If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 2 |
Opening assessment |
||||||||
| 7 |
Midterm assessment |
||||||||
| 13 |
Endterm assessment and closing |
||||||||
| 14 | 1 |
USAFI WA SEHEMU ZA UMMA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Kuandika |
Kusikiliza na Kujibu Mahojiano
Kusoma kwa Ufahamu: Kifungu cha Simulizi Viwakilishi: - Viwakilishi vya Nafsi - Viwakilishi Vionyeshi - Viwakilishi vya Idadi Viakifishi: - Alama ya hisi - Ritifaa Kusikiliza na Kujibu Mahojiano Kusoma kwa Ufahamu: Kifungu cha Simulizi Viwakilishi: - Viwakilishi vya Nafsi - Viwakilishi Vionyeshi - Viwakilishi vya Idadi Viakifishi: - Alama ya hisi - Ritifaa Kusikiliza kwa Kina: -Sauti /g/ na /gh/ Kusoma kwa Mapana: -Matini ya kujichagulia Viwakilishi: - Viwakilishi vya Sifa - Viwakilishi vya Pekee - Viwakilishi Viulizi Barua ya Kirafiki: -Barua ya kirafiki ya kutoa shukrani Kusikiliza kwa Kina: -Sauti /g/ na /gh/ Kusoma kwa Mapana: -Matini ya kujichagulia Viwakilishi: - Viwakilishi vya Sifa - Viwakilishi vya Pekee - Viwakilishi Viulizi Barua ya Kirafiki: -Barua ya kirafiki ya kutoa shukrani Hadithi: Mighani Kusoma kwa Kina: Tamthilia Viwakilishi: - Viwakilishi Vimilikishi - Viwakilishi Visisitizi Insha za Kubuni: Masimulizi Hadithi: Mighani Kusoma kwa Kina: Tamthilia Viwakilishi: - Viwakilishi Vimilikishi - Viwakilishi Visisitizi Insha za Kubuni: Masimulizi Hadithi: Visasili Kusoma kwa Ufasaha Nyakati na Hali: - Hali ya mazoea - Hali timilifu Insha za Kubuni: Masimulizi Hadithi: Visasili Kusoma kwa Ufasaha Nyakati na Hali: - Hali ya mazoea - Hali timilifu Insha za Kubuni: Masimulizi Kusikiliza Maagizo Kusoma kwa Ufahamu Nyakati na Hali: -Wakati uliopita hali timilifu Insha ya Maelekezo Kusikiliza Maagizo Kusoma kwa Ufahamu Nyakati na Hali: -Wakati ujao hali timilifu Insha ya Maelekezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza mahojiano - kutambua vipengele vya kuzingatia katika kujibu mahojiano - kutumia vipengele vifaavyo katika kusikiliza na kujibu mahojiano ipasavyo - kuchangamkia kushiriki mahojiano katika miktadha mbalimbali |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza mahojiano - Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kujibu mahojiano - Kusikiliza mahojiano kuhusu suala lengwa katika kifaa cha kidijitali na kutambua vipengele vya kusikiliza na kujibu mahojiano vilivyozingatiwa - Kuwawasilishia wenzake vipengele vya kusikiliza na kujibu mahojiano vilivyozingatiwa katika mahojiano aliyosikiliza katika kifaa cha kidijitali - Kushiriki mahojiano kuhusu suala lengwa akiwa na wenzake, mzazi au mlezi kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya kusikiliza na kujibu mahojiano |
Je, ni vipengele vipi vinavyofaa kuzingatiwa katika kusikiliza mahojiano?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 1
-Michoro -Vifaa vya kidijitali -Mgeni mwalikwa Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 3 -Vifungu vya simulizi -Kamusi Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 8 -Chati -Kapu maneno -Mti maneno -Tarakilishi Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 6 -Mifano ya matini zenye alama ya hisi na ritifaa -Tarakilishi/vifaa vya kidijitali Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 17 -Maneno yenye sauti /g/ na /gh/ -Vitabu mbalimbali Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 24 -Kadi maneno Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 22 -Nakala ya barua ya kirafiki Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 32 -Mighani iliyoandikwa Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 36 -Tamthilia mbalimbali Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 40 Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 38 -Kielelezo cha insha ya masimulizi Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 45 -Visasili vilivyoandikwa Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 48 -Vifungu vya kusoma Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 56 Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 52 Kielelezo cha Kiswahili - uk. 61 - Chati - Kadi maneno - Vifaa vya kidijitali - Kapu maneno - uk. 64 - Tarakilishi/vipakatalishi - Kinasasauti - Projekta - Kamusi mbalimbali - uk. 69 - Picha za vitu mbalimbali - Miti maneno - uk. 67 - Kielelezo cha insha ya maelekezo - Kamusi - uk. 62 - Mgeni mwalikwa - Vitu halisi - uk. 65 - uk. 71 - uk. 68 |
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
-Maigizo
-Mijadala
-Mazungumzo
|
|
Your Name Comes Here