If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 3 |
Usafi wa Kibinafsi
|
Kusikiliza na kuzungumza; Kusikiliza na kujibu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza kuhusu picha aliyoitazama katika kitabu cha mwanafunzi. Kusikiliza mazungumzo kati ya Simba na Mnyama Mgeni ambayo mwalimu atawasilisha. Kutaja vitendo ambavyo wanyama walifanya kuonyesha kuwa walikuwa wanasikiliza wakati wa mazungumzo yao. Kukuza ubunifu wa usikilizaji. |
Wakiwa wawili, wanafunzi amweleze mwenzake kuhusu picha aliyoitazama.
Wanafunzi waweze kusikiliza mazungumzo kati ya Simba na Mnyama Mgeni ambayo mwalimu atawasilisha. Wanafunzi waweze kutaja vitendo ambavyo wanyama walifanya kuonyesha kuwa walikuwa wanasikiliza wakati wa mazungumzo yao |
Je, unaposikiliza mtu akizungumza unafaa kufanya nini ili uupate ujumbe kiukamilifu?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 1-2
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 1 | 4 |
Usafi wa Kibinafsi
|
Kusikiliza na kuzungumza; Kusikiliza na kujibu
Kusoma; Ufahamu wa kifungu cha simulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kujadili tabia za kinidhamu alizozingatia Mnyama Mgeni wakati wa kumjibu Simba. Kuigiza mazungumzo ya simu kisha kuzungumza kuhusu usafi wa kibinafsi. Kuchangamkia usafi wa kibinafsi. |
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kujadili tabia za kinidhamu alizozingatia Mnyama Mgeni wakati wa kumjibu Simba.
Wakiwa wawili, wanafunzi kuigiza mazungumzo ya simu na mwenzake. Zungumzieni kuhusu usafi wa kibinafsi. |
Je, ni vipengele gani vifaavyo katika kusikiliza na kujibu mazungumzo?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 2-3
Kapu maneno Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 3 Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 2 | 1 |
Usafi wa Kibinafsi
|
Kusoma; Ufahamu wa kifungu cha simulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma kifungu iliyopo katika kitabu cha mwanafunzi. Kujibu maswali ya kifungu. Kufurahia kusoma kifungu. |
Wakiwa katika vikundi au wawili, wanafunzi waweze kusoma kifungu iliyopo katika kitabu cha mwanafunzi.
Wakiwa katika vikundi au wawili, wanafunzi waweze kujibu maswali ya kifungu. |
Kwa nini Unasoma ufahamu?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 3-7
Kapu maneno Kamusi Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 2 | 2 |
Usafi wa Kibinafsi
|
Kusoma; Ufahamu wa kifungu cha simulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maneno yaliyotumika katika kifungu alichokisoma. Kusoma kifungu mtandaoni kuhusu usafi wa kibinafsi. Kufurahia kutumia mtandao. |
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kueleza maneno yaliyotumika katika kifungu alichokisoma.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kusoma kifungu mtandaoni kuhusu usafi wa kibinafsi. |
Umesoma kifungu gani katika mtandao?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 7-8
Kamusi Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 2 | 3 |
Usafi wa Kibinafsi
|
Kuandika: Viakifishi; Kichocheo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza matumizi ya herufi kubwa katika sentensi. Kutunga sentensi akizingatia matumizi ya herufi kubwa. Kujadiliana matumizi tofauti ya herufi kubwa. Kuchangamkia matumizi ya herufi kubwa. |
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kueleza matumizi ya herufi kubwa katika sentensi.
Wakiwa wawili au peke yao, wanafunzi kutunga sentensi akizingatia matumizi ya herufi kubwa. Wakiwa katika vikundi, wanafunzi, kujadiliana matumizi tofauti ya herufi kubwa. |
Je, herufi kubwa hutumiwa vipi katika maandishi?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 8-10
Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 2 | 4 |
Usafi wa Kibinafsi
|
Kuandika: Viakifishi; Kichocheo
Sarufi: Aina za nomino; Nomino za pekee |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza matumizi ya kikomo katika sentensi. Kutunga sentensi akizingatia matumizi ya kikomo. Kujadiliana matumizi tofauti ya kikomo. Kuchangamkia matumizi ya kikomo. |
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kueleza matumizi ya kikomo katika sentensi.
Wakiwa wawili au peke yao, wanafunzi kutunga sentensi akizingatia matumizi ya kikomo. Wakiwa katika vikundi, wanafunzi, kujadiliana matumizi tofauti ya kikomo. |
Kikomo hutumiwa vipi katika maandishi?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 8-10
Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 10-11 Kapu maneno Mabango |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 3 | 1 |
Usafi wa Kibinafsi
|
Sarufi: Aina za nomino; Nomino za pekee
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua nomino za pekee katika sentensi. Kutumia nomino za pekee kutunga sentensi. Kutambua aina nne za nomino za pekee. Kuonea fahari matumizi ya nomino za pekee. |
Wakiwa wawili, wanafunzi waweze kutambua nomino za pekee katika sentensi.
Wanafunzi waweze kutumia nomino za pekee kutunga sentensi. Wanafunzi waweze kutambua aina nne za nomino za pekee. |
Je, kuna aina gani za nomino?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 11-12
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 3 | 2 |
Usafi wa Kibinafsi
|
Sarufi: Aina za nomino; Nomino za kawaida
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuchagua nomino za kawaida katika orodha ya maneno iliyoandikwa ubaoni. Kutaja majina ya vitu vinavyopatikana shuleni. Kuchangamkia matumizi ya nomino za kawaida. |
Mwanafunzi aweze, kuchagua nomino za kawaida katika orodha ya maneno iliyoandikwa ubaoni.
Mwanafunzi, aweze kutaja majina ya vitu vinavyopatikana shuleni. |
Nomino za kawaida ulizochagua zinarejelea vitu gani?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 1-2
Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 3 | 3 |
Usafi wa Kibinafsi
Lishe Bora |
Sarufi: Aina za nomino; Nomino za kawaida
Kusikiliza na Kuzungumza; Kusikiliza kwa kina |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza matumizi ya nomino za kawaida katika sentensi na vifungu. Kujaza nafasi katika kifungu kifuatacho kwa kutumia nomino za kawaida. Kuonea fahari matumizi ya nomino za kawaida. |
Wanafunzi, kueleza matumizi ya nomino za kawaida katika sentensi na vifungu.
Wanafunzi, kujaza nafasi katika kifungu kifuatacho kwa kutumia nomino za kawaida. |
Unatumia vipi nomino za kawaida?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 1-2
Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 15-16 Kapu maneno Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 3 | 4 |
Lishe Bora
|
Kusikiliza na Kuzungumza; Kusikiliza kwa kina
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/dh/ na th/) Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi (/dh/ na th/) Kufurahia kutunga vitanzandimi zenye silabi /dh/ na /th/ |
Wanafunzi, kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/dh/ na th/)
Wanafunzi waweze kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi (/dh/ na th/) |
Je, ni maneno gani yenye sauti dh na th?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 15-17
Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 4 | 1 |
Lishe Bora
|
Kusoma kwa mapana; Kichocheo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusimulia wenzake katika kikundi kisa alichowahi kusoma. Kutambua msamiati uliotumika katika hadithi alichosimulia. Kufurahia kusimulia hadithi. |
Mwanafunzi aweze kusimulia wenzake katika kikundi kisa alichowahi kusoma.
Wanafunzi waweze kutambua msamiati uliotumika katika hadithi alichosimulia. |
Ni kitabu gani cha hadithi ulichosoma kikakufurahisha zaidi?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 17
Kamusi Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 4 | 2 |
Lishe Bora
|
Kusoma kwa mapana; Kichocheo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuchagua matini kutoka maktabani au kwenye mitandao salama ili aisome. Kutambua msamiati uliotumika katika hadithi kisha aandike maana za maneno hayo daftarini. Kufurahia kusoma hadithi maktabani au mtandaoni. |
Mwanafunzi aweze, kuchagua matini kutoka maktabani au kwenye mitandao salama ili aisome.
Mwanafunzi aweze kutambua msamiati uliotumika katika hadithi kisha aandike maana za maneno hayo daftarini. |
Umechagua kusoma matini gani?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 17-18
Kapu maneno Mabango Kamusi Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 4 | 3 |
Lishe Bora
|
Kusoma kwa mapana; Kichocheo
Kuandika; Barua ya kirafiki ya kutoa mwaliko |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutunga sentensi daftarini akitumia msamiati aliojifunza kutoka kwenye matini aliyosoma. Kueleza ujumbe alioupata kutokana na matini aliyoisoma. Kuandika muhtasari wa hadithi aliyoisoma. |
Mkiwa wawiliwawili, wanafunzi waweze kutunga sentensi daftarini akitumia msamiati aliojifunza kutoka kwenye matini aliyosoma.
Mwanafunzi aweze, kueleza ujumbe alioupata kutokana na matini aliyoisoma. Mwanafunzi aweze, kuandika muhtasari wa hadithi aliyoisoma. |
Ni kitabu gani cha hadithi ulichosoma kikakufurahisha zaidi?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 17-18
Kapu maneno Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 20-21 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 4 | 4 |
Lishe Bora
|
Kuandika; Barua ya kirafiki ya kutoa mwaliko
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja vipengele vya kimuundo vya barua ya kirafiki ya kutoa mwaliko. Kuandika barua ya kirafiki ya kutoa mwaliko. Kufurahia kuandika barua ya kirafiki ya kutoa mwaliko |
Mwanafunzi aweze kutaja vipengele vya kimuundo vya barua ya kirafiki ya kutoa mwaliko.
Mwanafunzi kuandika barua ya kirafiki ya kutoa mwaliko. |
Ni mambo gani unazingatia unapoandaa vidokezo vya barua ya kirafiki ya kutoa mwaliko?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 21-22
Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 5 | 1 |
Lishe Bora
|
Sarufi; Aina za nomino: Nomino za makundi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuchagua nomino za makundi katika orodha ya maneno iliyoandikwa ubaoni. Kutaja majina ya vitu vinavyopatikana katika mazingira yao. Kuchangamkia matumizi ya nomino za makundi. |
Mwanafunzi aweze, kuchagua nomino za makundi katika orodha ya maneno iliyoandikwa ubaoni.
Mwanafunzi aweze kutaja majina ya vitu vinavyopatikana katika mazingira yao |
Je, ni vitu gani unavyojua ambavyo vinapatikana katika mafungu au vikundi katika mazingira yako?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 23-24
Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 5 | 2 |
Lishe Bora
|
Sarufi; Aina za nomino: Nomino za makundi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua nomino za makundi katika sentensi. Kuandika aya moja kuhusu lishe bora akitumia angalau nomino mbili za makundi. Kuonea fahari matumizi ya nomino za makundi. |
Mwanafunzi aweze kutambua nomino za makundi katika sentensi.
Mwanafunzi aweze kuandika aya moja kuhusu lishe bora akitumia angalau nomino mbili za makundi |
Nomino za makundi ni gani?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 24-25
Kapu maneno Chati Kamusi Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 5 | 3 |
Lishe Bora
|
Nomino za dhahania
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuchagua nomino za dhahania kati ya nomino zilizo katika kapu la maneno. Kutunga sentensi akitumia nomino dhahania. Kuchangamkia kutumia nomino za dhahania. |
Mwanafunzi aweze kuchagua nomino za dhahania kati ya nomino zilizo katika kapu la maneno.
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia nomino dhahania. |
Ni nomino gani zinazotaja hali au vitu vya kufikirika tu?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 25-27
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 27-28 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 5 | 4 |
Uhuru wa Wanyama
|
Kusikiliza na kuzungumza; Tanzu za fasihi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya fasihi. Kutaja sifa za tanzu za fasihi. Kusoma hadithi iliyopo katika kitabu cha mwanafunzi. Kufurahia kusoma hadithi zinazohusu fasihi. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya fasihi.
Mwanafunzi kutaja sifa za tanzu za fasihi. Mwanafunzi kusoma hadithi iliyopo katika kitabu cha mwanafunzi |
Je, umewahi kusimuliwa hadithi gani?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 29-31
Kapu maneno Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 6 | 1 |
Uhuru wa Wanyama
|
Tanzu za fasihi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja aina za tungo za fasihi simulizi na fasihi andishi katika matini. Kuigiza mazungumzo kati ya Ngamia na Ng |
Mwanafunzi kutaja aina za tungo za fasihi simulizi na fasihi andishi katika matini.
Wakiwa wawiliwawili au katika vikundi, wanafunzi waweze Kuigiza mazungumzo kati ya Ngamia na Ng |
Je, umewahi kusoma tungo gani?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 32-34
Kapu maneno Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 6 | 2 |
Uhuru wa Wanyama
|
Kusoma; Kusoma kwa kina- Novela
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutumia kamusi au mtandao kutafuta maana ya novela. Kueleza kuhusu kitabu kilichoandikwa katika kitabu cha mwanafunzi. Kuchangamkia kusoma novela. |
Mwanafunzi aweze kutumia kamusi au mtandao kutafuta maana ya novela.
Mwanafunzi kueleza kuhusu kitabu kilichoandikwa katika kitabu cha mwanafunzi |
Unafurahia kusoma vitabu gani vya hadithi?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 35-37
Kapu maneno Kamusi Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 6 | 3 |
Uhuru wa Wanyama
|
Kusoma kwa kina- Novela
Kuandika; Insha za kubuni |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma sehemu ya novela iliyoteuliwa na mwalimu. Kujadiliana sifa za novela. Kufurahia kusoma novela. |
Mwanafunzi a sehemu ya novela iliyoteuliwa na mwalimu aweze kusoma.
Wanafunzi wakiwa katika vikundi waweze kujadiliana sifa za novela. |
Sifa za novela ni gani?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 36-37
Kapu maneno Kamusi Majarida KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 37 Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 6 | 4 |
Uhuru wa Wanyama
|
Kuandika; Insha za kubuni
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandika vidokezo vya insha ya kubuni aliyoichagua. Kuandika insha ya kubuni. Kuchangamkia kuandika insha za kubuni. |
Mwanafunzi kuandika vidokezo vya insha ya kubuni aliyoichagua.
Mwanafunzi kuandika insha ya kubuni |
Unaweza kuandika vidokezo gani kuhusu kisa ulichotambua?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 38
Kamusi Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 7 |
TATHMINI YA KATI YA MUHULA |
||||||||
| 8 | 1 |
Uhuru wa Wanyama
|
Sarufi; Aina za nomino: Nomino za wingi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua nomino za wingi katika kapu maneno. Kuandika nomino za wingi za vitu vinavyopatikana shuleni au nyumbani. Kuonea fahari nomino za wingi. |
Mwanafunzi aweze kutambua nomino za wingi katika kapu maneno.
Mwanafunzi nomino za wingi za vitu vinavyopatikana shuleni au nyumbani i aweze kuandika |
Ni vitu gani unavyojua ambavyo hupatikana katika wingi tu?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 38-39
Kapu maneno Mabango Kamusi Majarida |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 8 | 2 |
Uhuru wa Wanyama
|
Aina za nomino: Nomino za wingi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutunga sentensi akitumia nomino za wingi. Kutumia nomino za wingi kuandika aya ya maneno hamsini kuhusu uhuru wa wanyama. Kuchangamkia kutumia nomino za wingi. |
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia nomino za wingi.
Mwanafunzi kutumia nomino za wingi kuandika aya ya maneno hamsini kuhusu uhuru wa wanyama. |
Unatumia vipi nomino za wingi?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 39
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 8 | 3 |
Uhuru wa Wanyama
|
Nomino za vitenzi-jina
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja nomino za vitenzi jina katika matini. Kusoma kifungu, |
Mwanafunzi aweze kutaja nomino za vitenzi jina katika matini.
Mwanafunzi aweze kusoma kifungu, |
Unafikiria nomino za vitenzi jina ni gani?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 39-41
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 41 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 8 | 4 |
Aina za Maliasili
|
Kusikiliza na kuzungumza; Nyimbo za watoto
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja nyimbo za watoto anazozijua katika jamii yake. Kusikiliza wimbo ufuatao ukiimbwa na mwalimu. Kuchangamkia kuimba nyimbo za watoto. |
Mwanafunzi kutaja nyimbo za watoto anazozijua katika jamii yake.
Mwanafunzi kusikiliza wimbo ufuatao ukiimbwa na mwalimu. |
Je, ni nyimbo gani za watoto unazozijua katika jamii yako?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 43-44
Mabango Kamusi Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 9 | 1 |
Aina za Maliasili
|
Nyimbo za watoto
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja sifa za nyimbo za watoto. Kujadili namna ya kuwasilisha nyimbo za watoto. Kuimba nyimbo moja ya watoto. Kufurahia kuimba nyimbo za watoto. |
Mwanafunzi aweze kutaja sifa za nyimbo za watoto.
Wanafunzi wakiwa katika vikundi kujadili namna ya kuwasilisha nyimbo za watoto. Mwanafunzi kuimba nyimbo moja ya watoto. |
Unapoimba nyimbo za watoto, unazingatia mambo gani ili mtoto atulie au kulala?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 44
Kamusi Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 9 | 2 |
Aina za Maliasili
|
Nyimbo za bembelezi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja nyimbo unazozijua katika jamii yao ambazo huimbwa kumbembeleza mtoto. Kusikiliza wimbo ufuatao ukiimbwa na mwalimu. Kuchangamkia kuimba nyimbo bembelezi. |
Mwanafunzi aweze kutaja nyimbo unazozijua katika jamii yao ambazo huimbwa kumbembeleza mtoto.
Mwanafunzi aweze kusikiliza wimbo ufuatao ukiimbwa na mwalimu |
Je, ni nyimbo gani unazozijua katika jamii yako ambazo huimbwa kumbembeleza mtoto?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 44-45
Kamusi Michoro na picha Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 45-46 Kapu maneno Chati Mabango Majarida |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 9 | 3 |
Aina za Maliasili
|
Kusoma; Kusoma kwa ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi. Kuhesabu idadi ya maneno katika kifungu Kufurahia kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi. |
Wakiwa wawiliwawili, wanafunzi waweze kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi.
Wanafunzi waweze kuhesabu idadi ya maneno katika kifungu |
Unazingatia nini ili kusoma makala kwa ufasaha?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 46-47
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 9 | 4 |
Aina za Maliasili
|
Kusoma kwa ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusikiliza mwanahabari akitangaza taarifa. Mwigiza mtangazaji huyo mbele ya wenzake darasani. Kufurahia kuigiza watangazaji. |
Mwanafunzi aweze kusikiliza mwanahabari akitangaza taarifa.
Mwanafunzi kumwigiza mtangazaji huyo mbele ya wenzake darasani |
Unazingatia nini ili kusoma makala kwa ufasaha?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 47
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 10 | 1 |
Aina za Maliasili
|
Kuandika; Insha za kubuni- Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma insha ya masimulizi iliyopo katika kitabu cha mwanafunzi, |
Mwanafunzi aweze kusoma insha ya masimulizi iliyopo katika kitabu cha mwanafunzi,
|
Unazingatia mambo gani unapoandika insha ya masimulizi?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 48-49
Kapu maneno Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 10 | 2 |
Aina za Maliasili
|
Insha za kubuni- Masimulizi
Sarufi; Nyakati: Wakati uliopo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza umuhimu wa wahusika na mandhari katika insha za masimulizi. Kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia lugha, wahusika na mandhari. Kufurahia kuandika insha za masimulizi. |
Mwanafunzi kueleza umuhimu wa wahusika na mandhari katika insha za masimulizi.
Mwanafunzi aweze kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia lugha, wahusika na mandhari. |
Insha ya masimulizi inahusu nini?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 49-50
Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 50-51 Kapu maneno Mabango |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 10 | 3 |
Aina za Maliasili
|
Wakati uliopita
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopita. Kutumia wakati uliopita katika sentensi. Kuchangamkia matumizi ya wakati uliopita. |
Mwanafunzi aweze kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopita.
Mwanafunzi kutumia wakati uliopita katika sentensi. |
Ni kipande gani cha neno kinachowakilisha wakati?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 51-52
Kamusi Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 10 | 4 |
Aina za Maliasili
|
Wakati ujao
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua vitenzi kwenye kifungu katika wakati ujao. Kutumia vitenzi ili kuunda sentensi kuonyesha wakati ujao. Kuchangamkia matumizi ya wakati ujao. |
Mwanafunzi aweze kutambua vitenzi kwenye kifungu katika wakati ujao.
Mwanafunzi kutumia vitenzi ili kuunda sentensi kuonyesha wakati ujao. |
Unatumia vipi wakati ujao?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 52-54
Kamusi Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 11 |
TATHMINI YA MWISHO WA MUHULA |
||||||||
| 13 |
KUDURUSU NA KUFUNGA |
||||||||
Your Name Comes Here