Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA SITA
MWAKA WA 2024
MUHULA WA II

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
6 3
Viungo vya mwili vya ndani
Kusikiliza na kuzungumza; Matamshi bora: Silabi na vitanzandimi: Sauti /d/ na /nd/
Kusikiliza na kuzungumza; Matamshi bora: Silabi na vitanzandimi: Sauti /ch/ na /sh/
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/d/ na /nd/)
Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi (/d/ na /nd/)
Kufurahia kutunga vitanzandimi zenye silabi /d/ na /nd/
Mwanafunzi aweze kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/d/ na /nd/
Mwanafunzi aweze kusikiliza sauti lengwa zikitamkwa kutoka kwa vifaa vya kiteknolojia k.v rununu na kinasasauti
Mwanafunzi aweze kutamka silabi lengwa na vitanza ndimi akiwa pekeake, wakiwa wawili au katika vikundi.
Ni silabi zipi zinazoundwa katika vitanzandimi ulivyokariri? Je, ni silabi zipi zinazorudiwa katika vitanza ndimi unavyounda?
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 1-3
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 3-5
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
6 4
Viungo vya mwili vya ndani
Kusikiliza na kuzungumza; Matamshi bora: Silabi na vitanzandimi: Sauti /j/ na /nj/
Kusikiliza na kuzungumza; Matamshi bora: Silabi na vitanzandimi: Sauti /g/ na /ng/
Kusoma; Kusoma kwa ufahamu: Kifungu cha hadithi
Kusoma; Kusoma kwa ufahamu: Sauti za Ajabu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/j/ na /nj/)
Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi (/j/ na /nj/)
Kufurahia kutunga vitanzandimi zenye silabi /j/ na /nj/
Mwanafunzi aweze kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/j/ na /nj/
Mwanafunzi aweze kusikiliza sauti lengwa zikitamkwa kutoka kwa vifaa vya kiteknolojia k.v rununu na kinasasauti.
Mwanafunzi aweze kutamka silabi lengwa na vitanza ndimi akiwa pekeake, wakiwa wawili au katika vikundi.
Ni silabi zipi zinazoundwa katika vitanzandimi ulivyokariri? Je, ni silabi zipi zinazorudiwa katika vitanza ndimi unavyounda?
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 6-8
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 8-10
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 10-11
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 11-14
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
7 1
Viungo vya mwili vya ndani
Kuandika; Insha ya wasifu
Sarufi; Aina za maneno: Vivumishi vya sifa
Sarufi; Aina za maneno: Vivumishi viashiria
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya insha ya wasifu.
Kutambua insha wasifu kwa kuzingatia mtindo na muundo wake.
Kuchangamkia utunzi mzuri mwenye ujumbe mahususi.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya insha ya wasifu.
Mwanafunzi aweze kutambua insha wasifu kwa kuzingatia mtindo na muundo wake.
Je, ni nini maana ya insha ya wasifu? Je, insha nzuri ya wasifu ina muundo gani?
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 14-16
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 16-17
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 18-21
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 21-23
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
7 2
Viungo vya mwili vya ndani
Michezo
Sarufi; Aina za maneno: Vivumishi viashiria
Sarufi; Aina za maneno: Vivumishi vimilikishi
Sarufi; Aina za maneno: Vivumishi vimilikishi
Kusikiliza na kuzungumza; Maamkuzi na maagano: Maamkuzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kujadili ni masomo yapi mengine yanaishughulikia dhana ya vivumishi.
Kushiriki kutunga wimbo mfupi unaoashiria watu na vitu mbalimbali vinavyopatikana shuleni.
Kuchangamkia matumizi ya vivumishi viashiria katika mawasiliano ya kila siku.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kujadili ni masomo yapi mengine yanaishughulikia dhana ya vivumishi.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kutunga wimbo mfupi unaoashiria watu na vitu mbalimbali vinavyopatikana shuleni.
Je, ni mambo gani unayoweza kutumia kuonyesha umbali wa kiumbe au kitu?
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 23-25
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 25-27
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 27-28
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 29-31
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
7

Mid term

8 1
Michezo
Kusikiliza na kuzungumza; Maamkuzi na maagano: Maagano
Kusikiliza na kuzungumza; Maamkuzi na maagano
Kusoma; Matumizi ya kamusi: Ndoto ya Nafula
Kuandika; Insha ya masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya maagano
Kutambua aina mbalimbali za maagano katika mawasiliano.
Kuchangamkia maagano katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya maagano.
Mwanafunzi aweze kutambua aina mbalimbali za maagano katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweze kueleza njia wanazotumia kuagana.
Maagano ni nini? Kwa nini watu huagana?
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 31-34
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 34
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 35-37
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 37-39
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
8 2
Michezo
Kuandika; Insha ya masimulizi
Sarufi; Aina za maneno: Vivumishi vya idadi
Sarufi; Aina za maneno: Vivumishi vya idadi
Sarufi; Aina za maneno: Vivumishi viulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kujadili kuhusu siku fulani ya michezo iliyofanyika shuleni.
Kuandika insha ya masimulizi inayozingatia mada, ujumbe, mtindo na muundo ufaao.
Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya masimulizi ili kukuza ubunifu wake.
Mwanafunzi aweze kujadiliana na wenzake kuhusu siku fulani ya michezo iliyofanyika shuleni.
Mwanafunzi aweze kuandika insha ya masimulizi inayozingatia mada, ujumbe, mtindo na muundo ufaao.
Je, unazingatia mambo gani ili kuandika insha nzuri ya masimulizi?
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 39-40
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 40-43
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 43-44
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 44-46
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
8 3
Michezo
Mahusiano
Mahusiano
Sarufi; Aina za maneno: Vivumishi viulizi
Sarufi; Kivumishi kirejeshi (amba-)
Sarufi; Kivumishi kirejeshi (amba-)
Kusikiliza na kuzungumza; Matamshi bora: Vitendawili
Kusoma; Kusoma kwa ufahamu: Kifungu cha hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza na kutaja vivumishi viulizi mbalimbali.
Kutunga wimbo mfupi unaouliza maswali kuhusu vitu na viumbe katika mazingira.
Kufurahia kutumia vivumishi viulizi katika mawasiliano ya kila siku.
Mwanafunzi aweze kueleza na kutaja vivumishi viulizi mbalimbali.
Mwanafunzi aweze kutunga wimbo mfupi unaouliza maswali kuhusu vitu na viumbe katika mazingira.
Je, ni maneno gani mnayoyatumia kuuliza maswali?
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 46-47
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 47-49
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 49-50
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 51-52
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 53
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
8 4
Mahusiano
Kusoma; Kusoma kwa ufahamu- Mashaka ya Juma
Kuandika; Kuandika kwa kutumia tarakilishi
Sarufi; Aina za maneno: Viwakilishi vya nafsi
Sarufi; Aina za maneno: Viwakilishi viashiria
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kusoma ufahamu kwa ufasaha na kutambua msamiati uliotumika katika hadithi ili kuimarisha ufahamu.
Kutumia msamiati lengwa kwa usahihi katika sentensi.
Kufurahia kutoa mukhtasari wa kifungu hicho.
Mwanafunzi aweze kusoma ufahamu kwa ufasaha na kutambua msamiati uliotumika katika hadithi ili kuimarisha ufahamu
Mwanafunzi aweze kutumia msamiati lengwa kwa usahihi katika sentensi.
Nini umuhimu wa kuwa na uhusiano mwema na wenzake?
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 53-55
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 56-58
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 58-60
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 61-63
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
9 1
Mahusiano
Sarufi; Aina za maneno: Viwakilishi vya idadi
Sarufi; Uakifishaji: Alama ya hisi (!)
Sarufi; Uakifishaji: Alama ya ritifaa (
Sarufi; Uakifishaji: Koloni (:)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya viwakilishi vya idadi na kutoa mifano.
Kutambua viwakilishi vya idadi katika sentensi na vifungu.
Kufurahia kutumia viwakilishi vya idadi katika mawasiliano ya kila siku.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya viwakilishi vya idadi na kutoa mifano.
Mwanafunzi aweze kutambua viwakilishi vya idadi katika sentensi na vifungu.
Mwanafunzi aweze kujaza pengo kwa viwakilishi vya idadi sahihi.
Viwakilishi vya idadi kamili vinahusu nini? Je, ni viwakilishi vya idadi kamili zipi unazozijua
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 64-66
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 66-68
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 68-69
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 70-71
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
9 2
Mahusiano
Misimu
Misimu
Misimu
Sarufi; Uakifishaji
Kusikiliza na kuzungumza; Heshima, adabu na vyeo: Maneno ya heshima
Sarufi; Umoja na wingi wa nomino: Ngeli ya YA-YA
Kusoma; Matini za kidijitali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza umuhimu wa kutumia alama za uakifishaji katika maandishi.
Kuandika kwa lugha fasaha bango lenye maelezo mafupi kuhusu mahusiano mema katika jamii akitumia alama za uakifishaji.
Kuchangamkia matumizi ya alama za uakifishaji katika maandishi.
Mwanafunzi aweze kueleza umuhimu wa kutumia alama za uakifishaji katika maandishi.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kuandika kwa lugha fasaha bango lenye maelezo mafupi kuhusu mahusiano mema katika jamii akitumia alama za uakifishaji.
Je, pana umuhimu gani wa kuzitumia alama za uakifishi katika maandishi?
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 71
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 59-60
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 60-62
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 62-63
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
9 3
Misimu
Kusikiliza na kuzungumza; Heshima, adabu na vyeo: Maneno ya heshima
Sarufi; Umoja na wingi wa nomino: Ngeli ya YA-YA
Sarufi; Umoja na wingi wa nomino: Ngeli ya YA-YA
Kuandika; barua rasmi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua maneno ya heshima zilizoandikwa ubaoni.
Kutunga sentensi akitumia maneno ya heshima aliyoyatambua ubaoni.
Kuigiza mazungumzo baina ya watu huku akitumia msamiati wa heshima.
Kuchangamkia matumizi ya maneno ya heshima, adabu na vyeo katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweze kutambua maneno ya heshima zilizoandikwa ubaoni.
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia maneno ya heshima aliyoyatambua ubaoni.
Mwanafunzi aweze kuigiza mazungumzo baina ya watu huku akitumia msamiati wa heshima wakiwa wawiliwawili.
Je, unayajua maneno gani ya heshima?
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 63-64
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 64
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk.
64-65
65-66
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
9 4
Misimu
Mshikamano wa Kitaifa
Kusoma; Matini ya kidijitali
Kuandika; Aina za insha: Barua rasmi
Kusikiliza na kuzungumza; Methali zinazohusu umoja na ushirikiano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kujadiliana picha iliyopo katika kitabu cha mwanafunzi Uk. 68
Kujadiliana kuhusu majina ya misimu.
Kusakura matini inayohusu misimu kwenye mtandao akitumia kipakalishi au simu.
Kufurahia matumizi ya kidijitali anaposoma matini mbalimbali.
Wanafunzi waweze kujadiliana picha iliyopo katika kitabu cha mwanafunzi Uk. 68
Wanafunzi waweze kujadiliana kuhusu majina ya misimu.
Mwanafunzi aweze kusakura matini inayohusu misimu kwenye mtandao akitumia kipakalishi au simu.
Ni ujumbe upi uliopata kwenye makala uliyowahi kusoma?
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk.
68-69
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 68
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 69
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 70-71
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
10 1
Mshikamano wa Kitaifa
Sarufi; Umoja na wingi wa nomino: Ngeli ya U-U
Kusoma; Lugha katika ushairi: Tathnia
Kuandika; Insha ya maelezo.
Kusikiliza na kuzungumza; Methali zinazohusu umoja na ushirikiano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusikiliza sentensi zilizotungwa kutokana na nomino za ngeli ya U-U zikisomwa kutoka kwenye tepurekoda au kinasasauti.
Kutambua nomino katika ngeli ya U-U katika kadi za maneno, tarakilishi, mti wa maneno au kapu la maneno.
Kutunga sentensi akitumia nomino katika ngeli ya U-U
Kuchangamkia matumizi ya ngeli ya U-U katika umoja na wingi katika mawasiliano
Mwanafunzi aweze kusikiliza sentensi zilizotungwa kutokana na nomino za ngeli ya U-U zikisomwa kutoka kwenye tepurekoda au kinasasauti.
Mwanafunzi aweze kutambua nomino katika ngeli ya U-U katika kadi za maneno, tarakilishi, mti wa maneno au kapu la maneno.
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia nomino katika ngeli ya U-U
Je, unajua nomino gani katika ngeli ya U-U?
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 71-72
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 80-82
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 73-75
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 75-76
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 76-77
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
10 2
Mshikamano wa Kitaifa
Kusoma; Lugha katika ushairi: Tathlitha- Tuacheni ukabila
Sarufi; Umoja na wingi wa nomino: Ngeli ya U-U
Kusoma; Lugha katika ushairi: Tarbia- Tushikane sote piya
Kuandika; Insha ya maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya shairi la tathlitha.
kusoma shairi,
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya shairi la tathlitha.
Mwanafunzi aweze kusoma shairi,
Je, ukwapi na utao ni nini?
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 78-80
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 81
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 82-84
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 84
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
10 3
Usawa wa Kijinsia
Kusikiliza na kuzungumza; Matamshi bora: Ushairi
Sarufi; Umoja na wingi wa nomino: Ngeli ya I-I
Kusoma; Kusoma kwa mapana: Makala- Mtoto si kidonda
Kuandika; Insha ya wasifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kukariri shairi kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali.
Kuonyesha ufahamu wa ujumbe katika shairi kwa kujibu maswali.
Kuchangamkia ushairi kama njia ya kujieleza kwa ufasaha.
Mwanafunzi aweze kukariri shairi kuhusu mada lengwa (maadili) kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali.
Mwanafunzi aweze kusikiliza shairi lengwa likikaririwa au kuimbwa na mwalimu, mgeni au kupitia vifaa vya kidijitali.
Ushairi unaweza kuboresha mazungumzo yako vipi?
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 85-86
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 87
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 88-90
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 91
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
10 4
Usawa wa Kijinsia
Kusikiliza na kuzungumza; Matamshi bora: Ushairi
Sarufi; Umoja na wingi wa nomino: Ngeli ya I-I
Kusoma; Kusoma kwa mapana: Makala- Maktaba
Sarufi; Umoja na wingi wa nomino: Ngeli ya I-I
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusikiliza shairi likikaririwa katika tarakilishi kisha kutamka maneno yaliyoundwa kutokana na sauti /d/, /nd/, /ch/, /sh/, /nj/ na /ng/
Kutambua msamiati uliotumika katika shairi kuhusu Usawa wa Kijinsia.
Kutunga sentensi akitumia msamiati uliotumika katika shairi kwa usahihi.
Kuchangamkia matumizi ya lugha ya ushairi.
Mwanafunzi aweze kusikiliza shairi likikaririwa katika tarakilishi kisha kutamka maneno yaliyoundwa kutokana na sauti /d/, /nd/, /ch/, /sh/, /nj/ na /ng/
Mwanafunzi aweze kujiunga na mwenzake kisha kutambua msamiati uliotumika katika shairi kuhusu Usawa wa Kijinsia.
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia msamiati uliotumika katika shairi kwa usahihi.
Ushairi una umuhimu gani katika jamii?
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 92
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 93
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 94
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 94-95
Intaneti
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
11 1
Majanga na jinsi ya kuyazuia
Kusikiliza na kuzungumza; Nahau za kazi na ushirikiano
Kusoma; Kusoma kwa mapana: Matini
Sarufi; Umoja na wingi wa nomino na sentensi Ngeli ya PA-KU-MU
Kusoma; Kusoma kwa mapana: Matini- Maktaba
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua nahau za kazi na ushirikiano katika chati ya maneno.
kujadili maana za nahau za kazi na ushirikiano na kutoa mifano.
kutunga sentensi akitumia nahau za kazi na ushirikiano.
Mwanafunzi aweze kutambua nahau za kazi na ushirikiano katika chati ya maneno.
Wanafunzi wakiwa wawiliwawili, kujadiliana maana za nahau za kazi na ushirikiano na kutoa mifano.
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia nahau za kazi na ushirikiano.
Je, nahau ni nini?
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 97-98
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 98-99
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 99-100
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 102-103
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
11 2
Wanyama wa Majini
Afya ya Akili
Sarufi; Mnyambuliko wa vitenzi: Kauli ya kutendeana
Kauli ya kutendesha
Kauli ya kutendua
Kusikiliza na Kuzungumza; Mazungumzo ya kimuktadha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua vitenzi vya kauli ya kutendeana katika orodha iliyoandikwa ubaoni au katika kitabu cha mwanafunzi.
Kunyambua vitenzi katika jedwali kutoka kauli ya kutenda hadi katika kauli ya kutendeana.
Kutunga na kuandika sentensi akivitumia vitenzi vya kauli ya kutendeana.
Kuchangamkia matumizi ya kauli ya kutendeana katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweze kutambua vitenzi vya kauli ya kutendeana katika orodha iliyoandikwa ubaoni au katika kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kunyambua vitenzi katika jedwali kutoka kauli ya kutenda hadi katika kauli ya kutendeana
Wanafunzi wakiwa katika vikundi kutunga na kuandika sentensi akivitumia vitenzi vya kauli ya kutendeana.
Mwanafunzi aweze kutambua vitenzi vya kauli ya kutendesha katika orodha iliyoandikwa ubaoni au katika kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kunyambua vitenzi katika jedwa nili katika kauli ya kutendesha
Mwanafunzi aweze kutunga na kuandika sentensi katika kauli ya kutendesha
Mwanafunzi aweze kutambua vitenzi vya kauli ya kutendua katika orodha iliyoandikwa ubaoni au katika kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kunyambua vitenzi katika jedwali katika kauli ya kutendua.
Wanafunzi wakiwa katika vikundi kutunga na kuandika sentensi katika kauli ya kutendua
Mwanafunzi aweze kusikiliza mazungumzo kati ya mwalimu na mwanafunzi katika kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kutambua muktadha wa mazungumzo katika kitabu cha mwanafunzi.
Mwanafunzi aweze kuigiza mazungumzo ya muktadha wowote rasmi
Je, vitenzi vinaweza kubadilika vipi mwishoni ili kuzileta maana mbalimbali?
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 139-141
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 142-144
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 145-147
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 148-151
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
11 3
Afya ya Akili
Kukabiliana na Ugaidi
Kusoma kwa mapana; Matini
Kuandika insha; Insha ya maelezo
Kuandika insha; Insha ya maelezo
Sarufi; Vinyume vya vivumishi
Kusikiliza na Kuzungumza; Sitiari za tabia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma matini.
Wanafunzi wakiwa wawili waweze kusoma matini,
Je, ni habari zipi unazopenda kuzisoma kwenye vyanzo mbalimbali vya matini?
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 151-153
Kapu maneno
Kamusi
Vifaa vya kidijitali
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 154-157
Chati
Mabango
Majarida
Michoro na picha
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 157-159
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 161-163
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
11 4
Kukabiliana na Ugaidi
Kusoma kwa mapana; Matini za kidijitali
Kuandika insha; Insha za masimulizi
Kuandika insha; Insha za masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kujadiliana namna mnaweza kuyafikia na kuyasoma matini yaliyohifadhiwa katika kifaa cha kidijitali.
Kujadiliana kuhusu majina ya misimu.
Kusakura matini inayohusu misimu kwenye mtandao akitumia kipakalishi au simu.
Kufurahia matumizi ya kidijitali anaposoma matini mbalimbali.
Wanafunzi wakiwa katika vikundi waweze kujadiliana namna mnaweza kuyafikia na kuyasoma matini yaliyohifadhiwa katika kifaa cha kidijitali
Mwanafunzi aweze kujadiliana kuhusu majina ya misimu.
Mwanafunzi aweze kusakura matini inayohusu misimu kwenye mtandao akitumia kipakalishi au simu
Ni hatua gani za kiusalama mnazozingatia mnapotafuta habari mtandaoni?
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 164-165
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 165-167
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 167-168
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 168-170
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
12 1
Kukabiliana na Ugaidi
Kuandika insha; Insha za masimulizi
Sarufi; Matumizi ya lugha: Hali ya masharti -nge
Hali ya masharti -ngali
Hali ya masharti -ki
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kujadiliana kuhusu kisa chochote kinachohusu Ugaidi ambacho amewahi kukisikia.
Kuandika insha ya masimulizi kuhusu kisa hicho.
Kuonea fahari umuhimu wa insha za masimulizi.
Mwanafunzi aweze kujadiliana kuhusu kisa chochote kinachohusu Ugaidi ambacho amewahi kukisikia
Mwanafunzi aweze kuandika insha ya masimulizi kuhusu kisa hicho
Insha ya masimulizi inahusu nini?
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 170-171
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 171-173
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 173-175
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 176-178
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
12 2
Kukabiliana na Ugaidi
Ushuru
Ushuru
Ushuru
Hali ya masharti -ki
Kusikiliza na Kuzungumza; Kutoa masimulizi
Kusikiliza na Kuzungumza; Kutoa masimulizi
Kusikiliza na Kuzungumza; Kutoa masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kujadiliana ujumbe anaoweza kuwapasha watu wengine kuhusu usalama.
Kueleza ni somo gani jingine huishughulikia hali ya masharti.
Kutathmini matumizi ya hali ya masharti.
Wanafunzi wakiwa katika vikundi waweze kujadiliana ujumbe anaoweza kuwapasha watu wengine kuhusu usalama
Mwanafunzi aweze kueleza ni somo gani jingine huishughulikia hali ya masharti
Ni masomo yapi mengine huzishughulikia hali ya masharti?
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 178
Kapu maneno
Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 179-180
Chati
Mabango
Michoro na picha
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 180-181
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 181-182
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
12 3
Ushuru
Kusoma kwa ufahamu; Kifungu
Kuandika barua; Barua rasmi
Kuandika barua; Barua rasmi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza ni mambo gani yanayowavutia mnapovisoma vifungu vya ufahamu.
Kusoma msamiati wa Ushuru ulioandikwa katika kitabu cha mwanafunzi.
Kuchangamkia kutumia msamiati wa Ushuru.
Wanafunzi wakiwa katika vikundi waweze kueleza ni mambo gani yanayowavutia mnapovisoma vifungu vya ufahamu
Mwanafunzi aweze kusoma msamiati wa Ushuru ulioandikwa katika kitabu cha mwanafunzi
Je, ni mambo gani yanayowavutia mnapovisoma vifungu vya ufahamu?
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 182
Kapu maneno
Kamusi
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 183-185
Chati
Mabango
Majarida
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 185-186
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 186-188
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
12 4
Ushuru
Sarufi; Ukanushaji wa maneno: Kiambishi cha hali ya masharti nge
Kiambishi cha hali ya masharti ngali
Kiambishi cha hali ya masharti ki
Ukubwa wa nomino zinazoanza kwa kiambishi ki-
Udogo wa nomino zinazoanza kwa kiambishi ki-
Ukubwa wa nomino zinazoanza kwa kiambishi ji-
Udogo wa nomino zinazoanza kwa kiambishi ji-
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma sentensi katika kitabu cha mwanafunzi.
Kukanusha sentensi zilizoandikwa ubaoni au katika kitabu cha mwanafunzi.
Kutambua na kuvipigia mstari viambishi vya hali ya masharti nge.
Kuchangamkia matumizi ya kiambishi cha hali ya masharti nge
Mwanafunzi aweze kusoma sentensi katika kitabu cha mwanafunzi.
Mwanafunzi aweze kukanusha sentensi zilizoandikwa ubaoni au katika kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze Kutambua na kuvipigia mstari viambishi vya hali ya masharti nge
Je, mnavitumia viambishi gani wakati wa kuvikanusha vitenzi?
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 189-191
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 192-194
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 1194-197
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 197-199
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 199-201
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 202-204
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 204-206
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi

Your Name Comes Here


Download

Feedback