If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | 1 |
Viungo vya mwili vya ndani
|
Kusikiliza na kuzungumza;
Matamshi bora: Silabi na vitanzandimi: Sauti /d/ na /nd/
Kusikiliza na kuzungumza; Matamshi bora: Silabi na vitanzandimi: Sauti /ch/ na /sh/ Kusikiliza na kuzungumza; Matamshi bora: Silabi na vitanzandimi: Sauti /j/ na /nj/ Kusikiliza na kuzungumza; Matamshi bora: Silabi na vitanzandimi: Sauti /g/ na /ng/ Kusoma; Kusoma kwa ufahamu: Kifungu cha hadithi Kusoma; Kusoma kwa ufahamu: Sauti za Ajabu Kuandika; Insha ya wasifu Kuandika; Insha ya wasifu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/d/ na /nd/) Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi (/d/ na /nd/) Kufurahia kutunga vitanzandimi zenye silabi /d/ na /nd/ |
Mwanafunzi aweze kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/d/ na /nd/
Mwanafunzi aweze kusikiliza sauti lengwa zikitamkwa kutoka kwa vifaa vya kiteknolojia k.v rununu na kinasasauti Mwanafunzi aweze kutamka silabi lengwa na vitanza ndimi akiwa pekeake, wakiwa wawili au katika vikundi. |
Ni silabi zipi zinazoundwa katika vitanzandimi ulivyokariri?
Je, ni silabi zipi zinazorudiwa katika vitanza ndimi unavyounda?
|
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 1-3
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 3-5 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 6-8 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 8-10 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 10-11 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 11-14 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 14-16 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 16-17 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
1 | 2 |
Viungo vya mwili vya ndani
Michezo Michezo Michezo Michezo Michezo Michezo Michezo Michezo Michezo Michezo Michezo Michezo Mahusiano Mahusiano Mahusiano Mahusiano Mahusiano Mahusiano Mahusiano Mahusiano |
Sarufi; Aina za maneno:
Vivumishi vya sifa
Sarufi; Aina za maneno: Vivumishi viashiria Sarufi; Aina za maneno: Vivumishi viashiria Sarufi; Aina za maneno: Vivumishi vimilikishi Sarufi; Aina za maneno: Vivumishi vimilikishi Kusikiliza na kuzungumza; Maamkuzi na maagano: Maamkuzi Kusikiliza na kuzungumza; Maamkuzi na maagano: Maagano Kusikiliza na kuzungumza; Maamkuzi na maagano Kusoma; Matumizi ya kamusi: Ndoto ya Nafula Kuandika; Insha ya masimulizi Kuandika; Insha ya masimulizi Sarufi; Aina za maneno: Vivumishi vya idadi Sarufi; Aina za maneno: Vivumishi vya idadi Sarufi; Aina za maneno: Vivumishi viulizi Sarufi; Aina za maneno: Vivumishi viulizi Sarufi; Kivumishi kirejeshi (amba-) Sarufi; Kivumishi kirejeshi (amba-) Kusikiliza na kuzungumza; Matamshi bora: Vitendawili Kusoma; Kusoma kwa ufahamu: Kifungu cha hadithi Kusoma; Kusoma kwa ufahamu- Mashaka ya Juma Kuandika; Kuandika kwa kutumia tarakilishi Sarufi; Aina za maneno: Viwakilishi vya nafsi Sarufi; Aina za maneno: Viwakilishi viashiria Sarufi; Aina za maneno: Viwakilishi vya idadi Sarufi; Uakifishaji: Alama ya hisi (!) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya kivumishi. Kuandika kwenye tarakilishi au daftari sentensi sahihi akitumia vivumishi vya sifa anavyovijua. Kuchangamkia matumizi ya vivumishi vya sifa katika mawasiliano ya kila siku. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya kivumishi.
Mwanafunzi aweze kuandika kwenye tarakilishi au daftari sentensi sahihi akitumia vivumishi vya sifa anavyovijua. Mwanafunzi aweze kutumia vivumishi vya sifa kuelezea vitu na watu katika mazingira yake. |
Vivumishi vya sifa zinahusu nini?
Je, ni vivumishi vya sifa zipi unazozijua?
|
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 18-21
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 21-23 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 23-25 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 25-27 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 27-28 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 29-31 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 31-34 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 34 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 35-37 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 37-39 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 39-40 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 40-43 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 43-44 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 44-46 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 46-47 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 47-49 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 49-50 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 51-52 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 53 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 53-55 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 56-58 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 58-60 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 61-63 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 64-66 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 66-68 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
Your Name Comes Here