If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 2 | 1 |
NYUMBANI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Matamshi Bora: Sauti p/b
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua silabi zinazotokana na sauti p/b katika maneno. - Kutamka silabi zinazotokana na sauti p/b kwa usahihi. - Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti p/b. - Kuunda vitanzandimi kutokana na sauti p/b. - Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti p/b katika kuboresha matamshi yake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua silabi za sauti p/b kutokana na maneno kwenye vitabu, ubaoni au kwa kutumia vifaa vya kidijitali. - Kusikiliza silabi za sauti p/b zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kutoka kwa vifaa vya kidijitali. - Kutamka silabi za sauti p/b na vitanzandimi akiwa na wenzake. - Kusikiliza vitanzandimi vilivyoundwa kutokana na maneno yenye sauti p/b vikikaririwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au katika vifaa vya kidijitali. - Kuunda vitanzandimi vyepesi vinavyotokana na sauti p/b akiwa na wenzake. - Kuunda vitanzandimi kwenye vifaa vya kidijitali na kushirikiana na wenzake mitamboni kuvirekebisha. |
Matamshi bora yana umuhimu gani katika mawasiliano?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 2
Michoro Picha Kadi za maneno Kapu maneno Chati Vifaa vya kidijitali |
Kutambua silabi za sauti p/b katika maneno
Kutamka silabi kwa usahihi
Kutamka vitanzandimi kwa ufasaha
Kuunda vitanzandimi vyepesi
Tathmini ya wanafunzi wenyewe
|
|
| 2 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Matamshi Bora: Sauti t/d
Kusoma kwa Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua silabi zinazotokana na sauti t/d katika maneno. - Kutamka silabi zinazotokana na sauti t/d kwa usahihi. - Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti t/d. - Kuunda vitanzandimi kutokana na sauti t/d. - Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti t/d katika kuboresha matamshi yake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua silabi za sauti t/d kutokana na maneno kwenye vitabu, ubaoni au kwa kutumia vifaa vya kidijitali. - Kusikiliza silabi za sauti t/d zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kutoka kwa vifaa vya kidijitali. - Kutamka silabi za sauti t/d na vitanzandimi akiwa na wenzake. - Kusikiliza vitanzandimi vilivyoundwa kutokana na maneno yenye sauti t/d vikikaririwa na mwalimu. - Kuunda vitanzandimi vyepesi vinavyotokana na sauti t/d akiwa na wenzake. - Kukaririana vitanzandimi walivyounda katika vikundi. |
Je, unawezaje kutofautisha sauti t na d katika matamshi?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 3
Picha Kadi za maneno Chati Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 10 Kadi za msamiati Michoro |
Kutambua silabi za sauti t/d katika maneno
Kutamka silabi kwa usahihi
Kutamka vitanzandimi kwa ufasaha
Kuunda vitanzandimi vyepesi
Tathmini ya mwalimu
|
|
| 2 | 3 |
Sarufi
|
Nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya nomino ili kuitofautisha na aina nyingine za maneno. - Kutambua nomino katika kundi la maneno na sentensi. - Kutumia nomino kwa njia sahihi katika sentensi. - Kuonea fahari matumizi ya nomino katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kueleza maana ya nomino. - Kutambua nomino katika matini mbalimbali. - Kushirikiana na wenzake kutoa mifano ya nomino. - Kuchagua nomino kwenye tarakilishi, kuziburura na kuzitia kapuni akiwa na wenzake. - Kutumia nomino kujaza nafasi katika sentensi. - Kutumia nomino kutunga sentensi kwenye daftari na mtandaoni ili wenzake wazisome na kuzisahihisha. |
Je, ni vitu gani unavyoweza kupata katika mazingira yako?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 15
Kadi za nomino Mti maneno Vifaa vya kidijitali Chati |
Kueleza maana ya nomino
Kutambua nomino katika matini
Kutumia nomino kujaza nafasi katika sentensi
Kutunga sentensi sahihi kwa kutumia nomino
Kufanya tathmini ya wanafunzi wenyewe
|
|
| 2 | 4 |
Sarufi
|
Nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya nomino ili kuitofautisha na aina nyingine za maneno. - Kutambua nomino katika kundi la maneno na sentensi. - Kutumia nomino kwa njia sahihi katika sentensi. - Kuonea fahari matumizi ya nomino katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino katika kundi la maneno alilopewa. - Kupigia mstari nomino katika sentensi mbalimbali. - Kufanya zoezi la kutambua nomino katika kifungu. - Kutumia nomino kutunga sentensi kuhusu nyumbani. - Kutumia kifaa cha kidijitali kupiga chapa sentensi alizotunga. - Wanafunzi kutathimiana kazi zao kuhusu matumizi ya nomino. |
Ni nomino zipi zinazopatikana katika mazingira ya nyumbani?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 16
Vifaa vya kidijitali Kadi za nomino |
Kupigia mstari nomino katika sentensi
Kutunga sentensi kwa kutumia nomino
Kutumia nomino kwenye maandishi
Kupiga chapa sentensi kwa kutumia kidijitali
Kufanya tathmini ya kazi za wenzao
|
|
| 3 | 1 |
Sarufi
|
Vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya vitenzi ili kuvitofautisha na aina nyingine za maneno. - Kutambua vitenzi katika kundi la maneno na sentensi. - Kutumia vitenzi ipasavyo katika mawasiliano. - Kuonea fahari matumizi ya vitenzi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kwa amani kueleza maana ya vitenzi. - Kushirikiana na wenzake kutoa mifano ya vitenzi (k.v. soma, andika, keti, simama, cheka). - Kutambua vitendo vinavyofanyika katika picha au michoro. - Kuigiza vitenzi mbalimbali akishirikiana na wenzake. - Kutumia vitenzi kujaza nafasi kwenye sentensi na kifungu kifupi. - Kutumia vitenzi mbalimbali kutunga sentensi daftarini au mtandaoni. |
Ni shughuli gani unazofanya kila siku?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 17
Picha Michoro Kadi za vitenzi Vifaa vya kidijitali |
Kueleza maana ya vitenzi
Kutambua vitenzi katika kundi la maneno
Kutumia vitenzi kujaza nafasi katika sentensi
Kutunga sentensi kwa kutumia vitenzi
Kuigiza vitenzi
|
|
| 3 | 2 |

| 3 | 3 |
Kuandika
|
Kuandika Insha ya Wasifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua insha ya wasifu kwa kuzingatia muundo. - Kuandika insha ya wasifu kwa kuzingatia ujumbe, mtindo na muundo ufaao. - Kutumia msamiati wa nyumbani katika insha yake. - Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya wasifu ili kujenga ubunifu wake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili na wenzake maana ya insha ya wasifu. - Kutambua insha ya wasifu kwa kurejelea vielelezo vya insha vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi. - Kujadili na wenzake mada ya insha na muundo wa insha ya wasifu. - Kuandaa vidokezo vitakavyomwongoza kuandika insha yake. - Kuandika insha inayoeleza sifa za mtu kama vile mzazi, mlezi, rafiki, mwalimu au kiongozi. - Kuzingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati nadhifu, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa ubunifu. |
Je, unazingatia mambo gani unapoandika insha nzuri ya wasifu?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 12
Vielelezo vya insha ya wasifu Vifaa vya kidijitali Chati |
Kutambua sifa za insha ya wasifu
Kuandaa vidokezo vya insha ya wasifu
Kuandika insha ya wasifu
Kutathmini insha zilizoundwa
Kutumia msamiati wa nyumbani ipasavyo
|
|
| 3 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora: Sauti k/g
Matamshi Bora: Sauti ch/j |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua silabi zinazotokana na sauti k/g katika maneno. - Kutamka silabi zinazotokana na sauti k/g kwa usahihi. - Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti k/g. - Kuunda vitanzandimi kutokana na sauti k/g. - Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti k/g katika kuboresha matamshi yake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua silabi za sauti k/g kutokana na maneno kwenye vitabu, ubaoni au kwa kutumia vifaa vya kidijitali. - Kusikiliza silabi za sauti k/g zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kutoka kwa vifaa vya kidijitali. - Kutamka silabi za sauti k/g na vitanzandimi akiwa na wenzake. - Kusikiliza vitanzandimi vilivyoundwa kutokana na maneno yenye sauti k/g vikikaririwa na mwalimu. - Kuunda vitanzandimi vyepesi vinavyotokana na sauti k/g akiwa na wenzake. - Kuwasomea wenzake vitanzandimi walivyounda katika vikundi. |
Kwa nini ni muhimu kukariri vitanzandimi vyenye sauti k na g?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 5
Picha Chati Vifaa vya kidijitali Kadi za maneno Kapu maneno Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 7 Michoro Mti maneno |
Kutambua silabi za sauti k/g katika maneno
Kutamka silabi kwa usahihi
Kutamka vitanzandimi kwa ufasaha
Kuunda vitanzandimi vyepesi
Kutathmini matamshi ya wanafunzi wengine
|
|
| 4 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua msamiati wa mada lengwa uliotumika katika kifungu cha hadithi. - Kutumia msamiati lengwa kwa usahihi katika sentensi. - Kutoa muhtasari wa ujumbe wa kifungu cha hadithi. - Kujibu maswali ya ufahamu kutokana na kifungu alichosoma. - Kujenga mazoea ya usomaji bora katika maisha ya kila siku. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kujadili maana na matumizi ya msamiati lengwa katika sentensi. - Kutumia kamusi kutafuta maana ya maneno mapya katika kifungu. - Kusoma kifungu tena na kujibu maswali yote ya ufahamu. - Kutoa muhtasari wa ujumbe wa kifungu alichokisoma. - Kumweleza mzazi au mlezi wake ujumbe wa kifungu alichokisoma. - Kujadiliana na wenzake kuhusu matumizi ya vitu vinavyopatikana nyumbani. |
Je, utatumiaje msamiati mpya wa nyumbani katika mawasiliano ya kila siku?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 11
Kamusi Vifaa vya kidijitali Michoro ya vitu vya nyumbani |
Kutumia msamiati lengwa katika sentensi
Kujibu maswali kutokana na kifungu alichosoma
Kutoa muhtasari wa ujumbe wa kifungu
Kueleza msamiati wa nyumbani kwa kutumia mifano halisi
|
|
| 4 | 2 |
Sarufi
|
Vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya vitenzi ili kuvitofautisha na aina nyingine za maneno. - Kutambua vitenzi katika kundi la maneno na sentensi. - Kutumia vitenzi ipasavyo katika mawasiliano. - Kuonea fahari matumizi ya vitenzi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vitenzi kwenye mraba wa maneno. - Kutoa vitenzi badala ya maelezo. - Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia vitenzi. - Kukamilisha kifungu kwa kutumia vitenzi vifaavyo. - Kutunga sentensi akitumia vitenzi aliyojifunza. - Kuwasomea wenzake sentensi alizozitunga ili wazitathmini. |
Kwa nini vitenzi ni muhimu katika mawasiliano?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 19
Mraba wa maneno Vifaa vya kidijitali Kapu maneno |
Kutambua vitenzi kwenye mraba wa maneno
Kutumia vitenzi kujaza nafasi katika sentensi
Kukamilisha kifungu kwa kutumia vitenzi
Kutunga sentensi kwa kutumia vitenzi
Kufanya tathmini ya kazi za wanafunzi wengine
|
|
| 4 | 3 |

| 4 | 4 |
Sarufi
|
Vivumishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya kivumishi ili kukitofautisha na aina nyingine za maneno. - Kutambua vivumishi katika kundi la maneno na sentensi. - Kutumia vivumishi ipasavyo katika sentensi. - Kuonea fahari matumizi ya vivumishi katika sentensi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kueleza maana ya kivumishi. - Kutambua vivumishi katika kundi la maneno aliyopewa (k.m. -zuri, -baya, -refu, -fupi, -eusi, -eupe). - Kuchagua vivumishi kwenye tarakilishi, kuviburura na kuvitia kapuni akiwa na wenzake. - Kutumia vivumishi kujaza nafasi katika sentensi. - Kutumia vivumishi kutunga sentensi daftarini na mtandaoni. - Kuandika aya fupi akitumia vivumishi mbalimbali. |
Ni sifa zipi unazoweza kutambua katika nomino mbalimbali?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 20
Kadi za vivumishi Vifaa vya kidijitali Kapu maneno |
Kueleza maana ya kivumishi
Kutambua vivumishi katika kundi la maneno
Kutumia vivumishi kujaza nafasi katika sentensi
Kutunga sentensi kwa kutumia vivumishi
Kuandika aya fupi akitumia vivumishi
|
|
| 5 | 1 |
Sarufi
|
Vivumishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya kivumishi ili kukitofautisha na aina nyingine za maneno. - Kutambua vivumishi katika kundi la maneno na sentensi. - Kutumia vivumishi ipasavyo katika sentensi. - Kuonea fahari matumizi ya vivumishi katika sentensi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kupigia mstari vivumishi katika sentensi alizonakili. - Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia vivumishi vifaavyo. - Kujaza nafasi katika kifungu kwa kutumia vivumishi alivyopewa. - Kupanga maneno kwenye jedwali: Nomino, Vivumishi na Vitenzi. - Kuwasomea au kuwasambazia wenzake kazi yake ili kuitolea maoni kwa heshima na upendo. - Kutumia kifaa cha kidijitali kuandika aya fupi akitumia vivumishi mbalimbali. |
Je, vivumishi husaidia vipi katika kuwasilisha mawazo kwa ufasaha?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 21
Vifaa vya kidijitali Jedwali la kupanga maneno |
Kupigia mstari vivumishi katika sentensi
Kujaza nafasi kwa kutumia vivumishi
Kupanga maneno katika jedwali: Nomino, Vivumishi na Vitenzi
Kuandika aya fupi akitumia vivumishi
Kuwasilisha na kutathmini kazi
|
|
| 5 | 2 |

| 5 | 3 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Kuandika Insha ya Wasifu
Maamkuzi na Maagano |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua insha ya wasifu kwa kuzingatia muundo. - Kuandika insha ya wasifu kwa kuzingatia ujumbe, mtindo na muundo ufaao. - Kutumia msamiati wa nyumbani katika insha yake. - Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya wasifu ili kujenga ubunifu wake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kukamilisha kuandika insha ya wasifu aliyoanza kuandika. - Kuwasomea wenzake insha yake ili waitathmini. - Kufanya marekebisho ya insha yake kulingana na maoni ya wenzake. - Kuandika insha ya wasifu mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili waisome na kuitathmini. - Kujadiliana na wenzake kuhusu namna ya kuboresha insha yake zaidi. |
Ni kwa vipi unaweza kuboresha insha yako ya wasifu?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 12
Vifaa vya kidijitali Orodha hakiki ya vigezo vya insha nzuri Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 24 Chati ya maamkuzi Kapu maneno Kadi za maamkuzi |
Kuandika insha ya wasifu iliyokamilika
Kusoma insha ya wasifu kwa ufasaha
Kutathmini insha ya wasifu
Kurekebisha insha ya wasifu kulingana na maoni
|
|
| 5 | 4 |
NIDHAMU MEZANI
Kusoma |
Matumizi ya Kamusi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya kamusi ili kuitofautisha na vitabu vingine. - Kutumia kamusi ipasavyo kutafuta maana za maneno asiyoyajua ili kukuza msamiati wake. - Kuchangamkia umuhimu wa kamusi katika kukuza msamiati wake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadiliana na wenzake kuhusu maana na matumizi ya kamusi. - Kujadiliana na wenzake kuhusu mpangilio wa maneno katika kamusi. - Kutumia kamusi kutafuta maana za maneno mbalimbali akiwa na wenzake. - Kutumia mtandao kusikiliza na kusoma maelezo kuhusu msamiati anaotafutia maana. - Kutambua tofauti kati ya matini ya kawaida na matini ya kamusi. |
Unazingatia nini unapotafuta maneno katika kamusi?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 29
Kamusi Vifaa vya kidijitali Matini tofauti |
Kueleza maana ya kamusi
Kutumia kamusi kutafuta maana za maneno mbalimbali
Kupanga maneno kufuata mpangilio wa kamusi
Kufanya tathmini ya kutumia kamusi
|
|
| 6 |
Mid term |
||||||||
| 7 | 1 |
Sarufi
|
Viwakilishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya kiwakilishi ili kukibainisha. - Kutambua viwakilishi katika kundi la maneno na sentensi. - Kutumia viwakilishi ipasavyo katika sentensi. - Kuonea fahari matumizi ya viwakilishi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kueleza maana ya viwakilishi. - Kutambua viwakilishi katika kundi la maneno aliyopewa. - Kuchagua viwakilishi kwenye tarakilishi, kuviburura na kuvitia kapuni akiwa na wenzake. - Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia viwakilishi mwafaka. - Kutumia viwakilishi kutunga sentensi daftarini au mtandaoni kwa kuzingatia suala lengwa. |
Ni maneno gani yanayoweza kutumika badala ya nomino?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 35
Kapu maneno Vifaa vya kidijitali Kadi za viwakilishi |
Kueleza maana ya kiwakilishi
Kutambua viwakilishi katika maneno
Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia viwakilishi
Kutunga sentensi kwa kutumia viwakilishi
Kufanya tathmini ya wanafunzi wenyewe
|
|
| 7 | 2 |
Sarufi
Kuandika |
Viwakilishi
Insha ya Masimulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya kiwakilishi ili kukibainisha. - Kutambua viwakilishi katika kundi la maneno na sentensi. - Kutumia viwakilishi ipasavyo katika sentensi. - Kuonea fahari matumizi ya viwakilishi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua viwakilishi katika kifungu kifupi. - Kutumia viwakilishi badala ya nomino zilizotumika mara kwa mara. - Kutumia viwakilishi mwafaka kujaza nafasi katika sentensi. - Kutumia viwakilishi kutunga sentensi zinazohusiana na nidhamu mezani. - Kuwasomea au kuwasambazia wenzake sentensi zake ili kuzitathmini. |
Ni viwakilishi vipi hutumiwa mara kwa mara katika mawasiliano?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 36
Mifano ya sentensi zenye viwakilishi Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 32 Vielelezo vya insha Chati |
Kutambua viwakilishi katika kifungu
Kutumia viwakilishi kujaza nafasi katika sentensi
Kutunga sentensi kwa kutumia viwakilishi
Kusahihisha makosa ya matumizi ya viwakilishi
Kutoa maoni kuhusu kazi za wenzao
|
|
| 7 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Maamkuzi na Maagano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua aina mbalimbali za maamkuzi na maagano katika mawasiliano. - Kueleza maamkuzi na maagano yanayotumika katika miktadha mbalimbali. - Kutumia aina mbalimbali za maamkuzi na maagano katika mawasiliano. - Kuchangamkia maamkuzi na maagano katika mahusiano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua maagano (k.v. Kwaheri, Usiku mwema, Safari njema) kutoka kwenye chati au vifaa vya kidijitali. - Kujaza jedwali la maamkuzi, majibu yake na wakati zitumiwapo. - Kujadiliana na wenzake kuhusu maagano yanayotumiwa katika jamii yao. - Kushiriki katika mchezo wa kuambatanisha maamkuzi na maagano na majibu yake. - Kushiriki katika kuigiza mazungumzo yanayojumuisha maamkuzi na maagano. - Kujadiliana na mzazi au mlezi kuhusu maamkuzi na maagano yanayotumiwa katika jamii yao. |
Kuamkua na kuaga watu kuna umuhimu gani?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 26
Chati za maagano Jedwali la maamkuzi na maagano Vifaa vya kidijitali Picha |
Kutaja maamkuzi na maagano yanayofaa katika miktadha mbalimbali
Kuambatanisha maamkuzi na maagano na majibu yake
Kuigiza mazungumzo yanayojumuisha maamkuzi na maagano
Kujaza jedwali la maamkuzi na maagano
|
|
| 7 | 4 |
Kusoma
|
Matumizi ya Kamusi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya kamusi ili kuitofautisha na vitabu vingine. - Kutumia kamusi ipasavyo kutafuta maana za maneno asiyoyajua ili kukuza msamiati wake. - Kuchangamkia umuhimu wa kamusi katika kukuza msamiati wake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu cha hadithi kinachohusiana na matumizi ya kamusi. - Kutambua msamiati mpya kutoka kwenye kifungu. - Kutumia kamusi kutafuta maana za maneno asiyoyaelewa katika kifungu. - Kupanga maneno alivyoyatambua katika mpangilio wa kamusi. - Kujibu maswali yanayohusiana na kifungu alichokisoma. - Kutoa mifano ya matumizi ya maneno aliyotafutia maana katika kamusi. |
Kamusi ina umuhimu gani katika kupanua msamiati wako?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 31
Kamusi Vifaa vya kidijitali Kifungu cha hadithi |
Kutumia kamusi kutafuta maana za maneno
Kupanga maneno kufuata mpangilio wa kamusi
Kutoa mifano ya matumizi ya maneno
Kujibu maswali ya uelewa
Kufanya tathmini ya ufahamu wa wanafunzi
|
|
| 8 | 1 |
Sarufi
|
Vielezi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya kielezi ili kukibainisha. - Kutambua vielezi katika kundi la maneno na sentensi. - Kutumia vielezi ipasavyo katika mawasiliano. - Kuonea fahari matumizi ya vielezi katika sentensi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kueleza maana ya vielezi (k.v. polepole, haraka, sana, vizuri, kisheria, jana, shuleni, uwanjani). - Kutambua vielezi katika kundi la maneno aliyopewa katika kadi za maneno, chati, mti maneno, ubao, vifaa vya kidijitali n.k. - Kuchagua vielezi kutoka kwenye kundi la maneno kwa kutumia tarakilishi kwa kuviburura na kuvitia kapuni akiwa na wenzake. - Kuigiza vielezi mbalimbali panapofaa akishirikiana na wenzake. |
Unafanyaje shughuli zako za kila siku?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 37
Kadi za maneno Mti maneno Vifaa vya kidijitali Kapu maneno |
Kueleza maana ya kielezi
Kutambua vielezi katika kundi la maneno
Kuchagua vielezi kutoka kwenye kundi la maneno
Kuigiza vielezi mbalimbali
|
|
| 8 | 2 |
Sarufi
|
Vielezi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya kielezi ili kukibainisha. - Kutambua vielezi katika kundi la maneno na sentensi. - Kutumia vielezi ipasavyo katika mawasiliano. - Kuonea fahari matumizi ya vielezi katika sentensi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia vielezi mwafaka kujaza nafasi katika sentensi. - Kutumia vielezi kutunga sentensi daftarini au kwenye kifaa cha kidijitali akizingatia suala lengwa na masuala mtambuko mbalimbali. - Kuwasomea au kuwasambazia wenzake na mwalimu sentensi zake ili kuzitolea maoni. - Kutumia vielezi kueleza jinsi ya kuonyesha nidhamu mezani. |
Ni vielezi vipi vinaweza kutumika kuelezea tabia nzuri mezani?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 38
Chati ya vielezi Vifaa vya kidijitali |
Kujaza nafasi kwa kutumia vielezi
Kutunga sentensi kwa kutumia vielezi
Kutumia vielezi kuelezea nidhamu mezani
Kushirikishana maoni kuhusu matumizi ya vielezi
Kufanya tathmini ya kazi za wanafunzi
|
|
| 8 | 3 |
Kuandika
|
Insha ya Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo. - Kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo. - Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya masimulizi ili kujenga ubunifu wake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandaa vidokezo vitakavyomwongoza kuandika insha yake. - Kuandika insha inayosimulia kisa kinachohusu nidhamu mezani kwa kuzingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa lugha ya kiubunifu. - Kushiriki na wenzake kujadili mada ya insha na muundo wa insha ya masimulizi. - Kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili waitathmini. |
Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya masimulizi?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 33
Vifaa vya kidijitali Vidokezo vya insha Picha kuhusu nidhamu mezani |
Kuandaa vidokezo vya insha ya masimulizi
Kuandika insha ya masimulizi
Kuwasilisha insha kwa kuzingatia ujumbe na muundo wake
Kutathmini insha za wanafunzi
Kufanya marekebisho ya insha kulingana na maoni ya wenzake
|
|
| 8 | 4 |
MAVAZI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Matamshi Bora: Vitendawili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua vitendawili kwenye matini mbalimbali. - Kutega na kutegua vitendawili ili kujenga matamshi bora. - Kuchangamkia matumizi ya vitendawili katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutafiti maana ya kitendawili kwenye kamusi, vitabuni au mtandaoni akiwa na wenzake. - Kutambua vitendawili katika chati, ubao au katika vifaa vya kidijitali. - Kusikiliza vitendawili vikitegwa na kuteguliwa kupitia vyombo vya kidijitali. - Kushiriki katika kutega na kutegua vitendawili akiwa na wenzake. - Kuunda vitendawili vyepesi kuhusu mavazi. |
Je, unazingatia nini unapotega na kutegua vitendawili?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 41
Orodha ya vitendawili Vifaa vya kidijitali Kamusi |
Kutega vitendawili
Kutegua vitendawili
Kutoa majibu sahihi ya vitendawili
Kuunda vitendawili vyepesi
Kufanya tathmini ya vitendawili vilivyotegwa
|
|
| 9 | 1 |
Kusoma
Sarufi |
Kusoma kwa Ufasaha
Viunganishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha. - Kusoma kifungu cha hadithi kwa kuzingatia matamshi bora. - Kusoma kifungu cha hadithi kwa kuzingatia kiwango kifaacho cha sauti. - Kusoma kifungu cha hadithi kwa kuzingatia kasi ifaayo. - Kusoma kifungu cha hadithi kwa kuambatanisha ishara zifaazo. - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kujadili vipengele vya kuzingatia katika kusoma makala kwa ufasaha. - Kusikiliza na kutazama mwalimu, mgeni mwalikwa, mwanafunzi mwenzake au video za watu wanaosoma makala kwa ufasaha. - Kujadili na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha vilivyozingatiwa katika usomaji alioutazama. - Kusoma kifungu cha hadithi kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia matamshi bora akiwa na wenzake. |
Unazingatia nini ili kuweza kusoma kifungu cha hadithi ipasavyo?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 43
Vifaa vya kidijitali Kifungu cha hadithi kuhusu mavazi Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 48 Kapu maneno Kadi maneno |
Kusoma kifungu kwa matamshi bora
Kusoma kifungu kwa kutumia kiwango kifaacho cha sauti
Kusoma kifungu kwa kasi ifaayo
Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo
Kutathmini usomaji wa kifungu
|
|
| 9 | 2 |
Sarufi
|
Vihusishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya kihusishi ili kukibainisha. - Kutambua vihusishi katika kundi la maneno na sentensi. - Kutumia vihusishi ipasavyo katika sentensi. - Kuonea fahari matumizi ya vihusishi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kueleza maana ya vihusishi na kuvitolea mifano (k.m. karibu na, mbali na, juu ya, chini ya, nje ya na ndani ya). - Kutambua vihusishi katika kundi la maneno aliyopewa. - Kuchagua vihusishi kwenye kundi la maneno katika tarakilishi, kuviburura na kuvitia kapuni akiwa peke yake au kwenye vikundi. - Kutumia vihusishi kutunga sentensi daftarini au mtandaoni kwa kuzingatia suala lengwa na masuala mtambuko mbalimbali. |
Vihusishi vina umuhimu gani katika mawasiliano?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 50
Kapu maneno Vifaa vya kidijitali Chati ya vihusishi |
Kueleza maana ya kihusishi
Kutambua vihusishi katika kundi la maneno
Kutumia vihusishi kutunga sentensi
Kujaza nafasi kwa kutumia vihusishi
Tathmini ya matumizi ya vihusishi
|
|
| 9 | 3 |
Kuandika
|
Kuandika kwa kutumia tarakilishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua sehemu mbalimbali za tarakilishi zinazotumika kupigia chapa. - Kufungua na kufunga tarakilishi ili kuandika kazi na kuihifadhi. - Kuandika mada lengwa kwa kutumia tarakilishi. - Kuhariri kazi yake kwa kuzingatia uakifishaji ufaao. - Kuhifadhi kazi aliyoiandika kwenye tarakilishi. - Kujenga mazoea ya kuandika kwa kutumia tarakilishi na kuhifadhi kazi yake ya maandishi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua sehemu za kimsingi za tarakilishi za kupigia chapa akiwa na wenzake (k.v. kiibodi, kipanya, kiwambo, kitufe na faili). - Kuzingatia hatua za kufungua na kufunga tarakilishi. - Kuandika mada lengwa kwa kutumia tarakilishi akizingatia chapa koza, italiki na kupigia mistari panapofaa. - Kuandika aya kuhusu mavazi katika tarakilishi na kuihariri. |
Je, unazingatia nini unapoandika kwa kutumia tarakilishi?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 45
Tarakilishi Kipakatalishi Picha za sehemu za tarakilishi |
Kutambua sehemu za tarakilishi
Kufungua na kufunga tarakilishi
Kuandika mada kwa kutumia tarakilishi
Kuhariri kazi ya maandishi kwenye tarakilishi
|
|
| 9 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Matamshi Bora: Vitendawili
Kusoma kwa Ufasaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua vitendawili kwenye matini mbalimbali. - Kutega na kutegua vitendawili ili kujenga matamshi bora. - Kuchangamkia matumizi ya vitendawili katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutaja majina ya vitu kwenye picha na kuviambatanisha na vitendawili vinavyovielezea. - Kushiriki katika mchezo wa kutega na kutegua vitendawili mbalimbali. - Kujadiliana na mzazi au mlezi wake kuhusu vitendawili vinavyotegwa katika jamii yao. - Kuwasilisha vitendawili walivyojadili. - Kutega na kutegua vitendawili mbalimbali akiwa na wenzake. |
Vitendawili vina manufaa gani katika jamii?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 42
Picha Orodha ya vitendawili Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 44 Kadi za kuhesabia maneno Hadithi mbalimbali |
Kutega vitendawili
Kutegua vitendawili
Kutunga vitendawili vipya
Kutathmini vitendawili vilivyotegwa
Kuthamini matumizi ya vitendawili katika jamii
|
|
| 10 | 1 |
Sarufi
|
Vihisishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya kihisishi ili kukibainisha. - Kutambua vihisishi katika kundi la maneno na sentensi. - Kutumia vihisishi ipasavyo katika sentensi. - Kuonea fahari matumizi ya vihisishi katika miktadha mbalimbali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya vihisishi na kuvitolea mifano (k.m. Lo!, Ala!, Salalee!, Mama ee!, Oyee! na Aha!) akishirikiana na wenzake. - Kutambua vihisishi katika kundi la maneno. - Kutambua alama ya hisi (!) inayoambatanishwa na vihisishi. - Kutumia vihisishi kujaza nafasi katika sentensi. - Kutumia vihisishi kutunga sentensi kwenye daftari akizingatia suala lengwa na masuala mtambuko mbalimbali. |
Kutumia vihisishi katika mawasiliano kuna umuhimu gani?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 53
Kapu maneno Kadi maneno Vifaa vya kidijitali |
Kueleza maana ya kihisishi
Kutambua vihisishi katika kundi la maneno
Kutumia vihisishi kujaza nafasi katika sentensi
Kutunga sentensi kwa kutumia vihisishi
Kutumia vihisishi kuonyesha hisia mbalimbali
|
|
| 10 | 2 |
Sarufi
|
Vihisishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya kihisishi ili kukibainisha. - Kutambua vihisishi katika kundi la maneno na sentensi. - Kutumia vihisishi ipasavyo katika sentensi. - Kuonea fahari matumizi ya vihisishi katika miktadha mbalimbali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia vihisishi kutunga kifungu kifupi daftarini au mtandaoni ili wenzake wakisome na kukitathmini. - Kutumia vihisishi katika kuonyesha hisia mbalimbali kama kushukuru, kufurahi, kushangaa, kushtuka na huruma. - Kutunga sentensi akitumia vihisishi kukaribisha watu wanaotembelea nyumbani kwao. - Kutunga kifungu kifupi kuhusu mavazi akitumia vihisishi alivyojifunza. |
Ni vihisishi vipi hutumika kuonyesha hisia mbalimbali?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 54
Vifaa vya kidijitali Kifungu chenye vihisishi |
Kutumia vihisishi kuonyesha hisia mbalimbali
Kutunga sentensi kwa kutumia vihisishi
Kutunga kifungu kifupi akitumia vihisishi
Kutathmini matumizi ya vihisishi katika maandishi ya wenzake
|
|
| 10 | 3 |

| 10 | 4 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Kuandika kwa kutumia tarakilishi
Maneno ya Upole |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua sehemu mbalimbali za tarakilishi zinazotumika kupigia chapa. - Kufungua na kufunga tarakilishi ili kuandika kazi na kuihifadhi. - Kuandika mada lengwa kwa kutumia tarakilishi. - Kuhariri kazi yake kwa kuzingatia uakifishaji ufaao. - Kuhifadhi kazi aliyoiandika kwenye tarakilishi. - Kujenga mazoea ya kuandika kwa kutumia tarakilishi na kuhifadhi kazi yake ya maandishi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia mtandao kusambaza kazi aliyoandika ili wenzake na mwalimu waitathmini. - Kuhifadhi kazi yake kwenye faili ya tarakilishi. - Kuwasambazie wenzake na mwalimu kazi aliyoiandika ili waisome na kuitathmini. - Kuandika kifungu cha aya moja kuhusu 'Vazi ninalopendelea' akitumia tarakilishi. - Kusoma kifungu chake ili kukisahihisha. |
Tarakilishi inaweza kutumiwa vipi kufanikisha mawasiliano?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 46
Tarakilishi Kielelezo cha kuandika kifungu kwenye tarakilishi Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 56 Chati maneno Kapu maneno Mti maneno Vifaa vya kidijitali |
Kuandika kifungu kwa kutumia tarakilishi
Kuhifadhi kazi kwenye tarakilishi
Kusambaza kazi iliyoandikwa kwa njia ya kidijitali
Kufanya tathmini ya kazi iliyoandikwa
|
|
| 11 | 1 |
DIRA
Kusoma |
Kusoma kwa Mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali - Kutambua na kufungua faili iliyo na kifungu cha kusoma - Kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali - Kusakura matini kwenye tovuti salama ili kupata vifungu vya kusoma vyenye mada lengwa - Kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama (k.m. kutowasiliana na watu asiowajua, kuwajibika anaposakura tovuti mbalimbali) kutoka kwenye chati au kwenye tarakilishi na mitandao - Kutambua jina la faili lengwa kwenye tarakilishi na kufanya mazoezi ya kufungua na kufunga - Kutambua mitandao salama yenye matini inayoafiki kiwango na mahitaji yake |
Ni hatua zipi za kiusalama unazofaa kuzingatia unapotumia mtandao?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 60
Tarakilishi/vipakatalishi Projekta Chati za hatua za usalama mtandaoni |
Kutambua hatua za kiusalama za kuzingatia wakati wa kutumia mtandao
Kufungua na kufunga faili ipasavyo
Kusakura tovuti salama
|
|
| 11 | 2 |
Sarufi
|
Ngeli ya A-WA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya A-WA - Kutambua nomino katika ngeli ya A-WA ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya A-WA katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya ngeli za nomino akiwa na wenzake - Kutaja mifano ya nomino akiwa na wenzake - Kusoma sentensi zilizoundwa kutokana na nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi - Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya A-WA kwenye sentensi alizosoma |
Ni nini kinakuwezesha kutambua nomino za ngeli ya A-WA?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 66
Picha za viumbe Kadi za sentensi Mti maneno Vifaa vya kidijitali |
Kutambua nomino za ngeli ya A-WA
Kutofautisha nomino za ngeli ya A-WA na za ngeli nyingine
Kujaza nafasi kwa viambishi vya ngeli ya A-WA
|
|
| 11 | 3 |
Sarufi
Kuandika |
Ngeli ya A-WA
Kuandika Barua ya Kirafiki |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya A-WA - Kutambua nomino katika ngeli ya A-WA ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya A-WA katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushiriki katika mchezo wa kuchopoa kadi za sentensi zenye nomino za ngeli ya A-WA kutoka kwenye kikapu au boksi na kisha kuzisoma - Kutambua nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi katika matini - Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia viambishi vya umoja na wingi wa nomino katika ngeli ya A-WA |
Unatumia viambishi gani kuonyesha upatanisho wa kisarufi katika ngeli ya A-WA?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 68
Kadi za sentensi Kikapu/boksi Orodha ya nomino za ngeli ya A-WA Tarakilishi/vipakatalishi Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 63 Vielelezo vya barua za kirafiki Chati kuhusu muundo wa barua |
Kutumia viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya A-WA
Jaza pengo kwa kutumia kiambishi sahihi cha ngeli ya A-WA
Kuunda sentensi sahihi kwa kutumia viambishi vya ngeli ya A-WA
|
|
| 11 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Maneno ya Upole
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua maneno ya upole yanayotumiwa katika mawasiliano - Kutumia maneno ya upole katika mawasiliano - Kuthamini matumizi ya maneno ya upole katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama maigizo kuhusu matumizi ya maneno ya upole katika video na mitandaoni - Kushiriki katika maigizo yanayohusu matumizi ya maneno ya upole - Kutumia maneno ya upole katika sentensi |
Ni wakati gani tunastahili kutumia maneno ya upole?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 57
Video za maigizo Kadi za maneno Picha |
Matumizi ya maneno ya upole katika mazungumzo
Kutumia maneno ya upole badala ya maneno ya kawaida
|
|
| 12 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali - Kutambua na kufungua faili iliyo na kifungu cha kusoma - Kusakura matini kwenye tovuti salama ili kupata vifungu vya kusoma vyenye mada lengwa - Kusoma matini lengwa ili kupata ujumbe - Kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua umuhimu wa kutoa habari kwa mwalimu, mzazi au mlezi wake endapo atapata ujumbe kutoka kwa watu asiowajua mtandaoni na kutowasiliana nao - Kutafuta maana za maneno kuhusu mada lengwa (k.m. kaskazini, kusini, magharibi, mashariki, kaskazini mashariki, kaskazini magharibi, kusini mashariki na kusini magharibi) kwenye kamusi au mtandaoni - Kusikiliza matamshi na maelezo kuhusu anachokisoma mtandaoni panapowezekana - Kutoa habari kuhusu matini aliyosoma kwa muhtasari na kujibu maswali katika maandishi au mazungumzo na wenzake |
Ni nini unazingatia unaposoma matini ya kidijitali?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 62
Kamusi Tarakilishi/vipakatalishi Tovuti salama zenye matini za kusoma |
Kusoma matini ya kidijitali
Kutoa muhtasari wa matini iliyosomwa
Kujibu maswali ya ufahamu
Kutambua msamiati mpya
|
|
| 12 | 2 |
Sarufi
|
Ngeli ya A-WA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya A-WA - Kutambua nomino katika ngeli ya A-WA ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya A-WA katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuunda sentensi sahihi daftarini au kwenye kifaa cha kidijitali akitumia nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuwasomea au kuwazambazia wenzake na mwalimu sentensi alizozitunga ili kuzitathmini |
Ni kwa nini ni muhimu kuzingatia upatanisho wa kisarufi wa nomino za ngeli ya A-WA?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 69
Tarakilishi/vipakatalishi Daftari Kalamu/penseli |
Kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya A-WA
Kuzingatia upatanisho wa kisarufi katika sentensi
Kufanyiana tathmini ya sentensi zilizotungwa
|
|
| 12 | 3 |
Sarufi
|
Ngeli ya A-WA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya A-WA - Kutambua nomino katika ngeli ya A-WA ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya A-WA katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino za ngeli ya A-WA katika mazingira yake - Kutunga sentensi katika umoja na wingi akitumia nomino za ngeli ya A-WA - Kutathmini sentensi zilizotungwa kwa kuzingatia upatanisho sahihi wa kisarufi |
Nomino zipi katika mazingira yetu zimo katika ngeli ya A-WA?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 70
Picha za viumbe vya ngeli ya A-WA Kadi za nomino Vifaa vya kidijitali |
Kutambua nomino za ngeli ya A-WA katika mazingira
Geuza sentensi kutoka umoja hadi wingi na kinyume chake
Kutunga hadithi fupi ukitumia nomino za ngeli ya A-WA
|
|
| 12 | 4 |
Kuandika
|
Kuandika Barua ya Kirafiki
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua barua ya kirafiki kwa kuzingatia muundo wake - Kujadili umuhimu wa barua ya kirafiki katika mawasiliano - Kuandika barua ya kirafiki inayozingatia mada kwa kufuata kanuni zifaazo - Kuchangamkia utunzi wa barua ya kirafiki katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandaa vidokezo vitakavyomwongoza kuandika insha yake - Kuandika barua ya kirafiki kwa rafiki, ndugu, mzazi, n.k. kwa kuzingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa lugha ya kiubunifu - Kuwasomea wenzake barua yake ili waitathmini |
Barua za kirafiki zinashughulikia masuala gani?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 65
Kielelezo cha barua ya kirafiki Karatasi Kalamu na penseli |
Kuandika barua ya kirafiki
Kuzingatia muundo ufaao wa barua ya kirafiki
Kusahihisha barua ya kirafiki
|
|
Your Name Comes Here