Home







MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
KIDATO CHA TATU
MWAKA WA 2025
MUHULA WA III

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA MBINU VIFAA ASILIA MAONI
1 1
SURA YA SITA

Kusikiliza na Kuzungumza
Mahakamani - Sajili ya Kisheria
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kueleza sajili ya mahakamani
Kutumia msamiati wa kisheria
Kuigiza mazungumzo ya mahakamani
Kutambua taratibu za kisheria

Kuuliza maswali kuhusu mfumo wa sheria
Kueleza msamiati wa mahakamani
Kuigiza kesi ya mahakamani
Kujadili taratibu za hukumu
Kufanya mazungumzo kuhusu haki za binadamu

Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu
Vifaa vya uigizaji
Kadi za majukumu ya mahakamani
Ubao mweusi
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 66-67
1 2
Kusoma kwa Ufahamu
Sarufi
Kusoma kwa Sauti
"Tete Atetemesha" - Tamthilia
Mwingiliano wa Maneno
Barua kwa Mhariri
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kusoma tamthilia kwa uelewa
Kueleza maudhui ya tamthilia
Kutambua visa vya ufisadi
Kuchambua migogoro ya kijamii

Kuuliza maswali ya utayarishaji kuhusu ufisadi
Kusoma tamthilia kwa vikundi
Kujadili visa vya ufisadi vilivyojitokeza
Kuchambua tabia za wahusika
Kujibu maswali ya kina kuhusu tamthilia
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu
Chati za uchambuzi wa wahusika
Vifaa vya uigizaji
Majarida ya habari
Jedwali la aina za maneno
Kadi za mazoezi
Ubao mweusi
Barua za ziada za mhariri
Kanda za sauti
Jedwali la maelezo ya sauti
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 67-71
1 3
Kuandika
Fasihi Andishi
Kusikiliza na Kuzungumza
Makala ya Redio na Runinga
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Ufahamu wa Kusikiliza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kueleza muundo wa makala za redio
Kutofautisha makala za redio na runinga
Kuandika makala za vyombo vya habari
Kutumia lugha ya kihabari

Kuuliza maswali kuhusu vyombo vya habari
Kueleza sifa za makala za redio na runinga
Kuonyesha mifano ya makala za kihabari
Kuandika makala za habari za redio
Kusahihisha na kukarabati makala zao
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu
Mifano ya makala za redio
Karatasi za kuandikia
Redio (ikiwa inapatikana)
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
Gazeti au jarida
Kanda za sauti
Kadi za maswali
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 73
1 4
SURA YA NANE

Kusoma kwa Ufahamu
Sarufi
Kusoma kwa Kina
"Mtopanga"
Viambishi vya Vitenzi
Tamthilia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kusoma ufahamu kwa uelewa
Kueleza maudhui ya ufahamu
Kutambua sifa za kitongoji
Kuchambua mazingira ya kijiografia

Kuuliza maswali ya utayarishaji kuhusu vitongoji
Kusoma ufahamu kwa sauti pamoja
Kujadili sifa za kitongoji cha Mtopanga
Kuchambua mazingira na maumbile ya eneo
Kujibu maswali ya kina kuhusu ufahamu
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu
Ramani za mazingira
Picha za mazingira
Chati za uchambuzi
Jedwali la viambishi
Kadi za mazoezi
Ubao mweusi
Vitabu vya tamthilia
Jedwali la uchambuzi
Kadi za vipengele
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 84-85
1 5
Kuandika
Fasihi Andishi
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma kwa Ufahamu
Utungaji wa Kisanii: Michezo ya Kuigiza
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Soga na Mawaidha
Shairi: "Nyuki Nimekosani?"
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kueleza vipengele vya mchezo wa kuigiza
Kutunga ploti ya mchezo
Kuandika mazungumzo ya kuvutia
Kutumia lugha mwafaka ya mchezo

Kuuliza maswali kuhusu michezo wanayoifahamu
Kueleza vipengele vya mchezo wa kuigiza
Kutunga ploti ya mchezo kuhusu masuala ya jamii
Kuandika mchezo mfupi wa kuigiza
Kuigiza sehemu za michezo yao
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu
Mifano ya michezo
Karatasi za kuandikia
Vifaa vya uigizaji
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
Kanda za sauti
Chati za fasihi simulizi
Chati za uchambuzi wa shairi
Picha za ufugaji
Jedwali la vipengele vya shairi
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 90-92
1 6
SURA YA TISA

Sarufi
Kusoma kwa Kina
Kuandika
Vinyume vya Vitenzi na Vitenzi katika Hali ya Kuamrisha
Maenezi ya Kiswahili
Utungaji wa Kiuamilifu: Ratiba
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kueleza maana ya vinyume vya vitenzi
Kutoa vinyume vya vitenzi mbalimbali
Kutumia vitenzi katika hali ya kuamrisha
Kutunga sentensi za amri

Kuuliza maswali ya ujumuishaji kuhusu vitenzi
Kueleza dhana ya vinyume vya vitenzi
Kufanya mazoezi ya kutoa vinyume
Kujifunza matumizi ya vitenzi vya amri
Kukamilisha mazoezi ya ukurasa
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu
Jedwali la vinyume
Kadi za mazoezi
Ubao mweusi
Ramani ya maenezi
Vitabu vya ziada vya historia
Jedwali la takwimu
Mifano ya ratiba
Karatasi za kuandikia
Jedwali la wakati
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 97-99
2 1
Fasihi Andishi
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma kwa Ufahamu
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Visasili na Mighani
"Dini ya Ulimwengu"
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira,
lugha, maudhui mbinu za kisanaa na
wahusika katika hadithi fupi
Kujadiliana
Kuuliza
Kujibu maswali baada ya hadithi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu
Vifaa vya uigizaji
Chati za fasihi simulizi
Picha za mashujaa
Picha za michezo
Jedwali la tofauti
Vifaa vya michezo
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
2 2
SURA YA KUMI

Sarufi
Kusoma kwa Mapana
Kuandika
Fasihi Andishi
Uundaji wa Nomino Kutokana na Vitenzi vya Asili ya Kigeni
Jinsia - "Kina Mama Wapasua Mawe Kujikimu"
Uandishi wa Insha: Masimulizi na Mjadala
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kueleza dhana ya vitenzi vya asili ya kigeni
Kutofautisha vitenzi vya Kiswahili na vya kigeni
Kuunda nomino kutoka vitenzi vya kigeni
Kutunga sentensi zenye nomino hizo

Kuuliza maswali ya ujumuishaji kuhusu nomino
Kueleza sifa za vitenzi vya asili ya kigeni
Kufanya mazoezi ya kuunda nomino
Kutunga sentensi mpya zenye nomino
Kukamilisha mazoezi ya ukurasa
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu
Jedwali la vitenzi vya kigeni
Kadi za mazoezi
Ubao mweusi
Makala za ziada kuhusu jinsia
Jedwali la uchambuzi
Majarida ya kijamii
Mifano ya insha
Karatasi za kuandikia
Kalamu na penseli
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 109-110
2 3
SURA YA KUMI NA MOJA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma kwa Ufahamu
Sarufi
Kusoma kwa Kina
Kuandika
Fasihi Andishi
Kusikiliza na Kuzungumza
Fasihi Simulizi: Ngano
Shairi: Kukandamizwa
Sentensi ya Kiswahili: Virai
Ushairi: Aina za Mashairi ya Arudhi
Utungaji wa Kisanii: Mashairi ya Arudhi
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Majadiliano: Umoja wa Kitaifa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kufafanua maana ya ngano na sifa zake
- Kutambua muundo na vipengele vya hadithi za kimapokeo
- Kueleza jukumu la ngano katika kuhifadhi utamaduni
- Kuchunguza mafunzo ya kimaadili katika simulizi za jadi
- Kuonyesha mbinu za kusimulia kwa usahihi
- Maswali na majibu kuhusu ujuzi wa wanafunzi wa hadithi za jadi
- Mwalimu asimulie ngano ya mfano "Nyani na Umoja"
- Wanafunzi wabainishe sifa za ngano kutoka kwenye hadithi
- Majadiliano ya vikundi kuhusu mafunzo ya kimaadili
- Wanafunzi wajaribu kusimulia kwa kutumia toni sahihi
- Kucheza jukumu za wahusika mbalimbali kutoka kwenye hadithi
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu
- Vifaa vya kurekodi sauti
- Chati inayoonyesha sifa za ngano
- Vifaa vya kusimulia
- Zoezi la ufahamu la kuandikwa
- Karatasi za kazi ya vikundi
- Kamusi ya maneno magumu
- Vipande vya sentensi kwa ajili ya uchambuzi
- Makaratasi ya mazoezi
- Chati za kurejelea sarufi
- Kalamu za rangi za kuangazia
- Makusanyo ya mashairi
- Chati zinazoonyesha bahari mbalimbali
- Rekodi za sauti za mashairi
- Vifaa vya kuhesabu silabi
- Vifaa vya kuandikia
- Makaratasi ya utungaji wa mashairi
- Mashairi ya mfano ya kurejelea
- Vipimo vya tathmini ya rika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
- Chati za majadiliano
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 116-118
2 4
SUYA YA KUMI NA MBILI

Kusoma kwa Ufahamu
Sarufi
Kusoma kwa Mapana
Kuandika
Fasihi Andishi
Mchezo wa Kuigiza
Vishazi
Haki za Watoto
Utungaji wa Kiuamilifu: Wasifu, Tawasifu na Wasifukazi
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maudhui ya mchezo wa kuigiza
- Kutambua wahusika na sifa zao
- Kuchunguza mifano ya methali na misemo
- Kufafanua mafunzo yanayojitokeza
- Kutathmini tabia za wahusika mbalimbali
- Kusoma mchezo kwa sauti kwa vikundi
- Kuchambua wahusika na tabia zao
- Kutambua na kufafanua methali zilizotumiwa
- Majadiliano kuhusu mafunzo ya mchezo
- Kujibu maswali ya ufahamu kwa uongozi wa mwalimu
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu
- Makaratasi ya maswali
- Chati za uchambuzi wa wahusika
- Kamusi ya Kiswahili
- Vipande vya sentensi kwa ajili ya uchambuzi
- Makaratasi ya mazoezi
- Chati za kurejelea sarufi
- Makala ya ziada kuhusu haki za watoto
- Karatasi za muhtasari
- Ramani ya Afrika Mashariki
- Mifano ya wasifu mbalimbali
- Vifungu vya matangazo ya kazi
- Karatasi za uandishi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 129-132
2 5
SURA YA KUMI NATATU

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma kwa Ufahamu
Sarufi
Kusoma kwa Kina
Kuandika
Miviga
Mhepa
Sentensi ya Kiswahili: Kikundi Nomino, Kikundi Tenzi, Shamirisho na Chagizo
Mashairi Huru
Utungaji wa Kiuamilifu: Maagizo/Maelekezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kufafanua maana ya miviga na aina zake
- Kueleza umuhimu wa miviga katika jamii
- Kutambua sifa na wahusika wa miviga
- Kuchunguza changamoto za miviga za kisasa
- Kuonyesha mifano ya miviga katika jamii ya mwanafunzi
- Mazungumzo ya ufunguzi kuhusu sherehe za kimapokeo
- Mwalimu aeleze aina mbalimbali za miviga
- Wanafunzi wachambue umuhimu wa miviga
- Majadiliano kuhusu miviga katika jamii zao
- Uigizaji wa mfano wa sherehe ya kimapokeo
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu
- Picha za sherehe mbalimbali
- Vifaa vya uigizaji
- Chati za aina za miviga
- Kamusi ya Kiswahili
- Makaratasi ya maswali
- Chati za uchambuzi wa wahusika
- Chati za michoro ya uchambuzi
- Vipande vya sentensi kwa mazoezi
- Karatasi za kazi
- Makusanyo ya mashairi huru
- Chati za uchambuzi wa mashairi
- Vifaa vya kurekodi
- Mifano ya maagizo kutoka mazingira
- Vielelezo vya maagizo
- Karatasi za uandishi
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 139-141
2 6
Fasihi Andishi
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma kwa Ufahamu
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Maigizo
Haki zetu Binadamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira,
lugha, maudhui mbinu za kisanaa na
wahusika katika hadithi fupi
Kujadiliana
Kuuliza
Kujibu maswali baada ya hadithi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu
- Vifaa vya maigizo
- Mavazi ya kimapokeo
- Eneo la kuigiza
- Chati ya haki za binadamu
- Kamusi ya Kiswahili
- Karatasi za mazoezi
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
3 1
SURA YA KUMI NA NNE

Sarufi
Kusoma kwa Mapana
Kuandika
Fasihi Andishi
Aina za Sentensi
Usanifishaji wa Lugha ya Kiswahili
Utungaji wa Kiuamilifu: Kumbukumbu
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutofautisha kati ya sentensi sahili, ambatano na changamano
- Kutambua vishazi huru na tegemezi
- Kuchunguza viunganishi vinavyotumiwa
- Kutunga sentensi za aina mbalimbali
- Kuchambua sentensi ngumu kwa makini
- Kurejea misingi ya uchambuzi wa sentensi
- Mwalimu aeleze aina za sentensi kwa mifano
- Wanafunzi wabainishe aina za sentensi zilizotolewa
- Zoezi la kutunga sentensi za aina mbalimbali
- Kazi ya makundi kuchambua sentensi ngumu
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu
- Chati za aina za sentensi
- Vipande vya sentensi kwa uchambuzi
- Makaratasi ya mazoezi
- Makala za ziada kuhusu usanifishaji
- Ramani ya Afrika Mashariki
- Kamusi za Kiswahili
- Mifano ya kumbukumbu za mikutano
- Fomu za kumbukumbu
- Karatasi za uandishi rasmi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 153-155
3 2
SURA YA KUMI NA TANO

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma kwa Ufahamu
Sarufi
Kusoma kwa Mapana
Kuandika
Fasihi Andishi
Nyimbo
Usalama Barabarani
Uchanganuzi wa Sentensi
Haki za Kibinadamu
Utungaji wa Kiuamilifu: Tahadhari (Ilani na Onyo)
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kufafanua maana ya nyimbo na asili yake
- Kutambua sifa za nyimbo za kiswahili
- Kueleza aina mbalimbali za nyimbo
- Kuchunguza dhima za nyimbo katika jamii
- Kuimba nyimbo mbalimbali kwa sauti nzuri
- Mazungumzo ya utangulizi kuhusu nyimbo za kimapokeo
- Mwalimu aeleze sifa za nyimbo za Kiswahili
- Wanafunzi wabainishe aina za nyimbo mbalimbali
- Kuimba wimbo wa "Tuangamize Ufisadi" kwa sauti
- Kukusanya nyimbo za jamii za mbalimbali
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu
- Vifaa vya kurekodi sauti
- Ala za muziki
- Makusanyo ya nyimbo za kimapokeo
- Picha za alama za barabara
- Makaratasi ya maswali
- Video kuhusu usalama barabara (kama inapatikana)
- Chati za michoro ya matawi
- Jedwali za uchambuzi
- Vipande vya sentensi kwa mazoezi
- Makala za magazeti
- Nakala ya katiba ya Kenya
- Karatasi za utafiti
- Mifano ya tahadhari kutoka mazingira
- Karatasi za uandishi
- Alama za tahadhari za picha
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 161-163
3 3
SURA YA KUMI NA SITA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma kwa Ufahamu
Sarufi
Kusoma kwa Kina
Kuandika
Hotuba
Uzalendo
Nyakati na Hali
Uchambuzi wa Hadithi Fupi
Utungaji wa Kiuamilifu: Mahojiano na Dayolojia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kuelewa muundo wa hotuba nzuri
- Kutambua mbinu za kuwasilisha hotuba
- Kuchunguza maudhui ya hotuba ya waziri
- Kufafanua malengo ya hotuba
- Kujaribu kutoa hotuba fupi
- Kusikiliza hotuba ya waziri kuhusu ufisadi
- Kuchambua muundo wa hotuba
- Majadiliano kuhusu ufisadi na athari zake
- Kujaribu kutoa hotuba fupi kuhusu mada mbalimbali
- Kutathmini hotuba za wanafunzi
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu
- Vifaa vya kurekodi
- Jukwaa la hotuba
- Chati za muundo wa hotuba
- Mifano ya uzalendo kutoka historia
- Makaratasi ya maswali
- Picha za mashujaa wa kitaifa
- Chati za nyakati na hali
- Makaratasi ya mazoezi
- Jedwali za ukanushaji
- Hadithi fupi za ziada
- Chati za uchambuzi wa fasihi
- Karatasi za uchambuzi
- Mifano ya mahojiano ya redio/TV
- Karatasi za uandishi
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 173-174
3 4
Fasihi Andishi
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma kwa Ufahamu
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Mafumbo, Misimu na Lakabu
Uraibu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira,
lugha, maudhui mbinu za kisanaa na
wahusika katika hadithi fupi
Kujadiliana
Kuuliza
Kujibu maswali baada ya hadithi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu
- Makusanyo ya mafumbo ya kimapokeo
- Orodha ya misimu za kisasa
- Picha za washujaa wenye lakabu
- Majaribio ya sayansi kuhusu madhara
- Picha za athari za uraibu
- Makaratasi ya ushauri
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
3 5
SURA YA KUMI NA SABA

Sarufi
Kusoma kwa Mapana
Kuandika
Fasihi Andishi
Uakifishaji
Ukimwi
Utungaji wa Kiuamilifu: Barua Meme
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza umuhimu wa alama za kuakifisha
- Kutambua alama mbalimbali za uandishi
- Kutumia alama za kuakifisha ipasavyo
- Kuakifisha maandishi mbalimbali
- Kuboresha ujuzi wa uandishi wa kisarufi
- Kurejea alama za kuakifisha msingi
- Mwalimu aeleze matumizi ya kila alama
- Wanafunzi waakifishe maandishi yaliyotolewa
- Zoezi la kuakifisha sentensi na aya
- Kazi ya vikundi kuhusu alama ngumu
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu
- Maandishi yasiyo na alama za kuakifisha
- Chati za alama za uandishi
- Makaratasi ya mazoezi
- Makala za magazeti kuhusu Ukimwi
- Takwimu za afya
- Karatasi za utafiti
- Tarakilishi (kama zinapatikana)
- Simu za mfano
- Karatasi za uandishi wa majaribio
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 188-194
3 6
SURA YA KUMI NA NANE

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma kwa Ufahamu
Sarufi
Kusoma kwa Mapana
Kuandika
SURA YA KUMI NA NANE
Vitendawili
Shairi
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendeshewa, Kutendesheana na Kutendesheka
Makala Kuhusu Mazingira
Utungaji wa Kiuamilifu: Kujaza Fomu na Hojaji
Fasihi andishi; Muktadha na usuli wa tamthilia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kufafanua maana ya vitendawili na umuhimu wake
- Kutambua sifa za vitendawili
- Kueleza tofauti kati ya vitendawili na mafumbo
- Kutatua vitendawili mbalimbali
- Kutambua maadili na tamathali zilizotumika
- Mazungumzo ya utangulizi kuhusu vitendawili
- Mwalimu aeleze muundo wa vitendawili
- Wanafunzi wajaribu kutatua vitendawili yaliyotolewa
- Majadiliano kuhusu maadili yaliyofichwa
- Kuchunguza tamathali za lugha zilizotumika
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu
- Makusanyo ya vitendawili
- Chati za tamathali za lugha
- Karatasi za kazi za vikundi
- Makaratasi ya maswali
- Kamusi ya Kiswahili
- Chati za uchambuzi wa shairi
- Jedwali za kauli za vitenzi
- Makaratasi ya mazoezi
- Chati za kurejelea sarufi
- Makala za magazeti kuhusu mazingira
- Picha za mazingira yaliyoharibiwa
- Karatasi za utafiti
- Mifano ya fomu za aina mbalimbali
- Karatasi za kuandaa hojaji
- Kalamu na vifaa vya kuandikia
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 199-200
4

Mid-term Exams

5 1
Fasihi Andishi
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma kwa Ufahamu
Sarufi
Kusoma kwa Kina
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Methali
Visa na Ukweli
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendama na Kutendata
Riwaya
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira,
lugha, maudhui mbinu za kisanaa na
wahusika katika hadithi fupi
Kujadiliana
Kuuliza
Kujibu maswali baada ya hadithi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu
- Makusanyo ya methali za Kiswahili
- Chati za dhima za methali
- Karatasi za kukusanya methali
- Kamusi ya Kiswahili
- Makaratasi ya maswali
- Chati za uchambuzi wa wahusika
- Jedwali za kauli za vitenzi
- Makaratasi ya mazoezi
- Mifano ya vitenzi vya kauli hizi
- Nakala za riwaya teule
- Chati za uchambuzi wa fasihi
- Karatasi za uchambuzi
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
5 2
SURA YA KUMI NA TISA

Kuandika
SURA YA KUMI NA TISA
Fasihi Andishi
Kusikiliza na Kuzungumza
Utungaji wa Kisanii: Mashairi Huru
Fasihi andishi; Muktadha na usuli wa tamthilia
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Maghani
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza sifa za mashairi huru
- Kutofautisha mashairi huru na ya arudhi
- Kutunga mashairi huru kwa mada mbalimbali
- Kutumia lugha nzito na ya ufasaha
- Kuonyesha ubunifu katika utungaji
- Mwalimu aeleze sifa za mashairi huru
- Kuchanganua mifano ya mashairi huru
- Zoezi la kutunga mashairi huru kuhusu mada teule
- Kuonyesha mashairi yaliyotungwa kwa darasa
- Mapitio na marekebisho ya mashairi
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu
- Makusanyo ya mashairi huru
- Karatasi za utungaji
- Mifano ya mashairi ya kuvutia
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
- Makusanyo ya maghani
- Vifaa vya kurekodi sauti
- Chati za aina za maghani
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 211-212
5 3
SURA YA ISHIRINI

Kusoma kwa Ufahamu
Sarufi
Kusoma kwa Mapana
Urithi
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendua na Kutenduka
Maswala Ibuka
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kuelewa maudhui ya hadithi kuhusu urithi
- Kuchunguza changamoto za ugawaji wa urithi
- Kutambua wahusika na tabia zao
- Kufafanua athari za ubinafsi katika ugawaji wa mali
- Kutathmini mafunzo yanayojitokeza
- Kusoma kifungu kuhusu familia ya Zakaria
- Kuchambua changamoto za ugawaji wa mali
- Majadiliano kuhusu tabia za jamaa
- Kujibu maswali ya ufahamu
- Kujadili umuhimu wa haki za watoto
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu
- Makaratasi ya maswali
- Chati za uchambuzi wa wahusika
- Mifano ya sheria za urithi
- Jedwali za kauli za vitenzi
- Makaratasi ya mazoezi
- Mifano ya vitenzi vya kinyume
- Nakala ya katiba ya Kenya
- Makala za magazeti
- Karatasi za utafiti
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 214-215
5 4
Kuandika
SURA YA ISHIRINI
Fasihi Andishi
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma kwa Ufahamu
Sarufi
Utungaji wa Kiuamilifu: Matangazo
Fasihi andishi; Muktadha na usuli wa tamthilia
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Ngomezi - Mawasiliano kwa Ngoma
Mchezo wa Kuigiza: Tusikate Miti Ovyo
Mnyambuliko wa Vitenzi vya Silabi Moja
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza umuhimu wa matangazo
- Kutambua aina mbalimbali za matangazo
- Kutunga matangazo ya aina mbalimbali
- Kutumia lugha sahihi na ya kuvutia
- Kuandika matangazo ya nafasi za kazi
- Mwalimu aeleze aina za matangazo
- Kuchanganua mifano ya matangazo mbalimbali
- Zoezi la kutunga matangazo ya kazi
- Kuandika matangazo ya sherehe au hafla
- Mapitio na marekebisho ya matangazo
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu
- Mifano ya matangazo kutoka magazeti
- Karatasi za uandishi
- Kalamu na vifaa vya kuandikia
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
Kitabu cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Ngoma au vifaa vya kuiga sauti
Vielelezo vya picha za sherehe
Kanda za sauti
Vielelezo vya mazingira
Picha za miti
Nakala za sheria za mazingira
Jedwali la kauli za vitenzi
Vielelezo vya miundo
Kadi za mazoezi
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 217-218
5 5
SURA YA ISHIRINI NA MOJA

Sarufi
Kuandika
SURA YA ISHIRINI NA MOJA
Fasihi Andishi
Kusikiliza na Kuzungumza
Fasihi Andishi
Mnyambuliko wa Vitenzi vyenye Asili ya Kigeni
Utungaji wa Kiuamilifu: Ripoti
Fasihi andishi; Muktadha na usuli wa tamthilia
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Fasihi Simulizi: Hadithi ya Twiga na Mkufu wa Kima
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kutambua vitenzi vyenye asili ya kigeni
Kueleza jinsi vitenzi hivi vinavyonyambulika
Kuandika vitenzi katika kauli mbalimbali
Kukamilisha majaribio ya vitenzi
Kutunga sentensi sahihi

Utangulizi wa vitenzi vyenye asili ya kigeni
Kujifunza mifano ya vitenzi hivi
Kukamilisha jedwali la kauli za vitenzi
Zoezi la kutambua kauli tofauti
Mazoezi ya kutunga sentensi
Kufanya majaribio mengine ya vitenzi
Kitabu cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Jedwali la vitenzi
Kadi za mifano
Majaribio ya mazoezi
Mifano ya ripoti
Fomu za kuandikia
Kalamu na karatasi
Kamusi ya Kiswahili
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
Picha za wanyamapori
Vifaa vya kuigiza
Kanda za sauti za hadithi
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu Uk. 226-227
5 6
SURA YA ISHIRINI NA MBILI

Kusoma kwa Ufahamu
Fasihi Andishi
Sarufi
Fasihi Andishi
Sarufi
Fasihi Andishi
Taifa Bingwa Barani - 2004
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Vivumishi vya Pekee na Matumizi yake
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Mazoezi ya Sarufi Mchanganyiko
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kusoma makala kwa uelewa
Kueleza maudhui ya makala
Kutambua faida za michezo
Kufafanua changamoto za michezo barani
Kujibu maswali ya ufahamu
Kueleza maana ya msamiati mpya

Usomaji wa haraka wa makala ya michezo
Mjadala kuhusu michuano ya kabumbu barani Afrika
Kujadili faida za michezo kwa mataifa andalizi
Mazungumzo kuhusu changamoto za michezo Afrika
Kujibu maswali ya ufahamu kuhusu makala
Kueleza maana ya maneno: shamrashamra, mtawalia, kilele, kuwania
Kitabu cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Picha za michezo ya kabumbu
Ramani ya Afrika
Makala ya magazeti kuhusu michezo
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
Jedwali la vivumishi
Kadi za mifano
Majaribio ya mazoezi
Ubao mweupe
Majaribio ya sarufi
Kadi za mazoezi
Kalamu za rangi
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu Uk. 235-237
6 1
SURA YA ISHIRINI NA MBILI

Kuandika
SURA YA ISHIRINI NA MBILI

Fasihi Andishi
Insha na Barua Mbalimbali
Fasihi andishi; Muktadha na usuli wa tamthilia
Insha na Barua Mbalimbali
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kuandika insha ya ulinganisho
Kuandika barua ya kuomba kazi
Kuandika barua ya kupongeza
Kutoa wasifu wa nchi
Kutumia lugha sahihi ya uandishi
Kuzingatia muundo sahihi wa barua

Kujadili aina za insha na barua
Kuandika insha ya kulinganisha maisha ya kale na ya leo
Zoezi la kuandika barua ya kuomba kazi
Kuandika barua ya kupongeza rafiki
Kutoa wasifu wa nchi ya kuzuru
Kusahihisha na kuboresha maandiko
Kitabu cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Mifano ya insha na barua
Karatasi za uandishi
Kalamu
Kamusi ya Kiswahili
Fomu za barua
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu Uk. 248-252
7-8

End Term Exams

9

Marking and closing


Your Name Comes Here


Download

Feedback