If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 |
KUFUNGUA SHULE NA MARUDIO YA MTIHANI ULIOPITA |
|||||||
2 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma |
Matamshi bora
Kajinga Acheza na Sensa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua na kutamka maneno yaliyo na sauti tatanishi /ch/ na /sh/ Kueleza maana ya misemo Kutaja aina ya misemo Kutambua madhumuni ya misemo |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 71-75) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
2 | 2 |
Sarufi
Kusoma |
Vitenzi
Lugha, utamaduni na katiba |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya vitenzi Kutaja aina za vitenzi Kutumia vitenzi katika mazungumzo na sentensi |
Kusoma
Maswali na majibu Majadiliana Kuandika |
Kamusi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kitabu Cha Mashairi |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(UK 78-82) |
|
2 | 3 |
Kuandika
|
Uandishi wa insha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua muundo unaozingatiwa katika uandishi wa insha Kueleza mambo muhimu yakuzingatiwa katika uandishi wa insha Kuandika insha |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 84-86) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
2 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Matamshi bora -vitate vya sauti /b/ na /p/
Isimu jamii |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya vitate Kutaja maneno yaliyo na vitate vya sauti /b/ na /p/ |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(up 87-88) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
2 | 5 |
Kusoma
|
Ripoti kuhusu ukimwi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya ripoti Kufafanua ripoti Kutambua vipengele muhimu katika uandishi wa ripoti |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 89-91) |
|
3 | 1 |
Sarufi
Kusoma kwa kina |
Aina za maneno-vitenzi vishirikishi
ushairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya vitenzi vishirikishi Kutaja aina ya vishirikishi Kutumia vishirikishi katika mazungumzo na sentensi vyema |
Kusoma
Maswali na majibu Majadiliana Kuandika |
Kamusi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kitabu Cha Mashairi |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(UK 91-94) |
|
3 | 2 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Utungaji wa kiuaminifu -barua simu
Matamshi bora; vitate /s/ na /sh/ |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya barua simu Kutaja mambo yanayozingatiwa katika uandishi wa barua simu Kuandika barua simu |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 97-98) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
3 | 3 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Isimu jamii
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza sifa za mazungumzo katika kituo cha polisi Kuigiza mazungumzo katika kituo cha polisi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 100-102) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
3 | 4 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa kina-shairi
Utungaji wa kiuamilifu-matangazo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kuchambua shairi kutoka kwa diwani Kutaja vipengele vinavyounda shairi |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 110) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
3 | 5 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Dayolojia
Vitate vya sauti /s/ na /z/ |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya dayolojia Kuandika dayolojia Kueleza mtindo wa dayolojia Kusoma na kuigiza dayolojia |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 116-117) |
|
4 | 1 |
Kusoma kwa ufahamu
|
Kusoma dondoo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma dondoo katika kitabu cha mwanafunzi vyema. Kueleza mtiririko wa mtukio katika dondoo. Kutambua wahusika katika dondoo. Kujiu maswali sahihi. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk120-122) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
4 | 2 |
Sarufi
Kusoma kwa mapana |
Viwakilishi
Janga la ukimwi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza kazi ya viwakilishi. Kutambua aina ya viwakilishi. Kujadili aina za viwakilishi na kutaja mifano. Kutumia viwakilishi vyema katika sentensi na mazungumzo |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk122-129) |
|
4 | 3 |
Kuandika
Kusoma kwa ufahamu |
Ratiba
Ushairi -Usafi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya ratiba. Kutambua na kujadili vipengee muhimu katika ratiba. Kuandika ratiba . Kueleza maana ya hotuba. Kutambua na kujadili vipengee muhimu katika uandishi wa rotuba |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk132-134) |
|
4 | 4 |
Sarufi
|
Vielezi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya vielezi. Kutaja na kujadili aina tofauti za vielezi. Kutoa mifano ya aina tofauti za vielezi. Kutumia vielezi vyema kwa kuunda sentensi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk138-142) |
|
4 | 5 |
Kusoma kwa mapana
Kuandika |
Hadithi fupi
Taarifa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya hadithi fupi. Kutaja na kujadili sifa za hadithi fupi. Kutaja mambo muhumu katika uandishi wa hadithi fupi.. Kuandika hadithi fupi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk143) |
|
5 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Fasihi simulizi-maigizo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya maigizo. Kutaja na kujadili aina tofauti za maigizo. Kujadili sifa za maigizo. Kueleza dhima ya maigizo |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk145-147) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
5 | 2 |
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi |
Ushairi -mwanamke
Viunganishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma ushairi katika kitabu cha mwanafunzi. Kujadili mtindo uliotumika katika uandishi wa shairi hilo. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk147-148) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
5 | 3 |
Kusoma kwa mapana
Kuandika |
Matumizi ya kamusi
Unadishi wa insha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutaja na kujadili matumizi ya kamusi. Kutumia kamusi kueleza maana ya misamiati ya bunge. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk150-151) |
|
5 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Mjadala
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya mjadala. Kutaja wahusika katika mjadala. Kusoma mjadala katika kitabu cha mwanafunzi. Kujibu zoezi kikamilifu |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk153-154) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
5 | 5 |
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi |
Kusoma taarifa
Vihusishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma taarifa katika kitabu cha mwnafunzi. Kujadili taarifa kwa kina. Kutaja aina mbalimbali ya vyakula |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk155-157) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
6 | 1 |
Kusoma kwa mapana
Kuandika |
Mtambo wa ATM
Resipe |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya ATM Kusoma taarifa kuhusu ATM. Kueleza alichojifunza kuhusu ATM Kueleza jinsi ya kutumia ATM Kujibu maswali kutoka kwa taarifa ipasavyo |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk160-163) |
|
6 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Sauti tatanishi /f/ na /v/
Fasihi simulizi-Visasili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua maneno yenye sauti tatanishi /f/ na /v/ Kutamka vitanza ndimi ipasavyo. Kueleza maana ya visasili. Kujadili dhima ya visasili Kusoma kisa mfano ya kisasili kwenye kitabu cha mwanafunzi |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk166-170) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
6 | 3 |
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi |
Tarakilishi
Vihisishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya tarakilishi. Kutambua mifano ya tarakilishi. Kusoma Makala kuhusu tarakilishi. Kujibu maswali kuhusu Makala hiyo sahihi. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk170-172) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
6 | 4 |
Kusoma kwa mapana
Kuandika |
Ufisadi
Risala |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma Makala katikakitabu cha mwanafunzi. Kuipa kichwa mwafaka Makala hiyo. Kujadili mabo muhimu yaliyoangaziwa katika kifungu |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk174-175) |
|
6 | 5 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Ushairi simulizi-nyimbo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kujadili sifa za nyimbo. Kutambua na kueleza aina mbalimbali ya nyimbo. Kuimba wimbo wa harusi ipasavyo. Kueleza maana ya semi. Kueleza matumizi ya misemo Kutoa mifano ya misemo |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk177-181) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
7 | 1 |
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi |
Ushairi -Mrija
Vinyume vya vitenzi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya mrija. Kujadili muundo wa shairi Kukariri shairi lenye mada mrija |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk182-183) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
7 | 2 |
Kusoma kwa mapana
|
Jinsia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya jinsia Kusoma Makala yeyote kuhusu jinsia. Kutaja vitu muhimu yaliyojadiliwa kuhusu jinsia |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk185) |
|
7 | 3 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Utungaji wa kisanii
Fasihi simulizi-methali |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua na kujadili aina ya mashairi. Kujadili sifa za shairi hizi. Kutaja vitu muhimu vya kuzingatiwa katika uundaji wa shairi hizi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 186) |
|
7 | 4 |
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi |
Ajira ya watoto
Nyakati-hali ya ukanushaji |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutabiri matukio katika ufahamu. Kusoma ufahamu katika kitabu cha mwanafunzi kuhusu ajira ya Watoto. Kujibu maswali kuhusu ufahamu ipasavyo. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 190-192) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
7 | 5 |
Kusoma kwa mapana
|
Kusoma maktabani
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kujadili kusoma maktabani. Kufanya utafiti kuhusu mazingira |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 200) |
|
8 |
MTIHANI WA MWISHO MUHULA |
|||||||
9 |
KUFUNGA SHULE |
Your Name Comes Here