If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 |
MARUDIO YA SARUFI |
|||||||
1 | 3 |
SURA YA KUMI NA TISA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Methali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kufafanua maana ya methali na umuhimu wake - Kutambua sifa za methali za Kiswahili - Kueleza dhima za methali katika jamii - Kutoa mifano ya methali mbalimbali - Kuchunguza tamathali za lugha katika methali |
- Mazungumzo kuhusu methali za kimapokeo
- Mwalimu aeleze sifa za methali - Wanafunzi watoe mifano ya methali - Majadiliano kuhusu dhima za methali - Kukusanya methali kutoka jamii mbalimbali |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Makusanyo ya methali za Kiswahili - Chati za dhima za methali - Karatasi za kukusanya methali |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 207-209
|
|
1 | 4 |
Kusoma kwa Ufahamu
Sarufi |
Visa na Ukweli
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendama na Kutendata |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kuelewa maudhui ya hadithi ya kesi - Kuchunguza sababu za matukio yaliyotokea - Kutambua wahusika na tabia zao - Kufafanua msamiati mgumu katika hadithi - Kutathmini mafunzo yanayojitokeza |
- Kusoma kifungu kuhusu kesi ya Agnes kwa makini
- Kuchambua tabia za wahusika - Majadiliano kuhusu sababu za mauaji - Kujibu maswali ya ufahamu - Kufafanua maneno magumu kutoka hadithi |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Kamusi ya Kiswahili - Makaratasi ya maswali - Chati za uchambuzi wa wahusika - Jedwali za kauli za vitenzi - Makaratasi ya mazoezi - Mifano ya vitenzi vya kauli hizi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 209-210
|
|
1 | 5 |
Kusoma kwa Kina
Kuandika |
Riwaya
Utungaji wa Kisanii: Mashairi Huru |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza sifa za riwaya kama utanzu wa fasihi - Kuchunguza vipengele vya riwaya - Kuchambua maudhui ya riwaya teule - Kutambua wahusika na uchambuzi wao - Kufafanua tamathali za usemi zilizotumiwa |
- Kusoma riwaya teule kwa makini
- Kuchambua maudhui ya riwaya - Majadiliano kuhusu wahusika na tabia zao - Kutambua tamathali za lugha - Kuandika uchambuzi mfupi wa riwaya |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Nakala za riwaya teule - Chati za uchambuzi wa fasihi - Karatasi za uchambuzi - Makusanyo ya mashairi huru - Karatasi za utungaji - Mifano ya mashairi ya kuvutia |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 211
|
|
1 | 6 |
SURA YA KUMI NA TISA
Fasihi Andishi |
Fasihi andishi; Muktadha na usuli wa tamthilia
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthiliaKufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika
|
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
2 | 1 |
SURA YA ISHIRINI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Maghani
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kufafanua maana ya maghani na aina zake - Kutambua tofauti kati ya maghani ya kawaida na masimulizi - Kueleza umuhimu wa maghani katika jamii - Kutoa mifano ya maghani kutoka jamii mbalimbali - Kuchunguza maudhui na mafunzo ya maghani |
- Mazungumzo kuhusu maghani za kimapokeo
- Mwalimu aeleze aina za maghani - Wanafunzi watoe mifano ya maghani - Majadiliano kuhusu umuhimu wa maghani - Kukusanya maghani kutoka jamii mbalimbali |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Makusanyo ya maghani - Vifaa vya kurekodi sauti - Chati za aina za maghani |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 213-214
|
|
2 | 2 |
Kusoma kwa Ufahamu
|
Urithi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kuelewa maudhui ya hadithi kuhusu urithi - Kuchunguza changamoto za ugawaji wa urithi - Kutambua wahusika na tabia zao - Kufafanua athari za ubinafsi katika ugawaji wa mali - Kutathmini mafunzo yanayojitokeza |
- Kusoma kifungu kuhusu familia ya Zakaria
- Kuchambua changamoto za ugawaji wa mali - Majadiliano kuhusu tabia za jamaa - Kujibu maswali ya ufahamu - Kujadili umuhimu wa haki za watoto |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Makaratasi ya maswali - Chati za uchambuzi wa wahusika - Mifano ya sheria za urithi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 214-215
|
|
2 | 3 |
Sarufi
|
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendua na Kutenduka
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza dhana ya kauli za kutendua na kutenduka - Kutofautisha kati ya kauli hizi mbili - Kunyambua vitenzi katika kauli hizi - Kutunga sentensi zenye vitenzi vya kauli hizi - Kutambua matumizi ya kauli za kinyume |
- Kurejea misingi ya kauli za vitenzi
- Mwalimu aeleze kauli za kutendua na kutenduka - Wanafunzi wajaribu kunyambua vitenzi - Zoezi la kutunga sentensi kwa kauli hizi - Kazi ya vikundi kufanya mazoezi ya sarufi |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Jedwali za kauli za vitenzi - Makaratasi ya mazoezi - Mifano ya vitenzi vya kinyume |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 215-216
|
|
2 | 4 |
Kusoma kwa Mapana
Kuandika |
Maswala Ibuka
Utungaji wa Kiuamilifu: Matangazo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kuelewa masuala ya haki za binadamu - Kuchunguza haki za wafungwa - Kutambua haki zilizomo katikba - Kufafanua umuhimu wa utawala wa kisheria - Kuandika ripoti kuhusu haki za wafungwa |
- Kusoma makala kuhusu haki za binadamu
- Majadiliano kuhusu haki za wafungwa - Kuchunguza maswala ya utawala - Kuandika ripoti kuhusu haki za wafungwa - Utafiti kuhusu katiba ya Kenya ya 2010 |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Nakala ya katiba ya Kenya - Makala za magazeti - Karatasi za utafiti - Mifano ya matangazo kutoka magazeti - Karatasi za uandishi - Kalamu na vifaa vya kuandikia |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 216-217
|
|
2 | 5 |
SURA YA ISHIRINI
Fasihi Andishi |
Fasihi andishi; Muktadha na usuli wa tamthilia
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthiliaKufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika
|
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
2 | 6 |
SURA YA ISHIRINI NA MOJA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma kwa Ufahamu Sarufi |
Ngomezi - Mawasiliano kwa Ngoma
Mchezo wa Kuigiza: Tusikate Miti Ovyo Mnyambuliko wa Vitenzi vya Silabi Moja |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya ngomezi Kutaja matukio yanayohusiana na ngomezi Kufafanua sifa za ngomezi Kuigiza baadhi ya ngomezi Kueleza dhima za ngomezi katika jamii |
Mazungumzo ya utangulizi kuhusu njia za mawasiliano ya kiasili Kusikiliza maelezo kuhusu aina za ngomezi (kifo, mavuno, mwaka mpya, mwezi kupatwa) Mjadala wa vikundi kuhusu matukio yanayohusiana na ngomezi Kuigiza ngomezi za kutangaza kifo na kusherehekea mavuno Mazungumzo kuhusu dhima za ngomezi katika jamii |
Kitabu cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Ngoma au vifaa vya kuiga sauti Vielelezo vya picha za sherehe Kanda za sauti Vielelezo vya mazingira Picha za miti Nakala za sheria za mazingira Jedwali la kauli za vitenzi Vielelezo vya miundo Kadi za mazoezi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu Uk. 219-221
|
|
3 | 1 |
Sarufi
Kuandika |
Mnyambuliko wa Vitenzi vyenye Asili ya Kigeni
Utungaji wa Kiuamilifu: Ripoti |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua vitenzi vyenye asili ya kigeni Kueleza jinsi vitenzi hivi vinavyonyambulika Kuandika vitenzi katika kauli mbalimbali Kukamilisha majaribio ya vitenzi Kutunga sentensi sahihi |
Utangulizi wa vitenzi vyenye asili ya kigeni Kujifunza mifano ya vitenzi hivi Kukamilisha jedwali la kauli za vitenzi Zoezi la kutambua kauli tofauti Mazoezi ya kutunga sentensi Kufanya majaribio mengine ya vitenzi |
Kitabu cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Jedwali la vitenzi Kadi za mifano Majaribio ya mazoezi Mifano ya ripoti Fomu za kuandikia Kalamu na karatasi Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu Uk. 226-227
|
|
3 | 2 |
SURA YA ISHIRINI NA MOJA
Fasihi Andishi Kusikiliza na Kuzungumza |
Fasihi andishi; Muktadha na usuli wa tamthilia
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine Fasihi Simulizi: Hadithi ya Twiga na Mkufu wa Kima |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthiliaKufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika
|
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro Kitabu cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Picha za wanyamapori Vifaa vya kuigiza Kanda za sauti za hadithi |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
3 | 3 |
SURA YA ISHIRINI NA MBILI
Fasihi Andishi Kusoma kwa Ufahamu |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Taifa Bingwa Barani - 2004 |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
Kitabu cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Picha za michezo ya kabumbu Ramani ya Afrika Makala ya magazeti kuhusu michezo |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
3 | 4 |
SURA YA ISHIRINI NA MBILI
Fasihi Andishi Sarufi |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Vivumishi vya Pekee na Matumizi yake |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
Kitabu cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Jedwali la vivumishi Kadi za mifano Majaribio ya mazoezi Ubao mweupe |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
3 | 5 |
SURA YA ISHIRINI NA MBILI
Fasihi Andishi Sarufi Fasihi Andishi |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Mazoezi ya Sarufi Mchanganyiko Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
Kitabu cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Majaribio ya sarufi Kadi za mazoezi Ubao mweupe Kalamu za rangi |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
3 | 6 |
SURA YA ISHIRINI NA MBILI
Kuandika SURA YA ISHIRINI NA MBILI |
Insha na Barua Mbalimbali
Fasihi andishi; Muktadha na usuli wa tamthilia |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandika insha ya ulinganisho Kuandika barua ya kuomba kazi Kuandika barua ya kupongeza Kutoa wasifu wa nchi Kutumia lugha sahihi ya uandishi Kuzingatia muundo sahihi wa barua |
Kujadili aina za insha na barua Kuandika insha ya kulinganisha maisha ya kale na ya leo Zoezi la kuandika barua ya kuomba kazi Kuandika barua ya kupongeza rafiki Kutoa wasifu wa nchi ya kuzuru Kusahihisha na kuboresha maandiko |
Kitabu cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Mifano ya insha na barua Karatasi za uandishi Kalamu Kamusi ya Kiswahili Fomu za barua Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu Uk. 248-252
|
|
4 | 1 |
Fasihi Andishi |
Insha na Barua Mbalimbali
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
|
|
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
|
|
|
6-8 |
MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA |
|||||||
9 |
MARUDIO YA MTIHANI |
Your Name Comes Here