If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | 1 |
SARUFI
|
Vinyume vya Vitenzi na Vielez
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO, kueleza maana ya kinyume cha maneno ili kuibainisha kutambua vinyume vya vitenzi na vielezi katika matini kutumia ipasavyo vinyume vya vitenzi na vielezi katika matini kuchangamkia kutumia vinyume vya vitenzi na vielezi katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
kujadili maana ya kinyume cha maneno akiwa na mwenzake au katika kikundi kutambua vinyume vya vitenzi (k.v. simama-keti, cheka-lia, vaa-vua, n.k.) na vielezi (k.v.haraka haraka-polepole,asubuhi-jioni)kwa kutumia kadi maneno, mti maneno, kapu maneno akiwa na mwenzake kutambua vinyume vya vitenzi na vielezi katika matini(k.v orodha ya maneno, sentensi na vifungu vya maneno) akiwa peke yake kuchagua sentensi zinazoashiria matumizi ya vinyume vya vitenzi na vielezi kutoka kwa sentensi mbalimbali kwenye vitabu, tarakilishi au chati akiwa na mwenzake kutunga sentensi sahihi akitumia vinyume vya vitenzi na vielezi kusakura mtandaoni au kutafiti katika vitabu vya ziada ili kupata vinyume zaidi vya vitenzi na vielezi kumsomea mzazi au mlezi sentensi alizotunga kuhusu vinyume vya vitenzi na vielezi. |
Je, ni vinyume gani vya vitenzi unavyojua?
.Je, unajua vinyume gani vya vielezi?
|
Tarakilishi/vipakatalishi Kinasasauti
Rununu Projekta Kapu maneno Mti maneno Kadi maneno Picha za vitu mbalimbali Michoro Chati Mabango Sanamu Nyenzo halisi OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.69 |
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo Kutunga sentensi
Kazi mradi
|
|
1 | 2 |

2 | 1 |
KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA
|
Kuzungumza kwa Kutumia Vidokezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO, kueleza maana ya kuzungumza kwakutumia vidokezo kutambua umuhimu wa kuzungumza kwa kutumia vidokezo kutambua miktadha katika jamii ambapokuzungumza kwakutumia vidokezo hufanywa kujadilivipengele vya kuzingatia katika kuzungumza kwakutumia vidokezo kutoamazungumzo kwa kutumia vidokezo ifaavyo kujenga mazoea yakutumia vidokezo katika mazungumzo ili kufanikisha mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
kueleza maana ya kuzungumza kwa kutumia vidokezo akiwa peke yake au katika kikundi kujadili na wenzake umuhimu wa kuzungumza kwa kutumia vidokezo kutambua miktadha katika jamii yake ambamo anahitajikuzungumza kwa kutumia vidokezo(k.v. anapowazungumzia wenzake shuleni kuhusu haki za watoto, akiwa mzungumzaji maalum katikakongamano, katika semina, anapomtambulisha mgeni wa heshima katika hafla fulanin.k.) kujadilivipengele vya kuzingatiakatika kuzungumza kwakutumia vidokezo (k.vkubainisha kiini cha mazungumzo, (je, ni ya kupasha habari? Ni ya kushawishi? Ili kuteua lugha mwafaka),mpangilio wa mawazokimantiki, kutosoma vidokezo; kuvitazama kwaufupi tu, kufanya mazoezi kabla ya kuzungumza, kuviweka juu ya meza wakati wa kuzungumza, n.k) akiwa na wenzakekatika kikundi kusikiliza au kutazama aina mbalimbali za mazungumzo kutoka kwenye vifaa vya kidijitali, mgeni mwalikwa au wenzakena kubainishavipengele vilivyozingatiwa kuandaa vidokezo kuhusu suala lengwa akiwa peke yake kuwawasilishia wenzake mazungumzo kuhusu suala lengwa kwa kutumia vidokezo alivyoandaa ili wayatolee maoni kumwasilishia mzaziau mlezi vidokezo vya mazungumzo kuhusu suala lengwa ili atoe maoni yake |
Kwa nini ni muhimu kuandaa vidokezo unapozungumza?
|
?Chati ?Michoro na picha
?Mgeni mwalikwa ?Vifaa vya kidijitali (k.v tarakilishi/vipakatalishi, kinasasauti, rununu, projekta, video) ?Mti maneno ?Kapu maneno ?Vitabu mbalimbali OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.70 |
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
Kujibu maswali Maigizo Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno na majibu
Mijadala MazungumzoMatumizi ya ishara za mwili k.v ishara za uso, za mikono na mabega kuimarisha masimulizi yake
Wanafunzi kufanyiana tathmini
|
|
2 | 2 |

3 | 1 |
KUSOMA
|
Kusoma kwa MapanaMatini za Kujichagulia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO, kuteua matini ifaayo ya kujisomea kueleza ujumbe katika matini ya kujichagulia kutambua maana za msamiati na matumizi mengine ya lugha katika matini ya kujichagulia kujenga mazoea yakusoma matini mbalimbali katika maisha ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
kuteua matini ifaayo ya kujisomea kueleza ujumbe wa matini ya kujichagulia aliyosoma kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia (k.v ya kisayansi, kisiasa, kihistoria, kifasihi, michezo, n.k.) akiwa peke yake kutumia kamusi kutafuta maana za maneno asiyoyajua kujenga rekodi ya msamiati aliojifunza katika kitabu kumtungia mwenzake sentensi akitumia msamiati katika matini aliyoisoma kutoa muhtasari wa matini ya kujichagulia aliyosoma na kuwasilisha kwa wenzake ili waitolee maoni kusakura mtandaoni na kujichagulia matini ya ziada kisha aisome |
Unavutiwa zaidi na nini unaposoma makala ya kujichagulia?
Unazingatia mambo gani wakati wa kusoma makala ya kujichagulia?
|
Tarakilishi/vipakatalish
Kinasasauti Rununu Projekta Tarakilishi/vipakatalishi Kinasasauti Rununu Kamusi mbalimbali OUP,Kiswahili Gredi Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.71 |
Kutunga sentensi k.m. kwa
kutumia msamiati lengwa Kujibu maswali k.m. katika ufahamu Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwaKusoma kwa sauti Wanafunzi kufanyiana tathmini
Potfolio
Shajara
|
|
3 | 2 |

4 | 1 |
KUANDIKA
|
Inshaza Kubuni Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO, kujadili vipengele vya insha ya maelezo kuandika insha ya maelezo ipasavyo kwa kuzingatiavipengele vyake kufurahia kuandika insha zamaelezo katika maisha ya kilasiku |
Mwanafunzi aelekezwe:
kueleza maana ya insha ya maelezo kwa kurejelea matini mbalimbali kutafiti maktabani au mtandaoni vipengele vya insha ya maelezo kujadili na wenzake vipengele vya insha ya maelezo alivyotafiti mtandaoni kuandika insha ya maelezo kwa kuzingatia vipengele vifaavyo kuwasomea wenzake katika kikundi insha aliyoandika au kuwasambazia kwenye vifaa vya kidijitali ili waitolee maoni kushirikiana na wenzake kusahihisha insha walizoandika na kutoleana maoni kwa amani na upendo |
Je, ni vipengele gani vya kuzingatia katika kuandika insha ya maelezo?
|
Kielelezo cha insha ya masimulizi Kielelezo cha insha ya maelezo Kielelezo cha insha ya wasifu Nakala ya barua ya kirafiki Nakala ya barua rasmi
OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.72 |
Kuandika tungo mbalimbali Wanafunzi kufanyiana tathmini
Potfolio
Shajara
Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
|
|
4 | 2 |
SARUFI
|
Mnyambuliko wa Vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO, kutambua kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda katika vitenzi kutumia ipasavyo vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda katika matini kuchangamkia kutumia ipasavyo vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda ili kuimarisha mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
kutambua vitenzikatika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda (kv. eleweka, tembelewa, chezacheza n.k)mtawalia akiwa peke yake kuteua vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda (k.v. limika, bebewa, sukasuka n.k) mtawalia, kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno autarakilishi akiwa na mwenzake kutenga vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda katika sentensi na vifungu kwenye vitabu, tarakilishi,chati kwa kuvikolezeawino au kuvipigia mstari kugeuza vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda akiwa na wenzake katika kikundi kutunga sentensi au vifungu kuhusu suala lengwa kwa kutumia vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa nakutendatenda akiwa peke na mwenzake kujaza mapengo kwa kutumia vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda akiwa peke yake au wawiliwawili |
Kwa nini ni muhimu kujifunza kauli za vitenzi
|
Tarakilishi/vipakatalishi Kinasasauti
Rununu Projekta Kapu maneno Mti maneno Kadi maneno Picha za vitu mbalimbali Michoro Chati Mabango Sanamu Nyenzo halisi OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.73 |
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo Kutunga sentensi
Kazi mradi
|
|
5 | 1 |
KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA
|
Kusikiliza kwa Makini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO, kueleza habari katika matini ya kusikiliza kukadiria maana ya msamiatimahususi na vifungu katika matini ya kusikiliza kuziwasilisha hoja muhimu katika habari aliyosikilizakwa kufuata mpangilio ufaao kujenga mazoea ya kufurahia kusikiliza vifungu vya kusikiliza ili kuimarisha uwezo wa kusikiliza |
Mwanafunzi aelekezwe:
kutambua hoja muhimu katika habari aliyosikiliza kuhusu suala lengwa kutoka kwa mwalimu, kifaa cha kidijitali, mgeni mwalikwa au wenzake akiwa peke yake kukadiria maana ya msamiati mahususi na vifungu katika matini aliyosikiliza kuelezea mwenzakemaana ya msamiati katika matini ya kusikiliza kueleza hoja muhimualiyotambua kutoka matini aliyosikilizakwa maneno machache kuwawasilishia wenzake hoja muhimu katika habari aliyosikilizakwa kufuata mpangilio ufaao |
Je, kwa nini ni muhimu kuwa na mpangilio ufaao wa hojakutoka habari uliyosikiliza?
|
?Chati ?Michoro na picha
?Mgeni mwalikwa ?Vifaa vya kidijitali (k.v tarakilishi/vipakatalishi, kinasasauti, rununu, projekta, video) ?Mti maneno ?Kapu maneno ?Vitabu mbalimbali OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.74 |
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
Kujibu maswali Maigizo Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno na majibu
Mijadala Mazungumzo Matumizi ya ishara za mwili k.v ishara za uso, za mikono na mabega kuimarisha masimulizi yake
Wanafunzi kufanyiana tathmini
|
|
5 | 2 |
KUSOMA
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO, kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora kusoma kifungu kwa kasi ifaayo kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo kuridhia kusoma makala kwa kuzingatia vipengele vinavyofanikisha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
kujadiliana na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma makala kwa ufasaha (matamshi bora, kasi ifaayo, sauti ifaayo, ishara zifaazo) kutazama vielelezo vya video za watu wanaosoma kwa ufasaha makala (k.v hotuba, taarifa ya habari, n.k.) akiwana wenzake kusoma kifungu kuhusu suala lengwa katika matini andishi au ya kidijitali akizingatia matamshi bora kusoma kifungu cha habari kwa kasi ifaayo kuhusu suala lengwa kusoma kifungu akizingatia sauti ifaayo (k.v kiwango cha sauti na kiimbo)akiwa katika kikundi kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo panapofaa (k.v ishara za uso na mikono) akiwa na wenzake katika kikundi kusoma mbele ya wenzake kazi yake ili wamtolee maoni |
Je, unaposoma kifungu unazingatia mambo gani ili kufanikisha usomaji?
|
Tarakilishi/vipakatalish
Kinasasauti Rununu Projekta Tarakilishi/vipakatalishi Kinasasauti Rununu Kamusi mbalimbali OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.75 |
Kutunga sentensi k.m. kwa
kutumia msamiati lengwa Kujibu maswali k.m. katika ufahamu Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa Kusoma kwa sauti
|
|
6 | 1 |
KUSOMA
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
|
|
|
|
|
|
6 | 2 |

Your Name Comes Here