If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
2 | 1 |
Kuandika
Sarufi |
Utangaji wa kuamilifu
Aina za maneno-vivumishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua mtindo unaofwatwa katika uandishi wa mahojiano Kutambua vipengee muhimu yanayozingatiwa katika uandishi wa mahojiano |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kitabu Cha Mashairi |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 21-22) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
2 | 2 |
Sarufi
Kusoma kwa kina |
Aina za maneno-vitenzi vishirikishi
ushairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya vitenzi vishirikishi Kutaja aina ya vishirikishi Kutumia vishirikishi katika mazungumzo na sentensi vyema |
Kusoma
Maswali na majibu Majadiliana Kuandika |
Kamusi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kitabu Cha Mashairi |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(UK 91-94) |
|
2 | 3 |
Kuandika
|
Ratiba
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya ratiba. Kutambua na kujadili vipengee muhimu katika ratiba. Kuandika ratiba . Kueleza maana ya hotuba. Kutambua na kujadili vipengee muhimu katika uandishi wa rotuba |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk132-134) |
|
2 | 4 |
Sarufi
|
Vielezi
Viunganishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya vielezi. Kutaja na kujadili aina tofauti za vielezi. Kutoa mifano ya aina tofauti za vielezi. Kutumia vielezi vyema kwa kuunda sentensi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk138-142) |
|
2 | 5 |
Kuandika
|
Unadishi wa insha
Resipe |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua vipengee muhimu vya kuzingatiwa katikauandishi wa insha. Kuandika insha kuhusu mada aipendayo |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk151-152) |
|
3 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Ushairi simulizi-nyimbo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kujadili sifa za nyimbo. Kutambua na kueleza aina mbalimbali ya nyimbo. Kuimba wimbo wa harusi ipasavyo. Kueleza maana ya semi. Kueleza matumizi ya misemo Kutoa mifano ya misemo |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk177-181) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
3 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi |
Fasihi simulizi-methali
Nyakati-hali ya ukanushaji |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Eleza maana ya methali. Kueleza sifa za methali. Kutaja mifano ya methali kuu. Kujadili dhima ya methali |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 187-190) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
3 | 3 |
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi |
Fasihi simulizi-Hekaya
Sentensi ya kiswahili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya hekaya. Kusoma hekaya kwenye kitabu cha mwanafunzi |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 205-206) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
3 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi |
Ushairi simulizi
Mnyambuliko wa vitenzi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya shairi simulizi. Kukariri shairi kwenye kitabu cha mwanafunzi wimbo wa uchumba. Kutafsiri maana ya wimbo huo. |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk213) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
3 | 5 |
Kusoma kwa ufahamu
|
Nidhamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma shairi kwenye kitabu cha mwanafunzi kichwa Nidhamu . Kutambua misemo yaliyotumika katika kifungu,kueleza maana yao na kuyatumia vyema. Kujibu maswali kuhusu shairi ipasavyo. Kueleza mtindo wa shairi hilo |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 224-226) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
4 | 1 |
Sarufi
Kuandika |
Uakifishaji
Uandishi wa Insha - Methali |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya uakifishaji. Kutambua na kueleza matumizi ya alama za uakifishaji. Kuakifisha sentensi husika ipasavyo. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 226-227) |
|
4-6 |
Mjarabu wa kwanza |
|||||||
7 | 1 |
Sarufi
Kusoma kwa mapana |
Usemi halisi na usemi wa taarifa
Jana si leo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Eleza maana ya usemi halisi. Kutaja matumizi ya usemu halisi katika sentensi. Eleza maana ya usemi wa taarifa. Kutambua matumizi ya usemi wa taarifa. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 233-235) |
|
7 | 2 |
Kuandika
|
Utungaji wa kiuamilifu-Barua ;mialiko
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya mualiko. Kutambua sifa za mialiko. Kutaja na kujadili aina tofauti ya mialiko. Kuandika barua ya mualiko. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 237-240) |
|
7 | 3 |
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi |
Safari yenye hatari
Uundaji wa maneno |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma kifungu kwenye kitabu cha mwanafunzi kichwa Safari yenye hatari Kueleza mtiririko wa matukio katika kisa hicho. Kutambua misemo yaliyotumika katika kifungu,kueleza maana yao na kuyatumia vyema. Kujibu maswali kuhusu ufahamu ipasavyo. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 243-245) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
7 | 4 |
Sarufi
|
Ukubwa na udogo
Uakifishaji |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua umoja na wingi wa nomino. Kutumia umoja na wingi vyema katika sentensi. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 251-256) |
|
7 | 5 |
Kuandika
|
Uandishi wa Insha - Methali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua mambo muhimu katika uandishi wa insha ya methali. Kujadili utunzi wa insha. Kuandika insha ya methali yeyote. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 230) |
|
8 |
Mjarabu Wa pili |
|||||||
9 |
Likizo |
Your Name Comes Here