Home







MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
KIDATO CHA TATU
MWAKA WA 2025
MUHULA WA III

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA MBINU VIFAA ASILIA MAONI
2

exams,closing school

2 3
SURA YA KWANZA

Kusikiliza na Kuzungumza
Isimu jamii - Sajili ya Dini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kueleza maana ya sajili
Kutambua sifa za sajili ya dini
Kuigiza mazungumzo katika maabadi
Kutumia msamiati wa kidini

Kuuliza maswali ya utangulizi kuhusu lugha mbalimbali
Kueleza dhana ya sajili na aina zake
Kusoma na kujadili sifa za sajili ya dini
Kuigiza mazungumzo ya Wakristo na Waislamu
Kujibu maswali ya uelewa

Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu
Chati za sajili
Kanda za sauti (ikiwa zinapatikana)
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 1-3
2 4
Kusoma kwa Ufahamu
Sarufi
Tamthilia: "Asali Yawa Shubiri"
Viulizi - "pi" na "ngapi"
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kueleza maudhui ya tamthilia
Kutambua wahusika na sifa zao
Kufafanua ujumbe wa tamthilia
Kutathmini changamoto za kijamii

Kuuliza maswali ya utayarishaji kuhusu ndoa za utotoni
Kusoma tamthilia kwa sauti kwa vikundi
Kujadili wahusika: Kaida, Mzee Njuga, Mkoro
Kuchambua changamoto za elimu ya wasichana
Kujibu maswali ya kina kuhusu tamthilia
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu
Chati za uchambuzi wa wahusika
Kadi za maswali
Jedwali la ngeli
Kadi za mazoezi
Ubao mweusi
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 3-7
2 5
Kusoma kwa Kina
Kuandika
SURA YA KWANZA
Magazeti: Tahariri na Habari
Utungaji wa Kiuamilifu: Barua Rasmi
Fasihi andishi; Muktadha na usuli wa tamthilia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kueleza maana ya tahariri
Kutofautisha habari za kitaifa na kimataifa
Kusoma tahariri kwa uelewa
Kuchambua maudhui ya magazeti

Kuuliza maswali kuhusu aina za magazeti wanayoijua
Kueleza maana na sifa za tahariri
Kusoma mfano wa tahariri "Wenye Matatu Wasiruhusiwe..."
Kujadili habari za kitaifa na kimataifa
Kutambua vichwa vya habari
Kitabu cha mwanafunzi
Magazeti ya hivi karibuni
Mwongozo wa mwalimu
Makala ya habari
Scissors na glue
Mifano ya barua rasmi
Karatasi za kuandikia
Kalamu na penseli
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 11-13
2 6
SURA YA KWANZA
Fasihi Andishi
kusoma-fasihi andishi
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthiliaKufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia
Kusoma Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
2 7
SURA YA PILI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma kwa Ufahamu
Sarufi
Dhima ya Fasihi kwa Jumla
Shairi: "Mikanda Tujifungeni"
'A' Unganifu na Virejeshi 'O' na 'amba'
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kueleza maana ya fasihi
Kutofautisha fasihi simulizi na andishi
Kutaja sifa za fasihi simulizi
Kufafanua umuhimu wa fasihi simulizi

Kuuliza maswali kuhusu aina za fasihi wanayozifahamu
Kueleza dhana ya fasihi na aina zake
Kujadili sifa za fasihi simulizi
Kuchambua umuhimu wa fasihi simulizi
Kuigiza baadhi ya tanzu za fasihi simulizi
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu
Chati za tanzu za fasihi
Kielelezo cha fasihi simulizi
Vifaa vya uigizaji
Chati za uchambuzi wa shairi
Picha za mikanda ya usalama
Majarida ya usalama
Jedwali la ngeli
Kadi za mazoezi
Ubao mweusi
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 17-20
3 1
Kusoma kwa Kina
Kuandika
Magazeti: Barua kwa Mhariri na Ripoti za Michezo
Utungaji wa Kiuamilifu: Barua kwa Mhariri
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kueleza maana ya barua kwa mhariri
Kutofautisha ripoti za michezo
Kusoma barua kwa mhariri kwa uelewa
Kuchambua maudhui ya ripoti za michezo

Kuuliza maswali kuhusu aina za barua wanayozifahamu
Kueleza maana na sifa za barua kwa mhariri
Kusoma mifano ya ripoti za michezo
Kujadili vichwa vya ripoti za michezo
Kutambua tofauti za barua na ripoti
Kitabu cha mwanafunzi
Magazeti ya hivi karibuni
Mwongozo wa mwalimu
Makala ya michezo
Scissors na glue
Mifano ya barua kwa mhariri
Karatasi za kuandikia
Kalamu na penseli
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 28-30
3 2-3
Fasihi Andishi
SURA YA NNE

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma kwa Ufahamu
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Mazungumzo: Ofisini kwa Mtawala
"Umoja wa Kitaifa"
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho
-kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu

Kuigiza mazungumzo rasmi
Kutumia lugha sanifu
Kuwasilisha maombi kwa viongozi
Kubainisha changamoto za kijamii
Kuchambua
Kusoma kwa zamu

Kuuliza maswali kuhusu uhalifu na matatizo ya kijamii
Kuigiza mazungumzo kati ya mwananchi na mtawala
Kujadili njia za kutoa taarifa kwa mamlaka
Kufanya mazungumzo kuhusu usalama wa kijiji
Kutatua matatizo kwa njia ya mazungumzo
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu
Vifaa vya uigizaji
Kadi za majukumu
Ubao mweusi
Chati za lugha za Kenya
Kamusi za Kiswahili
Majarida ya kilugha
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 43-44
3 4
Sarufi
Vielezi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kueleza aina za vielezi
Kutofautisha vielezi vya namna, wakati, idadi na mahali
Kutumia vielezi sahihi katika sentensi
Kutunga sentensi zenye vielezi

Kuuliza maswali ya ujumuishaji kuhusu vielezi
Kueleza aina mbalimbali za vielezi
Kufanya mazoezi ya kutambua vielezi
Kutunga sentensi mpya zenye vielezi
Kukamilisha mazoezi ya ukurasa

Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu
Jedwali la aina za vielezi
Kadi za mazoezi
Ubao mweusi
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 45-49
3 5
Kusoma kwa Mapana
Habari na Ripoti za Runinga na Redio
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kusoma habari kwa mapana
Kueleza sifa za habari za runinga na redio
Kutofautisha habari na ripoti
Kuchambua maudhui ya habari

Kuuliza maswali kuhusu vyombo vya habari
Kusoma habari za runinga na redio
Kujadili tofauti za habari za runinga, redio na magazeti
Kuchambua lugha inayotumiwa katika habari
Kuandika muhtasari wa habari

Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu
Makala za habari
Redio (ikiwa inapatikana)
Kanda za sauti
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 49-50
3 6
Kuandika
Fasihi Andishi
Utungaji wa Kiuamilifu: Hotuba
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kueleza muundo wa hotuba
Kutofautisha sehemu za hotuba
Kuandika hotuba kwa usahihi
Kutumia lugha mwafaka ya hotuba

Kuuliza maswali kuhusu hotuba wanayozifahamu
Kueleza sifa na muundo wa hotuba
Kuonyesha mifano ya hotuba
Kuandika hotuba kuhusu umoja wa kitaifa
Kutoa hotuba mbele ya darasa
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu
Mifano ya hotuba
Karatasi za kuandikia
Kalamu na penseli
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 50-51
3 7
SURA YA TISA

Kusikiliza na Kuzungumza
Soga na Mawaidha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kueleza sifa za soga
Kutofautisha soga na mawaidha
Kuigiza soga mbalimbali
Kutoa mawaidha kwa lugha mwafaka

Kuuliza maswali kuhusu fasihi simulizi
Kueleza sifa na dhima za soga
Kuigiza mifano ya soga
Kujadili umuhimu wa mawaidha
Kutoa mawaidha kuhusu maadili

Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu
Vifaa vya uigizaji
Kanda za sauti
Chati za fasihi simulizi
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 93-95
4 1
Kusoma kwa Ufahamu
Sarufi
Shairi: "Nyuki Nimekosani?"
Vinyume vya Vitenzi na Vitenzi katika Hali ya Kuamrisha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kusoma shairi kwa uelewa
Kueleza maudhui ya shairi
Kutambua ujumbe wa shairi
Kuchambua muundo wa shairi

Kuuliza maswali ya utayarishaji kuhusu ufugaji
Kusoma shairi kwa sauti pamoja
Kuchambua kila ubeti na ujumbe wake
Kujadili uhusiano wa binadamu na mazingira
Kujibu maswali ya kina kuhusu shairi
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu
Chati za uchambuzi wa shairi
Picha za ufugaji
Jedwali la vipengele vya shairi
Jedwali la vinyume
Kadi za mazoezi
Ubao mweusi
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 95-97
4 2-3
Kusoma kwa Kina
Kuandika
Fasihi Andishi
Maenezi ya Kiswahili
Utungaji wa Kiuamilifu: Ratiba
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kusoma historia ya Kiswahili kwa mapana
Kueleza mambo yaliyosaidia kuenea kwa Kiswahili
Kuchambua juhudi za kueneza Kiswahili
Kutambua vikwazo vya maenezi

Kueleza maana ya ratiba
Kutofautisha aina za ratiba
Kuandika ratiba kwa usahihi
Kutumia lugha mwafaka ya ratiba

Kuuliza maswali kuhusu historia ya lugha
Kusoma makala ya maenezi kwa uangalifu
Kujadili jukumu la biashara, dini na ukoloni
Kuchambua juhudi za serikali za kueneza Kiswahili
Kuandika muhtasari wa maenezi

Kuuliza maswali kuhusu aina za ratiba wanayozifahamu
Kueleza vipengele vya ratiba
Kuonyesha mifano ya ratiba mbalimbali
Kuandika ratiba ya sherehe za shule
Kusahihisha na kukarabati ratiba zao

Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu
Ramani ya maenezi
Vitabu vya ziada vya historia
Jedwali la takwimu
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu
Mifano ya ratiba
Karatasi za kuandikia
Jedwali la wakati
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 99-102
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 102-103
4 4
SUYA YA KUMI NA MBILI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma kwa Ufahamu
Majadiliano: Umoja wa Kitaifa
Mchezo wa Kuigiza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza umuhimu wa umoja wa kitaifa
- Kutambua mambo yanayoleta umoja katika taifa
- Kujadili jukumu la elimu katika kujenga umoja
- Kuchunguza nafasi ya lugha ya taifa katika kuunganisha watu
- Kuonyesha jinsi michezo inavyoleta umoja
- Mazungumzo ya ufunguzi kuhusu umoja wa kitaifa
- Kusikiliza mazungumzo baina ya Embogo na Ting'a
- Majadiliano ya vikundi kuhusu mambo yanayoleta umoja
- Kujadili umuhimu wa elimu ya umoja
- Kuchunguza jukumu la lugha ya Kiswahili
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu
- Vifaa vya kurekodi sauti
- Chati za majadiliano
- Karatasi za kazi ya vikundi
- Makaratasi ya maswali
- Chati za uchambuzi wa wahusika
- Kamusi ya Kiswahili
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 128-129
4 5
Sarufi
Kusoma kwa Mapana
Kuandika
Vishazi
Haki za Watoto
Utungaji wa Kiuamilifu: Wasifu, Tawasifu na Wasifukazi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kufafanua maana ya kishazi na aina zake
- Kutofautisha kati ya vishazi huru na tegemezi
- Kutambua vishazi katika sentensi mbalimbali
- Kutunga sentensi zenye vishazi vya aina mbalimbali
- Kuchunguza utendakazi wa vishazi katika sentensi
- Kurejea dhana ya sentensi na vipengele vyake
- Mwalimu afafanue aina za vishazi kwa mifano
- Wanafunzi wabainishe vishazi katika sentensi
- Zoezi la vitendo kutunga sentensi zenye vishazi
- Kazi ya vikundi kuchambua sentensi ngumu
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu
- Vipande vya sentensi kwa ajili ya uchambuzi
- Makaratasi ya mazoezi
- Chati za kurejelea sarufi
- Makala ya ziada kuhusu haki za watoto
- Karatasi za muhtasari
- Ramani ya Afrika Mashariki
- Mifano ya wasifu mbalimbali
- Vifungu vya matangazo ya kazi
- Karatasi za uandishi
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 132-133
4 6
Fasihi Andishi
Kusikiliza na Kuzungumza
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Methali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho
-kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu
Kuchambua
Kusoma kwa zamu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu
- Makusanyo ya methali za Kiswahili
- Chati za dhima za methali
- Karatasi za kukusanya methali
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
4 7
SURA YA KUMI NA TISA

Kusoma kwa Ufahamu
Sarufi
Kusoma kwa Kina
Visa na Ukweli
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendama na Kutendata
Riwaya
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kuelewa maudhui ya hadithi ya kesi
- Kuchunguza sababu za matukio yaliyotokea
- Kutambua wahusika na tabia zao
- Kufafanua msamiati mgumu katika hadithi
- Kutathmini mafunzo yanayojitokeza
- Kusoma kifungu kuhusu kesi ya Agnes kwa makini
- Kuchambua tabia za wahusika
- Majadiliano kuhusu sababu za mauaji
- Kujibu maswali ya ufahamu
- Kufafanua maneno magumu kutoka hadithi
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu
- Kamusi ya Kiswahili
- Makaratasi ya maswali
- Chati za uchambuzi wa wahusika
- Jedwali za kauli za vitenzi
- Makaratasi ya mazoezi
- Mifano ya vitenzi vya kauli hizi
- Nakala za riwaya teule
- Chati za uchambuzi wa fasihi
- Karatasi za uchambuzi
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 209-210
5 1
Kuandika
Utungaji wa Kisanii: Mashairi Huru
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza sifa za mashairi huru
- Kutofautisha mashairi huru na ya arudhi
- Kutunga mashairi huru kwa mada mbalimbali
- Kutumia lugha nzito na ya ufasaha
- Kuonyesha ubunifu katika utungaji
- Mwalimu aeleze sifa za mashairi huru
- Kuchanganua mifano ya mashairi huru
- Zoezi la kutunga mashairi huru kuhusu mada teule
- Kuonyesha mashairi yaliyotungwa kwa darasa
- Mapitio na marekebisho ya mashairi
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu
- Makusanyo ya mashairi huru
- Karatasi za utungaji
- Mifano ya mashairi ya kuvutia
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 211-212
5 2-3
SURA YA KUMI NA TISA
Fasihi Andishi
SURA YA ISHIRINI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma kwa Ufahamu
Fasihi andishi; Muktadha na usuli wa tamthilia
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Maghani
Urithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthiliaKufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia
- Kufafanua maana ya maghani na aina zake
- Kutambua tofauti kati ya maghani ya kawaida na masimulizi
- Kueleza umuhimu wa maghani katika jamii
- Kutoa mifano ya maghani kutoka jamii mbalimbali
- Kuchunguza maudhui na mafunzo ya maghani
Kusoma Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika
- Mazungumzo kuhusu maghani za kimapokeo
- Mwalimu aeleze aina za maghani
- Wanafunzi watoe mifano ya maghani
- Majadiliano kuhusu umuhimu wa maghani
- Kukusanya maghani kutoka jamii mbalimbali
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu
- Makusanyo ya maghani
- Vifaa vya kurekodi sauti
- Chati za aina za maghani
- Makaratasi ya maswali
- Chati za uchambuzi wa wahusika
- Mifano ya sheria za urithi
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 213-214
5 4
Sarufi
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendua na Kutenduka
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza dhana ya kauli za kutendua na kutenduka
- Kutofautisha kati ya kauli hizi mbili
- Kunyambua vitenzi katika kauli hizi
- Kutunga sentensi zenye vitenzi vya kauli hizi
- Kutambua matumizi ya kauli za kinyume
- Kurejea misingi ya kauli za vitenzi
- Mwalimu aeleze kauli za kutendua na kutenduka
- Wanafunzi wajaribu kunyambua vitenzi
- Zoezi la kutunga sentensi kwa kauli hizi
- Kazi ya vikundi kufanya mazoezi ya sarufi
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu
- Jedwali za kauli za vitenzi
- Makaratasi ya mazoezi
- Mifano ya vitenzi vya kinyume
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 215-216
5 5
Kusoma kwa Mapana
Maswala Ibuka
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kuelewa masuala ya haki za binadamu
- Kuchunguza haki za wafungwa
- Kutambua haki zilizomo katikba
- Kufafanua umuhimu wa utawala wa kisheria
- Kuandika ripoti kuhusu haki za wafungwa
- Kusoma makala kuhusu haki za binadamu
- Majadiliano kuhusu haki za wafungwa
- Kuchunguza maswala ya utawala
- Kuandika ripoti kuhusu haki za wafungwa
- Utafiti kuhusu katiba ya Kenya ya 2010
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu
- Nakala ya katiba ya Kenya
- Makala za magazeti
- Karatasi za utafiti
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 216-217
5 6
Kuandika
SURA YA ISHIRINI
Utungaji wa Kiuamilifu: Matangazo
Fasihi andishi; Muktadha na usuli wa tamthilia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza umuhimu wa matangazo
- Kutambua aina mbalimbali za matangazo
- Kutunga matangazo ya aina mbalimbali
- Kutumia lugha sahihi na ya kuvutia
- Kuandika matangazo ya nafasi za kazi
- Mwalimu aeleze aina za matangazo
- Kuchanganua mifano ya matangazo mbalimbali
- Zoezi la kutunga matangazo ya kazi
- Kuandika matangazo ya sherehe au hafla
- Mapitio na marekebisho ya matangazo
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu
- Mifano ya matangazo kutoka magazeti
- Karatasi za uandishi
- Kalamu na vifaa vya kuandikia
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 217-218
5 7
Fasihi Andishi
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma kwa Ufahamu
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Ngomezi - Mawasiliano kwa Ngoma
Mchezo wa Kuigiza: Tusikate Miti Ovyo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho
-kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu
Kuchambua
Kusoma kwa zamu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Ngoma au vifaa vya kuiga sauti
Vielelezo vya picha za sherehe
Kanda za sauti
Vielelezo vya mazingira
Picha za miti
Nakala za sheria za mazingira
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
6 1
SURA YA ISHIRINI NA MOJA

Sarufi
Sarufi
Mnyambuliko wa Vitenzi vya Silabi Moja
Mnyambuliko wa Vitenzi vyenye Asili ya Kigeni
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kueleza muundo wa vitenzi vya silabi moja
Kutambua kauli za vitenzi
Kuandika vitenzi katika kauli mbalimbali
Kutunga sentensi sahihi
Kufafanua tofauti kati ya kauli za vitenzi

Utangulizi kuhusu vitenzi vya silabi moja
Kueleza kauli ya kutenda na mifano
Kujifunza kauli ya kutendea na viishio vyake
Kusoma kauli ya kutendwa
Kujifunza kauli ya kutendana/kutendeana
Zoezi la kutunga sentensi kwa kila kauli
Kitabu cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Jedwali la kauli za vitenzi
Vielelezo vya miundo
Kadi za mazoezi
Jedwali la vitenzi
Kadi za mifano
Majaribio ya mazoezi
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu Uk. 223-226
6 2-3
Kuandika
SURA YA ISHIRINI NA MOJA
Fasihi Andishi
SURA YA ISHIRINI NA MBILI

Kusikiliza na Kuzungumza
Fasihi Andishi
Kusoma kwa Ufahamu
Utungaji wa Kiuamilifu: Ripoti
Fasihi andishi; Muktadha na usuli wa tamthilia
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Fasihi Simulizi: Hadithi ya Twiga na Mkufu wa Kima
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Taifa Bingwa Barani - 2004
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kueleza maana na umuhimu wa ripoti
Kutambua sehemu za ripoti
Kufafanua kanuni za kuandika ripoti
Kuandika ripoti sahihi
Kutumia lugha sahihi ya kirasmi

Kusikiliza hadithi kwa makini
Kueleza maudhui ya hadithi
Kutambua wahusika na sifa zao
Kufafanua ujumbe wa hadithi
Kujadili maadili yanayofundishwa
Kuigiza sehemu za hadithi

Mazungumzo kuhusu maana ya ripoti
Kujifunza muundo wa ripoti
Kusoma mfano wa ripoti
Kujadili mambo yanayopaswa kuzingatiwa
Zoezi la kuandika ripoti ya ziara
Kusahihisha ripoti zilizoandikwa

Kusikiliza hadithi ya Twiga na mkufu wa Kima
Mjadala kuhusu tabia za wahusika (Twiga, Kima, Mfalme Ndovu)
Kujadili sababu za shingo ya Twiga kuwa ndefu
Mazungumzo kuhusu maadili ya uaminifu na kuwajibika
Kuigiza sehemu za hadithi
Kujadili athari za kutotimiza ahadi
Kitabu cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Mifano ya ripoti
Fomu za kuandikia
Kalamu na karatasi
Kamusi ya Kiswahili
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Picha za wanyamapori
Vifaa vya kuigiza
Kanda za sauti za hadithi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Picha za michezo ya kabumbu
Ramani ya Afrika
Makala ya magazeti kuhusu michezo
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu Uk. 227-232
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu Uk. 233-235
6 4
SURA YA ISHIRINI NA MBILI

Fasihi Andishi
Sarufi
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Vivumishi vya Pekee na Matumizi yake
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho
-kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu
Kuchambua
Kusoma kwa zamu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Jedwali la vivumishi
Kadi za mifano
Majaribio ya mazoezi
Ubao mweupe
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
6 5
SURA YA ISHIRINI NA MBILI

Fasihi Andishi
Sarufi
Fasihi Andishi
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Mazoezi ya Sarufi Mchanganyiko
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho
-kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu
Kuchambua
Kusoma kwa zamu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Majaribio ya sarufi
Kadi za mazoezi
Ubao mweupe
Kalamu za rangi
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
6 6
SURA YA ISHIRINI NA MBILI

Kuandika
SURA YA ISHIRINI NA MBILI

Fasihi Andishi
Insha na Barua Mbalimbali
Fasihi andishi; Muktadha na usuli wa tamthilia
Insha na Barua Mbalimbali
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kuandika insha ya ulinganisho
Kuandika barua ya kuomba kazi
Kuandika barua ya kupongeza
Kutoa wasifu wa nchi
Kutumia lugha sahihi ya uandishi
Kuzingatia muundo sahihi wa barua

Kujadili aina za insha na barua
Kuandika insha ya kulinganisha maisha ya kale na ya leo
Zoezi la kuandika barua ya kuomba kazi
Kuandika barua ya kupongeza rafiki
Kutoa wasifu wa nchi ya kuzuru
Kusahihisha na kuboresha maandiko
Kitabu cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Mifano ya insha na barua
Karatasi za uandishi
Kalamu
Kamusi ya Kiswahili
Fomu za barua
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu Uk. 248-252
7-8

mtihani wa mwisho wa muhula wa 3 na shule kufungwa

9

shula kufungwa


Your Name Comes Here


Download

Feedback