If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 1 |
Nyumbani
|
Kusikiliza na kuzungumza;
Matamshi bora: Silabi na vitanzandimi /p/ /b/
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/p/ /b/) Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi (/p/ /b/) Kufurahia kutunga vitanzandimi zenye silabi /p/ na /b/ |
Mwanafunzi atambue silabi za sauti /p/ na /b/
Mwanafunzi aweze kusikiliza sauti lengwa zikitamkwa kutoka kwa vifaa vya kiteknolojia k.v rununu na kinasasauti Mwanafunzi aweze kutamka silabi lengwa na vitanza ndimi akiwa pekeake, wakiwa wawili au katika vikundi. |
Ni silabi zinazoundwa katika vitanzandimi ulivokariri?
Je, ni silabi zipi zinazorudiwa katika vitanza ndimi unavyounda?
|
Kiswahili Sahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk.
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 1 | 2 |
Nyumbani
|
Kusikiliza na kuzungumza;
Matamshi bora: Silabi na vitanzandimi /t/ /d/
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/t/ /d/) Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi (/t/ /d/) Kufurahia kutunga vitanzandimi zenye silabi /t/ na /d/ |
Mwanafunzi atambue silabi za sauti /t/ na /d/

Kiswahili Sahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 3-4

| 1 | 3 |

| 1 | 4 |
Nyumbani
|
Kusikiliza na kuzungumza;
Matamshi bora: Silabi na vitanzandimi /k/ /g/
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/k/ /g/) Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi (/k/ /g/) Kufurahia kutunga vitanzandimi zenye silabi /k/ na /g/ |
Mwanafunzi atambue silabi za sauti /k/ na /g/
Mwanafunzi aweze kusikiliza sauti lengwa zikitamkwa kutoka kwa vifaa vya kiteknolojia k.v rununu na kinasasauti Mwanafunzi aweze kutamka silabi lengwa na vitanza ndimi akiwa pekeake, wakiwa wawili au katika vikundi |
Ni silabi zinazoundwa katika vitanzandimi ulivokariri?
Je, ni silabi zipi zinazorudiwa katika vitanza ndimi unavyounda?
|
Kiswahili Sahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk.
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 1 | 5 |
Nyumbani
|
Kusikiliza na kuzungumza;
Matamshi bora: Silabi na vitanzandimi /ch/ /j/
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/ch/ /j/) Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi (/ch/ /j/) Kufurahia kutunga vitanzandimi zenye silabi /ch/ na /j/ |
Mwanafunzi atambue silabi za sauti /ch/ na /j/
Mwanafunzi aweze kusikiliza sauti lengwa zikitamkwa kutoka kwa vifaa vya kiteknolojia k.v rununu na kinasasauti Mwanafunzi aweze kutamka silabi lengwa na vitanza ndimi akiwa pekeake, wakiwa wawili au katika vikundi |
Ni silabi zinazoundwa katika vitanzandimi ulivokariri?
Je, ni silabi zipi zinazorudiwa katika vitanza ndimi unavyounda?
|
Kiswahili Sahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 5-6
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 2 | 1 |
Nyumbani
|
Kusoma; Ufahamu (Nyumbani kwa akina Akinyi)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma kifungu na kutambua msamiati uliotumika katika kifungu ili kuimarisha ufahamu. Kuchora vifaa vya nyumbani (k.v meza, kochi, balbu, kinu, saa) Kufurahia kutoa mukhtasari wa kifungu hicho. |
Mwanafunzi aweze kusoma kifungu na kutambua msamiati uliotumika katika kifungu kuimarisha ufahamu
Mwanafunzi aweze kuchora vifaa vya nyumbani (k.v meza, godoro, kochi, kinu,saa, balbu, neti, mafiga) |
Ni vifaa vipi vya nyumbani unavyojua?
|
Kiswahili Sahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk.
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 2 | 2 |
Nyumbani
|
Kusoma; Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuimba wimbo ufuatao; Nyumbani kuna nyumba. Kujadiliana kazi za vifaa vya nyumbani katika wimbo huo. Kufurahia kuimba wimbo huo; Nyumbani kuna nyumba. |
Mwanafunzi aweze Kuimba wimbo huo na kutambua msamiati uliotumika katika wimbo huo.
Wanafunzi waweze kujadiliana kazi za vifaa vya nyumbani katika wimbo huo. |
Kazi za vifaa vya nyumbani ni gani?

| 2 | 3 |

| 2 | 4 |
Nyumbani
|
Kuandika; Insha ya wasifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua insha ya wasifu kwa kurejelea vielezo vya insha vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi. Kuandika insha ya wasifu kwa kufuata mtindo na muundo ufaao. Kuchangamkia utunzi mzuri mwenye ujumbe mahususi. |
Mwanafunzi aweze kutambua insha wasifu kwa kurejelea vielezo vya insha vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi.
Mwanafunzi aandae vidokezo vitakavyomwongoza kuandika insha yake. Mwanafunzi aweze kuandika insha ya wasifu kwa kufuata mtindo na muundo ufaao. |
Je, unazingatia mambo gani unapoandika insha ya wasifu?
|
Kiswahili Sahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk.
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 2 | 5 |
Nyumbani
|
Sarufi; Aina za Maneno: Nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua maana ya nomino ili kutofautisha na aina nyingine za maneno. Kutambua nomino katika kundi la maneno au sentensi. Kuchangamkia matumizi ya nomino katika mawasiliano ya kila siku. |
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kueleza maana ya nomino.
Mwanafunzi aweze kutambua nomino katika kundi la maneno au sentensi akiwa pekeake, wakiwa wawili au katika vikundi. |
Je, nomino ni nini?
|
Kiswahili Sahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk.
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 3 | 1 |
Nyumbani
|
Sarufi; Aina za Maneno: Nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutunga sentensi kutumia nomino kwa njia sahihi. Kuchora vifaa vifuatavyo; chungu, birika, uteo, sahani, mwiko, stuli, embe. Kuonea fahari matumizi ya nomino katika mawasiliano. |
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kutunga sentensi kutumia nomino kwa njia sahihi.
Mwanafunzi aweze kuchora vifaa vifuatavyo; chungu, birika, uteo, sahani, mwiko, stuli, embe |
Je, ni vitu gani tunavyoweza kupata nyumbani?
|
Kiswahili Sahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk.
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 3 | 2 |
Nyumbani
|
Sarufi; Aina za Maneno; Vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua maana ya vitenzi ili kutofautisha na aina nyingine za maneno. Kutambua vitenzi katika kundi la maneno au sentensi. Kuonea fahari matumizi ya nomino katika mawasiliano |
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kueleza maana ya vitenzi
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kutambua vitenzi katika kundi la maneno au sentensi |

| 3 | 3 |

| 3 | 4 |
Nyumbani
|
Sarufi; Aina za Maneno; Vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutunga sentensi kutumia vitenzi kwa njia sahihi. Kuigiza vitendo hivi; kupalilia mimea, kufyeka ua, kula muwa, kupika ugali, kuosha vyombo, kutandika kitanda Kufurahia kuiga vitendo mbalimbali. |
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi kutumia vitenzi kwa njia sahihi.
Mwanafunzi aweze kuigiza vitendo hivi; kupalilia mimea, kufyeka ua, kula muwa, kupika ugali, kuosha vyombo, kutandika kitanda. |
Ni shughuli gani unazofanya kila siku?
|
Kiswahili Sahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk.
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 3 | 5 |
Nyumbani
|
Sarufi; Aina za Maneno; Vivumishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua maana ya vivumishi ili kutofautisha na aina nyingine za maneno. Kutambua vivumishi katika kundi la maneno au sentensi. Kuonea fahari matumizi ya vivumishi katika mawasiliano |
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kueleza maana ya kivumishi.
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kutambua vivumishi katika kundi la maneno au sentensi |
Je, kivumishi ni nini?
|
Kiswahili Sahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk.
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 4 | 1 |
Nyumbani
|
Sarufi; Aina za Maneno; Vivumishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutunga sentensi kutumia vivumishi kwa njia ipasavyo. Kuandika aya fupi akitumia kivumishi kuelezea kitu, mtu, hali na mahali. Kuonea fahari matumizi ya vivumishi katika mawasiliano |
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi kutumia vivumishi kwa njia sahihi.
Mwanafunzi aweze kuandika aya fupi akitumia kivumishi kuelezea kitu, mtu, hali na mahali. |
Ni sifa zipi unazoweza kutambua katika nomino mbalimbali?
|
Kiswahili Sahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk.
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 4 | 2 |
Nidhamu mezani
|
Kusikiliza na Kuzungumza;
Maamkuzi na maagano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza mamkuzi na maagano yanayotumika katika muktadha mbalimbali. Kuigiza maamkuzi na maagano lengwa. Kuchangamkia maamkuzi na maagano katika mahusiano. |
Mwanafunzi aweze kueleza mamkuzi na maagano yanayotumika katika muktadha mbalimbali.
Mwanafunzi aweze kutambua mamkuzi (k.v Umzima, Alamsiki, Lala unono, Siku njema, Makiwa) Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kuigiza maamkuzi na maagano lengwa |
Je, watu husalimiana vipi katika jamii yako?
Je, watu huagana vipi katika jamii yako?

| 4 | 3 |

| 4 | 4 |
Nidhamu mezani
|
Kusoma;
Ufahamu: Matumizi ya kamusi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya kamusi na kutumia kamusi ipasavyo kutafuta maana za maneno asiyoyajua ili kukuza msamiati wake. Kutumia mtandao kusikiliza na kusoma maelezo kuhusu msamiati unaotafutiwa maana. Kuchangamkia umuhimu wa kamusi katika kukuza msamiati wake. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya kamusi na kutumia kamusi ipasavyo kutafuta maana za maneno asiyoyajua ili kukuza msamiati wake.
Mwanafunzi ajadiliane na wenzake kuhusu mpangilio wa maneno katika kamusi Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kutumia mtandao kusikiliza na kusoma maelezo kuhusu msamiati unaotafutiwa maana. |
Kamusi ina umuhimu gani?
|
Kiswahili Sahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk.
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 4 | 5 |
Nidhamu mezani
|
Kuandika;
Insha ya masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo na kurejelea vielezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini. mbalimbali. Kuandika insha ya masimulizi inayozingatia mada, ujumbe, mtindo na muundo ufaao. Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya masimulizi ili kukuza ubunifu wake. |
Mwanafunzi aweze kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo na kurejelea vielezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali.
Mwanafunzi aweze kuandika insha ya masimulizi inayozingatia mada, ujumbe, mtindo, na muundo ufaao. |
Insha ya masimulizi inahusu nini?
Je, unazingatia nini unapoandika insha ya masimulizi?
|
Kiswahili Sahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk.
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 5 | 1 |
Nidhamu mezani
|
Sarufi; Aina za maneno: Viwakilishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya kiwakilishi ili kukibainisha. Kutambua kiwakilishi katika kundi la maneno au sentensi. Kuonea fahari matumizi ya viwakilishi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kueleza maana ya kiwakilishi.
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kutambua viwakilishi katika kundi la maneno au sentensi |
Je, kiwakilishi ni nini?
|
Kiswahili Sahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk.
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 5 | 2 |
Nidhamu mezani
|
Sarufi; Aina za maneno: Viwakilishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutunga sentensi kutumia viwakilishi kwa njia ipasavyo. Kupiga taipu sentensi zake, azihifadhi kwenye tarakilishi kisha atumie mtandao kumsambazia mwalimu wake. Kuonea fahari matumizi ya viwakilishi katika mawasiliano |
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi kutumia viwakilishi kwa njia sahihi.
Mwanafunzi aweze kupiga taipu sentensi zake, azihifadhi kwenye tarakilishi kisha atumie mtandao kumsambazia mwalimu wake |
Je, ni maneno gani yanayoweza kutumiwa kutoa habari zaidi kuhusu nomino unazojua?
|
Kiswahili Sahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk.
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 5 | 3 |

| 5 | 4 |
Nidhamu mezani
|
Sarufi; Aina za maneno: Vielezi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya kielezi ili kukibainisha. Kutambua kielezi katika kundi la maneno au sentensi. Kuonea fahari matumizi ya vielezi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kueleza maana ya kielezi.
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kutambua vielezi katika kundi la maneno au sentensi |
Je, kielezi ni nini?
|
Kiswahili Sahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk.
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 5 | 5 |
Nidhamu mezani
|
Sarufi; Aina za maneno: Vielezi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutunga sentensi kutumia vielezi kwa njia ipasavyo. Kuigiza vielezi mbalimbali panapofaa (k.v Kunywa uji kistaarabu) Kuonea fahari matumizi ya vielezi katika mawasiliano |
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi kutumia vielezi kwa njia sahihi.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake katika vikundi vya watatuwatatu kuigiza vielezi mbalimbali (k.v Kunywa uji kistaarabu, kula samaki kwa makini, kuosha vyombo vizuri, kula wali taratibu) |
Je, unafanyaje shughuli zako za kila siku?
|
Kiswahili Sahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk.
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 6 | 1 |
Mavazi
|
Kusikiliza na Kuzungumza; Matamshi bora: Vitendawili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua vitendawili na kutamka maneno yenye sauti radidi katika vitendawili lengwa Kutega na kutegua vitendawili vyenye sauti radidi ili kujenga matamshi bora. Kuchangamkia matumizi ya vitendawili vyenye sauti radidi kama njia ya kujenga utamkaji bora wa maneno. |
Mwanafunzi aweze kutambua vitendawili na kutamka maneno yenye sauti radidi katika vitendawili lengwa.
Mwanafunzi aweze kushiriki katika kutega na kutegua vitendawili vyenye sauti radidi wakiwa wawili wawili au katika vikundi |
Je, unajua kutega na kutegua vitendawili gani?
|
Kiswahili Sahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk.
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 6 | 2 |
Mavazi
|
Kusoma; Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma ufahamu kwa ufasaha na kutambua msamiati uliotumika katika hadithi ili kuimarisha ufahamu. Kuchora mavazi mbalimbali kwenye daftari au tarakilishi Kufurahia kutoa mukhtasari wa kifungu hicho. |
Mwanafunzi aweze kusoma ufahamu kwa ufasaha na kutambua msamiati uliotumika katika hadithi ili kuimarisha ufahamu
Mwanafunzi aweze kuchora mavazi mbalimbali kwenye daftari au tarakilishi. |
Je, unapenda mavazi gani?

| 6 | 3 |

| 6 | 4 |
Mavazi
|
Kusoma; Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutumia msamiati lengwa kwa usahihi katika sentensi. Kutazama video ya vibonzo wakiwa na mavazi mbalimbali na kisha kujibu maswali kutokana na mavazi yao Kuchangamkia msamiati wa mavazi mbalimbali. |
Mwanafunzi aweze kutumia msamiati lengwa kwa usahihi katika sentensi.
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kutazama video ya vibonzo wakiwa na mavazi mbalimbali kisha kujibu maswali kutokana na mavazi yao. |
Je, ni mambo gani mtu huzingatia anapochagua mavazi yake?
|
Kiswahili Sahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk.
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 6 | 5 |
Mavazi
|
Kuandika; Kuandika kutumia tarakilishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua sehemu mbalimbali za tarakilishi zinazotumika kupiga chapa. Kuandika mada lengwa kwa kutumia tarakilishi akizingatia chapa koza, italiki na kupiga mstari panapofaa. Kufurahia kutumia tarakilishi kuandika na kuhifadhi kazi |
Mwanafunzi aweze kutambua sehemu mbalimbali za tarakilishi za kupiga chapa (Kiibodi, kipanya, kiwambo, faili, kitufe)
Mwanafunzi aweze kuandika mada lengwa kwa kutumia tarakilishi akizingatia chapa koza, italiki na kupiga mstari panapofaa. |
Je, ni sehemu zipi za tarakilishi unazotumia kuandika?
|
Kiswahili Sahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk.
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Intaneti |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 7 | 1 |
Mavazi
|
Sarufi; Aina za maneno: Viunganishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya kiunganishi ili kukibainisha. Kutambua kiunganishi katika kundi la maneno au sentensi. Kuonea fahari matumizi ya viunganishi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kueleza maana ya kiunganishi.
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kutambua viunganishi katika kundi la maneno au sentensi (k.v na, pia, kwa, sababu, lakini) |
Je, kiunganishi ni nini?
|
Kiswahili Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk.
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Intaneti |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 7 | 2 |
Mavazi
|
Sarufi; Aina za maneno: Viunganishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutunga sentensi kutumia viunganishi kwa njia ipasavyo. Kuchagua viunganishi kutoka kwenye kundi la maneno yaliyo kwenye tarakilishi, aviburure na kuvitia kapuni. Kuonea fahari matumizi ya viunganishi katika mawasiliano |
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi kutumia vielezi kwa njia sahihi.
Mwanafunzi aweze kuchagua viunganishi kutoka kwenye kundi la maneno yaliyo kwenye tarakilishi, aviburure na kuvitia kapuni akiwa peke yake au katika kundi. |
Ni viunganishi gani unaweza kutumia katika sentensi?
|
Kiswahili Sahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk.
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Intaneti |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 7 | 3 |

| 7 | 4 |
Mavazi
|
Sarufi; Aina za maneno: Vihusishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya kihusishi ili kukibainisha. Kutambua kihusishi katika kundi la maneno au sentensi. Kuonea fahari matumizi ya vihusishi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kueleza maana ya kihusishi na kuvitolea mifano (k.v karibu na, mbali na, chini ya, nje ya, ndani ya Nk)
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kutambua vihusishi katika kundi la maneno au sentensi. |
Je, kihusishi ni nini?
|
Kiswahili Sahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk.
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Intaneti |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 7 | 5 |
Mavazi
|
Sarufi; Aina za maneno: Vihusishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua vihusishi ipasavyo katika sentensi. Kutunga sentensi kutumia vihusishi kwenye tarakilishi kisha kumsambazia mwalimu kupitia mtandao wa intaneti kuzisahihisha. Kuonea fahari matumizi ya vihusishi katika mawasiliano |
Mwanafunzi aweze kutambua vihusishi ipasavyo katika sentensi.
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi kutumia vihusishi kwenye tarakilishi kisha kumsambazia mwalimu kupitia mtandao wa intaneti kuzisahihisha. |
Ni vihusishi gani unavyoweza kutumia katika sentensi?
|
Kiswahili Sahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk.
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Intaneti |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 8 |
Midterm break/exams |
||||||||
| 9 | 1 |
Mavazi
|
Sarufi; Aina za maneno: Vihisishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya kihisishi ili kukibainisha. Kutambua kihusishi katika kundi la maneno au sentensi. Kuonea fahari matumizi ya vihisishi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kueleza maana ya kihisishi na kuvitolea mifano (k.v Lo! Ala! Oyee! Naam!)
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kutambua vihisishi katika kundi la maneno au sentensi |
Je, kihisishi ni nini?
|
Kiswahili Sahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk.
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Intaneti |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 9 | 2 |
Mavazi
|
Sarufi; Aina za maneno: Vihisishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutunga sentensi kutumia vihisishi kwa njia ipasavyo. Kuchagua vihisishi kutoka kwenye kundi la maneno yaliyo kwenye tarakilishi, aviburure na kuvitia kapuni. Kuonea fahari matumizi ya vihisishi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi kutumia vihisishi kwa njia sahihi.
Mwanafunzi aweze kuchagua vihisishi kutoka kwenye kundi la maneno yaliyo kwenye tarakilishi, aviburure na kuvitia kapuni akiwa peke yake au katika kundi |
Ni vihisishi gani unavyoweza kutumia katika sentensi?

| 9 | 3 |

| 9 | 4 |
Dira
|
Kusikiliza na Kuzungumza; Heshima, Adabu na vyeo: Maneno ya upole
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua na kutumia maneno ya upole yanayotumiwa katika mawasiliano. Kuigiza matukio yanayohusu matumizi ya maneno ya upole. Kutathmini matumizi ya maneno ya upole katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aweze kutambua na kutumia maneno ya upole yanayotumiwa katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweze kuigiza matukio yanayohusu matumizi ya maneno ya upole wakiwa wawiliwawili. |
Ni maneno gani yanatumiwa kuonyesha upole katika mazungumzo?
|
Kiswahili Sahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 55-57
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Intaneti |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 9 | 5 |
Dira
|
Kusoma; Kusoma kwa mapana: Matini ya kidijitali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutumia vyombo vya kidijitali kwa urahisi kupata matini yanayolengwa. Kufunga na kufungua faili kwenye tarakilishi. Kufurahia kufunga na kufungua faili kwenye tarakilishi ili kuhifadhi misamiati. |
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kutumia vyombo vya kidijitali kwa urahisi kupata matini yanayolengwa.
Mwanafunzi aweze kufunga na kufungua faili kwenye tarakilishi. |
Utafanya nini ili kufikia matini ya mtandaoni?
|
Kiswahili Sahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk.
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Intaneti |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 10 | 1 |
Dira
|
Kusoma; Kusoma kwa mapana: Matini ya kidijitali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali. Kuandika msamiati wa dira na maelezo yake na kupiga chapa matini hayo kisha kuhifadhi kwa faili kwenye tarakilishi. Kuchangamkia mataumizi ya kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake. |
Mwanafunzi aweze kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali.
Mwanafunzi aweze kuandika msamiati wa dira na maelezo yake na kupiga chapa matini hayo kisha kuhifadhi kwa faili kwenye tarakilishi. |
Ni hatua zipi za kiusalama unazofaa kuzingatia unapotumia mtandao?
|
Kiswahili Sahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk.
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Intaneti |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 10 | 2 |
Dira
|
Kuandika; Barua ya kirafiki
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua barua ya kirafiki kwa kuzingatia muundo wake. Kuandika barua ya kirafiki inayozingatia mada kwa kufuata kanuni zifaazo. Kuchangamki utunzi mzuri wenye ujumbe mahususi. |
Mwanafunzi aweze kutambua barua ya kirafiki kwa kuzingatia muundo wake.
Mwanafunzi aweze kuandika barua ya kirafiki inayozingatia mada kwa kufuata kanuni zifaazo. |
Je, unazingatia nini ili kuandika barua nzuri ya kiurafiki?
Barua za kirafiki inashughulikia masuala gani?

| 10 | 3 |

| 10 | 4 |
Dira
|
Sarufi; Ngeli za nomino: Umoja na wingi wa nomino katika ngeli ya A-WA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya ngeli za nomino na kutambua nomino katika ngeli ya A-WA Kuandika nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi. Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya A-WA katika mawasiliano |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya ngeli za nomino n kutambua nomino katika ngeli ya A-WA.
Mwanafunzi aweze kuandika nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika makundi. |
Je, ngeli za nomino ni zipi?
|
Kiswahili Sahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk.
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Intaneti |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 10 | 5 |
Dira
|
Sarufi; Ngeli za nomino: Umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya A-WA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandika umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya A-WA. Kusikiliza usomaji wa nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi. Kuchangamkia kutumia umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya A-WA katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aweze kuandika umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya A-WA
Mwanafunzi aweze kusikiliza usomaji wa nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi kwenye kinasasauti. |
Nomino zinazorejelea viumbe hai ni zipi?
|
Kiswahili Sahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk.
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Intaneti |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 11 | 1 |
Ushauri Nasaha
|
Kusikiliza na Kuzungumza;
Methali; Methali zinazohusu malezi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya methali. Kusakura methali mbalimbali katika mtandao na kuandika maana zake kama zilivyo kwenye mtandao. Kuchangamkia matumizi ya methali katika muktadha mbalimbali |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya methali.
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kusakura methali mbalimbali katika mtandao na kuandika maana zake kama zilivyo kwenye mtandao. |
Je, unajua methali ni nini?
Methali hutumika kufanya nini?
|
Kiswahili Sahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk.
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 11 | 2 |
Ushauri Nasaha
|
Kusikiliza na Kuzungumza;
Methali; Methali zinazohusu malezi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua methali kuhusu malezi kutoka kwa kundi la methali alizopewa. Kutumia methali kuhusu malezi katika kifungu kifupi na masimulizi Kuchangamkia matumizi ya methali zinazohusu malezi katika muktadha mbalimbali. |
Mwanafunzi aweze kutambua methali kuhusu malezi (k.v mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, mtoto wa nyoka ni nyoka) kutoka kundi la methali alizopewa.
Mwanafunzi aweze kutumia methali kuhusu malezi katika kifungu kifupi na masimulizi akiwa peke yake, wawili wawili na katika vikundi |
Ni methali gani zinahusu malezi?

| 11 | 3 |

| 11 | 4 |
Ushauri Nasaha
|
Kusoma; Ujumbe na lugha katika ushairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya shairi, ubeti na mshororo ili kuvibainisha. Kusoma shairi kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe. Kufurahia kutumia lugha ya ushairi anapozungumzia ushairi. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya shairi, ubeti na mshororo ili kuvibainisha.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kusoma shairi kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe wake. |
Je, shairi ni nini?
Mashairi yanaweza kuwasilisha ujumbe gani?
|
Kiswahili Sahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk.
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 11 | 5 |
Ushauri Nasaha
|
Kusoma; Ujumbe na lugha katika ushairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua shairi kutokana na umbo lake. Kukariri shairi kwa mahadhi yake mwenyewe. Kufurahia kukariri shairi kwa mahadhi yake mwenyewe. |
Mwanafunzi aweze kutambua shairi kutokana na umbo lake.
Mwanafunzi aweze kukariri shairi kwa mahadhi yake mwenyewe. |
Unafahamu msamiati gani wa ushairi?
|
Kiswahili Sahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk.
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 12 | 1 |
Ushauri Nasaha
|
Kuandika; Insha ya maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua insha ya maelezo kwa kuzingatia muundo. Kuandika na kueleza mambo ya kuzingatia wakati wa kuandika insha ya maelezo katika tarakilishi. Kuchangamkia utunzi mzuri mwenye ujumbe mahususi. |
Mwanafunzi aweze kutambua insha ya maelezo kwa kuzingatia muundo.
Mwanafunzi aweze kuandika na kueleza mambo ya kuzingatia wakati wa kuandika insha ya maelezo katika tarakilishi. |
Je, unazingatia mambo gani unapoandika insha ya maelezo?
|
Kiswahili Sahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk.
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 12 | 2 |
Ushauri Nasaha
|
Kuandika; Insha ya maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua insha ya maelezo kwa kurejelea vielezo vya insha vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi Kuandika insha ya maelezo kuhusu umuhimu wa malezi mema kwenye tarakilishi. Kufurahia kuandika insha ya maelezo kuhusu umuhimu wa malezi mema kwenye tarakilishi. |
Mwanafunzi aweze kutambua insha ya maelezo kwa kurejelea vielezo vya insha vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi.
Mwanafunzi aweze kuandika insha ya maelezo kuhusu umuhimu wa malezi mema kwenye tarakilishi. |
Insha ya maelezo inahusu nini?

| 12 | 3 |

| 12 | 4 |
Ushauri Nasaha
|
Sarufi; Umoja na wingi wa nomino: Ngeli ya U-I
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya ngeli za nomino na kutambua nomino katika ngeli ya U-I Kuandika nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi. Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-I katika mawasiliano |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya ngeli za nomino n kutambua nomino katika ngeli ya U-I.
Mwanafunzi aweze kuandika nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika makundi. |
Ni nomino gani za ngeli ya U-I unazozijua?
|
Kiswahili Sahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk.
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 12 | 5 |
Ushauri Nasaha
|
Sarufi; Umoja na wingi wa sentensi; Ngeli ya U-I
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandika umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya U-I. Kusikiliza usomaji wa nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi. Kuchangamkia kutumia umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya U-I katika mawasiliano |
Mwanafunzi aweze kuandika umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya U-I.
Mwanafunzi aweze kusikiliza usomaji wa nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi kwenye kinasasauti. |
Nomino zinazorejelea mimea na vitu vya kimaumbile ni zipi?
|
Kiswahili Sahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk.
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 13 |
Endterm break/exams |
||||||||
Your Name Comes Here