If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 |
Opening And Revision of Last term Exams |
|||||||
2 | 1 |
Sarufi
|
Uakifishaji
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya uakifishaji. Kutambua na kueleza matumizi ya alama za uakifishaji. Kuakifisha sentensi husika ipasavyo. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 226-227) |
|
2 | 2 |

2 | 3-4 |
Kusoma kwa mapana
|
Maadili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya maadili. Kusoma taarifa kwenye kitabu cha mwanafunzi kwa mapana. Kutambua mambo muhimu yaliyozungumziwa katika taarifa. Kujibu maswali kuhusu taarifa ipasavyo. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 227-230) |
|
2 | 5 |

2 | 6 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Redio/Kanda za kunasia sauti
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutaja umuhimu wa redio. Kutambua vipindi tofauti vya redio na runinga. Kujadili ujumbe yanayojadiliwa katika vipindi hivi. |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 231) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
3 | 1 |
Kusoma kwa ufahamu
|
Shairi-Njaa nipishe na kando
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma Shairi kwenye kitabu cha mwanafunzi ..Njaa nipishe na kando Kujadili mtindo wa shairi hilo. Kueleza maana ya misamiati yaliyotumiwa. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 231-233) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
3 | 2 |

3 | 3-4 |

3 | 5 |
Sarufi
|
Usemi halisi na usemi wa taarifa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Eleza maana ya usemi halisi. Kutaja matumizi ya usemu halisi katika sentensi. Eleza maana ya usemi wa taarifa. Kutambua matumizi ya usemi wa taarifa. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 233-235) |
|
3 | 6 |

4 | 1 |
Kusoma kwa mapana
|
Jana si leo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma taarifa katika kitabu cha mwanafunzi ..Jana si leo. Kueleza alichojifunza kutoka kwa taarifa. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 235-236) |
|
4 | 2 |

4 | 3-4 |
Kusoma kwa mapana
Kusikiliza na kuzungumza |
Jana si leo
Maamkizi na mazungumzo;Hotuba |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma taarifa katika kitabu cha mwanafunzi ..Jana si leo. Kueleza alichojifunza kutoka kwa taarifa. somo ; Kueleza maana ya hotuba. Kujadili umuhimu wa hotuba. Kutambua na kujadili sehemu mbalimbali ya hotuba. Kusoma hotuba kwenye kitabu cha mwanafunzi. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika Majadiliano Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 235-236) KLB Kiswahili kitukuzwe 2 (uk 241-242) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
4 | 5 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Maamkizi na mazungumzo;Hotuba
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya hotuba. Kujadili umuhimu wa hotuba. Kutambua na kujadili sehemu mbalimbali ya hotuba. Kusoma hotuba kwenye kitabu cha mwanafunzi. |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 241-242) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
4 | 6 |
Sarufi
|
Uundaji wa maneno
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kujadili uundaji wa nomino kutokana na kitenzi. Kuunda nomino kutokana na nomino. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 245-246) |
|
5 | 1 |
Kusoma kwa mapana
|
Matumizi ya tarakilishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya tarakilishi. Taja aina ya tarakilishi. Kutambua matumizi ya tarakilishi. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 247-248) |
|
5 | 2 |

5 | 3-4 |

5 | 5 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Daktari na mgonjwa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kuugiza mazungumzo kati ya daktari na mgonjwa. Kutaja sifa za lugha ya mgonjwa na daktari. Kujadili uhusiano kati ya mgonjwa na daktari. |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 249-250) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
5 | 6 |

6 | 1 |
Kusoma kwa ufahamu
|
Shairi-Kwaheri tunakuaga
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma shairi kwenye kitabu cha mwanafunzi . Kujadili mtindo wa shairi hilo. Kueleza dhamira ya mwandishi wa shairi. Kujibu maswali kuhusu shairi ipasavyo. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 250-251) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
6 | 2 |

6 | 3-4 |
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi |
Shairi-Kwaheri tunakuaga
Ukubwa na udogo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma shairi kwenye kitabu cha mwanafunzi . Kujadili mtindo wa shairi hilo. Kueleza dhamira ya mwandishi wa shairi. Kujibu maswali kuhusu shairi ipasavyo. somo ; Kutambua umoja na wingi wa nomino. Kutumia umoja na wingi vyema katika sentensi. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 250-251) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) KLB Kiswahili kitukuzwe 2 (uk 251-256) |
|
6 | 5 |
Sarufi
|
Ukubwa na udogo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua umoja na wingi wa nomino. Kutumia umoja na wingi vyema katika sentensi. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 251-256) |
|
6 | 6 |

7 | 1 |
Kusoma kwa mapana
|
Matumizi ya kamusi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza jinsi ya kutumia kamusi. Kutambua matumizi ya kamusi. Kutumia kamusi kueleza maana ya misamiati. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 257) |
|
7 | 2 |

7 | 3-4 |
Kuandika
|
Uandishi wa kawaida
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya imla mchanganyiko. Kuandika sentensi wasomewayo na mwalimu. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 257) |
|
7 | 5 |

7 | 6 |
Kusoma kwa ufahamu
|
Nidhamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma shairi kwenye kitabu cha mwanafunzi kichwa Nidhamu . Kutambua misemo yaliyotumika katika kifungu,kueleza maana yao na kuyatumia vyema. Kujibu maswali kuhusu shairi ipasavyo. Kueleza mtindo wa shairi hilo |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 224-226) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
8 | 1 |
Sarufi
|
Uakifishaji
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya uakifishaji. Kutambua na kueleza matumizi ya alama za uakifishaji. Kuakifisha sentensi husika ipasavyo. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 226-227) |
|
8 | 2 |

8 | 3-4 |

8 | 5 |
Kusoma kwa mapana
|
Maadili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya maadili. Kusoma taarifa kwenye kitabu cha mwanafunzi kwa mapana. Kutambua mambo muhimu yaliyozungumziwa katika taarifa. Kujibu maswali kuhusu taarifa ipasavyo. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 227-230) |
|
8 | 5-6 |

9 |
End Of Term Exams |
|||||||
10 |
Marking And Closing of School |
Your Name Comes Here