Home







MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
KIDATO CHA PILI
MWAKA WA 2025
MUHULA WA III

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA MBINU VIFAA ASILIA MAONI
2 1
fasihi simulizi
Kuandika
vitendawili

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kutaja vitendawili
Kutambua sifa na dhima za vitendawili
Kutambua matumizi ya vitendawili
Kueleza dhima, sifa na mifano ya vitendawili 

Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 24-26)
2 2
Kusikiliza na na kuzungumza

Tanakali za sauti

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
 ;
Kutaja mifano za tanakali za sauti
Kueleza maana ya tanakali za sauti
Kueleza matumizi ya tanakali za sauti

Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 49-50)
2 3
Kuandika

Dayolojia
V
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aw;
Kueleza maana ya dayolojia
Kuandika dayolojia
Kueleza mtindo wa dayolojia
Kusoma na kuigiza dayolojia

Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kielelezo Cha Insha ya dayalojia
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 116-117)
2 4
Kuandika
Taarifa

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza maana ya taarifa.
Kutaja na kujadili sifa za taarifa.
Kuandika taarifa kuhusu hali ya ukame.

Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kielelezo cha Insha  ya taarifa
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk144)
2 5
Kusikiliza na kuzungumza
Fasihi simulizi-methali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kueleza maana ya methali.
Kueleza sifa za methali.
Kutaja mifano ya methali kuu.
Kujadili dhima ya methali
Majadiliano
Kuandika
Maswali na majibu
Mazungumzo
Maelezo
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 187-190)
Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila)
3 1
Kuandika

Uandishi wa Insha - Methali

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kutambua mambo muhimu katika uandishi wa insha ya methali.
Kujadili utunzi wa insha.
Kuandika insha ya methali yeyote.
Maswali
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 230)
3 2
Kusikiliza na kuzungu
Maamkizi na mazungumzo;Hotuba
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza maana ya hotuba.
Kujadili umuhimu wa hotuba.
Kutambua na kujadili sehemu mbalimbali ya hotuba.
Kusoma hotuba kwenye kitabu cha mwanafunzi.
Majadiliano
Kuandika
Maswali na majibu
Mazungumzo
Maelezo
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 241-242)
Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila)
3 3

Kusikiliza na Kuzungumza

Isimu jamii - Sajili ya Dini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya sajili  ya dini
Kueleza sifa za sajili ya dini 
Maswali 
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Uigizaji wa wanafunzi)
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 251-256)
3 4


Sarufi

Viulizi - "pi" na "ngapi"

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kueleza matumizi ya kiulizi "pi"
Kutumia kiulizi "ngapi" sahihi
Kutunga sentensi zenye viulizi
Kubainisha tofauti za viulizi mbalimbali

Kuuliza maswali ya ujumuishaji kuhusu viulizi
Kueleza jinsi viulizi vinavyochukua viambishi vya ngeli
Kufanya mazoezi ya kutumia "pi" na "ngapi"
Kutunga sentensi mpya zenye viulizi
Kukamilisha mazoezi ya ukurasa
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu
Kadi za mazoezi
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 7-10
3 5
FASihi 
Tamthlia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthiliaKufafanua vipengele muhimu  katika tamthlia 
Kusoma Kujadili  Kuuliza maswali Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu 
Nakala yaBEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
4

CAT

5 1
Fasihi Andishi
Kusikiliza na Kuzungumza

Dhima ya Fasihi kwa Jumla
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya fasihi, kueleza umuhimu wa FASihi kwa jumla
Kusoma
Kujadili
Kuwasilisha
Kuuliza maswali
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu

Kiswahili kitukuzwe bkidato cha tatu,fani ya FASihi simulizi 
5 2


Sarufi

'A' Unganifu na Virejeshi 'O' na 'amba'

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kueleza matumizi ya 'A' unganifu
Kutumia kirejeshi 'amba' sahihi
Kutofautisha 'O' rejeshi ya awali na tamati
Kutunga sentensi zenye virejeshi

Kuuliza maswali ya ujumuishaji kuhusu virejeshi
Kueleza jinsi 'A' unganifu inavyochukua viambishi
Kufanya mazoezi ya kutumia 'amba' na 'O' rejeshi
Kutunga sentensi mpya zenye virejeshi
Kukamilisha mazoezi ya ukurasa
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu
J
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 22-25
5 3


Sarufi
Vivumishi vya Pekee
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kueleza matumizi ya vivumishi vya pekee
Kutumia -enye, -enyewe, -ote sahihi
Kutofautisha -o-ote, -ingine, -ingineo
Kutunga sentensi zenye vivumishi vya pekee

Kuuliza maswali ya ujumuishaji kuhusu vivumishi
Kueleza jinsi vivumishi vya pekee vinavyotumika
Kufanya mazoezi ya kutumia vivumishi vya pekee
Kutunga sentensi mpya zenye vivumishi
Kukamilisha mazoezi ya ukurasa

Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu
Jedwali la vivumishi vya pekee

KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 34-39
5 4
Fasihi Andishi
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Ksoma onyesho la Kwanza sehemu ya 1na2kueleza muhtasari wake
Kusoma
Kujadili
Kuwasilisha
Kuuliza maswali
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
5 5


Sarufi
Vielezi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kueleza aina za vielezi
Kutofautisha vielezi vya namna, wakati, idadi na mahali
Kutumia vielezi sahihi katika sentensi
Kutunga sentensi zenye vielezi

Kuuliza maswali ya ujumuishaji kuhusu vielezi
Kueleza aina mbalimbali za vielezi
Kufanya mazoezi ya kutambua vielezi
Kutunga sentensi mpya zenye vielezi
Kukamilisha mazoezi ya ukurasa

Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu
Jedwali la aina za vielezi
Kadi za mazoezi
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 45-49
6 1
Fasihi Andishi
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia
Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia
Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia
Kusoma
Kujadili
Kuwasilisha
Kuuliza maswali
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
6 2


Sarufi

Viwakilishi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kueleza aina za viwakilishi,
Kutofautisha viwakilishi mbalimbali,
Kutumia viwakilishi sahihi katika sentensi


Kuuliza maswali ya ujumuishaji kuhusu viwakilishi
Kueleza aina kumi za viwakilishi
Kufanya mazoezi ya kutambua viwakilishi
Kutunga sentensi mpya zenye viwakilishi
Kukamilisha mazoezi ya ukurasa
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu
Jedwali la viwakilishi

KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 58-62
6 3


Sarufi
Mzizi wa Kitenzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kueleza dhana ya mzizi wa kitenzi
Kutofautisha mzizi na mnyambuliko
Kutambua mzizi katika vitenzi
Kunyambua vitenzi kutoka kwenye mzizi

Kuuliza maswali ya ujumuishaji kuhusu vitenzi
Kueleza jinsi ya kutambua mzizi wa kitenzi
Kufanya mazoezi ya kutambua mizizi
Kunyambua vitenzi kutoka mizizi
Kukamilisha mazoezi ya ukurasa

Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu
Jedwali la mizizi ya vitenzi

KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 76-77
6 4
Fasihi Andishi
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
usoma na kuteleza muhtasari wa sehemu ya 3
Kusoma
Kujadili
Kuuliza maswali
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
6 5


Sarufi
Viambishi vya Vitenzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kueleza aina za viambishi vya vitenzi
Kutofautisha viambishi awali na tamati
Kutumia viambishi sahihi katika vitenzi
Kutunga sentensi zenye viambishi

Kuuliza maswali ya ujumuishaji kuhusu vitenzi
Kueleza aina za viambishi vya vitenzi
Kufanya mazoezi ya kutambua viambishi
Kutunga vitenzi kutoka kwenye mizizi
Kukamilisha mazoezi ya ukurasa

Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu
Kadi za mazoezi
U
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 85-89
7 1
Fasihi Andishi
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi awez Kusoma na kueleza  muhtasari wa onyesho la pili
Kusoma
Kujadili
Kuwasilisha
Kuuliza maswali
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
7 2


Sarufi

Vinyume vya Vitenzi na Vitenzi katika Hali ya Kuamrisha

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kueleza maana ya vinyume vya vitenzi
Kutoa vinyume vya vitenzi mbalimbali
Kutumia vitenzi katika hali ya kuamrisha


Kuuliza maswali ya ujumuishaji kuhusu vitenzi
Kueleza dhana ya vinyume vya vitenzi
Kufanya mazoezi ya kutoa vinyume
Kujifunza matumizi ya vitenzi vya amri
Kukamilisha mazoezi ya ukurasa
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu
Jedwali la vinyume


KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 97-99
7 3


Fasihi Andishi

BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Ksoma na kueleza muhtasari wa onyesho la tatu
Kusoma
Kujadili
Kuwasilisha
Kuuliza maswali
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu

BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
7 4


Fasihi Andishi
Sarufi
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Vishazi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze: Kusoma na kueleza muhtasari wa onyesho la tatu sehemu ya pili na ya tatu 
Kusoma
Kujadili
Kuwasilisha
Kuuliza maswali
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu

BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
7 5


Fasihi Andishi
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi awezeblisoma na kueleza muhtasari wa onyesho la mwisho
Kusoma
Kujadili
Kuwasilisha
Kuuliza maswali
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
8-9

END TERM EXAM AND MARKING


Your Name Comes Here


Download

Feedback