Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA NNE
MWAKA WA 2024
MUHULA WA II

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1

Reporting

2 2
Mavazi
Sarufi; Aina za maneno: Vihusishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya kihusishi ili kukibainisha.
Kutambua kihusishi katika kundi la maneno au sentensi.
Kuonea fahari matumizi ya vihusishi katika mawasiliano.
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kueleza maana ya kihusishi na kuvitolea mifano (k.v karibu na, mbali na, chini ya, nje ya, ndani ya Nk)

Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kutambua vihusishi katika kundi la maneno au sentensi.
Je, kihusishi ni nini?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 49-50
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Intaneti
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 50-51
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
2 3
Mavazi
Sarufi; Aina za maneno: Vihisishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya kihisishi ili kukibainisha.
Kutambua kihusishi katika kundi la maneno au sentensi.
Kuonea fahari matumizi ya vihisishi katika mawasiliano.
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kueleza maana ya kihisishi na kuvitolea mifano (k.v Lo! Ala! Oyee! Naam!)

Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kutambua vihisishi katika kundi la maneno au sentensi
Je, kihisishi ni nini?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 52-53
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Intaneti
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
2 4
Mavazi
Sarufi; Aina za maneno: Vihisishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutunga sentensi kutumia vihisishi kwa njia ipasavyo.
Kuchagua vihisishi kutoka kwenye kundi la maneno yaliyo kwenye tarakilishi, aviburure na kuvitia kapuni.
Kuonea fahari matumizi ya vihisishi katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi kutumia vihisishi kwa njia sahihi.

Mwanafunzi aweze kuchagua vihisishi kutoka kwenye kundi la maneno yaliyo kwenye tarakilishi, aviburure na kuvitia kapuni akiwa peke yake au katika kundi
Ni vihisishi gani unavyoweza kutumia katika sentensi?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 53-54
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Intaneti
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
3 1
Dira
Kusikiliza na Kuzungumza; Heshima, Adabu na vyeo: Maneno ya upole
Kusoma; Kusoma kwa mapana: Matini ya kidijitali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua na kutumia maneno ya upole yanayotumiwa katika mawasiliano.
Kuigiza matukio yanayohusu matumizi ya maneno ya upole.
Kutathmini matumizi ya maneno ya upole katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweze kutambua na kutumia maneno ya upole yanayotumiwa katika mawasiliano.

Mwanafunzi aweze kuigiza matukio yanayohusu matumizi ya maneno ya upole wakiwa wawiliwawili.
Ni maneno gani yanatumiwa kuonyesha upole katika mazungumzo?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 55-57
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Intaneti
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 58-59
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
3 2
Dira
Kusoma; Kusoma kwa mapana: Matini ya kidijitali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali.
Kuandika msamiati wa dira na maelezo yake na kupiga chapa matini hayo kisha kuhifadhi kwa faili kwenye tarakilishi.
Kuchangamkia mataumizi ya kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake.
Mwanafunzi aweze kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali.

Mwanafunzi aweze kuandika msamiati wa dira na maelezo yake na kupiga chapa matini hayo kisha kuhifadhi kwa faili kwenye tarakilishi.
Ni hatua zipi za kiusalama unazofaa kuzingatia unapotumia mtandao?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 59-61
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Intaneti
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
3 3
Dira
Kuandika; Barua ya kirafiki
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua barua ya kirafiki kwa kuzingatia muundo wake.
Kuandika barua ya kirafiki inayozingatia mada kwa kufuata kanuni zifaazo.
Kuchangamki utunzi mzuri wenye ujumbe mahususi.
Mwanafunzi aweze kutambua barua ya kirafiki kwa kuzingatia muundo wake.

Mwanafunzi aweze kuandika barua ya kirafiki inayozingatia mada kwa kufuata kanuni zifaazo.
Je, unazingatia nini ili kuandika barua nzuri ya kiurafiki? Barua za kirafiki inashughulikia masuala gani?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 61-64
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Intaneti
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
3 4
Dira
Sarufi; Ngeli za nomino: Umoja na wingi wa nomino katika ngeli ya A-WA
Sarufi; Ngeli za nomino: Umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya A-WA
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya ngeli za nomino na kutambua nomino katika ngeli ya A-WA
Kuandika nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi.
Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya A-WA katika mawasiliano
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya ngeli za nomino n kutambua nomino katika ngeli ya A-WA.

Mwanafunzi aweze kuandika nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika makundi.
Je, ngeli za nomino ni zipi?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 65-66
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Intaneti
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 67-69
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
4 1
Ushauri Nasaha
Kusikiliza na Kuzungumza; Methali; Methali zinazohusu malezi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya methali.
Kusakura methali mbalimbali katika mtandao na kuandika maana zake kama zilivyo kwenye mtandao.
Kuchangamkia matumizi ya methali katika muktadha mbalimbali
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya methali.

Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kusakura methali mbalimbali katika mtandao na kuandika maana zake kama zilivyo kwenye mtandao.
Je, unajua methali ni nini? Methali hutumika kufanya nini?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 71-72
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
4 2
Ushauri Nasaha
Kusikiliza na Kuzungumza; Methali; Methali zinazohusu malezi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua methali kuhusu malezi kutoka kwa kundi la methali alizopewa.
Kutumia methali kuhusu malezi katika kifungu kifupi na masimulizi
Kuchangamkia matumizi ya methali zinazohusu malezi katika muktadha mbalimbali.
Mwanafunzi aweze kutambua methali kuhusu malezi (k.v mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, mtoto wa nyoka ni nyoka) kutoka kundi la methali alizopewa.

Mwanafunzi aweze kutumia methali kuhusu malezi katika kifungu kifupi na masimulizi akiwa peke yake, wawili wawili na katika vikundi
Ni methali gani zinahusu malezi?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 72-73
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu

Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
4 3
Ushauri Nasaha
Kusoma; Ujumbe na lugha katika ushairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya shairi, ubeti na mshororo ili kuvibainisha.
Kusoma shairi kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe.
Kufurahia kutumia lugha ya ushairi anapozungumzia ushairi.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya shairi, ubeti na mshororo ili kuvibainisha.

Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kusoma shairi kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe wake.
Je, shairi ni nini? Mashairi yanaweza kuwasilisha ujumbe gani?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 73-74
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 75-76
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
4 4
Ushauri Nasaha
Kuandika; Insha ya maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua insha ya maelezo kwa kuzingatia muundo.
Kuandika na kueleza mambo ya kuzingatia wakati wa kuandika insha ya maelezo katika tarakilishi.
Kuchangamkia utunzi mzuri mwenye ujumbe mahususi.
Mwanafunzi aweze kutambua insha ya maelezo kwa kuzingatia muundo.

Mwanafunzi aweze kuandika na kueleza mambo ya kuzingatia wakati wa kuandika insha ya maelezo katika tarakilishi.
Je, unazingatia mambo gani unapoandika insha ya maelezo?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 76-77
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
5 1
Ushauri Nasaha
Kuandika; Insha ya maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua insha ya maelezo kwa kurejelea vielezo vya insha vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi
Kuandika insha ya maelezo kuhusu umuhimu wa malezi mema kwenye tarakilishi.
Kufurahia kuandika insha ya maelezo kuhusu umuhimu wa malezi mema kwenye tarakilishi.
Mwanafunzi aweze kutambua insha ya maelezo kwa kurejelea vielezo vya insha vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi.

Mwanafunzi aweze kuandika insha ya maelezo kuhusu umuhimu wa malezi mema kwenye tarakilishi.
Insha ya maelezo inahusu nini?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 77-78
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
5 2
Ushauri Nasaha
Sarufi; Umoja na wingi wa nomino: Ngeli ya U-I
Sarufi; Umoja na wingi wa sentensi; Ngeli ya U-I
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya ngeli za nomino na kutambua nomino katika ngeli ya U-I
Kuandika nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi.
Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-I katika mawasiliano
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya ngeli za nomino n kutambua nomino katika ngeli ya U-I.

Mwanafunzi aweze kuandika nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika makundi.
Ni nomino gani za ngeli ya U-I unazozijua?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 79-81
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 81-83
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
5 3
Bendera ya Taifa
Kusikiliza na Kuzungumza; Kujieleza kwa ufasaha: Ushairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kukariri au kuimba shairi kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali.
Kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika shairi.
Kuchangamkia ushairi kama njia ya kujieleza kwa ufasaha.
Mwanafunzi aweze kukariri au kuimba shairi kuhusu mada lengwa (Bendera ya taifa) kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali.

Mwanafunzi aweze kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika shairi.
Ushairi unaweza kuboresha mazungumzo yako vipi?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 84-86
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
5 4
Bendera ya Taifa
Kusoma; Kusoma kwa kina: Makala
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma mchezo wa kuigiza kuhusu mada lengwa (Kaugua augua)
Kuigiza mchezo wa kuigiza kuhusu mada lengwa (Kaugua augua)
Kufurahia kushiriki katika mchezo wa kuigiza kuhusu mada lengwa (Kaugua augua)
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kusoma mchezo wa kuigiza kuhusu mada lengwa (Kaugua augua)

Mwanafunzi aweze kuigiza mchezo wa kuigiza kuhusu mada lengwa (Kaugua augua) wakiwa wawili wawili.
Ni ujumbe upi uliopata kwenye makala?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 86-88
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
6

Midterm assessment

7 1
Bendera ya Taifa
Kusoma; Kusoma kwa kina: Makala
Kuandika; Insha ya wasifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma makala kwa kuzingatia vipengele mbalimbali kisha kujibu maswali.
Kuchora bendera ya Kenya na kuipaka rangi zake.
Kufurahia kuchora bendera ya Kenya kwenye daftari.
Mwanafunzi aweze kusoma makala kwa kuzingatia vipengele mbalimbali kisha kujibu maswali.

Mwanafunzi aweze kuchora bendera ya Kenya na kuipaka rangi zake.
Je, rangi za bendera ya Kenya zinaashiria nini?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 88-89
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 89-91
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
7 2
Bendera ya Taifa
Sarufi; Umoja na wingi wa nomino katika ngeli ya LI-YA
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua nomino katika ngeli ya LI-YA
Kusikiliza usomaji wa nomino za ngeli ya LI-YA katika umoja na wingi.
Kufurahia kutumia nomino za ngeli ya LI-YA katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweze kutambua nomino katika ngeli ya LI-YA.

Mwanafunzi aweze kusikiliza usomaji wa nomino za ngeli ya LI-YA katika umoja na wingi kwenye kinasasauti.
Je, nomino zinazorejelea matunda ni zipi?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 91-94
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
7 3
Bendera ya Taifa
Sarufi; Umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya LI-YA
Sarufi; Umoja na wingi wa nomino katika ngeli ya KI-VI
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandika umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya LI-YA.
Kushiriki katika mchezo wa kuchopoa kadi za sentensi zenye nomino za ngeli ya LI-YA kutoka kwenye kikapu au boksi kisha kuzisoma.
Kuchangamkia kutumia umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya LI-YA katika mawasiliano
Mwanafunzi aweze kuandika umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya LI-YA

Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kushiriki katika mchezo wa kuchopoa kadi za sentensi zenye nomino za ngeli ya LI-YA kutoka kwenye kikapu au boksi kisha kuzisoma.
Nomino zilizo katika ngeli ya LI-YA ni zipi?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 94-97
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 97-99
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
7 4
Bendera ya Taifa
Sarufi; Umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya KI-VI
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutumia tarakilishi kupiga chapa sentensi katika ngeli ya KI-VIKusikiliza usomaji wa nomino za ngeli ya KI-VI katika umoja na wingi.
Kuchangamkia kutumia umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya KI-VI katika mawasiliano
Mwanafunzi aweze kutumia tarakilishi kupiga chapa sentensi katika ngeli ya KI-VI.

Mwanafunzi aweze kusikiliza usomaji wa nomino za ngeli ya KI-VI katika umoja na wingi
Ni nomino gani za ngeli ya KI-VI unazozijua?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 111-112
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
8 1
Matunda na mimea
Kusikiliza na Kuzungumza; Nahau: Nahau za maadili na uraia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua maana za nahau mbalimbali za maadili na uraia katika mazungumzo.
Kutumia nahau za maadili na uraia katika mawasiliano.
Kutathmini matumizi ya nahau za maadili na uraia katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweze kutambua maana mbalimbali za maadili na uraia katika mazungumzo.

Mwanafunzi aweze kutumia nahau za maadili na uraia katika mawasiliano.
Je, nahau ni nini?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 100-102
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
8 2
Matunda na mimea
Kusikiliza na Kuzungumza; Nahau: Nahau za maadili na uraia
Kusoma kwa Mapana; Matini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua nahau za maadili na uraia katika matini mbalimbali.
Kuandika sentensi sahihi kwa kutumia nahau za maadili kisha mpachike chati hizo ukutani.
Kufurahia kutunga na kuandika sentensi sahihi kutumia nahau za maadili.
Mwanafunzi aweze kutambua nahau za maadili na uraia katika matini mbalimbali.

Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kuandika sentensi sahihi kwa kutumia nahau za maadili kisha kuzipachika ukutani.
Je, ni nahau zipi zinazohusu maadili?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 103-104
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 104-106
Mtandao
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
8 3
Matunda na mimea
Kusoma kwa Mapana; Matini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma matini ya mada lengwa kisha kujibu maswali
Kuchora mimea miwili aliyoyaona kisha kuzipaka rangi.
Kufurahia usomaji wa aina mbalimbali za matini.
Mwanafunzi aweze kusoma matini ya mada lengwa kisha kujibu maswali.

Mwanafunzi aweze kuchora mimea miwili aliyoyaona kisha kuzipaka rangi.
Ni nini kinachokuvutia unaposoma hadithi?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 106-108
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
8 4
Matunda na mimea
Kusoma kwa Mapana; Matini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kukariri shairi lenye mada lengwa; Matunda yana faida.
Kujadili faida za matunda katika mwili wa binadamu.
Kufurahia kukariri shairi lenye mada lengwa; matunda yana faida.
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kukariri shairi lenye mada lengwa; Matunda yana faida.

Mwanafunzi aweze Kujadili faida za matunda katika mwili wa binadamu.
Je, matunda yana faida gani katika mwili wa binadamu?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 109-110
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
9

Midterm Break

10 1
Matunda na mimea
Kuandika; Insha ya maelezo
Sarufi; Umoja na wingi wa nomino katika ngeli ya LI-LI
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua insha ya maelezo katika matini.
Kuandika insha ya maelezo yenye anwani; Utunzaji wa mimea
Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya maelezo ili kukuza ubunifu.
Mwanafunzi aweze kutambua insha ya maelezo katika matini.

Mwanafunzi aweze kuandika insha ya maelezo yenye anwani; Utunzaji wa mimea.
Je, ni mambo gani ya kuzingatia wakati wa kuandika insha ya maelezo?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 110
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 111-112
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
10 2
Matunda na mimea
Sarufi; Umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya LI-LI
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandika umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya LI-LI.
Kusikiliza usomaji wa nomino za ngeli ya LI-LI katika umoja na wingi.
Kuchangamkia kutumia umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya LI-LI katika mawasiliano
Mwanafunzi aweze kuandika umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya LI-LI

Mwanafunzi aweze kusikiliza usomaji wa nomino za ngeli ya LI-LI katika umoja na wingi kwenye kinasasauti.
Je, umegundua nini kuhusu wingi wa maneno katika ngeli ya LI-LI?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 113-114
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
10 3
Wanyama wa Porini
Kusikiliza na Kuzungumza; Visawe vya maneno mawili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya kisawe ili kukibainisha.
Kutumia visawe vya kiwango chake ifaavyo katika mawasiliano.
Kufurahia kutumia visawe katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya neno kisawe akiwa peke yake au kwa kujadiliana na wenzake.

Mwanafunzi aweze kutambua na kutumia visawe vya maneno mawili vya kiwango chake kwa kurejelea kapu maneno, kadi za maneno na mti maneno katika mawasiliano.
Je, kisawe ni nini?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 116-117
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Intaneti
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
10 4
Wanyama wa Porini
Kusikiliza na Kuzungumza; Visawe vya maneno mawili
Kusoma; Mchezo wa kuigiza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua visawe vya maneno mawili katika kundi la maneno.
Kutumia kamusi kutafuta visawe vya maneno (k.v uzembe, jaji, tajiri, maskini, maringo)
Kutathmini matumizi ya visawe katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweze kutambua visawe vya maneno mawili katika kundi la maneno.

Mwanafunzi aweze kutumia kamusi kutafuta visawe vya maneno (k.v uzembe, jaji, tajiri, maskini, maringo)
Unajua maneno gani ya kiswahili yaliyo na maana sawa?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 118-119
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Intaneti
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 120
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
11 1
Wanyama wa Porini
Kusoma; Mchezo wa kuigiza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma mchezo mfupi wa kuigiza kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe maalum.
Kuigiza mchezo mfupi kwa kuzingatia maelekezo.
Kufurahia kusoma michezo na kuigiza.
Mwanafunzi aweze kusoma mchezo mfupi wa kuigiza kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe maalum.

Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kuigiza mchezo mfupi kwa kuzingatia maelekezo.
Je, unapata vipi ujumbe katika mchezo wa kuigiza?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 120-123
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Intaneti
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
11 2
Wanyama wa Porini
Kuandika; Insha ya masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo.
Kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo.
Kuchangamkia utunzi nzuri wa insha ya masimulizi ili kujenga ubunifu wake
Mwanafunzi aweze kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo.

Mwanafunzi aweze kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo.
Insha ya masimulizi inahusu nini? Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya masimulizi?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 122-125
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Intaneti
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
11 3
Wanyama wa Porini
Sarufi; Mnyambuliko wa vitenzi: Kauli ya kutenda
Sarufi; Mnyambuliko wa vitenzi: Kutendea
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya kauli ya kutenda.
Kutambua, kunyambua na kutumia vitenzi katika kauli ya kutenda katika matini na anapowasiliana.
Kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika Kauli ya kutenda
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya kauli ya kutenda.

Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kutambua, kunyambua na kutumia vitenzi katika kauli ya kutenda katika matini na anapowasiliana.
Je, kauli ya kutenda huonyesha nini?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 125-126
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Intaneti
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 127-128
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
11 4
Wanyama wa Porini
Sarufi; Mnyambuliko wa vitenzi: Kutendwa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya kauli ya kutendwa.
Kutambua, kunyambua na kutumia vitenzi katika kauli ya kutendwa katika matini na anapowasiliana.
Kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika Kauli ya kutendwa.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya kauli ya kutendwa.

Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kutambua, kunyambua na kutumia vitenzi katika kauli ya kutendwa katika matini na anapowasiliana
Je, kauli ya kutendwa huonyesha nini?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 129-130
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Intaneti
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
12

MAPs Camp meeting

13

End term assesment

14

END OF TERM


Your Name Comes Here


Download

Feedback