uk. 68 wakiwa katika vikundi.
Wanafunzi waweze kujadiliana kuhusu majina zaidi ya misimu anayoyajua.
Mwanafunzi aweze kusakura majina ya misimu kwenye mtandao
Ni ujumbe upi uliopata kwenye makala uliyowahi kusoma?
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk.
68-69
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 68
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
8

MIDTERM

9 1
Misimu
Mshikamano wa Kitaifa
Kuandika; Aina za insha: Barua rasmi
Kusikiliza na kuzungumza; Methali zinazohusu umoja na ushirikiano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua barua rasmi kwenye vielelezo vya barua rasmi zilizochapishwa kwenye vitabu au magazeti.
Kujadiliana kuhusu umuhimu wa barua rasmi katika mawasiliano.
Kuonea fahari umuhimu wa barua rasmi katika mawasiliano.
Kutambua methali zinazohusu umoja na ushirikiano.
Kutoa mifano zinazohusu umoja na ushirikiano katika jamii wakiwa katika vikundi.
Kuchangamkia matumizi ya methali katika umoja na ushirikiano.
Katika vikundi, wanafunzi waweze kutambua barua rasmi kwenye vielelezo vya barua rasmi zilizochapishwa kwenye vitabu au magazeti.
Wanafunzi waweze kujadiliana kuhusu umuhimu wa barua rasmi katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweze kutambua methali zinazohusu umoja na ushirikiano.
Mwanafunzi aweze kutoa mifano zinazohusu umoja na ushirikiano katika jamii wakiwa katika vikundi.
Mwanafunzi aweze kusikiliza methali zinazohusu umoja na ushirikiano zikitumiwa kwenye vyombo vya kidijitali.
Barua rasmi ina umuhimu gani katika mawasiliano?
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 69
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 70-71
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
9 2
Mshikamano wa Kitaifa
Sarufi; Umoja na wingi wa nomino: Ngeli ya U-U
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusikiliza sentensi zilizotungwa kutokana na nomino za ngeli ya U-U zikisomwa kutoka kwenye tepurekoda au kinasasauti.
Kutambua nomino katika ngeli ya U-U katika kadi za maneno, tarakilishi, mti wa maneno au kapu la maneno.
Kutunga sentensi akitumia nomino katika ngeli ya U-U
Kuchangamkia matumizi ya ngeli ya U-U katika umoja na wingi katika mawasiliano
Mwanafunzi aweze kusikiliza sentensi zilizotungwa kutokana na nomino za ngeli ya U-U zikisomwa kutoka kwenye tepurekoda au kinasasauti.
Mwanafunzi aweze kutambua nomino katika ngeli ya U-U katika kadi za maneno, tarakilishi, mti wa maneno au kapu la maneno.
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia nomino katika ngeli ya U-U
Je, unajua nomino gani katika ngeli ya U-U?
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 71-72
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
9 3
Mshikamano wa Kitaifa
Sarufi; Umoja na wingi wa nomino: Ngeli ya U-U
Kusoma; Lugha katika ushairi: Tathnia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya viambishi vipatanishi
Kutaja nomino zinazoanza kwa herufi U katika umoja.
Kutambua viambishi vya ngeli ya U-U na kuvipigia mistari katika sentensi.
Kuonea fahari matumizi ya ngeli ya U-U katika mawasiliano.
Kueleza maana ya shairi la tathnia.
Kutambua vina na mizani katika shairi ili kuvibainisha.
Kushirikiana kusoma shairi
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya viambishi vipatanishi wakiwa katika vikundi
Mwanafunzi aweze kutaja nomino zinazoanza kwa herufi U katika umoja wakiwa katika vikundi.
Mwanafunzi aweze kutambua viambishi vya ngeli ya U-U na kuvipigia mistari katika sentensi
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya shairi la tathnia.
Mwanafunzi aweze kutambua vina na mizani katika shairi ili kuvibainisha.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na mwenzake kusoma shairi
Je, unajua nomino zipi ambazo zinazoanza kwa herufi U katika umoja?
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 80-82
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 73-75
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
9 4
Mshikamano wa Kitaifa
Kuandika; Insha ya maelezo.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua insha ya maelezo katika matini mbalimbali.
Kueleza mambo ya kuzingatia katika uandishi wa insha ya maelezo.
Kujadiliana na wenzake kuhusu mambo muhimu yanayojenga mpangilio mzuri wa mawazo katika insha.
Kuchangamkia utunzi mzuri w insha ili kuimarisha uandishi.
Mwanafunzi aweze kutambua insha ya maelezo katika matini mbalimbali.
Mwanafunzi aweze kueleza mambo ya kuzingatia katika uandishi wa insha ya maelezo.
Mwanafunzi aweze kujadiliana na wenzake kuhusu mambo muhimu yanayojenga mpangilio mzuri wa mawazo katika insha.
Je, unazingatia nini unapoandika insha ya maelezo?
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 75-76
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
10 1
Mshikamano wa Kitaifa
Kusikiliza na kuzungumza; Methali zinazohusu umoja na ushirikiano
Kusoma; Lugha katika ushairi: Tathlitha- Tuacheni ukabila
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana na matumizi ya methali mbalimbali zinazohusu umoja na ushirikiano katika jamii.
Kutumia methali zinazohusu umoja na ushirikiano katika mawasiliano.
Kuchangamkia matumizi ya methali katika kuhimiza umoja na ushirikiano.
Kueleza maana ya shairi la tathlitha.
kusoma shairi,
Mwanafunzi aweze kueleza maana na matumizi ya methali mbalimbali zinazohusu umoja na ushirikiano katika jamii.
Mwanafunzi aweze kutumia methali zinazohusu umoja na ushirikiano katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake katika kukamilisha methali zinazohusu umoja na ushirikiano.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya shairi la tathlitha.
Mwanafunzi aweze kusoma shairi,
Je, ni nini umuhimu wa methali katika jamii?
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 76-77
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 78-80
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
10 2
Mshikamano wa Kitaifa
Sarufi; Umoja na wingi wa nomino: Ngeli ya U-U
Kusoma; Lugha katika ushairi: Tarbia- Tushikane sote piya
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandika nomino zinazoanza kwa U katika umoja hasa nomino za dhahania.
Kutambua viambishi vipatanishi katika sentensi alizoandika kwa kuvipigia mistari.
Kujaza mapengo kwa kutumia viambishi vipatanishi sahihi.
Kuchangamkia matumizi ya ngeli ya U-U
Kueleza maana ya shairi la tarbia.
Kutambua tofauti zilizopo baina ya mashairi ya tathnia, tathlitha na tarbia.
Kushirikiana na mwenzake kusoma shairi
Mwanafunzi aweze kuandika nomino zinazoanza kwa U katika umoja hasa nomino za dhahania.
Mwanafunzi aweze kutambua viambishi vipatanishi katika sentensi alizoandika kwa kuvipigia mistari.
Mwanafunzi aweze kujaza mapengo kwa kutumia viambishi vipatanishi sahihi.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya shairi la tarbia.
Mwanafunzi aweze kutambua tofauti zilizopo baina ya mashairi ya tathnia, tathlitha na tarbia.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na mwenzake kusoma shairi
Je, unajua kuandika sentensi ukitumia maneno katika ngeli ya U-U?
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 81
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 82-84
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
10 3
Mshikamano wa Kitaifa
Kuandika; Insha ya maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua vifungu vya maelezo vilivyoandikwa kwenye vitabu au tarakilishi wakiwa katika vikundi.
kujadiliana vidokezo vya insha ya maelezo atakavyotumia kuandika insha juu ya Siku ya michezo ya Kitaifa.
Kuandika insha juu ya Siku ya michezo akitumia vidokezo aliyoandika.
Kufurahia kuandika insha ya maelezo.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya insha ya maelezo.
Mwanafunzi aweze kutambua vifungu vya maelezo vilivyoandikwa kwenye vitabu au tarakilishi wakiwa katika vikundi.
Wanafunzi waweze kujadiliana vidokezo vya insha ya maelezo atakavyotumia kuandika insha juu ya Siku ya michezo ya Kitaifa.
Ni vidokezo gani utakavyotumia kuandika insha juu ya siku ya michezo ya Kitaifa?
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 84
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
10 4
Usawa wa Kijinsia
Kusikiliza na kuzungumza; Matamshi bora: Ushairi
Sarufi; Umoja na wingi wa nomino: Ngeli ya I-I
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kukariri shairi kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali.
Kuonyesha ufahamu wa ujumbe katika shairi kwa kujibu maswali.
Kuchangamkia ushairi kama njia ya kujieleza kwa ufasaha.
Kuandika akitumia tarakilishi nomino zaidi katika ngeli ya I-I
Kutambua nomino za ngeli ya I-I katika orodha atakayopewa, aziburure na kuzitia kapuni.
Kuchangamkia matumizi ya nomino katika ngeli ya I-I
Mwanafunzi aweze kukariri shairi kuhusu mada lengwa (maadili) kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali.
Mwanafunzi aweze kusikiliza shairi lengwa likikaririwa au kuimbwa na mwalimu, mgeni au kupitia vifaa vya kidijitali.
Mwanafunzi aweze kujadiliana picha zilizopo katika Uk. 87
Mwanafunzi aweze kuandika akitumia tarakilishi nomino zaidi katika ngeli ya I-I
Wakiwa wawiliwawili mwanafunzi aweze kutambua nomino za ngeli ya I-I katika orodha atakayopewa, aziburure na kuzitia kapuni
Ushairi unaweza kuboresha mazungumzo yako vipi?
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 85-86
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 87
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
11 1
Usawa wa Kijinsia
Kusoma; Kusoma kwa mapana: Makala- Mtoto si kidonda
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma makala haya.
Mwanafunzi aweze kusoma makala haya,
Je, kusoma kwa mapana kuna umuhimu gani?
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 88-90
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
11 2
Usawa wa Kijinsia
Kuandika; Insha ya wasifu
Kusikiliza na kuzungumza; Matamshi bora: Ushairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua vipengele muhimu vya kimuundo kama vile anwani, mwili na hitimisho katika uandishi wa insha ya wasifu.
Kujadili na mwenzake vidokezo atakavyotumia kuandika insha ya wasifu juu ya
Kusikiliza shairi likikaririwa katika tarakilishi kisha kutamka maneno yaliyoundwa kutokana na sauti /d/, /nd/, /ch/, /sh/, /nj/ na /ng/
Kutambua msamiati uliotumika katika shairi kuhusu Usawa wa Kijinsia.
Kutunga sentensi akitumia msamiati uliotumika katika shairi kwa usahihi.
Kuchangamkia matumizi ya lugha ya ushairi.
Wakiwa wawiliwawili, wanafunzi waweze kutazama nakala za insha ya wasifu magazetini, vitabuni au kwenye tarakilishi.
Mwanafunzi aweze kutambua vipengele muhimu vya kimuundo kama vile anwani, mwili na hitimisho katika uandishi wa insha ya wasifu.
Kujadili na mwenzake vidokezo atakavyotumia kuandika insha ya wasifu juu ya
Mwanafunzi aweze kusikiliza shairi likikaririwa katika tarakilishi kisha kutamka maneno yaliyoundwa kutokana na sauti /d/, /nd/, /ch/, /sh/, /nj/ na /ng/
Mwanafunzi aweze kujiunga na mwenzake kisha kutambua msamiati uliotumika katika shairi kuhusu Usawa wa Kijinsia.
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia msamiati uliotumika katika shairi kwa usahihi.
Insha ya wasifu inahusu nini?
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 91
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 92
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
11 3
Usawa wa Kijinsia
Sarufi; Umoja na wingi wa nomino: Ngeli ya I-I
Kusoma; Kusoma kwa mapana: Makala- Maktaba
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja nomino zinazopatikana katika ngeli ya I-I
Kuandika nomino alizozitaja katika umoja na wingi.
Kujaza mapengo katika sentensi kwa nomino sahihi.
Kuonea fahari matumizi ya ngeli ya I-I
Kujadiliana jinsi ya kuchagua makala ya kusoma.
Kuelezea umuhimu wa kusoma makala.
Kufurahia kuchagua makala ya kusoma.
Mwanafunzi aweze kutaja nomino zinazopatikana katika ngeli ya I-I
Mwanafunzi aweze kuandika nomino alizozitaja katika umoja na wingi.
Mwanafunzi aweze kujaza mapengo katika sentensi kwa nomino sahihi.
Mwanafunzi aweze kujadili picha katika Uk. 94 akiwa na mwenzake.
Wanafunzi waweze kujadiliana wakiwa wawiliwawili au katika vikundi jinsi ya kuchagua makala ya kusoma.
Wanafunzi kujadiliana umuhimu wa kusoma makala.
J, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya I-I?
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 93
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 94
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
11 4
Usawa wa Kijinsia
Sarufi; Umoja na wingi wa nomino: Ngeli ya I-I
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kupigia mstari viambishi vipatanishi au kuvikolezea rangi.
Kuandika sentensi katika umoja na kukolezea rangi viambishi vipatanishi.
Kujaza mapengo kwa kiambatanishi sahihi.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya viambishi vipatanishi
Mwanafunzi aweze kupigia mstari viambishi vipatanishi au kuvikolezea rangi.
Mwanafunzi aweze kuandika sentensi katika umoja na kukolezea rangi viambishi vipatanishi.
Mwanafunzi aweze kujaza mapengo kwa kiambatanishi sahihi
Je, nomino za ngeli ya I-I huchukua viambishi gani katika sentensi?
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 94-95
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Intaneti
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
12

END TERM EXAM

13

CLOSING


Your Name Comes Here


Download

Feedback