If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 |
Mtihani wa mwanzo wa muhula |
|||||||
2 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Fasihi simulizi-methali
|
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya methali. Kueleza sifa za methali. Kutaja mifano ya methali kuu. Kujadili dhima ya methali |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 190-193) |
|
2 | 2 |
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi |
Ajira ya watoto
|
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
Kutabiri matukio katika ufahamu. Kusoma ufahamu katika kitabu cha mwanafunzi kuhusu ajira ya Watoto. Kujibu maswali kuhusu ufahamu ipasavyo. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 193-195) |
|
2 | 3 |
Kusoma kwa mapana
|
Kusoma maktabani
|
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
Kujadili kusoma maktabani. Kufanya utafiti kuhusu mazingira |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 203) |
|
2 | 4 |
Kuandika
|
Barua rasmi
|
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya barua rasmi. Taja sehemu tofauti za barua rasmi. Kutambua na kueleza miundo tofauti za barua rasmi. Kuandika barua rasmi kwa kuzingatia miundo tofauti |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 203-207) |
|
2 | 5 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Fasihi simulizi-Hekaya
|
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya hekaya. Kusoma hekaya kwenye kitabu cha mwanafunzi |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 208-209) |
|
3 | 1 |
Sarufi
|
Sentensi ya kiswahili
|
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
Kutaja na kujadili aina tofauti ya sentensi. Kutoa mifano ya aina mbali mbali ya sentensi. Kutunga sentensi tofauti kotaka kwa maneno waliyopewa. Kujibu maswali kuhusu aina ya sentensi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk212-215) |
|
3 | 2 |
Kusoma kwa mapana
|
Umoja wa kitaifa
|
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
Kutafuta ujumbe kuhusu umoja wa kitaifa Kutaja manufaa ya umoja wa kimataifa. Kueleza jinsi ambavyo umoja wa kitaifa inaweza kufanikishwa. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk215) |
|
3 | 3 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Uandishi wa kawaida-Muhtasari
|
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya muhtasari. Kujadili vipengee muhimu katika uandishi wa muhtasari. Kuandika muhtasari ya kisa cha Lubigisa. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk215-216) |
|
3 | 4 |
Kusoma kwa ufahamu
|
Taarifa
|
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
Kusoma tarifa kwenye kitabu cha mwanafunzi Kueleza mtiririko wa matukio katika kisa hicho. Kutambua misemo yaliyotumika katika kifungu,kueleza maana yao na kuyatumia vyema. Kujibu maswali kuhusu ufahamu ipasavyo. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 214-215) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
3 | 5 |
Sarufi
|
Mnyambuliko wa vitenzi
|
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya mnyambiliko wa vitenzi Kutaja njia mbalimbali jinsi vitenzi vinanyambuliwa. Kunyambua vitenzi ipasavyo. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 215-217) |
|
4 | 1 |
Kusoma kwa mapana
Kuandika |
Afya
Utungaji wa kiuamilifu |
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
Kusoma taarifa katika kitabu cha mwanafunzi. Kueleza mtiririko wa matukia katika taarifa. Kujibu maswali kuhusu taarifa ipasavyo. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 217- 218) |
|
4 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Majadiliano
|
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya majadiliano. Kusoma majadiliano katika kitabu cha mwanafunzi. Kutaja sifa za majadiliano. |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 221-224) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
4 | 3 |
Kusoma kwa ufahamu
|
Nidhamu
|
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
Kusoma shairi kwenye kitabu cha mwanafunzi kichwa Nidhamu Kutambua misemo yaliyotumika katika kifungu,kueleza maana yao na kuyatumia vyema. Kujibu maswali kuhusu shairi ipasavyo. Kueleza mtindo wa shairi hilo |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 224-226) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
4 | 4 |
Sarufi
Kusoma kwa mapana |
Uakifishaji
Maadili |
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya uakifishaji. Kutambua na kueleza matumizi ya alama za uakifishaji. Kuakifisha sentensi husika ipasavyo. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 226-227) |
|
4 | 5 |
Kuandika
|
Uandishi wa Insha - Methali
|
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
Kutambua mambo muhimu katika uandishi wa insha ya methali. Kujadili utunzi wa insha. Kuandika insha ya methali yeyote. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 230) |
|
5 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Redio/Kanda za kunasia sauti
|
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
Kutaja umuhimu wa redio. Kutambua vipindi tofauti vya redio na runinga. Kujadili ujumbe yanayojadiliwa katika vipindi hivi. |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 231) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
5 | 2 |
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi |
Shairi-Njaa nipishe na kando
Usemi halisi na usemi wa taarifa |
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
Kusoma Shairi kwenye kitabu cha mwanafunzi ..Njaa nipishe na kando Kujadili mtindo wa shairi hilo. Kueleza maana ya misamiati yaliyotumiwa. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 231-233) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
5 | 3 |
Kusoma kwa mapana
|
Jana si leo
|
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
Kusoma taarifa katika kitabu cha mwanafunzi ..Jana si leo. Kueleza alichojifunza kutoka kwa taarifa. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 235-236) |
|
5 | 4 |
Kuandika
|
Utungaji wa kiuamilifu-Barua ;mialiko
|
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya mualiko. Kutambua sifa za mialiko. Kutaja na kujadili aina tofauti ya mialiko. Kuandika barua ya mualiko. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 237-240) |
|
5 | 5 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa ufahamu |
Maamkizi na mazungumzo;Hotuba
Safari yenye hatari |
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya hotuba. Kujadili umuhimu wa hotuba. Kutambua na kujadili sehemu mbalimbali ya hotuba. Kusoma hotuba kwenye kitabu cha mwanafunzi. |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 241-242) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
6 | 1 |
Sarufi
|
Uundaji wa maneno
|
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
Kujadili uundaji wa nomino kutokana na kitenzi. Kuunda nomino kutokana na nomino. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 245-246) |
|
6 | 2 |
Kusoma kwa mapana
|
Matumizi ya tarakilishi
|
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tarakilishi. Kutaja aina ya tarakilishi. Kutambua matumizi ya tarakilishi. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 247-248) |
|
6 | 3 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Imla
Daktari na mgonjwa |
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya Imla. Kuandika kwa usahihi kifungu isomwayo na mwalimu. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 248) |
|
6 | 4 |
Kusoma kwa ufahamu
|
Shairi-Kwaheri tunakuaga
|
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
Kusoma shairi kwenye kitabu cha mwanafunzi . Kujadili mtindo wa shairi hilo. Kueleza dhamira ya mwandishi wa shairi. Kujibu maswali kuhusu shairi ipasavyo. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 250-251) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
6 | 5 |
Sarufi
|
Ukubwa na udogo
|
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya ukubwa na udogo wa nomino. Kutoa mifano ya ukubwa na udogo wa nomino. Kutunga sentensi kwa kutumia ukubwa na udogo wa nomino |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 251-256) |
|
7 | 1 |
Kusoma kwa mapana
Kuandika |
Matumizi ya kamusi
|
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
Kueleza jinsi ya kutumia kamusi. Kutambua matumizi ya kamusi. Kutumia kamusi kueleza maana ya misamiati. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 257) |
|
7 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza (Marudio)
|
Majadiliano
|
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya majadiliano. Kusoma majadiliano katika kitabu cha mwanafunzi. Kutaja sifa za majadiliano. Kueleza maana ya muhtasari. Kutambua umuhimu wa muhtasari. |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 221-224) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
7 | 3 |
Kusoma kwa ufahamu
|
Nidhamu
|
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
Kusoma shairi kwenye kitabu cha mwanafunzi kichwa Nidhamu . Kutambua misemo iliyotumika katika kifungu,kueleza maana yao na kuyatumia vyema. Kujibu maswali kuhusu shairi ipasavyo. Kueleza mtindo wa shairi hilo |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 224-226) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
7 | 4 |
Sarufi
Kusoma kwa mapana |
Uakifishaji
|
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya uakifishaji. Kutambua na kueleza matumizi ya alama za uakifishaji. Kuakifisha sentensi husika ipasavyo. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 226-227) |
|
7 | 5 |
Kuandika
|
Uandishi wa Insha - Methali
|
Kufika mwisho wa somo mwanafunzi aweze:
Kutambua mambo muhimu katika uandishi wa insha ya methali. Kujadili utunzi wa insha ya methali Kuandika insha ya methali yeyote. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 230) |
|
8-9 |
Mtihani wa mwisho wa muhula |
Your Name Comes Here