Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA NNE
MWAKA WA 2027
MUHULA WA I

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
2

OPENER ASSESSMENT

3 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua silabi zinazotokana na sauti p/b, t/d, k/g, ch/j katika maneno.
- Kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi.
- Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi.
- Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi katika kuboresha matamshi yake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua silabi za sauti lengwa (p/b, t/d, k/g, ch/j) kutokana na maneno kwenye vitabu, ubaoni au kwa kutumia vifaa vya kidijitali.
- Kusikiliza silabi za sauti lengwa zikitamkwa na mwalimu au kutoka kwa vifaa vya kidijitali k.v. kinasasauti na rununu.
- Kutamka silabi za sauti lengwa akiwa na wenzake.
- Kusikiliza vitanzandimi vilivyoundwa kutokana na maneno yenye sauti lengwa vikikaririwa na mwalimu.
Matamshi bora yana umuhimu gani katika mawasiliano?
-Kitabu cha Kiswahili cha Gredi 4 - Kapu maneno
- Kadi za maneno
- Picha
- Vifaa vya kidijitali
- Kutambua silabi zinazotokana na sauti p/b, t/d, k/g, ch/j - Kutamka silabi ipasavyo - Kutamka vitanzandimi vifaavyo - Kukariri vitanzandimi
3 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua silabi zinazotokana na sauti p/b, t/d, k/g, ch/j katika maneno.
- Kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi.
- Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi.
- Kuunda vitanzandimi kutokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutamka vitanzandimi akiwa na wenzake.
- Kuunda vitanzandimi vyepesi vinavyotokana na vitate husika akiwa na wenzake.
- Kuunda vitanzandimi kwenye vifaa vya kidijitali na kushirikiana na wenzake mitandaoni kuvirekebisha.
- Kushiriki majadiliano kuhusu sababu za kukariri vitanzandimi maishani mwake.
Unaundaje vitanzandimi kutokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi?
-Kitabu cha Kiswahili cha Gredi 4 - Mti maneno
- Kadi za maneno
- Vifaa vya kidijitali
-Kitabu cha Kiswahili cha Gredi 4 - Chati
- Mti maneno
-Kitabu cha Kiswahili cha Gredi 4 - Vifaa vya kidijitali
- Chati
- Kadi za maneno
- Kuunda vitanzandimi vifaavyo - Kueleza sababu za kukariri vitanzandimi - Kutumia lugha ipasavyo katika mawasiliano
3 3
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua msamiati wa mada lengwa uliotumika katika kifungu cha hadithi ili kuimarisha ufahamu.
- Kutumia msamiati lengwa kwa usahihi katika sentensi.
- Kutoa muhtasari wa ujumbe wa kifungu cha hadithi.
- Kujenga mazoea ya usomaji bora katika maisha ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua msamiati wa nyumbani (k.v. meza, sebule, balbu/globu, kizingiti, fremu, neti, tendegu, mtoto wa meza, mvungu, figa, kinu, tumbuu, kochi, kupiga deki) uliotumiwa katika kifungu cha hadithi.
- Kushirikiana na wenzake kujadili maana na matumizi ya msamiati lengwa katika sentensi.
- Kuimba nyimbo zinazolenga msamiati lengwa.
- Kusoma kifungu kinachohusiana na suala lengwa kwenye kitabu au kwenye tarakilishi akiwa na wenzake.
Unazingatia nini ili kupata ujumbe katika kifungu cha hadithi?
-Kitabu cha Kiswahili cha Gredi 4 - Picha
- Kifaa cha kidijitali
- Kamusi
-Kitabu cha Kiswahili cha Gredi 4 - Chati
- Kamusi
- Kifaa cha kidijitali
- Kutambua msamiati wa nyumbani - Kueleza maana ya msamiati - Kutumia msamiati kwa usahihi katika sentensi - Kutoa muhtasari wa ujumbe kutoka kifunguni
3 4
Kuandika
Sarufi
Kuandika Insha ya Wasifu
Nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua insha ya wasifu kwa kuzingatia muundo.
- Kuandika insha ya wasifu kwa kuzingatia ujumbe, mtindo na muundo ufaao.
- Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya wasifu ili kujenga ubunifu wake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili na wenzake maana ya insha ya wasifu.
- Kutambua insha ya wasifu kwa kurejelea vielelezo vya insha vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi.
- Kujadili na wenzake mada ya insha na muundo wa insha ya wasifu akiwa.
- Kuandaa vidokezo vitakavyomwongoza kuandika insha yake.
Je, unazingatia mambo gani unapoandika insha nzuri ya wasifu?
-Kitabu cha Kiswahili cha Gredi 4 - Mifano ya insha ya wasifu
- Vifaa vya kidijitali
- Chati
-Kitabu cha Kiswahili cha Gredi 4 - Vifaa vya kidijitali
- Kielelezo cha insha ya wasifu
-Kitabu cha Kiswahili cha Gredi 4 - Kapu maneno
- Mti maneno
- Kadi za maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Kutambua sehemu za insha ya wasifu - Kuandaa vidokezo vya insha - Kujadili mada na muundo wa insha
4 1
Sarufi
Nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua nomino katika kundi la maneno na sentensi.
- Kutumia nomino kwa njia sahihi katika sentensi.
- Kuonea fahari matumizi ya nomino katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia nomino kujaza nafasi katika sentensi.
- Kutumia nomino kutunga sentensi kwenye daftari na mtandaoni ili wenzake wazisome na kuzisahihisha.
Nomino zinatumika vipi katika mawasiliano ya kila siku?
-Kitabu cha Kiswahili cha Gredi 4 - Kifaa cha kidijitali
- Kapu maneno
- Mti maneno
- Kujaza nafasi kwa kutumia nomino - Kutunga sentensi zinazotumia nomino - Kusahihisha sentensi za wenzake - Uwasilishaji wa sentensi mtandaoni
4 2
Sarufi
Vitenzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kueleza maana ya vitenzi ili kuvitofautisha na aina nyingine za maneno.
- Kutambua vitenzi katika kundi la maneno na sentensi.
- Kutumia vitenzi ipasavyo katika mawasiliano.
- Kuonea fahari matumizi ya vitenzi katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kwa amani kueleza maana ya vitenzi.
- Kushirikiana na wenzake kutoa mifano ya vitenzi (k.v. soma, andika, keti, simama, cheka) katika kadi za maneno, kapu maneno, ubao, vifaa vya kidijitali n.k.
- Kutambua vitendo vinavyofanyika katika picha au michoro.
- Kuigiza vitenzi mbalimbali akishirikiana na wenzake.
Ni shughuli gani unazofanya kila siku?
-Kitabu cha Kiswahili cha Gredi 4 - Picha
- Michoro
- Kapu maneno
- Kadi za maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Kueleza maana ya vitenzi - Kutambua vitendo vinavyofanyika katika picha - Kuigiza vitenzi mbalimbali - Kutumia vitenzi katika mawasiliano
4 3
Sarufi
Vitenzi
Vivumishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua vitenzi katika kundi la maneno na sentensi.
- Kutumia vitenzi ipasavyo katika mawasiliano.
- Kuonea fahari matumizi ya vitenzi katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia vitenzi kujaza nafasi kwenye sentensi na kifungu kifupi.
- Kutumia vitenzi mbalimbali kutunga sentensi daftarini au mtandaoni kwa kuzingatia suala lengwa na masuala mtambuko mbalimbali.
- Kuwashirikisha wenzake katika kuzisahihisha sentensi zake na kumpa maoni kwa heshima.
Vitenzi vina umuhimu gani katika mawasiliano ya kila siku?
-Kitabu cha Kiswahili cha Gredi 4
- Kapu maneno
- Kadi za maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Vifaa vya kidijitali
- Mti maneno
- Kujaza nafasi kwa vitenzi - Kutunga sentensi zenye vitenzi - Kusahihishana sentensi - Kutoa maoni kwa heshima
4 4
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Vivumishi
Maamkuzi na Maagano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua vivumishi katika kundi la maneno na sentensi.
- Kutumia vivumishi ipasavyo katika sentensi na kifungu.
- Kuonea fahari matumizi ya vivumishi katika sentensi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia vivumishi kutunga sentensi daftarini na mtandaoni akizingatia masuala mtambuko mbalimbali yakiwemo masuala ya usalama wa mtandaoni, usawa wa kijinsia, usalama wa nyumbani, mahusiano ya kijamii, n.k.
- Kuandika aya fupi akitumia vivumishi mbalimbali.
- Kuwasomea au kuwasambazia wenzake kazi yake ili kuitolea maoni kwa heshima na upendo.
Vivumishi vina umuhimu gani katika kujenga picha akilini mwa msomaji?
-Kitabu cha Kiswahili cha Gredi 4
- Vifaa vya kidijitali
- Chati
- Kadi za maneno
- Michoro
- Picha
- Vifaa vya kidijitali
- Kutunga sentensi zenye vivumishi - Kuandika aya fupi yenye vivumishi - Kusomea wenzake kazi yake - Kutoa na kupokea maoni kwa heshima
5 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Maamkuzi na Maagano
Matumizi ya Kamusi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua aina mbalimbali za maamkuzi na maagano katika mawasiliano.
- Kueleza maamkuzi na maagano yanayotumika katika miktadha mbalimbali.
- Kutumia aina mbalimbali za maamkuzi na maagano katika mawasiliano.
- Kuchangamkia maamkuzi na maagano katika mahusiano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama watu wakiamkuana na kuagana katika vifaa vya kidijitali.
- Kuambatanisha maamkuzi na maagano na majibu sahihi daftarini au kwenye tarakilishi.
- Kujadiliana na mzazi au mlezi wake kuhusu maamkuzi na maagano yanayotumiwa katika jamii yao.
Kuamkua na kuaga watu kuna umuhimu gani?
-Kitabu cha Kiswahili cha Gredi 4
- Vifaa vya kidijitali
- Kadi za maneno
- Picha za watu wakiamkuana
- Kamusi mbalimbali
- Chati
- Orodha ya maneno
- Kuambatanisha maamkuzi na maagano na majibu sahihi - Kutumia maamkuzi na maagano ipasavyo - Kueleza umuhimu wa maamkuzi na maagano
5 2
Kusoma
Kuandika
Kuandika
Matumizi ya Kamusi
Insha ya Masimulizi
Insha ya Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutumia kamusi ipasavyo kutafuta maana za maneno asiyoyajua ili kukuza msamiati wake.
- Kuchangamkia umuhimu wa kamusi katika kukuza msamiati wake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia mtandao kusikiliza na kusoma maelezo kuhusu msamiati anaotafutia maana.
Kamusi ina umuhimu gani katika kukuza msamiati wako?
-Kitabu cha Kiswahili cha Gredi 4
- Kamusi mbalimbali
- Vifaa vya kidijitali
- Mtandao
- Mifano ya insha za masimulizi
- Picha
- Chati
- Kutumia mtandao kutafuta maana za maneno - Kueleza umuhimu wa kamusi - Kukuza msamiati kwa kutumia kamusi
5 3
Sarufi
Viwakilishi
Vielezi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kueleza maana ya kiwakilishi ili kukibainisha.
- Kutambua viwakilishi katika kundi la maneno na sentensi.
- Kutumia viwakilishi ipasavyo katika sentensi.
- Kuonea fahari matumizi ya viwakilishi katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kueleza maana ya viwakilishi.
- Kutambua viwakilishi katika kundi la maneno aliyopewa.
- Kuchagua viwakilishi kwenye tarakilishi, kuviburura na kuvitia kapuni akiwa na wenzake.
Ni maneno gani yanayoweza kutumika badala ya nomino?
-Kitabu cha Kiswahili cha Gredi 4
- Kapu maneno
- Kadi za maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Chati
- Vifaa vya kidijitali
- Kapu maneno
- Mti maneno
- Kueleza maana ya kiwakilishi - Kutambua viwakilishi katika maneno - Kuburura viwakilishi kwenye tarakilishi
5 4
Sarufi
Vielezi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua vielezi katika kundi la maneno na sentensi.
- Kutumia vielezi ipasavyo katika mawasiliano.
- Kuonea fahari matumizi ya vielezi katika sentensi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuigiza vielezi mbalimbali panapofaa akishirikiana na wenzake.
- Kutumia vielezi mwafaka kujaza nafasi katika sentensi.
- Kutumia vielezi kutunga sentensi daftarini au kwenye kifaa cha kidijitali akizingatia suala lengwa na masuala mtambuko mbalimbali.
- Kuwasomea au kuwasambazia wenzake na mwalimu sentensi zake ili kuzitolea maoni.
Vielezi vina umuhimu gani katika mawasiliano?
-Kitabu cha Kiswahili cha Gredi 4
- Vifaa vya kidijitali
- Chati
- Kapu maneno
- Kuigiza vielezi mbalimbali - Kujaza nafasi kwa vielezi - Kutunga sentensi zenye vielezi - Kuwasomea wenzake sentensi alizozitunga
6 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Matamshi Bora
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua vitendawili kwenye matini mbalimbali.
- Kutega na kutegua vitendawili ili kujenga matamshi bora.
- Kuchangamkia matumizi ya vitendawili katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutafiti maana ya kitendawili kwenye kamusi, vitabuni au mtandaoni akiwa na wenzake.
- Kutambua vitendawili katika chati, ubao au katika vifaa vya kidijitali (k.m. Nifungue nikufunike (Mwavuli); Pitia huku nami nipitie kule, tupatane pale (mshipi); Ukinitembelea nyayo zi salama (viatu).
- Kusikiliza vitendawili vikitegwa na kuteguliwa kupitia vyombo vya kidijitali.
Je, unazingatia nini unapotega na kutegua vitendawili?
-Kitabu cha Kiswahili cha Gredi 4
- Kamusi
- Chati
- Vifaa vya kidijitali
- Mti maneno
- Picha
- Vifaa vya kidijitali
- Matini za kusoma
- Kueleza maana ya kitendawili - Kutambua vitendawili katika matini - Kusikiliza vitendawili vikitegwa
6 2
Kusoma
Kuandika
Kuandika
Kusoma kwa Ufasaha
Kuandika kwa kutumia tarakilishi
Kuandika kwa kutumia tarakilishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kusoma kifungu cha hadithi kwa kuzingatia matamshi bora.
- Kusoma kifungu cha hadithi kwa kuzingatia kiwango kifaacho cha sauti.
- Kusoma kifungu cha hadithi kwa kuzingatia kasi ifaayo.
- Kusoma kifungu cha hadithi kwa kuambatanisha ishara zifaazo.
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu cha hadithi kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia matamshi bora akiwa na wenzake.
- Kusoma kifungu cha hadithi kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia kiwango kifaacho cha sauti (k.v. kiwango cha sauti na kiimbo).
- Kusoma kifungu cha hadithi kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno yasiyopungua 70 kwa dakika na kwa kuzingatia viakifishi) ili wenzake wamtolee maoni.
- Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo panapofaa anaposoma (k.v. ishara za uso na mikono).
Kusoma kwa ufasaha kuna umuhimu gani?
-Kitabu cha Kiswahili cha Gredi 4
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya kusoma
- Saa ya kupimia wakati
- Tarakilishi
- Chati za sehemu za tarakilishi
- Mifano ya mada zinazoweza kuandikwa
- Mtandao
- Chati ya hatua za kuhifadhi kazi
- Kusoma kwa matamshi bora - Kusoma kwa kiwango kifaacho cha sauti - Kusoma kwa kasi ifaayo - Kusoma kwa kutumia ishara zifaazo
6 3
Sarufi
Viunganishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kueleza maana ya kiunganishi ili kukibainisha.
- Kutambua viunganishi katika kundi la maneno na sentensi.
- Kutumia viunganishi kwa njia sahihi katika mawasiliano.
- Kuonea fahari matumizi ya viunganishi katika sentensi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kueleza maana ya viunganishi.
- Kutambua viunganishi katika kundi la maneno aliyopewa (k.v. na, pia, kwa sababu, lakini).
- Kutafiti vitabuni au mtandaoni ili kutoa mifano mbalimbali ya viunganishi.
- Kutumia viunganishi kujaza nafasi katika sentensi.
Je, kwa nini ni muhimu kutumia viunganishi katika mawasiliano?
-Kitabu cha Kiswahili cha Gredi 4
- Kapu maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Kadi za maneno
- Chati
- Chati
- Kapu maneno
- Kueleza maana ya kiunganishi - Kutambua viunganishi katika maneno - Kutoa mifano ya viunganishi - Kujaza nafasi kwa viunganishi
6 4
Sarufi
Vihusishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kueleza maana ya kihusishi ili kukibainisha.
- Kutambua vihusishi katika kundi la maneno na sentensi.
- Kutumia vihusishi ipasavyo katika sentensi.
- Kuonea fahari matumizi ya vihusishi katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kueleza maana ya vihusishi na kuvitolea mifano (k.m. karibu na, mbali na, juu ya, chini ya, nje ya na ndani ya).
- Kutambua vihusishi katika kundi la maneno aliyopewa.
- Kuchagua vihusishi kwenye kundi la maneno katika tarakilishi, kuviburura na kuvitia kapuni akiwa peke yake au kwenye vikundi.
Vihusishi vina umuhimu gani katika mawasiliano?
-Kitabu cha Kiswahili cha Gredi 4
- Kadi maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Picha zinazoonyesha mahali
- Picha zinazoonyesha mahali
- Chati
- Kueleza maana ya kihusishi - Kutambua vihusishi katika maneno - Kuchagua vihusishi kwenye tarakilishi
7 1
Sarufi
Vihisishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kueleza maana ya kihisishi ili kukibainisha.
- Kutambua vihisishi katika kundi la maneno na sentensi.
- Kutumia vihisishi ipasavyo katika sentensi.
- Kuonea fahari matumizi ya vihisishi katika miktadha mbalimbali.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya vihisishi na kuvitolea mifano (k.m. Lo!, Ala!, Salalee!, Mama ee!, Oyee! na Aha!) akishirikiana na wenzake.
- Kutambua vihisishi katika kundi la maneno.
- Kutambua alama ya hisi (!) inayoambatanishwa na vihisishi.
- Kutumia vihisishi kujaza nafasi katika sentensi.
Kutumia vihisishi katika mawasiliano kuna umuhimu gani?
-Kitabu cha Kiswahili cha Gredi 4
- Chati mabango
- Vifaa vya kidijitali
- Kamusi
- Kueleza maana ya kihisishi - Kutambua vihisishi katika maneno - Kutambua alama ya hisi - Kujaza nafasi kwa vihisishi
7 2
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Vihisishi
Maneno ya Upole
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua vihisishi katika kundi la maneno na sentensi.
- Kutumia vihisishi ipasavyo katika sentensi.
- Kuonea fahari matumizi ya vihisishi katika miktadha mbalimbali.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia vihisishi kutunga sentensi kwenye daftari akizingatia suala lengwa na masuala mtambuko mbalimbali.
- Kutumia vihisishi kutunga kifungu kifupi daftarini au mtandaoni ili wenzake wakisome na kukitathmini.
Ni wakati gani tunatumia vihisishi katika mawasiliano?
-Kitabu cha Kiswahili cha Gredi 4
- Vifaa vya kidijitali
- Kadi za maneno
- Chati
- Chati
- Mti maneno
- Kapu maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Kutunga sentensi zenye vihisishi - Kutunga kifungu kifupi - Kutumia vihisishi ipasavyo - Kuwasomea wenzake kifungu alichokitunga
7 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Kusoma
Maneno ya Upole
Kusoma kwa Mapana
Kusoma kwa Mapana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua maneno ya upole yanayotumiwa katika mawasiliano.
- Kutumia maneno ya upole katika mawasiliano.
- Kuthamini matumizi ya maneno ya upole katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushiriki katika maigizo yanayohusu matumizi ya maneno ya upole.
- Kutumia maneno ya upole katika sentensi.
Ni maneno gani ya upole unayoweza kutumia badala ya maneno ya kawaida?
-Kitabu cha Kiswahili cha Gredi 4
- Vifaa vya kidijitali
- Chati
- Kapu maneno
- Tarakilishi
- Mtandao
- Mtandao
- Kamusi
- Vifaa vya kidijitali
- Kuigiza matumizi ya maneno ya upole - Kutumia maneno ya upole katika sentensi - Kueleza umuhimu wa maneno ya upole
7 4
Kuandika
Sarufi
Kuandika Barua ya Kirafiki
Ngeli ya A-WA
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua barua ya kirafiki kwa kuzingatia muundo wake.
- Kujadili umuhimu wa barua ya kirafiki katika mawasiliano.
- Kuandika barua ya kirafiki inayozingatia mada kwa kufuata kanuni zifaazo.
- Kuchangamkia utunzi wa barua ya kirafiki katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua barua ya kirafiki kwa kurejelea vielelezo vya barua za kirafiki zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi.
- Kujadiliana na wenzake kuhusu umuhimu wa barua za kirafiki katika mawasiliano.
- Kujadili na wenzake mada ya barua ya kirafiki na vipengele vyake/ yale yanayofaa kujumuishwa.
- Kuandaa vidokezo vitakavyomwongoza kuandika insha yake.
Je, unazingatia nini ili kuandika barua nzuri ya kirafiki?
-Kitabu cha Kiswahili cha Gredi 4
- Mifano ya barua za kirafiki
- Vifaa vya kidijitali
- Chati
- Mifano ya barua za kirafiki
- Kadi za sentensi
- Kikapu/boksi
- Chati
- Vifaa vya kidijitali
- Kutambua barua ya kirafiki - Kujadili umuhimu wa barua ya kirafiki - Kuandaa vidokezo vya kutunga barua
8-9

MID TERM ASSESSMENT AND RECESS

10 1
Sarufi
Ngeli ya A-WA
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua nomino katika ngeli ya A-WA ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine.
- Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi.
- Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya A-WA katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino katika ngeli ya A-WA kwenye kadi, mti maneno, tarakilishi au kapu maneno.
- Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia viambishi vya umoja na wingi wa nomino katika ngeli ya A-WA.
Ni nomino zipi zinaweza kuorodheshwa katika ngeli ya A-WA?
-Kitabu cha Kiswahili cha Gredi 4
- Kadi za maneno
- Mti maneno
- Kapu maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Vifaa vya kidijitali
- Chati
- Kadi za maneno
- Kutambua nomino za ngeli ya A-WA - Kujaza nafasi kwa viambishi vya ngeli ya A-WA - Kuzingatia upatanisho wa kisarufi
10 2
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Ngeli ya A-WA
Methali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi.
- Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya A-WA katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujibu maswali kwa kutumia nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi.
- Kuandika sentensi akitumia nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi kwenye daftari.
- Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi na kutoka wingi hadi umoja.
Ni kwa nini ni muhimu kuzingatia upatanisho wa kisarufi katika sentensi?
-Kitabu cha Kiswahili cha Gredi 4
- Chati
- Kadi za maneno
- Vifaa vya kidijitali
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi 4
- Chati ya methali
- Kapu la methali
- Kadi zenye methali
- Kujibu maswali - Kuandika sentensi - Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi na kinyume chake - Kuzingatia upatanisho wa kisarufi
10 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Kusoma
Methali
Kusoma kwa Ufahamu
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua methali zinazohusu malezi katika matini tofautitofauti.
- Kueleza maana za methali kuhusu malezi.
- Kutumia methali zinazohusu malezi katika mawasiliano.
- Kuchangamkia matumizi ya methali katika miktadha mbalimbali.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Msomee mwenzako kifungu kifupi chenye methali za malezi.
- Mtajie mwenzako methali mbili zilizotumiwa katika kifungu.
- Tumia maneno yanayofaa kukamilisha methali zilizokatizwa.
- Tumia methali zinazofaa kutoka kwenye kadi kuelezea hali mbalimbali.
- Msimulie mwenzako kisa kifupi ukitumia methali ya malezi.
Kwa nini methali hutumiwa katika mawasiliano?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi 4
- Vitabu vya hadithi
- Kadi za methali
- Chati zenye methali
- Vifaa vya kidijitali
- Nakala ya shairi
- Chati zenye mashairi
- Vifaa vya kidijitali
- Rekodi za mashairi
- Diwani ya mashairi
- Vitabu vya mashairi
Kutoa maana za methali - Kujaza pengo kwa methali zinazofaa - Kuambatanisha methali na maana zake - Kutumia methali katika masimulizi
10 4
Kuandika
Insha ya Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua vifungu vya maelezo katika matini.
- Kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo.
- Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya maelezo ili kujenga ubunifu wake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vifungu vya maelezo vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi.
- Kushiriki na wenzake kujadili mada na muundo wa insha ya maelezo.
- Kuandaa vidokezo vitakavyomwongoza kuandika insha yake.
- Kuandika insha ya maelezo akitumia lugha ifaayo kutoa picha dhahiri kuhusu anachokieleza.
- Kuandika insha ya maelezo akizingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi na uakifishaji mwafaka.
Insha ya maelezo inahusu nini?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi 4
- Mifano ya insha za maelezo
- Vifaa vya kidijitali
- Chati ya muundo wa insha
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi 4
- Vidokezo vya insha
- Karatasi za kuandikia
Kutambua sifa za insha ya maelezo - Kuandika insha ya maelezo - Kujadili insha iliyoandikwa - Kutoa maoni kuhusu insha
11 1
Sarufi
Ngeli ya U-I
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-I.
- Kutambua nomino katika ngeli ya U-I ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine.
- Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi.
- Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-I katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi zilizoundwa kutokana na nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi.
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-I kwenye sentensi alizosoma.
- Kushiriki katika mchezo wa kuchopoa kadi za sentensi zenye nomino za ngeli ya U-I kutoka kwenye kikapu au boksi na kisha kuzisoma.
- Kutambua nomino katika ngeli ya U-I kwenye kadi, mti maneno, tarakilishi au kapu maneno.
- Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia viambishi vya umoja na wingi wa nomino katika ngeli ya U-I.
Ni nini kinakuwezesha kutambua nomino za ngeli ya U-I?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi 4
- Chati ya ngeli
- Sentensi kwenye ubao
- Kadi za nomino
- Vifaa vya kidijitali
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi 4
- Chati ya sentensi
- Boksi lenye kadi za nomino
- Vifaa vya kidijitali
- Michoro ya vitu mbalimbali
Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi - Kujaza pengo kwa viambishi sahihi - Kupiga mstari nomino za ngeli ya U-I - Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi
11 2
Sarufi
Ngeli ya U-I
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-I.
- Kutambua nomino katika ngeli ya U-I ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine.
- Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi.
- Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-I katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Nakili sentensi zenye nomino za ngeli ya U-I.
- Badilisha sentensi zilizo katika umoja ziwe katika wingi.
- Andika kwa wingi sentensi zilizo katika umoja.
- Tunga sentensi zako mwenyewe ukitumia nomino za ngeli ya U-I.
- Jadili na wenzako jinsi ya kutambua nomino za ngeli ya U-I.
Nomino zinazorejelea mimea na vitu vya kimaumbile ni zipi?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi 4
- Orodha ya sentensi
- Vifaa vya kidijitali
- Kapu maneno
Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi - Kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya U-I - Kutambua nomino za ngeli ya U-I katika sentensi - Kujaza pengo kwa kiambishi sahihi
11 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Kujieleza kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kukariri au kuimba shairi kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali.
- Kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika shairi.
- Kutumia msamiati uliotumiwa katika shairi ili kuboresha mawasiliano.
- Kueleza ujumbe wa shairi ili kudhihirisha ufahamu wake.
- Kuchangamkia ushairi kama njia ya kujieleza kwa ufasaha.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Tazama video ya bendera na usikilize shairi likikaririwa na mwalimu au kupitia kifaa cha kidijitali.
- Mkaririe mwenzako shairi lifuatalo kisha usikilize naye akikukariria.
- Eleza maana ya maneno yafuatayo yaliyotumiwa katika shairi ulilosoma: bendera, amani, uhuru, kuipandisha, kuishukisha.
- Tumia maneno uliyoeleza kutunga sentensi sahihi.
Ushairi unaweza kuboresha vipi mazungumzo yako?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi 4
- Video ya bendera
- Nakala ya shairi
- Vifaa vya kidijitali
Kukariri shairi kwa kuzingatia matamshi bora - Kueleza maana ya msamiati katika shairi - Kutumia msamiati katika sentensi - Kueleza ujumbe wa shairi
11 4
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Kusoma
Kujieleza kwa Ufasaha
Kusoma kwa Kina
Kusoma kwa Kina
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kukariri au kuimba shairi kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali.
- Kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika shairi.
- Kutumia msamiati uliotumiwa katika shairi ili kuboresha mawasiliano.
- Kueleza ujumbe wa shairi ili kudhihirisha ufahamu wake.
- Kuchangamkia ushairi kama njia ya kujieleza kwa ufasaha.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Shirikiana na mwenzako kueleza ujumbe wa shairi ulilolisoma kwa kujibu maswali yafuatayo: Bendera ya taifa ina rangi ngapi? Rangi nyeupe inamaanisha nini? Rangi inayowakilisha ukulima ni gani? Rangi nyeusi inasimamia nini?
- Chora daftarini jedwali kisha likamilishe kwa uaminifu kuonyesha mambo unayoweza kufanya.
- Imbeni wimbo wa Taifa la Kenya.
Kutumia ushairi kujieleza kuna umuhimu gani?
Kitabu cha Kiswahili cha Gredi 4
- Nakala ya shairi
- Jedwali la tathmini
- Vifaa vya kidijitali
- Rekodi ya wimbo wa taifa
- Vitabu vya hadithi
- Magazeti
- Shajara
- Shajara
- Kamusi
- Vifaa vya kidijitali
Kutambua ujumbe wa shairi - Kueleza maana za rangi za bendera - Kutaja sifa za bendera ya taifa - Kuimba wimbo wa taifa
12-13

END TERM ASSESSMENT AND RECESS


Your Name Comes Here


Download

Feedback