If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | 6 |
Kisikiliza na kuongea
|
Hotuba
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo mwanfunzi kusikiliaza hotuba kasha kujibu maswali |
Malumbano
|
Kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 168-169
|
|
2 | 1 |
Kuandika
Fasihi Sarufi Kuandika |
mahojiano na dayolojia
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi Nyakati na hali marudio mahojiano na dayolojia |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua aina za mahojiano |
Kusoma
Kufupisha |
kitabu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 174
|
|
2 | 2 |
Fasihi
kusoma Kuandika Fasihi |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Ukimwi Barua meme NGUU ZA JADI na Clara Momanyi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Tamthilia kitabu |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
2 | 3-4 |
Fasihi
Fasihi andishi kuandika Fasihi Fasihi andishi kuandika Fasihi Fasihi andishi |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Utungaji wa kisanii NGUU ZA JADI na Clara Momanyi NGUU ZA JADI na Clara Momanyi Matangazo NGUU ZA JADI na Clara Momanyi NGUU ZA JADI na Clara Momanyi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
2 | 5 |
Sarufi
kuandika Fasihi Fasihi andishi |
Vitenzi
Ripoti NGUU ZA JADI na Clara Momanyi NGUU ZA JADI na Clara Momanyi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kukunga sentesni kwa kauli ya kutenda na kauli ya kutendea Mafano Mifano kwa sentesni La- kakangu hula mkate kila siku Kauli ya kutendwa Mifano kwa sentensi La-liwa- Pa-pewa |
Kusikiliza
kuzungumza |
Kitabu
kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 210-211
|
|
2 | 6 |
SURA YA 1
Kusikiliza na Kuzungumza Ufahamu Sarufi na Matumizi ya Lugha Sarufi na Matumizi ya Lugha |
Sifa za fasihi simulizi
Barua ya kirafiki - Kusoma na kuelewa Ngeli za nomino na upatanisho wa kisarufi - Nomino na vitenzi Upatanisho wa nomino na vivumishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufafanua fasihi simulizi -Kueleza sifa za fasihi simulizi -Kutambua vipengele vya utendaji -Kuchambua ushiriki wa hadhira |
-Maswali na majibu kuhusu ujuzi wa awali wa fasihi simulizi -Maonyesho ya utendaji wa fasihi simulizi (ngano/vitendawili) -Mjadala kuhusu wahusika na fomula za fasihi simulizi -Uchambuzi wa umiliki wa kijamii dhidi ya kibinafsi -Mazoezi ya fomula: "Kitendawili! Tega!" |
-Hadithi za jadi
-Kumbukumbu za sauti za fasihi simulizi -Chati za sifa za fasihi simulizi -Vitendawili vya jadi -Nafasi ya maonyesho -Maandishi ya barua ya mfano -Karatasi za maswali ya ufahamu -Kamusi za Kiswahili -Jedwali la uchambuzi wa lugha -Chati za ngeli za nomino -Jedwali la viambishi vya upatanisho -Karatasi za mazoezi ya kisarufi -Sentensi za mfano -Vielelezo vya ngeli -Vitu vya darasani vya kuonyesha -Chati za vivumishi -Jedwali za upatanisho -Karatasi za mazoezi -Vifaa vya wanafunzi |
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 1-2
|
|
3 |
MITIHANI AWAMU YA KWANZA |
|||||||
4 | 1 |
Kusoma kwa Mapana na Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza Ufahamu Sarufi na Matumizi ya Lugha |
Kusoma kwa mapana na barua ya kirafiki
Tofauti na mfanano wa fasihi andishi na fasihi simulizi Kutegea kazi - Shairi la kisasa Upatanisho wa kisarufi - Vivumishi visisitizi na vya pekee |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza umuhimu wa kusoma kwa mapana -Kujifunza mikakati ya kusoma -Kutambua sehemu za barua ya kirafiki -Kuandika barua ya kirafiki kwa muundo sahihi |
-Mjadala kuhusu faida za kusoma kwa mapana -Mazoezi ya kusoma haraka vyanzo mbalimbali -Uchambuzi wa muundo wa barua ya kirafiki -Mazoezi ya kuandika barua ya kirafiki -Hariri ya barua zilizoandikwa na wanafunzi |
-Magazeti na vitabu mbalimbali
-Saa ya kupima kasi ya kusoma -Mifano ya barua za kirafiki -Karatasi za kuandikia -Chati za muundo wa barua -Chati za kulinganisha -Mifano ya fasihi andishi -Mifano ya fasihi simulizi -Jedwali za tofauti -Vielelezo vya fasihi -Nakala za shairi -Maswali ya ufahamu -Kamusi za Kiswahili -Chati za uchambuzi -Vielelezo vya maudhui -Chati za vivumishi -Jedwali za upatanisho -Karatasi za mazoezi -Mifano ya sentensi -Vielelezo vya kisarufi |
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 8-9
|
|
4 | 2 |
SURA YA 2
Kusoma kwa Kina Kuandika |
Tanzu za fasihi andishi
Barua rasmi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua tanzu za fasihi andishi -Kufahamu sifa za ushairi, hadithi na tamthilia -Kutofautisha riwaya na hadithi fupi -Kuchambua muundo wa kila utanzu |
-Maelezo ya tanzu za fasihi andishi -Uchambuzi wa sifa za ushairi (arudhi na huru) -Kulinganisha riwaya na hadithi fupi -Utambuzi wa sifa za tamthilia -Mazoezi ya kutambua tanzu mbalimbali |
-Mifano ya mashairi
-Hadithi fupi -Vipande vya tamthilia -Chati za tanzu -Jedwali za sifa -Mifano ya barua rasmi -Chati za muundo -Karatasi za kuandikia -Vielelezo vya sehemu -Jedwali za vyeo |
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 17-19
|
|
4 | 3-4 |
SURA YA 3
Kusikiliza na Kuzungumza Ufupisho Sarufi na Matumizi ya Lugha Kusoma kwa Kina |
Isimujamii: Lugha ya itifaki
Sarufi ya lugha Aina za maneno: Nomino Maudhui katika fasihi andishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza lugha ya itifaki -Kutambua mazingira ya matumizi -Kufahamu sifa za lugha ya itifaki -Kutumia lugha ya itifaki ipasavyo -Kutambua aina za nomino -Kutofautisha nomino za jamii, pekee na kawaida -Kufahamu nomino dhahania na za wingi -Kutumia nomino ipasavyo katika sentensi |
-Maelezo ya lugha ya itifaki -Mifano ya mazingira ya matumizi -Mchezo wa kigiza wa mazungumzo ya kiubalozi -Uchambuzi wa sifa za lugha ya itifaki -Mazoezi ya kuandika taarifa za kiubalozi -Maelezo ya aina za nomino -Mifano ya nomino za jamii na pekee -Kutofautisha nomino dhahania na halisi -Mazoezi ya kutambua aina za nomino -Kutunga sentensi kwa nomino mbalimbali |
-Vielelezo vya mazungumzo
-Chati za sifa -Mifano ya lugha ya itifaki -Video za mikutano ya kimataifa -Jedwali za istilahi -Taarifa ya msingi -Chati za tanzu za sarufi -Karatasi za mazoezi -Jedwali za ufupisho -Vielelezo vya dhima -Chati za aina za nomino -Mifano ya nomino -Jedwali za utofautisho -Karatasi za mazoezi -Vielelezo vya nomino -Vipande vya fasihi -Chati za maudhui -Jedwali za vipengele -Karatasi za uchambuzi -Vielelezo vya dhamira |
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 21-22
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 23-25 |
|
4 | 5 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Tahakiki
Methali na misemo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufahamu maana ya tahakiki -Kujifunza hatua za uhakiki -Kutambua vipengele vya kuhakiki -Kuandika tahakiki ya kina |
-Maelezo ya tahakiki na umuhimu wake -Hatua za kuhakiki kazi ya fasihi -Uchambuzi wa fani na maudhui -Mazoezi ya kuandika tahakiki fupi -Hariri ya tahakiki zilizoandikwa |
-Mifano ya tahakiki
-Chati za hatua -Vipande vya fasihi -Karatasi za kuandikia -Jedwali za vipengele -Mkusanyo wa methali -Chati za sifa -Mifano ya misemo -Jedwali za umuhimu -Vielelezo vya matumizi |
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 27-29
|
|
4 | 6 |
SURA YA 4
Sarufi na Matumizi ya Lugha Kusoma kwa Kina |
Aina za maneno: Viwakilishi
Mashairi huru |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufahamu viwakilishi vya nafsi -Kutambua viwakilishi vionyeshi na viulizi -Kutumia viwakilishi vimilikishi -Kufahamu viwakilishi vya pekee na idadi |
-Maelezo ya viwakilishi vya nafsi (huru na ambata) -Mazoezi ya viwakilishi vionyeshi -Utambuzi wa viwakilishi viulizi (-pi, -ngapi, gani) -Matumizi ya viwakilishi vimilikishi -Mazoezi ya viwakilishi vya pekee |
-Chati za viwakilishi
-Jedwali za upatanisho -Karatasi za mazoezi -Mifano ya sentensi -Vielelezo vya ngeli -Shairi la "Wasia" -Chati za muundo -Jedwali za sifa -Vielelezo vya mtindo -Karatasi za uchambuzi |
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 36-42
|
|
5 | 1 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Insha ya methali
Isimujamii: Sajili ya bunge |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufahamu muundo wa insha ya methali -Kujifunza jinsi ya kudhihirisha ukweli wa methali -Kuandika kisa kinachobainisha methali -Kutoa mafunzo kutokana na methali |
-Maelezo ya muundo wa insha ya methali -Uchambuzi wa maana ya nje na ndani ya methali -Mazoezi ya kuandika makala fupi -Kutunga visa vinavyobainisha methali -Hariri ya insha zilizoandikwa |
-Mifano ya insha za methali
-Chati za muundo -Mkusanyo wa methali -Karatasi za kuandikia -Jedwali za mafunzo -Video za bunge -Chati za sifa -Mifano ya mazungumzo -Jedwali za istilahi -Vielelezo vya utaratibu |
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 45-46
|
|
5 | 2 |
SURA YA 5
Sarufi na Matumizi ya Lugha Kusoma kwa Kina |
Aina za maneno: Vivumishi
Muundo na mtindo katika mashairi ya arudhi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufahamu maana ya vivumishi -Kutambua aina za vivumishi -Kutumia vivumishi vimilikishi na vya sifa -Kufahamu vivumishi viulizi |
-Maelezo ya vivumishi na dhima zake -Uchambuzi wa vivumishi vimilikishi -Mazoezi ya vivumishi vya sifa -Matumizi ya vivumishi viulizi (gani, -pi, -ngapi) -Kukamilisha jedwali za upatanisho |
-Chati za vivumishi
-Jedwali za upatanisho -Karatasi za mazoezi -Mifano ya sentensi -Vielelezo vya ngeli -Mifano ya mashairi ya arudhi -Chati za muundo -Jedwali za mizani -Vielelezo vya vina -Karatasi za uchambuzi |
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 51-54
|
|
5 | 3-4 |
Kuandika
Sarufi na Matumizi ya Lugha SURA YA 6 Kuandika Kuandika |
Utungaji wa kisanii - Mashairi ya arudhi
Vitenzi: Aina za vitenzi Utungaji wa kisanii: Uandishi wa ushairi huru |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kujifunza kutunga mashairi ya arudhi -Kutumia vina na mizani sahihi -Kuandika beti zenye utoshelevu -Kutumia lugha ya kishairi -Kujifunza kutunga mashairi huru -Kutumia lugha ya kishairi -Kuandika mashairi bila vikwazo vya arudhi -Kutumia tamathali za usemi |
-Maelezo ya hatua za utungaji -Mazoezi ya kutunga beti fupi -Kutumia vina na mizani ipasavyo -Utungaji wa mashairi kuhusu mada mbalimbali -Hariri ya mashairi yaliyotungwa -Hatua za kutunga mashairi huru -Mazoezi ya kutumia lugha ya mkato -Kujenga taswira na picha za kiakili -Utungaji wa mashairi kuhusu mada mbalimbali -Hariri ya mashairi yaliyotungwa |
-Mifano ya mashairi
-Chati za vina -Jedwali za mizani -Karatasi za kuandikia -Vielelezo vya utungaji -Chati za aina za vitenzi -Jedwali za tofauti -Karatasi za mazoezi -Mifano ya sentensi -Vielelezo vya matumizi -Mifano ya mashairi huru -Chati za hatua -Jedwali za tamathali -Karatasi za kuandikia -Vielelezo vya mtindo |
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 56
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 69-70 |
|
5 | 5 |
SURA YA 7
Ufupisho Sarufi na Matumizi ya Lugha |
Heshima kwa wakuu
Vitenzi: Mzizi na viambishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma na kuelewa taarifa kuhusu heshima -Kufupisha kwa usahihi -Kutambua vitambulisho vya ukubwa -Kulinganisha vijana wa sasa na wa kale |
-Kusoma taarifa "Heshima kwa wakuu" -Kufupisha vitambulisho vya ukubwa (maneno 50) -Uchambuzi wa tofauti za vijana wa sasa na kale -Mjadala kuhusu umuhimu wa heshima -Mazoezi ya kufupisha vifungu mbalimbali |
-Nakala za taarifa
-Chati za ufupisho -Jedwali za vitambulisho -Karatasi za mazoezi -Vielelezo vya heshima -Chati za viambishi -Jedwali za nafsi -Mifano ya vitenzi -Vielelezo vya mzizi |
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 74-76
|
|
5 | 6 |
Kusoma kwa Kina
Kuandika |
Tamathali za usemi I
Mahojiano |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufahamu tamathali za usemi -Kutambua sifa za tamathali -Kueleza umuhimu wa tamathali -Kuchambua mbinu za lugha |
-Maelezo ya tamathali za usemi na sifa zake -Kutambua tashibihi na sitiari -Uchambuzi wa jazanda na tashihisi -Mazoezi ya kutambua tamathali mbalimbali -Kutunga mifano ya tamathali za usemi |
-Mifano ya tamathali
-Chati za mbinu -Jedwali za sifa -Vipande vya fasihi -Karatasi za uchambuzi -Mifano ya mahojiano -Chati za mtindo -Karatasi za kuandikia -Vielelezo vya muundo |
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 79-83
|
|
6 | 1 |
SURA YA 8
Kusikiliza na Kuzungumza Sarufi na Matumizi ya Lugha Kusoma kwa Kina Kuandika |
Soga na malumbano ya utani
Mnyambuliko wa vitenzi I - Kauli za kutenda, kutendwa na kutendea Tamathali za usemi II - Mbinu za sanaa Uandishi wa tahariri |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufafanua dhana ya soga na malumbano ya utani -Kueleza sifa za soga na malumbano ya utani -Kupambanua dhima za soga na utani katika jamii |
-Maswali na majibu kuhusu ujuzi wa awali wa soga -Mjadala kuhusu maana na sifa za soga -Maelezo ya malumbano ya utani na sifa zake -Mifano ya utani kutoka jamii mbalimbali -Uchambuzi wa dhima za soga na utani katika jamii |
-Maandishi ya mifano ya soga
-Jedwali la sifa za soga na utani -Chati za faida za fasihi simulizi -Ramani za jamii zinazotanana -Vielelezo vya aina za fasihi simulizi -Chati za kauli za vitenzi -Jedwali la viambishi vya upatanisho -Karatasi za mazoezi ya kisarufi -Sentensi za mfano -Vielelezo vya mnyambuliko -Vitabu vya fasihi andishi -Jedwali la mbinu za sanaa -Mifano kutoka kazi teule -Chati za tamathali za usemi -Orodha ya mbinu na maelezo yake -Nakala za tahariri kutoka magazeti -Chati za muundo wa tahariri -Jedwali la hatua za kuandika tahariri -Karatasi za kuandikia -Kalamu na vifaa vya uandishi |
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 84-86
|
|
6 | 2 |
SURA YA 9
Sarufi na Matumizi ya Lugha Kusoma kwa Kina Kuandika Marudio - Insha |
Mnyambuliko wa vitenzi II - Vitenzi vya kigeni na silabi moja
Muundo na mtindo katika fasihi andishi Utafiti wa kazi za fasihi simulizi Insha ya lazima na aina za insha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza mnyambuliko wa vitenzi vya kigeni -Kutambua vitenzi vya silabi ya konsonanti moja -Kuunda kauli mbalimbali za vitenzi hivi -Kutumia kanuni za mnyambuliko wa vitenzi vya aina hizi |
-Maelezo ya kisarufi ya vitenzi vya kigeni -Mifano ya vitenzi vya silabi moja kama l-a, ch-a, f-a -Mazoezi ya kubadilisha vitenzi katika kauli mbalimbali -Jedwali za viambishi vya vitenzi vya kigeni -Mazoezi ya kutunga sentensi sahihi |
-Chati za vitenzi vya kigeni
-Jedwali la vitenzi vya silabi moja -Karatasi za mazoezi ya kisarufi -Sentensi za mfano -Vielelezo vya mnyambuliko -Vitabu vya fasihi andishi -Jedwali la vipengele vya muundo -Chati za aina za msuko -Mifano kutoka kazi teule -Orodha ya vipengele vya mtindo -Fomu za hojaji -Vifaa vya kurekodi sauti -Jedwali la njia za utafiti -Mifano ya ripoti za utafiti -Karatasi za kuandikia utafiti -Mifano ya insha bora -Jedwali la muundo wa insha -Orodha ya methali na maana zake -Karatasi za kuandikia -Chati za lugha sanifu |
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 98-102
|
|
6 | 3-4 |
SURA YA 10
Marudio - Ufahamu Marudio - Ufupisho Marudio - Sarufi Marudio - Fasihi Fasihi Andishi Ufupisho Sarufi na Matumizi ya Lugha Kusoma kwa Kina |
Kusoma na kuelewa - Mila na utamaduni
Ufupisho wa maandishi - Utandawazi Matumizi ya lugha - Ngeli, viambishi na vikwaruzo Fasihi simulizi na andishi - Uchambuzi mkuu NGUU ZA JADI na Clara Momanyi Stadi za ufupisho wa maandishi Aina za maneno - Vielezi Mashairi ya arudhi - Maudhui na mafunzo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuimarisha stadi za kusoma kwa ufahamu -Kuchambua maudhui ya kifungu cha "Mwacha mila ni mtumwa" -Kueleza maana za maneno na misemo katika muktadha -kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
-Kusoma kimya kifungu kuhusu mila na utamaduni -Maswali ya ufahamu yaliyoongozwa kuhusu mila -Mjadala wa umuhimu wa mila na changamoto zake -Uchambuzi wa hoja za mwandishi kuhusu mazishi -Mazoezi ya kufafanua maneno na methali Kuchambua Kusoma kwa zamu |
-Maandishi ya kifungu cha "Mwacha mila ni mtumwa"
-Karatasi za maswali ya ufahamu -Kamusi za Kiswahili -Jedwali la uchambuzi wa hoja -Chati za mila na desturi -Kifungu cha maandishi kuhusu utandawazi -Jedwali la hatua za ufupisho -Karatasi za kuandikia ufupisho -Mifano ya ufupisho mzuri -Kipimo cha maneno -Chati za ngeli za nomino -Jedwali la mnyambuliko wa vitenzi -Karatasi za mazoezi ya kisarufi -Mifano ya sentensi sahihi -Vielelezo vya vikwaruzo -Shairi "Hajifichi mnafiki" na uchambuzi wake -Vitabu teule vya fasihi andishi -Jedwali la sifa za fasihi simulizi -Karatasi za maswali ya fasihi -Mifano ya majibu mazuri ya fasihi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu -Vifungu vya maandishi vya ufupisho -Jedwali la hatua za ufupisho -Karatasi za kuandikia ufupisho -Mifano ya ufupisho mzuri -Kipimo cha maneno -Chati za aina za vielezi -Jedwali la mifano ya vielezi -Karatasi za mazoezi ya kisarufi -Sentensi za mfano -Vielelezo vya matumizi ya vielezi -Mikusanyo ya mashairi ya arudhi -Jedwali la uchambuzi wa mashairi -Chati za maudhui ya mashairi -Kamusi za Kiswahili -Vielelezo vya muundo wa shairi |
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 108-110
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi |
|
6 | 5 |
SURA YA 11
Kuandika Sarufi na Matumizi ya Lugha Kusoma kwa Mapana Kuandika |
Memo, baruameme na ujumbe wa rununu
Uundaji wa maneno - Njia za kuunda maneno Changamoto zinazoikabili lugha ya Kiswahili Insha za masimulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufafanua muundo wa memo na umuhimu wake -Kuandika baruameme kwa muundo sahihi -Kutuma ujumbe wa rununu kwa lugha sanifu |
-Maelezo ya muundo wa memo na matumizi yake -Mifano ya memo rasmi na isiyo rasmi -Mazoezi ya kuandika baruameme kwa makusudi mbalimbali -Mafunzo ya kutuma ujumbe wa rununu wa haraka -Tathmini ya maandishi yaliyoandikwa na wanafunzi |
-Mifano ya memo kutoka ofisi
-Kompyuta au simu za kuandikia baruameme -Fomu za kuandikia memo -Jedwali la muundo wa memo -Mifano ya ujumbe wa rununu -Chati za njia za uundaji wa maneno -Jedwali la mifano ya maneno yaliyoundwa -Karatasi za mazoezi ya kisarufi -Kamusi za Kiswahili -Vielelezo vya mchakato wa uundaji -Maandishi kuhusu changamoto za Kiswahili -Magazeti na makala za Kiswahili -Jedwali la changamoto na suluhisho -Takwimu za matumizi ya Kiswahili -Chati za mikakati ya kukuza lugha -Mifano ya insha za masimulizi -Jedwali la muundo wa insha -Karatasi za kuandikia insha -Chati za lugha ya kisanii -Vifaa vya uhariri wa insha |
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 128-130
|
|
6 | 6 |
SURA YA 13
Sarufi na Matumizi ya Lugha Kusoma kwa Mapana Kuandika Sarufi na Matumizi ya Lugha |
Mwingiliano wa aina za maneno
Wajibu wa Kiswahili kitaifa na kimataifa Kumbukumbu za mikutano Nyakati, hali na ukanushaji wake |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza jinsi aina za maneno zinavyobadilika -Kutambua nomino zinapokuwa vivumishi na viwakilishi -Kuunda sentensi sahihi zenye mwingiliano wa maneno |
-Maelezo ya kisarufi ya mwingiliano wa aina za maneno -Mifano ya nomino zinazokuwa vivumishi: mtu-mzuri -Uchambuzi wa vivumishi vinavyokuwa viwakilishi -Mazoezi ya vitenzi vinavyokuwa nomino -Mazoezi ya kutunga sentensi zenye mwingiliano |
-Chati za mwingiliano wa maneno
-Jedwali la mifano ya mabadiliko -Karatasi za mazoezi ya kisarufi -Sentensi za mfano -Vielelezo vya aina za maneno -Maandishi kuhusu wajibu wa Kiswahili -Ramani za matumizi ya Kiswahili -Takwimu za wasemaji wa Kiswahili -Jedwali la jukumu la Kiswahili -Chati za mikakati ya kukuza lugha -Mifano ya kumbukumbu za mikutano -Fomu za kuandikia kumbukumbu -Jedwali la muundo wa kumbukumbu -Karatasi za kuandikia -Vifaa vya katibu wa mkutano -Chati za nyakati na hali za vitenzi -Jedwali la viambishi vya ukanushaji -Vielelezo vya mnyambuliko wa vitenzi |
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 146-148
|
|
7-9 |
BUNAMFAN JOINT EXAM |
|||||||
10 | 1 |
SURA YA 14
Kusoma kwa Mapana Kuandika |
Historia ya lugha - Mikakati ya kuimarisha Kiswahili
Hotuba - Muundo na uandishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua historia ya maendeleo ya Kiswahili -Kueleza mikakati ya kuimarisha Kiswahili -Kujadili changamoto za kukuza Kiswahili |
-Kusoma haraka maandishi kuhusu historia ya Kiswahili -Mjadala kuhusu chanzo na maendeleo ya Kiswahili -Uchambuzi wa mikakati ya kuimarisha lugha -Mazungumzo kuhusu jukumu la kila mtu kukuza Kiswahili -Mazoezi ya kutoa mapendekezo ya kueneza lugha |
-Maandishi kuhusu historia ya Kiswahili
-Ramani ya maendeleo ya lugha -Jedwali la mikakati ya kukuza lugha -Takwimu za matumizi ya Kiswahili -Chati za changamoto na suluhisho -Mifano ya hotuba za viongozi -Jedwali la muundo wa hotuba -Karatasi za kuandikia hotuba -Chati za lugha ya hotuba -Vifaa vya mazoezi ya hotuba |
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 158-160
|
Your Name Comes Here