If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 |
Opener Exams |
|||||||
2 | 1 |
SURA YA KUMI NA TISA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma kwa Ufahamu |
Methali
Visa na Ukweli |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kufafanua maana ya methali na umuhimu wake - Kutambua sifa za methali za Kiswahili - Kueleza dhima za methali katika jamii - Kutoa mifano ya methali mbalimbali - Kuchunguza tamathali za lugha katika methali |
- Mazungumzo kuhusu methali za kimapokeo
- Mwalimu aeleze sifa za methali - Wanafunzi watoe mifano ya methali - Majadiliano kuhusu dhima za methali - Kukusanya methali kutoka jamii mbalimbali |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Makusanyo ya methali za Kiswahili - Chati za dhima za methali - Karatasi za kukusanya methali - Kamusi ya Kiswahili - Makaratasi ya maswali - Chati za uchambuzi wa wahusika |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 207-209
|
|
2 | 2 |
Sarufi
Kusoma kwa Kina |
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendama na Kutendata
Riwaya |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya kauli za kutendama na kutendata - Kutofautisha kati ya kauli hizi mbili - Kunyambua vitenzi katika kauli hizi - Kutunga sentensi kwa kutumia vitenzi vyenye kauli hizi - Kutambua matumizi ya kauli hizi |
- Kurejea misingi ya kauli za vitenzi
- Mwalimu aeleze kauli za kutendama na kutendata - Wanafunzi wajaribu kunyambua vitenzi - Zoezi la kutunga sentensi kwa kauli hizi - Kazi ya vikundi kufanya mazoezi ya sarufi |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Jedwali za kauli za vitenzi - Makaratasi ya mazoezi - Mifano ya vitenzi vya kauli hizi - Nakala za riwaya teule - Chati za uchambuzi wa fasihi - Karatasi za uchambuzi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 210-211
|
|
2 | 3 |
Kuandika
|
Utungaji wa Kisanii: Mashairi Huru
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza sifa za mashairi huru - Kutofautisha mashairi huru na ya arudhi - Kutunga mashairi huru kwa mada mbalimbali - Kutumia lugha nzito na ya ufasaha - Kuonyesha ubunifu katika utungaji |
- Mwalimu aeleze sifa za mashairi huru
- Kuchanganua mifano ya mashairi huru - Zoezi la kutunga mashairi huru kuhusu mada teule - Kuonyesha mashairi yaliyotungwa kwa darasa - Mapitio na marekebisho ya mashairi |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Makusanyo ya mashairi huru - Karatasi za utungaji - Mifano ya mashairi ya kuvutia |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 211-212
|
|
2 | 3-4 |
Kuandika
SURA YA KUMI NA TISA |
Utungaji wa Kisanii: Mashairi Huru
Fasihi andishi; Muktadha na usuli wa tamthilia |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza sifa za mashairi huru - Kutofautisha mashairi huru na ya arudhi - Kutunga mashairi huru kwa mada mbalimbali - Kutumia lugha nzito na ya ufasaha - Kuonyesha ubunifu katika utungaji Kueleza maana ya tamthiliaKufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
- Mwalimu aeleze sifa za mashairi huru
- Kuchanganua mifano ya mashairi huru - Zoezi la kutunga mashairi huru kuhusu mada teule - Kuonyesha mashairi yaliyotungwa kwa darasa - Mapitio na marekebisho ya mashairi Kusoma Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Makusanyo ya mashairi huru - Karatasi za utungaji - Mifano ya mashairi ya kuvutia Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 211-212
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
|
2 | 5 |
Fasihi Andishi
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
2 | 6 |
SURA YA ISHIRINI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Maghani
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kufafanua maana ya maghani na aina zake - Kutambua tofauti kati ya maghani ya kawaida na masimulizi - Kueleza umuhimu wa maghani katika jamii - Kutoa mifano ya maghani kutoka jamii mbalimbali - Kuchunguza maudhui na mafunzo ya maghani |
- Mazungumzo kuhusu maghani za kimapokeo
- Mwalimu aeleze aina za maghani - Wanafunzi watoe mifano ya maghani - Majadiliano kuhusu umuhimu wa maghani - Kukusanya maghani kutoka jamii mbalimbali |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Makusanyo ya maghani - Vifaa vya kurekodi sauti - Chati za aina za maghani |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 213-214
|
|
3 | 1 |
Kusoma kwa Ufahamu
|
Urithi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kuelewa maudhui ya hadithi kuhusu urithi - Kuchunguza changamoto za ugawaji wa urithi - Kutambua wahusika na tabia zao - Kufafanua athari za ubinafsi katika ugawaji wa mali - Kutathmini mafunzo yanayojitokeza |
- Kusoma kifungu kuhusu familia ya Zakaria
- Kuchambua changamoto za ugawaji wa mali - Majadiliano kuhusu tabia za jamaa - Kujibu maswali ya ufahamu - Kujadili umuhimu wa haki za watoto |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Makaratasi ya maswali - Chati za uchambuzi wa wahusika - Mifano ya sheria za urithi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 214-215
|
|
3 | 2 |
Sarufi
|
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendua na Kutenduka
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza dhana ya kauli za kutendua na kutenduka - Kutofautisha kati ya kauli hizi mbili - Kunyambua vitenzi katika kauli hizi - Kutunga sentensi zenye vitenzi vya kauli hizi - Kutambua matumizi ya kauli za kinyume |
- Kurejea misingi ya kauli za vitenzi
- Mwalimu aeleze kauli za kutendua na kutenduka - Wanafunzi wajaribu kunyambua vitenzi - Zoezi la kutunga sentensi kwa kauli hizi - Kazi ya vikundi kufanya mazoezi ya sarufi |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Jedwali za kauli za vitenzi - Makaratasi ya mazoezi - Mifano ya vitenzi vya kinyume |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 215-216
|
|
3 | 3-4 |
Sarufi
Kusoma kwa Mapana |
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendua na Kutenduka
Maswala Ibuka |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza dhana ya kauli za kutendua na kutenduka - Kutofautisha kati ya kauli hizi mbili - Kunyambua vitenzi katika kauli hizi - Kutunga sentensi zenye vitenzi vya kauli hizi - Kutambua matumizi ya kauli za kinyume - Kuelewa masuala ya haki za binadamu - Kuchunguza haki za wafungwa - Kutambua haki zilizomo katikba - Kufafanua umuhimu wa utawala wa kisheria - Kuandika ripoti kuhusu haki za wafungwa |
- Kurejea misingi ya kauli za vitenzi
- Mwalimu aeleze kauli za kutendua na kutenduka - Wanafunzi wajaribu kunyambua vitenzi - Zoezi la kutunga sentensi kwa kauli hizi - Kazi ya vikundi kufanya mazoezi ya sarufi - Kusoma makala kuhusu haki za binadamu - Majadiliano kuhusu haki za wafungwa - Kuchunguza maswala ya utawala - Kuandika ripoti kuhusu haki za wafungwa - Utafiti kuhusu katiba ya Kenya ya 2010 |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Jedwali za kauli za vitenzi - Makaratasi ya mazoezi - Mifano ya vitenzi vya kinyume - Kitabu Cha Mwanafunzi - Mwongozo wa Mwalimu - Nakala ya katiba ya Kenya - Makala za magazeti - Karatasi za utafiti |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 215-216
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 216-217 |
|
3 | 5 |
Kuandika
|
Utungaji wa Kiuamilifu: Matangazo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza umuhimu wa matangazo - Kutambua aina mbalimbali za matangazo - Kutunga matangazo ya aina mbalimbali - Kutumia lugha sahihi na ya kuvutia - Kuandika matangazo ya nafasi za kazi |
- Mwalimu aeleze aina za matangazo
- Kuchanganua mifano ya matangazo mbalimbali - Zoezi la kutunga matangazo ya kazi - Kuandika matangazo ya sherehe au hafla - Mapitio na marekebisho ya matangazo |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Mifano ya matangazo kutoka magazeti - Karatasi za uandishi - Kalamu na vifaa vya kuandikia |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 217-218
|
|
3 | 6 |
SURA YA ISHIRINI
Fasihi Andishi |
Fasihi andishi; Muktadha na usuli wa tamthilia
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthiliaKufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika
|
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
4 | 1 |
SURA YA ISHIRINI NA MOJA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Ngomezi - Mawasiliano kwa Ngoma
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya ngomezi Kutaja matukio yanayohusiana na ngomezi Kufafanua sifa za ngomezi Kuigiza baadhi ya ngomezi Kueleza dhima za ngomezi katika jamii |
Mazungumzo ya utangulizi kuhusu njia za mawasiliano ya kiasili Kusikiliza maelezo kuhusu aina za ngomezi (kifo, mavuno, mwaka mpya, mwezi kupatwa) Mjadala wa vikundi kuhusu matukio yanayohusiana na ngomezi Kuigiza ngomezi za kutangaza kifo na kusherehekea mavuno Mazungumzo kuhusu dhima za ngomezi katika jamii |
Kitabu cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Ngoma au vifaa vya kuiga sauti Vielelezo vya picha za sherehe Kanda za sauti |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu Uk. 219-221
|
|
4 | 2 |
Kusoma kwa Ufahamu
Sarufi |
Mchezo wa Kuigiza: Tusikate Miti Ovyo
Mnyambuliko wa Vitenzi vya Silabi Moja |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma mchezo kwa sauti na mkazo sahihi Kueleza maudhui ya mchezo Kutambua wahusika na sifa zao Kufafanua ujumbe wa mchezo Kujibu maswali kuhusu mchezo |
Usomaji wa haraka wa mchezo kwa kimya Kusoma mchezo kwa sauti kwa kuzingatia wahusika Mjadala kuhusu tabia za wahusika Kujadili mada kuu ya uhifadhi wa mazingira Kujibu maswali ya ufahamu Kueleza maana ya misemo katika mchezo |
Kitabu cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Vielelezo vya mazingira Picha za miti Nakala za sheria za mazingira Jedwali la kauli za vitenzi Vielelezo vya miundo Kadi za mazoezi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu Uk. 221-223
|
|
4 | 3-4 |
Sarufi
Kuandika SURA YA ISHIRINI NA MOJA |
Mnyambuliko wa Vitenzi vyenye Asili ya Kigeni
Utungaji wa Kiuamilifu: Ripoti Fasihi andishi; Muktadha na usuli wa tamthilia |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua vitenzi vyenye asili ya kigeni Kueleza jinsi vitenzi hivi vinavyonyambulika Kuandika vitenzi katika kauli mbalimbali Kukamilisha majaribio ya vitenzi Kutunga sentensi sahihi Kueleza maana ya tamthiliaKufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Utangulizi wa vitenzi vyenye asili ya kigeni Kujifunza mifano ya vitenzi hivi Kukamilisha jedwali la kauli za vitenzi Zoezi la kutambua kauli tofauti Mazoezi ya kutunga sentensi Kufanya majaribio mengine ya vitenzi Kusoma Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Jedwali la vitenzi Kadi za mifano Majaribio ya mazoezi Mifano ya ripoti Fomu za kuandikia Kalamu na karatasi Kamusi ya Kiswahili Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu Uk. 226-227
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
|
4 | 5 |
Fasihi Andishi
Kusikiliza na Kuzungumza |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Fasihi Simulizi: Hadithi ya Twiga na Mkufu wa Kima |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Picha za wanyamapori Vifaa vya kuigiza Kanda za sauti za hadithi |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
4 | 6 |
SURA YA ISHIRINI NA MBILI
Fasihi Andishi Kusoma kwa Ufahamu |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Taifa Bingwa Barani - 2004 |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Picha za michezo ya kabumbu Ramani ya Afrika Makala ya magazeti kuhusu michezo |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
5 | 1 |
SURA YA ISHIRINI NA MBILI
Fasihi Andishi |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
5 | 2 |
SURA YA ISHIRINI NA MBILI
Sarufi Fasihi Andishi |
Vivumishi vya Pekee na Matumizi yake
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya vivumishi vya pekee Kutambua aina za vivumishi vya pekee Kutumia vivumishi sahihi katika sentensi Kufafanua tofauti kati ya vivumishi Kutunga sentensi kwa kutumia vivumishi |
Utangulizi kuhusu vivumishi vya pekee Kujifunza aina za vivumishi: -enye, -ote, -ingine, -enyewe Mazoezi ya kutambua vivumishi katika sentensi Zoezi la kutunga sentensi kwa kutumia vivumishi Kujadili tofauti kati ya vivumishi mbalimbali Mazoezi ya kubadilisha sentensi kuwa wingi na umoja |
Kitabu cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Jedwali la vivumishi Kadi za mifano Majaribio ya mazoezi Ubao mweupe Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu Uk. 237-241
|
|
5 | 3-4 |
SURA YA ISHIRINI NA MBILI
Sarufi Fasihi Andishi Kuandika |
Mazoezi ya Sarufi Mchanganyiko
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege Insha na Barua Mbalimbali |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutumia -ingi kukamilisha sentensi Kusahihisha makosa ya kigrammatika Kutumia virejeshi vya 'O' na 'amba' Kufanya mazoezi ya viashiria visisitizi Kubadilisha sentensi kwa maagizo Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Mazoezi ya kutumia -ingi katika sentensi Kusahihisha sentensi zilizo na makosa Zoezi la kutumia virejeshi 'O' na 'amba' Mazoezi ya viashiria visisitizi Kubadilisha sentensi kuwa umoja na wingi Zoezi la kinyume cha vitenzi Kusoma Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Majaribio ya sarufi Kadi za mazoezi Ubao mweupe Kalamu za rangi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kitabu cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Mifano ya insha na barua Karatasi za uandishi Kalamu Kamusi ya Kiswahili Fomu za barua |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu Uk. 241-248
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
|
5 | 5 |
SURA YA ISHIRINI NA MBILI
|
Fasihi andishi; Muktadha na usuli wa tamthilia
Insha na Barua Mbalimbali |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthiliaKufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika
|
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
5 | 6 |
Fasihi Andishi
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
6-8 |
End term Exams |
|||||||
9 |
School closing |
Your Name Comes Here