Home

MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA SITA
MWAKA WA 2025
MUHULA WA III

School

To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.

To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.

Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)

WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Mazungumzo ya Kimuktadha - Miktadha rasmi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua miktadha rasmi katika mawasiliano ili kuitofautisha
-kutumia lugha katika miktadha rasmi ili kufanikisha mawasiliano
-Kuchangamkia matumizi ya lugha katika miktadha rasmi kuimarisha maadili yafaayo.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua miktadha mbalimbali kunakotumiwa lugha rasmi (k.v. ofisini, hospitalini)
-kusikiliza mazungumzo rasmi kwa kutazama maigizo kwenye vyombo vya kidijitali (k.v. video, rununu, runinga, tarakilishi)
-kushiriki katika maigizo ya mazungumzo ya miktadha rasmi akishirikiana na wenzake
-kushiriki katika mazungumzo rasmi nje ya darasa k.m. akiwa kwenye gwaride, majilisini n.k.
-kutambua nidhamu ya lugha inayozingatiwa katika mazingira rasmi (k.m lugha ya heshima na adabu anapowasiliana).
1. Ni wapi katika shughuli zetu za kila siku tunaitumia lugha rasmi? -2. Ni nini kinachofanya mazungumzo yawe rasmi?
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 126
-Vifaa vya kidijitali (video, rununu, tarakilishi)
-Picha
1 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Mazungumzo ya Kimuktadha - Miktadha isiyo rasmi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua miktadha isiyo rasmi katika mawasiliano ili kuitofautisha
-kutumia lugha katika miktadha isiyo rasmi ili kufanikisha mawasiliano
-Kuchangamkia matumizi ya lugha katika miktadha isiyo rasmi kuimarisha maadili yafaayo.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua miktadha mbalimbali kunakotumiwa lugha isiyo rasmi (k.v. nyumbani, sokoni)
-kusikiliza mazungumzo yasiyo rasmi kwa kutazama maigizo kwenye vyombo vya kidijitali (k.v. video, rununu, runinga, tarakilishi)
-kushiriki katika maigizo ya mazungumzo ya miktadha yasiyo rasmi akishirikiana na wenzake
-kushiriki katika mazungumzo yasiyo rasmi kama vile uwanjani, kwenye bweni, katika safari ya kwenda nyumbani kutoka shuleni.
1. Ni wapi katika shughuli zetu za kila siku tunaitumia lugha isiyo rasmi? -2. Ni nini kinachofanya mazungumzo yawe yasiyo rasmi?
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 128
-Vifaa vya kidijitali (video, rununu, tarakilishi)
-Picha
1 3
Kusoma
Kusoma kwa Mapana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua aina mbalimbali za matini ili kuchagua inayomvutia
-kusoma matini aliyochagua ili kufaidika na ujumbe na lugha iliyotumiwa
-kufurahia usomaji wa aina mbalimbali za matini ili kupanua mawazo yake.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua matini zinazomvutia maktabani na mtandaoni
-kusoma matini alizochagua ili kufaidi ujumbe na lugha iliyotumiwa
-kutoa wenzake muhtasari wa kile alichosoma kwenye matini ili kupashana ujumbe na kuchocheana kusoma zaidi kwa ajili ya kujifurahisha
-kujadiliana na wenzake matini ambazo wamesoma kwa kuzingatia ukuzaji wa msamiati.
1. Ni habari zipi unazopenda kusoma kwenye matini? -2. Unazingatia nini unapochagua matini za kusoma?
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 131
-Vitabu mbalimbali
-Majarida na magazeti
-Vifaa vya kidijitali
1 4

2 1

2 2
Kuandika
Insha za Maelezo

-kueleza maudhui ya insha ya maelezo kwa kuzingatia mada
-kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo ili kufanikisha mawasiliano
-kuchangamkia utunzi mzuri wenye mapambo ya lugha.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kukuza uwazaji kina na utatuzi wa matatizo kwa kueleza maudhui kutokana na mada ya insha ya maelezo
-kujadili mada ya insha na muundo wa insha ya maelezo
-kuandika insha ya maelezo akitumia vivumishi na vielezi vifaavyo kutoa picha dhahiri kuhusu anachokielezea. Pia akizingatie anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na lugha ya kiubunifu inaojumuisha methali na nahau alizojifunza awali
-kukuza umilisi wa ujuzi wa kidijitali kwa kuandika insha ya maelezo mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini
-kuwawasilishia wenzake insha aliyoandika ili waitathmini.
Je, ni mada gani?
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 135
-Vielelezo vya insha za maelezo
-Vifaa vya kidijitali
2 3

2 4
Sarufi
Vinyume vya Vivumishi

-kutambua vinyume vya vivumishi katika matini
-kutunga sentensi kwa kutumia vinyume vya vivumishi
-kuchangamkia matumizi ya vinyume vya vivumishi katika mawasiliano ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua vinyume vya vivumishi (k.v. zuri- baya, kali-butu, refu- fupi) katika chati, kadi za maneno, kapu la maneno, mti wa maneno au vifaa vya kidijitali
-kutafuta vinyume vya vivumishi kwa kurejelea orodha ya vivumishi alivyopewa
-kutalii mazingira yake na kuunda orodha ya vinyume vya vivumishi
-kutunga sentensi kwa kutumia vinyume vya vivumishi kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi.
Je, ni vivumishi vipi unavyoweza kutambua vinyume vyake?
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 137
-Chati
-Kadi za maneno
-Kapu la maneno
-Mti wa maneno
-Vifaa vya kidijitali
3 1

3 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Sitiari za Tabia

-kujadili dhana ya sitiari ili kuitofautisha na dhana zingine za lugha
-kutambua sitiari za tabia katika matini mbalimbali ili kuzibainisha
-kutumia sitiari za tabia kwa usahihi katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano
-kufurahia matumizi ya sitiari katika mawasiliano ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kujadili na wenzake maana ya sitiari
-kutambua sitiari za tabia (k.v. yeye ni sungura, yeye ni fisi, yeye ni kasuku, mimi ni kobe safarini) katika vitabu, matini, chati na vyombo vya kidijitali akishirikiana na wenzake
-kutoa mifano ya sitiari za tabia akisaidiana na mwenzake
-kueleza maana ya sitiari mbalimbali
-kutumia sitiari katika sentensi.
Ni maneno gani unayoweza kutumia kulinganisha kitu na kingine kwa njia ya moja kwa moja?
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 140
-Vitabu
-Matini mbalimbali
-Chati
-Vyombo vya kidijitali
3 3

3 4
Kusoma
Kusoma kwa Mapana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua na kufungua faili iliyo na kifungu cha kusoma ili kuimarisha umilisi wake wa kutumia tarakilishi
-kuonyesha uelewa wa hatua za kiusalama kwa kusakura matini kwenye tovuti salama ili kupata vifungu vya kusoma kutumia vyombo vya kidijitali
-kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua mambo ya kuzingatia anaposoma matini zilizohifadhiwa katika kifaa cha kidijitali (k.v. kutofuta kazi za wenzake zilizohifadhiwa katika vifaa vya kidijitali) akishirikiana na wenzake
-kutambua mambo ya kuzingatia anaposoma matini za mtandaoni (k.v. kufungua mitandao ifaayo, kutowasiliana na watu usiowajua, kutofichua nywila yako kwa wenzake)
-kutambua jina la faili lengwa kwenye tarakilishi na kufanya mazoezi ya kufungua na kufunga
-kutambua mitandao salama yenye matini inayoafiki kiwango na mahitaji yake
-kutambua umuhimu wa kutoa habari kwa mwalimu, mzazi au mlezi wake endapo atapata ujumbe kutoka kwa watu asiowajua mtandaoni na kutowasiliana nao
-kutafuta maana za maneno mapya kwenye kamusi mtandaoni, kusimulia wenzake habari alizosoma.
1. Unakumbuka habari gani uliyoisoma mtandaoni? -2. Ni hatua gani za kiusalama unazozingatia unapotafuta habari mtandaoni?
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 142
-Vifaa vya kidijitali (tarakilishi)
-Kamusi ya mtandaoni
4 1

4 2
Kuandika
Insha za Masimulizi

-kueleza maudhui ya insha ya masimulizi ili kuandika ifaavyo
-kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo
-kuchangamkia utunzi mzuri ili kuimarisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua insha ya masimulizi kwa kurejelea vielelezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi
-kujadili mada na vidokezo vya insha ili kuvitumia katika kuandika insha yake
-kuelezea maudhui atakayotumia kuandikia insha ya masimulizi
-kuandika insha ya masimulizi (k.v. kuhusu ugaidi, uhalifu, ajali, safari n.k) isiyopungua maneno 200 akizingatia mada, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka, lugha ya kiubunifu na urefu unaotarajiwa. Pia azingatie aina mbalimbali za maneno, mnyambuliko wa vitenzi, na nyakati ili kejenga picha dhahiri ya anachokiandikia daftarini
-kuandika insha ya masimulizi katika vifaa vya kidijitali na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini
-kuwawasilishia wenzake insha aliyoandika ili waitathmini na kumwelekeza.
Insha ya masimulizi ina sifa gani?
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 147
-Vielelezo vya insha
-Vifaa vya kidijitali
4 3

4 4
Sarufi
Hali ya Masharti

-kutambua viambishi vya hali ya masharti kwenye kitenzi
-kutumia vitenzi katika hali ya masharti kwenye sentensi
-kufurahia matumizi ya hali ya masharti katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua viambishi vya hali ya masharti (nge, ngali, ki) kwenye vitenzi katika chati, ubao au kwa kutumia vifaa vya kidijitali
-kutumia vitenzi vya hali ya masharti katika sentensi kwa kuandika daftarini au kupiga chapa kwenye tarakilishi/kipakatalishi
-kubadilisha sentensi kutoka hali moja hadi nyingine
-kutunga sentensi katika hali ya mazoea na hali ya masharti mtandaoni na kuwatumia wenzake waweze kuzisoma na kutathmini usahihi wake.
Je, unajua viambishi vipi?
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 151
-Chati
-Ubao
-Vifaa vya kidijitali
5 1

5 2

5 3

5 4
Kusikiliza na Kuzungumza
Kuzungumza na Kujieleza kwa Ufasaha

ndogo
-kubuni na kusimulia kisa mbele ya wenzake akizingatia mada lengwa
-kutumia ishara zifaazo kuimarisha masimulizi yake
-kufurahia usimulizi wa visa mbalimbali kuhusu maisha.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kujadiliana na wenzake kuhusu mada mbalimbali ambazo huweza kusimuliwa kuhusiana na mambo na hali za maisha (k.v. hadithi za mashujaa, shughuli za sikukuu za kitaifa, usomaji wa bajeti, ulipaji wa ushuru, hekaya)
-kusikiliza kisa cha kisimulizi kuhusu mada lengwa kutoka kwa mgeni mwalikwa, tepurekoda, video na tarakilishi ili kupata sifa za usimulizi mzuri
-kusimulia kisa kuhusiana na mada fulani akizingatia mtiririko wa mawazo, mfuatano wa matukio, kanuni za kisarufi, kupanda na kushuka kwa sauti, ishara za uso, viziada lugha, tasfida, na wakati ili kuufanya utungo wake uvutie
-kuuliza na kujibu maswali kutokana na visa vilivyosimuliwa darasani.
Masimulizi kuhusu ushuru yana umuhimu gani?
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 155
-Tepurekoda
-Video
-Tarakilishi
-Mgeni mwalikwa
6 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Kuzungumza na Kujieleza kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo
-kubuni na kusimulia kisa mbele ya wenzake akizingatia mada lengwa
-kutumia ishara zifaazo kuimarisha masimulizi yake
-kufurahia usimulizi wa visa mbalimbali kuhusu maisha.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kujadiliana na wenzake kuhusu mada mbalimbali ambazo huweza kusimuliwa kuhusiana na mambo na hali za maisha (k.v. hadithi za mashujaa, shughuli za sikukuu za kitaifa, usomaji wa bajeti, ulipaji wa ushuru, hekaya)
-kusikiliza kisa cha kisimulizi kuhusu mada lengwa kutoka kwa mgeni mwalikwa, tepurekoda, video na tarakilishi ili kupata sifa za usimulizi mzuri
-kusimulia kisa kuhusiana na mada fulani akizingatia mtiririko wa mawazo, mfuatano wa matukio, kanuni za kisarufi, kupanda na kushuka kwa sauti, ishara za uso, viziada lugha, tasfida, na wakati ili kuufanya utungo wake uvutie
-kuuliza na kujibu maswali kutokana na visa vilivy
Masimulizi kuhusu ushuru yana umuhimu gani?
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 156
-Tepurekoda
-Video
-Tarakilishi
-Mgeni mwalikwa
6 2
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha
-kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora
-kusoma kifungu kwa kasi ifaayo
-kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo
-kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo
-kuchangamkia kusoma kifungu kwa kuzingatia vipengele vya usomaji.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kujadiliana na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma makala kwa ufasaha
-kusoma kifungu kuhusu suala lengwa katika matini andishi au ya kidijitali akizingatia matamshi bora
-kusoma kifungu cha habari kwa kasi ifaayo kuhusu suala lengwa
-kusoma kifungu akizingatia sauti ifaayo (k.v. kiwango cha sauti na kiimbo)
-kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo panapofaa (k.v. ishara za uso na mikono zinazozingatia tamaduni)
-kushirikiana na mzazi au mlezi kusoma makala akizingatia vipengele vya usomaji bora.
Je, kusoma kwa ufasaha kuna umuhimu gani?
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 157
-Maandishi mbalimbali
-Vifaa vya kidijitali
6 3

6 4
Kuandika
Barua Rasmi

-kujadili maudhui ili kuandika barua rasmi inayozingatia mada
-kuandika barua rasmi inayozingatia mada, hati safi, muundo na mtindo ufaaoili kuwasiliana ipasavyo
-kuchangamkia utunzi wa barua rasmi katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua mada ya kuandikia barua rasmi
-kujadili na wenzake maudhui yafaayo kulingana na mada ya insha ya barua rasmi
-kuandika vidokezo vya kumwongoza
-kujadili na wenzake vipengele vya aya
-kuandika barua rasmi kwa mwalimu daftarini kuomba msamaha na kuiwasilisha kila hoja katika aya yake
-kutumia sentensi inayobeba wazo kuu mwanzoni mwa kila aya
-kuandika kwa hati safi au kwa kutumia tarakilishi huku akizingatia kanuni zifaazo
-kujadiliana na wenzake kuhusu umuhimu wa barua rasmi katika mawasiliano.
1. Uandishi wa barua rasmi huzingatia vipengele gani? -2. Unazingatia nini ili kuunda aya nzuri?
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 160
-Kielelezo cha barua rasmi
-Tarakilishi
7 1

7 2
Sarufi
Ukanushaji wa Maneno

-kutambua viambishi vya hali ya masharti katika sentensi
-kukanusha viambishi vya hali ya masharti katika sentensi
-kufurahia ukanushaji wa viambishi hali ya masharti katika sentensi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua viambishi vya hali ya masharti (nge, ngali, ki) katika vitenzi kwa kuvipigia mistari kwenye vitabu au kuvikolezea wino kwenye tarakilishi
-kutambua viambishi vya hali ya masharti katika hali kanushi (k.v. singe, singali, sipo)
-kusoma sentensi zenye viambishi lengwa kwenye vitabu au tarakilishi katika hali yakinishi na kanushi
-kukanusha maneno na sentensi akizingatia hali ya masharti kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi
-kutunga sentensi sahihi zenye viambishi vya hali ya masharti na kuzikanusha
-kusikiliza au kutazama vipindi vya ukanushaji wa hali ya masharti kupitia vifaa vya kidijitali.
1. Viambishi vya hali ya masharti katika vitenzi ni vipi? -2. Viambishi vya hali ya masharti katika ukanushaji ni vipi?
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 162
-Vitabu
-Tarakilishi
-Vifaa vya kidijitali
7 3

7 4

8 1
Sarufi
Ukubwa na Udogo wa Nomino

-kutambua nomino zinazoanza kwa kiambishi Ki- katika kundi la maneno
-kubadilisha nomino, zinazoanza kwa Ki- katika hali wastani kuwa katika hali ya ukubwa na udogo
-kutunga sentensi sahihi akitumia nomino zinazoanza kwa Ki- katika hali ya ukubwa na udogo huku akizingatia upatanisho wa kisarufi
-kufurahia kutumia nomino zinazoanza kwa Ki- kwa usahihi katika hali ya ukubwa na udogo ili kuimarisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua nomino zinazoanza kwa kiambishi Ki- (k.v. kiti, kitabu, kitanda) kwa kutumia kadi za maneno, mti wa maneno, chati au vifaa vya kidijitali
-kushiriki kwenye mjadala wa kutambua viambishi vinavyotumika kudhihirisha ukubwa na udogo wa nomino
-kushiriki katika vikundi kubadilisha nomino kutoka hali ya wastani hadi hali ya ukubwa na udogo
-kushiriki katika mchezo wa vikundi ambapo kikundi kimoja kitataja wastani wa nomino na kingine kutaja ukubwa na udogo wa nomino hiyo
-kutunga sentensi kwa kutumia nomino hizo katika hali ya ukubwa na udogo kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi.
Je, ni nomino gani zinazoanza kwa kiambishi Ki- unazozijua?
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 164
-Kadi za maneno
-Mti wa maneno
-Chati
-Vifaa vya kidijitali
8 2

8 3

8 4

9 1

-kutambua nomino zinazoanza kwa kiambishi Ji- ili kuzibainisha
-kubadilisha nomino zinazoanza kwa kiambishi Ji- katika hali wastani kuwa katika hali ya ukubwa na udogo
-kutunga sentensi sahihi akitumia nomino zinazoanza kwa kiambishi Ji- katika hali ya ukubwa na udogo huku akizingatia upatanisho wa kisarufi
-kufurahia kutumia nomino zinazoanza kwa kiambishi Ji- kwa usahihi katika hali ya ukubwa na udogo ili kuimarisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutaja nomino zinazoanza kwa kiambishi ji- katika hali ya ukubwa na udogo kwa kutumia kadi za maneno, mti wa maneno, chati au vifaa vya kidijitali k.v. jani (jijani - kijani), jiko (jijiko - kijijiko)
-kushiriki kwenye mjadala wa kutambua viambishi vinavyotumika kudhihirisha ukubwa na udogo wa nomino zinazoanza kwa kiambishi Ji-
-kubadilisha nomino kutoka hali ya wastani hadi hali ya ukubwa na udogo

Je, ni nomino gani zinazoanza kwa kiambishi ji- unazozijua?
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 167
-Kadi za maneno
-Mti wa maneno
-Chati
-Vifaa vya kidijitali
9 2

9 3

9 4

Your Name Comes Here

Download

Feedback