If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | 1 |
Mapato
|
Kusikiliza na Kuzungumza; Kuzungumza na kujieleza kwa ufasaha: Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusikiliza masimulizi yanayohusiana na mada lengwa yakitolewa na mgeni mwalikwa, mwalimu, mwanafunzi mwenzake au kutokana na vifaa vya kidijitali. Kutumia ishara za kimwili zifaazo kuimarisha masimulizi yake. Kuchangamkia masimulizi katika mazingira mbalimbali. |
Mwanafunzi aweze kusikiliza masimulizi yanayohusiana na mada lengwa yakitolewa na mgeni mwalikwa, mwalimu, mwanafunzi mwenzake au kutokana na vifaa vya kidijitali.
Mwanafunzi aweze kutumia ishara za kimwili zifaazo (k.v ishara za uso, mikono, mabega, miguu, macho, na miondoko ya mwili) kuimarisha masimulizi yake |
Je, ni nini unachozingatia unapotoa simulizi?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 154-155
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
1 | 2 |

1 | 3 |

Kutoa maelezo kuhusu mada lengwa (k.v Jinsi ya kujipatia riziki, jinsi ya kutumia Mapato yake) Kubuni simulizi linalohusiana na mada husika kwa kutazama picha, michoro au kujadiliana na wenzake. Kufurahia kubuni simulizi linalohusiana na mada lengwa. |
Mwanafunzi aweze kutoa maelezo kuhusu mada lengwa (k.v Jinsi ya kujipatia riziki, jinsi ya kutumia Mapato yake)
Mwanafunzi aweze kubuni simulizi linalohusiana na mada husika kwa kutazama picha, michoro au kujadiliana na wenzake. |
Je, mapato ni nini?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 155-156

1 | 4 |

2 | 1 |
Mapato
|
Kusoma; Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma matini ya mada lengwa kisha kujibu maswali Kutazama vibonzo vinavyoonyesha shughuli za mapato kwenye tarakilishi au video. Kufurahia usomaji wa aina mbalimbali za matini |
Mwanafunzi aweze kusoma matini ya mada lengwa kisha kujibu maswali.
Mwanafunzi aweze kutazama vibonzo vinavyoonyesha shughuli za mapato kwenye tarakilishi au video. |
Unajua shughuli gani za mapato?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 157-158
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
2 | 2 |

2 | 3 |

2 | 4 |
Mapato
|
Kusoma; Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuonyesha ufahamu wa kifungu kwa kutoa muhtasari na kujibu maswali. Kuigiza matukio yanayolengwa msamiati lengwa. Kufurahia kuigiza matukio yanayolengwa msamiati lengwa. |
Mwanafunzi aweze kuonyesha ufahamu wa kifungu kwa kutoa muhtasari na kujibu maswali.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kuigiza matukio yanayolengwa msamiati lengwa. |
Je, kwa nini mapato ni muhimu?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 158-160
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
3 | 1 |
Mapato
|
Kuandika; Kuandika barua: Barua ya kirafiki
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua barua ya kirafiki kwa kurejelea vielelezo vya barua za kirafiki zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi. Kuandika barua ya kirafiki daftarini yenye kuzingatia mada ya mapato kwa rafiki, ndugu au mzazi. Kuchangamkia umuhimu wa barua katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aweze kutambua barua ya kirafiki kwa kurejelea vielelezo vya barua za kirafiki zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi.
Mwanafunzi aweze kuandika barua ya kirafiki daftarini yenye kuzingatia mada ya mapato kwa rafiki, ndugu au mzazi. |
Barua za kirafiki zina umuhimu gani?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 161

3 | 2 |

3 | 3 |

3 | 4 |

Kuandaa vidokezo vitavyomwongoza kuandika insha yake. Kuandika barua ya kirafiki mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili waisome na kuzitathmini. Kuchangamkia umuhimu wa barua katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kuandaa vidokezo vitavyomwongoza kuandika insha yake.
Mwanafunzi aweze kuandika barua ya kirafiki mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili waisome na kuzitathmini. |
Je, unazingatia nini ili kuandika barua nzuri ya kirafiki?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 162-163
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
4 | 1 |
Mapato
|
Sarufi; Ukanushaji wa maneno na sentensi: Ukanusho wa maneno katika nafsi ya kwanza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya Ukanushaji ili kuibainisha Kukanusha maneno akizingatia nafsi ya kwanza na wakati kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi. Kuchangamkia ukanushaji wa maneno katika nafsi ya kwanza katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya ukanushaji ili kuibainisha.
Mwanafunzi aweze kukanusha maneno akizingatia nafsi ya kwanza na wakati kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi. |
Je, viambishi gani hutumiwa kukanusha maneno katika nafsi ya kwanza?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 163-164

4 | 2 |

4 | 3 |

4 | 4 |

5 | 1 |
Mapato
|
Sarufi; Ukanushaji wa maneno na sentensi: Ukanusho wa sentensi katika nafsi ya kwanza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kukanusha sentensi akizingatia nafsi ya kwanza na wakati kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi. Kusikiliza au kutazama vipindi vya ukanushaji wa nafsi ya kwanza na wakati kupitia vyombo vya kidijitali. Kuchangamkia ukanushaji wa sentensi katika nafsi ya kwanza katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kukanusha sentensi akizingatia nafsi ya kwanza na wakati kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi.
Mwanafunzi aweze kusikiliza au kutazama vipindi vya ukanushaji wa nafsi ya kwanza na wakati kupitia vyombo vya kidijitali. |
Je, viambishi gani hutumiwa kukanusha sentensi katika nafsi ya kwanza?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 164-165

5 | 2 |

5 | 3 |
Mapato
|
Sarufi; Ukanushaji wa maneno na sentensi: Ukanusho wa maneno katika nafsi ya pili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua viambishi vya nafsi ya pili katika maneno. Kukanusha maneno akizingatia nafsi ya pili na wakati kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi. Kuchangamkia ukanushaji wa maneno katika nafsi ya pili katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aweze kutambua viambishi vya nafsi ya pili katika maneno akishirikiana na wenzake.
Mwanafunzi aweze kukanusha maneno akizingatia nafsi ya pili na wakati kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi. |
Je, viambishi gani hutumiwa kukanusha maneno katika nafsi ya pili?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 165
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Intaneti |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
5 | 4 |

6 | 1 |
Mapato
|
Sarufi; Ukanushaji wa maneno na sentensi: Ukanusho wa sentensi katika nafsi ya pili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kukanusha sentensi akizingatia nafsi ya pili na wakati kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi. Kusikiliza au kutazama vipindi vya ukanushaji wa nafsi ya pili na wakati kupitia vyombo vya kidijitali. Kuchangamkia ukanushaji wa sentensi katika nafsi ya pili katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kukanusha sentensi akizingatia nafsi ya pili na wakati kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi.
Mwanafunzi aweze kusikiliza au kutazama vipindi vya ukanushaji wa nafsi ya pili na wakati kupitia vyombo vya kidijitali |
Je, viambishi gani hutumiwa kukanusha sentensi katika nafsi ya pili?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 166

6 | 2 |

6 | 3 |

6 | 4 |
Mapato
|
Sarufi; Ukanushaji wa maneno na sentensi: Ukanusho wa maneno katika nafsi ya tatu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua maneno yaliyokanushwa kwenye chati, ubao, kapu maneno, mti maneno na vyombo vya kidijitali Kukanusha maneno akizingatia nafsi ya tatu na wakati kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi. Kuchangamkia ukanushaji wa maneno katika nafsi ya tatu katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aweze kutambua maneno yaliyokanushwa kwenye chati, ubao, kapu maneno, mti maneno na vyombo vya kidijitali.
Mwanafunzi aweze kukanusha maneno akizingatia nafsi ya tatu na wakati kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi. |
Je, viambishi gani hutumiwa kukanusha maneno katika nafsi ya tatu?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 167
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Intaneti |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
7 | 1 |
Mapato
|
Sarufi; Ukanushaji wa maneno na sentensi: Ukanusho wa sentensi katika nafsi ya tatu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kukanusha sentensi akizingatia nafsi ya tatu na wakati kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi. Kusikiliza au kutazama vipindi vya ukanushaji wa nafsi ya pili na wakati kupitia vyombo vya kidijitali. Kuchangamkia ukanushaji wa sentensi katika nafsi ya tatu katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kukanusha sentensi akizingatia nafsi ya tatu na wakati kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi.
Mwanafunzi aweze kusikiliza au kutazama vipindi vya ukanushaji wa nafsi ya tatu na wakati kupitia vyombo vya kidijitali |
Je, viambishi gani hutumiwa kukanusha sentensi katika nafsi ya tatu?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 168

7 | 2 |

7 | 3 |

7 | 4 |
Mapato
|
Sarufi: Ukubwa wa nomino; Ukubwa wa nomino zinazoanza kwa m- na zenye mzizi wa silabi moja
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya ukubwa. Kutaja maneno yanayoanza kwa herufi m- na yenye mzizi wa silabi moja kisha kubadilisha nomino hizo katika hali ya ukubwa. Kufurahia kutumia ukubwa wa nomino katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya ukubwa.
Mwanafunzi aweze kutaja maneno yanayoanza kwa herufi m- na yenye mzizi wa silabi moja kisha kubadilisha nomino hizo katika hali ya ukubwa. |
Je, viambishi gani huongezwa katika hali ya ukubwa?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 170-171
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Intaneti |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
8 | 1 |
Mapato
|
Sarufi: Ukubwa wa nomino; Ukubwa wa nomino zinazoanza kwa m- na zenye mzizi wa silabi moja
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutunga sentensi kutumia nomino zifuatazo kwa ukubwa; mbwa, mfu, mji, mtu, mto. Kushiriki katika mchezo wa kikundi kimoja kitaje wastani wa nomino kingine kitaje ukubwa wa nomino yenyewe. Kufurahia kushiriki katika mchezo wa kutaja wastani wa nomino na ukubwa wa nomino. |
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi kutumia nomino zifuatazo kwa ukubwa; mbwa, mfu, mji, mtu, mto.
Mwanafunzi aweze kushiriki katika mchezo wa kikundi kimoja kitaje wastani wa nomino kingine kitaje ukubwa wa nomino yenyewe. |
Je, nomino katika hali ya ukubwa huashiria nini?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 171-173

8 | 2 |

8 | 3 |

8 | 4 |

9 | 1 |
Mapato
|
Sarufi: Udogo wa nomino zinazoanza kwa m- na zenye mzizi wa silabi moja
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya udogo. Kutaja maneno yanayoanza kwa herufi m- na yenye mzizi wa silabi moja kisha kubadilisha nomino hizo katika hali ya udogo. Kufurahia kutumia udogo wa nomino katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya udogo.
Mwanafunzi aweze kutaja maneno yanayoanza kwa herufi m- na yenye mzizi wa silabi moja kisha kubadilisha nomino hizo katika hali ya udogo. |
Je, viambishi gani huongezwa katika hali ya udogo?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 173

9 | 2 |

9 | 3 |

ndogo Kutunga sentensi kutumia nomino zifuatazo kwa udogo; mbwa, mfu, mji, mtu, mto. Kushiriki katika mchezo wa kikundi kimoja kitaje wastani wa nomino kingine kitaje udogo wa nomino yenyewe. Kufurahia kushiriki katika mchezo wa kutaja wastani wa nomino na udogo wa nomino. |
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi kutumia nomino zifuatazo kwa udogo; mbwa, mfu, mji, mtu, mto.
Mwanafunzi aweze kushiriki katika mchezo wa kikundi kimoja kitaje wastani wa nomino kingine kitaje udogo wa nomino yenyewe. |
Je, nomino katika hali ya udogo huashiria nini?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 174-176

9 | 4 |

Your Name Comes Here