If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
2 | 1 |
Kusoma kwa mapana
Kuandika |
Afya
Utungaji wa kiuamilifu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma taarifa katika kitabu cha mwanafunzi. Kueleza mtiririko wa matukia katika taarifa. Kujibu maswali kuhusu taarifa ipasavyo. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 217- 218) |
|
2 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Majadiliano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya majadiliano. Kusoma majadiliano katika kitabu cha mwanafunzi. Kutaja sifa za majadiliano. Kueleza maana ya muhtasari. Kutambua umuhimu wa muhtasari. |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 221-224) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
2 | 3 |
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi |
Nidhamu
Uakifishaji |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma shairi kwenye kitabu cha mwanafunzi kichwa Nidhamu . Kutambua misemo yaliyotumika katika kifungu,kueleza maana yao na kuyatumia vyema. Kujibu maswali kuhusu shairi ipasavyo. Kueleza mtindo wa shairi hilo |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 224-226) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
2 | 4 |
Kusoma kwa mapana
Kuandika |
Maadili
Uandishi wa Insha - Methali |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya maadili. Kusoma taarifa kwenye kitabu cha mwanafunzi kwa mapana. Kutambua mambo muhimu yaliyozungumziwa katika taarifa. Kujibu maswali kuhusu taarifa ipasavyo. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 227-230) |
|
2 | 5 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Redio/Kanda za kunasia sauti
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutaja umuhimu wa redio. Kutambua vipindi tofauti vya redio na runinga. Kujadili ujumbe yanayojadiliwa katika vipindi hivi. |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 231) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
3 | 1 |
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi |
Shairi-Njaa nipishe na kando
Usemi halisi na usemi wa taarifa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma Shairi kwenye kitabu cha mwanafunzi ..Njaa nipishe na kando Kujadili mtindo wa shairi hilo. Kueleza maana ya misamiati yaliyotumiwa. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 231-233) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
3 | 2 |
Kusoma kwa mapana
|
Jana si leo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma taarifa katika kitabu cha mwanafunzi ..Jana si leo. Kueleza alichojifunza kutoka kwa taarifa. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 235-236) |
|
3 | 3 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Utungaji wa kiuamilifu-Barua ;mialiko
Maamkizi na mazungumzo;Hotuba |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya mualiko. Kutambua sifa za mialiko. Kutaja na kujadili aina tofauti ya mialiko. Kuandika barua ya mualiko. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 237-240) |
|
3 | 4 |
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi |
Safari yenye hatari
Uundaji wa maneno |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma kifungu kwenye kitabu cha mwanafunzi kichwa Safari yenye hatari Kueleza mtiririko wa matukio katika kisa hicho. Kutambua misemo yaliyotumika katika kifungu,kueleza maana yao na kuyatumia vyema. Kujibu maswali kuhusu ufahamu ipasavyo. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 243-245) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
3 | 5 |
Kusoma kwa mapana
|
Matumizi ya tarakilishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya tarakilishi. Taja aina ya tarakilishi. Kutambua matumizi ya tarakilishi. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 247-248) |
|
4 | 1 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Imla
Daktari na mgonjwa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya Imla. Kuandika kwa usahihi kifungu isomwayo na mwalimu. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 248) |
|
4 | 2 |
Kusoma kwa ufahamu
|
Shairi-Kwaheri tunakuaga
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma shairi kwenye kitabu cha mwanafunzi . Kujadili mtindo wa shairi hilo. Kueleza dhamira ya mwandishi wa shairi. Kujibu maswali kuhusu shairi ipasavyo. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 250-251) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
4 | 3 |
Sarufi
Kusoma kwa mapana |
Ukubwa na udogo
Matumizi ya kamusi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua umoja na wingi wa nomino. Kutumia umoja na wingi vyema katika sentensi. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 251-256) |
|
4 | 4 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza (Marudio0 |
Uandishi wa kawaida
Majadiliano |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya imla mchanganyiko. Kuandika sentensi wasomewayo na mwalimu. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 257) |
|
4 | 5 |
Kusoma kwa ufahamu
|
Nidhamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma shairi kwenye kitabu cha mwanafunzi kichwa Nidhamu . Kutambua misemo yaliyotumika katika kifungu,kueleza maana yao na kuyatumia vyema. Kujibu maswali kuhusu shairi ipasavyo. Kueleza mtindo wa shairi hilo |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 224-226) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
5 | 1 |
Sarufi
Kusoma kwa mapana |
Uakifishaji
Maadili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya uakifishaji. Kutambua na kueleza matumizi ya alama za uakifishaji. Kuakifisha sentensi husika ipasavyo. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 226-227) |
|
5 | 2 |
Kuandika
|
Uandishi wa Insha - Methali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua mambo muhimu katika uandishi wa insha ya methali. Kujadili utunzi wa insha. Kuandika insha ya methali yeyote. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 230) |
|
5-8 |
Mid term exam |
Your Name Comes Here