If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 |
Mtihani wa ufunguzi |
|||||||
2 | 1 |
Fasihi
Kusikiliza na kuzungumza Isimu Jamii |
Hadithi fupi
Fasihi simulizi na fasihi andishi Maana, lugha na mawasiliano |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na lugha |
Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi
Picha na michoro Jedwali Utendaji wa wanafunzi |
kitabu teule
|
|
2 | 2 |
Sarufi
Kusoma Kuandika |
Vivumishi, ngeli za majina na upatanishi wake
Matangazo Barua rasmi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuvibainisha vivumishi vya sifa, vionyeshi, idadi na kuvitumia pamoja na ngeli mbalimbali katika sentensi |
Kuuliza Kusikiliza Kujibu maswali |
Jedwali, kadi zenye vivumishi vya sifa vionyeshi na idadi
Nakala za matangazo ya redio nay a kuandikwa Nakala za barua rasmi |
KLB BK4 UK 26-27
Nkwera: Fasihi na sarufi UK 28 |
|
2 | 3 |
Fasihi
Kuandika insha ya methali Kusikiliza na kuzungumza |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Kuandika insha ya methali Kusikiliza na kuzungumza |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua ploti ya hadithi, dhamira, maudhui, lugha na wahusika katika hadithi |
Kujadiliana Kuuliza Kujibu maswali |
Vifaa halisi
Picha na michoro Mifano ya insha za methali |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
2 | 4 |
Sarufi
Kusoma kwa mapana |
Nomino/jina
Magazeti |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Utambuzi wa aina mbalimbali za nomino, kuzitolea mifano katika sentensi sahihi |
Kusikiliza Kuuliza Kujibu maswali |
Vifaa halisi
Picha na michoro Taifa Leo Majira Majarida Ya Kiswahili Katika maktaba |
KLB BK4 UK 32-35
F.V. Nkwera |
|
2 | 5-6 |
Fasihi
Kuandika Kusikiliza na kuzungumza Sarufi Kuandika Isimu Jamii |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Muhtasari Mtandao Vitenzi Memo Hadhi na chimbuko la lugha ya Kiswahili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui na wahusika katika hadithi fupi Kuvitanbua na kutaja aina zake na kuweza kuvitungia sentensi |
Kujadiliana Kuuliza Kujibu maswali Kutambulisha vitenzi Kuuliza Kujibu maswali |
Vifaa halisi
Picha na michoro Fungu la ufupisho Vifaa halisi Picha na michoro Tarakilishi Rununu Nukilishi |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
KLB BK4 UK 43-46 |
|
3 | 1 |
Fasihi
Kusikiliza na kuongea Kusoma kwa ufahamu |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Methali na misemo Haki za binadamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na matumizi ya lugha |
Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi
Picha na michoro Vinasa sauti |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
3 | 2 |
Sarufi
Isimu Jamii |
Viwakilishi
Dhana ya lahaja za Kiswahili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Aina za viwakilishi zitambulishwe na ziweze kutumika katika umoja na wingi ipasavyo katika mwasiliano |
Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi
Picha na michoro |
KLB BK4 UK 58-60
Oxford BK4 UK |
|
3 | 3 |
Fasihi
Kuandika |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Tahakiki |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na mbinu za lugha na za kisanaa ipasavyo |
Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi
Picha na michoro Tamthilia Riwaya Diwani ya ushairi na hadithi fupi |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
3 | 4 |
Fasihi
Kusikiliza na kuongea Fasihi simulizi |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Mafumbo Lakabu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Vifaa halisi
Picha na michoro Picha na bango lenye picha |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
3 | 5-6 |
Kusoma
Sarufi Kusoma Kuandika Isimu Jamii |
Viwanda
Viunganishi Wavuti Simu na Memo Usanifishaji wa Kiswahili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusomakuimarisha matamshi bora na kuweza kuujua na kuutumia ipasavyo Kujibu maswali ipasavyo Kudurusu kuhusu sehemu muhimu za simu, memo na kuzibainisha ili kuweza kudhihirisha matumizi yake ipasavyo katika mtungo |
Kusoma Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali Kutunga mtungo |
Vifaa halisi
Picha na michoro Jedwali Picha na bango lenye picha Vifaa halisi Picha na bango lenye picha Picha na michoro |
Tuki Kamusi sanifu KLB BK4 UK 84-88 KLB BK4 UK 91-93 Mwongozo wa insha |
|
4 | 1 |
Fasihi
Kusikiliza na kuongea |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Bungeni |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na mbinu za lugha na za kisanaa |
Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi
Picha na michoro |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
4 | 2 |
Kusoma
Sarufi Kusoma |
Kumbukumbu za mkutano
Vielezi Riwaya teule |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma kwa matamshi bora, kuelewa msamiati, kumudu kuandika kumbukumbu za mkutano ipasavyo |
Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Nakala za kumbukumbu za mkutano
Chati ya vielezi Utendaji wa wanafunzi Vitabu vya riwaya (hadithi) |
Chem. UK 169 KLB BK4 UK 97-99 |
|
4 | 3 |
Isimu Jamii
Fasihi |
Maendeleo ya Kiswahili nchini Kenya
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kujadiliana na kuweza kuelewa hatua ambazo lugha ya Kiswahili imepiga nchini Kenya ipasavyo |
Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi
Picha na michoro |
Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 38-51 |
|
4 | 4 |
Sarufi
Isimi Jamii |
Vihusishi
Vivumishi Chamgamoto na mikakati ya kuimarisha Kiswahili Kenya |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kubainisha aina mbalimbali za vihusishi na kuweza kuvitumia ipasavyo katika sentensi na katika mawasiliano |
Kusikiliza Kutunga sentensi Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi
Picha na michoro |
KLB BK4 UK 110
|
|
4 | 5-6 |
Fasihi
Kusoma Kuandika Sarufi Kusikiliza na kuzungumza |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Mashairi huru Utungaji wa kisanii Vihisishi Mjadala |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na mbinu za lugha na za kisanaa katika hadithi fupi Kuzingatia kanuni za utunzi wa mashairi huru na kuweza kutunga mashairi mazuri |
Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi Kusikiliza Kuuliza maswali Kuweza kutunga mashairi mazuri yaliyo na maudhui |
Vifaa halisi
Picha na michoro Makala ya majarida ya kiswahili Mifano ya mashairi huru Vifaa halisi Picha na michoro Chati Mchoro na picha |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyinginee
KLB BK4 UK 114 Mwongozo wa utunzi |
|
5 | 1 |
Fasihi
Kusoma |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Utandawazi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na mbinu za lugha na za kisanaa katika hadithi fupi |
Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi
Picha na michoro Ramani ya ulimwengu Michoro na picha |
mapambazuko ya machweo na hadithi nyingine
|
|
5 | 2 |
Sarufi
Fasihi Ushairi |
Mwingiliano wa maneno
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine Bahari/aina za ushairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuyatambua maneno/istilahi ziundazo sentensi na kuzitumia ipasavyo kwa ufasaha |
Kuitunga sentensi Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Chati na michoro
Vifaa halisi Picha na michoro Mashairi |
KLB BK4 UK 76-77 |
|
5 | 3 |
Isimu Jamii
Kusikiliza na kuzungumza |
Changamoto zinazokabili Kiswahili nchini na mikakati ya kuimarisha
Matamshi bora (kudurusu) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kubainisha mikakati inayokikabili Kiswahili kwa sasa nchini Kenya Kujadiliana na pia kubainisha mikakati ya kuzitatua |
Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi
Picha na michoro |
Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 52-55 |
|
5 | 4 |
Sarufi
Isimu Jamii |
Kuakifisha
(kudurusu)
Sajili katika muktadha isiyo rasmi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kubainisha alama za kuakifisha na kuweza kuzitumia ipasavyo katika maandishi |
Kusikiliza Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi
Picha na michoro |
KLB BK1 UK 22-23
|
|
5 | 5-6 |
Fasihi
Kusoma Kuandika Sarufi Kusikiliza na kuzungummza Isimu Jamii |
Kudurusu
Kusoma kwa Mapana Utungaji wa kuiamilifu Mwingiliano wa maneno Miriga Mazungumzo ya kawaida nay a biashara |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kujadiliana maswali ya fasihi kuhusu ploti, dhamira, maudhui, wahusika, mbinu za lugha na za kisanaa Kutambua istilahi ziundazo sentensi na kutambua nafasi zake katika sentensi pia kuzitumia kwa ufasaha |
Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi Kutunga sentensi Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi
Picha na michoro Ramani ya dunia Makala yanayohusu utandawazi Nakala za hotuba Vinasa sauti Chati na michoro Vifaa halisi Picha na michoro |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
KLB BK4 UK 76-77 Chem BK4 UK 76-77 |
|
6 | 1 |
Fasihi simulizi
Isimu Jamii Fasihi Simulizi |
Utani
Kusoma kwa mapana Mighani |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kwa kuzingatia matamshi bora kueleza ain za utani na kuweza kuzitumia ipasavyo katika mazungumzo |
Kusimilia visa Kuigiza na kufanya zoezi |
Kinasa sauti
Vifaa halisi Picha na michoro |
KLB BK4
UK 158-160 Hellenistic Publishers Mwongozo wa fasihi simulizi |
|
6 | 2 |
Kusoma
Sarufi |
Vinyago vya Bosi
Miundo ya sentensi za Kiswahili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutamka maneno ipasavyo Kuelewa msamiati Kushiriki katika mjadala na kutumia msamiati huu kwa ufasaha |
Kusoma Kujadiliano Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi
Picha na michoro Jedwali Michoro Makala mbalimbali |
Tuki: kamusi sanifu Mwongozo wa mwalimu KLB BK4 UK 125-129 |
|
6 | 3 |
Fasihi
Isimu Jamii Fasihi Simulizi |
Kudurusu
Sajili ya nyumbani na hospitalini Visakale |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kujadiliana maswali ya fasihi kuhusu ploti, dhamira, maudhui, wahusika, mbinu za lugha na za kisanaa |
Kujadiliano Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi
Picha na michoro Kanda za kunasia sauti |
kitabu teule
|
|
6 | 4 |
Kusoma
Kuandika |
Wajibu wa Kiswahili kitaifa na kimataifa
Insha ya masimulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma, kujadili na kutaja nafasi ya Kiswahili kama lugha ya kitaifa na kimataifa |
Kusoma Kusikiliza Kujibu maswali |
Makala mbalimbali na vinasa sauti
Nakala za masimulizi mbalimbali |
Mwongozo wa mwalimu KLB BK4 UK 131-134 |
|
6 | 5-6 |
Fasihi
Isimu Jamii Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi |
Kudurusu
Maabadini na mahakamani Hotuba Uvumbuzi Yambwa na chagizo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kujadiliana maswali ya fasihi kuhusu ploti, dhamira, maudhui, wahusika, mbinu za lugha na za kisanaa Kukuza staid za kusoma kwa matamshi bora Kujadiliana msamiati na kutumia ipasavyo katika sentensi |
Kujadiliano Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi katika vikundi |
Vifaa halisi
Picha na michoro Itendaji wa wanafunzi darasani Utendaji wa wanafunzi Vifaa halisi Picha na michoro |
kitabu teule
F. Nkwera KLB BK4 UK 136 |
|
7 | 1 |
Fasihi
Fasihi Simulizi Isimu Jamii |
Kudurusu
Tamthilia Sajili ta darasani na muktadha wa kituo cha polisi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kujadiliana maswali ya fasihi kuhusu ploti, dhamira, maudhui, wahusika, mbinu za lugha na za kisanaa |
Kujadiliano Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi
Picha na michoro Tamthilia teule |
Rejea zote za fasihi |
|
7 | 2 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Matangazo
Ulumbi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandika na kutoa matangazo kwa kuzingatia kaida zake Kuandaa matangazo mazuri |
Kutaja Kuandaa Kuandika |
Matangazo
Mabango Vifaa halisi Utendaji wa wanafunzi |
Mwongozo wa mwalimu KLB BK4 UK 143 |
|
7 | 3 |
Fasihi
Kusikiliza na kuzungumza Kuandika |
Kudurusu
Soga Ratiba |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kujadiliana maswali ya fasihi kuhusu ploti, dhamira, maudhui, wahusika, mbinu za lugha na za kisanaa |
Kujadiliano Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi
Picha na michoro Utendaji wa wanafunzi Nakala za ratiba mbalimabli |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
7 | 4 |
Kusoma
Fasihi Sarufi |
Ufisadi
Kudurusu Virai |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuimarisha matamshi bora Kujadili msamiati Kutunga sentensi na kutanmbua athari za ufisadi katika jamii |
Kutaja visa Kuuliza na kujibu maswali Kujadiliana |
Vifaa halisi
Picha na michoro Jedwali Picha na vifaa halisi |
Tuki: Kamusi sanifu KLB BK4 UK 150-153 Mwongozo wa mwalimu |
|
7 | 5-6 |
Kuandika
Fasihi Simulizi Kusoma Sarufi Fasihi Simulizi |
Insha ya mawazo na maelezo
Malumbano ya utani Haki za watoto Vishazi Mashairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua sifa zake na kuweza kuandika insha hiyo kikamilifu Kusoma kwa sauti na kwa ufasaha Kuutumia msamiati Kujibu maswali kawa ufasaha |
Kutaja kanuni zihusikanazo na insha hizo Kujadiliana Kusoma na kujibu maswali |
Nakala za insha za mawazo
Kinasa sauti Vifaa halisi Picha na michoro Michoro ya mtawi kwenye chati Shairi la arudhi na huru |
Mwongozo wa mwalimu
KLB BK4 UK 157 Tuki: Kamusi sanifu KLB BK4 UK 161-162 Mwongozo wa mwalimu |
|
8 |
Likizo fupi/mtihani |
|||||||
9 | 1 |
Kuandika
Fasihi |
Maelezo na maelekezo
Kudurusu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua sifa zake na kuweza kuandaa na kutunga maelekezo mazuri yasiyopotosha |
Kubainisha kanuni za maelezo Kutunga insha nzuri ufaayo |
Mifano ya insha
Vifaa halisi Picha na michoro |
Kiswahili Fasaha BK4 UK 166
|
|
9 | 2 |
Isimu Jamii
Fasihi Simulizi Ushairi |
Sajili ya viwandani nay a bungeni
Mawaidha Bahari za Ushairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuelewa na kueleza sifa za sajili hizo Kubainisha sifa za pekee katika kujibu maswali |
Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi
Picha na michoro Waalikwa kutoa mawaidha Kunga za ushairi |
Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 104-105 |
|
9 | 3 |
Kusoma kwa ufahamu
Fasihi |
Sokoni
Kudurusu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma, kufafanua maana ya msamiati uliotumika Kujibu maswali |
Kusoma Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi
Picha na michoro |
Tuki: Kamusi sanifu
KLB BK4 UK 169-171 Mwongozo wa mwalimu |
|
9 | 4 |
Sarufi
Kusoma Kuandika |
Uchanganuzi wa sentensi
Kusoma kwa mapana Kiswahili Tahadhari |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuchanganua sentensi kwa kuzingatia aina za maneno, kishazi, kirai, kundu nomino na kundi tenzi Kufanya zoezi |
Kupambanua sentensi kwa: - Mistari - Michoro/jedwali - Matawi |
Utendaji wa wanafunzi
Michoro na majedwali Majarida Magazeti Picha, michoro, mabango, magazeti, vifaa halisi |
Mwongozo wa mwalimu
KLB BK4 UK 171-174 |
|
9 | 5-6 |
Fasihi
Isimu Jamii Sarufi Kusoma |
Kudurusu
Sajili ya lugha ya kiutawala Kipozi na kitondo Usanifishaji wa Kiswahili (Kenya) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kujadiliana maswali ya fasihi kuhusu ploti, dhamira, maudhui, wahusika, mbinu za lugha na za kisanaa Kuelewa na kueleza sifa za sajili ya kiutawala Kubainisha sifa zake za pekee Kujibu maswali |
Kujadiliano Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
kitabu teule
Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 107 |
|
10 | 1 |
Fasihi
Kuandika |
Lakabu
Kumbukumbu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuelewa maana na matumizi ya lakabu Kubainisha umuhimu wake katika jamii |
Kusikiliza Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi
Picha na michoro Mifano ya nakala za kumbukumbu |
Ngure: Fasihi Simulizi
KLB BK4 UK 80 |
|
10 | 2 |
Sarufi
Fasihi Simulizi Kusoma |
Uchanganusi wa sentensi
(Kudurusu)
Kudurusu Haki za binadamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuchanganua sentensi kwa kutambulisha KN + KT na vipashio vyake kwa matawi, mistari na jedwali ipasavyo |
Kujadiliana Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi
Picha na michoro |
I. Ikarabati
UK 98-107 KLB BK4 UK 171 |
|
10 | 3 |
Fasihi Simulizi
Sarufi Fasihi |
Mighani
Uakifishaji Kudurusu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kwa kuzingatia matamshi bora, kughani na kubainisha umuhimu wa mighani |
Majadiliano Kughani |
Vifaa halisi
Picha na michoro Nakala za maswali |
Mwongozo wa fasihi sanifu
|
|
10 | 4 |
Kuandika
Isimu Jamii Fasihi simulizi |
Meme na barua meme
Sajili ya kitaaluma Maigizo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kubainisha nukulishi au kipepesi/faksi, mdahalishi na barua za rununu Kubainisha faida za huduma hizo |
Kusikiliza
Kuuliza na kujibu maswali Majadiliano Kufanya zoezi |
Vifaa halisi
Picha na michoro |
I. Ikarabati UK 4
KLB BK4 UK 50 |
|
10 | 5-6 |
Sarufi
Kusikiliza na Kuongea Kusoma Fasihi Kuandika Sarufi |
Mzizi wa kitenzi na viambishi
Maigizo Katiba ya wanyama Ushairi Wasifu Mnyambuliko wa vitenzi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kudurusu tena ? mzizi wa kitenzi na viambishi na kuweza kuvitumia ipasavyo katika sentensi Kusoma, kuchambua dhamira, maudhui, mbinu za lugha na wahusika bila utatanishi |
Kusikiliza Kuuliza maswali Majadiliano Kusoma Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi
Picha na michoro Picha za wanyama Viungo vya miili yao Mazingira ya shule Maleba Vifaa vya bandia Nakala za wasifu Jedwali Vifaa halisi Picha na michoro |
KLB BK4 UK 43
kitabu teule |
|
11 | 1 |
Isimu Jamii
Fasihi Kusikiliza na Kuzungumza |
Daktari na mgonjwa
Ushairi Ulevi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuelewa sifa na msamiati utumikao katika muktadha wa mahojiano kati ya daktari na mgonjwa na kueleza |
Kujadiliana Kuigiza Kuuliza na kujibu maswali |
Maleba
Mahambo Vifaa halisi Picha na michoro Ushairi |
Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 112 |
|
11 | 2 |
Kusoma
Fasihi Simulizi Sarufi |
Uandishi
Fasihi Simulizi Nyakati na hali |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma, kujadili na kutoa maana ya msamiati Kueleza hatua za shughuli za uandishi na kuweza kuandika ipasavyo |
Kusoma Kuuliza na kujibu maswali Majadiliano |
Picha na matbaa
Picha za uandishi wa Kiswahili Mifano ya kazi za fasihi Jedwali Vifaa halisi Picha na michoro |
Tuki: Kamusi sanifu
KLB BK4 UK 190-194 |
|
11 | 3 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza Isimu Jamii |
Utungaji wa kisanii
Ngomezi Makosa katika matumizi ya lugha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kukuza staid za kuandika kisanii |
Maelezo Kusoma na kuandika |
Makala ya mashairi ya arudhi
Vifaa halisi Picha na michoro |
Tuki: Kamusi sanifu
KLB BK4 UK 197 |
|
11 | 4 |
Kusoma
Fasihi Simulizi Kuandika |
Makala kutoka kwa wavuti
Mazungumzo Muhtasari |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma makala yaliyoteuliwa kutoka kwenye wavuti kwa ufasaha na kuweza kujibu maswali |
Kusoma Kuuliza na kujibu maswali |
Makala
Vifaa halisi Picha na michoro Aina mbalimbali za mazungumzo Makala ya ufupisho |
Tuki: Kamusi sanifu
KLB BK4 UK 204-206 |
|
11 | 5-6 |
Sarufi
Fasihi Simulizi Kusikiliza na kuzungumza Kusikiliza na kuzungumza Kusoma |
Sentensi
Uundaji wa maneno, uunganishi
Viungo muhimu vya riwaya Maghani na majigambo Tondozi na pembezi Fasihi na mazingira ya sasa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kudurusu ? aina za sentensi, uchanganuzi na uundaji wa maneno yenye shina moja na kuyatungia sentensi sahihi Kutambua aina za tondozi na pembezi, kuweza kuzitofautisha na kufanya zoezi |
Kisikiliza Kuuliza na kujibu maswali Utambuzi wa aina za tondozi na pembezi Kufanya zoezi |
Jedwali
Vifaa halisi Picha na michoro Riwaya teule Utendaji wa wanafunzi Vifaa halisi Picha na michoro Vitu halisi na utendaji wa wanafunzi |
KLB BK4
UK 211-213 Mwongozo wa fasihi simulizi NgureFasihi simulizi KLB BK4 UK 216-218 |
|
12 |
Mtihani wa mwisho wa muhula |
|||||||
13 |
Kufunga shule |
Your Name Comes Here