If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1-2 |
Mtihani wa ufunguzi wa shule |
|||||||
2 | 2 |
Fasihi Andishi |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
2 | 3-4 |

2 | 5 |
Sarufi
|
Uchanganuzi wa sentensi Sahili Kwa njia ya jedwali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya sentensi Sahili. Kuchanganua sentensi Sahili Kwa njia ya jedwali |
Mwalimu kuwaongoza wanafunzi kuchanganua sentensi Sahili Kwa njia ya jedwali. Wanafunzi kuchanganua sentensi Sahili Kwa njia ya jedwali
|
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
KLB kiswahili kitukuzwe kidato Cha tatu
|
|
2 | 6 |
Kuandika |
Utungaji wa Kiuamilifu: Wasifu, Tawasifu na
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza tofauti kati ya wasifu, tawasifu - Kutunga wasifu wa kiongozi - Kuandika tawasifu binafsi - Kutumia lugha sahihi katika uandishi rasmi |
- Mwalimu aeleze tofauti za aina hizi za uandishi
- Kuchanganua mifano ya wasifu, tawasifu na wasifukazi - Zoezi la kuchagua kiongozi na kuandika wasifu wake - Kuandika tawasifu binafsi kwa kutumia mfano - |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Mifano ya wasifu mbalimbali |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 135-137
|
|
2 | 7 |
Fasihi simulizi
|
Utanzu wa maigizo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya maigizo. Kutaja na Kueleza sifa na umuhimu wa maigizo |
Mwalimu aeleze maana ya maigizo. Wanafunzi kujadili umuhimu na sifa za maigizo
|
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
Fani ya fasihi simulizi
|
|
2 | 8 |

3 | 1 |
Sarufi |
Uchanganuzi wa Sentensi Sahili Kwa njia ya matawi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kuchanganua sentensi Sahili Kwa njia ya matawi |
- Kurejea misingi ya uchambuzi wa sentensi
- Mwalimu aonyeshe njia za uchanganuzi - Wanafunzi wajaribu kuchanganua sentensi rahisi - Kazi ya vikundi kuchambua sentensi ngumu - Zoezi la kutunga na kuchambua sentensi |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Chati za michoro ya matawi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 165-170
|
|
3 | 2 |
Ushairi
|
Shairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuchambua umbo na muundo WA shairi. Kutathmini ujumbe WA shairi |
Kusoma shairi. Kuchambua umbo na muundo WA shairi
|
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
KLB kiswahili kitukuzwe kidato Cha tatu 200-202
|
|
3 | 3-4 |
Fasihi andishi
|
Bembea ya Maisha na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kuelewa maudhui ambayo yanajitokeza katika Tamthilia |
- Kusoma. Wanafunzi Kutaja maudhui mbalimbali katika Tamthilia ya Bembea ya Maisha
|
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu |
Bembea ya Maisha na Timothy Arege
|
|
3 | 5 |
Sarufi
|
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendeshewa, Kutendesheana na Kutendesheka
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya kauli za vitenzi - Kutofautisha kati ya kauli mbalimbali - Kunyambua vitenzi katika kauli hizi - Kutunga sentensi kwa kutumia kauli mbalimbali - Kutambua matumizi ya kauli hizi |
- Kurejea misingi ya vitenzi na kauli zake
- Mwalimu aeleze aina za kauli kwa mifano - Wanafunzi wajaribu kunyambua vitenzi - Zoezi la kutunga sentensi kwa kauli mbalimbali - Kazi ya vikundi kufanya mazoezi ya vitendo |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Jedwali za kauli za vitenzi - Makaratasi ya mazoezi - Chati za kurejelea sarufi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 202-204
|
|
3 | 6 |
Fasihi Andishi
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
3 | 7 |
Fasihi andishi
|
Bembea ya Maisha na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua wahusika na sifa zao. Kueleza umuhimu wa wahusika mbalimbali katika Tamthilia ya Bembea ya Maisha |
Kusoma, kujadili,kuandika,kuuliza maswali
|
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu |
Bembea ya Maisha na Timothy Arege
|
|
3 | 8 |

4 | 1 |

- Kutambua wahusika mbalimbali na sifa zao |
Kusoma, kujadili,kuandika, kuuliza maswali
|
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu |
Bembea ya Maisha na Timothy Arege
|
|
4 | 2 |

4 | 3-4 |
Fasihi Andishi
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
4 | 5 |
Sarufi |
Uchanganuzi wa sentensi ambatano Kwa njia ya jedwali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza sentensi ambatano. Kuchanganua sentensi ambatano Kwa njia ya jedwali |
-mwalimu Kueleza maana ya sentensi ambatano. Uchanganuzi wa sentensi ambatano Kwa ubao Kwa njia ya jedwali
|
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa
|
|
4 | 6 |

4 | 7 |
Fasihi andishi
|
Bembea ya Maisha na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza muktadha mbalimbali katika Tamthilia ya Bembea ya Maisha |
- Kusoma,kuandika, kujadili, kuuliza maswali
|
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu |
Bembea ya Maisha na Timothy Arege
|
|
4 | 7-8 |

5 |
Tathmini ya siku moja |
|||||||
5 | 2 |
Fasihi Andishi
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
5 | 3-4 |

5 | 5 |
Fasihi andishi
|
Bembea ya Maisha na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze. Kueleza maudhui kama vile yanavyojitokeza katika Tamthilia ya Bembea ya Maisha
|
Kusoma, kuandika. Wanafunzi kujadili maudhui katika Tamthilia ya Bembea ya Maisha
|
Kitabu cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
Bembea ya Maisha na Timothy Arege
|
|
5 | 6 |

5 | 7 |
Sarufi
|
Mnyambuliko wa Vitenzi vyenye Asili ya Kigeni
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua vitenzi vyenye asili ya kigeni Kueleza jinsi vitenzi hivi vinavyonyambulika Kuandika vitenzi katika kauli mbalimbali Kukamilisha majaribio ya vitenzi Kutunga sentensi sahihi |
Utangulizi wa vitenzi vyenye asili ya kigeni Kujifunza mifano ya vitenzi hivi Kukamilisha jedwali la kauli za vitenzi Zoezi la kutambua kauli tofauti Mazoezi ya kutunga sentensi Kufanya majaribio mengine ya vitenzi |
Kitabu cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Jedwali la vitenzi Kadi za mifano Majaribio ya mazoezi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu Uk. 226-227
|
|
5 | 8 |
Kuandika
|
Utungaji wa Kiuamilifu: Ripoti
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana na umuhimu wa ripoti Kutambua sehemu za ripoti Kufafanua kanuni za kuandika ripoti Kuandika ripoti sahihi Kutumia lugha sahihi ya kirasmi |
Mazungumzo kuhusu maana ya ripoti Kujifunza muundo wa ripoti Kusoma mfano wa ripoti Kujadili mambo yanayopaswa kuzingatiwa Zoezi la kuandika ripoti ya ziara Kusahihisha ripoti zilizoandikwa |
Kitabu cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Mifano ya ripoti Fomu za kuandikia Kalamu na karatasi Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu Uk. 227-232
|
|
6 |
Tathmini ya siku moja |
|||||||
6 | 2 |
Fasihi Andishi |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali
Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo WA mwalimu
|
Fani ya fasihi simulizi
|
|
6 | 3-4 |

6 | 5 |
Sarufi
|
Uchanganuzi wa sentensi changamano Kwa njia ya jedwali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya sentensi changamano. Kuchanganua sentensi changamano Kwa njia ya jedwali |
Kueleza maana ya sentensi changamano. Kuchanganua sentensi changamano Kwa ubao Kwa njia ya jedwali. Wanafunzi kufanya zoezi. Kusahihisha zoezi
|
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
KLB kiswahili kitukuzwe kidato Cha tatu
|
|
6 | 6 |
Fasihi Andishi |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
6 | 7 |

6 | 8 |
Sarufi
|
Uchanganuzi wa sentensi changamano Kwa njia ya matawi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze. Kuchanganua sentensi changamano Kwa njia ya matawi
|
Uchanganuzi wa sentensi changamano Kwa njia ya matawi Kwa ubao. Zoezi Kwa wanafunzi. Mwalimu kusahihisha zoezi la wanafunzi
|
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
KLB kiswahili kitukuzwe kidato Cha tatu
|
|
7 |
Marundio ya mtihani wa mwisho wa mwaka |
|||||||
8 |
Mtihani wa mwisho wa mwaka |
|||||||
9 |
Kufungwa Kwa shule |
Your Name Comes Here