If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
2 | 4 |
Kusoma
|
Shairi
Nyuki nimekoni?
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kusoma shairi |
Kusoma
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 93-94
|
|
2 | 5 |
Kusikiliza na kuongea
|
Fasihi Simulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-sifa za soga Dhima ya soga Kusoma riwaya |
kusikiliza
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 91-93
|
|
2 | 6 |
sarufi
|
Vinyume vya vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza Vinyume vya vitenzi Mafano Shuka- panda Nuka-nukia Lala-amka Kueleza vitenzi katika hali ya kuamrisha |
Kuchanganua
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 95-96
|
|
3 | 1-2 |
Kusoma
kuandika |
Maenezi ya Kiswahili
Ratiba |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma kwa mapana na marefu -kupanua msamiati wake Kutambua maana ya ratiba -kuandika kwa makini -kuandika insha nzuri ya maelezo |
kusoma
kuandika |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe
kidato 3 Uk 97-100 Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 uk 100-101 |
|
3 | 3 |
Fasihi
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
3 | 4 |
Kusoma
|
Dini ya ulimwengu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma kwa mapana na marefu -kupanua msamiati wake |
kusoma
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 106-107
|
|
3 | 5 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Visasili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya Visasili vilivyo -kubainisha aina mbali mbali za Visasili Kutao mifano ya Visasili Kutambua maana ya mighani Sifa za mighani na umuhimu wa mighani |
Kusoma
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 102-106
|
|
3 | 6 |
sarufi
|
Uundaji wa nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kueleza nomino kutokana na vitenzi vya asili ya kigeni kutaja aina mbalimbali za sentensi mifano- samehe, abiri, husudu |
Kutaja
Kueleza |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 106-107
|
|
4 | 1-2 |
sarufi
Kuandika Fasihi |
Uundaji wa nomino
Uandishi wa insha BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kueleza nomino kutokana na vitenzi vya asili ya kigeni -kutaja aina mbalimbali za sentensi mifano- samehe, abiri, husudu Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
- Kusoma
Kueleza Kusoma Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu
Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 108-110
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
|
4 | 3 |
Kusoma
Marudio
|
Kukandamizwa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa makini na kwa ufahamu -kutaja mambo muhimu yanayozingatiwa katika usemi wa taarifa |
- Kueleza
Kutaja Mifano |
|
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 uk 114-115
|
|
4 | 4 |
2
|
sarufi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutoa maana ya Virai Anian mbalimbali ya virai Mfano Kirai nomino Kirai kitenzi Virai vielezi Kirai kivumishi Virai vihusishi |
-kusoma - kutaja mifano
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 uk
|
|
4 | 5 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Fasihi simulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza fasihi simulizi Nago Sifa za ngano Dhima za ngano Kutoa mifano ya ngano |
Maelezo
|
Kitabu
Kamusi |
ngano
‘Fasihi simulizi’ Uk 112-114 |
|
4 | 6 |
Kuandika
|
Ushairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuandika mashiri ya arudhi Kutoa miundo ya tungo |
- Maelezo
-Kuandika |
kitabu cha mwanafunzi
|
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 uk 118-122
|
|
5 | 1-2 |
Fasihi
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
5 | 3 |
Kusoma
|
Kukandamizwa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa makini na kwa ufahamu -kutaja mambo muhimu yanayozingatiwa katika usemi wa taarifa |
- Kueleza
Kutaja Mifano |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 uk 114-115
|
|
5 | 4 |
2
|
sarufi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutoa maana ya Virai Aina mbalimbali ya virai Mfano Kirai nomino Kirai kitenzi Virai vielezi Kirai kivumishi Virai vihusishi |
- Kueleza
Kutaja Mifano |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 115-118
|
|
5 | 5 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Fasihi simulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza fasihi simulizi Nago Sifa za ngano Dhima za ngano Kutoa mifano ya ngano |
Maelezo
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk
|
|
5 | 6 |
Kuandika
|
Ushairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuandika mashiri ya arudhi Kutoa miundo ya tungo |
- Maelezo
Kuandika |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 uk 118-122
|
|
6 | 1-2 |
Fasihi
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
6 | 3 |
kusoma
|
mchezo wa kuigiza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa kudadisi ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu |
-
Kusoma Kukariri |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 125
|
|
6 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Maamkizi na mazungumzo- isimujamii
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kusikiliza majadiliano baina ya marafiki wawili kuhusu umoja wa taifa Kujibu maswali |
Kuandika
Kutunga sentensi Kusoma |
kitabu cha mwanafunzi
|
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 uk 124
|
|
6 | 5 |
Sarufi
|
vishazi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua maana ya vishazi kutambua aina za vishazi vishazi huru vishazi tegemezi kutambua maana ya vishazi huru na vishazi tegemezi mwanafunzi Kuandika sentensi akitumia v. huru na v.tegemezi mfano vishazi huru Mwashi amewasili mgeni atakuja shuleni leo vishazi tegemezi jiwe lililomgonga cheti kilichopotea |
- Kuandika
Kutunga sentensi |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 uk 128-129
|
|
6 | 6 |
Kuandika
|
wasifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandika wasifu kutoa mifano tawasifu na wasifukazi |
- Kuandika
Kutunga sentensi |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 uk 131
|
|
7 | 1-2 |
Fasihi
andishi
Fasihi andishi Kusoma |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege mhepa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kitabu Kamusi |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
7 | 3 |
Kusikiliza na kuongea
|
Miviga
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua maana ya miviga kutambua sifa za miviga kutambua dhima ya miviga wahusika na changamoto za miviga |
Kusikiliza
kuzungumza |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 135-136
|
|
7 | 4 |
sarufi
|
setensi ya Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya setensi ya Kiswahili kutambua miundo ya kikundi nomino (KN) mfano nomino za pekee kiwakilishi pekee nomino na nomino nomino na kivumisi nomino na vivumishi nomino kivumishi na kielezi miundo ya kikunndi tenzi |
Maelezo
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 138-142
|
|
7 | 5 |
kuandika
|
utungaji wa kiuamilifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-mwanfunnzi aweze kutumia utungaji wa kiuamilifu |
Kusoma Kufupisha |
Kitabu |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 4 Uk 144
|
|
7 | 6 |
Fasihi
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
8 | 1-2 |
Fasihi andishi
Kusoma |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
mhepa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia -kusoma kwa makini na kwa ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika - Kusoma Kujibu maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 136-138 |
|
8 | 3 |
Kusikiliza na kuongea
|
Miviga
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua maana ya miviga kutambua sifa za miviga kutambua dhima ya miviga wahusika na changamoto za miviga |
Kusikiliza
kuzungumza |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 135-136
|
|
8 | 4 |
sarufi
|
setensi ya Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya setensi ya Kiswahili kutambua miundo ya kikundi nomino (KN) mfano nomino za pekee kiwakilishi pekee nomino na nomino nomino na kivumisi nomino na vivumishi nomino kivumishi na kielezi miundo ya kikunndi tenzi |
Maelezo
|
Kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 138-142
|
|
8 | 5 |
kuandika
|
utungaji wa kiuamilifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-mwanfunnzi aweze kutumia utungaji wa kiuamilifu |
Kusoma Kufupisha |
Kitabu Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 4 Uk 144
|
|
8 | 6 |
Fasihi
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
9 |
Mid term break |
|||||||
10 | 1-2 |
Fasihi andishi
Ufahamu |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Haki zetu binadamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia -Kusoma kwa makini na kwa ufahamu kifungu cha habari -kujibu vilivyo maswali ya ufahamu |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika Kutaja kueleza |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu Kamusi |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 147-148 |
|
10 | 3 |
Kuzikiliza na kuongea
|
maigizo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuigiza maigizo kutoa mifano wa shughuli za jandoni katika kabila fullani |
Kuchambua
|
kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 146-147
|
|
10 | 4 |
sarufi
|
aina za sentensi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua aina za sentensi mfano sentensi sahihi sentensi ambatano sentensi changamano mwanafunzi Kuandika sentensi za aina mbali mbali za sentensi mfano kutumia viunganishi, vishazi viwili |
Mjadala
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 146-147
|
|
10 | 5 |
Kuandika
|
utungaji wa kiuamilifu
kumbukumbu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandika kumbukumbu |
Kusoma
kuandika |
kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 152
|
|
10 | 6 |
Fasihi simulizi
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
11 | 1-2 |
Fasihi
Ufahamu |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Haki zetu binadamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia -Kusoma kwa makini na kwa ufahamu kifungu cha habari -kujibu vilivyo maswali ya ufahamu |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika Kutaja kueleza |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 147-148 |
|
11 | 3 |
Kuzikiliza na kuongea
sarufi |
maigizo
aina za sentensi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuigiza maigizo kutoa mifano wa shughuli za jandoni katika kabila fullani |
Kuchambua
|
kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 146-147
|
|
11 | 4 |
Kuandika
|
utungaji wa kiuamilifu
kumbukumbu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandika kumbukumbu |
Kusoma
kuandika |
kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 152
|
|
11 | 5 |
Fasihi simulizi
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
11 | 6 |

12 | 1-2 |
Kusoma
Kusikiliza na kuzungumza |
usalama barabarani
ushairi nyimbo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu ipasavyo kukariri mashairi kuimba nyimno kutambua dhima ya nyimbo kutunga mifano wa wimbo |
- Kusoma
Jibu maswali Kisikiliza na kushiriki |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 158-159 Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 156-157 |
|
12 | 3 |
sarufi
|
uchanganuzi wa sentensi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya uchanganuzi wa sentensi -kutaja aina ya sentensi sahili kujaza jedwali kuandika sentesni ambatano kuandika sentesni changamano |
Maelezo
|
kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 160-165
|
|
12 | 4 |
Kuandika
|
utungaji wa kiuamilifu
tahadhari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua aina mbili za tahadhari ilani na onyo |
Kuandika
kueleza |
kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 165-166
|
|
12 | 5 |
Fasihi
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
12 | 6 |

Your Name Comes Here