If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 |
Marundio ya mutihani ya mhura jana |
|||||||
2 | 1 |
Kusoma
Kisikiliza na kuongea |
uzalendo
Hotuba |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -kusoma kwa ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu ipasavyo mwanfunzi kusikiliaza hotuba kasha kujibu maswali |
Kusoma
Jibu maswali Malumbano |
kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 169-170
|
|
2 | 2 |
kusoma
|
uzalendo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -kusoma kwa ufahamu -kujibu maswali |
Kusoma
Kuchambua |
Tamthilia
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 169-170
|
|
2 | 3 |
Kuandika
|
mahojiano na dayolojia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo kutambua aina za mahojiano |
Kusoma
Kufupisha |
kitabu |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 174
|
|
2 | 4-5 |
Fasihi
Kusoma Kisikiliza na kuongea |
Uchambuzi: Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
Uzalendo Hotuba |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -kusoma kwa makini /kuelewa -kchambua vipengele vya maudhui -kusoma kwa ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu ipasavyo somo mwanfunzi kusikiliaza hotuba kasha kujibu maswali |
Kusoma
Kuchambua Kusoma Jibu maswali Malumbano |
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
kitabu |
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 168-169 |
|
2 | 6 |
Sarufi
|
Nyakati na hali marudio
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo kutambua kiambishi cha wakati na matumizi yake katika setensi mfano -li-( uliopita) walisherehekea kiambishi cha hali -me- timilifu wahalifu wamefungwa kutambua ukanushi katika kiambishi cha wakati nna kiambishi cha hali |
Kutaja
Kueleza |
kitabu |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 170-172
|
|
3 | 1 |
kusoma
Kuandika |
uzalendo
mahojiano na dayolojia |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -kusoma kwa ufahamu -kujibu maswali kutambua aina za mahojiano |
Kusoma
Kuchambua Kufupisha |
Tamthilia
kitabu |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 169-170
|
|
3 | 2 |
Fasihi
|
Uchambuzi:Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -kusoma kwa makini na ufahamu kila onyeso -kuchambua vilivyo maudhui |
Kusoma
Kuchambua |
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
|
3 | 3 |
Kusoma
|
Uraibu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -kusoma kwa ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu ipasavyo |
Kusoma
Jibu maswali |
kitabu |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 179-181
|
|
3 | 4-5 |
Kisikiliza na kuongea
Sarufi kusoma |
Fasihi simulizi
Mafumbo
Misimu
Kazi mradi
Uakifishaji Ukimwi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo mwanfunzi kutambua maana ya mafumbo kueleza umuhimu wa mafumbo kutoa mifano ya mafumbo kueleza maana ya misimu kutoa mifano ya misimu Kuakifisha sentensi kutambua ukanushi katika kiambishi cha wakati nna kiambishi cha hali somo -kusoma kwa ufahamu -kujibu maswali |
Malumbano
Kutaja Kueleza Kusoma Kuchambua |
Kitabu
Tamthilia |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 177-179
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 182 |
|
3 | 6 |
Kuandika
Fasihi |
Barua meme
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo Kutambua maana ya barua meme Kuandika nukulishi -kusoma kwa makini /kuelewa -kchambua vipengele vya maudhui |
Kusoma
Kufupisha Kuchambua |
kitabu
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 182-186
|
|
4 | 1 |
Kusoma
|
Shairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -kusoma kwa makini na kwa Shairi -kujibu maswali ya ufahamu |
Kusoma
Kujibu maswali |
Kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 188-189
|
|
4 | 2 |
Kusikiliza na kuongea
|
Vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo Kutambua myambuliko wa vitenzi Kauli ya kutendeshwa, kutendesha na- kutendesheka Mfano Bakisha- bakishiwa- Kauli ya kutendesha na Kosesha- kosesheana Pimisha- pimishana |
Kusikiliza
kuzungumza |
Kitabu
kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 189-191
|
|
4 | 3 |
Kusikiliza na kuongea
kuandika |
Vitenzi
Mazingira fomu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo Kutambua myambuliko wa vitenzi Kauli ya kutendeshwa, kutendesha na- kutendesheka Mfano Bakisha- bakishiwa- Kauli ya kutendesha na Kosesha- kosesheana Pimisha- pimishana Mifano katika sentensi Mzee aliinamishiwa tagaa atunde mapera Majitrani waliondosheana uhasam uliowatenganisha kwa muda mrefu -mwanfunnzi aweze kutumia utungaji wa kiuamilifu |
Kusikiliza
kuzungumza Kusoma Kufupisha |
Kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 189-191
|
|
4 | 4-5 |
Fasihi
Fasihi andishi |
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
Kusoma na Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho …….. -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu somo -kusoma na kueleza ploti katika onyesho la … -kuandika muhtasari wa matukio hayo |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
|
4 | 6 |
Kusoma
Sarufi |
Ufahamu
Vitenzi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -kusoma kwa makini na kwa Shairi -kujibu maswali ya ufahamu Kukunga sentesni kwa kauli ya kutendama Mafano Kwaa- kwama Tua- tuama Mifano kwa sentesni Pikipiki ilikuwama matopeni Kauli ya kutendata Mfano Fumba- fumbuta Kama- kamata Mifano kwa sentensi Askari walimkamata pwagu aliyenyakua rununu Halima alikokota rukwama iliyojaa shehena |
Kusoma
Kujibu maswali Kusikiliza kuzungumza |
Kitabu
kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 188-189
|
|
5 | 1 |
Kusikiliza na kuongea
|
Methali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo kutambua methali Kutaja sifa za methali, dhima ya methali na kutoa mifano |
Kusikiliza
kuzungumza |
Kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 189-191
|
|
5 | 2 |
kuandika
Fasihi |
Utungaji wa kisanii
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo mwanfunnzi aweze kutunga mashairi huru -kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho …….. -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kusoma
Kufupisha Kuchambua |
Kitabu
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 4 Uk 198-199
|
|
5 | 3 |
Fasihi andishi
|
Kusoma na kuchambuaNguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -kusoma na kueleza ploti katika onyesho la … -kuandika muhtasari wa matukio hayo |
Kusoma kwa zamu
|
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
|
5 | 4-5 |
Kusoma
Sarufi Kusikiliza na kuongea |
Urithi
Vitenzi Maghani |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -kusoma kwa makini ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu somo Kukunga sentesni kwa kauli ya kutenda na kauli ya kutendau Mafano Vaa- vua Umba-umbua Mifano kwa sentesni Ninavipanga viatbu vyangu , mtu asije akavipangua Kauli ya kutenduka Mifano kwa sentensi Siri ya wandani hao ilifichuka Mtego wa panya uliteguka somo kutambua Maghani Kutaja sifa za Maghani, dhima ya Maghani na kutoa mifano |
Kusoma
Kujibu maswali Kusikiliza kuzungumza |
Kitabu
Kitabu kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 200-201
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 202-203 |
|
5 | 6 |
kuandika
|
Matangazo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo mwanfunnzi aweze kuandika matangazo |
Kusoma Kufupisha |
Kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 4 Uk 203-204
|
|
6 | 1 |
Fasihi
|
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho …….. -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
|
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. a
|
|
6 | 2 |
Fasihi andishi
Kusoma |
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
Mchezo wa kuigiza: tusikate miti ovyo! |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -kusoma na kueleza ploti katika onyesho la … -kuandika muhtasari wa matukio hayo -kusoma kwa makini ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu |
Kusoma kwa zamu
Kusoma Kujibu maswali |
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
Kitabu |
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
|
6 | 3 |
Sarufi
|
Vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo Kukunga sentesni kwa kauli ya kutenda na kauli ya kutendea Mafano Mifano kwa sentesni La- kakangu hula mkate kila siku Kauli ya kutendwa Mifano kwa sentensi La-liwa- Pa-pewa |
Kusikiliza
kuzungumza |
Kitabu
kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 210-211
|
|
6 | 4-5 |
Kusikiliza na kuongea
kuandika Fasihi |
Ngomezi
Ripoti Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo kutambua Ngomezi Kutaja sifa za Ngomezi , dhima ya Ngomezi na kutoa mifano somo mwanfunnzi aweze kuandika repoti -kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho …….. -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kusikiliza
kuzungumza Kusoma Kufupisha Kuchambua |
Kitabu
Kitabu Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 206-207
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 4 Uk 213-214 |
|
6 | 6 |
Fasihi andishi
|
Kusoma na kuchambua Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -kusoma na kueleza ploti katika onyesho la … -kuandika muhtasari wa matukio hayo |
Kusoma kwa zamu
|
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
|
7-8 |
Mutihani |
|||||||
9 |
Mutihani na kufunga shule |
Your Name Comes Here