If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | 5 |
Kusoma ufahamu
|
urafiki
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo Kusoma ufahamu na kuelezeamtirirko wa matukio Kujibu maswali kuhusu ufahamu Kutambua na kueleza maana ya misamiati yaliyotumika katika ufahamu kueleza maana ya urafiki na Madhumuni ya urafiki |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk3_5) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
2 | 1 |
Sarufi
|
Mofimu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya mofimu Kutaja aina ya mofimu Kuonyesha matumizi ya umoja na wingi katika ngeli |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 5-7) |
|
2 | 2 |
Sarufi
|
Viambishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya viambishi Kutambua aina za viambishi Kutumia viambishi vyema katika sentensi |
Kusoma
Maswali na majibu Majadiliana Kuandika |
Kamusi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(UK 7-9) |
|
2 | 3-4 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Utungaji wa kisanii-mchezo wa kuigiza
Matamshi bora |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutaja na kutambua vipengele muhimu katika mchezo wa kuigiza Kuandika mchezo wa kuigiza kuhusu jambo lolote somo ; Kutamka matamshi tatanishi /la/, /na/ na /ra / sahihi Kuigiza mazungumzo kati ya jopo na mtafuta kazi Kutambua vitu muhimu vinavyozingatiwa katika mahojiano |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo Maswali dodoso Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 12) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) KLB Kiswahili kitukuzwe 2 (uk 14-15) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
2 | 5 |
fasihi simulizi
|
vitendawili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutaja vitendawili Kutambua sifa na dhima za vitendawili Kutambua matumizi ya vitendawili Kueleza dhima, sifa na mifano ya chemsha bongo |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 24-26) |
|
3 | 1 |
Kusoma kwa mapana
|
Hadithi fupi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya hadithi fupi. Kutaja na kujadili sifa za hadithi fupi. Kutaja mambo muhumu katika uandishi wa hadithi fupi.. Kuandika hadithi fupi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk143) |
|
3 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Ushairi simulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya shairi simulizi. Kukariri shairi kwenye kitabu cha mwanafunzi wimbo wa uchumba. Kutafsiri maana ya wimbo huo. |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk213) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
3 | 3-4 |
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi |
Taarifa
Mnyambuliko wa vitenzi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma tarifa kwenye kitabu cha mwanafunzi Kueleza mtiririko wa matukio katika kisa hicho. Kutambua misemo yaliyotumika katika kifungu,kueleza maana yao na kuyatumia vyema. Kujibu maswali kuhusu ufahamu ipasavyo. somo ; Taja njia mbalimbali jinsi vitenzi vinanyambuliwa. Nyambua vitenzi ipasavyo. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 214-215) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) KLB Kiswahili kitukuzwe 2 (uk 215-217) |
|
3 | 5 |
Kusoma kwa mapana
|
Afya
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma taarifa katika kitabu cha mwanafunzi. Kueleza mtiririko wa matukia katika taarifa. Kujibu maswali kuhusu taarifa ipasavyo. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 217- 218) |
|
4 | 1 |
Kuandika
|
Utungaji wa kiuamilifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutaja umuhimu wa orodha ya mambo. Kutaja na kueleza mikondo inayofuatwa katika uandishi wa orodha ya mambo. Kutengeneza orodha ya mambo. Eleza maana ya shajara Kutengeneza shajara ya siku. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 218-220) |
|
4 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Majadiliano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya majadiliano. Kusoma majadiliano katika kitabu cha mwanafunzi. Kutaja sifa za majadiliano. Kueleza maana ya muhtasari. Kutambua umuhimu wa muhtasari. |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 221-224) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
4 | 3-4 |
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi |
Nidhamu
Uakifishaji |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma shairi kwenye kitabu cha mwanafunzi kichwa Nidhamu . Kutambua misemo yaliyotumika katika kifungu,kueleza maana yao na kuyatumia vyema. Kujibu maswali kuhusu shairi ipasavyo. Kueleza mtindo wa shairi hilo somo ; Kueleza maana ya uakifishaji. Kutambua na kueleza matumizi ya alama za uakifishaji. Kuakifisha sentensi husika ipasavyo. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 224-226) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) KLB Kiswahili kitukuzwe 2 (uk 226-227) |
|
4 | 5 |
Kusoma kwa mapana
|
Maadili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya maadili. Kusoma taarifa kwenye kitabu cha mwanafunzi kwa mapana. Kutambua mambo muhimu yaliyozungumziwa katika taarifa. Kujibu maswali kuhusu taarifa ipasavyo. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 227-230) |
|
5 | 1 |
Kuandika
|
Uandishi wa Insha - Methali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua mambo muhimu katika uandishi wa insha ya methali. Kujadili utunzi wa insha. Kuandika insha ya methali yeyote. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 230) |
|
5 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa ufahamu |
Redio/Kanda za kunasia sauti
Shairi-Njaa nipishe na kando |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutaja umuhimu wa redio. Kutambua vipindi tofauti vya redio na runinga. Kujadili ujumbe yanayojadiliwa katika vipindi hivi. Kusoma Shairi kwenye kitabu cha mwanafunzi ..Njaa nipishe na kando Kujadili mtindo wa shairi hilo. Kueleza maana ya misamiati yaliyotumiwa. |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo Maswali dodoso Kusoma |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 231) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
5 | 3-4 |
Sarufi
Kusoma kwa mapana |
Usemi halisi na usemi wa taarifa
Jana si leo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Eleza maana ya usemi halisi. Kutaja matumizi ya usemu halisi katika sentensi. Eleza maana ya usemi wa taarifa. Kutambua matumizi ya usemi wa taarifa. somo ; Kusoma taarifa katika kitabu cha mwanafunzi ..Jana si leo. Kueleza alichojifunza kutoka kwa taarifa. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 233-235) KLB Kiswahili kitukuzwe 2 (uk 235-236) |
|
5 | 5 |
Kuandika
|
Utungaji wa kiuamilifu-Barua ;mialiko
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya mualiko. Kutambua sifa za mialiko. Kutaja na kujadili aina tofauti ya mialiko. Kuandika barua ya mualiko. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 237-240) |
|
6 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Maamkizi na mazungumzo;Hotuba
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya hotuba. Kujadili umuhimu wa hotuba. Kutambua na kujadili sehemu mbalimbali ya hotuba. Kusoma hotuba kwenye kitabu cha mwanafunzi. |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 241-242) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
6 | 2 |
Kusoma kwa ufahamu
|
Safari yenye hatari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma kifungu kwenye kitabu cha mwanafunzi kichwa Safari yenye hatari Kueleza mtiririko wa matukio katika kisa hicho. Kutambua misemo yaliyotumika katika kifungu,kueleza maana yao na kuyatumia vyema. Kujibu maswali kuhusu ufahamu ipasavyo. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 243-245) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
6 | 3-4 |
Sarufi
Kusoma kwa mapana |
Uundaji wa maneno
Matumizi ya tarakilishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kujadili uundaji wa nomino kutokana na kitenzi. Kuunda nomino kutokana na nomino. somo ; Kueleza maana ya tarakilishi. Taja aina ya tarakilishi. Kutambua matumizi ya tarakilishi. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 245-246) KLB Kiswahili kitukuzwe 2 (uk 247-248) |
|
6 | 5 |
Kuandika
|
Imla
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya Imla. Kuandika kwa usahihi kifungu isomwayo na mwalimu. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 248) |
|
7 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Daktari na mgonjwa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kuugiza mazungumzo kati ya daktari na mgonjwa. Kutaja sifa za lugha ya mgonjwa na daktari. Kujadili uhusiano kati ya mgonjwa na daktari. |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 249-250) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
7 | 2 |
Kusoma kwa ufahamu
|
Shairi-Kwaheri tunakuaga
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma shairi kwenye kitabu cha mwanafunzi . Kujadili mtindo wa shairi hilo. Kueleza dhamira ya mwandishi wa shairi. Kujibu maswali kuhusu shairi ipasavyo. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 250-251) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
7 | 3-4 |
Sarufi
Kusoma kwa mapana |
Ukubwa na udogo
Matumizi ya kamusi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua umoja na wingi wa nomino. Kutumia umoja na wingi vyema katika sentensi. somo ; Kueleza jinsi ya kutumia kamusi. Kutambua matumizi ya kamusi. Kutumia kamusi kueleza maana ya misamiati. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 251-256) KLB Kiswahili kitukuzwe 2 (uk 257) |
|
7 | 5 |
Kuandika
|
Uandishi wa kawaida
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya imla mchanganyiko. Kuandika sentensi wasomewayo na mwalimu. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 257) |
|
8 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza (Marudio0
|
Majadiliano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya majadiliano. Kusoma majadiliano katika kitabu cha mwanafunzi. Kutaja sifa za majadiliano. Kueleza maana ya muhtasari. Kutambua umuhimu wa muhtasari. |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 221-224) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
8 | 2 |
Kusoma kwa ufahamu
|
Nidhamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma shairi kwenye kitabu cha mwanafunzi kichwa Nidhamu . Kutambua misemo yaliyotumika katika kifungu,kueleza maana yao na kuyatumia vyema. Kujibu maswali kuhusu shairi ipasavyo. Kueleza mtindo wa shairi hilo |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 224-226) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
8 | 3-4 |
Sarufi
Kusoma kwa mapana |
Uakifishaji
Maadili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya uakifishaji. Kutambua na kueleza matumizi ya alama za uakifishaji. Kuakifisha sentensi husika ipasavyo. somo ; Kueleza maana ya maadili. Kusoma taarifa kwenye kitabu cha mwanafunzi kwa mapana. Kutambua mambo muhimu yaliyozungumziwa katika taarifa. Kujibu maswali kuhusu taarifa ipasavyo. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 226-227) KLB Kiswahili kitukuzwe 2 (uk 227-230) |
|
8 | 5 |
Kuandika
|
Uandishi wa Insha - Methali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua mambo muhimu katika uandishi wa insha ya methali. Kujadili utunzi wa insha. Kuandika insha ya methali yeyote. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 230) |
Your Name Comes Here