Home

MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA TANO
MWAKA WA 2024
MUHULA WA II

School

To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.

To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.

Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)

WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1 1
SAA NA MAJIRA
Kusikiliza na Kuzungumza: Heshima, adabu na vyeo: Maneno ya Heshima
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua maneno ya heshima yanayohusiana na udugu yanayotumiwa katika
mawasiliano"
"kutumia maneno ya udugu kwa usahihi katika mazungumzo yake ya kila siku
Kuthamini kutumia maneno ya udugu katika mawasiliano ya kila siku."
Mwanafunzi:
"Atambue maneno ya udugu
(k.v. bwana, bibi, ndugu, binti,"
"bin, mama,
mamamkubwa/mdogo, mjomba) kwenye ubao, mti"
maneno, tarakilishi au kapu
"maneno.
Aeleze maana ya maneno"
"lengwa kama yanavyotumiwa
katika mahusiano ya kila siku kati ya watu."
Unatumia neno lipi la heshima kumrejelea mwalimu wako wa kike au wa kiume?
"Picha
Kadi ya maneno za udugu'
KLB Visionary
Kiswahili"
"Kitabu cha mwanfunzi Uk. 49-51
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa
Mwalimu Uk. 49-51"
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano "Kujibu maswali Maigizo Kutambua k.m. kwenye orodha"
1 2
SAA NA MAJIRA
Kusikiliza na Kuzungumza: Heshima, adabu na vyeo: Maneno ya Heshima
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua maneno ya heshima yanayohusiana na udugu yanayotumiwa katika mawasiliano
kutumia maneno ya udugu kwa usahihi katika mazungumzo yake ya kila siku
Kuthamini kutumia maneno ya udugu katika mawasiliano ya kila siku.
Mwanafunzi:
Atunge sentensi kwa kutumia maneno lengwa kwa usahihi.
watu wakitumia maneno ya udugu kwenye tarakilishi na video.
neno ya udugu akishirikiana na wenzake darasani.
o mafupi akiwa na wenzake huku akitumia msamiati wa udugu.
Unatumia neno lipi la heshima kumrejelea mwalimu wako wa kike au wa kiume?
Picha
Kadi ya maneno za udugu'
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 49-51
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa
Mwalimu Uk. 49-51
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano Kujibu maswali Maigizo Kutambua k.m. kwenye orodha
1 3
Kusoma
Kusoma kwa Mapana: Matini ya kidijitali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali
kusakura matini kwenye tovuti salama ili kupata vifungu vya kusoma vyenye suala lengwa
Kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake.
Mwanafunzi:
"Azingatie hatua za kiusalama
katika kutumia vifaa vya"
"kidijitali k.v. kufungua
mitandao ifaayo."
Atambue mitandao salama
"yenye matini inayohusu
suala lengwa (saa na majira) na inayoafiki kiwango chake
habari kwa mwalimu,
mzazi au mlezi wake endapo atapata ujumbe kutoka
kwa watu asiowajua mtandaoni na kutowasiliana nao"
Ni njia zipi unazoweza kupata matini za kusoma katika vifaa vya kiteknolojia?
Tarakilishi/vi pakatalishi
Kinasasauti
Rununu
projekta
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 52-54
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 51-53
Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa Kujibu maswali k.m. katika ufahamu Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa
1 4
Kusoma
Kusoma kwa Mapana: Matini ya kidijitali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua msamiati wa suala lengwa katika matini ya kidijitali -kusakura matini kwenye tovuti salama ili kupata vifungu vya kusoma vyenye suala lengwa
Kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake
ndogo,
kutambua msamiati wa suala lengwa katika matini ya kidijitali"
kusakura matini kwenye tovuti salama ili kupata vifungu vya kusoma vyenye suala lengwa
Kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake.
"asome matini kwa kutumia
vifaa vya kidijitali yanayojumuisha msamiati wa saa (k.v. kasoro dakika
Ni njia zipi unazoweza kupata matini za kusoma katika vifaa vya kiteknolojia?
"Tarakilishi/vi pakatalishi
Kinasasauti
Rununu
projekta"
"KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 52-54
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 51-53"
Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa "Kujibu maswali k.m. katika ufahamu Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa Kukariri na kuimba mashairi Kusoma kwa sauti"
2 1
Kuandika
SAA NA MAJIRA: Kuandika
Aina za Insha: Baruapepe
Aina za Insha: Baruapepe
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutambua baruapepe kwa kuzingatia muundo wake
kuandika baruapepe kwa kuzingatia ujumbe, muundo na mtindo
Kuchangamkia uandishi wa baruapepe katika mawasiliano.
"Mwanafunzi:atambue muundo wa
baruapepe kwa kurejelea kielelezo chake kilichochapishwa au kwenye
tarakilishi"
"ajadili sehemu mbalimbaliza
baruapepe kama vile"
"anwanipepe ya mtumaji (k.m.
tina18@gmail.com), anwanipepe ya mpokeaji, mada ya baruapepe, mtajo, mwili, hitimisho na
jina la mwandishi/mtumaji."
Unazingatia mambo gani unapoandika baruapepe? Ni mambo gani unayoweza kumweleza rafiki yako katika baruapepe?
Kielelezo cha insha
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 54-56
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 54-55
Kuandika tungo mbalimbali Wanafunzi kufanyiana tathmini Potfolio Shajara Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
2 2
Sarufi
Umoja na wingi wa nomino: Ngeli I-ZI
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua nomino katika ngeli ya I-ZI ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine
kutaja nomino katika ngeli ya I-ZI
Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya I-ZI katika mawasiliano.
Mwanafunzi:
Atambue nomino katika ngeliya
"I-ZI kwenye kadi, mti maneno, tarakilishi au kapu la maneno (k.v. nguo- nguo, ndizi-ndizi,
ndoo-ndoo na nyumbanyumba) Aandike nomino katika ngeliya"
I-ZI katika umoja na wingi
akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi
Je, unajua nomino zipi ambazo hazibadiliki katika umoja na wingi?
Picha
Vifaa halisi
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 56-60
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 56-58
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo e) Kazi mradi
2 3
Sarufi
Umoja na wingi wa nomino: Ngeli I-ZI
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kuandika nomino za ngeli ya I-ZI katika umoja na wingi
kuandika umoja na wingi wa mafungu ya maneno katika ngeli ya ngeli ya I-ZI
Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya I-ZI katika mawasiliano.
"asikize usomaji wa
""za ngeli ya I-ZI kutoka kwenye
tepurekoda au kinasasauti""
"
"
yenye nomino za ngeli
ya I-ZI katika umoja na wingi Ajaze mapengo kwa kutumia viambishi vya ngeli ya
I-ZI kwa maandishi ya mkono au kwa tarakilishi."
Je, unajua nomino zipi ambazo hazibadiliki katika umoja na wingi?
"Picha
Vifaa halisi"
"KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 56-60
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa
Mwalimu Uk. 56-58"
"Kutambua k.m. kwenye orodha" " Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo Kazi mradi"
2 4
Sarufi
"Umoja na wingi wa sentensi:" katika ngeli ya I-ZI
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya I-
ZI kwenye sentensi
kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya I-ZI katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi
kuonea fahari matumizi ya ngeli ya I-ZI katika mawasiliano
"Mwanafunzi: atambue viambishi vya ngeli ya
"ya I-ZI
katika sentensi kwa kuvipigia mstari daftarini au kuvikoleza rangi katika tarakilishi
-
ZI katika sentensi akiwa peke yake, wawiliwawili au"
katika vikundi
zilizoundwa kutokana na nomino za ngeli ya I-ZI kutoka
kwenye tepurekoda au kinasasauti
"Je, unajua nomino zipi ambazo zinaanza" kwa herufi U katika umoja?
Picha
Vifaa halisi
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 59-60
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 59-62
"Kutambua k.m. kwenye" "orodha b) Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo e) Kazi mradi"
3 1
Sarufi
Umoja na wingi wa sentensi: katika ngeli ya I-ZI
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya I-
ZI kwenye sentensi
kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya I-ZI katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi
kuonea fahari matumizi ya
ngeli ya I-ZI katika mawasiliano
Aunde sentensi kwa kutumia nomino ya ngeli ya I-ZI akiwa peke yake au kwa kushirikiana na wenzake
Je, unajua nomino zipi ambazo zinaanza kwa herufi U katika umoja?
Picha
Vifaa halisi
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 59-60
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 59-62
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo e) Kazi mradi
3 2
"KUKABI LIANA NA UMASKI" NI
Kusikiliza na Kuzungumza: Methali: Methali zinazohusu bidii
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
. Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ili kuimarisha uandishi.
kueleza maana na matumizi ya methali mbalimbali zinazohusu bidii katika jamii
kuchangamkia matumizi ya methali katika kuhimiza bidii"
"Mwanafunzi:
methali zinazohusu bidii (k.v. mchagua jembe si mkulima, mgagaa na upwa"
"hali wali mkavu, atafutaye hupata, anayejitahidi hufaidi, ukiona vyaelea vimeundwa) katika chati, ubao, vyombo vya kidijitali
ajadili maana na matumizi ya methali zinazohusu bidii na wenzake darasani"
Je, ni nini umuhimu wa methali katika jamii?
"tapurekoda
tarakilishi
methali
KLB Visionary"
Kiswahili
"Kitabu cha mwanfunzi Uk. 63-64
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 63-65"
"Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika" mawasiliano "Kujibu maswali Maigizo Kutambua k.m. kwenye orodha Mijadala Mazungumzo"
3 3
"KUKABI LIANA NA UMASKI" NI
Kusikiliza na "Kuzungumza: Methali: Kutumia Methali zinazohusu bidii"
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kueleza maana na matumizi ya methali mbalimbali zinazohusu bidii katika jamii
kutumia methali zinazohusubidii katika mawasiliano
kuchangamkia matumizi ya methali katika kuhimiza bidii

"atoe mifano ya methali
zinazohusubidii zikitumiwa"
"kupitia vyombo vya kidijitali.
"
"
katika kukamilisha methali zinazohusu bidii"
asakure mitandaoni kwa
"kusaidiwa na mzazi au mlezi
wake ili kupata methali zaidi zinazohusu bidii na matumizi ya methali hizo."
Je, ni nini "umuhimu wa methali katika jamii?"
tapurekoda
tarakilishi
methali
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 63-64
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 63-65
Kumakinikia "jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano Kujibu maswali Maigizo Kutambua k.m. kwenye orodha Mijadala Mazungumzo"
3 4
Kusoma
"Kusoma kwa ufahamu: Lugha" "katika ushairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutambua vina na mizani katika shairi ili kuvibainisha
kueleza mambo yanayotofautisha shairi na maandishi mengine
Achangamkie kusoma shairi akizingatia mapigo ya sauti.
Mwanafunzi:
Atambue vina na mizani katika
"shairi lililochapisha au la
mtandaoni
Ajadili vina na mizani katika shairi akiwa na mwenzake au
katika kikundi"
Ashirikiane na mwenzake
"kusoma shairi akizingatia vina,
mizani na ujumbe"
Asikilize shairi likisomwa kwa
"mahadhi kwenye vifaa vya
kidijitali au na mgeni mwalikwa na kujadili vina, mizani na ujumbe wake
ashirikiane na wenzake kutafuta mashairi mtandaoni na kujadili vina, mizani na ujumbe uliomo"
Je, ni nini kinachotofautisha" "mashairi na maandishi mengine?"
Mgeni mwalikwa
Chati
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 64-66
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 66-67
Kutunga sentensi k.m. kwa" "kutumia msamiati lengwa" Kujibu maswali k.m. katika ufahamu Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa Kukariri na kuimba mashairi Kusoma kwa sauti
4 1
Kusoma
"Kusoma kwa ufahamu: Lugha katika" ushairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

"kueleza maana ya vina,mizani na ujumbe katika shairi
kusoma shairi akizingatia vina, mizani na ujumbe ili kuimarisha ufahamu
Achangamkie kusoma shairi akizingatia mapigo ya sauti."
Mwanafunzi:
Atambue vina na mizani katika shairi lililochapisha au la
"mtandaoni
Ajadili vinaa na mizani katika shairi akiwa na mwenzake au
katika kikundi"
ashirikiane na mwenzake
"kusoma shairi akizingatia vina,
mizani na ujumbe"
asikilize shairi likisomwa kwa
"mahadhi kwenye vifaa vya kidijitali au na mgeni mwalikwa na kujadili vina,
mizani na ujumbe wake"
ashrikiane na wenzake kutafuta
"mashairi mtandaoni na
kujadili vina, mizani na ujumbe uliomo"
Je, ni nini kinachotofautisha mashairi na maandishi mengine?
"Mgeni mwalikwa
Chati"
"KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 64-66
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 66-67"
Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia" "msamiati lengwa Kujibu maswali k.m. katika ufahamu Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa Kukariri na kuimba mashairi Kusoma kwa sauti"
4 2
Kuandi ka
"Insha ya Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutambua insha za maelezo katika matini mbalimbali
kueleza mambo ya kuzingatika katika uandishi wa insha ya maelezo
Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ili kuimarisha uandishi.
"Mwanafunzi:
atambue vifungo vya maelezo vilivyoandikwa"
kwenye matini mbalimbali au tarakilishi
mada ya insha na muundo wa
insha ya maelezo
kuhusu mambo muhimu yanayojenga mpangilio mzuri
wa mawazo katika insha
mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili
kuisoma na kuitathmini
aliyoandika ili kuitolea maoni.
. Unazingatia nini unapoandika insha ya maelezo?
Kielelezo cha insha ya maelezo
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 66-67
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 68-69
"Kielelezo cha insha ya maelezo
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 66-67"
"KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 68-69
Kuandika tungo mbalimbali Wanafunzi kufanyiana tathmini Potfolio Shajara Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
4 3
Sarufi
Umoja na Wingi wa Nomino: Kutambua nomino katika Ngeli ya U-ZI
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutambua nomino katika ngeli ya U-ZI
kuandika nomino za ngeli ya U-ZI katika umoja na wingi
Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-ZI katika mawasiliano.
"Mwanafunzi:
atambue nomino katika ngeli ya
ya U-ZI kwenye kadi, mti
wa maneno, tarakilishi au kapu la maneno (k.m. UziNyuzi, Ukuta-Kuta, Uta- Nyuta, ubavu-mbavu, wakatinyakati, ukucha-kucha na ufunguo- funguo, wimbonyimbo)"
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya U-ZI?
Vifaa halisi vya ngeli ya U-ZI
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 68-70
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 70-72
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo Kazi mradi
4 4
Sarufi
Umoja na Wingi wa Nomino: Kuandika umoja na wingi wa mafungu katika ngeli ya U-ZI
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kuandika nomino za ngeli ya U-ZI katika umoja na wingi
kuandika umoja na wingi wa mafungu ya maneno katika ngeli ya U-ZI
Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-ZI katika mawasiliano.
"andike nomino katika ngeli
ya U-ZI katika umoja na wingi akiwa peke yake,
wawiliwawili au katika vikundi
"
"
za ngeli ya U-ZI kutoka kwenye tepurekoda au kinasasauti
"
"
yenye nomino za ngeli ya U-ZI katika umoja na wingi"
"ajaze mapengo kwa kutumia
viambishi vya ngeli ya U-ZI"
"kwa maandishi ya mkono au
kwa tarakilishi."
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya U-ZI?
Vifaa halisi vya ngeli ya U-ZI
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 68-70
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 70-72
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo Kazi mradi
5 1
Sarufi
Umoja na wingi wa sentensi: Ngeli ya U-ZI
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya U-
ZI kwenye sentensi
kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-ZI katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi
kufurahia matumizi ya ngeli ya U-ZI katika mawasiliano
Mwanafunzi:
"atambue viambishi vya ngeliya
U-ZIkatika sentensi kwa"
"kuvipigia mstari daftarini mwake aukuvikoleza rangi katika tarakilishi
"
"
zilizoundwa kutokana na nomino za ngeli ya U-ZI kutoka kwenye tepurekoda au kinasasauti
"
"
nomino ya ngeli ya U-ZI akiwa peke yake au kwa kushirikiana na wengine
"
"
viambishi vya ngeli ya U-ZI
kwa maandishi ya mkono au tarakilishi."
Je, nomino za ngeli ya U-ZI huchukua viambishi vipatanishi gani ?
Vifaa halisi vya ngeli ya U-ZI
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 71-72
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 73-75
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo Kazi mradi
5 2
MAADILi
Kusikiliza na kuzungumza: Matamshi Bora: Kukariri Ushairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kukariri shairi kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali
kuonyesha ufahamu wa ujumbe katika shairi kwa kujibu maswali
Kuchangamkia ushairi kama njia ya kujieleza kwa ufasaha.
"Mwanafunzi:
akariri shairi kuhusu mada
lengwa (maadili) kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali
ikilize shairi lengwa likikaririwa au kuimbwa na mwalimu, mgeni mwalikwa (mghani) au kupitia vifaa vya kidijitali
"
"
kukariri au kuimba shairi"
kwa mahadhi mbalimbali
Ushairi unaweza kuboresha mazungumzo yako vipi?
Vifaa halisi vya ngeli ya U-ZI
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 75-76
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 77-79
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano Kujibu maswali Maigizo Kutambua k.m. kwenye orodha
5 3
MAADILi
Kusikiliza na kuzungumza: Matamshi Bora: Ushairi- kueleza Msamiati na ujumbe katika shairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutumia msamiati uliotumiwa katika shairi kuboresha masiliano
kuonyesha ufahamu wa ujumbe katika shairi kwa kujibu maswali
Kuchangamkia ushairi Kama njia ya kujieleza Kwa ufasaha.
"atambue msamiati
uliotumika katika ushairi kuhusu maadili (k.m. haki, usawa, heshima na uwajibikaji)
na kuueleza akiwa peke yake au kwa kushirikiana na wenzake"
"ashirikiane na wenzake
kujadili ujumbe katika shairi"
"
na shairi alilosikiliza, aliloimba au kukariri"
Ushairi unaweza kuboresha mazungumzo yako vipi?
Vifaa halisi vya ngeli ya U-ZI
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 75-76
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk.
77-79
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano Kujibu maswali Maigizo
5 4
Kusoma
Kusoma kwa Mapana: Kuchagua Makala ya kusoma
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kutambua makala ya kusoma katika maktaba ili kuimarisha uchaguzi bora wa Makala
kusoma makala mbalimbali ili kujenga ufasaha wa lugha
kufurahia kusoma makala mbalimbali ili kujenga ufasaha wa lugha
"Mwanafunzi:
"
"
atakayosoma katika maktaba e makala ya aina
mbalimbali ya kujichagulia liane na wenzake
kuhusu makala aliyoyasoma na alichojifunza kutokana
na makala hayo
amusi kupata maana za msamiati uliotumika katika makala.
na mzazi au mlezi wake kupata makala zaidi na kuyasoma ili kujenga mazoea ya usomaji."
Unapenda kusoma makala ya aina gani? Ni ujumbe upi uliopata kwenye makala uliyowahi kusoma?
Kamusi
Makala
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 77
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 79-81
Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa Kujibu maswali k.m. katika ufahamu Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa Kukariri na kuimba mashairi Kusoma kwa sauti
6 1
Kusoma
Kusoma kwa Mapana: Kusoma Makala
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kutambua makala ya kusoma katika maktaba ili kuimarisha uchaguzi bora wa Makala
kusoma makala mbalimbali ili kujenga ufasaha wa lugha
kufurahia kusoma makala mbalimbali ili kujenga ufasaha wa lugha
"Mwanafunzi:
achague makala
atakayosoma katika maktaba"
"achague makala ya aina
mbalimbali ya kujichagulia"
"ajadIliane na wenzake
kuhusu makala aliyoyasoma na alichojifunza kutokana
na makala hayo"
atumie kamusi kupata maana
"za msamiati uliotumikakatika
makala."
Asaidiwe na mzazi au mlezi
wake kupata makala zaidi na
Unapenda kusoma makala ya aina gani? Ni ujumbe upi uliopata kwenye makala uliyowahi kusoma?
Kamusi
Makala
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 77
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 79-81
kuyasoma ili kujenga mazoea ya usomaji.
Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa Kujibu maswali k.m. katika ufahamu Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa Kukariri na kuimba mashairi e) Kusoma kwa sauti
6 2
Kuandi ka
Kuandika Insha: Kutambua muundo wa Insha za Wasifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutambua vipengele vya kimuundo vya insha za wasifu
kueleza mambo ya kuzingatia katika uandishi wa insha ya wasifu
kufurahia uandishi wa insha za wasifu ili kukuza stadi ya kuandika
Mwanafunzi:atazame
nakala za insha za wasifu kwenye chapa au kwenye tarakilishi.
vipengele muhimu vya kimuundo kama vile kichwa, mwili, hitimisho
ajadili na wenzake kuhusu kinachoweza
kuandikiwa katika insha ya wasifu (k.v. mtu,
kitu, mnyama na mahali)
Unazingatia nini unapoandika insha ya wasifu?
"Kielelezo cha insha ya wasifu
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 77-79
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa
Mwalimu Uk. 81-83"
"Kuandika tungo mbalimbali Wanafunzi kufanyiana tathmini Potfolio Shajara Mijadala kuhusu vidokezo vya insha"
6 3
Kuandi ka
Kuandika Insha: Kuandika Insha ya Wasifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutambua vipengele vya kimuundo vya insha za wasifu
kuandika insha ya wasifu kwa kuzingatia muundo na mtindo ufaao
kufurahia uandishi wa insha za wasifu ili kukuza stadi ya kuandika
Ajadaili na wenzake kuhusu
"mada mbalimbali zinazoweza
kutungiwa insha za wasifu k.m. mwanafunzi mwadilifu, mtu aliyeshinda tuzo kwa wadilifu
wake n.k."
Aandike insha ya wasifu
"isiyopungua maneno 150
daftarini au kwenye tarakilishi."
Awesome wenzake insha
aliyoiandika ili kuitathmini
Unazingatia nini unapoandika insha ya wasifu?
"Kielelezo cha insha ya wasifu
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 77-79
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa
Mwalimu Uk. 81-83"
"Kuandika tungo mbalimbali Wanafunzi kufanyiana tathmini Potfolio Shajara Mijadala kuhusu vidokezo vya insha"
6 4
Sarufi
Umoja na Wingi wa Nomino: Ngeli ya U-YA
Umoja na Wingi wa Nomino: Ngeli ya U-YA
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua nomino katika ngeli ya UYA ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine
kutaja nomino zinazopatikana katika ngeli ya U-YA
Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-YA katika mawasiliano.
"Mwanafunzi:
"atambue nomino katika ngeli
ya U-YA kwenye kadi, mti wa maneno, tarakilishi au kapu la maneno (kama vile upishi, ulezi, ugonjwa) aandike nomino katika ngeli ya U-YA katika umoja na wingi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi
maji wa nomino za ngeli ya U-YA kutoka kwenye tepurekoda au kinasa sauti"
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya U-YA?
Manyoya, kadi za maneno,
chati, picha, kifaa cha kidigitali
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 80-81
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 83-85
Manyoya, kadi za maneno, chati, picha, kifaa cha kidigitali
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa
Mwalimu Uk. 83-85
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo Kazi mradi
7 1
Sarufi
Umoja na wingi wa sentensi: Ngeli ya U-YA
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

ndogo,
kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya U-
YA kwenye sentensi
kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-YA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi
kufurahia matumizi ya ngeli ya U-YA katika mawasiliano
Mwanafunzi:
bue viambishi vya ngeli ya U-YA katika sentensi kwa kuvipigia mstari daftarini mwake au kuvikoleza rangi katika tarakilishi
atumie nomino katika ngeli ya U-YA katika sentensi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi
Je, nomino za ngeli ya U-YA huchukua viambishi gani katika sentensi?
Manyoya, kadi za maneno, chati, picha,
kifaa cha kidigitali
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 82
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 86-88
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo Kazi mradi
7 2
Sarufi
Umoja na wingi wa sentensi: Ngeli ya U-YA
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya U-
YA kwenye sentensi
kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-YA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi
kufurahia matumizi ya ngeli ya U-YA katika mawasiliano
"asikize usomaji wa sentensi
zilizoundwa kutokana na nomino za ngeli ya U-YA kutoka kwenye tepurekoda au kinasa sauti
aunde sentensi kwa kutumia
nomino ya ngeli ya UYA akiwa peke yake au kwa kushirikiana"
"na wengine
ajaze mapengo kwa kutumia"
"viambishi vya ngeli ya U-YA
kwa maandishi ya mkono au tarakilishi"
Je, nomino za ngeli ya U-YA huchukua viambishi gani katika sentensi?
Manyoya, kadi za maneno, chati, picha, kifaa cha kidigitali
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 82
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa
Mwalimu Uk. 86-88
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo Kazi mradi
7 3
ELIMU YA MAZIN GIRA
Kusikiliza na Kuzungumza: Nahau: Nahau za usafi na mazingira
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutambua nahau za usafi na mazingira katika matini mbalimbali
kutumia nahau za usafi na mazingira katika mawasiliano
Kuthamini matumizi ya nahau za usafi na mazingira katika mawasiliano.
Mwanafunzi:
usafi na mazingira (k.v. angua kucha, penga kamasi, piga deki, piga mswaki, chokonoa meno, futa vumbi) katika chati, michoro, picha, vikapu maneno, mti maneno, chati, kamusi na katika vyombo vya kidijitali
na wenzake maana za nahau za usafi na mazingira na kutoa
mifano
Je, ni nahau zipi zinahusu usafi? Je, ni nahau zipi zinahusu mazingira?
Kifaa cha kidijitali
Picha
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 85-87
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 89-91
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano Kujibu maswali Maigizo Kutambua k.m. kwenye orodha
7 4
ELIMU YA MAZIN GIRA
Kusikiliza na Kuzungumza: Nahau: Nahau za usafi na mazingira
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kufafanua maana ya nahau mbalimbali za kazi na ushirikiano kwa kutoa mifano
kutumia nahau za usafi na mazingira katika mawasiliano
Kuthamini matumizi ya nahau za usafi na mazingira katika mawasiliano.
"kutumia nahau za usafi na
mazingira kutunga sentensi akiwa pekee au kwa kushirikiana na wenzake
"ashirikiane na wenzake
kujaza mapengo katika sentensi kwa kutumia nahau mwafaka kwenye zoezi
la ubaoni, vitabuni au katika tarakilishi."
Je, ni nahau zipi zinahusu usafi? Je, ni nahau zipi zinahusu mazingira?
Kifaa cha kidijitali
Picha
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 85-87
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa
Mwalimu Uk. 89-91
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia "lugha katika mawasiliano Kujibu maswali Maigizo Kutambua k.m. kwenye orodha"
8 1
Kusoma
Kusoma kwa Mapana: Kutambua Matini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutambua matini anazotaka kusoma kwenye maktaba
Kueleza njia za kupata matini ya kusoma
kufurahia usomaji wa matini za aina mbalimbali ili kujenga utamaduni wa kusoma
"Mwanafunzi:
atambue aina mbalimbali ya
matini (kama vile vitabu, magazeti, na majarida) kwenye maktaba, tarakilishi au kadi za katalogi.
asome matini
achague matini atakayosoma
kimyakimya ili kupata ujumbe uliopo na kufaidi matumizi ya lugha.
kutokana na matini alizosoma kwa wenzake.
a wenzake matini alizosoma ili kuchochea
hamu ya usomaji wa mapana miongoni mwao."
Unapenda kusoma matini ya aina gani? Ni vipi unavyoweza kupata matini ya kusoma? Kusoma aina mbalimbali za matini kuna umuhimu gani?
Magazeti
Majarida
Vitabu mbalimbali
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 85-87
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 89-91
Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa Kujibu maswali k.m. katika ufahamu Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa Kukariri na kuimba mashairi Kusoma kwa sauti
8 2
Kusoma
Kusoma kwa Mapana: Kusoma Matini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutambua matini anazotaka kusoma kwenye maktaba
kusoma matini ili kufaidika na ujumbe na lugha inayotumiwa
kufurahia usomaji wa matini za aina mbalimbali ili kujenga utamaduni wa kusoma
"Mwanafunzi:
atambue aina mbalimbali za
matini (kama vile vitabu, magazeti, na majarida) kwenye maktaba, tarakilishi au kadi za katalogi.
"achangue matini atakayosoma
"Asome matini kimyakimyaili
kupata ujumbe uliopo na"
kufaidi matumizi ya lugha.
Asimulie ujumbe kutokanana
"matini alizosoma kwa
wenzake."
Ajadiliane na wenzake matini
"alizosoma ili kuchocheahamu
ya usomaji wa mapana miongoni mwao."
Unapenda kusoma matini ya aina gani? Ni vipi unavyoweza kupata matini ya kusoma? Kusoma aina mbalimbali za matini kuna umuhimu gani?
Magazeti
Majarida
Vitabu mbalimbali
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 85-87
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 89-91
Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa Kujibu maswali k.m. katika ufahamu Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa kwa sauti
8 3
Kuandi ka
Insha ya Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua insha za maelezo katika matini mbalimbali
kueleza muundi wa insha ya maelezo
kuchangamkia utungaji wa insha za maelezo ili kuimarisha uandishi bora
Mwanafunzi:
e vifungu vya insha za maelezo vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi (k.v. maelezo kuhusu upandaji wa miche, kusafisha darasa, kufua nguo, kuzuia mmomonyoko wa udongo, kupanda miti)
zake kujadili mada ya insha na muundo wa insha ya maelezo
Je, ni shughuli gani zinazoweza kuandikiwa insha za maelezo?
Kielelezo cha insha ya Maelezo
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 89-90
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa
Mwalimu Uk. 94-96
Kuandika tungo mbalimbali Wanafunzi kufanyiana tathmini Potfolio Shajara Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
8 4
Kuandi ka
Insha ya Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutambua insha za maelezo katika matini mbalimbali
kuandika insha ya maelezo kwa kuzingatia muundo na mtindo ufaao
kuchangamkia utungaji wa insha za maelezo ili kuimarisha uandishi bora
"aandike isha ya maelezo
isiyopungua maneno 150 akizingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa lugha ya kiubunifu unaojumuisha methali na nahau alizojifunza awali
"atunge insha ya maelezo
mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili
kuisoma na kuitathmini"
Atunde insha ya maelezo na awasoasomee wenzake insha
"aliyoandika ili kuisikiliza na
kuitathmini"
Je, ni shughuli gani zinazoweza kuandikiwa insha za maelezo?
Kielelezo cha insha ya Maelezo
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 89-90
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 94-96
Kuandika tungo mbalimbali Wanafunzi kufanyiana tathmini Potfolio Shajara Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
9 1
Sarufi
Umoja na wingi wa nomino: Ngeli ya KU-KU
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutambua nomino katika ngeli ya KU-KU
kuandika nomino za ngeli ya KU-KU katika umoja na wingi
kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya KUKU katika mawasiliano
Mwanafunzi:
Atambue nomino katika ngeliya KU-KU (kama vile kupika, kufyeka, kuzuru, kukariri, kufua) kwenye kadi, mti wa maneno, tarakilishi au kapu la maneno
Aandike nomino katika ngeliya KU-KU katika umoja na wingi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya KU-KU?
picha za vitenzi
wanafunzi wenyewe
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 91-95
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa
Mwalimu Uk. 96-99
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo Kazi mradi
9 2
Sarufi
Umoja na wingi wa nomino: Ngeli ya KU-KU
Umoja na wingi wa sentensi: Ngeli ya KU-KU
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kuandika nomino za ngeli ya KU-KU katika umoja na wingi
kuandika umoja na wingi wa mafungu ya maneno katika ngeli ya ngeli yaKU- KU
kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya KUKU katika mawasiliano
"asikize usomaji wa nomino
za ngeli ya KU-KU kutoka kwenye tepurekoda au kinasa"
"sauti
aandike mafungu ya maneno"
yenye nomino za ngeli ya KU-
KU katika umoja na wingi
"Ajaze mapengo kwa kutumia
viambishi vya ngeli ya KU-KU kwa maandishi ya mkono au kwa tarakilishi."
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya KU-KU?
picha za vitenzi
wanafunzi wenyewe
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 91-95
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk.
96-99
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 94-95
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 99-102
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo Kazi mradi
9 3
Sarufi
Umoja na wingi wa sentensi: Ngeli ya KU-KU
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya KUKU kwenye sentensi
kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya KU-KU katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi
kufurahia matumizi ya ngeli ya KU-KU katika mawasiliano
"aunde sentensi kwa kutumia
nomino ya ngeli ya KUKU akiwa peke yake au kwa kushirikiana na wenzake
"ajaze mapengo kwa kutumia
viambishi vya ngeli ya KU-KU kwa maandishi ya mkono au tarakilishi."
Je, nomino za ngeli ya KU-KU huchukua viambishi gani katika sentensi?
picha za vitenzi
wanafunzi wenyewe
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 94-95
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 99-102
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo Kazi mradi
9 4
NDEGE WA PORINI
Kusikiliza na Kuzungumza: Visawe: Visawe vya maneno matatu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua maneno matatu yenye maana sawa katika kundi la maneno
kutumia visawe ifaavyo katika mawasiliano
kuthamini matumizi ya maneno matatu yenye maana sawa katika mawasiliano
"Mwanafunzi:Atambue maneno
matatu yenye maana sawa (k.v. nyumbani- kiamboni, mastakimuni, chengoni.
Barabara- tariki, gurufa, baraste. Jitimaihuzuni, kihoro, simanzi) kwa kutumia kapu la maneno, kadi za maneno, mti maneno, kuburura kwa kutumia tarakilishi, n.k.
"
"
matatu yenye maana
sawa akiwa peke yake au kwa kujadiliana na wenzake"
Unajua maneno gani ya Kiswahili yaliyo na maana sawa?
picha ya visawe
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 97-99
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 103-105
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano Kujibu maswali Maigizo Kutambua k.m. kwenye orodha Mijadala Mazungumzo
10 1
NDEGE WA PORINI
Kusikiliza na Kuzungumza: Visawe: Visawe vya maneno matatu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua maneno matatu yenye maana sawa katika kundi la maneno
kutumia visawe ifaavyo katika mawasiliano
kuthamini matumizi ya maneno matatu yenye maana sawa katika mawasiliano
kuambatanisha maneno
matatu yenye maana
sawa katika kapu maneno, mti maneno, ubao, chati, vyombo vya kidijitali, kadi maneno n.k
a vifaa halisi, picha, michoro kwenye chati, kitabu au katika vyombo vya kidijitali n.k.
ashiriki kujadili visawe mbalimbali katika
vikundi vya wanafunzi wawiliwawili au zaidi
oja kuchukua nafasi ya kingine katika sentensi.
Unajua maneno gani ya Kiswahili yaliyo na maana sawa?
picha ya
visawe
"KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 97-99
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 103-105"
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano Kujibu maswali Maigizo Kutambua k.m. kwenye orodha Mijadala Mazungumzo
10 2
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu: Kutambua Mchezo wa kuigiza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua mchezo wa kuigiza katika matini
kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika mchezo wa kuigiza
Kufurahia kusoma michezo na kuigiza.
"Mwanafunzi:aeleze
maana ya mchezo wa kuigiza akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi
mchezo wa kuigiza, wahusika na maelekezo katika matini mbalimbali kama vile vitabu, chati na vilevile kwa kutumia tarakilishi
mchezo wa kuigiza akizingatia wahusika, maelekezo na ujumbe
"ashiriki katika majadiliano
kuhusu msamiati
wa suala lengwa (ndege wa porini) uliotumiwa katika mchezo wa kuigiza (k.v.
chiriku, kasuku, tai, korongo, mwewe na kanga)"
Umewahi kusoma michezo ipi ya kuigiza? Unakumbuka nini katika mchezo uliowahi kuusoma? Kusoma michezo ya kuigiza kuna umuhimu gani?
Magazeti
Majarida
Vitu mbalimbali
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 99-101
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk.105-107
Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa Kujibu maswali k.m. katika ufahamu Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa Kukariri na kuimba mashairi Kusoma kwa sauti
10 3
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu: Kusoma Mchezo wa kuigiza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kuonyesha ufahamu wa mchezo wa kuigiza kwa kujibu maswali
kufafanua umuhimu wa mchezo wa kuigiza
Kufurahia kusoma michezo na kuigiza.
"tazame mchezo mfupi wa kuigiza ukiigizwa darasani au kwenye vifaa vya kidijitali
aigize mchezo mfupi aliousoma akishirikiana na wenzake
ashiriki mjadala kuhusu ujumbe unaojitokeza kwenye mchezo wa kuigiza
chezo wa kuigiza kwenye mtandao
tika kutoa muhtasari wa mchezo aliousoma
"
"
ya ufahamu"
Umewahi kusoma michezo ipi ya kuigiza? Unakumbuka nini katika mchezo uliowahi kuusoma? Kusoma michezo ya kuigiza kuna umuhimu gani?
Magazeti
Majarida
Vitu mbalimbali
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 99-101
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk.105-107
Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa Kujibu maswali k.m. katika ufahamu Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa
10 4
Kusoma
Kuigiza mchezo mfupi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kuonyesha ufahamu wa mchezo wa kuigiza kwa kujibu maswali
kuigiza mchezo mfupi ili kukuza uwezo wa kujieleza
Kufurahia kusoma michezo na kuigiza.
"tazame mchezo mfupi wa kuigiza ukiigizwa darasani au kwenye vifaa vya kidijitali
aigize mchezo mfupi aliousoma akishirikiana na wenzake
ashiriki mjadala kuhusu
ujumbe unaojitokeza kwenye mchezo wa kuigiza"
"chezo wa kuigiza kwenye mtandao
tika kutoa muhtasari wa mchezo aliousoma
"kuuliza na kujibu maswali
ya ufahamu"
Umewahi kusoma michezo ipi ya kuigiza? Unakumbuka nini katika mchezo uliowahi kuusoma? Kusoma michezo ya kuigiza kuna umuhimu gani?
"Magazeti
Majarida
Vitu mbalimbali
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 99-101"
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk.105-107
"Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa Kujibu maswali k.m. katika ufahamu" c) Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa
11 1
NDEGE WA PORINI
Kuandika insha: Insha za masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza sifa za insha ya masimuizi ili kuibainishakuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazokuchangamkia utunzi mzuri
Mwanafunzi:Atambue insha ya masimulizi
kwa kurejelea vielelezo vyainsha zilizoandikwa kwenye
matini mbalimbali au tarakilishi
mada ya insha na muundo
wa insha ya masimulizi aandike insha ya masimulizikatika vifaa vya kidijitalina kuisambaza kwa wenzake na
mwalimu ili kuisoma na kuitathminiawasomee wenzake insha aliyoandika ili waitathmini na
kumwelekeza.
Ni mambo gani unayozingatia ili kuandika insha yamasimulizi ya kuvutia?
Kielelezo cha insha ya masimuliziKLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 101-103KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk.108-109
Kuandika tungo mbalimbaliWanafunzi kufanyiana tathminiPotfolioShajaraMijadala kuhusu vidokezo vyainsha
11 2
NDEGE WA PORINI
Kuandika insha: Insha za masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza sifa za insha ya masimuizi ili kuibainishakuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazokuchangamkia utunzi mzuri
maneno 150, inayosimulia
tukio linalohusiana na ndege waporini kwa kuzingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa lugha ya kiubunifu
Ni mambo gani unayozingatia ili kuandika insha yamasimulizi ya kuvutia?
Kielelezo cha insha ya masimuliziKLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 101-103KLB Visionary Kiswahili Mwongo waMwalimu Uk.108-109
Kuandika tungo mbalimbali Wanafunzi kufanyiana tathminiPotfolioShajaraMijadala kuhusu vidokezo vya insha
11 3
Sarufi
Mnyambuliko wa Vitenzi:Kauli za kutendewa, kutendeka na kutendana
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli za kutendewa, kutendeka na kutendana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
. kutambua vitenzi katika hali ya kutendewa, kutendeka na kutendana katika matini
kutumia vitenzi katika hali za kutendewa, kutendeka na kutendana ipasavyo anapowasilianaKuchangamkia matumizi ya vitenzi katika hali ya kutendewa, kutendeka na kutendana katika mawasiliano.
"Mwanafunzi:atambue vitenzi katika hali za kutendewa, kutendeka na
kutendana katika chati, jedwali,
"
kapu la maneno, mti maneno, ubao na vyombo vya kidijitalikatika hali
lengwa akiwa peke yake,wakiwa wawiliwawili au katika vikundienzi katika hali
lengwa kwenye sentensi
kujaza mapengo katika jedwali la mnyambuliko we
vitenzi kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishitensi upya kwa kutumia vitenzi katika hali
mbalimbali
Je, vitenzivinaweza kubadilika vipi mwishoni ilikuleta maana mbalimbali?
"Wanafunzi wenyewe, Kadi za vitenziKLB Visionary Kiswahili
"
Kitabu cha mwanfunzi Uk. 103-107KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk.110-114
Wanafunzi wenyewe, Kadi za vitenziKLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 103-107KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk.110-114
Kutambuak.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengoe) Kazi mradi
11 4
Sarufi
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli za kutendewa, kutendeka na kutendana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua vitenzi katika hali ya kutendewa, kutendeka na kutendana katika matinikutumia vitenzi katika hali za kutendewa, kutendeka na
kutendana ipasavyo anapowasilianac. Kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika hali ya kutendewa, kutendeka na kutendana katika mawasiliano.
Mwanafunzi:enzi katika hali za kutendewa, kutendeka na kutendana katika chati, jedwali, kapu la maneno, mti maneno, ubao na vyombo vya kidijitalikatika hali lengwa akiwa peke yake,
wakiwa wawiliwawili au katika vikundi enzi katika hali lengwa kwenye sentensikujaza mapengo katika jedwali la mnyambuliko we vitenzi kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishitensi upya kwa kutumia vitenzi katika hali mbalimbali
Je, vitenzi vinaweza kubadilika vipi mwishoni ili kuleta maana mbalimbali?
Wanafunzi wenyewe, Kadi za vitenziKLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 103-107
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk.110-114
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengoe) Kazi mradi
12 1
MAGON JWA
Kusikiliza na Kuzungumza: Mazungumzo ya Kimuktadha: Mazungumzo katika miktadha rasmi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua miktadha rasmi kunakotumiwa lugha rasmi ili kukuza mawasiliano kutumia lugha katika miktadha rasmi ili kufanikisha mawasilianoKuchangamkia matumizi ya lugha katika miktadha rasmi.
Mwanafunzi:kunakotumiwa lugharasmi (k.v ofisini, hospitalini, mahakamani nabungeni)kwa kutazamamaigizo kwenye vyombo vya kidijitali kama vilevideo, rununu, runinga, tarakilishi n.k
Ni wapi katika shughuli zetu za kila siku tunaitumia lugha rasmi?
Picha. Tapurekoda Ofisi, wanafunzi wenyeweKLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 109-111KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa MwalimuUk.115-117
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasilianoKujibu maswaliMaigizoKutambuak.m. kwenye orodhaMijadalaMazungumzo
12 2
MAGON JWA
Kusikiliza na Kuzungumza: Mazungumzo ya Kimuktadha: Mazungumzo katika miktadha rasmi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua miktadha rasmi kunakotumiwa lugha rasmi ili kukuza mawasilianokutumia lugha katika miktadha rasmi ili kufanikisha mawasilianoKuchangamkia matumizi ya lugha katika miktadha rasmi.
katika maigizo ya mazungumzo ya miktadha rasmi akishirikiana na wenzakemazungumzo rasmi nje ya darasa k.m. akiwa kwenye gwaride na majilisiniidhamu ya lugha inayozingatiwa katika mazingira rasmi k.m lugha ya heshima na adabu anapowasiliana
Ni wapi katika shughuli zetu za kila siku tunaitumia lugha rasmi?
Picha. Tapurekoda Ofisi, wanafunzi wenyeweKLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 109-111KLB Visionary Kiswahili Mwongo waMwalimu Uk.115-117
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasilianoKujibu maswaliMaigizoKutambuak.m. kwenye orodhaMijadalaMazungumzo
12 3
Kusoma
Kusoma kwaMapana: Matini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua matini ya ainambalimbali ya kusoma na kuchagua yanayomvutia
kusoma matini aliyochagua ili kufaidika na ujumbe na lugha iliyotumiwaKufurahia usomaji wa aina mbalimbali za matini ili kupanua mawazo yake.
Mwanafunzi:v. vitabu, majarida, magazeti) yanayomvutia maktabani na mtandaoni
aliyochagua ili kufaidi ujumbe uliomoe muhtasari wa kile alichosoma kwenye matini ili kupashana ujumbe na kuchocheana kusoma zaidi kwa ajili ya kujifurahishaliane na wenzake matiniambayo wamesoma kwa kuzingatia ukuzaji wa msamiati
Ni habari zipiunazopenda kusoma kwenye matini ?Unachagua matini hayo kwa nini?
Vitabu mbalimbali MajaridaKLB Visionary Kiswahili
Kitabu cha mwanfunzi Uk. 111-112KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk.117-119
Vitabu mbalimbali MajaridaKLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 111-112KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk.117-119
12 4
Kusoma
Kusoma kwa Mapana: Matini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua matini ya aina mbalimbali ya kusoma na kuchagua yanayomvutiakusoma matini aliyochagua ili kufaidika na ujumbe na lugha iliyotumiwaKufurahia usomaji wa aina mbalimbali za matini ili kupanua mawazo yake.
Mwanafunzi: v. vitabu, majarida, magazeti) yanayomvutia maktabani na mtandaonialiyochagua ili kufaidi ujumbe uliomoe muhtasari wa kile alichosoma kwenye matini ili kupashana ujumbe na kuchocheana kusoma zaidi kwa ajili ya kujifurahishailiane na wenzake matini ambayo wamesoma kwa kuzingatia ukuzaji wa msamiati
Ni habari zipi unazopenda kusoma kwenye matini ?Unachagua matini hayo kwa nini?
Vitabu mbalimbali MajaridaKLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 111-112KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk.117-119
Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwaKujibu maswali k.m. katika ufahamuKutoa muhtasari wa ufahamu au matiniyaliyosomwa d) Kukariri na kuimba mashairie) Kusoma kwasauti

Your Name Comes Here

Download

Feedback