If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
2 | 4-5 |
Sarufi
kusoma Kuandika |
Nyakati na hali marudio
uzalendo mahojiano na dayolojia |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo kutambua kiambishi cha wakati na matumizi yake katika setensi mfano -li-( uliopita) walisherehekea kiambishi cha hali -me- timilifu wahalifu wamefungwa kutambua ukanushi katika kiambishi cha wakati nna kiambishi cha hali somo -kusoma kwa ufahamu -kujibu maswali kutambua aina za mahojiano |
Kutaja
Kueleza Kusoma Kuchambua Kufupisha |
kitabu Tamthilia kitabu |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 170-172
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 169-170 |
|
2 | 6 |
Fasihi
|
Uchambuzi:Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -kusoma kwa makini na ufahamu kila onyeso -kuchambua vilivyo maudhui |
Kusoma
Kuchambua |
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
|
3 | 1 |
Kusoma
|
Uraibu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -kusoma kwa ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu ipasavyo |
Kusoma
Jibu maswali |
kitabu |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 179-181
|
|
3 | 2 |
Kisikiliza na kuongea
|
Fasihi simulizi
Mafumbo
Misimu
Kazi mradi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo mwanfunzi kutambua maana ya mafumbo kueleza umuhimu wa mafumbo kutoa mifano ya mafumbo kueleza maana ya misimu kutoa mifano ya misimu |
Malumbano
|
Kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 177-179
|
|
3 | 3 |
Sarufi
kusoma |
Uakifishaji
Ukimwi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo Kuakifisha sentensi kutambua ukanushi katika kiambishi cha wakati nna kiambishi cha hali -kusoma kwa ufahamu -kujibu maswali |
Kutaja
Kueleza Kusoma Kuchambua |
kitabu
Tamthilia |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 181
|
|
3 | 4-5 |
Kuandika
Fasihi |
Barua meme
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo Kutambua maana ya barua meme Kuandika nukulishi somo -kusoma kwa makini /kuelewa -kchambua vipengele vya maudhui |
Kusoma
Kufupisha Kusoma Kuchambua |
kitabu Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 182-186
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. |
|
3 | 6 |
Kusoma
|
Shairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -kusoma kwa makini na kwa Shairi -kujibu maswali ya ufahamu |
Kusoma
Kujibu maswali |
Kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 188-189
|
|
4 | 1 |
Kusikiliza na kuongea
|
Vitenzi
Vitenzi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo Kutambua myambuliko wa vitenzi Kauli ya kutendeshwa, kutendesha na- kutendesheka Mfano Bakisha- bakishiwa- Kauli ya kutendesha na Kosesha- kosesheana Pimisha- pimishana Mifano katika sentensi Mzee aliinamishiwa tagaa atunde mapera Majitrani waliondosheana uhasam uliowatenganisha kwa muda mrefu |
Kusikiliza
kuzungumza |
Kitabu
kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 189-191
|
|
4 | 2 |
kuandika
|
Mazingira
fomu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -mwanfunnzi aweze kutumia utungaji wa kiuamilifu |
Kusoma Kufupisha |
Kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 4 Uk 192
|
|
4 | 3 |
Fasihi
|
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho …….. -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
|
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
|
4 | 4-5 |
Fasihi andishi
Kusoma Sarufi |
Kusoma na Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
Ufahamu Vitenzi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -kusoma na kueleza ploti katika onyesho la … -kuandika muhtasari wa matukio hayo somo -kusoma kwa makini na kwa Shairi -kujibu maswali ya ufahamu Kukunga sentesni kwa kauli ya kutendama Mafano Kwaa- kwama Tua- tuama Mifano kwa sentesni Pikipiki ilikuwama matopeni Kauli ya kutendata Mfano Fumba- fumbuta Kama- kamata Mifano kwa sentensi Askari walimkamata pwagu aliyenyakua rununu Halima alikokota rukwama iliyojaa shehena |
Kusoma kwa zamu
Kusoma Kujibu maswali Kusikiliza kuzungumza |
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
Kitabu kamusi |
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 188-189 |
|
4 | 6 |
Kusikiliza na kuongea
|
Methali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo kutambua methali Kutaja sifa za methali, dhima ya methali na kutoa mifano |
Kusikiliza
kuzungumza |
Kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 189-191
|
|
5 | 1 |
kuandika
|
Utungaji wa kisanii
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo mwanfunnzi aweze kutunga mashairi huru |
Kusoma Kufupisha |
Kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 4 Uk 198-199
|
|
5 | 2 |
Fasihi
Fasihi andishi |
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
Kusoma na kuchambuaNguu za jadi. na CLARA MOMANYI. |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho …….. -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu -kusoma na kueleza ploti katika onyesho la … -kuandika muhtasari wa matukio hayo |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
|
5 | 3 |
Kusoma
|
Urithi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -kusoma kwa makini ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu |
Kusoma
Kujibu maswali |
Kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 200-201
|
|
5 | 4-5 |
Sarufi
Kusikiliza na kuongea |
Vitenzi
Maghani |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo Kukunga sentesni kwa kauli ya kutenda na kauli ya kutendau Mafano Vaa- vua Umba-umbua Mifano kwa sentesni Ninavipanga viatbu vyangu , mtu asije akavipangua Kauli ya kutenduka Mifano kwa sentensi Siri ya wandani hao ilifichuka Mtego wa panya uliteguka somo kutambua Maghani Kutaja sifa za Maghani, dhima ya Maghani na kutoa mifano |
Kusikiliza
kuzungumza |
Kitabu
kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 202-203
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 200 |
|
5 | 6 |
kuandika
Fasihi |
Matangazo
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo mwanfunnzi aweze kuandika matangazo -kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho …….. -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kusoma
Kufupisha Kuchambua |
Kitabu
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 4 Uk 203-204
|
|
6 | 1 |
Fasihi andishi
|
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -kusoma na kueleza ploti katika onyesho la … -kuandika muhtasari wa matukio hayo |
Kusoma kwa zamu
|
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
|
6 | 2 |
Kusoma
|
Mchezo wa kuigiza: tusikate miti ovyo!
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -kusoma kwa makini ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu |
Kusoma
Kujibu maswali |
Kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 208-209
|
|
6 | 3 |
Sarufi
|
Vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo Kukunga sentesni kwa kauli ya kutenda na kauli ya kutendea Mafano Mifano kwa sentesni La- kakangu hula mkate kila siku Kauli ya kutendwa Mifano kwa sentensi La-liwa- Pa-pewa |
Kusikiliza
kuzungumza |
Kitabu
kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 210-211
|
|
6 | 4-5 |
Kusikiliza na kuongea
kuandika Fasihi |
Ngomezi
Ripoti Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo kutambua Ngomezi Kutaja sifa za Ngomezi , dhima ya Ngomezi na kutoa mifano somo mwanfunnzi aweze kuandika repoti somo -kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho …….. -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kusikiliza
kuzungumza Kusoma Kufupisha Kuchambua |
Kitabu
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 206-207
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. |
|
6 | 6 |
Fasihi andishi
|
Kusoma na kuchambua Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -kusoma na kueleza ploti katika onyesho la … -kuandika muhtasari wa matukio hayo |
Kusoma kwa zamu
|
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
|
7-9 |
End year (mock) exam, marking and closing |
Your Name Comes Here