If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 2 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno: f/v, s/z, l/r na th/dh. - Kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi: f/v, s/z, l/r na th/dh ili kutofautisha matamshi yake. - Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi: f/v, s/z, l/r na th/dh ili kuimarisha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua silabi za sauti lengwa kutokana na maneno kwenye vitabu, ubaoni au kwa kutumia vifaa vya kiteknolojia. - Kusikiliza silabi za sauti f/v, s/z, l/r/ na th/dh zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kutoka kwa vifaa vya kiteknolojia (k.v. kinasasauti). - Kutamka silabi za sauti lengwa akiwa na wenzake. |
Je, unajua maneno gani yenye silabi zinazokanganya kimatamshi?
|
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 5 icha
Michoro Kadi maneno Vifaa vya kidijitali Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 5 hati za vitanzandimi Kadi za silabi |
Kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana
Kutamka silabi na vitanzandimi kwa usahihi
Ushiriki katika kutamka vitanzandimi
|
|
| 2 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi: l/r na th/dh ili kuimarisha mawasiliano. - Kuunda vitanzandimi vyenye maana kutokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi: l/r na th/dh. - Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi: l/r na th/dh ili kuimarisha matamshi yake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kukaririwa vitanzandimi vinavyotokana na sauti l/r na th/dh. - Kuunda vitanzandimi vinavyotokana na sauti husika akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi. - Kusakura mtandaoni ili kupata vitanzandimi zaidi vyenye sauti lengwa. |
Je, unajua vitanzandimi gani vyenye sauti l/r na th/dh?
|
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 5 hati za vitanzandimi
Kadi za silabi Vifaa vya kidijitali |
Kutamka vitanzandimi kwa usahihi
Kuunda vitanzandimi vyenye sauti l/r na th/dh
Kukariri vitanzandimi
|
|
| 2 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi: f/v, s/z, l/r na th/dh ili kuimarisha mawasiliano. - Kuunda vitanzandimi vyenye maana kutokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi: f/v, s/z, l/r na th/dh. - Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi: f/v, s/z, l/r na th/dh ili kuimarisha matamshi yake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kukariri vitanzandimi vilivyoandaliwa na mwalimu au vilivyopatikana mtandaoni. - Kufanya mashindano ya kukariri vitanzandimi darasani. - Kuwakaririria wazazi au walezi wao vitanzandimi walivyojifunza ili wawape maoni. |
Kutamka vitanzandimi kwa usahihi kunasaidia kuboresha matamshi yako vipi?
|
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 5 rodha ya vitanzandimi
Vifaa vya kidijitali |
Kukariri vitanzandimi kwa ufasaha
Kutamka sauti zinazokaribiana kwa usahihi
Kutofautisha sauti zinazokaribiana kimatamshi
|
|
| 2 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua msamiati wa suala lengwa uliotumika katika kifungu ili kuimarisha ufahamu. - Kutumia msamiati lengwa kwa usahihi katika sentensi. - Kusoma kifungu cha hadithi kwa kuzingatia ujumbe, matukio na wahusika. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua msamiati wa suala lengwa (k.v. vyakula, viungo vya kupikia, njia za kupika na vifaa vya kupikia) kwa kutumia kadi za maneno, chati, mti maneno au kifaa cha kidijitali. - Kushiriki katika vikundi kujadili na kutumia msamiati wa suala lengwa katika sentensi. - Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa kwenye kitabu au kwenye tarakilishi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi. |
Kusoma kuhusu mapishi kuna umuhimu gani?
|
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 5 hati za msamiati
Kifungu cha hadithi kuhusu mapishi Vifaa vya kidijitali Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 5 Kifungu cha hadithi Maswali ya ufahamu |
Kutambua msamiati wa mapishi
Kutumia msamiati katika sentensi
Kusoma kifungu cha hadithi
Kujibu maswali
|
|
| 3 | 1 |
Kuandika
|
Insha ya wasifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua insha ya wasifu kwa kuzingatia mtindo na muundo wake. - Kuandika insha ya wasifu kwa ubunifu ili kujenga maelezo yenye kutoa picha dhahiri. - Kufurahia kutunga insha bora ili kuimarisha mazoea ya kuandika. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua insha ya wasifu kwa kurejelea vielelezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi. - Kusoma vielelezo vya insha ya wasifu vilivyoandikwa katika matini mbalimbali au tarakilishi. - Kushirikiana na wenzake kujadili mada na muundo wa insha ya wasifu. |
Insha ya wasifu inahusu nini?
|
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 5 Mifano ya insha za wasifu
Chati ya muundo wa insha ya wasifu Vifaa vya kidijitali |
Kutambua insha ya wasifu
Kujadili muundo wa insha ya wasifu
Kuandika vidokezo vya insha ya wasifu
|
|
| 3 | 2 |
Kuandika
|
Insha ya wasifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kuandika insha ya wasifu kwa ubunifu ili kujenga maelezo yenye kutoa picha dhahiri. - Kufurahia kutunga insha bora ili kuimarisha mazoea ya kuandika. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kukishirikiana na wenzake katika vikundi ili kubainisha na kujadili vidokezo vifaavyo vya mada lengwa. - Kuaandika insha ya wasifu isiyopungua maneno 150 inayohusu mada lengwa (k.v. Mpishi nimpendaye) kwa kuzingatia, anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, kanuni za kisarufi na kwa lugha ya kiubunifu. - Kuandika insha ya wasifu mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini. |
Unazingatia nini unapoandika insha ya wasifu?
|
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 5 Mifano ya insha za wasifu
Orodha hakiki ya sifa za insha ya wasifu Vifaa vya kidijitali |
Kuandika insha ya wasifu
Kuzingatia muundo wa insha ya wasifu
Kusoma na kutathmini insha za wenzake
|
|
| 3 | 3 |
Sarufi
|
Nomino za Pekee
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua nomino za pekee kwenye sentensi au vifungu vya maneno. - Kutunga sentensi kwa kutumia nomino za pekee ili kukuza matumizi ya lugha sahihi. - Kuchangamkia matumizi ya nomino za pekee katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino za pekee (k.v. Kisumu, Mei, Rabuka, Alhamisi na Yohana) kwenye tarakilishi, kapu maneno, mti maneno, kadi maneno au chati. - Kutaja nomino za pekee akiwa na wenzake kama vile za majina ya mji, majina ya mito, majina ya watu na majina ya miezi. - Kutambua nomino za pekee katika sentensi kwenye vitabu, tarakilishi, chati kwa kuzipigia mstari au kukolezea rangi. |
Nomino za pekee zinahusu nini?
|
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 5 Chati za nomino za pekee
Kadi maneno Mti maneno Vifaa vya kidijitali |
Kutambua nomino za pekee
Kupigia mstari nomino za pekee katika sentensi
Kutaja aina za nomino za pekee
|
|
| 3 | 4 |
Sarufi
|
Nomino za Pekee
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua nomino za pekee kwenye sentensi au vifungu vya maneno. - Kutunga sentensi kwa kutumia nomino za pekee ili kukuza matumizi ya lugha sahihi. - Kuchangamkia matumizi ya nomino za pekee katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujaza nafasi kwenye sentensi au kifungu kwa kutumia nomino za pekee. - Kutunga sentensi kwa kutumia nomino za pekee akiwa na wenzake. - Kuorodhesha nomino za pekee kulingana na aina zake. |
Ni nomino zipi za pekee unazozijua?
|
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 5 Chati za nomino za pekee
Kadi maneno Orodha ya maswali ya zoezi |
Kutumia nomino za pekee katika sentensi
Kujaza pengo kwa nomino za pekee
Kuorodhesha nomino za pekee kulingana na aina
|
|
| 4 | 1 |
Sarufi
|
Nomino za kawaida
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua nomino za kawaida kwenye sentensi au vifungu vya maneno. - Kutunga sentensi kwa kutumia nomino za kawaida ili kukuza matumizi sahihi ya lugha. - Kufurahia kutumia nomino za kawaida katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino za kawaida kwenye kadi au kapu la maneno (k.v.mtu, mtoto, darasa, ukuta, mwalimu, meza na kiti). - Kutaja akiwa na wenzake nomino za kawaida. - Kutambua nomino za kawaida katika sentensi kwa kuzipigia mistari au kuzikolezea rangi kwenye tarakilishi. |
Je, ni vitu gani vinavyopatikana katika mazingira yako?
|
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 5 Kadi au kapu la maneno
Chati zenye nomino za kawaida Vifaa vya kidijitali |
Kutambua nomino za kawaida
Kupigia mstari nomino za kawaida katika sentensi
Kutaja nomino za kawaida
|
|
| 4 | 2 |

| 4 | 3 |

- Kutumia nomino za kawaida kujaza nafasi kwenye sentensi. - Kutunga sentensi kwa kutumia nomino za kawaida akiwa peke yake wawiliwawili au kwenye vikundi. - Kuorodhesha nomino za kawaida zinazopatikana mazingira yao. |
Ni vitu gani vinavyotumiwa katika mapishi mbalimbali?
|
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 5 Chati za nomino za kawaida
Maswali ya zoezi Picha za vitu mbalimbali |
Kutunga sentensi kwa kutumia nomino za kawaida
Kujaza pengo kwa nomino za kawaida
Kuorodhesha nomino za kawaida katika mazingira
|
|
| 4 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Maamkuzi na Maagano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua aina mbalimbali za maamkuzi katika mawasiliano. - Kueleza maamkuzi yanayotumika katika miktadha mbalimbali ili kuyabainisha. - Kutumia aina mbalimbali za maamkuzi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua maamkuzi (k.v. shikamoo, Habari za utokako? Habari za adhuhuri? Habari za jioni?) kutoka kwenye chati, ubao au vifaa vya kidijitali, michoro na picha. - Kushiriki kujadiliana na mwenzake au katika vikundi maamkuzi yanayolengwa na matumizi yake. - Kuambatanisha maamkuzi na majibu sahihi. |
Je, watu husalimiana vipi katika jamii?
|
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 5 Picha zinazoonyesha watu wakiamkuana
Chati za maamkuzi na majibu yake Vifaa vya kidijitali Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 5 Picha zinazoonyesha watu wakiagana Chati za maagano na majibu yake |
Kutambua aina za maamkuzi
Kutumia maamkuzi ipasavyo
Kuambatanisha maamkuzi na majibu yake
|
|
| 5 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua mpangilio wa maneno katika kamusi ili kupata maneno lengwa kwa urahisi. - Kutumia kamusi ipasavyo kutafuta maana za maneno asiyoyajua yaliyo katika matini teule ili kukuza msamiati wake. - Kuchangamkia kutumia kamusi katika kukuza msamiati wake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kupanga maneno aliyopewa kwenye chati, kapu maneno au mti maneno kialfabeti. - Kuchague neno kutoka kapu maneno au mti maneno ili kulitafuta kwenye kamusi. - Kutumia kamusi kutafuta maana za maneno mbalimbali akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi. |
Maana ya maneno ya Kiswahili hupatikana wapi?
|
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 5 Kamusi
Kapu maneno Mti maneno Vifaa vya kidijitali |
Kupanga maneno kialfabeti
Kutumia kamusi kutafuta maana za maneno
Kuandika maana za maneno kutoka kamusi
|
|
| 5 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua mpangilio wa maneno katika kamusi ili kupata maneno lengwa kwa urahisi. - Kutumia kamusi ipasavyo kutafuta maana za maneno asiyoyajua yaliyo katika matini teule ili kukuza msamiati wake. - Kuchangamkia kutumia kamusi katika kukuza msamiati wake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia kamusi kutafuta maana za maneno mbalimbali akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi. - Kutumia mtandao kutafuta maana za maneno. - Kutunga sentensi kwa kutumia maneno aliyotafuta kwenye kamusi. |
Je, unafanya nini unapokutana na neno gumu katika kifungu?
|
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 5 Kamusi
Vifaa vya kidijitali Maswali ya zoezi |
Kutumia kamusi kutafuta maana za maneno
Kutunga sentensi kwa kutumia maneno mapya
Kutumia mtandao kutafuta maana za maneno
|
|
| 5 | 3 |
Kuandika
|
Insha ya masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia ujumbe, mtindo na muundo. - Kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo. - Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya masimulizi ili kukuza ubunifu wake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua insha ya masimulizi kwa kurejelea vielelezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi. - Kushiriki na wenzake kujadili mada ya insha na muundo wa insha ya masimulizi. - Kuandika insha isiyopungua maneno 150 inayosimulia kisa cha tukio linalohusiana na huduma ya kwanza kwa kuzingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa lugha ya kiubunifu. |
Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya masimulizi?
|
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 5 Mifano ya insha za masimulizi
Chati ya muundo wa insha ya masimulizi Vifaa vya kidijitali Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 5 Orodha hakiki ya insha ya masimulizi |
Kutambua muundo wa insha ya masimulizi
Kujadili mada ya insha ya masimulizi
Kuandika insha ya masimulizi
|
|
| 5 | 4 |
Sarufi
|
Nomino za Wingi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua nomino za wingi katika matini ili kuzibainisha. - Kutumia nomino za wingi katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano. - Kufurahia kutumia nomino za wingi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino za wingi (k.m chumvi, sukari, maji, uji, mafuta na manukato) kutoka kwenye kapu la maneno, chati, vitabu na vifaa vya kidijitali akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi. - Kutambua nomino za wingi kwa kuzipigia mistari au kuzikolezea rangi kwenye matini. - Kutumia nomino za wingi kujaza nafasi kwenye sentensi. |
Unajua majina gani yanayohusu vitu vinavyopatikana katika wingi tu?
|
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 5 Chati za nomino za wingi
Kadi maneno Picha za vitu mbalimbali Vifaa vya kidijitali |
Kutambua nomino za wingi
Kupigia mstari nomino za wingi katika sentensi
Kujaza pengo kwa nomino za wingi
|
|
| 6 | 1 |
Sarufi
|
Nomino za Wingi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua nomino za wingi katika matini ili kuzibainisha. - Kutumia nomino za wingi katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano. - Kufurahia kutumia nomino za wingi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia nomino za wingi katika sentensi kwa kufanya mazoezi daftarini. - Kutunga sentensi kwa kutumia nomino za wingi akiwa peke yake au akishirikiana na wenzake. - Kuorodhesha nomino za wingi zinazopatikana katika mazingira yake. |
Ni vitu gani vinavyopatikana katika wingi tu katika mazingira yako?
|
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 5 Chati za nomino za wingi
Kadi maneno Picha za vitu mbalimbali |
Kutunga sentensi zenye nomino za wingi
Kuorodhesha nomino za wingi
Kutofautisha nomino za wingi na nomino za kawaida
|
|
| 6 | 2 |
Sarufi
|
Vitenzi-jina
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua nomino za vitenzi-jina kwenye kifungu cha maneno au kwenye sentensi. - Kutunga sentensi au vifungu vya maneno akitumia nomino za vitenzi-jina ili kukuza matumizi bora ya lugha. - Kufurahia kutumia nomino za vitenzi-jina katika utungaji wa sentensi na kujaza nafasi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vitenzi-jina kutoka kwenye kapu la maneno, vyombo vya kijiditali (k.v. kusoma, kucheka, kula, kulia na kuandika). - Kutambua vitenzi-jina akiwa na wenzake kwa kuvipigia mistari au kuzikolezea rangi kwenye matini n.k. - Kutumia nomino za vitenzi-jina kwa kujaza nafasi kwenye sentensi. |
Ni mambo gani wewe hufanya ukiwa nyumbani?
|
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 5 Chati za vitenzi-jina
Kadi maneno Picha zinazoonyesha vitendo |
Kutambua vitenzi-jina
Kupigia mstari vitenzi-jina katika sentensi
Kujaza pengo kwa vitenzi-jina
|
|
| 6 | 3 |
Sarufi
|
Vitenzi-jina
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua nomino za vitenzi-jina kwenye kifungu cha maneno au kwenye sentensi. - Kutunga sentensi au vifungu vya maneno akitumia nomino za vitenzi-jina ili kukuza matumizi bora ya lugha. - Kufurahia kutumia nomino za vitenzi-jina katika utungaji wa sentensi na kujaza nafasi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutunga sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia nomino za vitenzi-jina akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi. - Kuorodhesha vitenzi-jina mbalimbali vilivyotokana na vitendo vya kila siku. - Kutofautisha vitenzi-jina na vitenzi vikuu. |
Unapenda kufanya mambo gani darasani?
|
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 5 Chati za vitenzi-jina
Maswali ya zoezi Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi zenye vitenzi-jina
Kuorodhesha vitenzi-jina
Kutofautisha vitenzi-jina na vitenzi vikuu
|
|
| 6 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua vitendawili vya suala lengwa. - Kutega na kutegua vitendawili ili kujenga matamshi bora. - Kuchangamkia matumizi ya vitendawili kama njia ya kujenga utamkaji bora wa maneno. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vitendawili vya mapambo katika chati, ubao au vifaa vya kidijitali (k.m Wafaa lakini wavaliwa bila matumizi maalum (Mtandio), Ananitazama, hasemi hasikii (Picha), Lapendeza rangi lakini halidumu (Ua). Dhahabu yangu ya thamani haisimami (Mkufu). - Kushiriki katika kutega na kutegua vitendawili. - Kusikiliza vitendawili vikitegwa na kuteguliwa kupitia vyombo vya kidijitali. |
Je, ni vitendawili gani unavyovijua?
|
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 5 Chati za vitendawili
Kadi za vitendawili Vifaa vya kidijitali |
Kutega na kutegua vitendawili
Kutambua vitendawili vya mapambo
Kutunga vitendawili vipya
|
|
| 7 |
TATHMINI YA KATIKATI YA MUHULA |
||||||||
| 8 |
LIKIZO YA KATIKATI YA MUHULA |
||||||||
| 9 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Matamshi Bora
Kusoma kwa Ufasaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutega na kutegua vitendawili ili kujenga matamshi bora. - Kuchangamkia matumizi ya vitendawili kama njia ya kujenga utamkaji bora wa maneno. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushiriki katika mashindano ya kutega na kutegua vitendawili darasani. - Kubuni vitendawili vyao wenyewe kuhusu mapambo. - Kusikiliza vitendawili kwenye kifaa cha kidijitali na kuvitegua. |
Kutega na kutegua vitendawili kuna umuhimu gani?
|
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 5 Orodha ya vitendawili
Vifaa vya kidijitali Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 5 Picha za mapambo Kamusi |
Kutega na kutegua vitendawili
Kubuni vitendawili vipya
Ushiriki katika mashindano ya vitendawili
|
|
| 9 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kusoma kifungu cha hadithi ili kupata ujumbe. - Kuonyesha uelewa wa hadithi kwa kutoa muhtasari na kujibu maswali. - Kuonea fahari kusoma hadithi kuhusu mapambo na kujibu maswali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma maneno yasiyopungua(80) katika hadithi kwa dakika moja kwa usahihi. - Kutoa muhtasari wa hadithi aliyoisoma. - Kujibu maswali kutokana na hadithi. |
Je, unazingatia nini unaposoma kifungu kwa ufasaha?
|
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 5 Kifungu cha hadithi
Saa ya kupimia muda Maswali ya ufahamu |
Kusoma maneno 80 kwa dakika moja
Kutoa muhtasari wa hadithi
Kujibu maswali kuhusu hadithi
|
|
| 9 | 3 |
Kuandika
|
Kuandika kwa Tarakilishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua sehemu mbalimbali za tarakilishi zinazotumika kupigia chapa. - Kutumia tarakilishi ili kujenga maarifa ya kidijitali. - Kujenga mazoea ya kutumia tarakilishi kuandika na kuhifadhi maandishi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua sehemu mbalimbali za tarakilishi za kupigia chapa. (k.v. bodidota, kipanya na kiwambo/ mulishi). - Kutumia tarakilishi kuandika maneno au sentensi zinazolenga msamiati wa mapambo (k.v. herini, vipuli, pete, kipini, bangili, shanga, taji, kugesi na hina). - Kutumia tarakilishi kuandika kifungu kinachohusisha mapambo mbalimbali. |
Je, ni sehemu zipi za tarakilishi unazojua?
|
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 5 Tarakilishi
Picha za sehemu za tarakilishi Chati ya sehemu za tarakilishi |
Kutambua sehemu za tarakilishi
Kuandika maneno na sentensi kwa kutumia tarakilishi
Kuhifadhi maandishi kwenye faili ya tarakilishi
|
|
| 9 | 4 |
Kuandika
Sarufi |
Kuandika kwa Tarakilishi
Nomino za Makundi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutumia tarakilishi ili kujenga maarifa ya kidijitali. - Kujenga mazoea ya kutumia tarakilishi kuandika na kuhifadhi maandishi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuhifadhi kazi yake kwenye faili ya tarakilishi mara kwa mara. - Kuhariri kazi yake kwenye tarakilishi akishirikiana na wenzake katika kikundi. - Kutuma kazi yake kwa mwalimu ili kuitathmini. |
Tarakilishi hutuwezesha kufanya kazi gani?
|
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 5 Tarakilishi
Picha za sehemu za tarakilishi Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 5 Chati za nomino za makundi Kadi maneno Picha zinazoonyesha makundi ya vitu |
Kuhariri kazi kwenye tarakilishi
Kuhifadhi kazi kwenye faili
Kutuma kazi kwa mwalimu
|
|
| 10 | 1 |
Sarufi
|
Nomino za Makundi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua nomino za makundi katika sentensi ili kuzibainisha. - Kutumia nomino za makundi kwa usahihi katika sentensi. - Kuonea fahari matumizi ya nomino za makundi katika miktadha mbalimbali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia nomino za makundi kutunga sentensi mtandaoni akiwa na wenzake. - Kujaza nafasi kwenye sentensi kwa kutumia nomino za makundi. - Kuorodhesha nomino za makundi zinazopatikana katika mazingira. |
Je, nomino za makundi hutumiwa vipi?
|
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 5 Maswali ya zoezi
Picha zinazoonyesha makundi ya vitu Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi zenye nomino za makundi
Kujaza pengo kwa nomino za makundi
Kuorodhesha nomino za makundi
|
|
| 10 | 2 |
Sarufi
|
Nomino Ambata
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua nomino ambata katika matini ili kuzitofautisha na aina nyingine za nomino. - Kutumia nomino ambata kwa usahihi katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano. - Kuonea fahari matumizi ya nomino ambata katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino ambata (k.v askarikanzu, mbwamwitu, mwanasiasa na mwananchi) kwa kutumia kadi maneno, kapu maneno, chati au vifaa vya kidijitali akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi. - Kujadili katika kikundi au wawiliwawili maana ya nomino ambata huko akitoa mifano. - Kutumia nomino ambata katika sentensi na kuziandika katika daftari lake. |
Je, unajua maneno yapi yanayounganishwa kuunda neno moja?
|
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 5 Chati za nomino ambata
Kadi maneno Vifaa vya kidijitali |
Kutambua nomino ambata
Kueleza maana ya nomino ambata
Kutunga sentensi zenye nomino ambata
|
|
| 10 | 3 |
Sarufi
|
Nomino Ambata
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua nomino ambata katika matini ili kuzitofautisha na aina nyingine za nomino. - Kutumia nomino ambata kwa usahihi katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano. - Kuonea fahari matumizi ya nomino ambata katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia nomino ambata kutunga sentensi mtandaoni akishirikiana na wenzake. - Kusakura mtandaoni ili kupata mifano zaidi ya nomino ambata na kuziandika katika daftari lake. - Kujaza nafasi kwenye sentensi kwa kutumia nomino ambata. |
Ni mifano gani ya nomino ambata unayojua?
|
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 5 Maswali ya zoezi
Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi zenye nomino ambata
Kusakura mtandaoni mifano ya nomino ambata
Kujaza pengo kwa nomino ambata
|
|
| 10 | 4 |
Sarufi
|
Nomino za dhahania
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua nomino za dhahania katika matini mbalimbali. - Kuelezea nomino za dhahania kwa kutoa mifano mwafaka. - Kutumia nomino za dhahania kwa usahihi katika sentensi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino za dhahania (k.v upendo, uhodari, ukweli) kwa kutumia kadi maneno, mti maneno, chati au vifaa vya kidijitali. - Kujadili katika kikundi au wawiliwawili maana ya nomino za dhahania huko akitoa mifano. - Kutumia nomino za dhahania katika sentensi na kuziandika sentensi hizo daftarini mwake. |
Je, unajua maneno yapi yanayotaja vitu ambavyo haviwezi kushikwa au kuonekana kwa macho?
|
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 5 Chati za nomino za dhahania
Kadi maneno Mti maneno |
Kutambua nomino za dhahania
Kueleza maana ya nomino za dhahania
Kutunga sentensi zenye nomino za dhahania
|
|
| 11 | 1 |
Sarufi
|
Nomino za dhahania
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua nomino za dhahania katika matini mbalimbali. - Kutumia nomino za dhahania kwa usahihi katika sentensi. - Kuonea fahari matumizi ya nomino za dhahania katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia nomino za dhahania kutunga sentensi mtandaoni akishirikiana na wenzake. - Kujaza nafasi kwenye sentensi kwa kutumia nomino za dhahania. - Kuorodhesha nomino za dhahania zinazoelezea hisia na tabia za binadamu. |
Ni nomino zipi za dhahania unazozitumia katika mawasiliano ya kila siku?
|
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 5 Maswali ya zoezi
Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi zenye nomino za dhahania
Kujaza pengo kwa nomino za dhahania
Kuorodhesha nomino za dhahania
|
|
| 11 | 2 |

| 11 | 3 |
Sarufi
|
Uakifishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua herufi kubwa, alama ya koma, kikomo na kiulizi katika maandishi. - Kutumia herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi ifaavyo katika maaandishi. - Kufurahia matumizi ya herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi katika maandishi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua herufi kubwa katika maandishi. - Kushiriki katika vikundi kuakifisha sentensi akitumia herufi kubwa (baadhi ya sentensi ziangazie suala lengwa). - Kuandika sentensi akitumia herufi kubwa ifaavyo. |
Kwa nini alama za kuakifisha hutumiwa katika maandishi?
|
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 5 Chati za matumizi ya herufi kubwa
Vifaa vya kidijitali |
Kutambua herufi kubwa katika matini
Kuakifisha sentensi kwa kutumia herufi kubwa
Kuandika sentensi zenye herufi kubwa
|
|
| 11 | 4 |

| 12 | 1 |

- Kutambua alama ya koma katika maandishi. - Kushiriki katika vikundi kuakifisha sentensi akitumia koma (baadhi ya sentensi ziangazie suala lengwa). - Kuandika sentensi akitumia koma ifaavyo. |
Kwa nini tunahitaji alama ya koma katika maandishi?
|
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 5 Chati za matumizi ya koma
Vifaa vya kidijitali |
Kutambua alama ya koma katika matini
Kuakifisha sentensi kwa kutumia koma
Kuandika sentensi zenye koma
|
|
| 12 | 2 |
Sarufi
|
Uakifishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua herufi kubwa, alama ya koma, kikomo na kiulizi katika maandishi. - Kutumia herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi ifaavyo katika maaandishi. - Kufurahia matumizi ya herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi katika maandishi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua kikomo katika maandishi. - Kushiriki katika vikundi kuakifisha sentensi akitumia kikomo (baadhi ya sentensi ziangazie suala lengwa). - Kuandika sentensi akitumia kikomo ifaavyo. |
Ni wakati gani tunatumia kikomo katika maandishi?
|
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 5 Chati za matumizi ya kikomo
Vifaa vya kidijitali |
Kutambua kikomo katika matini
Kuakifisha sentensi kwa kutumia kikomo
Kuandika sentensi zenye kikomo
|
|
| 12 | 3 |

| 12 | 4 |

- Kutambua kiulizi katika maandishi. - Kushiriki katika vikundi kuakifisha sentensi akitumia kiulizi (baadhi ya sentensi ziangazie suala lengwa). - Kuandika sentensi akitumia kiulizi ifaavyo. - Kuandika sentensi zenye herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi akitumia kifaa cha kidijitali. |
Unatumia alama ya kiulizi wakati gani?
|
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi ya 5 Chati za matumizi ya kiulizi
Vifaa vya kidijitali |
Kutambua kiulizi katika matini
Kuakifisha sentensi kwa kutumia kiulizi
Kuandika sentensi zenye kiulizi
|
|
| 13 |
TATHMINI YA MWISHO WA MUHULA |
||||||||
| 14 |
KUSAHIHISHA NA KUFUNGA |
||||||||
Your Name Comes Here