If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | 1-2 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma ufahamu Sarufi |
Matamshi bora: sauti tatanishi /b/ na /mb/
Isimu jamii
urafiki Mofimu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutamka sauti /b/ na /mb/ vizuri Kutunga senetensi kwa kutumia maneno yenye sauti hizi kueleza maana ya isimu jamii kuigiza mazungumzo yalivyotumika katika isimu jamii kutaja mifano ya msamiati somo Kusoma ufahamu na kuelezeamtirirko wa matukio Kujibu maswali kuhusu ufahamu Kutambua na kueleza maana ya misamiati yaliyotumika katika ufahamu kueleza maana ya urafiki na Madhumuni ya urafiki somo ; Kueleza maana ya mofimu Kutaja aina ya mofimu Kuonyesha matumizi ya umoja na wingi katika ngeli |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo Maswali dodoso Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 1-3) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) KLB Kiswahili kitukuzwe 2 (uk3_5) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
1 | 3 |
Sarufi
Kusoma |
Viambishi
Kusoma kwa kina |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya viambishi Kutambua aina za viambishi Kutumia viambishi vyema katika sentensi Kuelezea vipengele muhimu za fasihi Kuelezea maana ya tamthilia Kusoma tamthilia na kujibu maswali |
Kusoma
Maswali na majibu Majadiliana Kuandika Maelezo Majibu na maswali Mazungumzo |
Kamusi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kitabu Cha Mashairi |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(UK 7-9) |
|
1 | 4 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Utungaji wa kisanii-mchezo wa kuigiza
Matamshi bora |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutaja na kutambua vipengele muhimu katika mchezo wa kuigiza Kuandika mchezo wa kuigiza kuhusu jambo lolote Kutamka matamshi tatanishi /la/, /na/ na /ra / sahihi Kuigiza mazungumzo kati ya jopo na mtafuta kazi Kutambua vitu muhimu vinavyozingatiwa katika mahojiano |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo Maswali dodoso Kusoma |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 12) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
1 | 5 |
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi |
Magonjwa
Aina za maneno-nomino |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutabiri matukio katika ufahamu Kutaja aina ya magonjwa Kusoma ufahamu na kutambua misamiati yaliyotumika na maana Kueleza maana ya nomino Kutaja aina za nomino Kutumia nomino katika mazungumzo na sentensi vyema |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika Maswali na majibu Majadiliana |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk16-17) |
|
1 | 6 |
Kusoma
Kuandika Kusikiliza na kuzungumza |
Matumizi ya kamusi
Utangaji wa kuamilifu Matamshi bora-sauti tatanishi /g/ na /ng/ |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua sifa za kamusi Kutumia kamusi kutoa maelezo ya maneno fiche Kutambua mtindo unaofwatwa katika uandishi wa mahojiano Kutambua vipengee muhimu yanayozingatiwa katika uandishi wa mahojiano Kutamka maneno yaliyo na sauti tatanishi /g/ na /ng/ Kutumia maneno yenye sauti hizi katika mazungumzo na sentensi |
Maelezo
Majibu na maswali kuandika Mazungumzo Majadiliano Maswali na majibu Maswali dodoso Kusoma |
Kitabu Cha Mashairi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 20-21) |
|
2 | 1-2 |
fasihi simulizi
Kusoma kwa ufahamu Sarufi Kuandika |
vitendawili
vitendawili Aina za maneno-vivumishi Ilani |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutaja vitendawili Kutambua sifa na dhima za vitendawili Kutambua matumizi ya vitendawili Kueleza dhima, sifa na mifano ya chemsha bongo Kusoma ufahamu na kujibu maswali Kuelezea mtiririko wa matukio katika taarifa somo ; Kuelezea maana ya vivumishi Kutambua aina ya vivumishi Kutaja mifano ya vivumishi Kutumia vivumishi katika sentesi na mazungumzo Kueleza maana na umuhimu wa ilani Kutaja sifa za ilani na onyo Kutaja aina za ilani Kutengeneza ilani na onyo Kueleze tofauti za onyo na ilani |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika Maswali na majibu Majadiliana Maelezo Majibu na maswali kuandika Mazungumzo Majadiliano Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kitabu Cha Mashairi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 24-26) KLB Kiswahili kitukuzwe 2 (uk 30-37) |
|
2 | 3 |
Kusikiliza na na kuzungumza
|
Fasihi simulizi-hadithi
Tanakali za sauti |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua aina za hadithi Kutaja dhima na madhumuni ya hadithi za kale Kueleza sifa za hadithi za kale Kusoma aina ya hadithi katika kitabu cha wanafunzi Kutaja mifano za tanakali za sauti Kueleza maana ya tanakali za sauti Kueleza matumizi ya tanakali za sauti |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 43-49) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
2 | 4 |
Sarufi
Kusoma kwa kina Kusikiliza na kuzungumza |
Vivumishi 2
Riwaya Matamshi bora |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutaja aina za vivumishi Kutoa mifano ya aina yote ya vivumishi Kutumia vivumishi vyema katika sentensi Kueleza maana ya ya riwaya Kutaja aina za riwaya Kutaja vipengele za riwaya Kuandika hadithi fupi Kutambua na kutamka maneno yaliyo na sauti tatanishi /ch/ na /sh/ Kueleza maana ya misemo Kutaja aina ya misemo Kutambua madhumuni ya misemo |
Maelezo
Majibu na maswali kuandika Mazungumzo Majadiliano Maswali na majibu Maswali dodoso Kusoma |
Kitabu Cha Mashairi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 52-69) |
|
2 | 5 |
Kusoma
Sarufi |
Kajinga Acheza na Sensa
Vitenzi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma ufahamu na kueleza mtiririko wa matukio Kujibu maswali kuhusu ufahamu Kueleza maana ya vitenzi Kutaja aina za vitenzi Kutumia vitenzi katika mazungumzo na sentensi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika Maswali na majibu Majadiliana |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 75-78) |
|
2 | 6 |
Kusoma
Kuandika |
Lugha, utamaduni na katiba
Uandishi wa insha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma Makala katika kitabu cha mwanafunzi Kutabiri matukio katika Makala kabla ya kusoma Kutambua misamiati yaliyotumika katika Makala Kujibu maswali kuhusu Makala Kutambua muundo unaozingatiwa katika uandishi wa insha Kueleza mambo muhimu yakuzingatiwa katika uandishi wa insha Kuandika insha |
Maelezo
Majibu na maswali kuandika Mazungumzo Majadiliano Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mashairi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk82-84) |
|
3 | 1-2 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma Sarufi |
Matamshi bora -vitate vya sauti /b/ na /p/
Isimu jamii Ripoti kuhusu ukimwi Aina za maneno-vitenzi vishirikishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya vitate Kutaja maneno yaliyo na vitate vya sauti /b/ na /p/ Kuigiza mazungumzo kati ya deti na mhudumu Dondoa misamiati ya heshima yaliyotumika katika mazungumzo somo ; Kueleza maana ya ripoti Kufafanua ripoti Kutambua vipengele muhimu katika uandishi wa ripoti Kueleza maana ya vitenzi vishirikishi Kutaja aina ya vishirikishi Kutumia vishirikishi katika mazungumzo na sentensi vyema |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika Maswali dodoso Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika Maswali na majibu Majadiliana |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(up 87-88) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) KLB Kiswahili kitukuzwe 2 (uk 89-91) |
|
3 | 3 |
Kusoma kwa kina
Kuandika Kusikiliza na kuzungumza |
ushairi
Utungaji wa kiuaminifu -barua simu Matamshi bora; vitate /s/ na /sh/ |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya ushairi Kukariri ushairi Kueleza maana ya barua simu Kutaja mambo yanayozingatiwa katika uandishi wa barua simu Kuandika barua simu Kutamka maneno kwa ufasaha Kutumia vitate vyema katika sentensi Kueleza sifa za mazungumzo katika kituo ch polisi |
Maelezo
Majibu na maswali kuandika Mazungumzo Majadiliano Maswali na majibu Maswali dodoso Kusoma |
Kitabu Cha Mashairi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 95-96) |
|
3 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma |
Isimu jamii
Kusoma kwa kina-shairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza sifa za mazungumzo katika kituo cha polisi Kuigiza mazungumzo katika kituo cha polisi Kuchambua shairi kutoka kwa diwani Kutaja vipengele vinavyounda shairi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 100-102) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
3 | 5 |
Kuandika
|
Utungaji wa kiuamilifu-matangazo
Dayolojia |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua madhumini ya matangazo Kuandika matangazo Kutaja mambo muhimu ya kuzingaitiwa katika uandishi wa matangazo Kutaja njia za kupitisha matangazo Kueleza maana ya dayolojia Kuandika dayolojia Kueleza mtindo wa dayolojia Kusoma na kuigiza dayolojia |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 111-115) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
3 | 6 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa ufahamu |
Vitate vya sauti /s/ na /z/
Kusoma dondoo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua vitate vya sauti /s/ na /z/ na kuvitumia vyema katika sentensi. Kueleza maana ya vitanza ndimi. Kutambua na kutamka vitanza ndimi vyema. Kujibu maswali kutoka kwa Makala ya haki za Watoto kikamilifu Kusoma dondoo katika kitabu cha mwanafunzi vyema. Kueleza mtiririko wa mtukio katika dondoo. Kutambua wahusika katika dondoo. Kujiu maswali sahihi. |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo Maswali dodoso Kusoma |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk118-120) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
4 | 1-2 |
Sarufi
Kusoma kwa mapana Kuandika Kusoma kwa ufahamu Sarufi |
Viwakilishi
Janga la ukimwi Ratiba Ushairi -Usafi Vielezi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza kazi ya viwakilishi. Kutambua aina ya viwakilishi. Kujadili aina za viwakilishi na kutaja mifano. Kutumia viwakilishi vyema katika sentensi na mazungumzo Kusoma kifungu lenye mada Janga la ukimwi. Kujadili matukio katika kifunguu kicho. Kujibu maswali kuhusu kifungu somo ; Kueleza maana ya ratiba. Kutambua na kujadili vipengee muhimu katika ratiba. Kuandika ratiba . Kueleza maana ya hotuba. Kutambua na kujadili vipengee muhimu katika uandishi wa rotuba Kusoma ushairi katika kitabu cha mwanafunzi. Kujadili mabo yaliyozumngumziwa katika ushairi. Kutambua lengo la shairi hilo. Kujibu maswali kuhusu ushairi Kueleza maana ya vielezi. Kutaja na kujadili aina tofauti za vielezi. Kutoa mifano ya aina tofauti za vielezi. Kutumia vielezi vyema kwa kuunda sentensi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk122-129) KLB Kiswahili kitukuzwe 2 (uk132-134) |
|
4 | 3 |
Kusoma kwa mapana
Kuandika |
Hadithi fupi
Taarifa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya hadithi fupi. Kutaja na kujadili sifa za hadithi fupi. Kutaja mambo muhumu katika uandishi wa hadithi fupi.. Kuandika hadithi fupi Kueleza maana ya taarifa. Kutaja na kujadili sifa za taarifa. Kuandika taarifa kuhusu hali ya ukame. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk143) |
|
4 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa ufahamu |
Fasihi simulizi-maigizo
Ushairi -mwanamke |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya maigizo. Kutaja na kujadili aina tofauti za maigizo. Kujadili sifa za maigizo. Kueleza dhima ya maigizo Kusoma ushairi katika kitabu cha mwanafunzi. Kujadili mtindo uliotumika katika uandishi wa shairi hilo. |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo Maswali dodoso Kusoma |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk145-147) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
4 | 5 |
Sarufi
Kusoma kwa mapana |
Viunganishi
Matumizi ya kamusi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya viunganishi na kueleza manufaa yake katika sentensi. Kutaja mifano ya viunganishi . Kutumia viunganishi vyema katika sentensi Kutaja na kujadili matumizi ya kamusi. Kutumia kamusi kueleza maana ya misamiati ya bunge. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk148-150) |
|
4 | 6 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Unadishi wa insha
Mjadala |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua vipengee muhimu vya kuzingatiwa katikauandishi wa insha. Kuandika insha kuhusu mada aipendayo Kueleza maana ya mjadala. Kutaja wahusika katika mjadala. Kusoma mjadala katika kitabu cha mwanafunzi. Kujibu zoezi kikamilifu |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk151-152) |
|
5 | 1-2 |
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi Kusoma kwa mapana Kuandika Kusikiliza na kuzungumza |
Kusoma taarifa
Vihusishi Mtambo wa ATM Resipe Sauti tatanishi /f/ na /v/ Fasihi simulizi-Visasili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma taarifa katika kitabu cha mwnafunzi. Kujadili taarifa kwa kina. Kutaja aina mbalimbali ya vyakula Kueleza maana ya vihusishi. Kujadili matumizi ya vihusishi. Kutambua na kueleza aina mbalimbali ya vihusishi. Kutumia vihusishi vyema katika sentensi Kueleza maana ya ATM Kusoma taarifa kuhusu ATM. Kueleza alichojifunza kuhusu ATM Kueleza jinsi ya kutumia ATM Kujibu maswali kutoka kwa taarifa ipasavyo somo ; Kueleza maana ya resipe. Kujadili matumizi ya resipe. Kueleza mambo ya kuzingatiwa katika uundaji wa resipe. Kuunda resipe Kutambua maneno yenye sauti tatanishi /f/ na /v/ Kutamka vitanza ndimi ipasavyo. Kueleza maana ya visasili. Kujadili dhima ya visasili Kusoma kisa mfano ya kisasili kwenye kitabu cha mwanafunzi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika Maswali dodoso Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk155-157) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) KLB Kiswahili kitukuzwe 2 (uk164-165) |
|
5 | 3 |
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi |
Tarakilishi
Vihisishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya tarakilishi. Kutambua mifano ya tarakilishi. Kusoma Makala kuhusu tarakilishi. Kujibu maswali kuhusu Makala hiyo sahihi. Kueleza maana ya vihisishi Kujadili matumizi ya vihisishi. Kutaja mifano ya vihisishi. Kutumia vihusishi katika sentensi ipasvyo |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk170-172) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
5 | 4 |
Kusoma kwa mapana
Kuandika |
Ufisadi
Risala |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma Makala katikakitabu cha mwanafunzi. Kuipa kichwa mwafaka Makala hiyo. Kujadili mabo muhimu yaliyoangaziwa katika kifungu Kuleza maana ya risala. kujadili matumizi ya risala kutambua mifano ya risala. Kuandika risala |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk174-175) |
|
5 | 5 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa ufahamu Sarufi |
Ushairi simulizi-nyimbo
Ushairi -Mrija Vinyume vya vitenzi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kujadili sifa za nyimbo. Kutambua na kueleza aina mbalimbali ya nyimbo. Kuimba wimbo wa harusi ipasavyo. Kueleza maana ya semi. Kueleza matumizi ya misemo Kutoa mifano ya misemo Kueleza maana ya mrija. Kujadili muundo wa shairi Kukariri shairi lenye mada mrija Kueleza vinyume vya vitenzi. Kutumia vinyume vya vitenzi ipasavyo katika sentensi Kujibu maswali kutokna na vinyume vya vitenzi ipasavyo |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo Maswali dodoso Kusoma |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk177-181) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
5 | 6 |
Kusoma kwa mapana
Kuandika |
Jinsia
Utungaji wa kisanii |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya jinsia Kusoma Makala yeyote kuhusu jinsia. Kutaja vitu muhimu yaliyojadiliwa kuhusu jinsia Kutambua na kujadili aina ya mashairi. Kujadili sifa za shairi hizi. Kutaja vitu muhimu vya kuzingatiwa katika uundaji wa shairi hizi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk185) |
|
6 | 1-2 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa ufahamu Sarufi Kusoma kwa mapana |
Fasihi simulizi-methali
Ajira ya watoto Nyakati-hali ya ukanushaji Kusoma maktabani |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Eleza maana ya methali. Kueleza sifa za methali. Kutaja mifano ya methali kuu. Kujadili dhima ya methali Kutabiri matukio katika ufahamu. Kusoma ufahamu katika kitabu cha mwanafunzi kuhusu ajira ya Watoto. Kujibu maswali kuhusu ufahamu ipasavyo. somo ; Kueleza maana ya ukanushaji. Kutambua viambishi vinavyoonyesha wakati Kutumia ukanushaji ipasavyo katika sentensi. Kujadili kusoma maktabani. Kufanya utafiti kuhusu mazingira |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo Maswali dodoso Kusoma Maswali dodoso Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 187-190) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) KLB Kiswahili kitukuzwe 2 (uk 192-200) |
|
6 | 3 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Barua rasmi
Fasihi simulizi-Hekaya |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya barua rasmi. Taja sehemu tofauti za barua rasmi. Kutambua na kueleza miundo tofauti za barua rasmi. Kuandika barua rasmi kwa kuzingatia miundo tofauti Kueleza maana ya hekaya. Kusoma hekaya kwenye kitabu cha mwanafunzi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 200-204) |
|
6 | 4 |
Sarufi
Kusoma kwa mapana Kuandika |
Sentensi ya kiswahili
Umoja wa kitaifa Uandishi wa kawaida-Muhtasari |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutaja na kujadili aina tofauti ya sentensi. Kutoa mifano ya aina mbali mbali ya sentensi. Kutunga sentensi tofauti kotaka kwa maneno waliyopewa. Kujibu maswali kuhusu aina ya sentensi Kutafuta ujumbe kuhusu umoja wa kitaifa Kutaja manufaa ya umoja wa kimataifa. Kueleza jinsi ambavyo umoja wa kitaifa inaweza kufanikishwa. Kueleza maana ya muhtasari. Kujadili vipengee muhimu katika uandishi wa muhtasari. Kuandika muhtasari ya kisa cha Lubigisa. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk209-211) |
|
6 | 5 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa ufahamu |
Ushairi simulizi
Taarifa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya shairi simulizi. Kukariri shairi kwenye kitabu cha mwanafunzi wimbo wa uchumba. Kutafsiri maana ya wimbo huo. Kusoma tarifa kwenye kitabu cha mwanafunzi Kueleza mtiririko wa matukio katika kisa hicho. Kutambua misemo yaliyotumika katika kifungu,kueleza maana yao na kuyatumia vyema. Kujibu maswali kuhusu ufahamu ipasavyo. |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo Maswali dodoso Kusoma |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk213) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
6 | 6 |
Sarufi
Kusoma kwa mapana |
Mnyambuliko wa vitenzi
Afya |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Taja njia mbalimbali jinsi vitenzi vinanyambuliwa. Nyambua vitenzi ipasavyo. Kusoma taarifa katika kitabu cha mwanafunzi. Kueleza mtiririko wa matukia katika taarifa. Kujibu maswali kuhusu taarifa ipasavyo. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 215-217) |
|
7 | 1-2 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza Kusoma kwa ufahamu Sarufi |
Utungaji wa kiuamilifu
Majadiliano Nidhamu Uakifishaji |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutaja umuhimu wa orodha ya mambo. Kutaja na kueleza mikondo inayofuatwa katika uandishi wa orodha ya mambo. Kutengeneza orodha ya mambo. Eleza maana ya shajara Kutengeneza shajara ya siku. Kueleza maana ya majadiliano. Kusoma majadiliano katika kitabu cha mwanafunzi. Kutaja sifa za majadiliano. Kueleza maana ya muhtasari. Kutambua umuhimu wa muhtasari. somo ; Kusoma shairi kwenye kitabu cha mwanafunzi kichwa Nidhamu . Kutambua misemo yaliyotumika katika kifungu,kueleza maana yao na kuyatumia vyema. Kujibu maswali kuhusu shairi ipasavyo. Kueleza mtindo wa shairi hilo Kueleza maana ya uakifishaji. Kutambua na kueleza matumizi ya alama za uakifishaji. Kuakifisha sentensi husika ipasavyo. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 218-220) KLB Kiswahili kitukuzwe 2 (uk 224-226) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
7 | 3 |
Kusoma kwa mapana
Kuandika Kusikiliza na kuzungumza |
Maadili
Uandishi wa Insha - Methali Redio/Kanda za kunasia sauti |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya maadili. Kusoma taarifa kwenye kitabu cha mwanafunzi kwa mapana. Kutambua mambo muhimu yaliyozungumziwa katika taarifa. Kujibu maswali kuhusu taarifa ipasavyo. Kutambua mambo muhimu katika uandishi wa insha ya methali. Kujadili utunzi wa insha. Kuandika insha ya methali yeyote. Kutaja umuhimu wa redio. Kutambua vipindi tofauti vya redio na runinga. Kujadili ujumbe yanayojadiliwa katika vipindi hivi. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 227-230) |
|
7 | 4 |
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi |
Shairi-Njaa nipishe na kando
Usemi halisi na usemi wa taarifa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma Shairi kwenye kitabu cha mwanafunzi ..Njaa nipishe na kando Kujadili mtindo wa shairi hilo. Kueleza maana ya misamiati yaliyotumiwa. Eleza maana ya usemi halisi. Kutaja matumizi ya usemu halisi katika sentensi. Eleza maana ya usemi wa taarifa. Kutambua matumizi ya usemi wa taarifa. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 231-233) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
7 | 5 |
Kusoma kwa mapana
Kuandika |
Jana si leo
Utungaji wa kiuamilifu-Barua ;mialiko |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma taarifa katika kitabu cha mwanafunzi ..Jana si leo. Kueleza alichojifunza kutoka kwa taarifa. Kueleza maana ya mualiko. Kutambua sifa za mialiko. Kutaja na kujadili aina tofauti ya mialiko. Kuandika barua ya mualiko. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 235-236) |
|
7 | 6 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa ufahamu |
Maamkizi na mazungumzo;Hotuba
Safari yenye hatari |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya hotuba. Kujadili umuhimu wa hotuba. Kutambua na kujadili sehemu mbalimbali ya hotuba. Kusoma hotuba kwenye kitabu cha mwanafunzi. Kusoma kifungu kwenye kitabu cha mwanafunzi kichwa Safari yenye hatari Kueleza mtiririko wa matukio katika kisa hicho. Kutambua misemo yaliyotumika katika kifungu,kueleza maana yao na kuyatumia vyema. Kujibu maswali kuhusu ufahamu ipasavyo. |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo Maswali dodoso Kusoma |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 241-242) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
8 | 1-2 |
Sarufi
Kusoma kwa mapana Kuandika Kusikiliza na kuzungumza Kusoma kwa ufahamu |
Uundaji wa maneno
Matumizi ya tarakilishi Imla Daktari na mgonjwa Shairi-Kwaheri tunakuaga |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kujadili uundaji wa nomino kutokana na kitenzi. Kuunda nomino kutokana na nomino. Kueleza maana ya tarakilishi. Taja aina ya tarakilishi. Kutambua matumizi ya tarakilishi. Kueleza maana ya Imla. Kuandika kwa usahihi kifungu isomwayo na mwalimu. somo ; Kuugiza mazungumzo kati ya daktari na mgonjwa. Kutaja sifa za lugha ya mgonjwa na daktari. Kujadili uhusiano kati ya mgonjwa na daktari. Kusoma shairi kwenye kitabu cha mwanafunzi . Kujadili mtindo wa shairi hilo. Kueleza dhamira ya mwandishi wa shairi. Kujibu maswali kuhusu shairi ipasavyo. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika Majadiliano Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo Maswali dodoso Kusoma |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 245-246) KLB Kiswahili kitukuzwe 2 (uk 249-250) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
8 | 3 |
Sarufi
Kusoma kwa mapana |
Ukubwa na udogo
Matumizi ya kamusi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua umoja na wingi wa nomino. Kutumia umoja na wingi vyema katika sentensi. Kueleza jinsi ya kutumia kamusi. Kutambua matumizi ya kamusi. Kutumia kamusi kueleza maana ya misamiati. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 251-256) |
|
8 | 4 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza (Marudio0 |
Uandishi wa kawaida
Majadiliano |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya imla mchanganyiko. Kuandika sentensi wasomewayo na mwalimu. Kueleza maana ya majadiliano. Kusoma majadiliano katika kitabu cha mwanafunzi. Kutaja sifa za majadiliano. Kueleza maana ya muhtasari. Kutambua umuhimu wa muhtasari. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 257) |
|
8 | 5 |
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi Kusoma kwa mapana Kuandika |
Nidhamu
Uakifishaji Maadili Uandishi wa Insha - Methali |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma shairi kwenye kitabu cha mwanafunzi kichwa Nidhamu . Kutambua misemo yaliyotumika katika kifungu,kueleza maana yao na kuyatumia vyema. Kujibu maswali kuhusu shairi ipasavyo. Kueleza mtindo wa shairi hilo Kueleza maana ya uakifishaji. Kutambua na kueleza matumizi ya alama za uakifishaji. Kuakifisha sentensi husika ipasavyo. Kueleza maana ya maadili. Kusoma taarifa kwenye kitabu cha mwanafunzi kwa mapana. Kutambua mambo muhimu yaliyozungumziwa katika taarifa. Kujibu maswali kuhusu taarifa ipasavyo. Kutambua mambo muhimu katika uandishi wa insha ya methali. Kujadili utunzi wa insha. Kuandika insha ya methali yeyote. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 224-226) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
Your Name Comes Here