If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
2 | 6 |
Kusoma
|
uzalendo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -kusoma kwa ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu ipasavyo |
Kusoma
Jibu maswali |
kitabu |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 169-170
|
|
3 | 1 |
Kisikiliza na kuongea
kusoma |
Hotuba
uzalendo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo mwanfunzi kusikiliaza hotuba kasha kujibu maswali -kusoma kwa ufahamu -kujibu maswali |
Malumbano
Kusoma Kuchambua |
Kitabu
Tamthilia |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 168-169
|
|
3 | 2-3 |
Kuandika
Fasihi |
mahojiano na dayolojia
Uchambuzi: Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo kutambua aina za mahojiano somo -kusoma kwa makini /kuelewa -kchambua vipengele vya maudhui |
Kusoma
Kufupisha Kusoma Kuchambua |
kitabu Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 174
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. |
|
3 | 4 |
Kusoma
|
Uzalendo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -kusoma kwa ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu ipasavyo |
Kusoma
Jibu maswali |
kitabu |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 169-170
|
|
3 | 5 |
Kisikiliza na kuongea
Sarufi |
Hotuba
Nyakati na hali marudio |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo mwanfunzi kusikiliaza hotuba kasha kujibu maswali kutambua kiambishi cha wakati na matumizi yake katika setensi mfano -li-( uliopita) walisherehekea kiambishi cha hali -me- timilifu wahalifu wamefungwa kutambua ukanushi katika kiambishi cha wakati nna kiambishi cha hali |
Malumbano
Kutaja Kueleza |
Kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 168-169
|
|
3 | 6 |
kusoma
|
uzalendo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -kusoma kwa ufahamu -kujibu maswali |
Kusoma
Kuchambua |
Tamthilia
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 169-170
|
|
4 | 1 |
Kuandika
|
mahojiano na dayolojia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo kutambua aina za mahojiano |
Kusoma
Kufupisha |
kitabu |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 174
|
|
4 | 2-3 |
Fasihi
Kusoma Kisikiliza na kuongea |
Uchambuzi:Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
Uraibu Fasihi simulizi Mafumbo Misimu Kazi mradi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -kusoma kwa makini na ufahamu kila onyeso -kuchambua vilivyo maudhui somo -kusoma kwa ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu ipasavyo mwanfunzi kutambua maana ya mafumbo kueleza umuhimu wa mafumbo kutoa mifano ya mafumbo kueleza maana ya misimu kutoa mifano ya misimu |
Kusoma
Kuchambua Kusoma Jibu maswali Malumbano |
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
kitabu |
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 179-181 |
|
4 | 4 |
Sarufi
|
Uakifishaji
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo Kuakifisha sentensi kutambua ukanushi katika kiambishi cha wakati nna kiambishi cha hali |
Kutaja
Kueleza |
kitabu |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 181
|
|
4 | 5 |
kusoma
|
Ukimwi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -kusoma kwa ufahamu -kujibu maswali |
Kusoma
Kuchambua |
Tamthilia
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 182
|
|
4 | 6 |
Kuandika
|
Barua meme
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo Kutambua maana ya barua meme Kuandika nukulishi |
Kusoma
Kufupisha |
kitabu |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 182-186
|
|
5 | 1 |
Fasihi
Kusoma |
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
Shairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -kusoma kwa makini /kuelewa -kchambua vipengele vya maudhui -kusoma kwa makini na kwa Shairi -kujibu maswali ya ufahamu |
Kusoma
Kuchambua Kusoma Kujibu maswali |
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
Kitabu |
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
|
5 | 2-3 |
Kusikiliza na kuongea
|
Vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo Kutambua myambuliko wa vitenzi Kauli ya kutendeshwa, kutendesha na- kutendesheka Mfano Bakisha- bakishiwa- Kauli ya kutendesha na Kosesha- kosesheana Pimisha- pimishana somo Kutambua myambuliko wa vitenzi Kauli ya kutendeshwa, kutendesha na- kutendesheka Mfano Bakisha- bakishiwa- Kauli ya kutendesha na Kosesha- kosesheana Pimisha- pimishana Mifano katika sentensi Mzee aliinamishiwa tagaa atunde mapera Majitrani waliondosheana uhasam uliowatenganisha kwa muda mrefu |
Kusikiliza
kuzungumza |
Kitabu
kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 189-191
|
|
5 | 4 |
kuandika
|
Mazingira
fomu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -mwanfunnzi aweze kutumia utungaji wa kiuamilifu |
Kusoma Kufupisha |
Kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 4 Uk 192
|
|
5 | 5 |
Fasihi
|
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho …….. -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
|
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
|
5 | 6 |
Fasihi andishi
Kusoma |
Kusoma na Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -kusoma na kueleza ploti katika onyesho la … -kuandika muhtasari wa matukio hayo -kusoma kwa makini na kwa Shairi -kujibu maswali ya ufahamu |
Kusoma kwa zamu
Kusoma Kujibu maswali |
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
Kitabu |
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
|
6 |
Mtihani wa mwisho wa muhula |
|||||||
7 | 1 |
Sarufi
|
Vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo Kukunga sentesni kwa kauli ya kutendama Mafano Kwaa- kwama Tua- tuama Mifano kwa sentesni Pikipiki ilikuwama matopeni Kauli ya kutendata Mfano Fumba- fumbuta Kama- kamata Mifano kwa sentensi Askari walimkamata pwagu aliyenyakua rununu Halima alikokota rukwama iliyojaa shehena |
Kusikiliza
kuzungumza |
Kitabu
kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 189-191
|
|
7 | 2-3 |
Kusikiliza na kuongea
kuandika |
Methali
Utungaji wa kisanii |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo kutambua methali Kutaja sifa za methali, dhima ya methali na kutoa mifano somo mwanfunnzi aweze kutunga mashairi huru |
Kusikiliza
kuzungumza Kusoma Kufupisha |
Kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 189-191
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 4 Uk 198-199 |
|
7 | 4 |
Fasihi
Fasihi andishi |
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
Kusoma na kuchambuaNguu za jadi. na CLARA MOMANYI. |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho …….. -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu -kusoma na kueleza ploti katika onyesho la … -kuandika muhtasari wa matukio hayo |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
|
7 | 5 |
Kusoma
|
Urithi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -kusoma kwa makini ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu |
Kusoma
Kujibu maswali |
Kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 200-201
|
|
7 | 6 |
Sarufi
|
Vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo Kukunga sentesni kwa kauli ya kutenda na kauli ya kutendau Mafano Vaa- vua Umba-umbua Mifano kwa sentesni Ninavipanga viatbu vyangu , mtu asije akavipangua Kauli ya kutenduka Mifano kwa sentensi Siri ya wandani hao ilifichuka Mtego wa panya uliteguka |
Kusikiliza
kuzungumza |
Kitabu
kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 202-203
|
|
8 | 1 |
Kusikiliza na kuongea
|
Maghani
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo kutambua Maghani Kutaja sifa za Maghani, dhima ya Maghani na kutoa mifano |
Kusikiliza
kuzungumza |
Kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 200
|
|
8 | 2-3 |
kuandika
Fasihi Fasihi andishi |
Matangazo
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo mwanfunnzi aweze kuandika matangazo -kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho …….. -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu somo -kusoma na kueleza ploti katika onyesho la … -kuandika muhtasari wa matukio hayo |
Kusoma
Kufupisha Kuchambua Kusoma kwa zamu |
Kitabu
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 4 Uk 203-204
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. |
|
8 | 4 |
Kusoma
|
Mchezo wa kuigiza: tusikate miti ovyo!
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -kusoma kwa makini ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu |
Kusoma
Kujibu maswali |
Kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 208-209
|
|
8 | 5 |
Sarufi
|
Vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo Kukunga sentesni kwa kauli ya kutenda na kauli ya kutendea Mafano Mifano kwa sentesni La- kakangu hula mkate kila siku Kauli ya kutendwa Mifano kwa sentensi La-liwa- Pa-pewa |
Kusikiliza
kuzungumza |
Kitabu
kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 210-211
|
|
8 | 6 |
Kusikiliza na kuongea
kuandika |
Ngomezi
Ripoti |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo kutambua Ngomezi Kutaja sifa za Ngomezi , dhima ya Ngomezi na kutoa mifano somo mwanfunnzi aweze kuandika repoti |
Kusikiliza
kuzungumza Kusoma Kufupisha |
Kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 206-207
|
|
9 | 1 |
Fasihi
|
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho …….. -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
|
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
|
9 | 2 |
Fasihi andishi
|
Kusoma na kuchambua Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo -kusoma na kueleza ploti katika onyesho la … -kuandika muhtasari wa matukio hayo |
Kusoma kwa zamu
|
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
|
9 |
Mjarabu |
Your Name Comes Here