If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
9 |
Likizo fupi |
||||||||
14 | 1 |
KUANDIKA
|
Insha za KubuniMasimulizi(Vipindi 2)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kubaini wazo moja kuu la insha ya masimulizi atakayoandika kuandika insha ya masimulizi inayoendeleza wazo moja kuu katika kila aya kufurahia kuandika insha za masimulizi katika maisha ya kila siku akizingatia ujumbe uliotegemezwa kwenye wazo moja kuu |
Mwanafunzi aelekezwe:
kutambua wazo moja kuu la simulizi kwenye matini andishi na za kidijitali au katika kielelezo cha insha za kubuni akishirikiana na wenzake kuandika insha ya masimulizi kuhusu suala lengwa akizingatia wazo moja kuu kuliendeleza wazo moja kuu katika kila aya kupitia kwa wahusika katika simulizi kuandika kwenye tarakilishi,insha yakubuni kuhusu suala lengwa akizingatia wazo moja kuuna kuwasambazia wenzake kwenye mtandao ili waitolee maoni kushirikiana na wenzake kusahihisha insha ya kubunialiyoandikakwa kuzingatia wazo moja kuu kuwasomea wenzake insha aliyoandika na kuwataka kutambua wazo moja kuu. |
Je, ni vipengele vipi vya kimsingi utakavyozingatia unapoandika insha ya kubuni?
|
Kielelezo cha insha ya masimulizi Kielelezo cha insha ya maelezo Kielelezo cha insha ya wasifu Nakala ya barua ya kirafiki Nakala ya barua rasmi
OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.22-27 |
Kuandika tungo mbalimbali Wanafunzi kufanyiana tathmini
Potfolio
Shajara
Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
|
|
14 | 2 |
SARUFI
KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA KUSOMA KUANDIKA |
Viwakilishi Vimilikishi na Visisitizi(Vipindi 2
Hadithi Visasili(Vipindi 2) Kusoma kwa Ufasaha (Vipindi 2 Insha za KubuniMasimulizi(Vipindi 2) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, kutambua viwakilishi vimilikishi na visisitizi katika matini kutumia viwakilishi vimilikishi na visisitizi ipasavyo katika matini Kuchangamkia kutumia viwakilishi vimilikishi na visisitizi katika sentensi na vifungu. |
Mwanafunzi aelekezwe:
kuchopoa viwakilishi vimilikishi (k.v. Changu, chake, yao, wako) na visisitizi (k.v kiki hiki, yuyu huyu, yaya hay katika kapu la maneno, orodha ya maneno, sentensi, vifungu au katika tarakilishi kutaja viwakilishi vimilikishi na visisitizi akiwa na wenzake katika kikundi kutambua viwakilishi vimilikishi na visisitizi katika orodha ya maneno, sentensi, vifungu kwenye vitabu au tarakilishi kwa kuvipigia mstari au kuvikolezea wino kutunga sentensi au vifungu kuhusu suala lengwa kwa kutumia viwakilishi vimilikishi na visisitizi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi kujaza mapengo kwenye sentensi au vifungu kwa kutumia viwakilishi vimilikishi na visisitizi kumsomea mzazi, mlezi au mwenzake sentensi zinazotumia viwakilishi vimilikishi na visisitizi ili azitolee maoni. |
1.Unazingatia nini unapotumia viwakilishi vimilikishi?2.Je, viwakilishi visisitizi vina muhimu gani katika mawasiliano?
|
Tarakilishi/vipakatalishi Kinasasauti
Rununu Projekta Kapu maneno Mti maneno Kadi maneno Picha za vitu mbalimbali Michoro Chati Mabango Sanamu Nyenzo halisi OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.28-33 Chati Michoro na picha Mgeni mwalikwa Vifaa vya kidijitali (k.v tarakilishi/vipakatalishi, kinasasauti, rununu, projekta, video) Mti maneno Kapu maneno Vitabu mbalimbali Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.34-35 Tarakilishi/vipakatalish Kinasasauti Rununu Projekta Tarakilishi/vipakatalishi Kinasasauti Rununu Kamusi mbalimbali Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.36-38 Kielelezo cha insha ya masimulizi Kielelezo cha insha ya maelezo Kielelezo cha insha ya wasifu Nakala ya barua ya kirafiki Nakala ya barua rasmi Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.40 |
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo Kutunga sentensi
Kazi mradi
|
|
14 | 3 |
SARUFI
KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA KUSOMA KUANDIKA |
Nyakati na Hali(Vipindi 2)
Kusikiliza Maagizo(Vipindi 2) Kusoma kwa Ufahamu(Vipindi 2) Insha ya Maelekezo(Vipindi 2) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, kueleza maana ya hali ya mazoea na timilifu kutumia hali ya mazoea na timilifu ipasavyo katikamatini kufurahia kutumia hali ya mazoea na timilifu ipasavyo ili kufanikisha mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
kushirikiana na wenzake katika kikundi kueleza maana ya hali ya mazoea na timilifu kusoma kifungu na kutambua hali iliyotumiwa akiwa peke yake au katika kikundi kutunga sentensi kwa kutumia hali ya mazoea na timilifu akiwa peke yake au wawiliwawili kuandika sentensikatika hali ya mazoea na timilifu kwenye kifaa cha kidijitali na kuwasambazia wenzake mtandaoni ili waitolee maoni kuchagua sentensi zinazoashiria matumizi ya hali ya mazoea na timilifu kutokana na mchanganyiko wa sentensi kutoka katika vitabu, tarakilishi, chati kwa kuzikolezea wino au kuzipigia mstari kumwasilishia mzazi, mlezi au mwenzake sentensi alizotunga katika hali ya mazoea na timilifu. |
1.Je, unapotaka kuonyesha kwamba jambo hutokea mara kwa mara utatumia viambishi vipi?
2.Je, unapotaka kuonyesha kwamba jambo limefanyika na kukamilika utatumia viambishi vipi?
|
Tarakilishi/vipakatalishi Kinasasauti
Rununu Projekta Kapu maneno Mti maneno Kadi maneno Picha za vitu mbalimbali Michoro Chati Mabango Sanamu Nyenzo halisi OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.41 Chati Michoro na picha Mgeni mwalikwa Vifaa vya kidijitali (k.v tarakilishi/vipakatalishi, kinasasauti, rununu, projekta, video) Mti maneno Kapu maneno Vitabu mbalimbali Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.42 Tarakilishi/vipakatalish Kinasasauti Rununu Projekta Tarakilishi/vipakatalishi Kinasasauti Rununu Kamusi mbalimbali Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.43 Kielelezo cha insha ya masimulizi Kielelezo cha insha ya maelezo Kielelezo cha insha ya wasifu Nakala ya barua ya kirafiki Nakala ya barua rasmi Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.44-47 |
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo Kutunga sentensi
Kazi mradi
|
|
14 | 4 |
SARUFI
KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA KUSOMA KUANDIKA SARUF KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA |
Nyakati na Hali(Vipindi 2)
Kusikilizakwa Kufasiri(Vipindi2) Kusoma kwa KinaTamthilia (Vipindi 2) Insha za KubuniMdokezo(Vipindi 2) Vivumishi vya Sifa na Viashiria(Vipindi 2 Usikilizaji Husishi(Vipindi 2) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, kueleza maana ya wakati uliopita hali timilifu na wakati ujao hali timilifu ili kuzipambanua kutambua viambishi vya wakati uliopitahali timilifu na wakati ujao hali timilifu katika matini kutumia ipasavyo wakati uliopitahali timilifu na wakatiujao hali timilifu katika matini kuchangamkia kutumia ipasavyo wakati uliopita hali timilifu na wakati ujao hali timilifu ili kufanikishamawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
kueleza maana ya wakati uliopita hali timilifu na wakati ujao hali timilifu kutambua viambishi vya wakati uliopita hali timilifu (li, mna wakati ujao hali timilifu(ta, m akiwa peke yake au katika kikundi kushirikiana na wenzake katika kikundi kutenga vitenzi vilivyo katika wakati uliopita hali timilifu na wakati ujao hali timilifu kutoka kwenye chatiaumtimaneno kutunga sentensi kwa kutumia wakati uliopita hali timilifu na wakati ujao hali timilifu, akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi(k.m wenyeji walikuwa wamesali wageni walipowasili; wenyeji watakuwa wamesali wageni watakapowasili) kuandika kifungu kifupi kwenye kifaa cha kidijitali na kuwasambazia wenzake mtandaoni ili wakibadilishe katika nyakati na hali lengwa |
1.
|
Tarakilishi/vipakatalishi Kinasasauti
Rununu Projekta Kapu maneno Mti maneno Kadi maneno Picha za vitu mbalimbali Michoro Chati Mabango Sanamu Nyenzo halisi OUP,Kiswahili Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.48-50 Chati Michoro na picha Mgeni mwalikwa Vifaa vya kidijitali (k.v tarakilishi/vipakatalishi, kinasasauti, rununu, projekta, video) Mti maneno Kapu maneno Vitabu mbalimbali Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.51 Tarakilishi/vipakatalish Kinasasauti Rununu Projekta Tarakilishi/vipakatalishi Kinasasauti Rununu Kamusi mbalimbali Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.52 Kielelezo cha insha ya masimulizi Kielelezo cha insha ya maelezo Kielelezo cha insha ya wasifu Nakala ya barua ya kirafiki Nakala ya barua rasmi Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.53 Gredi 8, Kitabu Cha Mwanafunzi,Uk.54-55 |
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo Kutunga sentensi
Kazi mradi
|
Your Name Comes Here