If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
2 | 3 |
Kusoma kwa kina
|
Riwaya
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya ya riwaya Kutaja aina za riwaya Kutaja vipengele za riwaya Kuandika hadithi fupi |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 69) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
2 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma |
Matamshi bora
Kajinga Acheza na Sensa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua na kutamka maneno yaliyo na sauti tatanishi /ch/ na /sh/ Kueleza maana ya misemo Kutaja aina ya misemo Kutambua madhumuni ya misemo Kusoma ufahamu na kueleza mtiririko wa matukio Kujibu maswali kuhusu ufahamu |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 71-75) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
2 | 5 |
Sarufi
Kusoma |
Vitenzi
Lugha, utamaduni na katiba |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya vitenzi Kutaja aina za vitenzi Kutumia vitenzi katika mazungumzo na sentensi Kusoma Makala katika kitabu cha mwanafunzi Kutabiri matukio katika Makala kabla ya kusoma Kutambua misamiati yaliyotumika katika Makala Kujibu maswali kuhusu Makala |
Kusoma
Maswali na majibu Majadiliana Kuandika Maelezo Majibu na maswali Mazungumzo |
Kamusi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kitabu Cha Mashairi |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(UK 78-82) |
|
3 | 1 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza Kusikiliza na kuzungumza |
Uandishi wa insha
Matamshi bora -vitate vya sauti /b/ na /p/ Isimu jamii |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua muundo unaozingatiwa katika uandishi wa insha Kueleza mambo muhimu yakuzingatiwa katika uandishi wa insha Kuandika insha Kueleza maana ya vitate Kutaja maneno yaliyo na vitate vya sauti /b/ na /p/ Kuigiza mazungumzo kati ya deti na mhudumu Dondoa misamiati ya heshima yaliyotumika katika mazungumzo |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo Maswali dodoso Kusoma |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 84-86) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
3 | 2 |
Kusoma
Sarufi |
Ripoti kuhusu ukimwi
Aina za maneno-vitenzi vishirikishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya ripoti Kufafanua ripoti Kutambua vipengele muhimu katika uandishi wa ripoti Kueleza maana ya vitenzi vishirikishi Kutaja aina ya vishirikishi Kutumia vishirikishi katika mazungumzo na sentensi vyema |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika Maswali na majibu Majadiliana |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 89-91) |
|
3 | 3 |
Kusoma kwa kina
Kuandika |
ushairi
Utungaji wa kiuaminifu -barua simu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya ushairi Kukariri ushairi Kueleza maana ya barua simu Kutaja mambo yanayozingatiwa katika uandishi wa barua simu Kuandika barua simu |
Maelezo
Majibu na maswali kuandika Mazungumzo Majadiliano Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mashairi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 95-96) |
|
3 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma |
Matamshi bora; vitate /s/ na /sh/
Isimu jamii Kusoma kwa kina-shairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutamka maneno kwa ufasaha Kutumia vitate vyema katika sentensi Kueleza sifa za mazungumzo katika kituo ch polisi Kueleza sifa za mazungumzo katika kituo cha polisi Kuigiza mazungumzo katika kituo cha polisi Kuchambua shairi kutoka kwa diwani Kutaja vipengele vinavyounda shairi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 97-100) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
3 | 5 |
Kuandika
|
Utungaji wa kiuamilifu-matangazo
Dayolojia |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua madhumini ya matangazo Kuandika matangazo Kutaja mambo muhimu ya kuzingaitiwa katika uandishi wa matangazo Kutaja njia za kupitisha matangazo Kueleza maana ya dayolojia Kuandika dayolojia Kueleza mtindo wa dayolojia Kusoma na kuigiza dayolojia |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 111-115) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
4 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa ufahamu |
Vitate vya sauti /s/ na /z/
Kusoma dondoo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua vitate vya sauti /s/ na /z/ na kuvitumia vyema katika sentensi. Kueleza maana ya vitanza ndimi. Kutambua na kutamka vitanza ndimi vyema. Kujibu maswali kutoka kwa Makala ya haki za Watoto kikamilifu Kusoma dondoo katika kitabu cha mwanafunzi vyema. Kueleza mtiririko wa mtukio katika dondoo. Kutambua wahusika katika dondoo. Kujiu maswali sahihi. |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo Maswali dodoso Kusoma |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk118-120) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
4 | 2 |
Sarufi
Kusoma kwa mapana Kuandika |
Viwakilishi
Janga la ukimwi Ratiba |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza kazi ya viwakilishi. Kutambua aina ya viwakilishi. Kujadili aina za viwakilishi na kutaja mifano. Kutumia viwakilishi vyema katika sentensi na mazungumzo Kusoma kifungu lenye mada Janga la ukimwi. Kujadili matukio katika kifunguu kicho. Kujibu maswali kuhusu kifungu Kueleza maana ya ratiba. Kutambua na kujadili vipengee muhimu katika ratiba. Kuandika ratiba . Kueleza maana ya hotuba. Kutambua na kujadili vipengee muhimu katika uandishi wa rotuba |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk122-129) |
|
4 | 3 |
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi |
Ushairi -Usafi
Vielezi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma ushairi katika kitabu cha mwanafunzi. Kujadili mabo yaliyozumngumziwa katika ushairi. Kutambua lengo la shairi hilo. Kujibu maswali kuhusu ushairi Kueleza maana ya vielezi. Kutaja na kujadili aina tofauti za vielezi. Kutoa mifano ya aina tofauti za vielezi. Kutumia vielezi vyema kwa kuunda sentensi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk136-138) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
4 | 4 |
Kusoma kwa mapana
Kuandika |
Hadithi fupi
Taarifa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya hadithi fupi. Kutaja na kujadili sifa za hadithi fupi. Kutaja mambo muhumu katika uandishi wa hadithi fupi.. Kuandika hadithi fupi Kueleza maana ya taarifa. Kutaja na kujadili sifa za taarifa. Kuandika taarifa kuhusu hali ya ukame. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk143) |
|
4 | 5 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa ufahamu Sarufi |
Fasihi simulizi-maigizo
Ushairi -mwanamke Viunganishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya maigizo. Kutaja na kujadili aina tofauti za maigizo. Kujadili sifa za maigizo. Kueleza dhima ya maigizo Kusoma ushairi katika kitabu cha mwanafunzi. Kujadili mtindo uliotumika katika uandishi wa shairi hilo. Kueleza maana ya viunganishi na kueleza manufaa yake katika sentensi. Kutaja mifano ya viunganishi . Kutumia viunganishi vyema katika sentensi |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo Maswali dodoso Kusoma |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk145-147) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
5 | 1 |
Kusoma kwa mapana
Kuandika |
Matumizi ya kamusi
Unadishi wa insha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutaja na kujadili matumizi ya kamusi. Kutumia kamusi kueleza maana ya misamiati ya bunge. Kutambua vipengee muhimu vya kuzingatiwa katikauandishi wa insha. Kuandika insha kuhusu mada aipendayo |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk150-151) |
|
5 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa ufahamu |
Mjadala
Kusoma taarifa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya mjadala. Kutaja wahusika katika mjadala. Kusoma mjadala katika kitabu cha mwanafunzi. Kujibu zoezi kikamilifu Kusoma taarifa katika kitabu cha mwnafunzi. Kujadili taarifa kwa kina. Kutaja aina mbalimbali ya vyakula |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo Maswali dodoso Kusoma |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk153-154) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
5 | 3 |
Sarufi
Kusoma kwa mapana Kuandika |
Vihusishi
Mtambo wa ATM Resipe |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya vihusishi. Kujadili matumizi ya vihusishi. Kutambua na kueleza aina mbalimbali ya vihusishi. Kutumia vihusishi vyema katika sentensi Kueleza maana ya ATM Kusoma taarifa kuhusu ATM. Kueleza alichojifunza kuhusu ATM Kueleza jinsi ya kutumia ATM Kujibu maswali kutoka kwa taarifa ipasavyo Kueleza maana ya resipe. Kujadili matumizi ya resipe. Kueleza mambo ya kuzingatiwa katika uundaji wa resipe. Kuunda resipe |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk157-159) |
|
5 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa ufahamu |
Sauti tatanishi /f/ na /v/
Fasihi simulizi-Visasili
Tarakilishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua maneno yenye sauti tatanishi /f/ na /v/ Kutamka vitanza ndimi ipasavyo. Kueleza maana ya visasili. Kujadili dhima ya visasili Kusoma kisa mfano ya kisasili kwenye kitabu cha mwanafunzi Kueleza maana ya tarakilishi. Kutambua mifano ya tarakilishi. Kusoma Makala kuhusu tarakilishi. Kujibu maswali kuhusu Makala hiyo sahihi. |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo Maswali dodoso Kusoma |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk166-170) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
5 | 5 |
Sarufi
Kusoma kwa mapana |
Vihisishi
Ufisadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya vihisishi Kujadili matumizi ya vihisishi. Kutaja mifano ya vihisishi. Kutumia vihusishi katika sentensi ipasvyo Kusoma Makala katikakitabu cha mwanafunzi. Kuipa kichwa mwafaka Makala hiyo. Kujadili mabo muhimu yaliyoangaziwa katika kifungu |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk172-174) |
|
6 | 1 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza Kusoma kwa ufahamu |
Risala
Ushairi simulizi-nyimbo Ushairi -Mrija |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kuleza maana ya risala. kujadili matumizi ya risala kutambua mifano ya risala. Kuandika risala Kujadili sifa za nyimbo. Kutambua na kueleza aina mbalimbali ya nyimbo. Kuimba wimbo wa harusi ipasavyo. Kueleza maana ya semi. Kueleza matumizi ya misemo Kutoa mifano ya misemo Kueleza maana ya mrija. Kujadili muundo wa shairi Kukariri shairi lenye mada mrija |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk175-176) |
|
6 | 2 |
Sarufi
Kuandika |
Vinyume vya vitenzi
Utungaji wa kisanii |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza vinyume vya vitenzi. Kutumia vinyume vya vitenzi ipasavyo katika sentensi Kujibu maswali kutokna na vinyume vya vitenzi ipasavyo Kutambua na kujadili aina ya mashairi. Kujadili sifa za shairi hizi. Kutaja vitu muhimu vya kuzingatiwa katika uundaji wa shairi hizi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk183-185) |
|
6 | 3 |
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi |
Fasihi simulizi-methali
Nyakati-hali ya ukanushaji |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Eleza maana ya methali. Kueleza sifa za methali. Kutaja mifano ya methali kuu. Kujadili dhima ya methali Kueleza maana ya ukanushaji. Kutambua viambishi vinavyoonyesha wakati Kutumia ukanushaji ipasavyo katika sentensi. |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo Maswali dodoso Kusoma |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 187-190) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
6 | 4 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Barua rasmi
Uandishi wa kawaida-Muhtasari Ushairi simulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya barua rasmi. Taja sehemu tofauti za barua rasmi. Kutambua na kueleza miundo tofauti za barua rasmi. Kuandika barua rasmi kwa kuzingatia miundo tofauti Kueleza maana ya muhtasari. Kujadili vipengee muhimu katika uandishi wa muhtasari. Kuandika muhtasari ya kisa cha Lubigisa. Kueleza maana ya shairi simulizi. Kukariri shairi kwenye kitabu cha mwanafunzi wimbo wa uchumba. Kutafsiri maana ya wimbo huo. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 200-204) |
|
6 | 5 |
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi |
Taarifa
Mnyambuliko wa vitenzi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma tarifa kwenye kitabu cha mwanafunzi Kueleza mtiririko wa matukio katika kisa hicho. Kutambua misemo yaliyotumika katika kifungu,kueleza maana yao na kuyatumia vyema. Kujibu maswali kuhusu ufahamu ipasavyo. Taja njia mbalimbali jinsi vitenzi vinanyambuliwa. Nyambua vitenzi ipasavyo. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 214-215) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
7 | 1 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Utungaji wa kiuamilifu
Majadiliano |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutaja umuhimu wa orodha ya mambo. Kutaja na kueleza mikondo inayofuatwa katika uandishi wa orodha ya mambo. Kutengeneza orodha ya mambo. Eleza maana ya shajara Kutengeneza shajara ya siku. Kueleza maana ya majadiliano. Kusoma majadiliano katika kitabu cha mwanafunzi. Kutaja sifa za majadiliano. Kueleza maana ya muhtasari. Kutambua umuhimu wa muhtasari. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 218-220) |
|
7 | 2 |
Sarufi
Kusoma kwa mapana Kuandika |
Uakifishaji
Maadili Uandishi wa Insha - Methali |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya uakifishaji. Kutambua na kueleza matumizi ya alama za uakifishaji. Kuakifisha sentensi husika ipasavyo. Kueleza maana ya maadili. Kusoma taarifa kwenye kitabu cha mwanafunzi kwa mapana. Kutambua mambo muhimu yaliyozungumziwa katika taarifa. Kujibu maswali kuhusu taarifa ipasavyo. Kutambua mambo muhimu katika uandishi wa insha ya methali. Kujadili utunzi wa insha. Kuandika insha ya methali yeyote. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 226-227) |
|
7 | 3 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa ufahamu |
Redio/Kanda za kunasia sauti
Shairi-Njaa nipishe na kando |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutaja umuhimu wa redio. Kutambua vipindi tofauti vya redio na runinga. Kujadili ujumbe yanayojadiliwa katika vipindi hivi. Kusoma Shairi kwenye kitabu cha mwanafunzi ..Njaa nipishe na kando Kujadili mtindo wa shairi hilo. Kueleza maana ya misamiati yaliyotumiwa. |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo Maswali dodoso Kusoma |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 231) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
7 | 4 |
Sarufi
Kusoma kwa mapana |
Usemi halisi na usemi wa taarifa
Jana si leo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Eleza maana ya usemi halisi. Kutaja matumizi ya usemu halisi katika sentensi. Eleza maana ya usemi wa taarifa. Kutambua matumizi ya usemi wa taarifa. Kusoma taarifa katika kitabu cha mwanafunzi ..Jana si leo. Kueleza alichojifunza kutoka kwa taarifa. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 233-235) |
|
7 | 5 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza Kusoma kwa ufahamu |
Utungaji wa kiuamilifu-Barua ;mialiko
Maamkizi na mazungumzo;Hotuba Safari yenye hatari |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya mualiko. Kutambua sifa za mialiko. Kutaja na kujadili aina tofauti ya mialiko. Kuandika barua ya mualiko. Kueleza maana ya hotuba. Kujadili umuhimu wa hotuba. Kutambua na kujadili sehemu mbalimbali ya hotuba. Kusoma hotuba kwenye kitabu cha mwanafunzi. Kusoma kifungu kwenye kitabu cha mwanafunzi kichwa Safari yenye hatari Kueleza mtiririko wa matukio katika kisa hicho. Kutambua misemo yaliyotumika katika kifungu,kueleza maana yao na kuyatumia vyema. Kujibu maswali kuhusu ufahamu ipasavyo. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 237-240) |
|
8 | 1 |
Sarufi
Kusoma kwa mapana |
Uundaji wa maneno
Matumizi ya tarakilishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kujadili uundaji wa nomino kutokana na kitenzi. Kuunda nomino kutokana na nomino. Kueleza maana ya tarakilishi. Taja aina ya tarakilishi. Kutambua matumizi ya tarakilishi. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 245-246) |
|
8 | 2 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Imla
Daktari na mgonjwa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya Imla. Kuandika kwa usahihi kifungu isomwayo na mwalimu. Kuugiza mazungumzo kati ya daktari na mgonjwa. Kutaja sifa za lugha ya mgonjwa na daktari. Kujadili uhusiano kati ya mgonjwa na daktari. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 248) |
|
8 | 3 |
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi Kusoma kwa mapana |
Shairi-Kwaheri tunakuaga
Ukubwa na udogo Matumizi ya kamusi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma shairi kwenye kitabu cha mwanafunzi . Kujadili mtindo wa shairi hilo. Kueleza dhamira ya mwandishi wa shairi. Kujibu maswali kuhusu shairi ipasavyo. Kutambua umoja na wingi wa nomino. Kutumia umoja na wingi vyema katika sentensi. Kueleza jinsi ya kutumia kamusi. Kutambua matumizi ya kamusi. Kutumia kamusi kueleza maana ya misamiati. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 250-251) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
8 | 4 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza (Marudio0 |
Uandishi wa kawaida
Majadiliano |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya imla mchanganyiko. Kuandika sentensi wasomewayo na mwalimu. Kueleza maana ya majadiliano. Kusoma majadiliano katika kitabu cha mwanafunzi. Kutaja sifa za majadiliano. Kueleza maana ya muhtasari. Kutambua umuhimu wa muhtasari. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 257) |
|
8 | 5 |
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi Kusoma kwa mapana Kuandika |
Nidhamu
Uakifishaji Maadili Uandishi wa Insha - Methali |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma shairi kwenye kitabu cha mwanafunzi kichwa Nidhamu . Kutambua misemo yaliyotumika katika kifungu,kueleza maana yao na kuyatumia vyema. Kujibu maswali kuhusu shairi ipasavyo. Kueleza mtindo wa shairi hilo Kueleza maana ya uakifishaji. Kutambua na kueleza matumizi ya alama za uakifishaji. Kuakifisha sentensi husika ipasavyo. Kueleza maana ya maadili. Kusoma taarifa kwenye kitabu cha mwanafunzi kwa mapana. Kutambua mambo muhimu yaliyozungumziwa katika taarifa. Kujibu maswali kuhusu taarifa ipasavyo. Kutambua mambo muhimu katika uandishi wa insha ya methali. Kujadili utunzi wa insha. Kuandika insha ya methali yeyote. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 224-226) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
Your Name Comes Here