If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | 1 |
Wanyama wa Porini
|
Kusikiliza na Kuzungumza; Visawe vya maneno mawili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya kisawe ili kukibainisha. Kutumia visawe vya kiwango chake ifaavyo katika mawasiliano. Kufurahia kutumia visawe katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya neno kisawe akiwa peke yake au kwa kujadiliana na wenzake.
Mwanafunzi aweze kutambua na kutumia visawe vya maneno mawili vya kiwango chake kwa kurejelea kapu maneno, kadi za maneno na mti maneno katika mawasiliano. |
Je, kisawe ni nini?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 116-117
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Intaneti |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
1 | 2 |

1 | 3 |

Kutambua visawe vya maneno mawili katika kundi la maneno. Kutumia kamusi kutafuta visawe vya maneno (k.v uzembe, jaji, tajiri, maskini, maringo) Kutathmini matumizi ya visawe katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aweze kutambua visawe vya maneno mawili katika kundi la maneno.
Mwanafunzi aweze kutumia kamusi kutafuta visawe vya maneno (k.v uzembe, jaji, tajiri, maskini, maringo) |
Unajua maneno gani ya kiswahili yaliyo na maana sawa?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 118-119
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Intaneti |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
1 | 4 |
Wanyama wa Porini
|
Kusoma; Mchezo wa kuigiza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya mchezo wa kuigiza, mhusika na maelekezo.Kuigiza mazungumzo kati ya wanyama wa porini kuhusu ukame porini. Kufurahia kuigiza mchezo wa kuigiza unaohusu mazungumzo kati ya wanyama wa porini kuhusu ukame |
Mwanafunzi aweze kushiriki katika majadiliano kuhusu maana za mchezo wa kuigiza, mhusika na maelekezo.
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kuigiza mazungumzo kati ya wanyama porini kuhusu ukame porini. |
Je, mhusika katika mchezo wa kuigiza ni nani?
Je, maelekezo katika mchezo wa kuigiza ni nini?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 120
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Intaneti |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
2 | 1 |
Wanyama wa Porini
|
Kusoma; Mchezo wa kuigiza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma mchezo mfupi wa kuigiza kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe maalum. Kuigiza mchezo mfupi kwa kuzingatia maelekezo. Kufurahia kusoma michezo na kuigiza. |
Mwanafunzi aweze kusoma mchezo mfupi wa kuigiza kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe maalum.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kuigiza mchezo mfupi kwa kuzingatia maelekezo. |
Je, unapata vipi ujumbe katika mchezo wa kuigiza?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 120-123

2 | 2 |

2 | 3 |
Wanyama wa Porini
|
Kuandika; Insha ya masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo. Kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo. Kuchangamkia utunzi nzuri wa insha ya masimulizi ili kujenga ubunifu wake |
Mwanafunzi aweze kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo.
Mwanafunzi aweze kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo. |
Insha ya masimulizi inahusu nini?
Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya masimulizi?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 122-125

2 | 4 |

3 | 1 |
Wanyama wa Porini
|
Sarufi; Mnyambuliko wa vitenzi: Kauli ya kutenda
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya kauli ya kutenda. Kutambua, kunyambua na kutumia vitenzi katika kauli ya kutenda katika matini na anapowasiliana. Kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika Kauli ya kutenda |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya kauli ya kutenda.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kutambua, kunyambua na kutumia vitenzi katika kauli ya kutenda katika matini na anapowasiliana. |
Je, kauli ya kutenda huonyesha nini?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 125-126
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Intaneti |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
3 | 2 |
Wanyama wa Porini
|
Sarufi; Mnyambuliko wa vitenzi: Kutendea
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya kauli ya kutendea. Kutambua, kunyambua na kutumia vitenzi katika kauli ya kutendea katika matini na anapowasiliana. Kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika Kauli ya kutendea. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya kauli ya kutendea.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kutambua, kunyambua na kutumia vitenzi katika kauli ya kutendea katika matini na anapowasiliana. |
Je, kauli ya kutendea huonyesha nini?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 127-128

3 | 3 |

3 | 4 |
Wanyama wa Porini
|
Sarufi; Mnyambuliko wa vitenzi: Kutendwa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya kauli ya kutendwa. Kutambua, kunyambua na kutumia vitenzi katika kauli ya kutendwa katika matini na anapowasiliana. Kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika Kauli ya kutendwa. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya kauli ya kutendwa.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kutambua, kunyambua na kutumia vitenzi katika kauli ya kutendwa katika matini na anapowasiliana |
Je, kauli ya kutendwa huonyesha nini?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 129-130
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Intaneti |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
4 | 1 |
Afya Bora
|
Kusikiliza na Kuzungumza;
Mazungumzo katika muktadha isiyo rasmi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua umuhimu wa nidhamu ya lugha, hata katika mazingira yasiyo rasmi. Kutambua mazungumzo yasiyo rasmi kwa kutazama maigizo ya mazungumzo lengwa kwenye video na tarakilishi. Kuchangamkia matumizi ya lugha katika miktadha isiyo rasmi. |
Mwanafunzi aweze kutambua umuhimu wa nidhamu ya lugha, hata katika mazingira yasiyo rasmi (k.v kutumia lugha ya upole na heshima)
Mwanafunzi aweze kutambua mazungumzo yasiyo rasmi kwa kutazama maigizo ya mazungumzo lengwa kwenye video na tarakilishi. |
Kwa nini ni muhimu kutumia maneno ya upole na heshima katika mazungumzo?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 133
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
4 | 2 |

4 | 3 |
Afya Bora
|
Kusoma; Kusoma kwa mapana: Matini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma matini ya mada lengwa (Afya ni uhai) kisha kujibu maswali. Kuandika matini kuhusu afya bora kwenye tarakilishi kisha kuwasambazia wenzake darasani ili nao wayasome. Kufurahia usomaji wa aina mbalimbali za matini ili kupanua mawazo yake. |
Mwanafunzi aweze kusoma matini ya mada lengwa (Afya ni uhai) kisha kujibu maswali.
Mwanafunzi aweze kuandika matini kuhusu afya bora kwenye tarakilishi kisha kuwasambazia wenzake darasani ili nao wayasome. |
Je, afya ni nini?
Kwa nini unapenda kusoma?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 134-135
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
4 | 4 |
Afya Bora
|
Kuandika;
Insha ya maelezo.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua insha ya maelezo kwa kurejelea vielezo vya insha vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi Kuandika insha ya maelezo yenye anwani |
Mwanafunzi aweze kutambua insha ya maelezo kwa kurejelea vielezo vya insha vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi.
Mwanafunzi aweze kuandika insha ya maelezo kuhusu lishe bora kwenye tarakilishi |
Je, unazingatia mambo gani unapoandika insha ya maelezo?
Je, lishe bora ni nini?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 137-138
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
5 | 1 |
Afya Bora
|
Sarufi; Vinyume vya nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya kinyume cha nomino ili kukibainisha. Kuunda sentensi kwa kutumia vinyume vya nomino kuzingatia upatanisho wa kisarufi. Kuchangamkia matumizi ya vinyume vya nomino katika mawasiliano ya kila siku. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya kinyume cha nomino ili kukibainisha.
Mwanafunzi aweze kuunda sentensi kwa kutumia vinyume vya nomino kuzingatia upatanisho wa kisarufi. |
Je, kinyume ni nini?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 138-139

5 | 2 |

5 | 3 |
Kukabiliana na Uhalifu
|
Kusikiliza na Kuzungumza; Tashbihi: Tashbihi za kimo na umbo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tashbihi ili kuibainisha. Kurejelea picha au michoro kwenye chati au tarakilishi ili kutumia tashbihi zifaazo kutolea maelezo. Kufurahia matumizi ya tashbihi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya tashbihi ili kuibainisha.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kurejelea picha au michoro kwenye chati au tarakilishi ili kutumia tashbihi zifaazo kutolea maelezo. |
Je, tashbihi ni nini?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 142-143

5 | 4 |

6 | 1 |
Kukabiliana na Uhalifu
|
Kusoma; Kusoma kwa kina: Matini ya kidijitali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutumia tarakilishi kutafuta matini inayohusu kukabiliana na uhalifu kwenye mtandao. Kutumia tarakilishi kufungua faili yenye matini kuhusu usalama wa kidijitali kisha kusoma. Kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake. |
Mwanafunzi aweze kutumia tarakilishi kutafuta matini inayohusu kukabiliana na uhalifu kwenye mtandao.
Mwanafunzi aweze kutumia tarakilishi kufungua faili yenye matini kuhusu usalama wa kidijitali kisha kusoma |
Ukitaka kufikia matini ya kusoma mtandaoni utafanya nini?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 145
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
6 | 2 |
Kukabiliana na Uhalifu
|
Kuandika; Insha ya masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutumia tarakilishi kusakura video kuhusu uwindaji haramu, ukataji miti misituni, uchomaji wa makaa na uingizaji wa bidhaa ghushi nchini kisha kutazama video hizo. Kusimulia kuhusu alichoona kwenye video kisha kuandika kwenye daftari. Kufurahia kusimulia kuhusu alichoona kwenye video. |
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kutumia tarakilishi kusakura video kuhusu uwindaji haramu, ukataji miti misituni, uchomaji wa makaa na uingizaji wa bidhaa ghushi nchini kisha kutazama video hizo.
Mwanafunzi aweze kusimulia kuhusu alichoona kwenye video kisha kuandika kwenye daftari. |
Je, uwindaji haramu ni nini?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 147

6 | 3 |

6 | 4 |
Kukabiliana na Uhalifu
|
Sarufi; Nyakati na hali: Wakati uliopita, hali ya kuendelea
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua viambishi vinavyobainisha wakati uliopita, hali ya kuendelea. Kutunga sentensi katika wakati uliopita, hali ya kuendelea kwenye blogi ili wenzake waweze kuzisoma na kuzitathmini. Kufurahia zoezi la kutunga sentensi katika wakati uliopita. |
Mwanafunzi aweze kutambua viambishi vinavyobainisha wakati uliopita, hali ya kuendelea kwenye sentensi zilizoonyeshwa kwenye chati, ubao au kwa kutumia vifaa vya kidijitali (k.v tarakilishi na projekta)
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi katika wakati uliopita, hali ya kuendelea kwenye blogi ili wenzake waweze kuzisoma na kuzitathmini. |
Ni viambishi vipi hutumika kuwakilisha wakati uliopita?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 148-150
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
7 | 1 |
Kukabiliana na Uhalifu
|
Sarufi; Nyakati na hali: Wakati ujao, hali ya kuendelea
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua viambishi vinavyobainisha wakati ujao, hali ya kuendelea. Kutunga sentensi katika wakati ujao, hali ya kuendelea kwenye blogi ili wenzake waweze kuzisoma na kuzitathmini. Kufurahia zoezi la kutunga sentensi katika wakati ujao. |
Mwanafunzi aweze kutambua viambishi vinavyobainisha wakati ujao, hali ya kuendelea kwenye sentensi zilizoonyeshwa kwenye chati, ubao au kwa kutumia vifaa vya kidijitali (k.v tarakilishi na projekta)
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi katika wakati ujao, hali ya kuendelea kwenye blogi ili wenzake waweze kuzisoma na kuzitathmini |
Ni viambishi vipi hutumika kuwakilisha wakati ujao?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 152-153
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
7 | 2 |

7 | 3 |
Mapato
|
Kusikiliza na Kuzungumza; Kuzungumza na kujieleza kwa ufasaha: Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusikiliza masimulizi yanayohusiana na mada lengwa yakitolewa na mgeni mwalikwa, mwalimu, mwanafunzi mwenzake au kutokana na vifaa vya kidijitali. Kutumia ishara za kimwili zifaazo kuimarisha masimulizi yake. Kuchangamkia masimulizi katika mazingira mbalimbali. |
Mwanafunzi aweze kusikiliza masimulizi yanayohusiana na mada lengwa yakitolewa na mgeni mwalikwa, mwalimu, mwanafunzi mwenzake au kutokana na vifaa vya kidijitali.
Mwanafunzi aweze kutumia ishara za kimwili zifaazo (k.v ishara za uso, mikono, mabega, miguu, macho, na miondoko ya mwili) kuimarisha masimulizi yake |
Je, ni nini unachozingatia unapotoa simulizi?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 154-155
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
7 | 4 |
Mapato
|
Kusoma; Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma matini ya mada lengwa kisha kujibu maswali Kutazama vibonzo vinavyoonyesha shughuli za mapato kwenye tarakilishi au video. Kufurahia usomaji wa aina mbalimbali za matini |
Mwanafunzi aweze kusoma matini ya mada lengwa kisha kujibu maswali.
Mwanafunzi aweze kutazama vibonzo vinavyoonyesha shughuli za mapato kwenye tarakilishi au video. |
Unajua shughuli gani za mapato?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 157-158
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
8 | 1 |
Mapato
|
Sarufi; Ukanushaji wa maneno na sentensi: Ukanusho wa maneno katika nafsi ya kwanza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya Ukanushaji ili kuibainisha Kukanusha maneno akizingatia nafsi ya kwanza na wakati kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi. Kuchangamkia ukanushaji wa maneno katika nafsi ya kwanza katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya ukanushaji ili kuibainisha.
Mwanafunzi aweze kukanusha maneno akizingatia nafsi ya kwanza na wakati kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi. |
Je, viambishi gani hutumiwa kukanusha maneno katika nafsi ya kwanza?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 163-164

8 | 2 |

8 | 3 |
Mapato
|
Sarufi; Ukanushaji wa maneno na sentensi: Ukanusho wa maneno katika nafsi ya pili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua viambishi vya nafsi ya pili katika maneno. Kukanusha maneno akizingatia nafsi ya pili na wakati kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi. Kuchangamkia ukanushaji wa maneno katika nafsi ya pili katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aweze kutambua viambishi vya nafsi ya pili katika maneno akishirikiana na wenzake.
Mwanafunzi aweze kukanusha maneno akizingatia nafsi ya pili na wakati kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi. |
Je, viambishi gani hutumiwa kukanusha maneno katika nafsi ya pili?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 165
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Intaneti |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
8 | 4 |

9 | 1 |
Mapato
|
Sarufi; Ukanushaji wa maneno na sentensi: Ukanusho wa maneno katika nafsi ya tatu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua maneno yaliyokanushwa kwenye chati, ubao, kapu maneno, mti maneno na vyombo vya kidijitali Kukanusha maneno akizingatia nafsi ya tatu na wakati kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi. Kuchangamkia ukanushaji wa maneno katika nafsi ya tatu katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aweze kutambua maneno yaliyokanushwa kwenye chati, ubao, kapu maneno, mti maneno na vyombo vya kidijitali.
Mwanafunzi aweze kukanusha maneno akizingatia nafsi ya tatu na wakati kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi. |
Je, viambishi gani hutumiwa kukanusha maneno katika nafsi ya tatu?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 167
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Intaneti |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
9 | 2 |
Mapato
|
Sarufi: Ukubwa wa nomino; Ukubwa wa nomino zinazoanza kwa m- na zenye mzizi wa silabi moja
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya ukubwa. Kutaja maneno yanayoanza kwa herufi m- na yenye mzizi wa silabi moja kisha kubadilisha nomino hizo katika hali ya ukubwa. Kufurahia kutumia ukubwa wa nomino katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya ukubwa.
Mwanafunzi aweze kutaja maneno yanayoanza kwa herufi m- na yenye mzizi wa silabi moja kisha kubadilisha nomino hizo katika hali ya ukubwa. |
Je, viambishi gani huongezwa katika hali ya ukubwa?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 170-171

9 | 3 |

9 | 4 |
Mapato
|
Sarufi: Udogo wa nomino zinazoanza kwa m- na zenye mzizi wa silabi moja
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya udogo. Kutaja maneno yanayoanza kwa herufi m- na yenye mzizi wa silabi moja kisha kubadilisha nomino hizo katika hali ya udogo. Kufurahia kutumia udogo wa nomino katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya udogo.
Mwanafunzi aweze kutaja maneno yanayoanza kwa herufi m- na yenye mzizi wa silabi moja kisha kubadilisha nomino hizo katika hali ya udogo. |
Je, viambishi gani huongezwa katika hali ya udogo?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 173
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Intaneti |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
Your Name Comes Here