If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
2 | 3-4 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa ufahamu Sarufi Sarufi Kusoma Kusoma (fasihi) Kusoma Kuandika Kusikiliza na kuzungumza Kusoma kwa Ufahamu Kusoma (fasihi) Kusoma (fasihi) Sarufi Sarufi Sarufi Sarufi Kusoma (fasihi) Kusoma (fasihi) Kusoma |
Isimu jamii; Sajili
Ufahamu; Asali Yawa Shubiri Viulizi Vivumishi vya Idadi Fasihi andishi; Muktadha na usuli wa tamthilia Fasihi andishi; Muktadha na usuli wa tamthilia Kusoma magazeti: Tahariri na Habari Utungaji wa Kiuamilifu: Barua Rasmi Dhima ya Fasihi kwa jumla Shairi: Mikanda Tujifungeni Fasihi Andishi; Wahusika na uhusika katika Tamthilia Fasihi Andishi; Wahusika na uhusika katika Tamthilia ‘A’ Unganifu Virejeshi ‘O’ na ‘amba’ Matumizi ya ‘O’ rejeshi Viashiria visisitizi Fasihi Andishi; Wahusika na uhusika katika Tamthilia Fasihi Andishi; Wahusika na uhusika katika Tamthilia Kusoma kwa sauti; Barua kwa Mhariri |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya sajili. Kutaja na kufafanua sifa za sajili ya dini. Kuigiza maamkizi na mazungumzo katika sehemu za maabadi. Kueleza maana ya tahariri. Kusoma tahariri aliyopewa kwa sauti, akidondoa mambo muhimu kisha kujadiliana kuhusu maoni ya mhariri. Kutambua habari za Kitaifa na Kimataifa kwenye magazeti. |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Kuigiza Maelezo Ufafanuzi Kujadili vidokezo Kuandika Kufanya zoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kamusi ya Methali Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Magazeti Nakala halisi ya barua rasmi Kitabu cha Fasihi Kitabu cha Shairi Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 1-3
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 11-13 |
|
2 | 5 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza Sarufi Kusoma (fasihi) Kusoma (fasihi) Kusoma Kuandika Kusikiliza na kuzungumza Kusoma kwa Ufahamu Kusoma (fasihi) Kusoma (fasihi) Sarufi Kusoma |
Utungaji wa Kiuamilifu; Barua kwa Mhariri
Kusoma kwa Ufahamu; Zimwi Limeingia Duniani Vivumishi kwa pekee Fasihi andishi muundo na mtindo katika tamthilia Fasihi andishi muundo na mtindo katika tamthilia Kusoma kwa Mapana; UKIMWI Utungaji wa Kiuamilifu; Resipe, Muhtasari Maamkizi na Mazungumzo Umoja wa Kitaifa Matumizi ya lugha katika fasihi Matumizi ya lugha katika fasihi Vielezi Utungaji wa Kiuamilifu; Hotuba |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza muundo wa barua kwa mhariri. Kufafanua maudhui ya barua kwa mhariri. Kuandika barua kwa mhariri wa gazeti. |
Kueleza
Kujadili Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 29-31
|
|
2 | 6 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza Kusoma (fasihi) Kusoma (fasihi) Kusikiliza na kuzungumza Sarufi Kusoma Kuandika Kusoma (fasihi) Kusoma (fasihi) Kusikiliza na kuzungumza Sarufi Kuandika Kusikiliza na kuzungumza Kusoma (fasihi) Kusoma (fasihi) Sarufi Kusoma Kusoma Kuandika |
Fasihi Simulizi; Mazungumzo
Fasihi Simulizi; Malumbano ya Utani Fasihi andishi; Matumizi ya lugha katika tamthilia Fasihi andishi; Matumizi ya lugha katika tamthilia Fasihi Simulizi; Ulumbi Viwakilishi (W) Kusoma kwa Kina; Historia na Maendeleo ya Kiswahili Uandishi wa Insha; Insha ya Mazungumzo Fasihi andishi; Maadili na mafunzo katika tamthilia Fasihi andishi; Maadili na mafunzo katika tamthilia Isimujamii; Mahakamani Mwingiliano wa Maneno Utungaji wa Kiuamilifu; Makala ya Redio na Runinga Isimujamii; Mahojiano kati ya Wataalamu Wawili Kusoma kwa kina; Fasihi andishi Kusoma kwa kina; Fasihi andishi Vitenzi; Mzizi wa Kitenzi Uchambuzi wa Fasihi Andishi Uchambuzi wa Fasihi Andishi Utungaji wa Kiuamilifi; Mialiko |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya isimujamii. Kufafanua maana ya sajili katika lugha. Kuigiza mazungumzo. |
Kusoma
Kuigiza Kujadili Kusikiliza Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu cha Fasihi Simulizi Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi Redio na vinasa sauti |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 51-52
|
|
8-9 |
Midterm break |
Your Name Comes Here