If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1-2 |
Exam 1 |
|||||||
2 | 3 |
Kuandika
|
Uandishi wa insha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -kuandika isnha ya masimulizi |
Kutoa mifano
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 110-111
|
|
2 | 4 |
Kuandika
|
utungaji wa kiuamilifu
kumbukumbu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo Kuandika kumbukumbu |
Kusoma
kuandika |
kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 152
|
|
2 | 5 |
Kuandika
|
utungaji wa kiuamilifu
tahadhari
mahojiano na dayolojia |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo Kutambua aina mbili za tahadhari ilani na onyo kutambua aina za mahojiano |
Kuandika
kueleza Kusoma Kufupisha |
kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 165-166
|
|
2 | 6 |
Sarufi
|
Nyakati na hali marudio
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo kutambua kiambishi cha wakati na matumizi yake katika setensi mfano -li-( uliopita) walisherehekea kiambishi cha hali -me- timilifu wahalifu wamefungwa kutambua ukanushi katika kiambishi cha wakati nna kiambishi cha hali |
Kutaja
Kueleza |
kitabu |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 170-172
|
|
3 | 1-2 |
Kuandika
Kusoma |
mahojiano na dayolojia
Uraibu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo kutambua aina za mahojiano somo -kusoma kwa ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu ipasavyo |
Kusoma
Kufupisha Kusoma Jibu maswali |
kitabu |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 174
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 179-181 |
|
3 | 3 |
Kisikiliza na kuongea
|
Fasihi simulizi
Mafumbo
Misimu
Kazi mradi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo mwanfunzi kutambua maana ya mafumbo kueleza umuhimu wa mafumbo kutoa mifano ya mafumbo kueleza maana ya misimu kutoa mifano ya misimu |
Malumbano
|
Kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 177-179
|
|
3 | 4 |
Sarufi
Kuandika |
Uakifishaji
Barua meme |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo Kuakifisha sentensi kutambua ukanushi katika kiambishi cha wakati nna kiambishi cha hali Kutambua maana ya barua meme Kuandika nukulishi |
Kutaja
Kueleza Kusoma Kufupisha |
kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 181
|
|
3 | 5 |
Kusikiliza na kuongea
|
Vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo Kutambua myambuliko wa vitenzi Kauli ya kutendeshwa, kutendesha na- kutendesheka Mfano Bakisha- bakishiwa- Kauli ya kutendesha na Kosesha- kosesheana Pimisha- pimishana |
Kusikiliza
kuzungumza |
Kitabu
kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 189-191
|
|
3 | 6 |
Kusikiliza na kuongea
|
Vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo Kutambua myambuliko wa vitenzi Kauli ya kutendeshwa, kutendesha na- kutendesheka Mfano Bakisha- bakishiwa- Kauli ya kutendesha na Kosesha- kosesheana Pimisha- pimishana Mifano katika sentensi Mzee aliinamishiwa tagaa atunde mapera Majitrani waliondosheana uhasam uliowatenganisha kwa muda mrefu |
Kusikiliza
kuzungumza |
Kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 189-191
|
|
4 | 1-2 |
kuandika
|
Mazingira
fomu
Utungaji wa kisanii |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -mwanfunnzi aweze kutumia utungaji wa kiuamilifu somo mwanfunnzi aweze kutunga mashairi huru |
Kusoma Kufupisha |
Kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 4 Uk 192
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 4 Uk 198-199 |
|
4 | 3 |
Kusoma
|
Urithi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -kusoma kwa makini ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu |
Kusoma
Kujibu maswali |
Kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 200-201
|
|
4 | 4 |
Kusikiliza na kuongea
Sarufi |
Maghani
Vitenzi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo kutambua Maghani Kutaja sifa za Maghani, dhima ya Maghani na kutoa mifano somo Kukunga sentesni kwa kauli ya kutenda na kauli ya kutendea Mafano Mifano kwa sentesni La- kakangu hula mkate kila siku Kauli ya kutendwa Mifano kwa sentensi La-liwa- Pa-pewa |
Kusikiliza
kuzungumza |
Kitabu
kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 200
|
|
4 | 5 |
Kusikiliza na kuongea
|
Ngomezi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo kutambua Ngomezi Kutaja sifa za Ngomezi , dhima ya Ngomezi na kutoa mifano |
Kusikiliza
kuzungumza |
Kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 206-207
|
|
4 | 6 |
kuandika
|
Ripoti
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo mwanfunnzi aweze kuandika repoti |
Kusoma Kufupisha |
Kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 4 Uk 213-214
|
|
5 | 1-2 |
Fasihi
|
Hadithi fupi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na lugha |
Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
kitabu teule
|
|
5 | 3 |
Fasihi
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua ploti ya hadithi, dhamira, maudhui, lugha na wahusika katika hadithi |
Kujadiliana Kuuliza Kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
5 | 4 |
Fasihi
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na matumizi ya lugha |
Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
5 | 5 |
Fasihi
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na mbinu za lugha na za kisanaa ipasavyo |
Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
5 | 6 |
Fasihi
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na mbinu za lugha na za kisanaa |
Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
6 | 1-2 |

6 | 3 |

6 | 4 |
Fasihi
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na mbinu za lugha na za kisanaa katika hadithi fupi |
Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyinginee
|
|
6 | 5 |
Fasihi
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na mbinu za lugha na za kisanaa katika hadithi fupi |
Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
mapambazuko ya machweo na hadithi nyingine
|
|
6 | 5-6 |

7-8 |
Henrok Exam |
|||||||
9 |
Revision and closing |
Your Name Comes Here