If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
2 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Isimu jamii; Sajili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya sajili. Kutaja na kufafanua sifa za sajili ya dini. Kuigiza maamkizi na mazungumzo katika sehemu za maabadi. |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Kuigiza |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 1-3
|
|
2 | 2 |
Kusoma kwa ufahamu
|
Ufahamu; Asali Yawa Shubiri
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maudhui ya ufahamu. Kufafanua maana za methali zilizotumika kwenye ufahamu. Kujibu maswali kwa usahihi. |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kamusi ya Methali |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 3-7
|
|
2 | 3 |
Sarufi
|
Viulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya viulizi. Kutumia kiulizi kifaacho kukamilisha maswali. Kutunga sentensi zenye kiulizi –pi na kiulizi –ngapi. |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 7-10
|
|
2 | 4 |
Fasihi
|
Fasihi andishi; Riwaya
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafuzi aweze: Kufafanua muktadha tofauti ya riwaya Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya riwaya
|
Kusoma Kueleza
Kuandika Kujadiliana Kuuliza maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
2 | 5 |

2 | 6 |
Kusoma
|
Fasihi andishi; Riwaya
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya riwaya Kufafanua muktadha tofauti ya riwaya Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya riwaya |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
3 | 1 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi andishi: Riwaya
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya riwaya Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya riwaya |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
3 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma magazeti: Tahariri na Habari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya tahariri. Kusoma tahariri aliyopewa kwa sauti, akidondoa mambo muhimu kisha kujadiliana kuhusu maoni ya mhariri. Kutambua habari za Kitaifa na Kimataifa kwenye magazeti. |
Maelezo
Ufafanuzi Kujadili vidokezo Kuandika Kufanya zoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Magazeti |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 11-13
|
|
3 | 3 |
Kuandika
|
Utungaji wa Kiuamilifu: Barua Rasmi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza muundo na sehemu kuu za barua rasmi. Kupambanua msamiati wa uandishi wa barua rasmi. Kuandika barua rasmi kwa kuzingatia kanuni zake. |
Maelezo
Ufafanuzi Kujadili vidokezo Kuandika Kufanya zoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Nakala halisi ya barua rasmi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 13-16
|
|
3 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Dhima ya Fasihi kwa jumla
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza nafasi ya fasihi simulizi katika jamii. Kutaja sifa za fasihi simulizi. Kufafanua vipera vya fasihi simulizi. Kueleza umuhimu wa fasihi Simulizi |
Maelezo
Ufafanuzi Majadiliano Uchunguzi Uvumbuzi Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu cha Fasihi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 17-19
|
|
3 | 5 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi; Wahusika na uhusika katika riwaya
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze: Kueleza umuhimu wa wahusika katika riwaya.
|
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kichocheo cha fasihi simulizi na andishi |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
3 | 6 |

4 | 1 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi; Wahusika na uhusika katika riwaya
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza umuhimu wa wahusika katika riwaya. Kutaja wahusika wote kutoka riwaya teule. Kutofautisha wahusika wa aina mbalimbali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
4 | 2 |

4 | 3 |
Sarufi
|
‘A’ Unganifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza muundo wa ‘A’ unganifu. Kutunga sentensi akitumia ‘A’ unganifu mwafaka pamoja na nomino. Kukamilisha sentensi kwa kutumia ‘A’ unganifu. |
Kusoma
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Kufanya zoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 21-23
|
|
4 | 4 |
Sarufi
|
Virejeshi ‘O’ na ‘amba’
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza matumizi ya kirejeshi ‘amba’ Kutumia kirejeshi ‘amba’ katika sentensi. Kutunga sentensi akitumia kirejeshi ‘amba’ |
Kusoma
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Kufanya zoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 23-24
|
|
4 | 5 |
Sarufi
|
Matumizi ya ‘O’ rejeshi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza matumizi ya ‘O’ rejeshi. Kutumia ‘O’ rejeshi katika sentensi. Kujibu maswali kwa usahihi. |
Kusoma
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Kufanya zoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 24-25
|
|
4 | 6 |
Sarufi
|
Viashiria visisitizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza matumizi ya kiashiria kisisitizi. Kuandika sentensi katika umoja na wingi akitumia kiashiria kisisitizi. Kutumia kiashiria kisisitizi kukamilisha sentensi. |
Kusoma
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Kufanya zoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 25-28
|
|
5 | 1 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi; Wahusika na uhusika katika riwaya
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja hulka (sifa) za wahusika katika riwaya. Kueleza sifa za wahusika katika riwaya. Kufafanua sifa za wahusika kwa kutoa mifano katika riwaya. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
5 | 2 |

5 | 3 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi; Wahusika na uhusika katika riwaya
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja hulka (sifa) za wahusika katika riwaya teule. Kueleza sifa za wahusika katika riwaya. Kufafanua sifa za wahusika kwa kutoa mifano katika riwaya. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
5 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa sauti; Barua kwa Mhariri
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya barua kwa mhariri Kusoma mfano kitabuni na gazetini kisha kufafanua sifa bainifu. Kuandika sifa bainifu kwa mhariri kwa usahihi. |
Kueleza
Kujadili Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Magazeti |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 28-29
|
|
5 | 5 |
Kuandika
|
Utungaji wa Kiuamilifu; Barua kwa Mhariri
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza muundo wa barua kwa mhariri. Kufafanua maudhui ya barua kwa mhariri. Kuandika barua kwa mhariri wa gazeti. |
Kueleza
Kujadili Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 29-31
|
|
5 | 6 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Kusoma kwa Ufahamu; Zimwi Limeingia Duniani
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maadili na maudhui ya kifungu. Kujibu maswali kutokana na ufahamu. Kutambua umuhimu wa kuwa msikivu. |
Kusikiliza
Kujadili Kuandika Kufanya zoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 32-33
|
|
6 | 1 |
Sarufi
|
Vivumishi vya pekee
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya vivumishi vya pekee. Kufafanua matumizi ya vivumishi vya pekee. Kubainisha matumizi ya vivumishi vya pekee. |
Maelezo
Ufafanuzi Majadiliano Uchunguzi Uvumbuzi Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 33-38
|
|
6 | 2 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi andishi muundo na mtindo katika riwaya
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua muundo wa riwaya kwa kutoa mifano. Kueleza mtindo katika riwaya. |
Kusoma
Kueleza Kujadili Kuandika Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
6 | 3 |

6 | 4 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi andishi muundo na mtindo katika riwaya
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua muundo wa riwaya kwa kutoa mifano. Kueleza mtindo katika riwaya a. Kutaja kaida za utunzi wa riwaya. |
Kusoma
Kueleza Kujadili Kuandika Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
6 | 5 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana; UKIMWI
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya maswala ibuka. Kusoma makala yanayohusu afya ya na Ukimwi. Kujibu maswali yanahosu makala. |
Usomaji
Maelezo Maswali na majibu. Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 38-39
|
|
6 | 6 |
Kuandika
|
Utungaji wa Kiuamilifu; Resipe, Muhtasari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza mambo yanayozingatiwa katika uandishi wa resipe. Kuandika resipe ya chakula akipendacho. Kutaja hatua kuu katika uandishi wa muhtasari. |
Maelezo
Ufafanuzi Maswali na majibu Majadiliano Mazoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 39-41
|
|
7 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Maamkizi na Mazungumzo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kupambanua lugha (sajili) ya mazungumzo kitabuni. Kutambua hasara za utengano. Kueleza msamiati mpya na kujibu maswali kwa usahihi. |
Kueleza
Kusoma kwa sauti Kuigiza Kujadili ujumbe na muundo Kujibu maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 42-43
|
|
7 | 2 |
Kusoma kwa Ufahamu
|
Umoja wa Kitaifa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza umuhimu wa usanifishaji. Kusoma ufahamu, ‘Umoja wa Kitaifa’ Kufafanua mambo yanayosaidia kuleta umoja wa Kitaifa hapa nchini. |
Usomaji
Maelezo Maswali na majibu. Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 43-44
|
|
7 | 3 |
Kusoma (fasihi)
|
Matumizi ya lugha katika fasihi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, Kueleza tamathali za usemi na umuhimu wake. Kutaja mifano katika kazi ya fasihi (kitabu teule) Kujibu maswali kwa kurejelea kitabu teule. |
Kusoma
Kueleza Kujadili Kuandika Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
7 | 4 |

7 | 5 |

7 | 6 |
Sarufi
|
Vielezi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza dhana ya vielezi. Kueleza aina za vielezi. Kutunga sentensi kwa kutumia vielezi. |
Maelezo
Ufafanuzi Maswali na majibu Ufafanuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 44-48
|
|
8 |
Midterm break |
|||||||
9 | 1 |
Kusoma
|
Utungaji wa Kiuamilifu; Hotuba
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kuelezea muundo wa hotuba Kutaja vipengele muhimu vya hotuba mufti Kuandika hotuba kwa hati nadhifu. |
Kueleza
Kujadili Kuhutubu mbele ya darasa |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 49-50
|
|
9 | 2 |
Kuandika
|
Fasihi Simulizi; Mazungumzo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya isimujamii. Kufafanua maana ya sajili katika lugha. Kuigiza mazungumzo. |
Kusoma
Kuigiza Kujadili Kusikiliza Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu cha Fasihi Simulizi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 51-52
|
|
9 | 3 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Fasihi Simulizi; Malumbano ya Utani
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya utani. Kufafanua mwingililiano wa utani na utamaduni. Kutaja aina za utani. Kutunga utani mbalimbali. |
Kutamka
Kueleza Kujadili Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu cha Fasihi Simulizi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 52-53
|
|
9 | 4 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi andishi;
Matumizi ya lugha katika riwaya
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja matumizi ya lugha mbalimbali. Kutumia riwaya teule na kutoa mifano. Kufafanua jinsi lugha imetumiwa kukuta ujumbe. |
Kusoma
Kujadili Kueleza Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
9 | 5 |

9 | 6 |

10 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Fasihi Simulizi; Ulumbi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya ulumbi na kutoa mifano katika jamii. Kusoma mifano kitabuni na kuchambua. Kutofautisha ulumbi na tanzu nyinginezo. |
Kusikiliza
Kuuliza maswali Kuandika Kusoma Utafiti (kazi ya ziada) |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu cha Fasihi Simulizi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 53-54
|
|
10 | 2 |
Sarufi
|
Viwakilishi (W)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja aina za viwakilishi. Kueleza na kubainisha aina za viwakilishi. Kutumia viwakilishi katika sentensi kwa usahihi. |
Kueleza
Kusoma Kujadili Kuandika Kujibu maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 56-60
|
|
10 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina; Historia na Maendeleo ya Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja lahaja za Kiswahili na kule zinakozungumzwa. Kufafanua chimbuko la Kiswahili. Kueleza ushahidi wa kihistoria unaoonyeshwa kuwa kiswahili kilizungumzwa katika sehemu ya Afrika Mashariki. |
Kueleza
Kusoma Kujadili Kuandika Kujibu maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 60-62
|
|
10 | 4 |
Kuandika
|
Uandishi wa Insha; Insha ya Mazungumzo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza muundo wa mazungumzo. Kusoma mfano kitabuni na kufafanua kimtindo na ujumbe. Kuandika insha ya mazungumzo kwa njia ifaayo. |
Kueleza
Kujadili Kuandika Kuigiza mazungumzo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 62-63
|
|
10 | 5 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi andishi;
Maadili na mafunzo katika riwaya
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja maadili na mafunzo ya riwaya teule. Kufafanua maadili na mafunzo ya riwaya teule. Kueleza jinsi riwaya inaafikiana na matukio ya sasa katika jamii. |
Kusoma
Kujadili Maswali na majibu Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
10 | 6 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi andishi;
Maadili na mafunzo katika riwaya
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja maadili na mafunzo ya riwaya teule. Kufafanua maadili na mafunzo ya riwaya. Kueleza jinsi riwaya inaafikiana na matukio ya sasa katika jamii. |
Kusoma
Kujadili Maswali na majibu Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
11 | 1 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi andishi
|
|
|
|
|
|
11 | 2 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi andishi
|
|
|
|
|
|
11 | 3 |
Sarufi
|
Mwingiliano wa Maneno
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza sehemu mbili kuu za sentensi (KN na KT) Kutambua sifa za KN na KT. Kuonyesha KN na KT katika sentensi. |
Kueleza
Kusoma Kutunga sentensi Kuandika Kufanya zoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 69-70
|
|
11 | 4 |
Kuandika
|
Utungaji wa Kiuamilifu; Makala ya Redio na Runinga
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma habari kwa kina na kueleza yaliyomo. Kueleza umuhimu wa vyombo za habari. Kuandika makala yatakayosomwa katika kipindi kimojawapo cha redio. |
Maswali ya dodoso
Kusoma Kujadili Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Redio na vinasa sauti |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 71
|
|
11 | 5 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Isimujamii; Mahojiano kati ya Wataalamu Wawili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma kifungu na kueleza. Kueleza sifa za lugha (sajili) ya Wataalamu. Kupambanua mazungumzo kwa kuzingatia sajili. |
Kueleza
Kusoma Kujadili Kuigiza |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 72-73
|
|
11 | 6 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina; Fasihi andishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kupambanua falsafa ya mwandishi wa riwaya Kutaja maadili katika riwaya. Kuchambua vipengele tofauti za fasihi. |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha mbele ya darasa Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
12 | 1 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina;
Fasihi andishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kupambanua falsafa ya mwandishi wa riwaya. Kutaja maadili katika riwaya. Kuchambua vipengele tofauti za fasihi. |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha mbele ya darasa Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
12 | 2 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina;Fasihi andishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja maadili katika riwaya. Kuchambua vipengele tofauti za fasihi. |
Kusoma Kujadili
|
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kichocheo cha fasihi simulizi na andishi |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
12 | 3 |

12 | 4 |
Kusoma
|
Uchambuzi wa Fasihi Andishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza tofauti iliyopo baina ya riwaya, tamthilia na ushairi. Kutoa sababu zinazoweza kumfanya mwandishi kutumia lafudhi mbalimbali katika kazi yake. Kutaja lugha na mbinu au mitindo mbalimbali wanayotumia wasanii kuwasiliana na hadhira. |
Maelezo
Ufafanuzi. Ufaraguzi. Majadiliano. Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 75-80
|
|
12 | 5 |

12 | 6 |
Kuandika
|
Utungaji wa Kiuamilifi; Mialiko
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya barua ya mwaliko. Kutaja sifa za barua za mwaliko. Kuchora na kuandika kadi ya mwaliko. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kuchora |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 80-81
|
Your Name Comes Here