If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 |
Mtihani wa kufungua muhula wa tatu |
|||||||
2 |
Tathimini |
|||||||
2 | 2 |
MARUDIO
Kiswahili Karatasi ya 1 Kiswahili Karatasi ya 1 |
Insha Rasmi (Lazima) – Barua, Hotuba, Memo, Ripoti
Insha za Hoja |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua muundo na mtindo wa insha rasmi - Kuandika memo, barua na hotuba kwa Kiswahili sanifu - Kuepuka makosa ya lugha na kimuundo |
Mwalimu aelezee tofauti za insha rasmi Wanafunzi waandike memo/barua rasmi na kusoma hadharani Mwalimu atoe mrejesho wa kitaalamu
|
Karatasi za mitihani ya awali, mifano ya memo na barua
Mada za kijamii, mabango ya methali |
Kitabu cha mwanafunzi kidato 1-4
|
|
2 | 3 |
Kiswahili Karatasi ya 1
Kiswahili Karatasi ya 2 Kiswahili Karatasi ya 2 Kiswahili Karatasi ya 3 |
Insha za Methali na Semi
Insha za Hadithi (Ubunifu) Ufahamu na Ufupisho Matumizi ya Lugha na Isimujamii Ushairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kuelewa methali na semi katika muktadha wa maisha - Kubuni kisa kinachoonyesha methali husika - Kutumia lugha yenye mvuto na msuko wa hadithi |
Mwalimu atoe mifano ya methali Wanafunzi wabuni hadithi fupi Ushirikiano wa darasa kusoma na kujadili
|
Orodha ya methali, vitabu vya fasihi simulizi
Kamusi, maswali ya awali Kamusi, mitihani ya awali Mitihani ya awali, vitabu vya Kiswahili Mashairi teule, maswali ya mitihani ya awali. |
mitihani ya Kanda
Kitabu cha mwanafunzi kidato 1-4 |
|
2 | 4 |
Kiswahili Karatasi ya 3
Kiswahili Karatasi ya 1 Kiswahili Karatasi ya 1 Kiswahili Karatasi ya 1 |
Riwaya na Tamthilia
Insha Rasmi (Lazima) – Barua, Hotuba, Memo, Ripoti Insha za Hoja Insha za Methali na Semi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza ploti, wahusika, mandhari na maudhui. - Aone uhusiano wa kazi na masuala ya kijamii, kiuchumi, kisiasa na kiutamaduni. - Kuandika insha za kifasihi. |
- Kusoma na kuchambua hadithi fupi.
- Kusikiliza na kuigiza vipera vya fasihi simulizi. - Kujibu maswali ya mitihani iliyopita. |
Hadithi fupi, methali, vitendawili, nyimbo za simulizi.
Karatasi za mitihani ya awali, mifano ya memo na barua Mada za kijamii, mabango ya methali Orodha ya methali, vitabu vya fasihi simulizi |
Kiswahili Karatasi ya 3
Kitabu cha Riwaya na tamthilia |
|
2 | 5 |
Kiswahili Karatasi ya 1
Kiswahili Karatasi ya 2 Kiswahili Karatasi ya 2 Kiswahili Karatasi ya 3 Kiswahili Karatasi ya 3 |
Insha za Hadithi (Ubunifu)
Ufahamu na Ufupisho Matumizi ya Lugha na Isimujamii Ushairi Riwaya na Tamthilia |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutunga hadithi yenye msuko wa mwanzo, kati na mwisho - Kutumia taswira na lugha ya kuvutia - Kuandika kwa kuanzia/kuishia kwa vifungu vilivyotolewa |
Mwalimu aeleze vipengele vya hadithi (wahusika, msuko, mafunzo) Wanafunzi waandike insha ya ubunifu kwa kuanzia kifungu kilichopewa Majadiliano ya hadithi bora darasani
|
Kamusi, maswali ya awali
Kamusi, mitihani ya awali Mitihani ya awali, vitabu vya Kiswahili Mashairi teule, maswali ya mitihani ya awali. Hadithi fupi, methali, vitendawili, nyimbo za simulizi. |
Mwongozo wa insha
Kitabu cha mwanafunzi kidato 1-4 |
|
2 | 6 |
Kiswahili Karatasi ya 1
Kiswahili Karatasi ya 2 |
Insha Rasmi (Lazima) – Barua, Hotuba, Memo, Ripoti
Insha za Hoja Insha za Methali na Semi Insha za Hadithi (Ubunifu) Ufahamu na Ufupisho |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua muundo na mtindo wa insha rasmi - Kuandika memo, barua na hotuba kwa Kiswahili sanifu - Kuepuka makosa ya lugha na kimuundo |
Mwalimu aelezee tofauti za insha rasmi Wanafunzi waandike memo/barua rasmi na kusoma hadharani Mwalimu atoe mrejesho wa kitaalamu
|
Karatasi za mitihani ya awali, mifano ya memo na barua
Mada za kijamii, mabango ya methali Orodha ya methali, vitabu vya fasihi simulizi Kamusi, maswali ya awali Kamusi, mitihani ya awali |
Kitabu cha mwanafunzi kidato 1-4
|
|
3 |
Tathmini |
|||||||
3 | 2 |
Kiswahili Karatasi ya 2
Kiswahili Karatasi ya 3 Kiswahili Karatasi ya 3 Kiswahili Karatasi ya 1 Kiswahili Karatasi ya 1 |
Matumizi ya Lugha na Isimujamii
Ushairi Riwaya na Tamthilia Insha Rasmi (Lazima) – Barua, Hotuba, Memo, Ripoti Insha za Hoja |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutumia lugha kwa usahihi na kwa muktadha ufaao - Kuonyesha ufasaha katika matumizi ya sarufi na msamiati - Kutambua sajili mbalimbali na matumizi yake |
Kujibu maswali ya matumizi ya lugha, kujadili sajili na muktadha, kushirikiana katika uandishi wa majibu
|
Mitihani ya awali, vitabu vya Kiswahili
Mashairi teule, maswali ya mitihani ya awali. Hadithi fupi, methali, vitendawili, nyimbo za simulizi. Karatasi za mitihani ya awali, mifano ya memo na barua Mada za kijamii, mabango ya methali |
Kitabu cha mwanafunzi kidato 1-4
|
|
3 | 3 |

3 | 4 |

3 | 5 |

3 | 6 |

4 |
Tathmini |
|||||||
4 | 2 |

4 | 3 |

4 | 4 |

4 | 5 |

4 | 6 |

5 |
Tathmini |
|||||||
5 | 2 |
Kiswahili Karatasi ya 2
Kiswahili Karatasi ya 3 Kiswahili Karatasi ya 3 |
Matumizi ya Lugha na Isimujamii
Ushairi Riwaya na Tamthilia |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutumia lugha kwa usahihi na kwa muktadha ufaao - Kuonyesha ufasaha katika matumizi ya sarufi na msamiati - Kutambua sajili mbalimbali na matumizi yake |
Kujibu maswali ya matumizi ya lugha, kujadili sajili na muktadha, kushirikiana katika uandishi wa majibu
|
Mitihani ya awali, vitabu vya Kiswahili
Mashairi teule, maswali ya mitihani ya awali. Hadithi fupi, methali, vitendawili, nyimbo za simulizi. |
Kitabu cha mwanafunzi kidato 1-4
|
|
6 |
Tathmini |
|||||||
7 |
Tathmini |
|||||||
7-9 |
Mtihani wa mwisho wa Muhula na kufunga shule |
Your Name Comes Here