Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
KIDATO CHA PILI
MWAKA WA 2024
MUHULA WA III

School




To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.











Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA MBINU VIFAA ASILIA MAONI
8 1
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa ufahamu
Ushairi simulizi
Taarifa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza maana ya shairi simulizi.
Kukariri shairi kwenye kitabu cha mwanafunzi wimbo wa uchumba.
Kutafsiri maana ya wimbo huo.
Kusoma tarifa kwenye kitabu cha mwanafunzi
Kueleza mtiririko wa matukio katika kisa hicho.
Kutambua misemo yaliyotumika katika kifungu,kueleza maana yao na kuyatumia vyema.
Kujibu maswali kuhusu ufahamu ipasavyo.
Majadiliano
Kuandika
Maswali na majibu
Mazungumzo
Maelezo
Maswali dodoso
Kusoma
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk213)
Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila)
8 2
Sarufi
Kusoma kwa mapana
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi
Mnyambuliko wa vitenzi
Afya
Utungaji wa kiuamilifu
Majadiliano
Nidhamu
Uakifishaji
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Taja njia mbalimbali jinsi vitenzi vinanyambuliwa.
Nyambua vitenzi ipasavyo.
Kusoma taarifa katika kitabu cha mwanafunzi.
Kueleza mtiririko wa matukia katika taarifa.
Kujibu maswali kuhusu taarifa ipasavyo.
Kutaja umuhimu wa orodha ya mambo.
Kutaja na kueleza mikondo inayofuatwa katika uandishi wa orodha ya mambo.
Kutengeneza orodha ya mambo.
Eleza maana ya shajara
Kutengeneza shajara ya siku.
Kueleza maana ya majadiliano.
Kusoma majadiliano katika kitabu cha mwanafunzi.
Kutaja sifa za majadiliano.
Kueleza maana ya muhtasari.
Kutambua umuhimu wa muhtasari.
Kusoma shairi kwenye kitabu cha mwanafunzi kichwa Nidhamu
.
Kutambua misemo yaliyotumika katika kifungu,kueleza maana yao na kuyatumia vyema.
Kujibu maswali kuhusu shairi ipasavyo.
Kueleza mtindo wa shairi hilo
Kueleza maana ya uakifishaji.
Kutambua na kueleza matumizi ya alama za uakifishaji.
Kuakifisha sentensi husika ipasavyo.
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Maswali na majibu
Mazungumzo
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 215-217)
8 3
Kusoma kwa mapana
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi
Kusoma kwa mapana
Maadili
Uandishi wa Insha - Methali
Redio/Kanda za kunasia sauti
Shairi-Njaa nipishe na kando
Usemi halisi na usemi wa taarifa
Jana si leo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza maana ya maadili.
Kusoma taarifa kwenye kitabu cha mwanafunzi kwa mapana.
Kutambua mambo muhimu yaliyozungumziwa katika taarifa.
Kujibu maswali kuhusu taarifa ipasavyo.
Kutambua mambo muhimu katika uandishi wa insha ya methali.
Kujadili utunzi wa insha.
Kuandika insha ya methali yeyote.
Kutaja umuhimu wa redio.
Kutambua vipindi tofauti vya redio na runinga.
Kujadili ujumbe yanayojadiliwa katika vipindi hivi.
Kusoma Shairi kwenye kitabu cha mwanafunzi ..Njaa nipishe na kando
Kujadili mtindo wa shairi hilo.
Kueleza maana ya misamiati yaliyotumiwa.
Eleza maana ya usemi halisi.
Kutaja matumizi ya usemu halisi katika sentensi.
Eleza maana ya usemi wa taarifa.
Kutambua matumizi ya usemi wa taarifa.
Kusoma taarifa katika kitabu cha mwanafunzi ..Jana si leo.
Kueleza alichojifunza kutoka kwa taarifa.
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Maswali na majibu
Mazungumzo
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 227-230)
8 4
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi
Kusoma kwa mapana
Kuandika
Utungaji wa kiuamilifu-Barua ;mialiko
Maamkizi na mazungumzo;Hotuba
Safari yenye hatari
Uundaji wa maneno
Matumizi ya tarakilishi
Imla
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza maana ya mualiko.
Kutambua sifa za mialiko.
Kutaja na kujadili aina tofauti ya mialiko.
Kuandika barua ya mualiko.
Kueleza maana ya hotuba.
Kujadili umuhimu wa hotuba.
Kutambua na kujadili sehemu mbalimbali ya hotuba.
Kusoma hotuba kwenye kitabu cha mwanafunzi.
Kusoma kifungu kwenye kitabu cha mwanafunzi kichwa Safari yenye hatari
Kueleza mtiririko wa matukio katika kisa hicho.
Kutambua misemo yaliyotumika katika kifungu,kueleza maana yao na kuyatumia vyema.
Kujibu maswali kuhusu ufahamu ipasavyo.
Kujadili uundaji wa nomino kutokana na kitenzi.
Kuunda nomino kutokana na nomino.
Kueleza maana ya tarakilishi.
Taja aina ya tarakilishi.
Kutambua matumizi ya tarakilishi.
Kueleza maana ya Imla.
Kuandika kwa usahihi kifungu isomwayo na mwalimu.
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Maswali na majibu
Mazungumzo
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 237-240)
8 5
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi
Kusoma kwa mapana
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza (Marudio0
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi
Kusoma kwa mapana
Kuandika
Daktari na mgonjwa
Shairi-Kwaheri tunakuaga
Ukubwa na udogo
Matumizi ya kamusi
Uandishi wa kawaida
Majadiliano
Nidhamu
Uakifishaji
Maadili
Uandishi wa Insha - Methali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kuugiza mazungumzo kati ya daktari na mgonjwa.
Kutaja sifa za lugha ya mgonjwa na daktari.
Kujadili uhusiano kati ya mgonjwa na daktari.
Kusoma shairi kwenye kitabu cha mwanafunzi .
Kujadili mtindo wa shairi hilo.
Kueleza dhamira ya mwandishi wa shairi.
Kujibu maswali kuhusu shairi ipasavyo.
Kutambua umoja na wingi wa nomino.
Kutumia umoja na wingi vyema katika sentensi.
Kueleza jinsi ya kutumia kamusi.
Kutambua matumizi ya kamusi.
Kutumia kamusi kueleza maana ya misamiati.
Kueleza maana ya imla mchanganyiko.
Kuandika sentensi wasomewayo na mwalimu.
Kueleza maana ya majadiliano.
Kusoma majadiliano katika kitabu cha mwanafunzi.
Kutaja sifa za majadiliano.
Kueleza maana ya muhtasari.
Kutambua umuhimu wa muhtasari.
Kusoma shairi kwenye kitabu cha mwanafunzi kichwa Nidhamu
.
Kutambua misemo yaliyotumika katika kifungu,kueleza maana yao na kuyatumia vyema.
Kueleza mtindo wa shairi hilo
Kueleza maana ya uakifishaji.
Kutambua na kueleza matumizi ya alama za uakifishaji.
Kuakifisha sentensi husika ipasavyo.
Kueleza maana ya maadili.
Kusoma taarifa kwenye kitabu cha mwanafunzi kwa mapana.
Kutambua mambo muhimu yaliyozungumziwa katika taarifa.
Kujibu maswali kuhusu taarifa ipasavyo.
Kutambua mambo muhimu katika uandishi wa insha ya methali.
Kujadili utunzi wa insha.
Kuandika insha ya methali yeyote.
Majadiliano
Kuandika
Maswali na majibu
Mazungumzo
Maelezo
Maswali dodoso
Kusoma
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 249-250)
Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila)

Your Name Comes Here


Download

Feedback