If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
4 | 2 |
KUANDIKA
|
Baruapepe ya Kiofisi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Funzo, kutambua ujumbe unaoafiki baruapepe ya kiofisi kutambua vipengele vya kimuundo vya baruapepe ya kiofisi kutumia lugha inayofaa katika uandishi wa baruapepe ya kiofisi kuandika baruapepe ya kiofisikwa kuzingatia ujumbe, lugha namuundo ufaao kujenga mazoea ya kuwasiliana kwa kuandika baruapepe ya kiofisi |
Mwanafunzi aelekezwe:
kutambua ujumbe unaoafiki baruapepe ya kiofisikwa kujadiliana na mwenzake kujadili vipengele vya kimuundo vya baruapepe ya kiofisiakiwa katika kikundi kushiriki katika kujadili na wenzake kuhusu lugha inayofaa katika uandishi wa baruapepe ya kiofisi kuandika baruapepe ya kiofisikwenye tarakilishi na kumsambazia mwenzake kupitia mtandao ili aitolee maoni kumwandikia mwalimu wake baruapepe ya kiofisiili aitathmini kumsomea mzazi au mlezi baruapepe aliyoiandika ili aitolee maoni |
Je, ulizingatia vipengele gani katika baruapepe uliyowahi kuandika?
|
Kielelezo cha insha ya masimulizi Kielelezo cha insha ya maelezo Kielelezo cha insha ya wasifu Nakala ya barua ya kirafiki Nakala ya barua rasmi
OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.88 |
a)Kuandika tungo mbalimbali b)Wanafunzi kufanyiana tathmini
c)Potfolio
d)Shajara
e)Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
|
|
4 | 3 |
SARUFI
|
Usemi Halisi na Usemi wa Taarifa
Vivumishi vya Sifa na Viashiria |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Funzo, kutambua usemi halisi na usemi wa taarifa katika matini kujadili kanuni zakubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa kwa kuzingatia kanuni za kubadilisha usemi kutumia usemi halisi na usemi wa taarifa ifaavyo kuchangamkia matumizi ya usemi halisina usemi wa taarifa katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
kutambua usemi halisi na usemi wa taarifa katikamatini akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi kujadili kanuni za kubadilisha usemi (k.v wakati, nafsi, alama za uakifishi) kutambua kanuni za kimsingi za kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa (k.v leo kuwa siku hiyo, kwetu kuwa kwao, hapa kuwa hapo, kiambishi |
Usemi halisi unatofautianaje na usemi wa taarifa?2.Unazingatia nini unapobadilisha usemi?
|
Tarakilishi/vipakatalishi Kinasasauti
Rununu Projekta Kapu maneno Mti maneno Kadi maneno Picha za vitu mbalimbali Michoro Chati Mabango Sanamu Nyenzo halisi OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.89 Tarakilishi/vipakatalishi Kinasasauti Rununu Projekta Kapu maneno Mti maneno Kadi maneno Picha za vitu mbalimbali Michoro Chati Mabango Sanamu Nyenzo halisi OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.55 |
a)Kutambua k.m. kwenye orodha b)Kuambatanisha maneno lengwa c)Kujaza mapengo d)Kutunga sentensi
e)Kazi mradi
|
|
4 | 4 |
KUANDIKA
SARUFI |
Inshaza KubuniMaelezo
kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili waitolee maoni |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO, kutambua tamathali mbalimbali za lugha katika insha ya maelezo kueleza jinsi tamathali mbalimbali za lugha zinavyochangia kujenga picha dhahiri katika insha ya maelezo kuandika insha ya maelezo akitumia tamathali mbalimbali za lugha ili kujenga picha dhahiri kufurahia kuandika insha za maelezo akitumiatamathali mbalimbali za lughaili kujenga picha dhahiri |
Mwanafunzi aelekezwe:
kutambua tamathali mbalimbali za lugha katika vielelezo vya insha za maelezo (k.v. tashbihi, sitiari, uhaishaji na tanakali sauti) akiwa peke yake au wawiliwawili kutambua jinsi tamathali za lugha katika kielelezocha insha ya maelezo zinavyochangia kujenga picha dhahiri ya kinachoelezewa akishirikiana na wenzake katika kikundi kupigia mstari tamathali mbalimbali zilizotumiwa kwenye kifunguna kutoa maelezo katika kitabu au kifaa cha kidijitali akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi kuandika insha ya maelezo akitumia tamathali mbalimbali za lugha ili kujenga picha dhahiri katika insha ya maelezo kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili waitolee maoni |
Je, unatumia lugha ya aina gani wakati unapotaka kumweleza mtu kitu ili aweze kupata picha kamili?
|
Kielelezo cha insha ya masimulizi Kielelezo cha insha ya maelezo Kielelezo cha insha ya wasifu Nakala ya barua ya kirafiki Nakala ya barua rasmi
OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.56 Tarakilishi/vipakatalishiKinasasauti RununuProjektaKapu manenoMti maneno Kadi maneno Picha za vitu mbalimbaliMichoroChatiMabango SanamuNyenzo halisi OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.57 |
Kuandika tungo mbalimbali b) Wanafunzi kufanyiana tathmini
Potfolio
Shajara
Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
|
|
4 | 5 |
KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA
KUSOMA |
Aina za UzungumzajiUzungumzaji waPapo kwa Papo
Kusoma kwa KinaTamthilia |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO, kueleza maana ya uzungumzaji wa papo kwa papoili kuupambanua kutambua vipengele vya kuzingatia katika uzungumzaji wa papo kwa papo kutoauzungumzaji wa papo kwa papo kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya uzungumzaji kuchangamkia kutoauzungumzaji wa papo kwa papoili kufanikisha mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
kuelezamaana ya mazungumzoya papo kwa papo akiwa peke yake au katika kikundi kubainishavipengele vya kuzingatia katika uzungumzajiwa papo kwa papo (k.v ukakamavu, ujumbe unaolenga hadhira husika,ubanifu, upangajihoja, utumiaji wa lugha ya kawaida, utumiaji wa ishara, utumiaji wa sauti ifaayo) akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi kusikilizauzungumzaji wa papo kwa papo kuhusu suala lengwa yakitolewana mwalimu, wenzake, mgeni mwalimu au kutoka kwenye vifaa vya kidijitali na kutathmini vipengele vya uwasilishaji vilivyotumika kushiriki katika uzungumzaji wa papo kwa papoakizingatia vipengele vifaavyo kubuni uzungumzaji mwepesi wa papo kwa papokuhusu suala lengwa akizingatia vipengele vifaavyona kuwawasilishiawenzake katika kikundi ili wautathmini |
Unazingatia mambogani ili kufanikisha uzungumzaji wa papo kwa papo?
|
?Chati ?Michoro na picha
?Mgeni mwalikwa ?Vifaa vya kidijitali (k.v tarakilishi/vipakatalishi, kinasasauti, rununu, projekta, video) ?Mti maneno ?Kapu maneno ?Vitabu mbalimbali OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.58 Tarakilishi/vipakatalish Kinasasauti Rununu Projekta Tarakilishi/vipakatalishi Kinasasauti Rununu Kamusi mbalimbali Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.59 |
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
Kujibu maswali Maigizo Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno na majibu
Mijadala g)Mazungumzo Matumizi ya ishara za mwili k.v ishara za uso, za mikono na mabega kuimarisha masimulizi yake
Wanafunzi kufanyiana tathmini
|
|
5 | 1 |
KUANDIKA
SARUFI KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA |
ViakifishiAlama za Mtajona Mshazari
geli na Upatanisho wa Kisarufi Kusikiliza kwa Kina |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO, kutambua matumizi ya alama za mtajo na mshazari katika matini kutumia ipasavyo alama za mtajo namshazari katika matini kufurahia matumizi yafaayo yaalama za mtajo na mshazarikatika matini |
Mwanafunzi aelekezwe:
kutambua matumizi ya alama za mtajo na mshazari kwenye matini andishi au za kidijitali (k.v. kutumia alama za nukuu mwanzoni na mwishoni mwa usemi halisi) kutumia mshazari (k.vkutenga maneno katika sentensi, kuchukua nafasi ya |
Je, alama za mtajo hutumiwa vipi katika maandishi?
Je, alama ya mshazari hutumiwa vipi katika maandishi?
|
Kielelezo cha insha ya masimulizi Kielelezo cha insha ya maelezo Kielelezo cha insha ya wasifu Nakala ya barua ya kirafiki Nakala ya barua rasmi
OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.60 Tarakilishi/vipakatalishiKinasasauti RununuProjektaKapu manenoMti maneno Kadi maneno Picha za vitu mbalimbaliMichoroChatiMabango SanamuNyenzo halisi OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.61 ?Chati ?Michoro na picha ?Mgeni mwalikwa ?Vifaa vya kidijitali (k.v tarakilishi/vipakatalishi, kinasasauti, rununu, projekta, video) ?Mti maneno ?Kapu maneno ?Vitabu mbalimbali Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.62 |
Kuandika tungo mbalimbali Wanafunzi kufanyiana tathmini
Potfolio
Shajara
Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
|
|
5 | 2 |
KUSOMA
KUANDIKA |
Ufahamu wa Kifungu cha Kushawishi
Insha za KubuniMasimulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO, kutambua habari mahususi katika kifungu cha ufahamu kutabiri matukio katika kifungu cha ufahamu kueleza maana ya msamiati na vifungu vya maneno katika kifungu cha ufahamu kujadili ushawishi katika kifungu cha ufahamu kuchangamkia usomaji wa ufahamu shawishi ili kukuzahamu ya ujifunzaji |
Mwanafunzi aelekezwe:
kusoma ufahamu wa kifungu cha kushawishi kutoka kwa vitabu au vifaa vya kidijitali na kudondoa habari mahususi (k.v. nani, nini, wapi, lini, n.k.) kutabiri matukio katika kifungu cha ufahamucha kushawishi akishirikiana na wenzake katika kikundi kueleza maana ya msamiati kuhusu suala lengwa (k.v. maneno na nahau) katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi na kuueleza kwa kutumia kamusi akiwa peke yakeau katika kikundi kujadili ushawishi katika kifungu cha ufahamu akishirikiana na wenzake katika kikundi kuwawasilishia wenzake kazi yake ili wamtolee maoni |
Ni kwa njia gani tunaweza kutambua ujumbe wenye lengo la kushawishi katika habari?
|
Tarakilishi/vipakatalish
Kinasasauti Rununu Projekta Tarakilishi/vipakatalishi Kinasasauti Rununu Kamusi mbalimbali OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.63 Kielelezo cha insha ya masimuliziKielelezo cha insha ya maelezoKielelezo cha insha ya wasifuNakala ya barua ya kirafikiNakala ya barua rasmi OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.64 |
Kutunga sentensi k.m. kwa
kutumia msamiati lengwa Kujibu maswali k.m. katika ufahamu Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa d)Kusoma kwa sauti Wanafunzi kufanyiana tathmini
Potfolio
Shajara
|
|
5 | 3 |
SARUFI
KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA KUSOMA KUANDIKA |
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi
Hadithi Hurafa naHekaya Kusoma kwa KinaTamthilia Barua ya Kuomba Msaada |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
FUNZO, kutambua nomino katika ngeli ya U -U na U -YA katika matini kutambua upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U -U na U -YA katika sentensi kutumia nomino katika ngeli ya U -U na U -YA kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi kuchangamkia kutumia nomino katika ngeli ya U-U na U -YA ipasavyo ili kuimarisha umilisi wa lugha |
Mwanafunzi aelekezwe:
kuchopoa nomino za ngeli ya U -U (k.v uji, ugoro, umaskini urafiki, n.k) naU-YA (k.v. ugonjwa -magonjwa, uovu: maovu, ulezi-malezi,n.k.)kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au tarakilishi akiwa peke yake au katika kikundi kutenga nomino za ngeli ya U -U na U -YA katika orodha ya nomino, sentensi au vifungu kwenye vitabu, vifaa vya kidijitali, chati kwa kuzikolezea wino au kuzipigia mstari akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli yaU -U na U -YA katika sentensi na vifungu akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi kutunga sentensi au vifungu vyenye upatanisho ufaao wa kisarufi kuhusu suala lengwa kwa kutumia nomino zangeli ya U-U na U -YA akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi |
Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya U -U?
Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya U-YA?
|
Tarakilishi/vipakatalishi Kinasasauti
Rununu Projekta Kapu maneno Mti maneno Kadi maneno Picha za vitu mbalimbali Michoro Chati Mabango Sanamu Nyenzo halisi OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.65 ?Chati ?Michoro na picha ?Mgeni mwalikwa ?Vifaa vya kidijitali (k.v tarakilishi/vipakatalishi, kinasasauti, rununu, projekta, video) ?Mti maneno ?Kapu maneno ?Vitabu mbalimbali Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.66 Tarakilishi/vipakatalish Kinasasauti RununuProjektaTarakilishi/vipakatalishiKinasasauti Rununu Kamusi mbalimbali OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.67 Kielelezo cha insha ya masimuliziKielelezo cha insha ya maelezoKielelezo cha insha ya wasifuNakala ya barua ya kirafikiNakala ya barua rasmi OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.68 |
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo Kutunga sentensi
Kazi mradi
|
Your Name Comes Here