Home

MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA SITA
MWAKA WA 2025
MUHULA WA II

School

To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.

To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.

Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)

WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
2 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Heshima, Adabu na Vyeo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua maneno ya heshima yanayotumiwa katika mawasiliano,
-kuonyesha uelewa wa maneno ya heshima kwa kuyatumia kwa usahihi katika mawasiliano,
-kuthamini kutumia maneno ya heshima katika mawasiliano ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua maneno ya heshima (k.v. shehe, kasisi, padre, mwadhini, mheshimiwa, rais, mtawa) kwenye ubao, mti maneno, tarakilishi au kapu maneno,
-kueleza maana ya maneno lengwa kama yanavyotumiwa katika mahusiano ya kila siku kati ya watu.
Ni maneno yapi ya heshima unayoyajua na unayoweza kutumia kurejelea watu tofauti? -Kutumia maneno ya heshima kuna umuhimu gani katika jamii?
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 54
-Kadi za maneno
-Mti wa maneno
-Vifaa vya kidijitali
2 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Heshima, Adabu na Vyeo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua maneno ya heshima yanayotumiwa katika mawasiliano,
-kuonyesha uelewa wa maneno ya heshima kwa kuyatumia kwa usahihi katika mawasiliano,
-kuthamini kutumia maneno ya heshima katika mawasiliano ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutunga sentensi kwa kutumia maneno lengwa kwa usahihi,
-kutazama maigizo ya watu wakitumia maneno ya heshima kwenye tarakilishi na video,
-kuigiza mazungumzo mafupi akiwa na wenzake huku akitumia msamiati wa heshima.
Ni maneno yapi ya heshima unayoyajua na unayoweza kutumia kurejelea watu tofauti? -Kutumia maneno ya heshima kuna umuhimu gani katika jamii?
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 56
-Vifaa vya kidijitali
-Video
2 3
Kusoma
Kusoma kwa Mapana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali anaposoma,
-kusakura matini kwenye tovuti salama ili kupata vifungu vya kusoma vyenye mada lengwa.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kujadili na wenzake kuhusu hatua za kiusalama na maadili anayofaa kuzingatia anapotafuta na kusoma matini ya kidijitali,
-kujadili na wenzake kuhusu utunzaji wa vifaa vya kidijitali anavyotumia katika usomaji.
Kusoma matini ya kidijitali kuna manufaa gani?
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 57
-Vifaa vya kidijitali
-Mitandao salama
2 4
Kusoma
Kuandika
Kusoma kwa Mapana
Barua Rasmi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutumia vifaa ya kidijitali kwa urahisi ili kupata matini yanayolengwa,
-kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kuzingatia hatua za kiusalama katika kutumia vifaa vya kidijitali,
-kutambua jina la faili lengwa kwenye tarakilishi na kufanya mazoezi ya kufungua na kufunga faili,
-kutambua mitandao salama yenye matini inayoafiki kiwango na mahitaji yake.
Kusoma matini ya kidijitali kuna manufaa gani?
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 59
-Vifaa vya kidijitali
-Mitandao salama
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 61
-Kielelezo cha barua rasmi
3 1
Kuandika
Barua Rasmi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kuandika barua rasmi kwa kufuata kanuni zifaazo,
-kuchangamkia umuhimu wa barua rasmi katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kuandika barua rasmi kwa mwalimu akiomba kujiunga na klabu shuleni (k.v. vile skauti, mazingira, kilimo na muziki),
-kuandika barua rasmi katika daftari akiwa peke yake,
-kujadiliana na wenzake kuhusu umuhimu wa barua rasmi katika mawasiliano.
Barua rasmi ni barua ya aina gani? -Unazingatia nini unapoandika barua rasmi?
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 63
-Kielelezo cha barua rasmi
-Vifaa vya kidijitali
3 2
Sarufi
Ngeli ya YA-YA
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya YA – YA katika sentensi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua viambishi vya ngeli ya YA-YA katika sentensi kwa kuvipigia mstari au kuvikoleza rangi katika tarakilishi,
-kutambua nomino katika ngeli ya YA-YA kutokana na upatanisho wa kisarufi kwenye sentensi (k.m. maji, maziwa, mate, marashi na maskani).
Je, unajua majina gani ya vitu visivyohesabika?
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 64
-Kapu la maneno
-Vifaa vya kidijitali
3 3
Sarufi
Ngeli ya YA-YA
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua nomino katika ngeli ya YA-YA kutokana na upatanisho wa kisarufi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kuandika nomino katika ngeli ya YA-YA katika umoja na wingi akishirikiana na wenzake,
-kutunga sentensi sahihi kwa kutumia nomino za ngeli ya YA-YA kwa kushirikiana na wenzake.
Je, unajua majina gani ya vitu visivyohesabika?
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 66
-Kapu la maneno
-Mti wa maneno
-Vifaa vya kidijitali
3 4
Sarufi
Ngeli ya YA-YA
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutumia nomino za ngeli ya YA –YA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kujaza mapengo kwa kutumia viambishi mwafaka vya ngeli ya YA-YA,
-Geuza sentensi hizi ziwe katika umoja.
Je, unajua majina gani ya vitu visivyohesabika?
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 67
-Kapu la maneno
-Vifaa vya kidijitali
4 1
Sarufi
Ngeli ya YA-YA
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya YA-YA katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Tunga sentensi tatu katika umoja ukitumia nomino katika ngeli ya YA-YA,
-Tunga sentensi tatu katika wingi ukitumia nomino katika ngeli ya YA-YA.
Je, unajua majina gani ya vitu visivyohesabika?
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 68
-Kapu la maneno
-Vifaa vya kidijitali
4 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Methali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua methali zinazohusu umoja na ushirikiano katika matini,
-kueleza maana na matumizi ya methali mbalimbali zinazohusu umoja na ushirikiano katika jamii.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua methali zinazohusu umoja na ushirikiano (kama vile; umoja ni nguvu utengano ni udhaifu, jifya moja haliinjiki chungu, kidole kimoja hakivunji chawa, kinga na kinga ndio moto huwaka n.k.) katika chati, ubao na vyombo vya kidijitali,
-kutoa mifano ya methali zinazohusu umoja na ushirikiano katika jamii.
Je, ni nini umuhimu wa methali katika jamii? -Ni methali gani unazozijua kuhusu umoja na ushirikiano?
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 69
-Chati
-Vifaa vya kidijitali
4 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Methali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutumia methali zinazohusu umoja na ushirikiano katika mawasiliano,
-kuchangamkia matumizi ya methali zinazohimiza umoja na ushirikiano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kusikiliza methali za umoja na ushirikiano zikitumiwa kupitia vyombo vya kidijitali,
-kujadili na wenzake maana na matumizi ya methali mbalimbali zinazohusu umoja na ushirikiano,
-kulinganisha methali na maana yake,
-kukamilisha methali mbalimbali zinazohusu umoja na ushirikiano katika mazungumzo akishirikiana na wenzake.
Je, ni nini umuhimu wa methali katika jamii? -Ni methali gani unazozijua kuhusu umoja na ushirikiano?
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 71
-Vifaa vya kidijitali
4 4
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kujadili dhana za ukwapi na utao katika shairi ili kuzibainisha,
-kutambua mashairi ya tathnia, tathlitha na tarbia kwa kuzingatia muundo.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kujadili ukwapi na utao katika shairi,
-kutambua ukwapi na utao katika shairi kwenye ubao, chati, vitabu au vyombo vya kidijitali,
-kusoma shairi akizingatia ukwapi na utao.
Je, kuna tofauti gani kati ya mashairi mbalimbali?
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 72
-Chati
-Vitabu vya mashairi
-Vifaa vya kidijitali
5 1
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kusoma mashairi ya tathnia, tathlitha na tarbia ili kupata ujumbe.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kujirekodi akisoma aina za mashairi lengwa akitumia vyombo vya kidijitali ili kuweza kujirekebisha anakokosea,
-kutofautisha mashairi ya tathnia, tathlitha na tarbia kwenye ubao, chati, vitabu au vifaa vya kidijitali,
-kutambua mashairi ya tathnia, tathlitha na tarbia katika matini mbalimbali.
Je, kuna tofauti gani kati ya mashairi mbalimbali?
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 73
-Chati
-Vitabu vya mashairi
-Vifaa vya kidijitali
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 75
5 2
Kuandika
Insha za Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua insha za maelezo katika matini mbalimbali,
-kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua vifungu vya maelezo vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi,
-kujadili vidokezo vya insha ya maelezo atakavyovitumia katika kuandika insha yake,
-kuonyesha umilisi wa ubunifu kwa kuandika insha ya maelezo.
Insha ya maelezo ina sifa gani?
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 76
-Kielelezo cha insha ya maelezo
-Vifaa vya kidijitali
5 3
Kuandika
Insha za Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kuchangamkia utunzi bora maishani.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kuandika insha ya maelezo (k.v. Siku ya sherehe ya kitaifa, Siku ya michezo ya kitaifa, Nchi yetu, n.k) isiyopungua maneno 200 akizingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na lugha ya kiubunifu,
-kukuza umilisi wa ujuzi wa kidijitali kwa kuandika insha ya maelezo na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu.
Insha ya maelezo ina sifa gani?
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 77
-Kielelezo cha insha ya maelezo
-Vifaa vya kidijitali
5 4
Sarufi
Ngeli ya U-U
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya U - U katika sentensi ili kuzibainisha,
-kutambua nomino katika ngeli ya U - U katika sentensi ili kuzibainisha.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua viambishi vya ngeli ya U-U katika sentensi kwa kuvipigia mstari au kuvikoleza rangi katika tarakilishi,
-kutambua nomino katika ngeli ya U-U kutokana na upatanisho wa kisarufi kwenye sentensi (k.v. chumvi, miwani na sukari, chai, kahawa, mirathi, asali, sharubati).
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya U-U?
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 78
-Kadi za maneno
-Mti wa maneno
-Vifaa vya kidijitali
6 1
Sarufi
Ngeli ya U-U
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutumia nomino za ngeli ya U - U katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kuandika nomino katika ngeli ya U-U katika umoja na wingi akishirikiana na wenzake,
-kutunga sentensi sahihi kwa kutumia nomino za ngeli ya U-U kwa kushirikiana na wenzake.
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya U-U?
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 79
-Kadi za maneno
-Mti wa maneno
-Vifaa vya kidijitali
6 2
Sarufi
Ngeli ya U-U
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-U katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Jaza mapengo kwa nomino za ngeli ya U-U ili kukamilisha sentensi zifuatazo,
-Andika nomino hizi katika wingi,
-Tunga sentensi katika umoja ukitumia nomino hizi,
-Tunga sentensi tano ukitumia nomino za ngeli ya U-U katika wingi.
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya U-U?
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 81
-Kadi za maneno
-Mti wa maneno
-Vifaa vya kidijitali
6 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kukariri au kuimba shairi kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia, matamshi ya maneno yenye sauti lengwa na mahadhi mbalimbali ili kukuza matamshi bora,
-kueleza maana ya maneno yenye sauti lengwa yaliyotumika katika shairi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kusikiliza shairi kuhusu suala lengwa na lenye maneno yenye sauti lengwa (d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng) likikaririwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kifaa cha kidijitali,
-kukariri akishirikiana na wenzake, shairi kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia matamshi ya maneno yenye sauti lengwa na mahadhi mbalimbali,
-kutamka maneno yaliyoundwa kutokana na sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng katika shairi.
Kwa nini
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 82
-Nakala ya shairi
-Vifaa vya kidijitali
-Mgeni mwalikwa
6 4
Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutumia kwa usahihi msamiati uliotumiwa katika shairi kuboresha mawasiliano,
-kuonyesha ufahamu wa ujumbe katika shairi kwa kujibu maswali kuchangamkia mahadhi mbalimbali katika ushairi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua msamiati uliotumika katika ushairi kuhusu usawa wa kijinsia (k.m. jinsia, ubaguzi, mtoto wa kiume, mtoto wa kike, usawa, heshima na uwajibikaji),
-kutumia msamiati uliotumika katika shairi kutunga sentensi sahihi akishirikiana na wenzake,
-kusakura mtandaoni, akishirikiana na wenzake, ili kukariri au kuimba shairi kwa mahadhi mbalimbali.
Kwa nini
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 84
-Nakala ya shairi
-Vifaa vya kidijitali
7 1
Kusoma
Kusoma kwa Mapana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kujadili mambo ya kuzingatia katika kuchagua makala ya kusoma katika maktaba,
-kutambua makala atakayosoma katika maktaba.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kueleza umuhimu wa kusoma kwa mapana,
-kujadili mambo ya kuzingatia anapochagua matini za kusoma katika maktaba (k.v. makala yanayoambatana na umri, ukubwa wa maandishi, ujumbe anaotaka kuupata),
-kuchagua makala mbalimbali kuhusu suala lengwa katika maktaba (makala yaliyochapishwa au katika kifaa cha kidijitali).
Je, kwa nini ni muhimu kuwa na mazoea ya kusoma makala au hadithi? -Kusoma makala kuhusu usawa wa kijinsia kuna umuhimu gani?
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 85
-Makala mbalimbali
-Vifaa vya kidijitali
7 2
Kusoma
Kuandika
Kusoma kwa Mapana
Insha ya Wasifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kusoma makala aliyochagua ili kufaidika na ujumbe na lugha iliyotumiwa,
-kufurahia kusoma makala mbalimbali ili kujenga ufasaha wa lugha.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kusoma makala alizochagua ili kufaidi ujumbe na lugha iliyotumiwa,
-kutoa wenzake muhtasari wa kile alichosoma kwenye matini ili kupashana ujumbe na kuchocheana kusoma zaidi kwa ajili ya kujifurahisha,
-kujadiliana na wenzake matini ambazo wamesoma kwa kuzingatia ukuzaji wa msamiati.
Je, kwa nini ni muhimu kuwa na mazoea ya kusoma makala au hadithi? -Kusoma makala kuhusu usawa wa kijinsia kuna umuhimu gani?
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 88
-Makala mbalimbali
-Vifaa vya kidijitali
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 89
-Kielelezo cha insha ya wasifu
7 3
Kuandika
Insha ya Wasifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kufurahia uandishi wa insha za wasifu kwa kueleza sifa za mtu, kitu, mnyama au mahali.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kuandika kwenye kitabu chake au kwenye tarakilishi insha ya wasifu isiyopungua maneno 200 kwa kuzingatia msamiati na ujumbe unaohusu suala lengwa. Pia azingatie ujumbe, tahajia, anwani, muundo na mtindo,
-kuwawasilishia wenzake insha aliyoiandika ili wampe maoni yao.
Insha ya wasifu ina sifa gani?
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 90
-Kielelezo cha insha ya wasifu
-Vifaa vya kidijitali
7 4
Sarufi
Ngeli ya I-I
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua nomino katika ngeli ya I - I katika sentensi ili kuzibainisha,
-kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya I - I katika sentensi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua viambishi vya ngeli ya I-I katika sentensi kwa kuvipigia mstari au kuvikoleza rangi katika tarakilishi,
-kutambua nomino katika ngeli ya I-I kutokana na upatanisho wa kisarufi kwenye sentensi (k.v. chumvi, miwani na sukari, chai, kahawa, mirathi, asali, sharubati).
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya I-I?
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 91
-Kadi za maneno
-Mti wa maneno
-Vifaa vya kidijitali
8 1
Sarufi
Ngeli ya I-I
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutumia nomino za ngeli ya I - I katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kuandika nomino katika ngeli ya I-I katika umoja na wingi akishirikiana na wenzake,
-kutunga sentensi sahihi kwa kutumia nomino za ngeli ya I-I kwa kushirikiana na wenzake.
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya I-I?
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 92
-Kadi za maneno
-Mti wa maneno
-Vifaa vya kidijitali
8 2
Sarufi
Ngeli ya I-I
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya I-I katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Jaza mapengo kwa viambishi kifaacho cha ngeli ya I-I,
-Tumia nomino hizi kujazia mapengo katika sentensi zinazofuata kwenye daftari lako,
-Tumia nomino zifaazo za ngeli ya I-I kukamilisha sentensi hizi kwenye daftari lako,
-Geuza nomino hizi ziwe katika umoja.
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya I-I?
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 94
-Kadi za maneno
-Mti wa maneno
-Vifaa vya kidijitali
8 3
Sarufi
Ngeli ya I-I
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya I-I katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Tunga sentensi ukitumia nomino hizi za ngeli ya I-I,
-Tafuta sentensi zenye nomino za ngeli ya I-I kisha uziandike katika daftari lako. Linganisha orodha yako na ile ya wenzako darasani.
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya I-I?
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 95
-Kadi za maneno
-Mti wa maneno
-Vifaa vya kidijitali
8 4
Kusikiliza na Kuzungumza
Nahau
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua nahau za kazi na ushirikiano katika matini mbalimbali,
-kujadili maana ya nahau mbalimbali za kazi na ushirikiano ili kuzitofautisha.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua nahau za kazi na ushirikiano (k.v. chapa kazi, kunja jamvi, changa bia, sema kwa sauti moja, fanya itifaki) katika chati, michoro, picha, vikapu maneno, mti maneno, chati, kamusi na katika vyombo vya kidijitali,
-kujadili na wenzake maana za nahau za kazi na ushirikiano kwa kutoa mifano.
Je, ni nahau zipi zinazohimiza watu kufanya mambo mbalimbali?
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 96
-Vifaa vya kidijitali
-Chati
-Kapu maneno
-Mti maneno
9 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Nahau
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutumia nahau za kazi na ushirikiano katika mawasiliano,
-kuthamini matumizi ya nahau za kazi na ushirikiano katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kuambatanisha nahau na maana yake,
-kutumia nahau za kazi na ushirikiano katika sentensi akiwa pekee au kwa kushirikiana na wenzake,
-kusakura mtandaoni ili kupata nahau zaidi za kazi na ushirikiano na maana zake na kuziandika,
-kujadili na wenzake nahau alizozipata ili kuelimishana.
Je, ni nahau zipi zinazohimiza watu kufanya mambo mbalimbali?
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 98
-Vifaa vya kidijitali
-Chati
-Kapu maneno
-Mti maneno
9 2
Kusoma
Kusoma kwa Mapana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua matini anazotaka kusoma kwenye maktaba,
-kuchagua matini anazotaka kusoma kwenye maktaba.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua aina mbalimbali za matini (k.v. vitabu, magazeti, na majarida) kwenye tarakilishi au kadi za katalogi,
-kuchagua matini atakayoisoma,
-kusoma matini kimyakimya ili kupata ujumbe uliopo na kufaidi matumizi ya lugha.
Unapenda kusoma matini ya aina gani? -Ni vipi unavyoweza kupata matini ya kusoma?
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 99
-Matini mbalimbali
-Vifaa vya kidijitali
9 3
Kusoma
Kusoma kwa Mapana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kusoma matini ili kufaidika na ujumbe na lugha inayotumiwa,
-kufurahia usomaji wa matini za aina mbalimbali ili kujenga utamaduni wa kusoma.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kusimulia ujumbe kutokana na matini alizosoma kwa wenzake,
-kujadiliana na wenzake matini alizosoma ili kuchochea hamu ya usomaji wa mapana miongoni mwao.
Unapenda kusoma matini ya aina gani? -Ni vipi unavyoweza kupata matini ya kusoma?
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 101
-Matini mbalimbali
-Vifaa vya kidijitali
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 102
9 4
Kuandika
Insha za Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kujadili maudhui ya insha ya maelezo ili kukuza ubunifu,
-kuandika insha ya maelezo kwa kuzingatia mada, mtiririko, sarufi, muundo na mtindo ufaao.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua vifungu vya insha za maelezo vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi (k.v. maelezo kuhusu kuzuia mmomonyoko wa udongo, mafuriko, mitetemeko ya ardhi, mkurupuko wa magonjwa kama vile kipindupindu),
-kujadili mada na vidokezo vya insha insha atakayoiandika.
Unazingatia nini unapoandika insha ya maelezo?
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 102
-Kielelezo cha insha ya maelezo
-Vifaa vya kidijitali
10 1
Kuandika
Insha za Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kuchangamkia utunzi mzuri ili kuimarisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kuandika insha ya maelezo (k.v. Jinsi ya Kukabiliana na Mafuriko) isiyopungua maneno 200 akizingatia kategoria za maneno kama vile aina mbalimbali za viwakilishi ifaavyo ili kuuwasilisha ujumbe lengwa, anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa lugha yakiubunifu,
-kutunga insha ya maelezo mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini,
-kuwawasilishia wenzake insha aliyoandika ili waitathmini.
Unazingatia nini unapoandika insha ya maelezo?
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 104
-Kielelezo cha insha ya maelezo
-Vifaa vya kidijitali
10 2
Sarufi
Ngeli ya PA-KU-MU
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua nomino katika ngeli ya PA-KU-MU ili kuzibainisha,
-kuandika nomino za ngeli ya PA-KU-MU katika umoja na wingi,
-kuandika sentensi akitumia nomino za ngeli ya PA-KU-MU katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi,
-kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya PA-KU-MU katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua nomino katika ngeli ya PA-KU-MU kwenye kadi, mti wa maneno, tarakilishi au kapu la maneno (k.v: huku, humu, hapa, hapo, huko, humo, pale, kule, mle),
-kuandika nomino katika ngeli ya PA-KU-MU katika umoja na wingi akishirikiana na wenzake,
-kubadilisha sentensi zenye nomino za ngeli ya PA-KU-MU katika umoja na wingi,
-kutunga sentensi kwa kutumia nomino ya ngeli ya PA-KU-MU akiwa peke yake au kwa kwa kushirikiana na wenzake,
-kujaza mapengo kwa kutumia viambishi vya ngeli ya PA-KU-MU kwa maandishi ya mkono au kwa tarakilishi.
Nonimo katika ngeli ya PA-KU-MU ni gani?
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 108
-Kadi za maneno
-Mti wa maneno
-Kapu la maneno
-Vifaa vya kidijitali
10 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Visawe
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua maneno zaidi ya matatu yenye maana sawa katika kundi la maneno
-kutumia visawe ifaavyo katika mawasiliano
-kuthamini matumizi ya maneno zaidi ya matatu yenye maana sawa katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua maneno zaidi ya matatu yenye maana sawa kwa kutumia kapu la maneno, kadi za maneno, mti wa maneno, tarakilishi, n.k.
-kueleza maana ya maneno zaidi ya matatu yenye maana sawa kwa kujadiliana na wenzake
-kuambatanisha maneno zaidi ya matatu yaliyo na maana sawa katika kapu la maneno
-kuhusisha visawe na vifaa halisi, picha, michoro kwenye chati
-kujadili visawe mbalimbali akiwa na wenzake
-kutumia kisawe kimoja kuchukua nafasi ya kingine katika sentensi.
Unajua maneno gani ya Kiswahili yaliyo na maana sawa?
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 108
-Kadi za maneno
-Kapu la maneno
-Mti wa maneno
-Tarakilishi
-Picha
-Michoro kwenye chati
10 4

11 1
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kujadili sifa za mchezo wa kuigiza ili kuzibainisha
-kusoma mchezo mfupi wa kuigiza kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe na msamiati wa suala lengwa
-kuonyesha ufahamu wa mchezo wa kuigiza kwa kujibu maswali na kutoa muhtasari
-kuonea fahari nafasi ya mchezo wa kuigiza katika jamii.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kueleza maana ya mchezo wa kuigiza akishirikiana na wenzake
-kujadili na wenzake sifa za mchezo wa kuigiza (k.v. huwa na wahusika, kuna mazungumzo, maelekezo)
-kusoma mchezo wa kuigiza akizingatia wahusika, maelekezo na ujumbe
-kutambua msamiati wa suala lengwa uliotumiwa katika mchezo wa kuigiza
-kushiriki katika majadiliano kuhusu msamiati uliotumiwa katika mchezo wa kuigiza
-kujibu maswali kutokana na mchezo aliousoma
-kutoa muhtasari wa ujumbe ulio katika mchezo wa kuigiza
-kutazama mchezo mfupi wa kuigiza shuleni au kwenye vifaa vya kidijitali
-kushiriki katika mjadala kuhusu ujumbe unaojitokeza kwenye mchezo wa kuigiza.
1. Je, mchezo wa kuigiza una sifa gani? -2. Umewahi kushiriki katika mchezo gani wa kuigiza?
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 111
-Vitabu vya mchezo wa kuigiza
-Vifaa vya kidijitali
-Chati
-Michezo ya kuigiza
11 2

11 3

11 4
Kuandika
Insha za Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kujadili mtiririko wa hoja katika insha ya masimulizi
-kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo
-kuchangamkia utunzi mzuri katika uandishi wa insha ya masimulizi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kujadili mtiririko wa hoja katika insha ya masimulizi kwa kurejelea vielelezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi
-kujadili muundo wa insha ya masimulizi
-kuonyesha ubunifu kwa kuandika insha isiyopungua maneno 200 inayosimulia tukio linalohusiana na wanyama wa porini akizingatia nomino na vivumishi mbalimbali, mnyambuliko wa vitenzi, anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka, lugha ya kiubunifu na urefu unaotarajiwa
-kukuza ujuzi wa kidijitali kwa kuandika insha ya masimuizi katika vifaa vya kidijitali na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini
-kuwawasilishia wenzake insha aliyoandika ili waitathmini na kumwelekeza.
Ni nini unachoweza kufanya ili uwe mwandishi bora wa insha?
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 116
-Vielelezo vya insha
-Vifaa vya kidijitali
-Vitabu vya hadithi
12 1
Sarufi
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kauli ya kutendeana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua vitenzi katika hali ya kutendeana katika matini
-kutumia vitenzi katika hali za kutendeana ipasavyo katika sentensi
-kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika hali ya kutendeana katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua vitenzi katika hali za kutendeana katika chati, jedwali, kapu la maneno, mti wa maneno, ubao na vyombo vya kidijitali
-kunyambua vitenzi katika hali lengwa akiwa peke yake, akishirikiana na wenzake
-kutumia vitenzi katika hali lengwa kwenye sentensi
-kujaza mapengo katika jedwali la mnyambuliko we vitenzi kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi
-kuandika sentensi upya kwa kutumia vitenzi katika hali mbalimbali.
Je, vitenzi vinaweza kubadilika vipi mwishoni ili kuleta maana mbalimbali?
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 119
-Chati
-Jedwali la mnyambuliko
-Kapu la maneno
-Mti wa maneno
-Tarakilishi
12 2
Sarufi
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kauli ya kutendesha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua vitenzi katika hali ya kutendesha katika matini
-kutumia vitenzi katika hali za kutendesha ipasavyo katika sentensi
-kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika hali ya kutendesha katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua vitenzi katika hali za kutendesha katika chati, jedwali, kapu la maneno, mti wa maneno, ubao na vyombo vya kidijitali
-kunyambua vitenzi katika hali lengwa akiwa peke yake, akishirikiana na wenzake
-kutumia vitenzi katika hali lengwa kwenye sentensi
-kujaza mapengo katika jedwali la mnyambuliko we vitenzi kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi
-kuandika sentensi upya kwa kutumia vitenzi katika hali mbalimbali.
Je, vitenzi vinaweza kubadilika vipi mwishoni ili kuleta maana mbalimbali?
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 121
-Chati
-Jedwali la mnyambuliko
-Kapu la maneno
-Mti wa maneno
-Tarakilishi
12 3
Sarufi
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kauli ya kutendua
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua vitenzi katika hali ya kutendua katika matini
-kutumia vitenzi katika hali za kutendua ipasavyo katika sentensi
-kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika hali ya kutendua katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua vitenzi katika hali za kutendua katika chati, jedwali, kapu la maneno, mti wa maneno, ubao na vyombo vya kidijitali
-kunyambua vitenzi katika hali lengwa akiwa peke yake, akishirikiana na wenzake
-kutumia vitenzi katika hali lengwa kwenye sentensi
-kujaza mapengo katika jedwali la mnyambuliko we vitenzi kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi
-kuandika sentensi upya kwa kutumia vitenzi katika hali mbalimbali.
Je, vitenzi vinaweza kubadilika vipi mwishoni ili kuleta maana mbalimbali?
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 123
-Chati
-Jedwali la mnyambuliko
-Kapu la maneno
-Mti wa maneno
-Tarakilishi
12 3-4

13

Midterm

Your Name Comes Here

Download

Feedback